Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Let's speak the facts, No duobt when you talk about african music you talk about Nigeria. If you want to win the game win nigerians first... I'm from Tanzania but this song nigerians viewed mostly compared to tanzanians.. Much love dear brothers and sisters from Nigeria🇹🇿🔥🇳🇬
Nice drop napenda sehemu ya marimba au zumari ya ladha ya Pwani S2kizzy the guy is Smart Who else have noticed this
Anaitwa Khan my favorite artist from Tanzania,, kama unaaminia mboso finya like tukisonga Africa love❤❤
Nime fika nyuma kindongo Léo kutoka Africa ya kusini 🇿🇦🇨🇩🇿🇦🇨🇩
juu mimi ni mkenya hamuezi nipea likes
Rwandan boi munipe Like 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥🔥🔥 Ba Nya Banyarwanda 🇷🇼🇷🇼
Murakoze😊
I'm from Sénégal.I lile tanzanian music. Mbosso, Diamond, Zuchu, Harmonize, ....
Welcome Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 love Senegal ❤
I'm from Guinea 🇬🇳 I like Tanzania music Diamond Harmonize Mbosso zuchu jux I love Tanzania dare Salam. ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mke wa ppidy
Sijawahi kupata like za mboso 🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Upo sehemu gn oman habity?mimi mabella.
@ maabela
Hata Mimi plz mtulike pia sisi😢😢😢
Mimi nipo Oman mji wa IBRA
Na sasa usipate inakusaidiaje uwe na busara wewe
Tobe honest, huyu jama anajua kuimba 🇷🇼 nampenda mbosso from Rwanda
Mungu akubariki unaesoma comment hii mwaka huu uishe kwa amani na mwaka ujao uuone ukiwa na afya njema
Amiin Yaarabb
Amiin
Amiin
Kwako pia 😘
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Team Mbosso tukihit 1m mniite alafu mkinifollow pia siezi mind
Ona sasa nimefika hapa wuuuuuuuuuuiii pumbavu zangu mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍💪💪💪💪💪🇰🇪👍👍🙏👍💪🇰🇪👍💪🇰🇪👍
Lalamie to the world,mbosso love from kayanza🇧🇮live in Nairobi🇰🇪
🫶
Kumbafu zangu wa kwanza hapa mkenya alaf mnipee huyu sasa nitulie jamani😂
Mjinga Mimi 😂😂😂😂
DM we make good family for our future kids😂😂😂
Hongera jirani❤❤❤
Tafuta kazi acha kushindia youtube
😅😅😅
Inshaallah mungu atuvushe huu mwaka kwa kila anayesoma hii comment
AMEEN
Vishavu...ilinichanganya kunipenda...utajifunga mkanda bila kanda kucheza...cheza na uchuzi wa kipuuzi tu...twende nalo from 254
Mbosso Khan from Mozambique 🇲🇿 ❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Banyarwanda mwampaye likes rata 😂😂 ukuntu itangira harakantu numvisemo kavuga nkayanuma twiganaga tukiri abana ❤❤❤❤❤❤❤❤ from Kigali Rwanda we luv u mbosso🎉🎉🎉🎉
Mbosso Mbosso Mbosso
This is the best creativity out of all your songs.
Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
🇲🇿🤦🏽♂️
Mozambique Wap?
Tu nous a oublié nous les comoriens🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
@@alitaibo6803Nipo hapa Maputo cidade
Pourquoi mets-tu les USA et oublies le Cabo-Verde 🇨🇻 ?!
Nakoshwa na OVA nikiwa Burundi 🇧🇮 Bujumbura
Like kwa wanao mkubal mbosso khan from UK
Nani Mkenya hapa ampe like zake
✌️
❤❤❤❤🖐️
SCAR MKADINALI
Mimi
@eshaomar9970 Shukran sana kaka
Mboso Fundi Kumzidi Hadi Boss Wake
Burundi 🇧🇮 🎉🎉🎉na rwanda 🇷🇼 tunakupata Tanu kwa tanu mbosso khan
Since Yamoto Band bado tuko strong....🇰🇪
Kenya 🇰🇪 We love This,❤️❤️❤️
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa
shilingiiiii shilinggiii, afu kabeeti kanafata kwa nyuma, daahh , hapo tu ndo umeniua mbosssso
NAKUBALI HIO MBOSSO KHAN IMEWEZA🔥❤️
Wimbo huu unatrend sana mombasa kuliko Tz yenyewe😅
Kabisa Yan duuh
Bana weee😂😂
Namba unisahe
Umejuaje na haupo TZ?
@abdulkareemchande7204 kwa sababu nalalaga kwako ama?
Maisha ni safari ndefu sana inatakiwa uvumilivu sana hongera sana mdogo wangu umevumilia mengi sana leo umejulikana nchi nzima na Dunia kwa ujumla
Nampenda muziki wa Tanzania ❤❤❤❤ Nampenda sana Mbosso !
😢Karibu sana Tanzania hakuna matata
Mbosso is music school
Hiyo sauti ndege hatari mno
Nyimbo mpya
a love you mbosso kk kwakutupatiya music 🎶 umetuliyakk
nimetoka Jana tuu nanime upeuonyombo ❤,
mboso mkali haibagi nyimbo za watu yeye kichwa
Mbosso auja waiih kushindwa mzeeh 🎉🎉🎉leteni like zenu apa kama uli achwa siku izih🎉🎉
Much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mbosso ni Fundi wa kukariri mashairi ya kiswahili😊
Ni mtunzi mzuri sana 😍
If you are proud of being tanzanian 🇹🇿 , then like this comment
Naomba like jaman sijawahi pata za kutosha
Kama unamkubali mboso na misosi unameza mimate
Gonga like apa 😅
Kumbafuuu wewe,ulidhaniaa sitaa nogoaaa tena kwa mapenzii.....ona sas,its Ovaa Ovaaa Umbwaaa wewe malayaaa tuu ata haukwa unanipendaaaa.... thanks mbosso.
