Christian Bella Feat. Banana Zoro - Usilie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Catch #ChristianBella latest song "Punguza Kidogo" ► bit.ly/2w2cxai
    Watch and enjoy Christian Bella latest performance at Kilimanjaro (Moshi) 2015.
    Christian Bella other songs:
    Nishike: goo.gl/hS3e2Q
    Nashindwa: goo.gl/7LozYo
    Amerudi: goo.gl/WFO4Re
    Ollah: goo.gl/8pKic4
    Follow me on twitter: @KingMelodies1
    Facebook page: / christianbella
    Follow on G+: www.google.com....
    Follow on Instagram: / bellachristian1
    Subscribe to My Channel
    For More African Music Visit: / mziikitube
    Stream music free at www.mziiki.com
    Digital promotion by Spice Vas Africa!!
    Subscribe us for unlimited entertainment
    / mziikitube
    Like us on Facebook
    / spicevasafrica
    Follow us on Twitter
    / spicevasafrica
    Follow us on Instagram
    / spicevasafrica

Комментарии • 285

  • @RaymondiMmary-gt8mk
    @RaymondiMmary-gt8mk 15 дней назад +8

    Kama umeangalia video ihi 2025 gonga like apa

  • @kwagalafoundation
    @kwagalafoundation 10 месяцев назад +55

    2024 wapi wanao mfahamu Bella?!!!

  • @MakonoJr
    @MakonoJr 10 месяцев назад +21

    2024 kama bado unam like hu yamaa piga like apa👇chukua maua yako kaka🎉🎉🎉

  • @Humphrey_1204
    @Humphrey_1204 11 месяцев назад +24

    2024 tu like apa

  • @josephsilivery3676
    @josephsilivery3676 29 дней назад +3

    kama unamkubali christian bella gonga like hapa 2025🔥🔥

  • @josephmkindi4633
    @josephmkindi4633 8 месяцев назад +21

    STILL 23 may 2024 ndo wimbo ninaojifariji nao ,,,Kama na ww umekuja kujifariji achia likopa au li like hapa tufarijiane wote

  • @fanueldismas5668
    @fanueldismas5668 Час назад

    Yeyote mwaka huu 2025👍👍

  • @perryyeez5005
    @perryyeez5005 Месяц назад +1

    Hii ngoma inanikumbusha mwaka 2012 kipindi hicho ndio naanza kaz yangu ya kwanza nilikua naskiliza kila alfajiri nikiw najiandaa kwenda kazin on reapeat imenipa sana hasira za kukaza katika life na kuto kata tamaa still bang wajukuu zetu mkija angalia hii ngoma 2070 nanyie akawape hamasa kama mim maisha sio soft lakin sio magumu

  • @lindajeremiah35
    @lindajeremiah35 5 лет назад +16

    Nice yamingi sana wangu brother wanguvu gonga like kama we mu congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @aboually7656
    @aboually7656 3 месяца назад +4

    Mitihani ni mingi usivunjike moyo, Ngoma itaishi sana hii, 2024 tupo

  • @adammapuyanga8818
    @adammapuyanga8818 Год назад +3

    huu wimbo napenda sana kuusikiliza asbh unanipa nguv yakutafuta. 2023

  • @robbysartproductioncompany5306
    @robbysartproductioncompany5306 22 дня назад

    King of the Best melodies still is here 2025 tumpe haki yake tunaona ana deserve more likes kwenye hii ngoma

  • @CatherineGeoffrey-b2x
    @CatherineGeoffrey-b2x 6 дней назад

    2025 mwimbo umemaanisha vingi sana kwangu unanigusa sana wakati ninaujua kwa muda mrefu😅dahhh

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Год назад +4

    Ujumbe wa huu mziki ulinifanya nisikate tamaa kipindi hicho sina kazi sina hela sina chochote nadaiwa kodi ya nyumba nimeumizwa na mapenzi huu mziki ndio ulikuwa faraja yangu mpk leo nimesimama nafanya kazi nje ya Nchi
    My Favourite Collaboration
    My Best Inspiration Song
    Hit Song
    #19/09/2023

  • @jiraniespoir
    @jiraniespoir Месяц назад

    Big up, Bella twendelee watch hata hiimwaka wa2025🫡💪💪

  • @araphathmohammedmmassy5785
    @araphathmohammedmmassy5785 2 года назад +8

    Kati ya nyimbo ambayo naipenda kuliko hii ni no 1 na nyimbo zaidi ya 1000 ila huu ndo naona uko wenyewe pekee naupenda sana huu wimbo na hauishi hamu ya kuusikiliza

