Q Chief - Tutaonana Wabaya (Official HQ Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 225

  • @AmaniGenga
    @AmaniGenga 6 месяцев назад +14

    Mnao sikiliza hii Ngoma Leo 2024 😂 big up Kwa Ku jikumbusha Ngoma za miaka hiyo 😅

  • @molovemusic9257
    @molovemusic9257 13 дней назад +1

    Kama unaangalia nyimbo hii December 2024 naomba like zangu pia ni follow please big up chilla

  • @official_luckyvine5
    @official_luckyvine5 Год назад +11

    Leo ndio nimejua Ile PUSHA ya ASLAY ilitoka hapa mnaokubaliana na mm gonga like

    • @bruhankuhunguru4810
      @bruhankuhunguru4810 7 месяцев назад +1

      Umefikiria mbali sana, ww unaujua muziki na unauelewa. Much respect from Tz nlikuwa sijasanukaga

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +14

    Uyu *Qchiaf* wanamsahau tu ila uyu uwezi fananisha na miziki ya sasa.

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 6 месяцев назад +1

      Sema TID ndo anamharbu😂😂😂

  • @BoniphaceMathias-e8j
    @BoniphaceMathias-e8j 2 дня назад +1

    2025 sio mwaka wa kufosi bali tunasikiliza kwa hisia, achia like hapa 😂🎧

  • @matheworigi7017
    @matheworigi7017 6 лет назад +76

    Itadumu milele guys still watching it in 2018 kama wakubaliana nami gonga like yako hapa boss more love from Nairobi!

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 8 лет назад +29

    real music never die matofali yatakwisha lakini mawe yatabaki daima

  • @henrypambisa5483
    @henrypambisa5483 10 дней назад

    Huyu mwamba anauwezo mkubwa sana hata mond hana chuma kama mnyama huyu ila muda ndiyo ulikuwa tatizo ❤🎉

  • @kinghenry5511
    @kinghenry5511 6 лет назад +6

    Hawa ndo walihimba bongo flave hawa wakutowa ngoma leo week ijaho utamu unahisha, hawa walipiga ngoma za kudumu

  • @IdrisBigDrix255
    @IdrisBigDrix255 2 года назад +13

    don't worry, you're not alone watching this masterpiece in 2022

  • @ChafwilaGod
    @ChafwilaGod Месяц назад

    Huyu ndio msanii bora wa muda wote wa aina hii ya mziki sema sijui kwanini hakuendelea kuimba mpaka sasa

