Mbosso - Kunguru (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 7 месяцев назад +384

    Weuuuuuh Kunguruuu💃🏻💃🏻 Wakenya wenzangu mumefika ama mumelala bado???🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @priscusaudifas9936
    @priscusaudifas9936 6 месяцев назад +9

    Mboso a.k.a Sharuku Tz hujawahi kutuangusha, kama na wewe na hii ngoma imekubamba ile sana tujuane hapa q🎉

  • @mulaudzimvelaphanda6955
    @mulaudzimvelaphanda6955 5 месяцев назад +33

    I'm a South African. This is the Best Amapiano Song ever produced outside South Africa.

    • @franmdleleni6520
      @franmdleleni6520 5 месяцев назад

      I Love Mbusso's songs especially his amapiano ones featuring SA artists.

  • @JacqueAmuri
    @JacqueAmuri 5 месяцев назад +5

    Mwanangu hii kali kweli❤❤❤❤ full Respect mbosso

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 7 месяцев назад +162

    Anyone from Kenya 🇰🇪 wapi likes za mbosso

  • @Mr_Hussein01
    @Mr_Hussein01 6 месяцев назад +9

    Mpaka kesho saa 10. No1 on trending kama unaamin like hapa

  • @SarahFatima-q5b
    @SarahFatima-q5b 7 месяцев назад +21

    Bana mboka bozawapi 🇨🇩🇨🇬tous les deux Congo like ici , Salute bro 🔥

  • @BrianBabaFidel8871
    @BrianBabaFidel8871 6 месяцев назад +10

    SIPENDI AMAPIANO SANA LAKINI MBOSSO, MARIOO ,HARMONIZE NYINYI NI MA G WA AMAPIANO ....LOVE FROM KENYA KAKAMEGA COUNTY REPRESENTED

  • @Moreyz
    @Moreyz 7 месяцев назад +8

    Kaka hakunaga zaid yako❤❤❤
    Na jua uwepo wako unanifanya me nisichoke kupambana kuamin kuwa pacha wangu au m2 alienifanya kuimba nkimuona anauwasha motoooo

  • @BrianBabaFidel8871
    @BrianBabaFidel8871 6 месяцев назад +14

    HATA DIAMOND NI MTOTO KWA MBOSSO KIMZIKI ❤

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 6 месяцев назад +9

    Kali mbosso,much love from Messi kadenge 254.🇰🇪🇰🇪💯🇰🇪💪🙏🌟🇰🇪

  • @abdihappi
    @abdihappi 6 месяцев назад +14

    Nafukuza Kunguru nikiwa hapa Kiambu,Kenya.

  • @delphinharubuntu
    @delphinharubuntu 7 месяцев назад +21

    Munipe mauwa yangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Magret-q9i
    @Magret-q9i 6 месяцев назад +50

    Asante sana dangote kusapport huyu kijana Mungu akuzidishiye maisha maana sisi mafans hatuchoki na mzikizake tena hajawahi dispont kwa mziki yoyote❤❤❤❤much love frome kenya🎉🎉🎉🎉😊❤

  • @MuhammadBuyah-on6nm
    @MuhammadBuyah-on6nm 7 месяцев назад +240

    Wananagu wote wa Kenya 🇰🇪 +254 the capital city of Africa. Namjua mnamkubali mbosso twendeni na likes 🔥🔥

  • @manojira5469
    @manojira5469 6 месяцев назад +12

    Fukuza kunguru my favorite song ❤❤ from 🇲🇿🐧🐧

  • @JaywadaNasiry
    @JaywadaNasiry 7 месяцев назад +13

    Wakwanza nipe like Zangu 🔥🔥

  • @Magret-q9i
    @Magret-q9i 6 месяцев назад +10

    Jamani mafans tuhipeleke mpaka one million plz❤❤❤

  • @hopenicefavori
    @hopenicefavori 7 месяцев назад +20

    Fukuza kabisa uyo kunguru afungiki mbosso khan🇨🇩

  • @Bridges_Boogying
    @Bridges_Boogying 6 месяцев назад +3

    Kwa sasa hii ndio favorite 🤩 hii ngoma ikona message 💯 alafu pia ni kali🔥🫡

  • @maswikibacho1089
    @maswikibacho1089 7 месяцев назад +91

    kama unaikubali kunguru gonga like unasubili nini sasa wewe 😢😢😢

  • @pintomofh6454
    @pintomofh6454 6 месяцев назад +33

    Huyu mboso wetu kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 big up Kenyans 😅

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV 7 месяцев назад +87

    Fukuzu kunguru uyo, mtu kama hakupendi achana nae utapata mwingine🤕
    wapi likes za wa Tanzania 🤩🤩