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 7 месяцев назад +11

    Yani nimeangalia huu mziki 2024 nimeikuta comment yangu ya miaka mi3 nyuma 😂😂😂. Mziki bora kabisa, once again bella we ni mtu mnoma sana 🙌🏼🙌🏼

  • @AfsaAbdul
    @AfsaAbdul 9 месяцев назад +7

    2024 uko wapi huu wimbo kila niusikiapo nashindwa zuia machozi yangu I don’t know why 😢

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 6 лет назад +28

    Hizo sauti 2,ni bonge LA chemistry
    Bado wimbo mtamu 2019

  • @vingibaghuma5506
    @vingibaghuma5506 4 года назад +4

    Wale tuliyosoma nao tuliyokula nao wanaishi vizuri n'a familiya zao,sasa kosa langu ni gani lisolo samehewa? E'mungu nioneshe ata ndotoni!! Nimesha balidisha paka vazi ili nijuwe kosa langu. Yote haya ni mapito tuuu!! Mubarikiwe Christian Bella na msani Banana zoro

  • @focusbusili2984
    @focusbusili2984 6 лет назад +8

    mimi masikini niende wapi nianzie wapi nimalizie wapi tabu na shida kila siku mimi. unaniliza bera

  • @ShomariAlly-m1f
    @ShomariAlly-m1f 2 месяца назад

    Mimi huwa sipendi kusikiliza sababu huwa inaniliza huwakumbuka wazee wangu wote wa2. Waliotangulia mbele za haki kiuchumi alhamdu lillahi nashukuru Mungu kile nilicho jaaliwa. Wimbo huu ni huzuni kwangu . Big up!! Bella

  • @NesthKey
    @NesthKey Год назад +5

    Mimi nangalia 2023 toka 🇲🇿my favourite song

  • @alphoncesamwel3380
    @alphoncesamwel3380 4 года назад +32

    2020 kama tupo pamoja hit like😍😍

  • @mudtwak7489
    @mudtwak7489 2 месяца назад +1

    nyimbo bora kabisa , christian bela king of melody

  • @hamisiokazulu587
    @hamisiokazulu587 Месяц назад

    nakumbuka mbali sana dah huu wimbo bella abarikiwe sana, twende pamoja kama upo unauchek huu wimbo 2024

  • @WixtonKing
    @WixtonKing 3 дня назад

    2025 February best song ever

  • @sadarajabu4038
    @sadarajabu4038 6 лет назад +57

    Nan mwenzangu aangalia 2019

  • @neemacharles2241
    @neemacharles2241 8 месяцев назад +2

    Yaaani katika nyimbo za my brother Bella hii nyimbo Napenda sana sana pia I love you my brother chukua maua Yako 🎉🎉🎉❤

  • @nathanjulius8312
    @nathanjulius8312 Год назад +3

    2023 hyoo bado ngoma ya moto ..

  • @Nivledesign
    @Nivledesign 6 дней назад +1

    2025 Gonga hapa

  • @asumaniabasi7365
    @asumaniabasi7365 3 года назад +3

    Mola ndiye anatoa rizki usikatishwe tamaa na changamoto za chini ya jua lake hakuna kisicho na mwisho😢😢😢

  • @yohanadeusi5660
    @yohanadeusi5660 4 года назад +7

    Nani anaangalia km mimi leo2020

  • @levsonyared3213
    @levsonyared3213 6 месяцев назад +2

    Mungu mkubwa hadi Leo tarehe 16 July 2024 nasikilza hii ngoma👊

  • @marycollin-eg6yx
    @marycollin-eg6yx Год назад +2

    2023 like zenu wimbo unanigusa moyoni

  • @MbarukuSalum
    @MbarukuSalum 22 дня назад

    Hii nyimbo kali sana ina hisia za kweli kabisa

  • @emmynyodi8006
    @emmynyodi8006 3 месяца назад

    Christian unajua unajua unajua tenaaaaa👏🏻

  • @emmanuel243.kilolo
    @emmanuel243.kilolo Год назад +4

    2023 .
    My favourite song 🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @angiekings5187
    @angiekings5187 Год назад +8

    This song hits different when you want to give up😢. Masterpiece 💪🏾

  • @traceisaac3548
    @traceisaac3548 Год назад +5

    2023 still listening good music alive ...

