Mchungaji Magembe umekuwa baraka sana katika maisha yangu. Mahubiri yako ni Injili ya kweli ya Yesu. Ninaamini Mungu huwapenda wote wanaomtumi kia katika kweli bila kujali wapo na kanisa lenye jina gani. Ubarikiwe sana mchungaji na Mungu awe nawe daima. Mimi na mume wangu Patrick tunakupenda sana
Pole/ hongera mtumishi wa Mungu, haujaasi, na km umeasi bc n kadr ya mtazamo wa watu. Binafs nahc. Tuu haya majina ya MOSES haya yana alleji na T. A. G pia km wajina wako alivyofnya HAKUENDELEZA UGONVI au Vta bali alimuachia Mungu aliyemhukum wa haki , akaendelea na huduma aliyoitiwa ht mda ulipofika akapumzk ktk kaz yke!
Waaaooh barikiwa! Ikiwa uliokoka kwa huduma ya kufikiwa shuleni bc jione mden nawe kuwafikia ndg wng walioko ktk taasis za Elimu cs vyuo na maeneo meng ya elimu ndy machinjo ya kiroho ya wakristo na mahari pakuwajaza watu kiburi cha uzima kupitia hzo elim za kidunia.
Pole sana na misukosuko mch.Magembe ,Mungu akutie nguvu na abariki huduma yako, abariki vilevile wale waliokuwa chini ya huduma yako huko ulikokuwa .Nafurahia mahubiri yako nikiwa Burundi🇧🇮
Nakumbuka 2021 kwenye kambi ya vijana,ile siku Nilikutana na uwepo wa Mungu wa ajabu sana baba wewe ni hazina yetu sisi vijana tunajifunza kupitia wewe BABA...YESU WA MBINGUNI AKUFUNIKE CHINI YA MBAWA ZAKE❤❤
Nikiwa mkubwa ntamuomba Mungu niipate hii Neema ya kuwa consistent na kukataa kujilazimisha kuwapendeza wapagani ambao kwano Neema ya Mungu ni ruhusa ya kuwa Wapagani... Hongera sana Rev. Maghembe.... Mungu yuko nawe....
Mimi binafsi naguswa sana na huduma yako namwona Mungu akinitetea na kuniinua kupitia mahubiri yako. Nakuombea Mungu akuinue zaidi na akutetee katika huduma yako.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiii hadi natokwa machozi Mungu TUHURUMIE INJILI YA KWELI IMEACHWA WATU WANAHUBIRI VYAKULA VYAO NA MATUMBO YAO.... HAKIKA YESU ANARUDI TUTUBU DHAMBI YESU ANARUDI
Mungu akutete sana mtumishi wa mungu wengne hatuwez ongea sana maana tulikokua nigiza nene kupitia mahubili yako tumepona siwew bali mungu anakutumia kuokoa roho zilizopotea mungu akubariki
Umefanya uwamuzi sahihi sana Mzee wetu .. sisi tunaokuwa tunajifunza sana namna kanisa linavyotakiwa kuwa kwani wahubiri wengi na wachungaji wa sasa hawana utofauti na watu wa Dunia..Baba keep it up. tunaojifunza niwengi ni vile hawezi ukajua kwa haraka ila amini tupo wengi tunaojifunza hata kama hatuji kwenye mafundisho yako.
Mungu akutie nguvu shujaa, tunakuombea ihubiri kweli. Nimekufahamu tangu 1994 tukiwa kwenye kambi la CAs pale Meta sec Mbeya. Injili ileile haijabadirika, Mungu akupe maisha marefu.
TAG Aliondoka baba yetu Mzee Moses Kulola, na sasa ameondoka baba yetu Mzee Moses Maghembe. Watumishi wa Mungu viongozi wa TAG tafakarini mambo haya ya kiroho. Hotuba ya baba Askofu wa TAG aliyoitoa kanisani Majumba sita, inathibitisha kwamba wao kama viongozi wana kitu cha kutafakari
Hongera sana Baba magembe umefanya vyema Mungu akubariki na akutangulie songa mbele piga kazi ya Ya injili maana ndio wito ulioitiwa na Bwana yesu akutangulie sana songa mbele na kazi ya kuwaleta watu kwa yesu na kila anayekusema vibaya Mungu atamshugulikia na Mungu atakulipa
Baba,Mungu aliyekuita akutumie jamani,kawaida ya ufahamu wa kibinadamu huwa hatupendi kuambiwa kweli,na ukiisema kweli lazima utakuwa adui wa wengi.Baba sema kweli ile Mungu umekuongoza.
