Linex - Wema Kwa Ubaya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 283

  • @sindaniphilip
    @sindaniphilip 3 года назад +22

    One of the best songs of the 21st Century. Replaying it till infinite.

  • @mussasebatiano4787
    @mussasebatiano4787 8 месяцев назад +8

    Nipo hapa mkapa sasa 2024 mkoap munae ona wimbo huu mpaka sass like hearing the best news

  • @ewardkiswaga5320
    @ewardkiswaga5320 5 лет назад +19

    Wanao mkubali linex kama Mimi like kama zotee

  • @ruthotaba747
    @ruthotaba747 8 лет назад +53

    Kwetu kenya twajivunia kusikiza sauti yako..nzuri sana..Mi love it.

  • @floramurio8452
    @floramurio8452 4 года назад +30

    Nan yupo apa2020...naomba like zenu👍

  • @wanyumbanimteme4716
    @wanyumbanimteme4716 8 лет назад +46

    Hii ngoma ni kali sijawah ona na amewashinda wasanii wote wanaoimba mapenz mda wote na haichuji ever hata diamond kashindwa kutoa nyimbo fantastic kama hii

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 5 лет назад +1

      Wanyumbani mteme kwani bila kumtaji Diamond auwezi ku comment

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 5 лет назад

      @@ramaccr7525 ndo namshangaa

    • @ShangaziSalon
      @ShangaziSalon 7 часов назад

      Tyuu bs mmepinda

  • @danielkirimi6198
    @danielkirimi6198 6 лет назад +9

    I say, am in love with the song... Linex ulipotelea wapi tunakumiss sana

  • @hellennitaz254
    @hellennitaz254 5 лет назад +21

    this is my favorite song of all time last year i was going through hell and this song really strengthen me when i was down and ops forget to you so so talented linex mob love from kenya 2019 we still here

  • @senenembeya.9753
    @senenembeya.9753 2 года назад +2

    I Imana ilabhabhona. Abhafite umutima mubhi. Tupo pamoja nakukuli sana mwenewachu. Imana ikufashe, ikushikekwelikweli.

  • @davidbandeke6709
    @davidbandeke6709 5 лет назад +15

    This was a song I discovered this artist and since then he’s among my favourite artists!big up Linex , I will cross 2020 with your songs brother!

  • @fredkutiri5393
    @fredkutiri5393 10 лет назад +14

    kaka unatamba,,mambo yako sawa,,mafunzo ninaoyo tele sana toka kwako,, najifunza na mengi kutokana na miziki zako,,sauti sawa,,big up linex

  • @joelycharz6490
    @joelycharz6490 5 лет назад +26

    2020 Gonga Like

  • @happysonga3819
    @happysonga3819 3 года назад +1

    Ningelikuwa tajiri kaka Yangu Ningeliwekeza hela kwako hira wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥🔥🔥

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 лет назад +18

    gonga like kama tupo wote kwa hii ngoma 2019

  • @kapeaskapea8146
    @kapeaskapea8146 8 месяцев назад +2

    Best song ever..big up Linex

  • @nicholausndungulu957
    @nicholausndungulu957 6 лет назад +3

    Linex umetisha kaka kwa vionjo vikali kama ivii piga kazi ndugu ipo cku utafika pale unapoitajii

  • @velokigunga2876
    @velokigunga2876 3 года назад +1

    Kweli kabisa kaka usilipe baya kwa baya Mungu ata kulipia wimbo wakounafariji sana kila nikisikiliza lazima chozi linitoke Mungu aendelee kukuza kipaji chako

  • @laurahabbasy22
    @laurahabbasy22 9 лет назад +14

    LINEX uko juu tu sana nakuvulia kofia ......more and more to come we still waiting for your big things Linex

  • @goodluckluselo1130
    @goodluckluselo1130 2 месяца назад

    my favorite song of all time from sunday mjeda ❤‍🔥❤‍🔥, we are rushing here in 2024

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 7 лет назад +6

    V.O.A, sunday mjeda, yo'more than geneous, Sema tuu, TANZANIA, tuna ishi kwa kukalili msanii, but i hope 1 day yes,

  • @faithalivizaluyayi5470
    @faithalivizaluyayi5470 7 лет назад +1

    Wimbo nzuri sana. Mungu anatuona usilipe ubaya kwa ubaya. Tenda wema kwa ubaya. Mungu hamwachi mtu mwenye dhamiri ya kweli kwake.