  • @manyeromanyero4634
    @manyeromanyero4634 5 лет назад +8

    Mtoto wa mchoma vitumbua obay police mama ally
    Wapi omary wa pugu secondary wapo chelu mtoto wa wp meja wapi Ali kinega,wapi zungu
    Watoto wa kota onay enzi hizooo 1997 20000 da kitambo sana

  • @lilianipuka591
    @lilianipuka591 6 лет назад +7

    Huu...wimbo niki usi kiliza una ni kumbusha mbali sana na una tia moyo kiu kweli

  • @godlovephilemon5626
    @godlovephilemon5626 3 месяца назад

    Nimerudi tena hapa🔥🔥🔥

  • @wilsonmalias3122
    @wilsonmalias3122 Месяц назад

    Huu wimbo umeni inspire sana in my life

  • @drisayatosiri
    @drisayatosiri 10 месяцев назад +1

    Song definitely sung by talented duet. Thumbs up uncle Banana song of all times as usual.

  • @douglasmichael7494
    @douglasmichael7494 Месяц назад

    December 2024😢😢#USILIE
    Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

  • @niyonkurusaidi6157
    @niyonkurusaidi6157 4 года назад +4

    Nani anaskiliza 2020

  • @sultanpakia9375
    @sultanpakia9375 4 года назад +2

    Wazee wa TALA,MSHWARI..like zenu zaitajika hapa

  • @morganventura8957
    @morganventura8957 5 лет назад +5

    Nyimbo kama hz zinahitaj award upya

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 4 года назад +3

    Uyu msengee anajua na anasaut mpk anaboa kweli

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 8 месяцев назад +1

    Hizi ndio nyimbo bwana yaan unasikiliza inaingia mpk kwenye mfeleji wa moyo daa asee nyimbo inahisia zote

  • @frankdennis8918
    @frankdennis8918 Год назад +4

    Whatever year you are listening to this still remains a masterpiece

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 6 лет назад +9

    Matatizo ni mengi lakini yana mwisho tu 👊

  • @lightnesscharlse2281
    @lightnesscharlse2281 5 лет назад +3

    daaa huu wimbo unanitoaga machozi

  • @AbrahamChirimi
    @AbrahamChirimi 9 лет назад +6

    katika muziki wa kuliwaza we mkali sielewi kama wapenzi wako wote unawafahamu Tupi wengi Mungu akujalie kwa kipaji alichokupa kitumia vizuri.

  • @EvaristoMwasenga
    @EvaristoMwasenga Месяц назад

    Apo bella anatoka Kongo cyo mda

  • @prochesminde142
    @prochesminde142 Месяц назад

    Huu wimbo unatia matumain duh unapenya moyoni

  • @aminaolver9114
    @aminaolver9114 11 месяцев назад +1

    2024 still my favourite song

  • @charleseshiembwe8561
    @charleseshiembwe8561 4 года назад +2

    Chaque jour il faut naleka na chaîne RUclips ya Bella po na yoka ata oeuvre moko kaka

  • @AbeidiOmary-k1k
    @AbeidiOmary-k1k Год назад

    kam unasikiliz mwaka 2023 tujuane ❤

  • @stevenadogo3774
    @stevenadogo3774 3 месяца назад

    One of the Best songs with a deep meaning

  • @WilliamChanja-oo4nu
    @WilliamChanja-oo4nu 3 месяца назад +1

    Hii nyimbo waga inatutia moyo cc mackini jamani😢😢

    • @kelvinomondi8515
      @kelvinomondi8515 Месяц назад

      Usiseme maskini....sema Sisi wapambanaji kwani tunapambana...maskini ni mwenye amekata tamaa amebaki tu kuomba omba na kusaidiwa🙏🤝

