Nameless embu tuambie nini ilisibu huu wimbo usiweke Spotify but upo Audiomack, YT and else where. This is the only song that makes me think again of installing Audiomack, I love this song. Ni deadly🔥🔥🔥🤙
Wewe unaanza utaifa wote sawa tu bila nmls au dalasa nyimbo isinnge noga acha kugawa watu kwenywmúsic Kuna wajinga wengi siku hizi watapindisha mada yako ushangae
Nameless fan from Tz, Nameless is a true legend, lets take our East African music to the world, we can do this guys, we need more and more artists to represent East Africa to the world. Thanks
I think nameless should get an award for remaining relevant all the years... No scandals and all the way the music is pah!!! If you feel it make it #namelesskenyapah
❤❤❤❤❤❤ PAH Lyrics - Nameless and Darassa Ndani moyo kama unapasuka Eeeh moyo unapasuka PAH Lyrics Verse One - Nameless Kama ni mapenzi beiby nitakupea Ntakudekeza mami mazuri nitakutendea I know you like the flowers and roses nimekuletea And they say umeniroga but I don’t care Nyumba ya upendo nitakujengea It will be bigger than the house of prince bel air And we live together watoto tukiwalea And we grow old together coz that’s my prayer Chorus You make my heart go Pah, Pah, Pah, Pah You make my heart go Pah, Pah, Pah, Pah Ndani moyo kama unapasuka Eeeh moyo unapasuka PAH Lyrics Verse Two - Darassa Heshima yako hakuna wa kuivaa Usiwache kiti chako mwingine akakaa Vile nakupenda ni kama nimekuzaa You make my heart go Pah Pah Pah Sema unataka kwenda wapi wikendi Take my time take my money spend it spend it Haya sio mapenzi this is crazy crazy Ndio maana mpaka nazidisha chenji chenji Tazama juu ya anga Mapenzi yametanda Jagwani na mchanga Gizani naona mwanga Panga pangua panga Kwako sina ujanja Kwako sina ujanja You make my heart go Nishachoka kuranda randa Kushuka kupanda panda Sitaki kudanda danda Kukicha kutanga tanga Gundi nitakuganda ganda Fundi nitakukanda kanda Silver nitakupamba pamba Nikiwa nawe natamba
this i just one of those classics , timeless music that only nameless knows how to make , that typa music u can;t get enough of it ...#Good music , #Darassa Did justice with His verses it was on point , he killed it , hope u guys make more music .
Sikia ambia Waganda waendelee kujitenga.. Washow huku mambo ni fire, Genge imeshikana Bongo pamoja tunawakilisha East Africa to the world.. PAH PAH PAH
Asanteni kwa kutupumzisha kwa mziki tunaweza skiza mbele ya wazazi asanteni sana bana. Uku Kenya tulikuwa tumeshazima redio zetu watoto na miziki za kitoto.
Nameless is such a legend.
Give this comment 100 likes if you have been listening to nameless for more than 10 years
I like nameless songs by title coming home Narudi nyumbani
Amani G hey dear have been looking 4u 4reel inbox me ur no want a collabo with you or call me @,0798091697
I have been listening to his music for 20 years since megarider 1999
kali
he is. this song is fantastic
Nameless embu tuambie nini ilisibu huu wimbo usiweke Spotify but upo Audiomack, YT and else where.
This is the only song that makes me think again of installing Audiomack, I love this song. Ni deadly🔥🔥🔥🤙
Nobody can separate Kenyans n Tanzanians. If you agree gonga like hapa
tell that to diamond lol
Tell tht to harmoVsMagix hehe
True we are the same people. I love Kenyans.
Nani hii kolabo imemfanya ajivunie kuwa mtanzania na mkenya! I like the way watanzania na wakenya tunavyopendana. Love from TZ
Michael JS same
Well said.. Our love is going far!
Wewe unaanza utaifa wote sawa tu bila nmls au dalasa nyimbo isinnge noga acha kugawa watu kwenywmúsic Kuna wajinga wengi siku hizi watapindisha mada yako ushangae
Wahoo nice tunapendana kweli
cringe
The only Kenyan artist who has remained relevant close to 2 decades... Piga like kama umemtambua.
