Inanikumbisha usiku mmoja nimelala kwenye msiba wa mrembo ,mpenzi wangu fatuma mhajiri. Wimbo huu ulikuwa unapigwa redioni " Siwezi sema sana nakumbuka upo uliko " tuko pamoja"😌
uzuri wa kujiandikia mistari yako,,,, hatauamshwe usingizini unaimba tu.... Fa alipopanda stage aliimba kama ametunga juzi na niyakitambo wallahi..... muheshimiwa ako so humble and he is very genius 🔥🔥.. love from +254
Dah nakumbuka 2012 tumetoka kumaliza Form 4 Nampigia sim mchumba wangu Ester tunaanza kuimba mwanzo mwisho mi mwana Fa ye lina😁 Popote ulipo Ester nakutakia maisha marefu.. Thanks Mwana Fa &Lina for the memories ❣️❣️❣️
this song was made for generation to come no wondr this insane generation can not visualize it, keep the music alive bro. who is here with me 01st march 2020 the coolest sunday.
Si ushasoma nakupenda wacha masihara Kuna haja gani nikushikie fimbo ili nikusikilize kama gorrila Mie ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela Una matatizo najua na mie nina yangu huku With together from this moment with them through Nikikukosea nisute nipige vibao nizodoe ninunie kwa siku kadhaa ila ninachoomba usinikimbie
Mwana Fa did alot of justice to this jam. It is one of the oldest swahili song he did some mastering and until tomorrow it'll be that song. Classic and timeless
I can't listen to this song to the end without getting chocked up. Depth of accepting that life is temporary and you kind of need to stick with the ones you love with hope you'll have them in the next life is such a sad reality. My dad used to love this song alot too, used to sing to my mom all the time. He Died 7 years ago.
Wote waliyo angalia hii ngoma 2024 gonga like ngoma Tamu sana
we still here hahah
@@jumamanzi4531vipi wewe nijibu kaka🎉🎉2024
Dah miaka inakimbia sana aisee leo hii ni 2025 na ni mwaka ambao naoa 🙏
Baada ya kusikia hili gari lilotumika huku ndani ni la chid benz nimerudi kuangalia❤❤❤😢
Me pia
Hata mimi kwa kweli
😂😂
Baada ya kupanda jukwani akiwa waziri na linaa nimerudi apaa 🔥🔥🔥
Me too
and me date 19 apr2023
Mimi pia
Pesa taamu kweli ❤
Same here🤓
kila mwaka nitakuwa nakuja kucomment hapa, ukiona kmy ujue mwendo nimeshaumaliza
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
Mungu akupe umri mrefu
Uishi Miaka mingi kwa kadri Mungu alivyo kupangia Inshallah
😅😅😅😅😅 kila mwaka na mm nitakuja kukuchungulia
Unazingua ujue😂
Nimependa mueshimiwa alipo panda kwa stej na Linah na kutunzwa hela na kumpa Linah zote kweli waziri ..❤️🇹🇿
Just lovely
Hongera sna @Mwana Afa Naibu waziri WA Habari,utamaduni,Sanaa n Michezo December 2024 like zng zitembee🇰🇪
Wapi makofi ya Mheshimiwa Mwana FA 💕🇰🇪
Ahsante mjomba !
Hamisi Mwinyijuma atabaki kua mshahiri bora katika medani ya hip-hop yaaani anaghani mpaka Mwili unasisimka maashaallah
@kaporo salum kweli kbisaa
Ndo maana tunamwita mwana falsafa
Gar y chid Benz, ilikuwa ❤
Inanikumbisha usiku mmoja nimelala kwenye msiba wa mrembo ,mpenzi wangu fatuma mhajiri.
Wimbo huu ulikuwa unapigwa redioni "
Siwezi sema sana nakumbuka upo uliko " tuko pamoja"😌
Pole sana
pole sana
Pole sana
Ooooh inauma sana , pole sana kaka
😂😂😂😂
Ambao bado wanaona ngoma hii bado ina uhai na kali gonga like
1/1/2024 kumbe Gari ilikua ya Chidii
Huu ndio wimbo bora wa mapenzi hip-hop wa muda wote💪🔥
uandishi bora uliowahi tokea,,,,,,,nakubaliana na wewe
Baada ya Chid kusema shati na gari ni vyakwake imenije hapa!! That’s life🙏
Daah ngoma Kali paka basi wangapi wanacheki paka Leo December 1 , 2019
Mwana duh unatisha
Mwana fa ww unajua sana 2019 mpo
Wahuni kama sisi ndo machimbo yetu aya kila siku tupo apa mtatuambia nini 👊👊👊👊
Wapiiii wanaosikiliza na kusomaa comment 2020
uzuri wa kujiandikia mistari yako,,,, hatauamshwe usingizini unaimba tu.... Fa alipopanda stage aliimba kama ametunga juzi na niyakitambo wallahi..... muheshimiwa ako so humble and he is very genius 🔥🔥.. love from +254
Neno lako ni taa ya mguu wangu, na nuru ya njia yangu.
Zaburi 119:105.
