Darassa ft Jux - Leo (Official Music Video) Sms SKIZA 9048058 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 апр 2019
  • Watch and Share New darassa's Brand New Video "Leo" featuring JUX. Audio By Abbah Process and Video Directed By Hanscana.
    For Booking: Contact +255786175484
    Email: darasa.clasic@gmail.com / geoffaya@gmail.com
    Also Listen WorldWide on
    backl.ink/1959347
    Follow Me on:
    Instagram: / darassacmg255
    Twitter: / darassa_cmg
    #darassa #jux #leo
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,8 тыс.

  • @genyamj1272
    @genyamj1272 5 лет назад +33

    Wenye wanerudia ku watch video na kuskiza ngoma zaidi ya mara moja na kukimbia kwenye comments gonga like twende Sawa
    #much love from Kenya 🇰🇪

  • @rosegathoni5192
    @rosegathoni5192 5 лет назад +901

    From kenya..nipeni likes kama tano za huu wimbo mtam

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 5 лет назад +2

      Sweet likes

    • @wasafisongsnow1818
      @wasafisongsnow1818 5 лет назад +2

      ruclips.net/video/4d4SqGGQgSg/видео.html Rayvanny upole wako

    • @tahiyaal-jabry2975
      @tahiyaal-jabry2975 5 лет назад +1

      Rose Gathoni Welcome new artists from Africa -traditional songs ruclips.net/video/X0pJz5hFg8o/видео.html

    • @tahiyaal-jabry2975
      @tahiyaal-jabry2975 5 лет назад +1

      Welcome new artists from Africa -traditional songs ruclips.net/video/X0pJz5hFg8o/видео.html

    • @joashkeya2919
      @joashkeya2919 5 лет назад +1

      kwani wee ndo umeimba....ufala

  • @hezzymapozzy7030
    @hezzymapozzy7030 5 лет назад +244

    Mamama si hii ngoma ni moto..nipeni likes mbili tu juu hii ngoma ni 🔥🔥🔥

  • @thureyaseif7143
    @thureyaseif7143 5 лет назад +160

    Darasa don't give up, keep moving plzzzz. Nyorosha wao, bwaga bwaga wao wote, we love you man !! Salute you.

  • @kassimmuya8243
    @kassimmuya8243 5 лет назад +125

    Kama ulijua cheche imekuwa kasheshe,, hauwezi kuzuia mvua acha inyeshe.🎼🎼🎼🎤 Darasa nakuelewa sana Like nyingi kwake

  • @abdilahimwachapwani2696
    @abdilahimwachapwani2696 5 лет назад +335

    Imeweza hadi huku +254🇰🇪💯💯...nasubiria likes za Darasa na African Boy👌👊

  • @mutumamuriungi6952
    @mutumamuriungi6952 5 лет назад +403

    Darasa is underrated, one of the best rappers in EA, respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jim9443
    @jim9443 3 года назад +35

    Darassa is the king of rhymes...and who has noticed that he only does 2 rap verses in his songs and he kills it?

  • @lordigardkimaro9953
    @lordigardkimaro9953 5 лет назад +265

    Itasumbua kama ile ya maisha na muziki? Kama ndiyo gonga like twende sawa

  • @princesilver
    @princesilver 5 лет назад +204

    Wa kwanza kukoment
    Kama unamkubal darasa like zake hapaa 🔥🔥✅✅

  • @officialmangstar7227
    @officialmangstar7227 5 лет назад +4

    Ma fans wa darassa wacha tuwahesabu kwa idadi ya likes....... Jamen darassa anaweza na hakosei +254 much love

  • @shingwahemed3803
    @shingwahemed3803 5 лет назад +16

    Duh nikwel CMG kaachia hit song!!!! Km umeelewa like twende sawa

  • @brianstelix8982
    @brianstelix8982 5 лет назад +7

    Manze darasa kama ulifanya muziki Ikakuwa anthem kenya for an year mbona nisiskie leo, wapi likes majama. Msinipite tafathali

  • @originalflo9829
    @originalflo9829 5 лет назад +126

    Iyoooo
    Atiii nini 🤔🤔🤣
    Nyimbo kaliii ,nzuri sana ❤❤
    Darassa atabaki kuwa juu 👆👆

