Billnass feat Jux - Maboss (Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 6 тыс.

  • @Billnass
    @Billnass  6 месяцев назад +607

    NI SEHEMU GANI YA WIMBO HUU UMEIPENDA ZAIDI? Shusha Comment Yako

    • @giovanniotto8
      @giovanniotto8 6 месяцев назад +78

      hatuagizwi na maboss sisi wenyewe maboss ,wanatuombea mikosi ,tunalindwa na sir GOD pekee🙏

    • @karenmutai4035
      @karenmutai4035 6 месяцев назад +25

      Hatuagizwi na mabosi....tunalindwa na Sir God pekee❤

    • @Samsonmig
      @Samsonmig 6 месяцев назад +17

      💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @vicentserre-pl1nn
      @vicentserre-pl1nn 6 месяцев назад +27

      Ex wangu anatamani niachike nifubae niishe nidhalilike 😂😂😂 hapo 🔥🔥🔥

    • @AhmadiiiSaidii
      @AhmadiiiSaidii 6 месяцев назад +9

      Kibana bwaaa

  • @drcharlestz
    @drcharlestz 6 месяцев назад +366

    Kama Sir God anakubless kila Siku achia Like ya Nguvu hapa 🙌
    Share Goma Liwafikie Masnitch wote wanaotuombea mabaya 🙌🙌

  • @PROSPERTOZKAMAZO-d5c
    @PROSPERTOZKAMAZO-d5c 4 месяца назад +18

    Hii nyimbo inafaa iwe Gospel ina2jenga km si vijana huku nje na ina2pa marifa nyingi sana.

  • @fredrickgeofrey1315
    @fredrickgeofrey1315 6 месяцев назад +170

    Kama una amini kua siku utaitwa boss kwa mapambano yako ya kila siku like hapa twende sawa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @charlesotieno6001
    @charlesotieno6001 6 месяцев назад +22

    "Huwezi kupangua mipango ya Mungu, mipango ya Mungu!"🔥

  • @Muinswahilinews
    @Muinswahilinews 6 месяцев назад +68

    Ngoma Kari kwa watafutaji tunao hustler uku 2kim tanguliza God mbele. gonga like kwa nenga na African Boi🙌

  • @scottmakaginabii8919
    @scottmakaginabii8919 6 месяцев назад +32

    Nimesha zimwanga eshima tayari hapa mim naenda maliza mwaka wangu na huuu wimbo bila ku donwload ni hapa tuh days to days munip mauwa yangu bhana ❤❤❤❤

  • @NeemaStephano-ro3ng
    @NeemaStephano-ro3ng 6 месяцев назад +59

    Ningeweza kukuona ningekupa pepsiii ya bariiiidi kwa kaz nzuri uliyoifanya ila damu ya yesu iendeleee kukufunika na kukuepesha na kila lililo baya wewe na familia yako na mkeo pamoja na uzao wako amen❤❤

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 6 месяцев назад +23

    Hatimaye Nenga kaingia namba no 1 on trending eee bana congratulations

  • @Black_Jordan16
    @Black_Jordan16 6 месяцев назад +184

    Me mwenyewe boss like hapa kama unaamini wewe ni boss na sio box

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 месяцев назад +11

    Tena wanaforce kutuona tunalost. wanatuombea mikos,,, tunalidwa na sir God pekee 🥰🔥🔥

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 месяцев назад +17

    hata sisi tusio kupenda kupenda kwa sababu umekua wahovyo ila tunakuambia ngojama Kali sana umeuwa mzee hatali unajua

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 6 месяцев назад +401

    Kama unaamin hii ngoma itafika mbali gonga like apo twnd xaw

  • @wiseboywissebo3856
    @wiseboywissebo3856 6 месяцев назад +23

    Kuwa boss ni kawaida illa kuwa boss afu inspiration ni wachache

  • @mohd_Guzzle
    @mohd_Guzzle 6 месяцев назад +16

    Wakiomba mabaya yanarudi kwaooo,
    Mm nalindwa na Sir God Pekeee

  • @jve1498
    @jve1498 3 месяца назад +12

    Love from Nigeria 🇳🇬🇳🇬❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FCNn657
    @FCNn657 6 месяцев назад +50