Amina x2 Baba Tuko Nyuma Yako! Nawiwiwa Ningeli Kuwa Home! Mungu Akutunze Mpaka Atakapopatikana wa Kupokea Kijiti in Jesus Name! Huu ni Wito wa Mungu 🔥👏🏻🧎🏾♀️
Walokole wa T. A. G hawapendi ukweli. Humo ndani kuna maagent wengi sana shetani kawapeleka siku hizi kila kitu kimeoza sio kwaya sio mahubiri hamna kitu. Mtokambali na wazee wenzako mwogopeni Mungu mnaliua kanisa. Mchungaji maghembe, Mungu akulinde na kukutunza sana
Watu wengi wa makanisa ya kilokole hasa TAG hawana mpango na Yesu wala hata maadili ya kidini tu...Neema ya Mungu kwao ni ruhusa ya kufanya uhuni na kila kitu.... Walikuwa wanamuona kama comedian tu fulani , ... Hii tumeze hivo hivo... Maigizo ni mengi sana , maajenti ni wengi..tena huko Praise n Worship Teams shetani ndio mwongozaji
Mzee ubarikiwe sana, unajua watu walio wa kweli/ wanaosimamia KWERI, wanapigwa vita sana. Ila ukweli utasimama kuwa kweli ckuzote, shida kubwa viongozi wetu hawapendi ukweli. Waache ujinga wao. Songa mbele mzee. By David mketu, Mtoto wa TAG.
Mungu ni mwaminifu kwa watumishi wake, maana amesema hatatuacha wala kutupungukia kabisa, Mzee wangu mtumishi wa Mungu Magembe neema ya Mungu izidi kuwa juu yako
Bishop Magembe Endelea mbele songa mbele Injili kama izi mimi ndio nazipenda na ni chache sana Tag ni shida saivi yani dunia imeingia ndani ya kanisa la Tag suruali wanavaa ibadani, misuko ya kuzimu wadada wanasuka, vimini, roho za uzinzi na uasherati na uchafu wote humo ndani
Injili ni Lazima ihubiriwe hata kama hawataki. Tuko pamoja katika Kristo. Ukweli T.A.G wasipobadilika kuna kazi sana. Shetani analipepeta kanisa kama ngano. MUNGU ATUSAIDIE
Kwa sababu mungu amekupa macho ya kuona na mungu amekutuma ubarikiwe sana muno ajabu wewe ni mtu wa thamini sana mungu akutunze na akuzidishe uwepo kwetu ni mkubwa sana nasema Asante mungu
Tunakujua wewe ni mtumishi wa Mungu Kila anayekuchukia wewe ni adui wa msalaba, wasamehe hao, Toka zamani manabii wa Bwana walichukiwa na Kuuwawa kwa ajili ya neno la Mungu
Mchungaj magembe na mwakipesile awatak ujinga wanahubil injili yenyewe kabsa ya watanguliz wao wakina Moses awatak zambi kabsa ongera sana much Magembe tunakupenda wanao hakika unatunyosha tunanyooka Kwa jina la YESU aendelee kumtukuza MUNGU na neno halis nakupenda maisha malefu kwako❤
Mungu naomba katika jina la Yesu muongeze siku Mtumishi wako juu ya kazi uliyomuitia....ili azidi kuifanya kwa utukufu wako.nmeomba nikiamini. AMEN
Amen
Amina Mungu awe kiongozi wake katika kila Jambo
Amen amen 🙏
Amina
Amen
Mchungaji Magembe umekuwa baraka sana katika maisha yangu. Mahubiri yako ni Injili ya kweli ya Yesu. Ninaamini Mungu huwapenda wote wanaomtumi
kia katika kweli bila kujali wapo na kanisa lenye jina gani. Ubarikiwe sana mchungaji na Mungu awe nawe daima. Mimi na mume wangu Patrick tunakupenda sana
Weka namba ya sadaka tumtolee Mungu kwa ajili ya kazi ya Mungu
Pole/ hongera mtumishi wa Mungu, haujaasi, na km umeasi bc n kadr ya mtazamo wa watu. Binafs nahc. Tuu haya majina ya MOSES haya yana alleji na T. A. G pia km wajina wako alivyofnya HAKUENDELEZA UGONVI au Vta bali alimuachia Mungu aliyemhukum wa haki , akaendelea na huduma aliyoitiwa ht mda ulipofika akapumzk ktk kaz yke!
Mimi ni tunda la utumishi wako ,niliokoka nikiwa sekondari ulikuja kuhubiri shuleni kwetu Tambaza, nakupenda sana baba.
Amina jipe moyo utashinda
Waaaooh barikiwa!
