Darassa Ft. Winnie - Nishike Mkono (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 24 ноя 2015
- Song: Nishike Mkono | Artist: Darassa Ft. Winnie
Darassa Other Video Songs:
Hasara Roho: bit.ly/Hasara_Roho
Muziki: goo.gl/IEJSG9
Too Much: goo.gl/zyynXL
Kama Utanipenda: goo.gl/MOhOYx
Heya Haye: goo.gl/kywYLi
Sikati Tamaa: goo.gl/478PZ9
Tunaishi: goo.gl/xgfsPB
Sio Mbaya: goo.gl/BK82mg
SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/MziikiTube
Like us on Facebook: / mziiki
Follow us on Twitter: / mziiki
Circle us on G+: plus.google.com/+Mziikiapp
Instagram: / mziiki
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
Visit MziikiTube channel for unlimited entertainment: / mziikitube Видеоклипы
Watch #Darassa latest music video "Hasara Raho" ► bit.ly/2pVSRFo
Darassa @Umepotea kaka wapi nyimbo zingine??
Kwel mi nakuunga mguu
😋😋😋😍😍😍
Nilikujua ju ya my late bro hii ngoma kila siku hunipa nguvu ya kila siku kuna kitu ina Miss nigependa kukua kwa show yako ata kama nimoja uki kuja kenya just ku keep my bro dream
Huu wimbo back in time uli ni inspire kukaza kutoka unknown to known. Big up bro
Niko hapa hadi leo 2024 na still bado hii massage ya huu wimbo ni very strong
Damn, ndo mwanzo naiskiza bonge hili la hiti 2024! Moto sana Darassa 🔥 🔥 🔥
'Babaake na athumani alikufa mvuvi wa pweza, wana utajiri wa imani maskini wa kifedha'
#Bado 2024 tuko nayo gonga like kama tupo pamoja tz🇹🇿🇹🇿💔💔💔
Anyone in 2024, I miss those days
Nikiangalia hii ngoma nakumbuka mbali wangapi 2023😢😢😢 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwili kama una vidonda,ukinigusa tu naumia,😢 kichwani mizigo wa dhambi gunia kw magunia, dunia sinia pakua unachoweza..love from kenya 🇰🇪
Nimekuja hapa baada parachichi FM ya dullah the king kunikumbusha way back🔥🔥🙌
Life likuchape halafu unasikiliza hii ngoma,machozi kutoka ni uhakika😢
Ngoma zako Zina zidi kutupa speed ya ku hustle . Aminia Darasa .🔥no bady see me cry
Kama kuna nyimbo zako hua napenda kuziskiliza hiii hua naipenda snaaaa
2023 and forever listening. Big up darasa
2022 Darassa kwenye hii ngoma uliwaza nini bro umetisha 💪💪👍
Napataga mawazo chanya kutoka kwa darasa kwer kioo cha jamii
Mwili umechoka, naforce tu kuendelea 😩
Dunia sinia, pakua unachoweza 😩
Hello people !! Here again 2021 we show love to our dude Darasa respect & much love❤
bado naiangalia sana hii video kuanzia mistar,beat,chorus..na video vyote vipo lite.,,.usipotoka maisha yanakutokea....CMG forever..
Sometimes tunaishi nje ya Malengo tuliyojiwekea. Ninatamani kuwa Mtoto kibaya haiwezi kuwa, Usitamani viatu vyangu ukikivaa hutembei ✊
Hii verse kali sana
@@TheAlesry mnoooo 💞✊
unaweza kukuta unayemuamini ndiye anayekuwekea sumu...hawana alama binadamu anayekuja kukuhukumu
2024! ! Anyone?
Here we go
Unajikuta uko peke yako Giza kubwa kwenye Mtaa, huoni ndugu wala jamaa uliokua nao Jana Bar 😞
Hi ngoma naielewa sanaaaa
Ngoma sichoki kuiskiliza👏👏👏
Dah hii ngoma sio poa yan unawez useme imetoka jana
Milele unahit na utahit.
Hii nyimbo nikiisikiliza huwa siichoki na inanifanya nataka kulia.............. Drasa unajua
Darasa na Winnie walitulia sana kutengeneza hili goma 🔥💥🏆🤟🏽
Baada ya Miaka 5 Mbele, Wini anampa Featuring Darassa kwenye ngoma inayoitwa 'I DO'... What a Legend..! Marvelous..! 🔥🔥
Legends never die🔥🔥🔥
Hii nyimbo itaishi milele
DARASA unaweza komaa
2020? Anyone!
Here we are
And what about 2022,April 7th
Am here ✌✌💪💪💪
Here i am 2022
2022 anyone
Bro!! Rudi huku bana🙏 huu ndio mziki wako.hii nyimbo ilikua inanitoa machoz kila nilipokua naisikiliza. Hili song litaishi milele n ngoma pekee nayoikubari katika songs zako zote .
