Namkumbuka mwalimu wangu mmoja hivi alipenda kuingia darasani akiwa anaimba wimbo huu.... This song is so fireee hivi watu hawaruhusiwi kutoa wimbo huu upya tena mzuri sana November 2018
Chillah ndio mwanamziki bora wa bongofleva wa muda woteeee mwenye kipaji na sauti hasaaaaaa huyu angekuwa ulaya ma manager wenye akili wangemfanya r kelly bonge la billionea kwa hizo album dah...tatz uteja tu mwingi
.... 2020 ... kuongezeka kwa miaka na mabadiliko ya Technologia haiwezi kutusahaulisha tulipotoka na asili ya nyimbo zetu za bongoflavor ... weka like yako twende pamoja 👍🏾
My all time favourite song, i can listen to it like 1000times a day and still wants to listen to it. Q-CHILLAR Still remains the best vocalist in Africa. much respect
iyi song ni favorite to me na inanikumbushaga mbali sana zama za mapenzi, na saa zingine sipendi kuisikilizabecause siniko tena kwa uyo ulimwengu wa mapenzi but i 'm in love with this song. respect for u Q Chillah
I was in class two when I first heard this song but up to date the song is still rocking. I would advice the current bongo artists to seek more advises from the former artists like Qchilla, berry white and black, Mr. Nice among others.
for sure ulifikiria far brother, the song is beautiful and it still conveys the present and it will hit over generations coz of it's impression... like it
big boss q.chief lol, nakuaminia mzee.nyimbo zako ni moto usiyozima.Nina nyimbo zako zote mzee, nakusiliza mia kwa mia.Fanya kazi, tuko pamoja. WEST FROM OTTAWA.
This songs reminds me of my former classmate (Ruth Nyokabi) tukiwa pale primary school she used to used to help me to sing the song coz ni sisi tu tulikua tunajua hii ngoma. So🔥🔥🔥🔥lit Merry Xmass and happy new yr 2021
Uhali Gani _Tanita songs we we wat alovely songs ,,,OO,, naLIyaa Mpenzi chamani one by one makes 2 ow bebe girl ilove ningi kwa mama ,,,,,, una poze moya wangu mimi yh AN hes ma bro ma Islamu am gona suport him
Hongera kwa wanamuziki wote ambao mmeimba nyimbo zinazoishi mpaka leo kamwe hamtasahaulika hata msipokuwepo duniani tena maana kazi zenu zitabaki zikiishi vizazi na vizazi
Waaaw jaman nakumbuka maisha alisia ya kijijini kwetu zaman sana 2000 mpaka Leo 2024 maisha yanabadilika sana😢😢😢
Wow wapi like za 2019 jamani niko ndani from Lebanon Beirut much love🙌🙌🙌🙌
Mkongwe mwenzetu
Hii ngoma ilinipata nikiingia form one 2007 waaah tamu sana wakati huo bongo zikiwa moto sana
@zawadi mkali noma sanaa
Beutifuli
Huo wimbo mtamu sana aiseee 2007 release
Kiuchila nakushauri muunde group la wanamuziki wa zamani mpige shoo mikoa tofauti tofauti nyimbo za zamani nzuri sana bana
nzuri sana listening 2024
kama unikubali hii ngoma 2020 bado ipo juu gonga like tukutane mwaka mpya insha Allah ❤️ 🙏 Mungu..
