The rythm is so smooth and his voice captivating. So easy, so cathy, so addictive. I'm vibing with this song too much. Such a banger🔥🔥🔥, with LOVE from KENYA🇰🇪
Darassa is a master of art and literature, his songs really mean real life encounters and as well has vibes in his music... Can't ignore listening to this guy's songs... Big up man... You're on🔥🔥 dude
Akitoa nyingine hit tatu tayari wataanza kumshindanisha na mondi mwisho wa picha anapotea nao wanamuacha kabisa sijui kwanini hatupendi kiwaacha wasanii wetu wafanye mziki wao bila presha zetu shenzi
When I listen to the likes of Darassa, nashangaa ni nini ilikuwa inasumbua The OG akiattack wasanii wa TZ. Bongo kuna ma heavyweights, bana! Nuff respek, Darassa! 🇰🇪🇹🇿🔥💯🙌🏾
Good music, it's a vibe, the art and literature just on a different level...... lest i forget....the driver is such a hype...... it's his energy for me. We need such energy on a daily........
Darassa is far from being pregnant but he always delivers 🙌💗 On behalf of my family ,my village people,my ancestors and also my wicked landlord,I approve this HIT!!💯💯🔥🔥🔥we love it💯 🇰🇪🇰🇪💯
NASEMAAAAAAAAAAJE🔥 hili ni bonge la goma. NOTHING IS FREE! Tumpe Likes nyingi for free
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
💥💥💥💥 darassa kaua trending zote hapa town. Kama unakubali ginga like za kutosha. Big up broooo
Too hot 🔥🔥 song... Hujawahi bumbwa
#King
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
@@lundibakari2438 Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
@@salumsalvatory Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
Tanzanian Rap is badly underrated. This is gold
We are proud of our musician
Nampenda sana huyu kaka jmn ❤❤ darassa
When it comes to music, give it up to our sisters and brothers down in TZ!
Darassa is a MAAAD ARTIST of our generation, atasema lolote🔥🔥🔥
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
Kama Unampenda DARASSA Like hapa🔥🔥🇰🇪🇰🇪
From 🇰🇪🇰🇪I love this song👌
Napenda ngoma zako darassa
The rythm is so smooth and his voice captivating. So easy, so cathy, so addictive. I'm vibing with this song too much. Such a banger🔥🔥🔥, with LOVE from KENYA🇰🇪
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
U have summed up e'thng bruv
Am getting idris, bosty vibes.
Ushasema❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu jamaa huwa habahatishi
kwenye hii nyimbo nimempenda zaidi huyo dereva wa darasa anamzuka kuliko darasa mwenyewe dadake
Huyo hype man akona Darassa anaitwa aje?
@swahi841 🤣🤣asanti sana.
..
😂😂😂😂😂
Hii ni Playlist yangu nyingine mpya, nyimbo kubwa sana hii. Naiona ndio kubwa kwa huu mwaka kutoka kwa ma Rapper wa nchi yetu
KAma unakubali hii ni hit songs weka like zako hapaaa darassa is disappointed king of Ma_verse...........
Hii ngoma nimerudia mara 9
Darassa ni chumba cha wanafunzi 🇹🇿🇿🇲👊
Hii nyimb kali San Kam unamkubal huyu Jamaa gong like Tijuane Maan anajua mpak anakela❤❤❤❤❤❤❤❤❤100%%%%
Yani ni balaa
Darasa moto sana...more likes from kenya...hii ngoma inatrend sana huku kenya...long leave mkuu
Nampenda darassa sana....mistari zake kali sana. Much love from kenya Darassa🇰🇪🇹🇿
Kenya🇰🇪 in the building 💪
What is kenya?? Mmezoea kutuibia wasanii wetu watz.. kwenda huko na kenya yako, muone vile😢
Representing This masterpiece... Nadai kusikia wakiwa na Nyash kwa ngoma
@@Boaz22 mind your business wakenya hatuna nouma
🔥🔥
@@jnrmwavitu6533Period!!!🤣🤦🏽♀️
Am a pastor but recommend this track in all churches lol from Uganda 🇺🇬
Tf Bro chill out
Kwa nn Shabani!!!😅😂🤣🙌
Hii ngoma imenikumbusha enzi za ngwear mana ilikua ndo mambo yke haya R I P ngwear
Darasa kwenye rap hakuna mtu anayempitaaaaa!!! Nan anapinga japo na mimi naimba nataman siku moja nifanye nae korabo❤
Jamaa yuko vizuri kweeeli
Darassa ni ndio lyricist nimeishi kutafuta...alafu iyo beat weeee acha tu
Interview ya Dully imenileta hapa .. Dully angeua hii …
Hata nami
Niliona kionjo😂
Naitafut RUclips sija iona nimeona nusu
umetisha darasa. Wewe kweli noma, moto 🔥🔥🔥🔥, habari ya mjini, Mind your business.......Saluti sana kwa producer pia alielewa tune akamaliza.......