  • @HastingsSimtowe
    @HastingsSimtowe 4 месяца назад +1

    Nakumbuka chunya arafu maisha yarikua magumu

  • @PialaKimaro-j7t
    @PialaKimaro-j7t Месяц назад

    Chemistry Kali sanaaaaaaa hyo

  • @OleSidai
    @OleSidai 5 месяцев назад +1

    2024 banana zoro ❤

  • @ahmeddeus8474
    @ahmeddeus8474 4 года назад +8

    Best song ever , save the message

  • @marshangeka712
    @marshangeka712 8 месяцев назад +1

    Mm mpaka leo naukubari sana huu wimbo🎉🎉🎉

  • @tiemoue_tz7122
    @tiemoue_tz7122 3 месяца назад

    Nani anaisikiliza mwaka huu muda huu

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 4 года назад +3

    uyu jamaa ni fundi

  • @Dhahira16
    @Dhahira16 8 месяцев назад +1

    Wimbo wangu pendwaaa 😘😘👌all the time

  • @YusuphLibabe
    @YusuphLibabe 3 месяца назад

    Nyimbo saaaf sana hai Bella and Zolo

  • @NhXhdhdh
    @NhXhdhdh Месяц назад

    Hakukosea mungu mkubwa

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 7 месяцев назад

    2024 July nasikiliza hii song nalilia vijana wa tz Mungu uwasaidie

  • @eddiebilly3475
    @eddiebilly3475 5 лет назад +4

    2020 tuko pamoja

  • @lucianuisso4564
    @lucianuisso4564 День назад

    Asante bella

  • @bandaabdy698
    @bandaabdy698 6 месяцев назад

    Inanikumbusha mbal xn, still listen 2024

  • @BintheophileTheophile
    @BintheophileTheophile 3 месяца назад

    kiukweli nakubali uyu kaka

  • @peopletv1
    @peopletv1 Год назад +20

    2023 kama uko hai gonga like 👍

  • @claralubinza6136
    @claralubinza6136 9 лет назад +17

    i listen to this song throughout the day and I don't get tired of it, its one of its kind, sang from very far.

    • @kabuyafull5
      @kabuyafull5 4 года назад

      Same..quality sounds n authentic melodies

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 Год назад +1

    Listening 2023

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 4 месяца назад

    Wimbo unasema nisilie duuuh lkn mm nmelia😢😭😭😭😭

  • @BoniphasLucas-j6x
    @BoniphasLucas-j6x Месяц назад

    Nakubar sana mwamba huyu

  • @muhadikwinji9628
    @muhadikwinji9628 3 года назад +1

    We.jamaa.fundi.noma.sana

  • @nsengiyumvajules2637
    @nsengiyumvajules2637 Год назад

    Huuu wimbo unanikumbusha mbali sana😭😭😭😭

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 3 года назад +1

    Katika nyimbo zako hii ni balaa sana,Ujumbe mzito sana!! Hakika huu wimbo ulifanya kazi kubwa big up

  • @EmanuelHosana-q2e
    @EmanuelHosana-q2e 2 месяца назад

    Bella ni mtunzi mzuri sana

  • @mariamumvungi4326
    @mariamumvungi4326 4 года назад +2

    2020..bado Ni 💥

  • @ericdjuma4607
    @ericdjuma4607 5 лет назад +42

    huu ndio wimbo wakuomba mkopo bank

    • @januaryhhary9117
      @januaryhhary9117 4 года назад +4

      Kweli kaka kabisa

    • @aminafideli8132
      @aminafideli8132 Год назад +1

      😂😂😂😂 Kabisa

    • @fatmanyota
      @fatmanyota Год назад

      Hahahhaa
      Mama eeh

    • @fatmanyota
      @fatmanyota Год назад +1

      Now 2023 but still on fire😂😂

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani Год назад +1

      Niliombea mkopo NMB wakanipa walipokuja chukua nyumba nikaweka huu mziki wakanisamehe😂😂

  • @GloriaMillinga
    @GloriaMillinga 2 месяца назад +1

    November 2024

  • @papaernest132
    @papaernest132 6 лет назад +8

    Nice sana mtu wangu Bella ❤️🇨🇩

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka 7 месяцев назад +1

    Ukiwaume uguliwa usiskilize hinyimbo

  • @NasraThomas
    @NasraThomas Месяц назад

    Hatari saana

  • @maikorafael4001
    @maikorafael4001 Год назад

    Alhamisi 21-9-2023 big up Sana brlla

  • @ElidafosiDondoli
    @ElidafosiDondoli 7 месяцев назад

    Wimbo mpaka Leo utadumu mioyoni mwetu. Love this song

  • @Huruma-ze5xk
    @Huruma-ze5xk Год назад

    My favourite song in 2024

  • @rehemapembe7054
    @rehemapembe7054 7 лет назад +6

    Big up napenda Sana nyimbo zako, uko vzr, usiliee naipenda sana

  • @JamesJoseph-y7n
    @JamesJoseph-y7n 7 месяцев назад

    Bella unajua sana kaka

  • @yvonnemaombi7332
    @yvonnemaombi7332 4 года назад +2

    Nyimbo tamu sana

  • @daddypmalima2919
    @daddypmalima2919 6 лет назад +1

    Mola akupe mwangaza muziki wako uende mbali zaidi ur the best....

  • @gosberthmbwilo3609
    @gosberthmbwilo3609 6 месяцев назад

    Bela kama bela shule ya masauti, nafarijika sana na hii ngoma