  • @fabricemugheni2950
    @fabricemugheni2950 5 лет назад +14

    From Congo: Weka like yako tujuane
    Team darassa

  • @bekabokande254
    @bekabokande254 5 лет назад +21

    Utauwawa bure cjalala nmeficha tu makucha,,,,,#darasa always mistari yako iko top bro

  • @calebonlinetv
    @calebonlinetv 5 лет назад +83

    From kenya 🇰🇪 tumeikubali hii collabo 🔥🔥👍👍

  • @datwasmvungi3808
    @datwasmvungi3808 5 лет назад +186

    Walio Irudia zaidi Ya Mara Moja Tujuane

  • @anwarhassan85
    @anwarhassan85 3 года назад +7

    Mazungumzo baada ya habari...,cheza mbali maana hali sio shwari..💯.....no one like DaraSsa👊........hatuwezi zuiaa wimbo zako wacha zingonge🎼🎧

    • @markolando
      @markolando 2 года назад +1

      If he's not the best new generation rap king Then I honestly want to meet the real one now💯💯🔥🔥🔥

  • @allyianbgoya5163
    @allyianbgoya5163 5 лет назад +25

    Jux kama alikuwa na mzuka hivi na kaupandisha kinoma...good chemistr asee ngoma kali sana..big up Darasa

  • @chaudryramos7397
    @chaudryramos7397 5 лет назад +34

    "kichwa sijabeba Kama pambo " Darassa kweli you are class.

  • @saidiemile7468
    @saidiemile7468 5 лет назад +93

    From USA🇺🇸 , Darassa is on 🔥. Drop like

    • @lucycamelous4918
      @lucycamelous4918 5 лет назад

      kwa dawa za kukuza uume na kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya dawa asili +255673200051

  • @barnabarzcsimion443
    @barnabarzcsimion443 5 лет назад +2

    Ww ndo darasa kwel lazima uwafundishe mzee baba gud 💟💟💟

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 5 лет назад +2

    From outerspace nmekuja duniani kuhudhuria DARASA twende sawa kwa likes hapa

  • @shokajr9714
    @shokajr9714 5 лет назад +120

    Huyu ndiye darasa tunayemfahamu ss na hii kwangu ningoma kali kuliko kutoka kwenye nyimbo zako3 ulizotambulisha... good music...🤘🏽☝🏽👏🏾👏🏾

  • @michaelrapando1866
    @michaelrapando1866 5 лет назад +31

    Kama umezikubali ngoma zote tatu gonga like ni relax kisha nipotee leo

  • @happysunsimina4971
    @happysunsimina4971 5 лет назад +1

    uyu bwana ana fanya vizuri sana nani ame bisha aka ji nyonge

  • @Kimaro_Comedy
    @Kimaro_Comedy 5 лет назад +3

    Naona mzee baba karudi vizuri sasa safi sana darasa hayo ndo mambo tunayotaka sasa!!😘😘😙😙

  • @kakaisaack4014
    @kakaisaack4014 5 лет назад +39

    Wa kwanza kutoka Kenya
    Aisee nipeni likes ndugu zangu

    • @charsmwaimu2598
      @charsmwaimu2598 5 лет назад

      kaka Isaack

    • @jimmyx8412
      @jimmyx8412 5 лет назад

      Ungepambanaga na class uwe wakwanza usingekua hapo ulipo leo

    • @kakaisaack4014
      @kakaisaack4014 5 лет назад

      Darasani nilikua wa kwanza braza

  • @nicholauspeter4679
    @nicholauspeter4679 5 лет назад +303

    Kwann usome comment bila kugonga LIKE,kiukwel Darasa kaja na amaizing style,Big Up kamanda w2🙌🙌

  • @newrcashayne9080
    @newrcashayne9080 5 лет назад +32

    wewe jamaa bana unajua hadi hasira
    huku kwetu mambo yote ni leo

  • @maryoriang1949
    @maryoriang1949 4 года назад +1

    I wish ningekua kwa hii video sauti zapendeza hapa makofi kwa darasa😍😍😍

  • @vdj_jones
    @vdj_jones 5 лет назад +32

    Mysterious man,disappeared..came back like u never left..good one

  • @Silamoblapo
    @Silamoblapo 5 лет назад +40

    Pole kwa kuchelewa kwenye comment section si unajua foleni 🔥🔥🔥 Love from
    +254🇰🇪