Toa shaka na wasiwasi moyoni,tooa shaka na wasiwasi moyoniii, kukwepukaa hilo haliwezekani nitakushika leo na kesho peponi 2021 hyo
Ni 2011 sio 2021
Hii ngoma haitakuja kuchuja
2020 lakin badoo tunakumbuka vya zaman ❤️❤️ one love weka like twende pamoja
Good lyrics.......
Wanapanga matokeo
dah jaman Hii nyimbo naangalia mpaka leo so sweet 4/10/2021
😂nilijifunza kurap kwasababu ya mwana FA Enzi hizo Hadi Leo naweza
Japokua ni Copy lakini MwanaFA hii umeipiga kinoma Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,
Keeping the good music alive,,,
Keep it Up Bro ,,, UNAKIPAJI ,,
Ame copy wap
@@agreyraban8859 It a remix..originally ni nyimbo ya taarab
Don't call it a copy man...itsa remix
@@agreyraban8859 malika swahili
Hii sio copy amefanya sampling bro
Mheshimiwa anasema"Naona kama nnamabawa.."#loveIsintheAIR❤❤❤
Like zakutosha kama yupo anayesikiliza hii ngoma 2019
Kipindi hicho wanamuziki wote weusi
nipo tena kutoka congo ,naisikiya mara tanu kwa siku
Rehema Mohamed S
@@sharonmasawe5381 😁😁😁😁
Kali sana 🙏🙏🙏🇹🇿🇰🇪🇺🇸
Usiache kuvaa nguo ndefu ivi vimini waachie vicheche mwanamke kwetu staraa wanaovipenda sio wote🔥🔥🔥
Nishasema sipend mapenz napenda mapenz nawe usinikatae utaniumiza Nina biashara nawewe love kwa mwana fa
Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa i love you❤🔥❤🔥
hapa kabla linah hajawa na ngozi ya kizungu, Like kama unaiangalia tena April 2019
nikweli aisee kabla ya kujichubua kila mtu mwenye ubongo wa mende zama hizi anataka kua mweupe na shepu kubwa😛😛😛😛
Kwani siku hizi ni mzungu?
Wote wanaoamini watarudi tena 2040 kuangalia huu wimbo like hapa
some of us will be in grave 🤣
@@marinimajidi2673shindwaaaaa 😂😂😂😂😂
Hivi mimi ndo wa kwanza 2020 eehhhee????
Still one of my favorite hit..🙌🙌🙌
Respect ✊🏼 bro...
2023 tunaoendea kuskiliza ngoma hii kali ya mheshimiwa naib waziri na lina sanga press like 🙌🔥🔥
Mikono salama ya bibi kidude (RIP)🙏
08/3/2020 like kama bdo unaielewa nyimbo
Tupo
Dah namwona Chid benz ndani ya kanzu moja matata sana, wimbo hatari sana huu
Tunaosikiliza hii ngoma may 2024 gonga like za kutosha hapaa👊
Tupo
Well, sang this dong. The best.of lina and mwana Fa
Baada ya Lina kumpandisha Mheshimiwa imebidi nije niangalie hii video upyaaa❤️😔😢
mm pia
Kweli kabisa mana kule ni kama tumeonjeshwa!
Chid Benz My Brother I see You .
"Sipendi mapenzi,napenda mapenzi nawe"....2023💣
Sikuachi leo na kesho peponi 🎉
Wangu alinambia Ivo ila kaniacha huzuniii
Jamani tunaosikiliza tena hii ngoma2022...🎶🎶🎶🎧🎧🎧🎧🎼🎼🎼
Just now 30-10-2022 21:36
Am here today, 13/11/22
hahahah 15.11.22
@@robinsonjoseph8119 umetishaaaa sana
Tupo
baada ya miaka nimerud tena leo kutazama hii nyimbo pamoja na live perfomance ya linah 2022🙏🙏
Kumbe hawa walifunga ndoa 2020 watching 😂😂😂
Kam ni best song kwa muda wote mpka Leo 2024🎉🎉🎉 gonga like hapa
Baada ya kusikia gari lililotumiwa lilikua la chid benzi nimeludi na nikamuona mwamba alikuepo ndani
Nani mwengine yupo nami hapa mwisho wa mwaka huu 2024 hii kitu ni kali sana ❤❤🎉🎉
Kama umemuona Sheta ameng'ata mdomo dondosha like hapa
Tulikokujaa kusikiliza hiii ngoma baada ya Lina kumpandisha Mh jukwaani 2023 tujuaneeee✌️✌️✌️
Dah nakumbuka 2012 tumetoka kumaliza Form 4
Nampigia sim mchumba wangu Ester tunaanza kuimba mwanzo mwisho mi mwana Fa ye lina😁
Popote ulipo Ester nakutakia maisha marefu..