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 6 месяцев назад +44

    Wakenya wana mapenzi makubwa na ngoma za Tanzania 🙌🏽💖💖💖🇹🇿🇰🇪

  • @SalimMtakama
    @SalimMtakama 7 месяцев назад +11

    Wakwanzaaa mbosooooo🔥🔥🔥

  • @Zazafilms-257
    @Zazafilms-257 6 месяцев назад +11

    Wasafii for life🎉🎉🎉❤❤ lovr u mbosso khan❤ wasafi 2024 nikutowa vituu tu hamna kuka🎉🎉❤❤❤

  • @RichMavoko-nx8cn
    @RichMavoko-nx8cn 7 месяцев назад +126

    ila Mbosso wana vitu vyake jamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nitakupa heshima mpaka milele, wa Kwanza nipeni like zenu 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼

    • @jadoob5421
      @jadoob5421 6 месяцев назад

      my flag ❤

    • @Ma-linga
      @Ma-linga 6 месяцев назад +1

      Awa vijana niwakali sana , moti ukumativinisa kwambiri eeh ulemu wao

    • @simonikale5157
      @simonikale5157 6 месяцев назад

      🎉🎉

  • @نجيبخاطرخميس
    @نجيبخاطرخميس 6 месяцев назад +2

    Africa's music is always first in the world,🇸🇩🇸🇩🇸🇩 Greetings and appreciation to you from Sudan

  • @AppolinaireNshimirimana
    @AppolinaireNshimirimana 6 месяцев назад +26

    The song is really melodiously beautiful .he who loves Mbosso ,i want you to give me likes down here👇👇👇 watching from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @kevoo_Tz
    @kevoo_Tz 6 месяцев назад +24

    Kama umeikuvari kunguru ya mbosso gonga like hapa wanangu

  • @NahasonMakori
    @NahasonMakori 7 месяцев назад +7

    I salute you mkuu, nakutegea kutoka kenya

  • @AstridahMulonga-bm3xz
    @AstridahMulonga-bm3xz 6 месяцев назад

    Congratulation My, Brother mbosso Mimi shabiki yako kutoka USA 🇺🇸 I am so so proud with you bro

  • @sidebarry4604
    @sidebarry4604 7 месяцев назад +38

    Wakwanza leo naomba like za mbwana yusuf kirungi

  • @divelianjohn1049
    @divelianjohn1049 2 месяца назад +1

    The best amapiano song ever made here in Tanzania🇹🇿🇹🇿

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 7 месяцев назад +84

    Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️

  • @YeshivaMhd
    @YeshivaMhd 6 месяцев назад +1

    mbosso always champion great musician nakupenda sana from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MELEKA_AMOS
    @MELEKA_AMOS 7 месяцев назад +25

    Malawians🇲🇼🇲🇼 let's gather here to appriciate this hit❤

  • @MejumaaNikaull
    @MejumaaNikaull 6 месяцев назад

    Mafans wa mbosso mnakubali mboso afungue gang yake ama bado mapema,,kwangu naona tayari anawezq

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 7 месяцев назад +43

    Naomba like zangu kama unamupenda mbosso kutoka kongo 🇨🇩🇨🇩 nimechelewa leo Niko wa 500

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 5 месяцев назад +1

    Hili goma kali asikwmabie mtu umetisha mbosso khan ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @princeogwelofficial4682
    @princeogwelofficial4682 7 месяцев назад +16

    My love for Mbosso 🔥 🚬 & 🧯Nipeni likes Nirudi Kwetu Kenya!! 🇰🇪

  • @BileSadiq
    @BileSadiq 6 месяцев назад +7

    From somali 🇸🇴🇸🇴 this song 🎵 is 🔥🔥💀 big fan mbosso

  • @Kimkimkim.
    @Kimkimkim. 7 месяцев назад +5

    Ngoma safi,, watanzania pamoja na mbosso mnipe likes ❤

  • @feswal22
    @feswal22 6 месяцев назад +1

    Sawa mwanangu Khan,,, kunguru aminia,, unyamaa sana 🔥🔥🔥🔥

  • @ombenijacque
    @ombenijacque 7 месяцев назад +15

    My Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 people gather here let show love 💕💕💕😘💕

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 6 месяцев назад

    Kunguru anaimba vizuri, alafu amejaliwa sauti mashallah😅😅
    Wasanii mtafuteni kunguru mshirikishe kwenye nyimbo zenu 😂😂😂❤❤

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 7 месяцев назад +47

    Ivi nikwanini kila mutu ana penda like ❤kuna mafa gani ya liké kama sio ku leta kunguru naomba fukuza kunguru ❤liké zangu apo❤