  • @oscarfelisian2512
    @oscarfelisian2512 5 лет назад +1

    darassa sijui unarudi nyuma ama waenda mbele kama n mbele hii nyimbo sio ya kuwa na viewers wachache kama ivi ,miezi miwili bado viewers n million moja tu broo warudi nyuma kimafanikio upande wa you tube

  • @maryanneakinyi
    @maryanneakinyi 5 лет назад +63

    The ghetto princess (Pendo) popping like Damnnn😍😍🤗

  • @dutchballaka3422
    @dutchballaka3422 5 лет назад +36

    Kama umeirudia mara 4 hii video twende sawa,, boge la nyimbo

  • @254shorttrendystories4
    @254shorttrendystories4 5 лет назад +83

    Welcome back to class (Darassa) homework well done 💯💯na usichelewe tena tumeku miss🔥🔥🔥🔥

  • @morrismurithi209
    @morrismurithi209 5 лет назад +85

    Kichwa sijaibeba kama pambo....+254 twakuenzi vishenzi...gongeni like wangwana

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 лет назад +1

    Aseee kwli kuna watu awafose mziki uwafate bali mziki unawafata wenyewe darasa no 1 uyuu jamaa anajua mziki ase tuache unafiki ukiona uyu jamaa amekaa kimya akija kuachiaa kitu akuna mtu atakae ponda

  • @tonybestsenior8874
    @tonybestsenior8874 5 лет назад +29

    Huku Kenya tunasema hii ngoma ni Ngoriii!!! Yaani Noma Sana!

    • @onestkasmir4297
      @onestkasmir4297 5 лет назад +2

      TONY BEST SENIOR hahahahaa kiazi kwel ngori ni nzuri muliz khaligraph fresh og ww jmaa lishe

    • @tonybestsenior8874
      @tonybestsenior8874 5 лет назад +2

      @@onestkasmir4297 Kabisa bro

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 лет назад +114

    Darasa iz back....
    Say yeaaaaaaaaaaa...
    Swahili to the world.....
    Big up darasa...
    Tanzania flag to the world...
    Show love
    LIKE
    April 2019

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 5 лет назад +17

    Mwny Game yake karudiiii
    Kichwa Sijabeba kama Pambo.!

  • @noahagollah4
    @noahagollah4 5 лет назад +1

    darassa mistari juuu fan mkubwa hapa

  • @hamisisuley6362
    @hamisisuley6362 5 лет назад +19

    Mr burudani haaaa hii ya moto sana like kama zote wajanja hizi ndio ngoma zenyewe jichanganye kama kachumbali chumvi mpaka kwenye chai haaa unahalibu

  • @kumi_254
    @kumi_254 5 лет назад +191

    Back to class..DARASSA 💥💥
    🇰🇪🇰🇪 +254 thumbs up!!!

  • @brightandrew3915
    @brightandrew3915 5 лет назад +9

    aaah jaman nipen heshma ya darasa gonga like hapoo bac

  • @Simbaneema
    @Simbaneema 4 года назад +1

    Darassa na jux mko juu Tena sana Nani akona mimi

  • @timetraveller454
    @timetraveller454 5 лет назад +112

    Salute from +254🇰🇪🔥👌

  • @biskynvevo1508
    @biskynvevo1508 5 лет назад +36

    Kama Mzuka pandisha
    Na kama like angusha
    🔥💚🔥

    • @IGMtv2020
      @IGMtv2020 5 лет назад

      Nooma sana Class with classic

  • @mohamedkodi3643
    @mohamedkodi3643 5 лет назад +35

    Darassa bamkubwa au sio if 👍👍👍 gonga like hapa

  • @idayakei8349
    @idayakei8349 5 лет назад +1

    Yeebaba umetisha kaka ngoma kali sana wenye wivu wajinyonge

  • @mastermbarak254
    @mastermbarak254 5 лет назад +33

    Salute from 254🇰🇪 🔥🔥 🙌🏾

  • @ndalushabani2859
    @ndalushabani2859 5 лет назад +12

    Darassa & jux!;;; namba mbaya!!!!!