    Kali sanaa kama unaikubali basi wapeni mauwa yaoo kama unaisikiya vizuri basi naomba like Zao hapo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏

  • @kushtech542
    @kushtech542 6 месяцев назад +29

    Oyaaa mwanzo mwisho mchizii wangu....Nakukubalii mia kwa mia Nenga🔥🔥🔥🔥

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 6 месяцев назад +20

    Ngoma kali kinomaa jux umetisha sana...Kuna mijitu inataka likes kwenye collabo za watu sijui zitawafikisha wap😅🤣🤣🤣🏃🏃🏃

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 6 месяцев назад +6

    Jamani nyinyi maboss mumeweza sana sir jah awalinde wote kitu kali sana

  • @SaidiHabib-2024
    @SaidiHabib-2024 6 месяцев назад +10

    Oya nenga iyo ni hit song of the year all the way outta Nairobi.

  • @kitongatu6028
    @kitongatu6028 6 месяцев назад +26

    Kubababake bonge la nyimbo , hit mpya 2024

  • @Zezeta-yr3hy
    @Zezeta-yr3hy 6 месяцев назад +522

    Kama unawatch ukisoma comments,,,nipee likes hapa 😂😂😂

  • @mtokambali2320
    @mtokambali2320 6 месяцев назад +14

    S2kiz(Zombie) alitulia Sana. Beat ipo top notch. Limepigwa Guitor moja tamu Sana humu. Verse ya Nenga 🔥🔥. My fav jam so far 2024.

  • @maninhocassamo1525
    @maninhocassamo1525 6 месяцев назад +8

    Ngoma Bomba Kabisa Nega from Mozambique 🇲🇿 ❤❤❤❤

  • @omariabdallah7453
    @omariabdallah7453 6 месяцев назад +9

    Kazi nzuri sisi wenyewe maboss hatuagizi na maboss❤❤

  • @HusnaNyoni-c4o
    @HusnaNyoni-c4o 6 месяцев назад +19

    Nyimbo nzuri jmn 😍😍😍😍

  • @lukashio1825
    @lukashio1825 Месяц назад +1

    Kiukweli hii nyimbo,
    Nimefurahi kumtaja
    Sir GOD kwangu nimeikubali sana.

  • @mpukuchicollin4617
    @mpukuchicollin4617 6 месяцев назад +5

    Ngoma mnazitendea haki hizi mnatupa burudani tunazozitaka Mungu awaweke brouh zangu ❤

  • @Online_media_nation
    @Online_media_nation 6 месяцев назад +24

    Kenyans confirmed that this is a hit song🇰🇪🇰🇪

  • @Sadjofficial-47
    @Sadjofficial-47 6 месяцев назад +96

    Kama Una mkubali bilinas tuonane Kwa likes

    • @rawmasterpeace
      @rawmasterpeace 6 месяцев назад +1

      Too much sauce 🔥🔥💯💯👌👌👌all way 4rm🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

    • @AhmadiiiSaidii
      @AhmadiiiSaidii 6 месяцев назад

      Bxydujsudud

    • @DidahIsdory
      @DidahIsdory 6 месяцев назад

      Hsusjsjiwiw

    • @AhmadiiiSaidii
      @AhmadiiiSaidii 6 месяцев назад

      Wwwweh

    • @DidahIsdory
      @DidahIsdory 6 месяцев назад

      Nyie

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 6 месяцев назад +1

    Ila Nas hua anapanga sana kazi zake kuwa zakudumu na za viwango vikubwa sana ...anatumia KISWAHILI km wasanii wengine wa Tanzania lakini anaitumia lugha katika mitindo yote ya Uimbaji na rap sio wasanii wengi wanaothubutu kufanya hili .... The theme and genre is a complete difference from his last project his diversity and relevance beside using swahili in all his songs still translate with all culturals with in and beyond Africa .... As a Tanzanian I can't appreciate enough the efforts put into this project .... Selling SWAHILI songs is still un uphill struggle but the likes of Billy Nas will respectfully put such projects on the map

