ATAMBULISHWA RASMI KUWA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA TAG MAJUMBA SITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 155

  • @MUSAMWAMPAMBA
    @MUSAMWAMPAMBA 13 дней назад +1

    Hongela mchungaji kanemba ninakukubali Mungu yuko pamoja nawe akutumie kama chombo chake

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 12 дней назад

    Majumba Sita mtafuteni Mungu upya maana kipindi kama hicho Kanisa linapasuka na kondoo kutawanyika mshike Mungu kwa bidii sana sana sana sana Mungu atazame na kuwa mchungaji wa roho zenu msizimie mioyo Yesu yuaja haraka

  • @HezronSangam
    @HezronSangam 15 дней назад +5

    Nasikitika sana kuona kanisan kunaunafki tutakimbilia wap😭😭.Mungu SI Mwanadamu

  • @MpendwaktkYesu-y9f
    @MpendwaktkYesu-y9f 16 дней назад +1

    Hapo kazi iendelee mbele, mambo safi, kanisa s
    Viyo la mtu ni la Yesu...

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 10 дней назад +1

    Huyo baba anayeongea nasikia loho yng inaniambia ni mchawi sijui kwann Mungu anisamehe km nimekosea ila nasikia lohon kwangu

  • @JeremiahMwalukosya
    @JeremiahMwalukosya 17 дней назад +5

    Mchungaji yupo vizuri sana watu wa majumba sita wamepata mchungaji safi sana

    • @ElizabethMsizio
      @ElizabethMsizio 15 дней назад

      Kuliko magembe

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 15 дней назад +1

      @ElizabethMsizio Kila mchungaji ana neema yake na wote niwainjilisti lkn huyu namwona ndani yake na roho pia ya uchungaji ambayo magembe hana

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 14 дней назад

      Je wewe ni nabii?​@@JeremiahMwalukosya

  • @hezekiahouma5589
    @hezekiahouma5589 14 дней назад

    Hongera kwa Pastor Danstan Kanemba kwa kuchukua uongozi wa kanisa.

  • @JamesMwankenja
    @JamesMwankenja 11 дней назад

    Kanisa la sasa tunayo kazi yatupasa kusimama na kumuomba mungu sana kanisa linapotea na si T A G tu makanisa mengi yapo kwenye mpito

  • @DavidIsaya-zn1gp
    @DavidIsaya-zn1gp 18 дней назад +10

    Hata walio baki hawana faraha mioyoni, kwa upande wa majengo Mungu haishi kwenye majengo, ni ndani ya mioyo safi isiyo na hila

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 17 дней назад +3

    Chama Fulani Cha siasa nikama kimeingia Mahali pa Kuabudia!!

  • @mwinjilistibahationesmo8266
    @mwinjilistibahationesmo8266 10 дней назад

    Mungu aendelee kuwahudumia Kwa Injili ya kweli ISIYOGHOSHIWA kama MCH. Magembe alivyokuwa akisema ukweli wa Neno la Mungu.

  • @nkanabodastan7887
    @nkanabodastan7887 16 дней назад +1

    Ninamjua Kanemba vzr, anachokitu cha Kiungu ndani yake. Anahitaji Maombi yako kiweze kuwa dhahiri Majumbasita.

  • @josephkachira6278
    @josephkachira6278 17 дней назад +2

    Acheni upumbavu...elimu ya dunia hii na kusafiri nchi nyingi ndio ili iweje Sasa.inahusiana vipi na wito binafsi wa Mungu..Viburi havitawasaidia TAG.

  • @barakamwangama9109
    @barakamwangama9109 11 дней назад

    Unaonekana mtumishi upo mwilini sana

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt 17 дней назад

    Mbona wamenuna,wametahayari,poleni sana,majira mapya muhimu mmtumikie Mungu

  • @DerickNdasalama-s9n
    @DerickNdasalama-s9n 17 дней назад +2

    Yaaani utafikiri lichawi linaongea shida tupuuu we stand with Magembe

  • @Sarah-g9v4w
    @Sarah-g9v4w 18 дней назад +3

    Ila mchungaji Kanemba huwa mnampeleka sehemu ambazo mnaondoa watu. Nakumbuka mlimpeleka Magomeni baada ya kumtoa Mch Sasali, sasa ni Majumba sita baada ya kumtoa( kuondoka) kwa Magembe.