Ati ONLY? Liar.
Tafta likes bila kudanganya
@@murulimuhande but it's true.
Nyashinki ako rada pia
Mmesahau pia juacali
Nameless fan from Tz, Nameless is a true legend, lets take our East African music to the world, we can do this guys, we need more and more artists to represent East Africa to the world. Thanks
Kenya 🇰🇪 well represented nipe like wabongo.
Likes za Darassa na Nameless hapa 👇👇👇 its 🔥🔥🔥 💯 au vipi
Darasaaa huwa uniangushagi
Da, nemless nilikuwa nampendaga na yule mdada wa Kwao hapo kama p skwea au naveen wa navy kenzo
Yani umekuwa star 22 yrs bila jina? Noma sana. Press the nameless button again!
Likes za Nameless😍😍
KENYA n BONGO leo na mimi naomba likes
Fuck uu
@@maxamedalter5360 thank you 😍😍😍
@@JIMBO_MEDIA perfect reply 👏
Like za nini sasa..acha umama
@@mwasswagrader8894 Sawa ndugu nimekuelewa 😍😍😍
Big Brother....Never dissapoints....Totally love this song.....Video on point....👏....PAH...💥💥💥
Hi beast from the east
@@tetumutetu2918 wagwan
BIGPIN jatelo
Siku Mingi Jatelo,Turushie angalau kitu ya Christmas, Nakutambua 👊
Pino you’re a good kid too, Roho Safi sana! Respect ✊🏽
Darassa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
The OG Mathenge himselfu💯💯💯
Can we talk about the instrumentals....???? On point
Dope😍kumbe hata we umenotice
That 🎸
Meehn...Io band is liiit💥💯😅 Darasa killed it more pia
Ni ya Magix Enga
@@bulletmanmc3787 fr fr😮
Kama unampenda DARASSA gonga like tujuwane💓💓💓💓
Why didn't I know Nameless has this in his collection until now? Such a hit ❤️❤️❤️❤️❤️
Kama ume muelewa darassa gonga like
Pah pah..kama Kenya na tz pah
Kenya na Tz 💕💕
TZ + KENYA = PAH. LIKE MOJA TU KAMA UNAMKUBALI NAMELESS NA DARASSA
Moyo unapasuka! Kama umesikia hii verse like hapa
inauma but itabidi uzoee
Darasaaaa💯nakupenda kama vile nmekuzaa🔥❤
🔥🔥🔥🔥🔥
Nairobi west material hapa I agree
Moto sana
Nyashi na nameless hawa ndo huleta test ya mziki
This is a hit. Thanks nameless for bringing my guy Darassa on the hit.
A
Mis
From Tanzania Darasa kaweka wimbo uwe mkali 🇹🇿 GONGA LIKE
Eiiish mmetisha Sana mandugu wa kenyatta na nyerere❤️❤️
ESTHER NYOKABI balaaa 🙌🙌
Sijui Kiswahili ndicho kigumu ama tu ni PAH
Hamna lolote
Darasa killed it,Trust Me waTz Ni Wanoomaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii ngoma nkicheza leo hainibore.nikama kila siku naisikiza mara ya kwanza
Nameless you never lets me down 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hivi kwanini hakuna kolabo kati ya Kenya na Tanzania nyingi? Kila tunaposhirikiana tunatoa nyimbo nzuri sana. Please keep it coming, we love this.
I think nameless should get an award for remaining relevant all the years... No scandals and all the way the music is pah!!! If you feel it make it #namelesskenyapah
Hii ngoma ni zaid ya balaaa, heshima kwako my brother
Nameless never grows old. He looks exactly the way he was 20 years ago.
He is a vampire
@@frankkotte117 😂😂😂really??
@@sophiechloe9445 hahhahahah hapana kusema tu!
@@sylvestorkadenge5180 I know😅😅
Kazi nzuri sana Nameless ujio mpya mzuri 👍🏾
I like before I listen coz I know my man nameless can never let anyone down
Me too
kali sanaaa,collabo kama haya ndo huleta husino bora baina ya taifa mbili,nimeoenda kam umependa wapi likes hapa..
Am from TZ i love nameless, especially 'Nasinzia nikikuwaza!!!"
