Linex | Moyo Wa Subira | Official Video
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Song: Moyo Wa Subira | Artist: Linex
SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/MziikiTube
Like us on Facebook: / mziiki
Follow us on Twitter: / mziiki
Circle us on G+: plus.google.co...
Instagram: / mziiki
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
Visit MziikiTube channel for unlimited entertainment: / mziikitube Видеоклипы
Sitaki kuamini 2024 hakuna anaesikiliza hii nyimbo iliobeba ujumbe 😢
Nyimbo kali huwa hazinaga view nyingi. Sidhani kama Linex atakuja imba nyimbo kali kuishinda hii
Tuko
tupo
Wote mmetendwa
Bado anaimba bro ilisikilize mchuma baya @@VinceHaule
04 January 2025 nani anasikiza hii ngoma kali sana Bring Back Our Linex we miss u
kaka tuendelee kukesha mimi nipo hapa tarehe 4 sasa
Tukoapa
17th January am still listening from Nigeria
Aliimba sana huyu kijanaa😢
Nan yuko hapa 2023 kusikiliza huu ufundi wa Linex! Gusa Like twende pamoja
Le02/04/2023. Wala sichoki ❤
27/7
Meme apa now 2023/7
Hii ni hatar
3/12/2023🔥
2024
Huu wimbo ni mzuri saana ni kati ya nyimbo bora zinazoishi milele ... sauti ya Dhahabu ... hebu gonga like , subscribe an share!!!
2023 linex is a good musician.very touching music
Basi huyu video queen mimi nilimpenda kweli
Mwaka 2013 nikachaguliwa kwenda kusoma degree ifm pale bot
Week ya kwanza tunajisajili nikamuona huyu video queen nae akisoma ifm nakasema hatimae
Nikaomba number akanipa tukachat chat kabla sijamtongoza akaolewa sijui
Kiukweli nilimpenda mno toka kwenye video hadi kuonana live ifm ...yuko hivyoo full tako
Kama unamkubali linex gonga like kwa sana twende pamoja
Nimerudi 🥺🥺 kuusikiliza huu wimbo ... majonzi ni hitimisho la upendo ..
Makali waoooooo
Nimetoka kusikiliza interview ya huyu mwamba dah! Huu ni mziki utakao dumu daima.
Sijawai kutoka hapa adi sasa 2019 nipo tu naipenda kufa nyimbo hii
Love you
mambo bibie
Nicheki
Uko wapi
Mimi sasa2023 Bado tu
Hizi ndo song zinazokaa miaka yote 2020,Huwa siichoki kabisaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😭
Naipenda sana
Jamaa anajua bhana sanaa
Niko leo Augost 2024 basi like wote twende sambamba na linex
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉sijawahi Kuacha kusikiliza nampenda Sana mwamba na Best Nasso
Hii nyimbo niskiza hua nalia tu 😭😭😭😭😭nakumbuka yalio pita
Singaruza umutima wanje inyuma. Wanteye intuntu wanteye amarira. Kweri ubukene ni ibanga. Wewe ni mama wa bana banje garuza umutima wawe inyuma.
Nikisia hii nyimbo namkumbuka mrembo wangu aliye npendaga na alikuw anamkubal Sana linex jaman Christina mis u
Nipo Mimi 2024 mwez wa ,7
Aiseee mpaka kesho naupenda huu wimbo jmn
Kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma hata magoti ningepiga ilinipate wako msamaha
Nawaomba kma Kuna was kuunga mkono ngonga like hapo mm nimeshaweka like
I grew up crushing on this guy😂😂😂😂hadi sahii bado namcrushia tu😂😂😂nice song❤❤❤
Mavideo queen wa kitambo walikuwa natural na wazuri balaa 😍.. wimbo mzuri sana
Who's is still watching this 2020?. Rudisha moyo wako nyuma
2021
2021 tuko hapa.... hakuna nyimbo linex aliimba kwa hisia kama hii..
😢Rudisha moyo wako nyuma ,daah miaka inazidii kwenda hakika, nakumbuka siku za nyuma zenye furaha😢
Mungu Bariki hii Nyimbo ifike Mbali kwa Jina la yesu
Linex wa nyimbo hizi sijui kapotelea wapiu
Msafiri Chawe yaan 2020 najiuliza wapi linex mjeda
Huyu ninomaa ila ndio hivyo tz kurogana kwenye starehe🤲
Huu wimbo namkumbuka @beatrice kikula ndani ya Pangani FM enzi zetuu
Nani yupo hapa Leo unyama mwingi 7/9/2023 kama ningeweza kuziludisha siku nyuma
Wimbo mzuri sana unavuta hisia kali sana, unaburudisha, unafundisha na unafikirisha mno. Hongera Kijana una kipaji cha kipekee chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nani yupo hapa leo?
Hatajawi ondoka
Linex ndagukunda cyane love you so much for Rwanda turagukunda
Niko paleee 2 siku ambayo Timu yangu 💚💛 Yanga imetoka bila na Club Africa ya Tunisia Shirikisho
Jan 2021 still watching this, I remember CDTI TENGERU life around 2011-2014
Ooo
One of the underrated musician in Tanzania..
