Da huu wimbo umenifanya nirudiane na mke wangu ambaye alikuwa amefunga virago vyake kwenda.amerudi wimbo umemrudisha big up darassa nyimbo zako zinatugusa sana
There was this one time i broke up with him, sent me this song + other efforts we got back again.. nimerudi tena hapa coz we are not together anymore😭😂 its 2024 btw
Jamani mdada huyu(MAUA) anakisauti chake tuuu big up sana Darasa and Maua nawapenda💜💜💜💜💜 kama na wewe umeamini hii collabor itabaki kuwa juu kileleni thumbs up tujuwane
@@kichekochekanasisi3550 kenya na tz ni ndugu wala hakusema vibaya acha chuki za kijinga ww wakina mondi walikuwa wanaenda kufanya show kenya kwao kule mbona wakenya hawakubagua wamepokea vizuri
jmn msubscribe kwa darassa maan naamni ndo msanii atakaebaki kua kilelen daima 😘😘 wale tunaomkubali darassa like hapo plz nawapenda fans wote wa darassa
thanx much hili ndo shairi sasa darrasa u know much its u're self identity in the game no one who know to play with words like you other they simplfy gonga like apo kwa ###darrasaa
Ukiona kobe ameinama ujue anatunga sheria DARASSA hakukaa kimya bure alikua anajijenga na haya ndo matokeo ya ukimya #DARASSA COMEBACK weka like kama unamkubali fundi
There's a magical concept in this video, both literally and figuratively. Darassa, you're in a class of your own. On of a kind in this generation. Talent + hard work= Magic
I say...Daeassa Baba umekuja kutufunza na kutusomesha kiukweli Nisiwe mnafki Hebu Naomba jibu Ngoma tatu na Basata hawajafungia hata Nyimbo Moja...Nnn haswa Siri ya mafanikii Ya huyu jamaa#Mauasama#Darassa....Yapowapi•√
nyimbo nzuriiiiiiii ina ujumbe mzuriiiiii na inawagusa wengi tu.....waliondani ya. ndoa.....wachumba.. .wapenzi....hata wale wasio na malengo wanaopotezeana mda.....ila huyu mdada maua umemuimbisha mwishoooooooooni sana bana
Ambao tunaskiliza huu Wimbo 2024
Nipo hapa nimekumbuka kipindi hicho baby wangu kaniacha 😢😢😢
Usiombe ukawa umewah kutendwa af ukaskiliza huu wimbo 😢
Kipind umetoka ndio nilikua nimeachwa na mtu nilie mpenda sana😢😢 we acha tu pamoja na ule wimbo wa jolie haimaanishi daah we acha tu😢😢
Mwenye mziiki wake like hapa kama una mkubali darassa
Dar imenigusa sana yapo wapi mapenzi Yale yapo wapi duuuuuuuh kama nawewe imekugusa please naomba like yako
Huyu jamaa anajua sana kwenda na watu wanavotaka na wanavopenda like 1 tu tafadhali
Jamani huu wimbo unapunguza mawazo💃💃💃naomba hata like 5 twende pamoja
The song is yummy 😋 really
Saf sana mzee
Da huu wimbo umenifanya nirudiane na mke wangu ambaye alikuwa amefunga virago vyake kwenda.amerudi wimbo umemrudisha big up darassa nyimbo zako zinatugusa sana
Masanganya Tv hahahaaaaa
Darassa uyojama mkali cheki mistari
There was this one time i broke up with him, sent me this song + other efforts we got back again.. nimerudi tena hapa coz we are not together anymore😭😂 its 2024 btw
Hii style ya rap naikubali toka enzi za nishike mkono Darasa ft Winnie,,, ahsante umetukumbusha... Like kama umemuelewa hapa kama mimi
Lazaro Joseph Linda the king darasa bi gup sana
Kweli mkuu hii style ni Kali sana🔥🔥
Sawa sawa
Nishike mkono ilikua bonge aisee
Ok
Kama unasikiliza 2025 gonga like nyingi 🔥💯
❤❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Jamani mdada huyu(MAUA) anakisauti chake tuuu big up sana Darasa and Maua nawapenda💜💜💜💜💜 kama na wewe umeamini hii collabor itabaki kuwa juu kileleni thumbs up tujuwane
Yaya Cici nami naupenda huu wimbo zaid ya sana kwanza ujumbe anaoimba darasa
kizazi sana darasa hiii ngoma nikali kinomaa
Amejaliwa kipajii
sure'
The best collaboration
Kama nawewe umeukubali wimbo huu na unaamini darasa+maua ni🔥🔥like hpa tujuane..