  • @RusingaCreativesTV
    @RusingaCreativesTV 5 лет назад +13

    Mr Burudani awakuwezi kweli Legend himself 2019🇹🇿🌎🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @humphreyshivamba7929
    @humphreyshivamba7929 3 года назад +10

    This guy is fire🔥🔥🔥🔥...the best rapper outta da East!! International material. Well done Mjomba!!! Shout 'out to Jux, he killed that hook. Lookin forward to one with you and AKA. One Africa One Love from Joburg Mzansi (South Africa) 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nicholausshololoshololo5972
    @nicholausshololoshololo5972 5 лет назад +15

    Fundiiiiii jux na brother darasa wameuaaaaa

  • @janewambui1523
    @janewambui1523 5 лет назад +48

    My best bongo artiststs mob love 💕💕💕👏👏👏👏 👏 iyo rap na chorus 🔥🔥🇰🇪

  • @muddynassoro693
    @muddynassoro693 5 лет назад +32

    Nina appreciate your talent broo, u a the best km Ommy dimpoz

  • @fibonaccimwadime9479
    @fibonaccimwadime9479 5 лет назад

    Mr burudani ,hello its me again mr.burudani take away the pain,pole kwa kuchelewa si unajua foleni nawapa vidonge kutuliza complain,kichwani sijabeba kama pambo akili nimeteka kwenye chambo 🕺🏼🕺🏼🕺🏼🕺🏼 wapi likes za darassa CMG blood fan +254 ndo home

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 5 лет назад +158

    *Kurudia kuitazama* naruhusiwa mwisho Mara ngapi et!?😁💥💥💨🔥🔥🔥

  • @silawsang2565
    @silawsang2565 5 лет назад +34

    mistari ya darasa🤭🤭 always on point 🔥🔥

    • @yohanagunda8335
      @yohanagunda8335 5 лет назад +1

      darasa ni darasa anahitaji darasa kweli noma sana

  • @ikoha254
    @ikoha254 5 лет назад +23

    If you want a lit chorus Jux does justice 💯

  • @abukardahir9680
    @abukardahir9680 3 года назад +20

    Love from your neighbor Somalia. Good music has no borders ✌🏽

  • @jamesdenis9698
    @jamesdenis9698 5 лет назад +10

    kwani hii ngoma si imeachiwa LEO
    kweli leo ni leo

  • @hezborn
    @hezborn 5 лет назад +24

    Here before 1M views
    Team 254 🇰🇪 wapi likes zenu

  • @jmkentertainment..8247
    @jmkentertainment..8247 5 лет назад +5

    Jux/ Darassa Bg up yourselves..Salute from🇨🇭🇰🇪

  • @tarrusbigman4919
    @tarrusbigman4919 5 лет назад +79

    Nyinyi vijana hatari 🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #MrBurudani nimesha relax Sina maneno na wewe bro🤣🤣🤣

  • @jeancallixtekwizera7425
    @jeancallixtekwizera7425 5 лет назад +23

    Tunabapenda burundi gonga hapa

    • @Mtznajua
      @Mtznajua 5 лет назад

      Jean callixte Kwizera poll

    • @allymigambi8995
      @allymigambi8995 5 лет назад

      Jean callixte Kwizera kweli kk

  • @moviesseries9923
    @moviesseries9923 5 лет назад +126

    ##KAMA UNAMKUBALI DARASA 🆚 JUX GONGA LIKE HAPA 👍#

  • @harriethe3rd327
    @harriethe3rd327 5 лет назад

    Huyo ako ligi ya shule awache kuitwa darasa...naona nikiua replay button..

  • @mohthecrypto5096
    @mohthecrypto5096 2 года назад +3

    FYI: Darasa is Class! 🇰🇪
    Kenya is in full attendance!

  • @honestatibu7204
    @honestatibu7204 5 лет назад +5

    Karibuni darasani mwalimu ni darassa🔥🔥🔥👏👏👏💯

  • @stevengeorge249
    @stevengeorge249 5 лет назад +39

    Dah imegusa broo huwa Sipendi kukoment ila Leo 👏👏

  • @pricilladickson5943
    @pricilladickson5943 5 лет назад +22

    ❤️❤️ my dear brother daras good bless you 😘😘

  • @archisetholdings2322
    @archisetholdings2322 4 года назад

    Kama ulijua cheche imekua kasheshe, huezi kumzuia #darrasa kuimba wacha aimbe...#Darrassa don't forgetI