Wa kwanza natokea Congo 🇨🇩🇨🇩
The only man that makes me feel like love exists is mbossooo. This guy can sing❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ugali bwana Mbosso Khan, Kenya's watching
Let's speak the facts, No duobt when you talk about african music you talk about Nigeria. If you want to win the game win nigerians first... I'm from Tanzania but this song nigerians viewed mostly compared to tanzanians..
Much love dear brothers and sisters from Nigeria🇹🇿🔥🇳🇬
mbosso ametisha nipeni like kama ni kweli
Mkenya hapa, hiyo video iko na Retro looks poa sana, cinematography iko juu
Eebwana @mbosso kichupa kimesimama kwelikweli,yaani ni🙌
Nimekua wa Kwanza kucometi kutoka Uganda 🇺🇬 msininyime like jamani
Bonge moja la video kmamae location kaliiiii
Wow, just wow...how Bongo creates jobs opportunity to our mothers and fathers is amazing things.
Daaah..!! Ila Khan Bana Ugali Tena😂😂😂🎉🎉❤❤🔥🔥🔥🙌🙌
Wcb wasafi tujuane apo ndugu zanguni 💕 💕 💕 💖
Mamb ❤
Mbossoooooh! UNYAMA saaana🔥👌
mboss mkali hapa kgl tunakubali mzee
Ayaa Wakwanza me Leo from Zanzibar
😊siezi kataa wasafi yote #mbosso ndiye malenga wa mistari na melody
Anaeungana na mimi kama hapa ni Zanzibar stone town gonga like yako hapa
Inakupenda sanah mwwnyawetu💕🥰🖖
My All time Wasafi Artist ❤
Kama ni msikilizaji mzuri hii ngoma its completely nomaaa
lovar bicard toka DRC🇨🇩 fans mbosso mupooo🎉❤❤
Im here from Zimbabwe 🇿🇼 ❤Harare i endorse this masterpiece song rich lyrics and matured video from @Zillion Avenue Photography 🇿🇼 ❤
🎉🎉😂kaka yangu huyu ila Mungu katupa wazazi tofauti 🎉❤
😂😂❤
Mbosso siku zote🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Kenya tujuane🎉❤
Sasa nilikuwa nadhani ni Ovacado😂😂😂
Hujawachana rais wangu,, wimbo ni mzuri ila umepowa sana sijakuzowea ivo❤❤
WA KWANZA NAOMBA LIKE
Mimi ndo wa kwanza
The touch of Bongo and Taarab combined.
Hatari sana
Mboso umeshindikana 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Sawa
Kubabakeee unajuaa wewe🙌🙌 mbosso na enjoy na penz jipyaaa
MBOSSO NI KICHAA ANAJUA SANA😀😀🔥🔥🔥
Shilingi mwanaharamu kwa kweli.kama unamkubali mbosso khan gonga like basi nimpelekee mbosso.
Prrrrrrrr...Rifa wa wapi jamani toba, OVA OVA yani😂👊👊🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Your Ambassador here in kenya🎉
Kenyans watching salute to Kenyans❤
All the from Tz to põkøt 💚much love every day lazima nibuy bundle niingie nisikie hii wimbo dah kazi safi sana
Mbosso Khan 🔥🔥🔥
Mbosso mziki mzuri unaujua sasa sijui kwann haupatagi matunzo
Daimond,harmonze,Alikiba 🌹🌹🌹.marioo,mboso,jaymelody 🌺 🌺 🌺.raivany out kacheze unapochezeaga 😅😅
Daaah! we jamaa ila ni kweli jamaa kapotezwa na hao watt
SIo utAn kilungi baba video of the year ❤❤❤❤🙏👀
Vishavu zimeanza kunona , kitambi ndio hio , likes za watu wanaona God us done something this year iko wapi
Kaka mbosso natakaku fanya kazi nawewe❤❤❤❤❤❤❤
Sele bwana❤, kama unankubali KHAN, gonga like
Ova by mbosso Khan ni noma sana 🔥🔥🔥🙌
Nipe like kama unapenda mboso 😂😂😂 1:58
Nice song and nice music 🎵
Big love all Tanzanian brother's for
Somalia
🇸🇴
Creativity in this video is of another level
Content
Msani wangu no 1 Juma jux a.k.a African boy 🎉🎉🎉 Nipo ma wew kila Cku
OVA kwisha mm wa mwisho like hata moja inatosha😂😂
2:25.. From Kenya ,we love you mbosooo🎉❤
Who love this guy, I'm from guinea 🇬🇳
Welcome Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤ Guinea too
Aya na mm kutoka kimanga 🥰🥰
Ova hii nyimbo ndio maisha ninayo piatia sahii
Na mimi pia
Pole
@@YahayaMnyepe ni tatizo ya muda tuu
We are many😢
Huyu dogo aixeeee anajua kuandika na kuimba. Big up sana
Ovaaaa imetosha 😮😮😮 kmk 🔥
Here representing Uganda 🇺🇬 🇺🇬 the pearl of Africa one love 🇹🇿 ❤🇺🇬
This guy makes only good songs 👍👍👍❤, I love you mbosso from Rwanda 🇷🇼✌️✌️
Mbosso wakenya wakupenda❤❤🇰🇪🇰🇪
WCB WASAFI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I love your music Mbosso can't get enough of your music,, Keep winning 🎉🇰🇪🇰🇪
WCB WASAFI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