  • @patricksafari5705
    @patricksafari5705 9 лет назад +12

    Thank you for putting your pen on the real issues in our society.Ngoma kubwa kaka mkubwa.

  • @augustinemakelele3187
    @augustinemakelele3187 5 лет назад +9

    Naiskiliza 2019 Mungu anakuona

  • @georgekarundabenard7283
    @georgekarundabenard7283 4 года назад +1

    Hii ndio nyimbo yangu ya miaka, nakubal sana Sande mjeda

  • @michealm7336
    @michealm7336 10 лет назад +4

    Nimekuwa shabik wako kwa mud a mrefu!,nakukubali sana keep it up!

  • @MESHMULLAH
    @MESHMULLAH 2 года назад +7

    THIS SONG WILL ALWAYS LIVE FOREVER

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 3 года назад +2

    This song 🎵powerful thanks linex for our generation to give us this song...fanya wema kwa binadamu rest in peace all people who lost their love one:)

  • @pigoddahigod5719
    @pigoddahigod5719 8 лет назад +1

    Safi sana linex, God is everything. Achana nao wanaoyataka Mafanikio kwa Psquare

  • @adinanilivamba2987
    @adinanilivamba2987 9 лет назад

    Jamaa yupo vizuri sana, anajitahidi sana Kibongo bongo.. Big up mkubwa Linex.. Aluta Kontinua...

  • @DailyNewsDigital
    @DailyNewsDigital 4 года назад +2

    Nahitaji likes 100 tu za wanaokubali kuwa jamaa ana ngoma kali lakini hana nyota

  • @irenemathew1568
    @irenemathew1568 9 лет назад +5

    Keep it up broo coz sichok kusikiliza kz zako

  • @davidosheezy217
    @davidosheezy217 10 лет назад +3

    tisha sana bro,.same tymz kweli we shoul warch pipo then ndo 2 imbe so kuyarunnisha mapenz 2,,u good broo big up 4 u

  • @annamgao8371
    @annamgao8371 5 лет назад +7

    Leo Tr1-08-2019
    Bado naiskiliza hi ngoma aswa pale nipitiapo magumu inanifariji sana

  • @mgori_media
    @mgori_media 9 лет назад +8

    LINEX you are doing great musik bro...Love ua songs..Ur an intelligent song writer and talented young man!!!..KEEP UP MAN!

  • @amanam2735
    @amanam2735 7 лет назад +2

    one of the few best vocals in Tanzania .hongera kaka

  • @pronzoawarenesstv_254
    @pronzoawarenesstv_254 9 лет назад +1

    namkubali mha wangu linex a.k.a mr google...sunday mjeda

  • @eugeniaakochi2187
    @eugeniaakochi2187 8 лет назад +4

    This song surely gives me hope in life everyday. At any free time I have I normally listen to it. Love it so much. Thank you Linex

  • @justinwilliam4697
    @justinwilliam4697 3 года назад

    Heshima kwako Linex song kama hii yenye ujumbe mzuri ktk jamii.

  • @oscarmanase1768
    @oscarmanase1768 4 года назад

    Linex anajua hadi anakera, kigoma tumepotea kwenye soka tumeibukia kwenye music

  • @geddyt5652
    @geddyt5652 10 лет назад +3

    Wow...!Nice music,good vocals.Just awesome ,sizichoki nyimbo zako Bro..

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 Год назад

    Natazama na kusikiliza hii ngoma nzuri mwaka 2023 Barikiwa sana Linex🙏

  • @raillove1160
    @raillove1160 8 лет назад +3

    Thank yu so mach for that song koz we learn something .. Big up bro

  • @jacksonmusa5743
    @jacksonmusa5743 11 месяцев назад +1

    I really love this song strong message

  • @remym7159
    @remym7159 4 года назад

    Aisee huu wimbo ni mafundisho tosha wa maisha, na faraja kwangu

  • @evancrjoseph8319
    @evancrjoseph8319 4 года назад +1

    Jaman wimbo huu uchoki kuusikiliza hata kwa kutwa Mara 20 Kama umeangalia kwa mwaka huu 2020 ngonga like Kama zote mungu ni mwema kwenye maisha yetu

  • @pandisbuja4810
    @pandisbuja4810 3 года назад +1

    Irashoboy Imana mung anaweza yote
    😍🍎💪

  • @hamzamohamed8297
    @hamzamohamed8297 4 года назад +2

    Who's listening to this 2020?. God bless us!