  • @hb_064
    @hb_064 6 месяцев назад +4

    I knew this duo ile siku wangeachilia kibao, lazima ingefika mbali... kudos billnass na jux... much love from KE

  • @Fabrice-m2g
    @Fabrice-m2g 6 месяцев назад +4

    Iyo kali 🙌🙌🙌🙏 wana tuombea mikosi ' Sisi wenyewe ma Boss 🙏

  • @SalmahHassan-bv9kq
    @SalmahHassan-bv9kq 6 месяцев назад +6

    Kazi mzuri mwamba imekuwa mbunifu hole mbaya umetisha

  • @borisoloo
    @borisoloo 10 дней назад +1

    Bongo wako 100 years mbele ya genge tone. Faxxx

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 7 дней назад

      I don't know why some Kenyan artists are forcing themselves kukubalika while KAZI zao nyingi hazi wezi ku compete na kazi za wabongo,ni chuki ya mafanikio au what is it😢?

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 6 месяцев назад +50

    Kama kwel umeview hii ngoma fanya ku like hapa 👍

  • @KINGSHALA
    @KINGSHALA 6 месяцев назад +13

    🔥fare🇰🇪🔥🔥nyii muna omba malikes kwani zina kazii 😂😂😂😂

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 6 месяцев назад +4

    Jamani Hongera Sana Billnass Nakubalee sana Kwenye hii song ❤❤ 🔥🔥🔥

  • @adelanwamosanya9115
    @adelanwamosanya9115 3 месяца назад +5

    🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 ❤❤❤

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 3 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇳🇬🇳🇬

  • @billtiger15
    @billtiger15 6 месяцев назад +4

    Wimbo bora wa mwaka TMA 2024 kipengel cha best hiphop

  • @dogoezratz9154
    @dogoezratz9154 6 месяцев назад +8

    Tena wana foc kutuombea mikosi tuna lindwa na sir God 😂😂gonga like hapa kama unakubali walio himba kwenye huu wimbo WA MABOSS🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kevinjakandango3938
    @kevinjakandango3938 5 месяцев назад +12

    Big up to the producer taking nothing away from the Artist. They never get enough recognition.

  • @fatumaosman3573
    @fatumaosman3573 3 месяца назад +2

    Hatuagizwi na mabosss
    Sisi wenyewe maboss
    Wanatumia mikosii
    Tunalindwa na Sir God

  • @DinosaurTz
    @DinosaurTz 6 месяцев назад +20

    This song ingetoka kipindi kile napesa ingekuwaje sijui 😂😂🙌🏾

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 6 месяцев назад +3

    Kumbe hii nyimbo tamu hivo jamn na hamkusema mbona🎉🎉🎉

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 6 месяцев назад +6

    Hakika nalindwa na sir.God pekee,,
    Mi mwenyewe ni boss

  • @MadeeTozzy
    @MadeeTozzy 3 месяца назад

    Wanatuombea mikosi tunalidwa na sir God pekee .. that my favorite❤🎉

  • @AcduclubTanganyika
    @AcduclubTanganyika 6 месяцев назад +59

    🇧🇮 kutoka burundi like ata moja

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 6 месяцев назад +7

    Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤

  • @FrancinePeter-no9ty
    @FrancinePeter-no9ty 6 месяцев назад +10

    Sema na subscribers wanaongezeka hongera baba Naya nakuombea ufike milion na zaidi 🙏🙏Amina.