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +7

    qchef atabaki kuwa juu daima

  • @mzanakionlinetv8324
    @mzanakionlinetv8324 5 лет назад +21

    kama naww still 2019 unaicheki like yako hapa

  • @yohaneskapugi6855
    @yohaneskapugi6855 8 лет назад +12

    watu na miziki yao miaka 1000 bado IPO kwenye ubora wake

  • @duncanmrabu2422
    @duncanmrabu2422 5 лет назад +5

    Q chilla mbnaa fresh tuu unamkubal na ngipi dondoshaaa hapoo ,twendee 1 ..2019

  • @onesmokilendu4991
    @onesmokilendu4991 Год назад +2

    Jamaa anajuwa sana one ❤

  • @grace1992ify
    @grace1992ify 6 лет назад +31

    Bado ni motooo watching this 2019

  • @rkay5835
    @rkay5835 10 лет назад +9

    My legendary qchillah,you never dissapoint me with ur songs,nice song bro

  • @nonnau1
    @nonnau1 6 лет назад +23

    Nice to listen in Germany

    • @jayproducts5871
      @jayproducts5871 5 лет назад

      Edeltraud Urciuoli that's good music from Tanzania 🇹🇿

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 5 лет назад +9

    Still rocking 2019 much love n respect to the legend ....#Tikisa🇰🇪

  • @alibekaofficial246
    @alibekaofficial246 5 лет назад +4

    Harmonize brought me back, Q chillah was 🔥🔥🔥🔥

  • @neemavalentino9455
    @neemavalentino9455 6 лет назад +8

    When music was music....🔥🔥🔥🔥

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 лет назад +2

    Hii itaendelea kua hit song daima

  • @androidbox9643
    @androidbox9643 4 года назад +13

    Like kwa aaeangalia 2020

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 5 лет назад +9

    Still watch 2019 tutaonana wabaya. Hhhhhhhhhh🖒

  • @robertplasidus5179
    @robertplasidus5179 5 лет назад +2

    2020.. hii n idea y aslay pusha

  • @modestussanga3381
    @modestussanga3381 7 лет назад +6

    mziki mzur Leo kesho na hats milele

  • @mwanaishakingomkono2747
    @mwanaishakingomkono2747 6 лет назад +3

    mziki ulikuwa zamani bwana

  • @tegemeaernest7560
    @tegemeaernest7560 4 года назад +4

    Kama unaingalia 2020 gonga nikuone hapa

  • @listerboyka2672
    @listerboyka2672 5 лет назад +3

    Q Chilah ni nomaa 🔥🔥🙏

  • @josephnyamhanga1360
    @josephnyamhanga1360 4 месяца назад +1

    2024 keep the good music alive

  • @allyissa4249
    @allyissa4249 2 года назад

    Wasanii kama Abubakal khatwila ni wachache wanaofikisha ujumbe kwa jamii na wanalizika hongera sana

  • @asinatikarim5401
    @asinatikarim5401 5 лет назад +2

    Nimeitafuta sana 2019 kuitazama kama nawewe ni mmoja wako tujuane

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 6 лет назад +3

    Ma homie boy Q chila

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 лет назад +3

    Wangapi tuliowahi kukopa bank tukashindwa kurejesha mkopo. 2019❤

  • @yussufkhasim9021
    @yussufkhasim9021 5 месяцев назад

    This is one pies of a good work..Q chilla🎉🎉

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 года назад +6

    Still Watching 2020 This Song So Amazing 💥💥💥💥

  • @nadildylan1313
    @nadildylan1313 4 года назад +2

    Wale still wanoikubali hii ngoma 2020 like hap

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Год назад

    Kila nkiisikiliza nyimbo hii nakumbuka rafiki angu alivotaka ku mchukua mke wangu inanikumbusha mbali

  • @V.O.T
    @V.O.T 5 лет назад +2

    Wale wa 2020 tujuane kabisa

  • @edyfrancore1143
    @edyfrancore1143 6 лет назад +4

    15/06/2018.still watching.. The same day Ronaldo make my day for hat trick .... Sound like big day... Damn...!

  • @elyleonard5122
    @elyleonard5122 5 лет назад +2

    One love with u Q chifu..
    Ur song Make me feel to sing A love😉😉😉😉

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 6 лет назад +1

    I like vocals kaka amazing ever that's why anae jua kuimba lazima a salute

  • @egidenzohihaya9337
    @egidenzohihaya9337 5 лет назад +2

    Pamoja ma bro

  • @johnwawangari7258
    @johnwawangari7258 2 года назад

    Oooh my song naipenda sana enzi zile🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @irenejerrylugose996
    @irenejerrylugose996 5 лет назад

    Can't stop watching le old skul izi sasa ndio nyimbo hamu haikuishi

  • @edigahonyango2794
    @edigahonyango2794 6 лет назад +9

    2018 still rockin

  • @naggaidb
    @naggaidb 6 лет назад +12

    2018 bado naipenda hii

  • @simonprince5305
    @simonprince5305 5 лет назад +1

    Nakubaliii sanaaa

  • @faustinmusonere7507
    @faustinmusonere7507 5 лет назад +4

    13/5/2019 bado kwenye hit

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 4 года назад

    30_06_2020 naangalia nyimbo Kali kutoka kwa mwasirika wa madawa ya kulevya mwenzangu

  • @aliabubakar2161
    @aliabubakar2161 5 лет назад +1

    Q.chief the gost .🔥🔥🔥🔥👉 MUNGU azidi.. TU

  • @oscarkambona9298
    @oscarkambona9298 4 года назад +2

    Nina iman tupo weng ambao tunaiangalia hii 2020,. So gonga like twende sawa

  • @singlemother4936
    @singlemother4936 7 лет назад +19

    2017 still inabamba

  • @PendaelNassari
    @PendaelNassari Год назад

    Chillah come back again to the music broo

  • @stevenstewartchihusi8709
    @stevenstewartchihusi8709 9 месяцев назад

    Nice Song
    i like it until 2024
    🇨🇩❤️🇹🇿

  • @supertv3960
    @supertv3960 7 лет назад +6

    naipenda sana hii nyimbo

  • @annettenandudu9801
    @annettenandudu9801 3 года назад

    Wow I miss those days when bongo music was lit I used to watch this song on Eatv 2021 I'm still here