  • @robertlubhungira1160
    @robertlubhungira1160 18 дней назад +5

    Mwana saikolojia gani? Hii inahitaji unafiki sana kuishi TAG

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 17 дней назад

    Mmmmmmm kwa maneno hayo yanayozungumzwa ni vijembe vitupu.Mungu wasaidie wa TAG wenzetu

  • @EdinaKimello
    @EdinaKimello 18 дней назад +1

    Safi sana wakuu wangu wa dini na kanisa zuri la TAG.Niombe washirika wenzangu hapo majumba sita waelekeze nguvu kumtumikia Mungu China ya uongozi wa mch.Kanemba na kumuombea mch.Magembe huko alikoenda ili kutotoa nafasi kwa shetani.By sanga.T kutoka TAG Isimani

    • @qulasulle-hp1ni
      @qulasulle-hp1ni 18 дней назад

      Fagilia dini Yako tu ila mjue uwepo Mungu haupo na TAG ya Sasa!

    • @bernadethadouglasmbala2392
      @bernadethadouglasmbala2392 18 дней назад +1

      Ukisema kanisa nzuri unamaanisha nini😮

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 18 дней назад +2

      Magembe hatoanguka Wala Hana mpango wakumpa shetani nafasi,tag mmepoteza jembe sanduku la Bwana limeondolewa kwenu

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 16 дней назад

      Usihukumu. Makanisa (madhehebu) yote yana madhaifu. Hakuna kanisa ambalo ndani yake hakuna waovu na watenda dhambi. ​@@qulasulle-hp1ni

  • @ZakayoKihwelo
    @ZakayoKihwelo 16 дней назад

    Hongera watu wa majumba sita kumpata pastor kanemba kuwa mchungaji wenu mmtie moyo

  • @AmanMpwacha
    @AmanMpwacha 14 дней назад

    Hahahahahahaaaaa JAMAN TAG yan cv kanisaniii duuuu huyooo huwenda asiwe na hudumaa kabisa

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 12 дней назад

    Si kweli mchungaji kuwa tuna amani n kutuhamishia hamishia wachungaji maana ni sawa na watoto kuwahamishia baba Kila siku mfumo huu unalenga kuimarisha dini si wokovu wetu kutaja sifa zote haisaidii hata kidogo unataja ya mwilini Rohoni hakuna uhusisiano wowote acha hayo sikiliza unabii wa Kanisa tupone la sivyo mkono wa Mungu utaondolewa Kabisa kabisa

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 17 дней назад +1

    Chini ya Pastor Kanemba kanisa la Majumba sita litakuwa kubwa na imara sana

  • @DavidIsaya-zn1gp
    @DavidIsaya-zn1gp 18 дней назад +2

    Hiyo itawala hiyo roho ya kutokutii maonyo ninyi, mpondeni lakini, Mungu hayupo kuangalia elimu Mungu yupo kwa wale wenye mioyo iliyo pondeka yenye utii

  • @siriliJoseph
    @siriliJoseph 12 дней назад

    Asee magembe alipambana sana uyoo kanemba uyoo awez kula jasho la mtu 😢

  • @emmanuelmayengo
    @emmanuelmayengo 18 дней назад +4

    Magodauni which 😏😏 itoshe kusema uongozi umepanick sanaaa kiasi cha kuruhusu akili zao badala ya kruhusu Roho mtakatifu kusimama katika maamuzi yaoo

  • @onesmoalphonce3676
    @onesmoalphonce3676 16 дней назад

    Mungu atusaidie

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 17 дней назад

    Tunasimama na Tundu Lisu❤

  • @bensonmwaikuju9226
    @bensonmwaikuju9226 18 дней назад +2

    Huyu mzee hayupo unafiki mwingi sana.

  • @ernestkibano
    @ernestkibano 17 дней назад +1

    Katika maisha lazima mambo ya endelee tu magembe kaenda na Yesu na Kanemba kabaki na Yesu

  • @DavidShija-m3q
    @DavidShija-m3q 14 дней назад

    Sikilzeni vizuri cvii za mchungaji mpya,,,jamani wap MAGEMBE THE BIGGEST ONE

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 17 дней назад

    Acha kumpigia debe afanye kazi kazi itamtambulisha

  • @brianshomi722
    @brianshomi722 13 дней назад

    Yaani kuonyesha cv za elimu yake ndiyo kuwa na upako 😂😂😂😂

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 18 дней назад +1

    Kuingia siasa kwenye makanisa na biashara ni tatizo Yesu wahi dunia ina angamia

  • @AmosNdila
    @AmosNdila 16 дней назад

    Hakika niliseme kwa maana roho wa Mungu anaonesha hio huduma inayotolewa baaada ya much. Magembe haitadumu lasiivyo mjinyenyekeze sana mbele za Mungu 🙏

