Pr Swita, Kwa swali Hilo la Kaimu mch Umesema vema lkn Leo Kila Kona na Kila mtaa wapo na wanajulikana hivyo na wanatambulishwa hivyo na hakuna katazo juu ya Hilo lkn pia wasaidizi WA wachungaji Kwa mujibu WA mwongozo WA KANISA ni wazee WA makanisa. Mahali pengine unakuta Hawo waonaitwa makaimu si miongoni mwa wazee WA KANISA mojawapo.
Pr Mbwana Mungu akubariki sana. Umeniongea mwendo kiroho. Barikiwa sana
Seminar Nzuri sana Tatizo watoto Wachungaji hawabadili kusuka nyewee
Kuvaa Nguo Nusu uchi ma Pk
Hube tukueni hatua
Barikiwa postr kwa majibu yakina na meelezo ya kujenga
Mungu akubariki sana mchungaji umejenga sana.
Tunabarikiwa sana pasta
i understand an exraordinary answers, be blessed there
What is PK?
@@alexmwezanchuro4696Pastor's kids
Pastor's Kids
Pr Swita, Kwa swali Hilo la Kaimu mch Umesema vema lkn Leo Kila Kona na Kila mtaa wapo na wanajulikana hivyo na wanatambulishwa hivyo na hakuna katazo juu ya Hilo lkn pia wasaidizi WA wachungaji Kwa mujibu WA mwongozo WA KANISA ni wazee WA makanisa. Mahali pengine unakuta Hawo waonaitwa makaimu si miongoni mwa wazee WA KANISA mojawapo.
Uhuru wa kuchagua
Pk chukueni uzoefu na Mashauri hayo ni kuyarithisha makanisani Kwa vitendo. Mbarikiwe Sana na Bwana awe nanyi.
Lusi Nyakutonya uko uku 😊
Pks nini?
Maana ya PK naomba msaada eeeee baba
Pastor's kids
Jamani mnafundisha watu nini???mjadala makini namna hii mnashindwa kuangalia mtu amevaa nn mnamuweka mtoto wa mchungaji amevaa hovyo hovyo tu
Huyu dada amevaa nini
@@IsayaNgoiva nguo mkuu
Alikuwa uchi.
Lihimidiwe jina la Mungu kwamba mama huyu amemuondoa.
Ndio tatizo la watoto wa kike wa wachungaji.