  • @bennymwinulile6904
    @bennymwinulile6904 3 года назад +1

    Nakwaminia mjeda 2021 b boy

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 лет назад +1

    kwa kweli mungu ni waajabu sana amenitendea mengi jmn

  • @masajamakemba3710
    @masajamakemba3710 3 года назад +5

    2021 like zenu bonge la message

  • @mwaurakigome5593
    @mwaurakigome5593 9 лет назад +15

    its true God is great

  • @bakarikondo1342
    @bakarikondo1342 5 лет назад +6

    Nakubari sana linex 2019 uko wap sasa

  • @georgeabrown2915
    @georgeabrown2915 10 лет назад +2

    True that. Very nice song, I always enjoy listening to your songs. Keep it up

  • @djkemgal8902
    @djkemgal8902 8 лет назад +3

    kazi safi. Huyu ni star wa kimataifa

  • @karimmarcelo7164
    @karimmarcelo7164 3 года назад +4

    Linex another level ✊

  • @vascoalphaxard6262
    @vascoalphaxard6262 3 года назад

    Ahsante kwa kazi nzuri linex wimbo mzuri sana huo

  • @mahangilamboje8417
    @mahangilamboje8417 6 лет назад

    hii nyimbo huwa napenda sana kuisikiliza kwa sababu inanifariji sana na kunitia nguvu kuwa ipo siku na mm ntatoboa kimaisha japo kuwa napitia magumu

  • @tamimkifungu887
    @tamimkifungu887 8 лет назад

    linex nimsanii mwenye mawazo mbadala ktk nyimbo zake namkubali sana kijana huyu

  • @lamamovie6210
    @lamamovie6210 8 лет назад +1

    Really it's a nice favorite song in whole Africa which is hold a good message for communities ! it's time to stand up Africa

  • @georgemalahyageorgemalahya5347
    @georgemalahyageorgemalahya5347 2 года назад

    Waoimba nyimbo za ujumbe hawapewi nafas kwenye media lakn mtu akiimba mapenz ndyo anapewa nafas, mungu ni mwema .

  • @uniqueboy8150
    @uniqueboy8150 4 года назад

    Always huyu jamaa hakuna wa kumfikia kwa ubunifu wa mashairi

  • @michaelmsolla8419
    @michaelmsolla8419 7 лет назад +1

    nzuri
    ushauri: mwimbie MUNGU na umwabudu yeye peke ake kwa kipaji alichokupa

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 месяца назад

    Jamani bado tunaendelea kula Ngoma tamu mpaka ss 2075 Mungu atakuinua
    Mungu anakuona🤣🤣🤣
    Sijui nitafika miaka hiyooo😭😭😭😭😭

  • @tanzaniakiswahiliinternati7710
    @tanzaniakiswahiliinternati7710 8 лет назад +1

    No one is perfect so do treat anybody like u want.......remember we are pass in this world

  • @restymlale6003
    @restymlale6003 5 лет назад +1

    LINEX he needs a good Manager.ure the best bruv.

  • @jacksonshirima9293
    @jacksonshirima9293 9 лет назад

    Together kaka you talk about real human hazards, isiwe Kila siku bongo Ni mapenzi tuu, unagusa moyo wa wengi,
    Wema kwa ubaya,wengi watashindwa

  • @suleimanismail8414
    @suleimanismail8414 9 лет назад +1

    Nakukubali sana bro huwa haubahatishi bid up budaaaaa!!!!!!