  • @sirbnatasha2220
    @sirbnatasha2220 5 лет назад +28

    from+254🇰🇪 yo've made it Darasa &Jux😍😘

  • @shabansalum162
    @shabansalum162 5 лет назад +10

    ukitaka kazi ya jeshi don't forget hakuna wa kukupetipeti daaah bro umeuwa

  • @qaccimside5707
    @qaccimside5707 2 месяца назад

    Kwa wenye watapitia apa 2050.....watanipata nilikua hapa at the age of 27yrs

  • @evajoshuamwakitubwa858
    @evajoshuamwakitubwa858 3 года назад +1

    Dah nyimbo hii ndo unanitulizaga😍

  • @deejaysteam9420
    @deejaysteam9420 5 лет назад +11

    254 kama mnangoja colabo ya darassa na nyashiski likes zooote zipitie hapa

  • @shadrackmwendwa7808
    @shadrackmwendwa7808 5 лет назад +8

    Mr. Burundani...kichwa sijabeba kama pambo

  • @mohameddyandumbo2826
    @mohameddyandumbo2826 5 лет назад +1

    Aiseee,darassa hujawahi kosea,ngoma Kali sanaaaaa

  • @jamesmayunga5802
    @jamesmayunga5802 5 лет назад

    nani kaachiwa buchaaaaaaa sema woyoooooooooo nipen japo like 5 tu

  • @mundhirkhamis5731
    @mundhirkhamis5731 5 лет назад +18

    biggest come back in bongo flava

  • @mkula2023
    @mkula2023 5 лет назад +8

    Oyeeee huku Darasa yupo kwa air

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 5 лет назад +58

    Khaii!!!!my favy rapper from tz,Kwanza hapo pa kupika mayai Karanga!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂.darassa +254 tunakupenda kuruka.karibuni hata nyinyi mpate Mamanzi WA Nairobi,hakuna foleni😂😂😂😂😂

    • @ianmbingu6376
      @ianmbingu6376 5 лет назад

      Akianani hii nikali 😅😂😂😂😂

    • @lyonahbrams534
      @lyonahbrams534 4 года назад

      East Africa,I feel like kina Kaligraph have nothing on this guy. He is original!

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 года назад

      @@lyonahbrams534 sure I just wanna love this guy

  • @jacksonndimugwango5667
    @jacksonndimugwango5667 5 лет назад +1

    Nasubili like za wanao mpenda darasa king of Africa kwa mzki mzr

  • @derrickmatenga4804
    @derrickmatenga4804 5 лет назад +65

    My two favorites #artists in east Africa 🚿💪

  • @almasially6509
    @almasially6509 5 лет назад +10

    Daraaaaaaaassaaaaaa🔥🔥🔥🎶📣 is back!! KMMK!!

  • @teachnewsofsomalia9304
    @teachnewsofsomalia9304 5 лет назад +1

    Kama ni maji mwagika✊✊

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 лет назад

    Oyoooooooooooooo! Kama ......limechanika.............kama ni kishindo tingishaaa...kama ni mzuka amshaaa....kama ni mnazi katkaaa

  • @bkmyahudi9648
    @bkmyahudi9648 5 лет назад +8

    Darasa kachafua Hali ya hewa, nyi zingueni tu!! jamaa katisha, proud of you bro, Genius +254

  • @sheilakilosa424
    @sheilakilosa424 5 лет назад +5

    Duuuh Tatu?kwa siku Moja! Halafu zote Kali!

  • @anwarahmed9738
    @anwarahmed9738 5 лет назад +1

    Dooh ngoma kali kishenzi

  • @collenmathebula5825
    @collenmathebula5825 4 года назад +10

    Darasa world class rapper, our african 2pac, I'm from south africa dont even understand shwahil but I'm in love, keep on pushing brother

  • @samohboy9937
    @samohboy9937 5 лет назад +22

    Naiona no 1 darasa noma sana 😂😂

  • @mussabroo4470
    @mussabroo4470 5 лет назад +39

    Darasa hatari baba like kama unamkubali d💪💪💪💪

  • @user-ox9zz7zk5h
    @user-ox9zz7zk5h 7 месяцев назад +1

    Nakubali mwamb darasa

  • @deejaydrizzle2030
    @deejaydrizzle2030 5 лет назад +9

    Back with a bang #Darassa🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