Nice
Nyimb nzur san hii naiskilza tok mwanz huu2022
Me 2023🎉🎉🎉🎉😂20/01/2023
24/4/2024🔥❤
E bwana muziki zamani, hizi nyimbo zilitusaidia sana kutongozea tena ukaonekana upo serious hahaaaa ni juu karatas fulu dedication
😂😂😂😂😂😂😂😂 sijui nacheka nn 😂
😂😂😂Kweli kaka
daaaahhh!!!!! hii nyimbo nikiisikiliza najikuta najawa na huzuni tuu moyoni na vile my darling yuko mbali daaahhh!!!1 q chief respect kwako brother
oooh my all time favourite, lakini sikuwahi tazama video 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Namkumbuka mwalimu wangu mmoja hivi alipenda kuingia darasani akiwa anaimba wimbo huu.... This song is so fireee hivi watu hawaruhusiwi kutoa wimbo huu upya tena mzuri sana November 2018
Chiiiiiiiiiiiiiiiii nakupenda sana ww unajua ktk kundi wanaojua thanks bro kwa muziki mzuri unaishi miaka yote 😘🙏
Miaka hiyo sina kitu,leo mambo safi,never give up brother God is a provider,🙏🙏🙏,
hii nyimbo ilimzidi umri qchief maana hata angeitoa leo ingekuwa hit. hakika sasa hv wanamziki wameisha mziki kitambo
...wewe jamaa unajua muziki... Hii ni moja ya hit Kali sana
hakika ni sawa na linex pia aliimba nyimbo nyingi kubwa ila saizi kawa kimya bado za zaman ndo zinamfanya awe bado msanii
Muziki wa kufurahisha na kuleta majonzi kwenye nafsi na moyo kabisa... 🔥🔥🔥👌 Timeless Music
Chillah ndio mwanamziki bora wa bongofleva wa muda woteeee mwenye kipaji na sauti hasaaaaaa huyu angekuwa ulaya ma manager wenye akili wangemfanya r kelly bonge la billionea kwa hizo album dah...tatz uteja tu mwingi
Nic song pak leo2022
.... 2020 ... kuongezeka kwa miaka na mabadiliko ya Technologia haiwezi kutusahaulisha tulipotoka na asili ya nyimbo zetu za bongoflavor ... weka like yako twende pamoja 👍🏾
25 Feb 2007 ... Uhali gani by Q chief....great voice,track,enthusiasm vocals#ReceiveditwhileinForm1#Kenya
11/04 /2019 wangapi tupo pamja👌👌 kipindi hicho wasani wanaimba kweri❤❤👌👌
Pamoka 254 001 bt currently in 974
Hiki ndicho kipindi wasanii walikua wanaumiza kichwa na kutoa hit songs ever
Q chillah fan
Kweli sasa hivi hakuna wasanii
Wangapi tupo hapa na Q - Chila hadi tunamaliza 2024.
Wasanii wabongo walipokuwa wanaimba sio Leo wanatukana zaidi kuliko kuimba viva Q chif viva
It's 2023 and were still banging with this.. Muziki mzuri na wenye hisia kalii 🙌
👌
Uhali gani, the song make me cry,it so much touching my heart,for real this is my heart song, i love it so much,its always take my memories.
My all time favourite song, i can listen to it like 1000times a day and still wants to listen to it.
Q-CHILLAR Still remains the best vocalist in Africa. much respect
Noela Sway Titus i like your comments
y you make cry!
Bongo frava
So nice .
Itaishi sana ngoma hii
iyi song ni favorite to me na inanikumbushaga mbali sana zama za mapenzi, na saa zingine sipendi kuisikilizabecause siniko tena kwa uyo ulimwengu wa mapenzi but i 'm in love with this song. respect for u Q Chillah
Kuna Boy anaitwa Abel tukiwa primary alikuwa anaiimba hii song mpaka analia😂😂 kiura primary school ako wapi aje apa askilize😂😂
Nipo hapa bro!!
😂😂😂😂😂😂
Who was driving you crazy to this extent😂😂 in primary
@@annapriscillakandulinduli3690yaani Abel alikuwa ameishaanza mambo ya wanawake.. imagine primary!!!
😂@@IbrahimRajab-j7n
Classic Jam, 17 years.. Just waaaaaaaaaaoooooooo it feels like imetoka jana
I was in class two when I first heard this song but up to date the song is still rocking. I would advice the current bongo artists to seek more advises from the former artists like Qchilla, berry white and black, Mr. Nice among others.