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 10 дней назад

    Diamond hakuna wakufananishwa na wewe wewe ni Next level

  • @swagztv6754
    @swagztv6754 7 месяцев назад +51

    Naombeni likes zangu kila siku mnanipipita wa kwanza leo😂❤

  • @EddyNdayisenga
    @EddyNdayisenga 4 месяца назад +5

    King and amapiano mbosso huo huoo nani anabisha gongeni like hapa

  • @NikiMaliki
    @NikiMaliki 7 месяцев назад +58

    Wa kwanza from Zanzibar nipeni like zang

  • @mwalimrubea-gw4gk
    @mwalimrubea-gw4gk 6 месяцев назад

    Ukweli hii versi ya kwa kwanza sjaona uhusiano wowote na nyumbo husika
    Nyimbo inauswahili tulipaswa kuona video flani ivi ya kiswahili sanaaaa
    Btu .....Mbosso ni msanii wngu bora wa muda wote🎉

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 7 месяцев назад +7

    Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤

  • @Robinson24560
    @Robinson24560 6 месяцев назад

    Gogogogo mbosso mshedede amapian to the world watakubali tu WCB for life

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 7 месяцев назад +12

    Kunguru ni yamoto sana 🔥🔥🔥 mbosso umetisha kinoma 💪

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 6 месяцев назад +2

    Ngoma kalii wakuu mko wap kujen hapa niwaonee nawapenda wote😂😂😂❤

  • @primetv600k
    @primetv600k 7 месяцев назад +21

    Wa kwanza from Kenya 😊

  • @Fortuneflavour
    @Fortuneflavour 6 месяцев назад +3

    Kwa makunguru wote 😂😂😂 hii iwe surprise kwenu. Awoooteee
    Confirmed by Fortune Flavour

  • @BrianAbanja-tq9rq
    @BrianAbanja-tq9rq 7 месяцев назад +31

    Representing Kanairo country number 254,where are my fellow guys,

  • @footystatx
    @footystatx 7 месяцев назад +28

    nimekua wa kumi leo..naombeni likes kwa niaba ya mbosso...pia njooni Muangalie Bongo Data..kwa taarifa zote za bongo

  • @sclanrghb
    @sclanrghb 6 месяцев назад +3

    Don’t know what he’s saying but this is fire 🔥🔥
    many loves from Louisiana united states

  • @Mbossokhqny-ub2bd
    @Mbossokhqny-ub2bd 7 месяцев назад +39

    Wakwanza naombe like zangu leo

  • @PatronizeNgombo
    @PatronizeNgombo 6 месяцев назад +10

    Woooh Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tukutane apachini tumufukuze huyo kunguru🦅🦅🦅🦅

  • @boynhanga4790
    @boynhanga4790 7 месяцев назад +21

    Leo mimi wa kwanza kutoka Msumbiji uku, Mozambique ❤

  • @KeroseneJacquesmtange-l4y
    @KeroseneJacquesmtange-l4y 4 месяца назад +3

    Teacher of Love 🎉🎉🎉🎉❤

  • @KuloloAgnes
    @KuloloAgnes 5 месяцев назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉maua kwa mbosso

  • @maxwellodoch7207
    @maxwellodoch7207 5 месяцев назад +2

    The beat man 😂😂😂, my speakers 🔊 need to go to the gym to cope. Well done Mbosso. 🔈 🔈 🔈

  • @DjVoizzmixes
    @DjVoizzmixes 6 месяцев назад +6

    Eeeeeeiiii...mbosso ii ukauaa...ila jamani..nani akakuumiza😂😂😂..ngoma imekaa saawa sana..lazma heartbreak io

  • @ShukuraniElie
    @ShukuraniElie 2 месяца назад +1

    Masta obeti bord vraiment même awana mboka Congo RDC 🇨🇩 c'est show moi ce IRA-ALLY-BSB ❤🇨🇩

  • @maggiendungu7078
    @maggiendungu7078 5 месяцев назад +5

    mbosso nakupenda from kenya 😢😢😢

  • @wistonzacariasza7234
    @wistonzacariasza7234 6 месяцев назад +1

    I am Mozambican I live in Portugal, I am watching Kunguru in Leiria city of Portugal.
    WCB on fire 🥵🥵🥵

  • @DanellaNdayizeye-cx1ry
    @DanellaNdayizeye-cx1ry 7 месяцев назад +17

    Fukuza Kunguruuu✌️✌️✌️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SamJux-yn7xu
    @SamJux-yn7xu 6 месяцев назад