Wimbo uko Poa sana,mi darassa namkubali kwa nyimbo zake zote aisee💪💪💪songa mbele darassa
Unanikumbusha mbali brother nakubari kazi
Tuna cheat wakati tunapendana. Tumepoteza😒 √√√√√ Yo the baddest Darasa en my favorite baby gal Samaaaaaa Maua 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kwa nymb amazng naomben hat like tu maan sjawah pata ata moja
Leo wa kwanza naitaj like zenu ata mbili tyu sio nyingi
Ipo kijanja zaid,wapi likes zangu wapenda mziki mzuri
Hapo Darasa umeua hii rap ndio Hua naikubali kinoma,,, ahsante Darasa
Gud xan
Wewe huyu producer Aba classic music ndy anakujulia pengne unabugi
Huu mwezi tumeuanza vizuri +254🇰🇪...hatutapoteza tena🙏🙏 #Darasamauasama
kuna msanii wenu hapa nyie vp wasanii wenu awajui kuimba
@@kichekochekanasisi3550 sio lazima kwamba ukitoka kenya basi usipendelee mziki wa wengine..kama kazi ni nzuri uko na uhuru wa kuipongeza #thinkbig
@@kichekochekanasisi3550 kenya na tz ni ndugu wala hakusema vibaya acha chuki za kijinga ww wakina mondi walikuwa wanaenda kufanya show kenya kwao kule mbona wakenya hawakubagua wamepokea vizuri
@@banshbansh2329 kabsaa bro 👌👊👊💯
darasa uko juu wako wapi walosema darasa walosema darasa kaasirika na madawa yakulevya wako Wapi walosema darasa kafulia wako wapi walosema darasa hana jipya 😀😁mko waapiiiiiiiiiiii chiiiiiiiiiiiiiiii
Mi ndo wa kwanzda kuja huku Darasa🇰🇪
Kwakweli leo nimeamini kuna wasanii na wanamziki hapa sasa nipo kwa WANAMZIKI WENYEWE DARASA AND MAUA SAMA❤❤❤❤❤❤❤❤
Darasa utabaki kileleni ,utabiki juu utabaki Mawinguni Dasara Uyooooooo chiiiiiiiii ati nini lambo lolo😂😂😂😂
J
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
😂😂😂
Ditrick Nyamika 😂😂😂😂😂
Mathias Malingumu Nakukubalii
MIMI NDO WA KWANZA KUWEPO HAPA 2023…
Ngoma kali sana, ninayo kwenye laptop Ila nimeona niingie pia RUclips kushow love.
Likes zenu tafadhali…❤❤❤
Ombi langu ni mwenyezi mungu akulinde ewe unayesoma huu ujumbe
jmn msubscribe kwa darassa maan naamni ndo msanii atakaebaki kua kilelen daima 😘😘 wale tunaomkubali darassa like hapo plz nawapenda fans wote wa darassa
Ni moja wa wanamzki ambao hawachuji nipeni like jaman mie ndo mgeni
Swahili to the world.....
Tanzania flag to the world....
Big up darasa,,,,,
Kazi kazi now......
Uzima tu..