O
Yeaa
Moenzi wangu shamila aloniaga anaenda Dar. Nilikuwa nalia usiku nokisikiliza hii myimbo.
Shamila wee
Respec my brother chilla we ni mwamba Toka zamani up to now 2023 bado naiskiza ngama Kali bado
Oh god! Haven't heard this song for more than 13 years. Indeed, they stopped making music as good as this.
I was in form 5 when this song was realesed by Chilla..great voice.Much respect to you bro.I am proud i was born in this era.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😢😢😢 ntakukumbuka sana kipenz changu 😢😢😢baraka .r.i.p mwimbo wako pendw😢😢 26.10.2024 ur in memory 4ver😢😢😢
Poleeeeee
Hellow
Pole
2021 Ngoma imenibamba leo Bigup Kwako Q Chillah, Producer pia Allan Mapigo huu mziki ni wa Kikubwa dis iz Highlife Song #Allanmapigo #Qchief
for sure ulifikiria far brother, the song is beautiful and it still conveys the present and it will hit over generations coz of it's impression... like it
Nyimbo hii haitaweza kupoteza uhalisia wake hongera sana brother q chilla
Isabella fahari primary school mombasani, 2006. This was your song. 2024 gonga like
i truly love this song....it takes me back and i hope this song will one day make me to get the one of my dream
Q Chief my favourite musician of all time, big up man xxx just love your songs.
Hii Nyimbo Still Touching My Feelings.
I surely miss your music Qchief i am still watching in 2018!More love from Nairobi
Uzito wa hisia za kweli Q🔥🔥, na zaman mapenz ndivo yalivokuwa rudi sasa2020 hii na ngoma kama ioo tukuone tena kaka✌️🧐🧐
Who is here in 2024 dec😢😢😢 my sister's favourite song I miss you siz
Bravo🎉 dah! Nimekumbuka mbali sana aise ila mpaka leo 2024 bado ngoma ina vibe lile li le
2024 anyone? This was such a🔥ballad
Here i am😊
Nimekumbuka mwaka 2010,, Happy Maiko popote ulipo jitokeze😭😭 Duniani nimeona wengi lakini nakupenda wewe
Nakukubali Sana Brother ,💪💪💪
Dah hatar Sana wimbo una ujumbe mzito Sana love this song
Kaka tangu n miaka 8 naskiaga hii song but mpaka Leo 2024 naikubali sana
Ngoma kali sana
huu wimbo ni maalumu kwa wale wenyemapezi ya dhati na sio ubabaishaji.
Kabisaa
Hahaaaaa
Asante bro
Sure
haswaaa
🎉Naombeni likes zangu 2024 September
2020 still on trend ..wanao angalia hii bado ujue mungu bado anakupigania kitamboo sana👐
Still watching and listening 2019 ,Allah akuweke qchief
Oh my good artist q chillo i love you bro hii song inafanya nawaza mbali Sana bro I love your song
big boss q.chief lol, nakuaminia mzee.nyimbo zako ni moto usiyozima.Nina nyimbo zako zote mzee, nakusiliza mia kwa mia.Fanya kazi, tuko pamoja. WEST FROM OTTAWA.