    • @akberyuda5950
      @akberyuda5950 12 дней назад

      @@AmosNdila WALIOMFUATA MAGEMBE WATAKUFA WALIOMFUATA YESU WATASIMAMA " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU AMFANYAYE KUWA KINGA YAKE NAYE ATAKUWA KAMA FUKARA NYIKANI😥😥😥😥 YEREMIA 17:5

  • @propKibali
    @propKibali 18 дней назад +2

    Ps simama upande wa Yesu, ukibebelea wokovu wa kisasa, wa mapambo na kualika wasanii wa bongo flava kutumbuiza, huna mshirika, kumbuka ni mbegu miaka 50 tangu ipandwe iko hapo!

  • @JerrySmartfarm
    @JerrySmartfarm 15 дней назад +1

    Tunamtaka Magembe wetu,hatutoi sadaka mpaka magembe Arudishwe

  • @DavidIsaya-zn1gp
    @DavidIsaya-zn1gp 18 дней назад +2

    Siyo kila kiongozi atakalo ongea latoka kwa Mungu la!

  • @zephrydanaromwanabhajamari2345
    @zephrydanaromwanabhajamari2345 13 дней назад

    Hapo majumba sita tayari kumeshavurugika maana huyo mchungaji mpaka akubarike Mungu amtie nguvu ahubiri neno asiende kukosoa Yale ya maghembe Wala asizungumze habari ya maghembe hapo hataweza

  • @elizabethlobe4353
    @elizabethlobe4353 18 дней назад +2

    Unasema kipindi Musa anakufa
    Sasa mbona magembe ajafa yesu kanisa laleo ninakuwa ni biashara jamani mbona ivi kanisa linakufa namunaliangalia tu mutatowa esabu ata wamini awafurai ata kidogo uruma sana munapenda kufundisha mateolojia yenu ninyi njo munatakiwa kuombewa siyo magembe

  • @EsterMathayoMollel
    @EsterMathayoMollel 18 дней назад +1

    MUNGU atukumbuke sana, neno linasema nitampiga mchungaji na kondoo watasambaratika. Any way mm naumia sana kuona sehem nyeti kama hizi hakuna maelewano, yan ni kero jamani😢😢 tumfie kristo na sio majengo😢 Mungu tusaidie sana, nisaidie mimi nikujue na niijue kweli yako.

  • @joshuakusena
    @joshuakusena 4 дня назад

    Kanisa limejaa maaskofu wenye wasomi kama mafarisayo. Mludieni Mungu

  • @OmbeniFabrice-w5y
    @OmbeniFabrice-w5y 18 дней назад

    Muchungaji.mungu.anakiyele.atatenda.kwako.wewe.ahujuwi.mpango.ya.mungu.kwako.nini.ni.mjumbe.toka.congo.kwa.majina.nimaombi

  • @ShabaniManginja-f4f
    @ShabaniManginja-f4f 14 дней назад

    Namkumbuka sana mosesi kulola toka 1986 pale teneke hospital

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 18 дней назад +2

    Ana kibarua kanemba,kuendeleza misimamo ya magembe

  • @hassanyohna6121
    @hassanyohna6121 18 дней назад +2

    Hampendi Ukweli mnapenda Uongo Endeleeni kudanganywa na Wachumia matumbo sio Wachungaji sasa huyo magembe Amekufa Acha mifano feki Mzee

  • @shemasimkuu
    @shemasimkuu 18 дней назад +2

    T. G. A ulikuwa I. C. U saivi mmekufa kabisa 😂😂😂

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 17 дней назад

      Basi ninyi mtakuwa mahututi maana alie na loho wa Mungu hayuko hivyo hafulahii anguko la mwingine bari humia pamoja la loho wa Mungu

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 13 дней назад

      ​@@JeremiahMwalukosyaChali Chali Chali 😢😂

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 13 дней назад

      @@brianshomi722 hongera zako sana

  • @estermgoma7451
    @estermgoma7451 18 дней назад +5

    Uwiii mambo ya dini hayoo na litrulujia hamna muongozo wa Roho hapo

    • @emmanuelmayengo
      @emmanuelmayengo 18 дней назад

      kwakweliii hapaaa hatuhukumu ila hizi litrujiaa kuna namna zinatuharibuuuu

    • @EsterMathayoMollel
      @EsterMathayoMollel 18 дней назад

      Hivi ni kweli liturujia imeanza T a g kweli?