The jam is dope i believe in you to the world.
My favorite Kenyan Musician of all times Never disappoints ... Nice one Kamoni
Nakupenda Ni Kama nimekuzaa ..love the pa pa pa part sana
🇹🇿🇹🇿Darasa use all his mind to create lyrics that why mpaka anacheka aki flow on da beat.
🤣🤣🤣noma mzee
How do you know who created what?
collabo ya mwaka!!!!hii nyimbo hata mtu haelewi swahili ina floooow tuuuuu ka maji
big up Nameless n Darrassa
TZ and Kenya we are ndugu kabisa combo zetu ni amazing sana. one love to the Swahili speakers of Africa
Yeah watz na wakenya ni ndugu we share common language which is Swahili
Cheers 🥂🇹🇿🇰🇪
Waaow Namlessssss thumbs up Mr. 👍👍👍.
Nameless HATS OFF the oldest in the industry but still very relevant regardless of whatever era we are in the music industry
wewe ni wa hizo enzi za Issa?
navokupenda kama nimekuzaa hahaha darasa like zake!!
The consistency of Nameless 🙌🙌🙌👌since I was young and now am all grown up and he is still here🙏🙏
If you trust that Nameless and Darassa killed it here please like this comment.... Big up Nameless X Darassa..
"Vile nakupenda ni kama nimekuzaa" I love it
Nameless legend mzee baba uko fiti ile mbaya 001 🇰🇪
when legends meet everything is fire 🔥
Zile enzi ulikuwa ukituma katoto kakuitie dadake... PAH👍👇
❤❤❤❤❤❤
PAH Lyrics - Nameless and Darassa
Ndani moyo kama unapasuka
Eeeh moyo unapasuka
PAH Lyrics Verse One - Nameless
Kama ni mapenzi beiby nitakupea
Ntakudekeza mami mazuri nitakutendea
I know you like the flowers and roses nimekuletea
And they say umeniroga but I don’t care
Nyumba ya upendo nitakujengea
It will be bigger than the house of prince bel air
And we live together watoto tukiwalea
And we grow old together coz that’s my prayer
Chorus
You make my heart go
Pah, Pah, Pah, Pah
You make my heart go
Pah, Pah, Pah, Pah
Ndani moyo kama unapasuka
Eeeh moyo unapasuka
PAH Lyrics Verse Two - Darassa
Heshima yako hakuna wa kuivaa
Usiwache kiti chako mwingine akakaa
Vile nakupenda ni kama nimekuzaa
You make my heart go Pah Pah Pah
Sema unataka kwenda wapi wikendi
Take my time take my money spend it spend it
Haya sio mapenzi this is crazy crazy
Ndio maana mpaka nazidisha chenji chenji
Tazama juu ya anga
Mapenzi yametanda
Jagwani na mchanga
Gizani naona mwanga
Panga pangua panga
Kwako sina ujanja
Kwako sina ujanja
You make my heart go
Nishachoka kuranda randa
Kushuka kupanda panda
Sitaki kudanda danda
Kukicha kutanga tanga
Gundi nitakuganda ganda
Fundi nitakukanda kanda
Silver nitakupamba pamba
Nikiwa nawe natamba
Mimi na Nameless hadi apate jina....wimbo imeenda shule ikapitia Darasa ikakomaa....big up!!
like z huyu msanii yani nameless kenya n w Tanzania zko wapi
Freshi.song moto.E-sir angekuwa tingevuruga bt nsawa 2.mi nifan tangu enzi za megarider
Subscribe me now
20yrs since I first heard you Baba Tumi and you getting better👏👏👏👏Darassa is in a class of his own❤
Hapa imewesaa....ni tick...nipeeni likes tafasali...iko tops.....
Me listening to this hit
My neighbour; punguza sauiti wewe kijana
Me again; takes out my gun.
My gun ; PAH PAH PAH
😂
Mpaka watu wakagonga like PAH
Lol😂😂
Can you please tell me your location?
😂😂😂
Nameless The King!!!wasanii wengine wanafaa kufuata steps zako mkuu salut
NAMELESS kafanya Video na HANSCANA toka Tz,first artist in Kenya I guess..(4K Video)..kudos.
otile did that before bruh
Willy Paul amefanya na hanscana almost 3 music videos
Peter Adong'a 4K big deal in Kenya but places like Nigeria they don’t announce it either...