hii nyimbo hats miaka mia ipite....itabaki kuwa nyimbo bora tu
uko sawa mia 800 itabaki kuwa viwango vya dunia
Yes yuko juu SNA MPE ishima yake ubaguzi mwingi bongo q chillah yuko juu Sana nyumbo zake zagusa
OMG, this was real goooood!!!! This one #tanita and #itabidi_wazoee
Hii kubwa sana blood big up homie
Kweli Q.chifu Mungu Akulinde nakumbuka mbali sana
one by one mix twooo who baby girl i lov uu daaa nyimbo kali zote zilikua miaka ya nyuma
Wooow been looking for this song since i left high school... Thank you for uploading this lovely song😍
hiii k2 ni amaxing vibaya mnoooo
Ndani ya Kenya nautazama Tena 21,9,19 unipoze moyo Wangu unipozeee q cheef pamoja sana
This songs reminds me of my former classmate (Ruth Nyokabi) tukiwa pale primary school she used to used to help me to sing the song coz ni sisi tu tulikua tunajua hii ngoma. So🔥🔥🔥🔥lit Merry Xmass and happy new yr 2021
Tabasamu la usoni, Simanzi Moyoni ❤
I love your song chillah God bless you always
Hii nyimbo kali sana jmn!! Niliipenda sana!!❤❤
Salute chiller bro ur made it, this song so great ever
Chilaa umeimba mziki mzuri sana hapa 2020 tupo pamoja
Uhali Gani _Tanita songs we we wat alovely songs ,,,OO,, naLIyaa Mpenzi chamani one by one makes 2 ow bebe girl ilove ningi kwa mama ,,,,,, una poze moya wangu mimi yh AN hes ma bro ma Islamu am gona suport him
I'm a kenyàn and i love you q rudi kwa kuimba brother
I love 💕💕 this song ..where are you q chilla??
Mzigo bado Wamotoo 2019, love You Bro
You a so talented dude,,just recollect yourself and you'll make it even now,,achana na hawa wanyama pori
No one can reach ur talent in Tanzania, ur talented musical vocalist no one ever
I love this song and am not tired of listening to it
still my best song ever... kila nikiusikia namkumbuka mpenzi wangu wa kwanza alonifundish mapenz... oooops i mc u amina
Aminaaa 😂😂😂 mpekuzi mm mtu wa kale
Wow! So nice😊😊👍
daaa one of my best luv yu chilla
Q chilla 💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mistari hapa 2023 still hit......mnyamwezi yupo ndani😂😂😂
2023 ndo nausikiza but I really love the vibe and content ❤❤❤
2021 still listen this fantastic song
I remember the day he released this song. On Mseto East Africa in 2006. I long for Those days
2020 bado tuna sikiliza. Ina nikumbusha mbali sana daaaah. Kama ina kukumbusha sehemu tujuana
Rekindles my high school memories from 2007/2008 and Mambo Mseto - Willy M Tuva
We might be age mate hehe
True,willy tuva is a living legend
@@nasibndaro6281 kabisa. Na sasa uko?
I listen to this in 2009.its 2023 august i feel like to go back to those days...from kenya
❤❤❤❤❤❤Miaka buku
2019 kudadeki chilla your my best ever...
Naicheki leo February 2024 kwa kuimis sana
this is my best song from q chillah daaah.. 😢😢😢😢😢 unanikumbusha dem wangu
John Gasto 😂😂😂
2018.nikiw nauguza mme wangu daahh ckuisha kusikiliza hii nyimbo.mungu ww pumzik mme wangu kipenxi
I used to love this song sana Qchila tanita oh my 2020 stil here
Wenye bado tunaikubali hadi mwaka huu sema serebukaaaaaa
2024 still rocking with good music .bongo iliyo na fleva
My all time favourite, Q Chila the best...come back.. Savimbi baibe,Chief kiumbe, big boss.
Nice!! Hutoshafuka!!! Uhali gani!!!!!
Pamoja! Chila!!
This song samples my childhood memories.real throwback💯
Yup 🤝
Waliokuja apa baada ya hassan mapenz😂
Mimi apa nimeomuona uyo Hassan leo 😂
q.chilla this music alone shall live never shall die
till now 2019...... miss you Q chillah!!!
U rising again bro.. Go go go
Hongera kwa wanamuziki wote ambao mmeimba nyimbo zinazoishi mpaka leo kamwe hamtasahaulika hata msipokuwepo duniani tena maana kazi zenu zitabaki zikiishi vizazi na vizazi
💥💥🔥🔥2020 bado iko fresh kama ya leo
Wale wanga wa gulf twende kaz ...2019
Kweliii mapenz zamanii
Kamaa unaamini nione like zako