  • @jessiekerry928
    @jessiekerry928 7 лет назад +5

    God bless your work

  • @barakadickson3623
    @barakadickson3623 5 лет назад

    Kipaji cha kipekee sana linex I salute you bro

  • @WAMOTHERCLASSIC
    @WAMOTHERCLASSIC 7 лет назад +5

    Love this song its so genuine

  • @manchidy
    @manchidy 8 лет назад

    Utunzi wa mheshimiwa Zitto Kabwe...good song

  • @ommysaid4933
    @ommysaid4933 6 лет назад +25

    Who else is here 2018

  • @happyorota4671
    @happyorota4671 9 лет назад +5

    real love ya brooo big up xanaaa

  • @margaretwangari4179
    @margaretwangari4179 8 лет назад +2

    Big up big tune touched my heart

  • @tabithalual5000
    @tabithalual5000 7 лет назад +3

    This song make me cry 😢

  • @zephaniamusba1967
    @zephaniamusba1967 7 лет назад

    namuelewa sana jamaa always bringing hot sings with great messages

  • @silaselias4205
    @silaselias4205 8 лет назад +1

    nakukubali sana bro,bonge la ujumbe!

  • @chachagichogo2115
    @chachagichogo2115 6 лет назад +1

    I really like yua songs brother, may God bless you

  • @mariabenedict328
    @mariabenedict328 3 года назад +1

    Wimbo wangu wa maisha👌😍😍😍

  • @reagankindiya9727
    @reagankindiya9727 3 года назад

    Voa mjeds nice track big up

  • @agavaification
    @agavaification 5 лет назад +7

    2019 and forever

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 года назад

      Agava Isabwa Kalii arafu c ugie channel yangu u subscriber

  • @b_walilyztv7201
    @b_walilyztv7201 6 лет назад

    nikopoa sana ubalikiwe sana UMUZIKI MWIZA MWENEWACHU YE LINEX KORAKORA

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 года назад +1

    Wallah this song mek me cry always

  • @abdulnyinyigwa3703
    @abdulnyinyigwa3703 7 месяцев назад +2

    Who is still watching 2024 give a like❤

  • @godmunsdavid392
    @godmunsdavid392 4 года назад +4

    2020 nan yupo nayo

  • @lunilidaud8513
    @lunilidaud8513 9 лет назад +1

    jamaa linex yuko safi kwa nyimbo zake

  • @Manyesha6290
    @Manyesha6290 8 месяцев назад +3

    2024 keeping watching

  • @zabronibukengwa4561
    @zabronibukengwa4561 9 лет назад +2

    Kaka ikopowaa Sana inamafundisho k Sana hogera sana

  • @lazarkbrown9568
    @lazarkbrown9568 6 лет назад

    Linex Mungu akubariki wimbo wako una ujumbe

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 4 года назад

    Ogaaah! Holla at you Broo, you did it for sure

  • @agavaification
    @agavaification 9 лет назад +1

    Linex my all favorite. Aje tour Kenya

  • @dorcasgitari8278
    @dorcasgitari8278 6 лет назад +2

    #Revisting
    Who is here in 2018 June just to be encouraged by this song.

    • @kamaakamaa1795
      @kamaakamaa1795 4 года назад

      Mwalimu Amos nice one end long in two my channel end subscriber

  • @ruthbergsdottir7841
    @ruthbergsdottir7841 8 лет назад +4

    Love this song!

  • @MarthaKandido
    @MarthaKandido Год назад

    Maisha halisi kabisa oya like zakutosha Kwa linex 2023 maneno yabusala

  • @mwasitingata2458
    @mwasitingata2458 2 года назад +1

    U have a nice voice..I like it

  • @barbramwendwa3247
    @barbramwendwa3247 5 лет назад +1

    Nani ameokoka Afta kuskia huu wimbo. Nipe like

  • @jombilozoo
    @jombilozoo Год назад

    Linex ulitunga Kwa uwezo wa Mungu

  • @annmbugua7877
    @annmbugua7877 8 лет назад +4

    I salute you Linex♥♥♥

  • @abdul-salaammjeda8766
    @abdul-salaammjeda8766 8 лет назад

    nakukubali xnaaa ...kaz zako hazichuji bro

  • @ramadhaniali1102
    @ramadhaniali1102 10 месяцев назад

    Voice of Africa nakukubali kaka