Mzee wa too much,nimependa huyo jamaa dereva kanogesha xana ngoma saluti kwake 19.7.2023
I like Darassa for one thing: Every time he comes through is a banger..if you agree leave a like👍
😁😁😁😁💪
ruclips.net/video/ihSfsDWsb1k/видео.html
dis guy is mambo bad
I think his friend is a true supporter!!!!
mind you bizneciii... mi sina nawe. zibes only
Darassa is a master of art and literature, his songs really mean real life encounters and as well has vibes in his music... Can't ignore listening to this guy's songs... Big up man... You're on🔥🔥 dude
Ndio ivyo jaman Mimi uwa nakuelewa San darasa
Am Kenyan but Darassa always stands at my no.1 rapper in East Africa.
Huyu mwanaume ni noma as a Kenyan tunamtambua vibaya sana
Fish anakula fish Life in the sea i love this 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunapenda xna ngoma zako kka kwanza Ile Nobody mmmmmhhh
DARASAAAAA lots of Love from Kenya...2023 theme song and this DJ is FIRE
We need a Nyashinski and Darassa collabo
me tooo
Walai ata sikua nakumbuka..itakua dope sana
This tune... Weeee🔥🔥🔥
Nimeskia hii wimbo Leo and my mind went this direction...hope they will do something together fr
real ting mi brejin
My favorite rapper in Tanzania 🇹🇿 keep it up
Semaa jamaa unajua had kero sjui watanzania wanakuelewa au wanaona wivu dah naikumbuka maisha na mzk na hii bag unatisha king of hits
Ohh diamond ohhh Ali k ohh sijui nani ...Kenya I was in the club yesterday the dj pressed play...damn ..darasa to the world
Definition of Good music 🔥🎶❤️
The blend of the beats and the lines🔥🔥🔥🔥Dude's on another level#Mind your Business.Producer understood the assignment
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
ruclips.net/video/5i0BV2OkJI8/видео.html
ruclips.net/video/ihSfsDWsb1k/видео.html
Nigerian we love you Darasa, Nipeane Likes zenyu njaman 🙏
Nigeria ya nyooooko😅😅😅😅
"Zenu jamani" not "Zenyu njaman"😄
@@franklynbruno-ri6fe famasihala na mnaija 😂😂😂
@@Ym_classic_tz aki Kenya sihamj
Aki wakenya nn ua mbaya na nyinyj
Akitoa nyingine hit tatu tayari wataanza kumshindanisha na mondi mwisho wa picha anapotea nao wanamuacha kabisa sijui kwanini hatupendi kiwaacha wasanii wetu wafanye mziki wao bila presha zetu shenzi
Babalai umetisha kinoma noma verse ya kwanza umeflow ile mbaya babaetu big up sana kwako bro na kwa dj ally b salute
Darassa's lyrics always have sense and some lessons in them. True definition of Bongo music. Lots of love from Kenya.
Wewe asumani hiyo miluzi tupigie huu mwaka 2024 au ume filisika ❤😂😂😂
DJ allyb is always a vibe, the Whistler😂😂 Darassa pia is the king of rap in tz. Huyu ako level yake. I appreciate his music sana. Love from Kenya
Much talent
Hiii nayo ni mbaaaaaaaaaya!!!!!!
Darasa is topping Kenyan 🇰🇪 chats, this is the real GOAT Tz ameshikilia bongo. Pamoja na Ali K
The song is lit...on fire coz darassa never dissapoints..
Maina kageni should see this ichezwe on kingangi's anthem
Darassa kama darassa uko vizuri
Why are we forgetting the hype man?
Darassa the legend...give him his flowers 🎉
What's the name of the hype man?
It's a Hugest Bang Again from DARASSA...🎤🎧🎵🇹🇿💪🏾💥💥💥💥💥💥
When I listen to the likes of Darassa, nashangaa ni nini ilikuwa inasumbua The OG akiattack wasanii wa TZ. Bongo kuna ma heavyweights, bana! Nuff respek, Darassa! 🇰🇪🇹🇿🔥💯🙌🏾
yaani huyu kaka mkali hadi inakela bwanaaa mooooooore love from kenya
Always my biggest rapper of all time. love you darassa coz u never disappoint
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
ruclips.net/video/ihSfsDWsb1k/видео.html
Good music, it's a vibe, the art and literature just on a different level...... lest i forget....the driver is such a hype...... it's his energy for me. We need such energy on a daily........