Ikiwa uliokoka kwa huduma ya kufikiwa shuleni bc jione mden nawe kuwafikia ndg wng walioko ktk taasis za Elimu cs vyuo na maeneo meng ya elimu ndy machinjo ya kiroho ya wakristo na mahari pakuwajaza watu kiburi cha uzima kupitia hzo elim za kidunia.
Hawa ndio wahubiri watakatifu wachache waliobaki Mungu akutunze Sana siku moja uwepo mbinguni ufurahie matunda yako amen.
Pole sana na misukosuko mch.Magembe ,Mungu akutie nguvu na abariki huduma yako, abariki vilevile wale waliokuwa chini ya huduma yako huko ulikokuwa .Nafurahia mahubiri yako nikiwa Burundi🇧🇮
Nakumbuka 2021 kwenye kambi ya vijana,ile siku Nilikutana na uwepo wa Mungu wa ajabu sana baba wewe ni hazina yetu sisi vijana tunajifunza kupitia wewe BABA...YESU WA MBINGUNI AKUFUNIKE CHINI YA MBAWA ZAKE❤❤
Sasa uliendaga wapi? 🤔
Swala la uamsho na akiwepo yesu hata kama hapana jina la kanisa nipo tayari kuabudu ,tunamtaka yesuuu
Aisee nampenda uyu mzee toka nianze kumfatilia nimekua kiroho
Nikiwa mkubwa ntamuomba Mungu niipate hii Neema ya kuwa consistent na kukataa kujilazimisha kuwapendeza wapagani ambao kwano Neema ya Mungu ni ruhusa ya kuwa Wapagani...
Hongera sana Rev. Maghembe....
Mungu yuko nawe....
Na iwe ivyo
Mkubwa kiumri au?
Mzee Magembe Umefanya Jambo Jema one Door Close one Door Open❤ May the Good Lord Jesus Bless and Keeps You AMEN.
Mungu akupe maisha marefu zaidi baba… umenifundisha mengi sana kwenye kujua neno la mungu
Mungu naomba mfunike mtumishi wako Moses Maghembe , asimame kwa ujasiri wote , mpiganie , mtetee katika yote
Mimi binafsi naguswa sana na huduma yako namwona Mungu akinitetea na kuniinua kupitia mahubiri yako. Nakuombea Mungu akuinue zaidi na akutetee katika huduma yako.
Piga kazi Baba Angu mzuri, MUNGU yupo pamoja nawe binafsi nakukubali na namkubali YESU KRISTO unayemuhubiri
Mchungaji mungu akubariki naomba namba zako
Mchungaji nafatilia sana huduma yako nabarikiwa sana
Naomba namba yako nina shida binafisi
Uwiiiiiiiiiiiiiiiii hadi natokwa machozi Mungu TUHURUMIE INJILI YA KWELI IMEACHWA WATU WANAHUBIRI VYAKULA VYAO NA MATUMBO YAO.... HAKIKA YESU ANARUDI TUTUBU DHAMBI YESU ANARUDI
Mungu akutete sana mtumishi wa mungu wengne hatuwez ongea sana maana tulikokua nigiza nene kupitia mahubili yako tumepona siwew bali mungu anakutumia kuokoa roho zilizopotea mungu akubariki
Pole baba, ukweli unauma achana nao,umeitwa na Yesu na sio dini simamia kweli ya Mungu hakika kanisa limekufa wanajikaza tuu.
Umefanya uwamuzi sahihi sana Mzee wetu .. sisi tunaokuwa tunajifunza sana namna kanisa linavyotakiwa kuwa kwani wahubiri wengi na wachungaji wa sasa hawana utofauti na watu wa Dunia..Baba keep it up. tunaojifunza niwengi ni vile hawezi ukajua kwa haraka ila amini tupo wengi tunaojifunza hata kama hatuji kwenye mafundisho yako.
Mungu akutie nguvu shujaa, tunakuombea ihubiri kweli. Nimekufahamu tangu 1994 tukiwa kwenye kambi la CAs pale Meta sec Mbeya. Injili ileile haijabadirika, Mungu akupe maisha marefu.
Poleni sana Baba, Ume pambania Sana Uamsho.
Mungu akuongoze sana.