    Oya ni Moto director katsha huyu mbosso mashedede kichwa kibov✊🏾✊🏾🤗

  • @Nastycontent-wr1gv
    @Nastycontent-wr1gv 7 месяцев назад +13

    From Kenya 😊🇰🇪❤️❤️

  • @Fatushimbegaz
    @Fatushimbegaz 6 месяцев назад +1

    Aki hii record imetisha atari❤❤❤

  • @milkawanjikunjoroge3651
    @milkawanjikunjoroge3651 6 месяцев назад +12

    The old somali shosh from tiktok amafanya nikimbie huku😅😅

  • @swahili2worldtv
    @swahili2worldtv 6 месяцев назад +1

    Kutoka MOMBASA tunakupata ❤❤❤❤

  • @user-cheedycheedy
    @user-cheedycheedy 6 месяцев назад +9

    Wa TZ tukusanyane hapa kwa like

  • @QueenLaYve
    @QueenLaYve 6 месяцев назад +2

    Kenya 🇰🇪 much love from KE❤

  • @RadjuNadhiru
    @RadjuNadhiru 7 месяцев назад +32

    Rwanda 🇷🇼 gather here for mshedede

  • @dandihamzah9671
    @dandihamzah9671 Месяц назад

    En une fraction de seconde il appelle l'esprit de l'art sur lui. Super 💪🏿🦾🫀❤️❤️

  • @AminKanefu
    @AminKanefu 7 месяцев назад +4

    Aweeeeee....!!!! By Mr okay 1time

  • @RizikiMagova
    @RizikiMagova 6 месяцев назад

    Fund wa muziki kunguru habari ya mjin hyo nyinbo ikipigwa tuu kunguru wenyewee wankimbiaa😂😂 nakubali wajina

  • @TumaTuma-wk4ys
    @TumaTuma-wk4ys 7 месяцев назад +4

    Mwidi wakusini 🎉🎉🎉🎉

  • @kingfisher101
    @kingfisher101 6 месяцев назад +2

    Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa

  • @SaitAbdullahMakenze
    @SaitAbdullahMakenze 6 месяцев назад +21

    Whoever from Burundi 🇧🇮 , and enjoy this song like me, send me my likes🎉🎉🎉

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon 6 месяцев назад +1

    Hajawahi disappoint huyu Mbosso... unyama sana🔥

  • @LilmmyCrazyOfficial
    @LilmmyCrazyOfficial 7 месяцев назад +5

    Wa kwanza mimi 😂😂😂😊

  • @ramadamasco9242
    @ramadamasco9242 7 месяцев назад

    Napenda Mbosso alivyokua kimziki .mziiki wake ameupa Ladhaa tofauti so Wamalavidavi Kiivo hadi Klabu znachezeka

  • @abdallahali-mk2ff
    @abdallahali-mk2ff 6 месяцев назад +3

    Wakwanza toka kenya nipeni likes❤❤

  • @RodgersMatara
    @RodgersMatara 6 месяцев назад +1

    The best of mbosso feel loved by great people of kenya

  • @rehanipaul7196
    @rehanipaul7196 7 месяцев назад +21

    Nipeni like zangi jaman wenzangu wa mboso

  • @Lisajos
    @Lisajos 6 месяцев назад +1

    Na ukome kuniita bebi na kujitumisha message aaah
    Fukuza kunguru 😊

  • @DELLYMG-d7x
    @DELLYMG-d7x 7 месяцев назад +542

    whoever likes the song touches my comment ❤

  • @JaelleKamwanya
    @JaelleKamwanya 4 месяца назад +1

    Yauuayaa mbosso 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MartinShambwe
    @MartinShambwe 7 месяцев назад +5

    Wakwanza jamani nipate hat like 5😢😢😢

  • @FurorarobatiManyoli
    @FurorarobatiManyoli 5 месяцев назад +1

    Namukubali mboxo n mwanamzk bora xan kam unamkbl mboxo like it

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 7 месяцев назад +22

    Ambao mnakubali Mbosso tujuane Kwa Like 🥰🎉🎉

    • @Coinfoodtz
      @Coinfoodtz 7 месяцев назад

      ruclips.net/video/izjxrmfSH8Q/видео.htmlsi=F9XiBJtxjm3yTtnj

  • @RICHARDRichardmatogokiza
    @RICHARDRichardmatogokiza 6 месяцев назад

    Umeticha sana mboso tufukuzie kunguru🎉🎉🎉

  • @Papa_fam
    @Papa_fam 7 месяцев назад +15

    Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @SibeKasongoMska-xs9dp
      @SibeKasongoMska-xs9dp 6 месяцев назад

      Rwandais infiltré toi nous allons finir avec vous ici chez nous Au Congo 🇨🇩😭 regarde son nez Idiot