April 2019
Show love
LIKE
napenda san nashair yk huwa hukoseag mkal kwel ww ni darasa la vijanaaah kityu bomba sana km ww ni shabik wa kwl dondosh like yk hp
kama unaamini Darasa atabaki kuwa kileleni juuuu tupiaga like 10 tu
Nyie ndo mnampoteza huyu jamaa.. Ndo uchafu gani huu anaimba🙄🙄
Mega Hits TV skiza ujumbe bro
@@megahitstv7899 huna unachokijua we fala..tuachie darrasa wetu
Inno theGreat Miamia darasa
Nakubal
😆😍😍😍🤪
Leo nmerud tena kusililiza huu wimbo 2022 mwez wa 11 kuelekea 2023 daah
Huu mwezi tumeanza vyema! Asante sana darasa kwa comeback matata kama hii! Nyimbo zote mbili ni fire!
Kila MTU Anaomba likes hii tabia ya kishamba Sana... Kama na wew unaona wanazingua Weka likes hapa tuwe pamoja!!
Nimependa sana story bro huu ndio muziki bro video nzuri sana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mau mau maua sauti yako ni zaidi ya wasanii wote wa kike tz upo juuu
Weka like kama tupo na maua
Am from Kenya bt I don't know Swahili lakini hii nyimbo iko more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 +254 in the building weka like yako kama umeikubali
Zawadi Chimishi@Come to Tanzania🇹🇿i will teach you
zawadi chimish
Zawadi Chimishi namba yako please
Huyu jamaa hakoxeagi gonga Like zako kwa kumpongeza huyu jamaaa
Hyu ndo darassa nnaemjua
Yakowapi ma like yangu yakowapi....darasa utabaki kileleni....
Wewe nimukali kaka
Zaiton Mohammed yeeeeeeh!!
amakweli namkubali dalasa hasakwa hinyimbo imezigusa hisiazangu
Wakwanza mie Leo Darasssa oyeeeee
Ntiga Makoba nice
darasa nakukubali
Kama umeona ng'ombe kwenye hii video like
Daaah!! tumepotezaaaa jamani gonga like basi
Hivi kwanini watu wanaomba likes, Embu na mimi leo naombeni like nione inavyokuwa.
biggest come back in bongo flava
hii ndiyo ngoma yangu Kali ktk alizo toa darassa hii number 1 nyingine zina fataa twende sawa apoo.
Darassa we ni genius kweliii.....#relax#leo#tumepoteza.....big uppppp!
Hatar firee barasa nomaaaa
wewe ndio master darasa wa kisasa milima haikutan ila 2taonana mim nawewe na uta nishaul kuusu rapa bgp brother, na wadau naomba like zenu
Ngom kal xn maua umeua umu ndan.nc
Utabaki kuwa juu chiiiiiiiii
Daah.The Return of the King.Huyu ndo darassa naemjua mm since 2011
daraaaasaaaa
thanx much hili ndo shairi sasa darrasa u know much its u're self identity in the game no one who know to play with words like you other they simplfy gonga like apo kwa ###darrasaa
Tumepoteza...
Mbona nachanganyikia niskilize ipi🙄💕
Fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Darasa uko juu braza ang kwel mapenz tumepoteza umebak utapeli tu, big up
Hii nyimbo jmn imeni kumbusha mbali sana na mkumbuka mama lamama wangu tulie achana
Noumaahhhh cnaaaa talented cnaaaa uyuuuu mtuuuuuui the best rapper in tz big up cnaaaa broooo
Hicho kisauti cha maua kitabaki kuwa juu juuuuuu kileleni chiiiiiii ati nini🍺
siku izi tushapoteza hata mapenzi ya vitu vya kweli... hata penzi ya wimbo kama huu na kuipenda likes za kibinafsi .... tumepoteza mapenzi walahi.....