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 6 лет назад +3

    2018 ndyoo unataka uachee mzkii,, umekulipa nn?? Pigs kazi chilla

  • @dioclesjones640
    @dioclesjones640 Год назад +3

    2023 remembering my childhood song

  • @georgejovin2255
    @georgejovin2255 5 лет назад +2

    Wale wa 2020 tujuane

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 2 года назад

    Mzikii mpeni pesa zake.tu q chillah

  • @kachagrll9515
    @kachagrll9515 2 года назад

    Noma sana bado moto

  • @AbdallahPetro
    @AbdallahPetro 3 месяца назад

    Nakubari nyimbo zazamani mpaka kufa

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 лет назад +1

    We appreciate u Q-chilla

  • @ntawurusigajaphet8813
    @ntawurusigajaphet8813 4 года назад

    My favorite song ever.hii siichoki miaka yote

  • @geraldmwangi4223
    @geraldmwangi4223 3 года назад

    Qchillah alimaliza kwa hii

  • @jumamshangama7700
    @jumamshangama7700 5 лет назад +1

    King of bongo fleva

  • @hamismwakyusa8406
    @hamismwakyusa8406 6 лет назад +2

    Tisha sana Q chief

  • @collinskoech1073
    @collinskoech1073 5 лет назад +2

    2020 nani anawatch pika like @+254

  • @ntawurusigajaphet813
    @ntawurusigajaphet813 5 лет назад +1

    Tarehe 18 Octoba 2019
    All the time song😍😍

  • @GerardHARERIMANA
    @GerardHARERIMANA Год назад

    Keep watching this nice melody in the end of august 2023.wooooow

  • @brightonchannel4997
    @brightonchannel4997 6 лет назад +2

    Mjini hapa😅

  • @PeterMloha
    @PeterMloha 3 года назад

    Wasiwasi macho kodoo

  • @fadhiliefron6356
    @fadhiliefron6356 6 лет назад

    Vocals kaka natamani iwe yangu yaaani unique

  • @substonealemba9941
    @substonealemba9941 5 лет назад +2

    Best tbt still rocking 2019

  • @macanilusiji3423
    @macanilusiji3423 4 года назад

    Nani anasikia vitu ka izi 2020!!!baada yakumtambulisha dem wake Kwa mchizi halafu akabebewa hahahaaaa

  • @kassimsalum1479
    @kassimsalum1479 3 года назад

    Yeah kibaka puff 2021 🇧🇷

  • @ramadhansaid4748
    @ramadhansaid4748 4 года назад

    Nakukubali Sana q chila

  • @dicksonteto4495
    @dicksonteto4495 4 года назад

    Mzk wangu wamwaka huu wa uchaguzi

  • @AskariKidume
    @AskariKidume 4 года назад +5

    2020 like apa, tukipambana na corona

  • @petermasalesa5701
    @petermasalesa5701 8 лет назад +2

    Bongo at it again,

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 6 месяцев назад +1

    2024 gonga like

  • @ArthoEdward
    @ArthoEdward 4 месяца назад

    Uwakika❤

  • @mathiasmagesa8308
    @mathiasmagesa8308 5 лет назад +2

    2019 still iko bomba sana

  • @nanab9731
    @nanab9731 7 лет назад +8

    🔥🔥🔥🔥

  • @jacquelineobeid8340
    @jacquelineobeid8340 5 лет назад +1

    I still love this love song untill now if we are together like

  • @ichu4176
    @ichu4176 Год назад +2

    2023... like zenu here we go😊

  • @talents7934
    @talents7934 9 месяцев назад

    Zamani kulikuwa na wanamuziki sasa hivi Tuna wasanii😂😂

  • @brihansikon5093
    @brihansikon5093 5 лет назад +2

    A legend

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 Год назад

    Huyu mtangazaji wa ngumi wa Azamtv kama ndo alikua hivi sina halaka na maisha 😂😂 2023 tujuane

  • @sephasephin7959
    @sephasephin7959 5 лет назад +3

    Kama uko hapa 2019 hit like 👍🏽

  • @thomaskabuka5366
    @thomaskabuka5366 4 года назад

    What a song 2021 who's watching with me🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @miltonemusumbah2544
    @miltonemusumbah2544 6 лет назад +25

    mtaimba sana but haitawahi kutokea vocalist mkali Africa nzima kama Q-CHILLAR

  • @patricktippa141
    @patricktippa141 11 месяцев назад +1

    watching this in 2024 this was when songs were songs

  • @winniecardiophy3262
    @winniecardiophy3262 3 месяца назад +1

    2024?

  • @denismalale4698
    @denismalale4698 3 года назад

    haichuji, Still watching 2021 like kama tupo pamoja

  • @asmartissa120
    @asmartissa120 6 лет назад +2

    still have time for 7-8-2018 Bamba to bamba

  • @simonkedeko1496
    @simonkedeko1496 6 лет назад +5

    Gonga like unaeangalia 2018

  • @MrN0bad
    @MrN0bad 4 года назад +1

    2021 bado ngoma ni kali