  • @babytoolsshop
    @babytoolsshop 17 дней назад +1

    Wanaolitusi kanisa,kumbukeni watu wengi waliishaondoka na walikua maarufu zaidi. Lkn hadi leo kanisa linasonga mbele. For sure namuogopa Mungu sana ambaye hayupo ktk misisimko

    • @CharlesSomeke-p8m
      @CharlesSomeke-p8m 17 дней назад

      Hamuwezi kua na matendo mabovu msionywe

    • @EricTrillz
      @EricTrillz 16 дней назад

      KANISA LIPI LINASONGA MBELE MBONA WEWE TU NDIO UNAONA AU HIYO MIPASHO??

    • @lindakapongo8421
      @lindakapongo8421 11 дней назад

      kusonga mbele kwenda wapi njia ya mbinguni au

    • @lindakapongo8421
      @lindakapongo8421 11 дней назад

      miwanja lipu sitiki kope za bandia na yote kakosea kuonya yesu alitangika na xboko ili watu wapone amechu jwa mtu wa Mungu

  • @ShabaniManginja-f4f
    @ShabaniManginja-f4f 14 дней назад

    Ata ao washirika awana furahaa mnawalazimisha kuwamini ujinga

  • @kazimotomaswi9700
    @kazimotomaswi9700 15 дней назад

    Eehe hii ndio picha ya upentekoste yenyewe yaani mnamnadi kama mgombea

  • @NicodemusGasore-xk9kd
    @NicodemusGasore-xk9kd 18 дней назад +2

    Kwel dini imekuwa ajira had cv....mwenye camera onesha basi congregation....

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 18 дней назад +1

    Hamna kitu hapo ni hatali 😅

  • @juliustoba9432
    @juliustoba9432 16 дней назад +1

    Mtume Petro, Yohana, na Mitume wengine wa YESU KRISTO walisoma madarasa manganin???!!!!
    Hiyo elimu ya duniani ndio inayowaumiza bila kujijua. Tumieni elimu ya KIROHO(ujuzi wa NENO LA MUNGU) kuongoza Kanisa.

  • @deogratiusKiteti
    @deogratiusKiteti 10 дней назад

    Mna tamaa nyie

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 16 дней назад +1

    TUTAONA MAPEPO YANAVYOTOKA NA UPONYAJI NA SHUHUDA NYINGI KAMA KIPINDI CHA MOSES KOLOLA.HATUTEGEMEI MANENO TU KWANI BIBLIA TUMESHASOMA YOTE.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 17 дней назад +1

    VIZURI SANA

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 14 дней назад

    TAG ITABAKI IMARA NI KANISA ZURI SANA LINALOONGOZWA KIKATIBA

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 13 дней назад

      😂😂😂kwa ROHO MTAKATIFU amekaa pembeni na Sasa katiba ndiyo imechukua nafasi 😂😢hahaaaaaaaaaaaa.......

  • @ReginaKisuda
    @ReginaKisuda 17 дней назад +1

    Kwani magembe kafa?😢😢😢

  • @AnthonyNdungu-e9m
    @AnthonyNdungu-e9m 15 дней назад

    Unauzia kanisa Dunia ,washauri wafuate neno sio uongozi wa mtu,waaminio msikatalie hapo kwasababu ya njengo mlipo mtolea Mungu mlibarikiwa fuateni neno saduku la agano halikopo tena

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini 18 дней назад +1

    Huyu mzeee mbona kama siasa kubwa sana😂😂😂😂

    • @bernadethadouglasmbala2392
      @bernadethadouglasmbala2392 18 дней назад

      Saana

    • @emmanuelmayengo
      @emmanuelmayengo 18 дней назад

      kwakweli mm mwenyewe mpk sasa najiuliza.hizo sifa za kidunia kusafiri nchi nyingi kukutana na watu wengi ndio sifa za kupewa kanisa🤔🤔🤔

  • @daudmwangomale5007
    @daudmwangomale5007 16 дней назад

    Wanaoshangilia niwazinz

  • @OmegaMwaikuju
    @OmegaMwaikuju 18 дней назад +1

    TAG inataka maneno kama haya yakusifiana ukisema ukweli unakuwa adui, viongozi wanataka kusifiwa sifiwa