Ukiona kobe ameinama ujue anatunga sheria DARASSA hakukaa kimya bure alikua anajijenga na haya ndo matokeo ya ukimya #DARASSA COMEBACK weka like kama unamkubali fundi
Kama Unaamini Anaejua Anajua Tu Gonga Like Kama 500 Darasa Yuko Juu Kileleleni.....
utabakia kuwa juu u, kuwa juuuuuuuuu,... Kileleni
Xaxa ndio king darassa tunaomjua keep it up bro
Kali Hii kinara Darasa👏👏Rap nzuri nakubali🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shikamoo 🙌DARASSA CMG.. naona ni mwendo wa HATTRICK👏
Genius🙌🙌🙌🙌... Darasa utabaki kua juu
... Content on top. Message received.
Hii ngoma imetulia sana kizazi sana
Hiyo inaitwa 3double aaah darasa noma
out of 3video u released on april 7, i think this is the best na inaubunifu mkubwa
Daadeki haya ndo madunde yataishi milele goma tamu balaaaaa jamaa anatungo za kisomi huyu ❤❤❤❤
This song brings out every single emotions in a person😭🙏🤷🏾♀️big up darassa
Kali sana
Yako wapi Yale mapenzi.... Yako wapi 😒😒😒😒😒........... Count me in 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪....... Nipewe lyks.... Madame WA tz
3
Tumepoteza daaahhhhh ngoma sumuu kali vibaya
Darasa na maua mtabaki kileleni 😁😁😁yako wapi yale mapenzi yako wapi mm na ww tulikua happy
Eeeeeeeeeeeeeeish.... Don't play with Darassa..... Eish... Noma broh
What a comeback 🇹🇿 👏🏾👏🏾👏🏾
you back darasa salute
Collabo safi Hanscana production's always on 🔝
+254
Wamboh Penainah
yako wapi mapenzi yako wapi 🔥🔥
much respect to Darassa and amazing voice from Maua sama.
Both of them are talented artists.
we are proud of you guys
Hizi ndongoma sasa brother darasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
There's a magical concept in this video, both literally and figuratively. Darassa, you're in a class of your own. On of a kind in this generation. Talent + hard work= Magic
very true
👍
L!45
Daaaah.....this is touch song to me
Still 2023 nakuskiliz huu wimbo
Okec livingstone
Darasa salute bway....
Jaman sijwah kupata like naombeni like zetu please 🤦🏻♂️🤦🏻♂️
Ditrick jina la second born jaman
I say...Daeassa Baba umekuja kutufunza na kutusomesha kiukweli Nisiwe mnafki Hebu Naomba jibu Ngoma tatu na Basata hawajafungia hata Nyimbo Moja...Nnn haswa Siri ya mafanikii Ya huyu jamaa#Mauasama#Darassa....Yapowapi•√
Perfect everything. Perfect Story, Perfect Lyrics, Perfect Video, Perfect Acting, Perfect Collabo, Perfect Location, Perfect Audio, Perfect Directing. Just Perfect!
Nikiwa na stress huwa nasikiliza huuu wimbooo💜💞💞💞💞💞safiii
........from Nairobi Kenya
Darasa huru
YOU ARE THE KING OF RHYMES BRO! ZAIDI YA AFANDE SELE😂😂😂🔥🔥🔥👏👏👏
kazi safi Tanzania... Mmepoteza.. sisi tulipotezanga haha
Afghan representing, chief u always on point.diehard fun b humble n God bless.✌🇰🇪
nyimbo nzuriiiiiiii ina ujumbe mzuriiiiii na inawagusa wengi tu.....waliondani ya. ndoa.....wachumba.. .wapenzi....hata wale wasio na malengo wanaopotezeana mda.....ila huyu mdada maua umemuimbisha mwishoooooooooni sana bana
Hii ndo kalii kuliko zoteee
Nakubali, maana hii nimeirudia zaidi ya zote.
Imekaa utamuuuuu.
Classic MUSIC safi naona unarudi zama zetu zileeeeeeeeeeee safi sana mwanangu lete kama hili tena
D baddest darassa
My favorite of all time
No body can replace u
Darasa atabaki kuwa juu aisee wimbo una rutuba sana huu. 👍👍👍👍👍👍