Thanks Mwana Fa &Lina for the memories ❣️❣️❣️
🤣🤣🤣🤣
😂
Stori zako nmepata ex wko ester
Watu muhimu kwenye mziki wetu na walifanya vizuri❤❤❤❤❤
we sakafun me ukngon mbio zangu aziend mbar!!!! duuuuuuu ♡♡♡♡ fa nice song
Umetishaa man
fa fa
Nimerud kuangalia shati LA chidi na Gari LA chidii........
this song was made for generation to come no wondr this insane generation can not visualize it, keep the music alive bro. who is here with me 01st march 2020 the coolest sunday.
Naibu Waziri wewe ni mkali Toka kitambo... Heshima kwako
Tuliokuja kuangalia shati na gari ka chidbenz tujuaje kwa likes😂😂
Mimi
Nani mwingine kautafta huu wimbo baada ya mwana FA kua waziri ,,, afu kumbe ni wimbo mzuri mnoo
Credits kwa bi Kidude (RIP) for the chorus & hook. Kazi nzuri sana. Toa shaka na wasiwasi moyoni!
Si ushasoma nakupenda wacha masihara
Kuna haja gani nikushikie fimbo ili nikusikilize kama gorrila
Mie ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela
Una matatizo najua na mie nina yangu huku
With together from this moment with them through
Nikikukosea nisute nipige vibao nizodoe ninunie kwa siku kadhaa ila ninachoomba usinikimbie
Lina got me coming for this video after the stage act.... dope jam. Mad love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Npo nasikikza ka wimbo kazur, ujumbe mzuri npo 2023 Mungu Nmwema sana burudani iendelea
Binamu majina mengi mi nakuita herode we endelea tu🔥🔥hip hop
Maisha nimapambano 8 miakailiopita sasa mh pendachako chanzo nisanaayake ndioiliomtambulisha maashaallah
Mwana Fa did alot of justice to this jam. It is one of the oldest swahili song he did some mastering and until tomorrow it'll be that song. Classic and timeless
Njimbo za zamani zilikuwa mzur ss wengine tumechelewa kuzaliwa tu
Nani yupo hapa 2024??👑🎹🎧🎼🎵🎶🎼🔈🔉
Muda huu nipo hapa 2024
Tupo
Tupo
Mimi nimeusikiliza na kuutaza Leo baada ya kuitazama perfomanc yao
Gone are the days Tanzania led the hiphop movement in east Africa. Bongo flavor was so beautiful. Love from Uganda
Till now bro we led others they follow
Sure
++×1₩+++₩+₩+)+++)++++₩++₩+)++₩+₩
Hakika nilijua ni korabu ya juzi kumbe yamda
I can't listen to this song to the end without getting chocked up. Depth of accepting that life is temporary and you kind of need to stick with the ones you love with hope you'll have them in the next life is such a sad reality. My dad used to love this song alot too, used to sing to my mom all the time. He Died 7 years ago.
2023 in the building
Mwana FA anatisha sana … hizi punch alizomwaga humu … mwanamke anaejielewa hawezi pinga …
Kama bado unasikiliza huu wimbo 2021 gonga like twende sawa
kipindi icho wanamuziki wakiwa na ushirikikiano kama ilo gari lilikuwa la chidi benzi
huwa naic raha sna nikisikiliza huu wimbo
Inapaswa tuwape mauwa yao wakiwa hai ananifunza kwa zake nyimbo 🙏🤛 mungu amueke mkongwe huyo from kenya #@💓💓💓💓
Tunaosikiliza 2024 gonga like hapa
FA hakuwa na mambo mengi, amekata nywele kawaida , yaani kawaida alafu ngoma kali.
Who watch 2019........?
Ngoma kali sana
Mwana FA,love ur kiswahili rap...2018 still rocking
Hii ngoma tushio Leo ndio naiskikza tena najuiekewa vzr
Honestly this is the best piece of art I've ever heard in my life, Im happy
Kwaio shati na Gari ni vya chiddy benz
naombeni like mbili kwa mnaosikiliza hii kitu 2019 ?
Sheta kumbe alikuwaga hivi😃😃Chid benz mzee wa masaut nakuonaaa🔥🔥
Nani anasikiliza huu wimbo 2020 agonge like chap
Nipo
Keep the good music 🎶 a life,, all the from 254.nipo
Nipo
@@classicosama7569 maisha inaenda kasi mpaka inaacha wa2
Yan kila cku I must listen to this best song
Unanikumbusha zamani za kale
2019 tupo tupo
Chid Benz angemegewa kipande kidogo tu angeuaaa
Nani yuko apa 2025 naomba likes zangu ❤
❤
Nipo apa baada ya mwana FA kua naibu wazirii 🙏2023
Yoyote 2024 anaepata vibe apa ??
Hii kitu hakichuj kila nikikickilizapo nakiona km kipya dah big up broo
Mwana FA, to me he is one of the all time best bongo fleva artist
Toka geto mpaka uwaziri
Namuona chid mda uo yuko kibonge .
Nyimbo kubwa sana hii.. ifanyiwe remix sio hadhi ya video hii... Old is gold wafanye remix moja matata
Nowma xanaa kama kunaambae anatazama nyimbo hii 2019 hebu gonga like twende xawa
Hi glory
Kabla Lina hajawa na tako wala hipsi, maisha haya ni fumbo hujui kesho