  • @rodgersmudave6852
    @rodgersmudave6852 6 месяцев назад +44

    254 kama umeikubali huu wimbo gonga like tukiendaga💪

  • @RizickBakary
    @RizickBakary 6 месяцев назад +2

    Ebhaan eeh huu unyama umetsha san broo.Wanatuombea mikosi tunalindwa na sir God pekee(wanatuombea mabay yanarud kwao)💥💥💥❤❤❤

  • @HarrisonMwadzi
    @HarrisonMwadzi 6 месяцев назад +23

    Kazi nzuri sana likes kutoka kenya🎉🎉🎉🎉

  • @Itstoniek
    @Itstoniek 3 месяца назад +3

    Ex wangu anatami niachike is fire 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 5 месяцев назад +2

    Wanaotuombea mikosw tunalipwa na Sir God🙌🙌💋🥰🙏

  • @SHYNESZAWADI
    @SHYNESZAWADI 6 месяцев назад +4

    This song got all my attention wangapi wameskiza more than 10 times👍

  • @Uponthesalafiyyah
    @Uponthesalafiyyah 6 месяцев назад +4

    Learning kiswahili from Brazil and this song is helping me!

  • @pingumagongo1997
    @pingumagongo1997 5 месяцев назад +1

    (Nengaaaa,Badman eeeehhh) huu mtari balaa Al the way from Kenya🇰🇪🙌🇰🇪

  • @brianoparo4121
    @brianoparo4121 5 месяцев назад +3

    Sir jah ndo kegonyii. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Jewel_Offem
    @Jewel_Offem 3 месяца назад +14

    We Nigerians don da troop da come

    • @aishaaudu6547
      @aishaaudu6547 3 месяца назад

      Doin dis for our home girl @Priscy.. 🇳🇬

  • @OladedoyeFolasade
    @OladedoyeFolasade 2 месяца назад +6

    Jux❤🫶🏻from Nigeria 🇳🇬

  • @olubunmielizabeth7694
    @olubunmielizabeth7694 3 месяца назад +1

    I am listening to all your song ,the beat are living rent free in my head.lolz. Even thou I don't understand it. Please just release Ololufemi already 🙏. Thanks for loving our baby.I am happy for both of you.

  • @SundayKenga
    @SundayKenga 6 месяцев назад +6

    Ex wangu anatamani niachike. Wee apo patam kweli ❤❤❤❤

  • @LoveAron
    @LoveAron 6 месяцев назад +4

    Billinenga kitu hichoooo 😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯👌

  • @GeorgeGabriel-wp3vs
    @GeorgeGabriel-wp3vs 6 месяцев назад +6

    Hatuagizwi na maboss sisi wenyew maboss wanatuombea mikosi tunarindwa na sir God pekee

  • @nataliethequeen09
    @nataliethequeen09 14 дней назад +1

    Sisi wenyewe mabossy🥳💯

  • @lewispilipili1115
    @lewispilipili1115 6 месяцев назад +16

    Yanga katuleta huku champions 2024 kama umekubali weka like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EmelyneNiyonzima-d8t
    @EmelyneNiyonzima-d8t 6 месяцев назад +3

    Kweli kabisa mumeimba kabisa mungu awaifazi kwajili yetuuu❤❤

  • @stellabenadi5542
    @stellabenadi5542 6 месяцев назад +3

    Haohao haohao wananisema mm hawaoni yao ❤❤❤

  • @AplonaryBayo
    @AplonaryBayo 5 месяцев назад +1

    Ngoma kali sana broh billnass umetisha sana kwenye hii ngomA

  • @barakamgimba5706
    @barakamgimba5706 6 месяцев назад +54

    Kama umeipendaa hii nyimbo dondosha like yako apa❤

  • @boazantony-nh3gd
    @boazantony-nh3gd 6 месяцев назад +27

    Kama unamkubali jux na boss dondosha like

  • @teva150
    @teva150 6 месяцев назад +5

    🔥🔥🔥

  • @Mpembadauda
    @Mpembadauda 6 месяцев назад +2

    Ww nimkali Kati ya wakali tunakupend Sana ❤❤❤❤

  • @YUMMYGLOBA
    @YUMMYGLOBA 6 месяцев назад +5

    Future boss I’m here too 🔥🔥

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 6 месяцев назад +9

    Maboss

  • @Shaquan786
    @Shaquan786 5 месяцев назад +10

    Nko Kenya lakini najihisi nko Tanzania🔥🔥🔥😘😘

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 5 месяцев назад

      Karibu Tz, achana na maandamano mood ya Kenya.