Ehhhh 🧘🏾♂️🔥💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾, sitaki pah pah pah, it's a banger 🎥😋🕺🏽💃🏾💭
this i just one of those classics , timeless music that only nameless knows how to make , that typa music u can;t get enough of it ...#Good music , #Darassa Did justice with His verses it was on point , he killed it , hope u guys make more music .
Darassa akifanya mziki wowote na yeyote hua 🔥🔥🔥🔥.... add Nameless to the mix and its a massive heat..... Great Awesome 👏🏽 Music
Killer tune ,Nameless as a legend you never disappoint...Darassa buried it 6ft deep.... 🔥🔥🔥🔥🔥
Darasa kapeleka wasanii class PAH, nameless kawafanya speechless kama less PAH 🎶🎶🔥🔥🔥🔥
KAMA NA WEWE UNAFURAHI KUONA KENYA TANZANIA TUNAACHIA MAWE PAMOJA GONGA LIKE ZAKUTOSHA
Waaaaw Nameless is back my people ebu chapa hapa like 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👇
this song already made my heart pah...big up nameless na darassa ....imeweza aisee
Ngoma kali, biti kali, walioimba wenyewe wakali, yanii iyeeeeaah
Gud music... Slow and easy.
Kenya to Tz.
Yaani kama moyo unapasuka💯
The legendary Nameless... Oh God I love this talent😊 my heart has gone PAH
Callabo yangu itakayokuwa bora 2020 nani anapinga mikono juu najivunia kuzaliwa east africa god bless us amin...#
I must say Bern did justice to the beat 🤩🤩🔥🔥🔥🔥
2023 Kubwaaaa
KENYA na TZ wakishikana ni moto pekee🔥🔥💯✅
Sikia ambia Waganda waendelee kujitenga.. Washow huku mambo ni fire, Genge imeshikana Bongo pamoja tunawakilisha East Africa to the world.. PAH PAH PAH
tunamiss loliondo.
Good work,kazi nzuri sana 🔥🔥🔥
The guitar is on another level...
Kenya tupooo👌🏾🙌🏾 lyrics iko correct team Diaspora tuko ndani👏🏾👏🏾👏🏾💃🏾💃🏾💃🏾
Kma na ww unamshabkia darasa kwann upite bila kulike comment yang usiniache iv iv u know that we're together😊#From TZ
Nyimbo nzur sana 🔥🔥🔥
Nameless mtu wa Classic!
Ngoma iko kizazi sanaaa #NEMELESSKENYA uko vizulii hunaga mambo mengii nimeikubalii kichupaa kikalii
The Legend Nameless Kenya is proud of you bro..kali sanannana
Ati we ni NAMELESS? zi naitwa DARASA!..Iikes wasee
Nice one...my crush never disappoint
Pah..pah..pah.. Iko Safi sana...niokotwe kwa dancing floor
Mnaopenda Like ebu Gonga like hapa na mm nione mnachopendea like nyingi n nn?!
Kazi nzur
Kenya X TZ = 🔥🔥🔥🔥
Nomaaaaaa sanaaaaaa 254 and 255 Darasaaaaa kitu pah
Nameless 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥💯 This is a hit
Asanteni kwa kutupumzisha kwa mziki tunaweza skiza mbele ya wazazi asanteni sana bana. Uku Kenya tulikuwa tumeshazima redio zetu watoto na miziki za kitoto.
Darassa🔥🔥🔥🔥🔥
Nguli Darassa ametesa aise. Hatarii
Nameless ICON on 🔥! Always never disappoints’
Kuna kuma anajiita Kenga sijui uko Kenya analeta ukoro.. si tunahitaji love ka hii good collabo Kati ya nchi zetu.. we need love not haterz
*Kenya x Tanzania show love 🇰🇪🇹🇿🤝✔*
#Approved by the KFCB🇰🇪 and BASATA🇹🇿
Moja intercontinental kabisa ...
Can't get enough of this song.... Much love from +971
Ni nameless ako na kipara ama nani uyo?
This One is simply Fire. The Legendary Nameless. A big tune!!