  • @Stephano-g3g
    @Stephano-g3g 18 дней назад +1

    Liturujia limeingia TAG

  • @ManHussein.
    @ManHussein. 14 дней назад

    Mama mchungaji nywele hizo

  • @OscarLucars
    @OscarLucars 14 дней назад

    Nimewaona waumini wenye akili timamu wenye roho wa BWANA ndani yao nyuso zao zikinieleza jambo MUNGU wa mbinguni awaongoze kuipata kweli ya yake kupitia roho mtakatifu

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 12 дней назад

    hata yesu walimvua nguo limetimia kwa magembe

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 14 дней назад

    Jamani mkono haunyanyui

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 18 дней назад +2

    watu wengi hawana amani wapo kwa vile wamefika kanisani, wengi watahama na kanisa litaanza kupungua.

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v 17 дней назад

      Ata kama wakiiisha TAG ni kubwa mno na kanemba namwamini anaijua kazi hii ndo mana makao makuu wamemleta

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 16 дней назад +1

    MOSES MAGEMBE OYEEEEEEEEEE

  • @deborahsengo5307
    @deborahsengo5307 15 дней назад

    🙏🏿🙏🏿

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 14 дней назад

    Walokole mnagombana sana hamuoni aibu

  • @valentinamangula1128
    @valentinamangula1128 12 дней назад

    Mmmmmm

  • @fabianmkimbu880
    @fabianmkimbu880 16 дней назад

    Hawa watu ni wa Ajabu sana, yaani hawataki kanisa lionywe wakati hata kwa macho ya kibinadamu tu tunaona kanisa limeyumba,sasa uhamsho wanaoutaka ni upi? Magembe mahubiri yake yamelenga kuliamsha kanisa na ndiyo injili inayotakiwa kipindi hiki cha nyakati za mwisho,dhambi lazima ikemewe kanisani,lkn makanisa mengi wanaogopa kukemia dhambi eti waumini wao wataondoka nao watakosa sadaka,Viongozi wengi wakanisa hawapo kwa ajili ya kumtangaza kristo bali wapo kutafuta sadaka kwa ajili ya kuishi maisha mazuri ya duniani tu, lkn sisi wengine tumepata neema ya kujua kuwa nyakati hizi zilishatabiriwa kwamba hata wateule watamkana krsto,ndiyo maana unaona makanisa mengi yanagawanyika walio wengi wanagombea kupata sada lkn siyo kumtangaza kristo.injili yao ni ya toa ubarikiwe yaani wanatangaza mafanikio ya kidunia hambayo siyo lengo la Bwana wetu Yesu kristo,Kristo alitaka watu watubu dhambi na kuziacha ili wawe na uzima wa milele baada ya maisha haya ya duniani kuisha.

  • @hosealutangilo5058
    @hosealutangilo5058 18 дней назад

    Bishop Mhidze ameongea kwa hekima!!

  • @gpupinternational
    @gpupinternational 17 дней назад

    Ni Bora umkimbilie MUNGU,kuliko wanadamu.

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 17 дней назад

    Naona kama nasikia pepo anaongea!!!

  • @elizabethlobe4353
    @elizabethlobe4353 18 дней назад

    Nawewe unafuraiya tu. Ila ujuwe fimbo inayopikiya mwenzako usitiye chini yakitanda kipindi itakugeukia utakajuta ya magembe ilikuwa afazali yakwako utakajuta ninzuri ubiri zambi ukiubiri utakatifu utafukuzwa kuliko magembe. Isifurai juu ya mwenzako

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 16 дней назад

    Hayajafuata riho za watu kafuata sadaka zao kwa niaba ya TAG ambacho ndicho chanzo cha magomvi yote yalipoanzia

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 18 дней назад

    Hao washirika wa kanisa la Magomeni, mh, si marasta hayo!

  • @PhilsNyamai
    @PhilsNyamai 18 дней назад

    Saizi TAg mmekua kama wachawi tu hakuna lolote hapo mnatumia akili sana kuliko Riho biblia inasema mliaza katika Roho mana maliza katika mwili shem on you

  • @DavidIsaya-zn1gp
    @DavidIsaya-zn1gp 18 дней назад +1

    TAG kitu kingine mlicho kosea nikuwapeleka wake wa wachungaji kusomea uchungaji, hata kama hana wito, mi nimewahi kusali tag nikawa nalazimishwa kutumika et mi nimwinjilisti

    • @JohnSwain-s1r
      @JohnSwain-s1r 18 дней назад

      Ulicho ONGEA hapo Sasa ni Nini kutumika SI jukumu la kila mwamini KAZI ya kanisa ni KUHUBIRI injili Sasa unataka mama MCHUNGAJI akaye to u bila KAZI yeye Naye anatakiwa amzaliye Kristo matunda

  • @MoïseCizungu
    @MoïseCizungu 18 дней назад

    Huyo Mchungaji hatakuwa kama Magembe hata kidogo. Waumini wana shida kubwa.