  • @zenasalumu8570
    @zenasalumu8570 5 месяцев назад +1

    Nimeipenda sana hii nyimbo, maana jirani yangu ananiombea mabaya lakini yeye kutwa kucha yeye na matulubai😂😂 mungu ni mwema aisee nalindwa na SIR GOD

  • @deekayMK
    @deekayMK 6 месяцев назад +4

    Mamae, producer on point. The beat is 🔥

  • @adelanwamosanya9115
    @adelanwamosanya9115 3 месяца назад +3

    Much love from Nigeria...This song is on repeat in my car

  • @PuraneGane-d6f
    @PuraneGane-d6f 4 месяца назад +3

    Kama una amini kua siku utaitwa boss kwa mapambano yako ya kila siku like hapa twende sawa

  • @RwandaMMA
    @RwandaMMA 13 дней назад

    Tunalindwa na Sir God pekee 👏🏾🙏🏾 🇷🇼

  • @Vladmir9112
    @Vladmir9112 6 месяцев назад +12

    African boy nawataka hapa kwenye like

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 6 месяцев назад +16

    Hii ngoma ya mwaka kama unakubali gonga like

  • @alexMuthoni-ws8kc
    @alexMuthoni-ws8kc 6 месяцев назад +6

    Mimi adi nalia😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪siku moja nitafika

  • @itsshee1626
    @itsshee1626 11 дней назад

    Wanatuombea mikosi,tunalindwa na Sir God pekeee🙏🇰🇪

  • @SaulCubahiro
    @SaulCubahiro 6 месяцев назад +13

    Gonga like kama unamkubali mafiosoo from burund 💥💥💥🙏

  • @leshkidmswatiiofficial
    @leshkidmswatiiofficial 6 месяцев назад +16

    Ex Wangu Anataka niachike 😢💔😂
    Vibe on Vibes 🇰🇪💯✅

  • @skeelerrymeskenya
    @skeelerrymeskenya 6 месяцев назад +6

    Ilinigusa sana nilipo pata hii nyimbo si amapiano tumechoka i say #mabosi

  • @norahdavid6399
    @norahdavid6399 3 месяца назад +2

    As na awa inlaw we Nigerians are fully involved now this music dey hit differently with more vibes oo

  • @mohamedyhashim6294
    @mohamedyhashim6294 6 месяцев назад +7

    Wakuu Naomba Mwezi Wa June Wote, Tumwachie You Tube Billnas..

  • @martinkizuguto7889
    @martinkizuguto7889 6 месяцев назад +4

    Kuubabakeee💥💥

  • @AdmiringDrill-pt6gm
    @AdmiringDrill-pt6gm 6 месяцев назад +5

    Ngoma kali sana itafika mbali sana

  • @GalimossJoseMario
    @GalimossJoseMario 5 месяцев назад +1

    Hatuagizwi na maboss si ndo wenyewe maboss, nimependa zaidi

  • @KapachimasuzyoChilongo
    @KapachimasuzyoChilongo 6 месяцев назад +7

    Proud to be African

  • @KarumeMasalu
    @KarumeMasalu 6 месяцев назад +4

    MABOSS IS FIREE ❤❤❤❤

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 6 месяцев назад +7

    Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️

  • @dianamoraa4966
    @dianamoraa4966 2 месяца назад

    My favourite song this year ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda Sana maboss

  • @RehemaCharles-bc6fn
    @RehemaCharles-bc6fn 6 месяцев назад +6

    Tam kuliko ❤