The story telling skills in this song is insane
Jealous
Verse ya kwanza amazing
Daaah!!! Mwanangu hapa naye. Umenichachawiza banaa. Traki imekoleza bro.... I am minding your business bro. Kali!!!💕💕💕
I just love this song,darasaa never disappoints
Darassa is far from being pregnant but he always delivers 🙌💗 On behalf of my family ,my village people,my ancestors and also my wicked landlord,I approve this HIT!!💯💯🔥🔥🔥we love it💯 🇰🇪🇰🇪💯
Iyi mambo yako ya pregnant Kila wakati ina booo sasa
ruclips.net/video/5i0BV2OkJI8/видео.html
Wicked landlord 😮😮😅😅😂😂
😂 😂 😂 😂
😂😂😂landlord amefanya nini tena 😅😅😅ati he's wicked he doesn't mind his business
Hii ni kuuubwaa, trending @13 in Kenya 🇰🇪👌😊🔥🔥
Nawakubali sana machalii watundu
Yaaan nakumaind sana shabiki yako sana nyimbo zako azijawi niboa hata kama umeshilikishwa aseee❤❤❤
Eyes on price eyes on price ladies and gentlemen sasa tuko wazi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I Keep learning from his work on music 🎵 lyrics every time I listen to him ❤❤❤ music 🎵 love from South Sudan 🇸🇸
This chap he's a real 🐐.... Uúuuum fire 🔥 baby 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ako kakingereza ulikotupia umo ndani kameleta radha flan iv so ameyyyyyzng bonge la ngoma👊
Bad news track & lyrics. Salute you Sir Darassa. From Nairobi,respecting your music.Waambie kabisa wawache usororaji.
On behalf of my family,and my village people ,my ancestors and my African brothers in Amsterdam,we appreciate.
you forgot your wicked landlord.
Good vibes always
Bounce bounce bounce😂😂🔥🔥Nlkuwa nauliza njia naenda kanisani💀💀🤫🤫😂😂
Moto kama pasi braza...noma sana😊🎉😊🎉😊👊👊👊👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🧯🔥🧯🧯🔥🧯🧯🧯🧯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🧯🔥🔥🧯🔥🧯🔥
I love this man, Darasaa mziki wako uko juu tu sana sauti nayo moto kweli
A collabo between Darassa and Ndovu Kuu....💥💥💥💥
Huyu mwamba anavokaaga kmy kiukwel huwa hatutendei haki km unakubali ngoga like
The intro dude ,u killed it ,big tune darasaa
Ngoma kali sana KENYA 🇰🇪 🇰🇪 BIG FAN nikuja Tz nakuja show yako.
Hapo ni daresallam
I can't mind my business I swear... Ah Darassa asha ua 💯🔥
Darassa always you don't disappoint
I'm from machame nation this song is amazing we are proud of you darasa
Huyo ndio the first rapper wa tz new era naeza skiza💥💥🔥
Awa ndio wanamuziki tunaowataka tz mamae ngma kali balaa
The only problem with this song is that it ends 😁🔥.
😁
😂😂 it's suppose to be endless
Oh my GOD mbona imeisha mapema sijafurahia
❤❤❤❤bonge la ngoma
The last verse hajaitendea haki
🔥🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾 respect
My guy did it again always giving us the best the title itself says it all🔥🔥🔥🔥
Hiii kali sanaaaaaa na Darasa mkali wao... what a hit!!!!
Supper man hii ngoma ni hatare always ngoma zake ni kali zote
This is a banger 🔥🔥, it has a "Boasty" flow by_ Idris Elba
True
Darasa you're really king of music we enjoy so much your beat are thrilling to best point of enjoyment.
A rapper with 0 hate.. he always drop bomb 💣
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
Kipaji Sanaa huyu mwehu
Dramaless too
From Kenya 🇰🇪 with approval. Usemi mtamuu sanaaa
Darasa ni darasa kweli .
Darassa Never disappoints
Darassa - Mind Your Business (Amapiano Remix)...ruclips.net/video/9q0R14cHanM/видео.html
Kbsaa
ruclips.net/video/ihSfsDWsb1k/видео.html
sure
Never..... never disappoints I tell you!
Definition of Darasa 🔥🔥
Hapo nimeweka tiiiiiiick💥💥💥💥💥💥💥💯💯💯
This guy is a champ in kenya Napenda lafudhi yenu
darassa deserves more than a million followers..He's simply exquisite ❤
This is another hit
Dear kids in 2090,don't let the legacy of this girl #Darassa🦁🔥 get lost,he was a legend during our time ... Mob love
He is a man not a girl
But he is not a girl.
Ngoma Tamu sana kaa ukijua uko na mafans Kenya 🇰🇪
très bien boss darassa nakupa saluti kwa ngoma yako kali.
Definition of Good music