Nipo kwenye naangalia kati ya goma zangu pendwa za hip-hop
ikiwa siku mbaya ndo masaa hayasogei
Ngoma kaliii ,nasikilizia Leo siku nzma
Nilijua utatusua siku moja.big love class
Huu mwimbo nimekutana nao Twitter imebidi nije niungalie tena 😃
Ngoma Kali noma Sana ila jamaa hujawahi kuniangusha kwenye ma song
Wimbo wangu pendwa wakati wote🎉🎉
Wimbo mzuri sana jamani. Sio kama zile za kina diamond hazieleweki ila Nyimbo hii ni real life ambayo wengi tupo nayo 😍💞🤩
Dah darasa huku ndio kwako nice song
this song right here got me out of depression
2023 kama upo nayo unaisikiliza gonga like hapa
2023 still here!!!
Darassa this was 🔥🔥🔥
Maji yakifika shingoni ndo tunakumbukaga dua😢
Huyu winnie nampenda sana , sai na ADO ndio ananiumiza roho, yani darassa alimfanya nikamjua...sai majirani wananiambia wanakumbuka nikimsifia akipiga hii ngoma.. i wish imfikie
Ado na Sai ndiyo kina nani hao Mkuu?
Where is this Dude... We miss his Music a lot..
Umetoka mbali sna darasa mpka kwenye "muziki" kwl kila kinawezekana ni jambo la kumuomba mungu
This song remind much about 2012...used to be anthem back then.
2022 still the same feeling Dope hit..
Winnie yuko wapi?
Nani anatazama hii video mpka leo ❤️❤️❤️
Daah huu wimbo sijawahi acha kuupenda
What a legend.......viva Darasa
Nan mwingne anaangalia hii video mpka leo
Muziki imenifanya nianze kuzitafuta ngoma zote za darassa
paul swai Mimi mna naipnda sna
Fadhila Ramadhan Hahaha acha nipige chabo
Fatma Jambia naomba nitafute wat sap. +968 9719 3263
nishike mkono usiniache habibty
Kwel Mi nakunga mguu
Nakumbuka mbaliiiiiiiiiiiiiii
darass tengeza nyimbi inhine with winnie
hizi nyimbo nakumbuka nipo makambako mwaka 2011 sielewi na mwanangu beka dah
Dah...nmekumbuka nikiwa katavi mpanda Sina kazi.... no body see me cry
Duh hii nyimbo ni so powerful Wallah.
kaza babu game umeiweza hii
2022 still the taste is dope👌
Bonge Ngoma siku zote
Thanks for this peace of art...Inanipa nguvu ya kutokukata tamaa..Asante
Umeipiga mwaka gani bro darasa mkali....🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2013
2012 hii Ngoma ndo ilitoka
Hazina iliyojificha sasa imefichuka!
Good music stay forever.
02.06.2020 who watch it
Like 👊🏾
Nomaaaa
Wanaomdiss darassa hawamjui vizur ata wakiandka jina hawawek double s...king of all times
Hii ngoma Nishike Mkono na Sikati Tamaa ndio ngoma zangu bora kwa Darasa
Uko kama mimi mzee Real Recognise Real
wimbo huu utainuka hivi karibuni.....'muziki' itaziinua zote hizi my brother
khaswaaaaaaa
its a blessing
here still 29/8/2021 darassa the best
Ngoma kali
Nyimbo pendwa all time kwangu
we jamaa cjaona kama ww bongo
mungu nishike mkono nobody is on myside congrats Darasa nyimbo tamu hiyo
december 2020 bado naiskiliza gonga like kama unaikubali kam mim.👍
Umeniwahi kidogo
Watu wasingida gonga like
nakukubal bro
Nishike mkono.🎉🎉
still my favourite till today.
Upo gud san class ur real artist! D knob
leo march 2021 nmeichek tena hii ngoma kari san respect sana kaka darasa
Nakupenda sana darasa
Bonge moja ya chros na wimbo matata sana, I am your forever fan
Namkubal sana darasa
Shike mkono eeh mora wangu 🙏🙏 darasa big up sana mchizi wangu pamoja 2022
nice song
Ni kama umetoka jana tu
Fiti bro
Damn! Dude killed it!
2022 wana utajiri wa imani maskini wa kifedha💪🏾
Mimi hapa
Hii si wimbo tu bali dua shukran darasa
Sikati tamaa
2024 na bado ngoma ni firee
Way back ❤❤❤❤ time is flying now it's 2024 🎉
Mbona hii jimbo ni balaa haituach salam
Darasa bro umeimba sanaaa ila hii ngoma niachee Leo ni 25,/09/2022
2024 July ngoma bado inalipa
My best song forever,this song give me strength ,hope