  • @MaswekoJackson
    @MaswekoJackson 17 дней назад

    Inaonekana hapo kuna masilahi na sadaka za kutosha

  • @ReginaKisuda
    @ReginaKisuda 17 дней назад

    Hapa kumeshakucha,kwan aliyeondoka alikuwa mkia ,? Wapenda dhambi ndo wanapiga makofi ,lakin kikawaida inaskitisha kwa kanisaa,ningesema lakin ni mtandaon siwez kusema

  • @MaswekoJackson
    @MaswekoJackson 17 дней назад

    Joshua alitembea na musa MUNGU akayaona mawazo ya Joshua na Musa yanaendana,je huyo uliyemunadi sana mawazo yake yanaendana na ya magembe

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD 17 дней назад +1

    Hata magomeni kipindi cha Sasali likayumba kwa muda mfupi lkn likajihimarisha likawa bora kuliko mwanzo viburi majivumo na dharau havifai kama kiongozi wa dini, Magembe alikuwa bora ila kuna muda alikuwa anakosea kanisa. Poleni na hongereni TAG Mungu awasimamie

    • @mathiasjames
      @mathiasjames 17 дней назад

      Uliwahi kumwambia ukweli wake ? Kama hukumwambia wewe ni mnafiki

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 17 дней назад

      Tena mnafiki kabisa maana mtu lazima akikosea umwambie ili ajue kosa lake.Mungu atusaidie

  • @lucasolody1017
    @lucasolody1017 15 дней назад

    MTU MZIMA " WHOLE PERSON"

  • @tygadaclassic3488
    @tygadaclassic3488 18 дней назад +12

    Majumba6 msiache misingi ya mzee magembe, lasivyo mtaanza kuvaa mawigi, rasta na nguo za kubana, mambo ambayo hayajawai kuwa kwenu?msisahau tatu kavu kila mwezi,maombi ya siku 40 yanaisha kesho, lakini mzee alisema yakiisha tunaingia 40 zingine mpaka vitu vitokee ??

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 18 дней назад

      UPO SAHIHI SANA

    • @DavidIsaya-zn1gp
      @DavidIsaya-zn1gp 18 дней назад

      Shalom Mtumishi Mungu kazini walio wake atawatoa hata akiwa ktkt ya mbwa mwitu ataondoka tu hata walio baki walio hai watachomoka tu,

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 18 дней назад

      Mapambo unapoyakumbatia madhabahuni hayawexi kukuacha salama ni lazima yakutie upofu. Much Katekela anayajua hayo ila yakikaripiwa hupata utetezi.

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 17 дней назад

    yani mnatambulisha mambo ya dunia ya kipumbavu kabisa, kanisa limekuwa kama la kidini

  • @FrediNgoilenya
    @FrediNgoilenya 17 дней назад

    Mzee kumbe mmemuonea mwenzenu bure mbona hapounapigakambeni wesema unafanyasiasa kanisani bwana

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 17 дней назад

    T.A.G ile laana ya moses kulola bado inawatafuna, tubuni mpone laasivyo hukumu juu yenu inakuja

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 17 дней назад

    HAO NDIO VIONGOZI WENYE HAKIMA YA UONGOZI

  • @SamweliBenno
    @SamweliBenno 18 дней назад

    Baba hapo epunga umekuja kuwatumikia wanadamu Tena mtumishi

  • @DivineChurch
    @DivineChurch 14 дней назад

    Ukweri utabaki palepale

  • @shemasimkuu
    @shemasimkuu 18 дней назад

    Kuna msemo unasema mkataa pema pabaya panamuita T. G. A inakwenda kupotea kuwa kanisa la kiroho

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 17 дней назад +1

    Mmmmmmmmmm😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @PhilsNyamai
    @PhilsNyamai 18 дней назад

    Mmekua kama makapi tu saizi

  • @musashadrack1164
    @musashadrack1164 18 дней назад

    Kanisa la T A G linakufa ww unaleta siana badala ya kusema kweli unafunika uovu wenu ,simamien misingi ya kanisa mbona mmepoa