Nkali Edward 100% true say
Huyu jamaa namwelewa sana. Yaani ni safiii
100% correct. Hata sijui why?
Ndiyo maisha , wimbo kama huu hauna hata tuzo
2022 Still bumping this song, one of the best songs from Linex... Jamaa anajua sana
Kabisa
Df
@@neemaneema9969 p
Pppp
❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ndo ngoma yangu pendwa toka kwa Linex
Dah nakupendaa we Kaka Katk usanii wako
Kama wewe MUHA basi like.
2022 and still fire
I am listening to this song for the first time. Imagine January 20th 2025. Weeeeeeeeee!!!!
Nimekuja baada ya kuona interview ya linex leo 22/12/2024
Pamoja
2024 Love For This Song Mpaka Leo Kama Mpya
Unaushika moyo wangu saana linex
Wimbo wa bien watching From The Democratic Republic of Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️
Merci nzabin from RDC namkubari huyu brather2019
Hii nyimbo cjawahi kuichoka daima
Who still watching this song2019
Lovenes Betwelve Lovenes
Here I'm. Southern zone
September 26,2023❤
Whaw asante sana kwa kuimba hii nyimbo ni nzuri saaaaaana ime nishahuri sana kweli
Where at you linex 2020
Naupenda xana wimbo huu mm
Napenda Sana😭siku zinaenda haiwezekani lolote 20023/6/5
2020 watching this song
It has that feeling
It has that feelings
Mama watoto wangu rudisha moyo wako nyuma
Ujumbe Mzuri
2023 Mei 16
Rinex upo wp jmn.
Njoo umuimbie YESU.ww n muimbj mkubwa sana.sijui Kama unatambua hilo.napenda wimbo wa chibalonza ulofanya cover.mungu akuguse uifanye kazi yake🙌🏼
Good voice offcourse you deserve to be the voice of africa🪜 all the way from kasulu tanzania
Linex nakukubali mzee, kaza mwamba. Saluti
im from Sénégal. I like the single linex feat ommy dimpoz
Nice
Timothy from Tanzania , congratulations Mr line to your good song
2024 still my greatest top list
I Isaac from Kenya I love the song by linex moyo WA subira
Wimbo unanikumbusha mbal sana jaman😢😢😢 linex
Huu wimbo ulifanya nikatamani kuishi kigoma, asante Mungu sasa naishi Kasulu kigoma
Naceka sana ujuue 2023 iyi sasa sijui na Mimi nihamiye kigoma😂
Nyimbo inanikumbusha mbali😢
❤❤❤ Niko zangu oman nakula Bata kama lote❤❤❤
U can feel the emotions kwa huu wimbo 👍
😢😢😢 NINGEWEZA KURUDISHA SIKU NYUMA HATA KUGALAGALA NINGEGALAGALA UNISAMEHE 😭😭😭😭
ubhukene nibhanga!🙆♂️🙆♂️
Xalute kwako mzee baba ww ni mwanamziki
sichoki kuungalia na kuangalia huu wimbo
25-12-2020 moyo wa subila kamaa upo pamoja na mm Christmas ya leo like Kama zote
Kweli linex wasema kweli nyimbo zako nazipenda sana hakuna wimbo ninaouchukia zote ni fundisho kwangu
nyimbo nzito sana hiii very touching song❤
Demand ya mziki wangu vitamin music
Mi Niko hapa leo
linex 🔥 we nimiongon mwawasanii wakalne yetu vijana
2019 kipaji kinaishi
Me hapa 2020 I'm first
2021 Sunday Mjeda
Very fantastic song, I salute linex🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎
Mimi mupa ivi 2020 wa congo tuko wote
Great!! 2023
Linex when iam bored listen to your songs well done son x
it came when i was dreaming and now here iam 2024
""Tupoooooo"" 2024
Anaweza
THIS SONG WILL ALWAYS LIVE FOREVER
Da huu wimbo ndio nautumiaga kuombea msamaha kwa mpenzi wangu pindi nikimkosea.
Hadi leo npo naskilza hii heshima kwako linex
Dec 4 2021 nakumbukia sku hzo nikiwa na miaka 19 daaah kwel mziki mzur unadumu
Namimi naipenda sana
Mpaka uachwe ndoujue samani ya hii song😂😂😂😂😂
Ninakumbuka mbali sana huu Wimbo jmn
Wimbo huu NAKUPENDA sana nakula burudani nikiwa omani
Linex...2022...Niko Kenya na wewe...u r talented...ur songs Zina message...
nakupenda san uko juu
jitaidi utoe ngoma mpya unapotea kwenye music baba tunakusaaau
iko poa
Among my favourite 😍 ❤️ 💕
Nyimbo yangu yaleo nilivyo nahuzuni yakuachwa2023 June 5
Mjeda I'm your die harder fan❤
Still watching
Jamaa anajua sana tena sana. Huu ndio muziki sasa. sio nyege nyegezi rubbish😢
2021 july 30 friday 23:59 still watching n listerning good music from Mjeda...
To date watching linex songs. One of the best artist underrated. Very gifted.
ujumbe mzuri sana huu una fundsha