Mungu akubariki baba tupo pamoja katika Bwana
TAG Aliondoka baba yetu Mzee Moses Kulola, na sasa ameondoka baba yetu Mzee Moses Maghembe. Watumishi wa Mungu viongozi wa TAG tafakarini mambo haya ya kiroho. Hotuba ya baba Askofu wa TAG aliyoitoa kanisani Majumba sita, inathibitisha kwamba wao kama viongozi wana kitu cha kutafakari
Baba Mungu akubariki hakika usemi.wako 'Sitampigia goti shetani hadi tone la mwisho la damu yako" nimelielewa. Yesu akutunze sanaaaa
Mungu ampe kushinda katika yote
Hongrera sana maamuzi magum umechagua hakuna kuchelewa kosa lako nikukemea zambi
Mungu akuinue Bishop kila mtu anakuunga mkono
Nakupenda Baba, Ahsante Kwa Maelezo Mazuri.🙏
Mungu akupe kushinda katika yote injili lazima iubiliwe
Mzee mgenbe ni shujaa wa yesu mzee usiogope hubiri neno la mungu kemea dhambi wenig wamepona kupitia mahubiri yako Baba
Mzee Magembe don't worry keep moving tupo nyuma yako usiache misimamo yako ya kusema kweli
Mungu akutie nguvu nisaa ya matengenezo na dunia tuikane na Mambo yake
Huyu ni Moses wa pili, kuonekana ni mbaya Assemblies, wa kwanza alikuwa ni Moses Kulola.Mungu anatafuta watu.
Hongera sana Baba magembe umefanya vyema Mungu akubariki na akutangulie songa mbele piga kazi ya Ya injili maana ndio wito ulioitiwa na Bwana yesu akutangulie sana songa mbele na kazi ya kuwaleta watu kwa yesu na kila anayekusema vibaya Mungu atamshugulikia na Mungu atakulipa
😢😢 kaeni myamalize Nyie niwatumish wa Mungu Na wote mmeitwa kutumika
Mungu Yuko nawe Fanya kazi yake utavikwa taji, usiogope usiogope usiogope.
Askofu na viongoz wenzako kaen chini mlitafakari swala la mzee magembe maan Binfas sijaona kosa lake
Nabariwa sana mafundisho yako ni kweli tupu Mungu akupaganie Mtumishi wa Bwana❤
Mchungaji naomba kupata mawasiliana ya namna ya kupata nafasi ya kujiunga kusoma kwenye chuo chako
Chuo cha Biblia
Mimi ninachoamini ni mpango wa Mungu ili injili izidi kusambaa kama kipindi Cha Askofu Emmanuel Lazaro na Askofu Mises Kulola
Mungu yupo pamoja nawe baba yetu.
😢😢😢nmekuelewa baba....❤ Matumaini yangu atujabaki uchi😢😢 Mungu akulinde na atusaidie sana wana TAG
Barikiwa
❤❤
MEN OF VALOR.....
Gospel firee.... Nakupendaa Yesu unayeandaa waru kama hawa kwa wakati kama huu
BWANA anakubariki na kukulinda mzee, baba wa imani, Mchungaji Moses Magembe
Baba,Mungu aliyekuita akutumie jamani,kawaida ya ufahamu wa kibinadamu huwa hatupendi kuambiwa kweli,na ukiisema kweli lazima utakuwa adui wa wengi.Baba sema kweli ile Mungu umekuongoza.
The Generals never backed down. You are one of them Sir.
baba, baba, babaaaa ubarikiwe sana....mimi mashaka nipo morogoro natamani kufika hapo nyumbani haraka sana...
Bwana wetu Yesu Kristo umtie nguvu mtumishi wako uliyemchagua rev Moses Magembe
nakukubari sanaa baba wa Imani🎉🎉🎉🎉
Be blessed man of God,we stand with you,tupo pamoja na Mungu Yuko upande wako
Amina x2 Baba Tuko Nyuma Yako!
Nawiwiwa Ningeli Kuwa Home!
Mungu Akutunze Mpaka Atakapopatikana wa Kupokea Kijiti in Jesus Name!
Huu ni Wito wa Mungu 🔥👏🏻🧎🏾♀️
Walokole wa T. A. G hawapendi ukweli. Humo ndani kuna maagent wengi sana shetani kawapeleka siku hizi kila kitu kimeoza sio kwaya sio mahubiri hamna kitu. Mtokambali na wazee wenzako mwogopeni Mungu mnaliua kanisa. Mchungaji maghembe, Mungu akulinde na kukutunza sana
Watu wengi wa makanisa ya kilokole hasa TAG hawana mpango na Yesu wala hata maadili ya kidini tu...Neema ya Mungu kwao ni ruhusa ya kufanya uhuni na kila kitu....
Walikuwa wanamuona kama comedian tu fulani , ...
Hii tumeze hivo hivo...
Maigizo ni mengi sana , maajenti ni wengi..tena huko Praise n Worship Teams shetani ndio mwongozaji
Ee MUNGU NISAIDIE UNIOKOE NA DUNIA HII .ubarikiwe mtumishi wa MUNGU nipo pamoja nawe niliwahi kukuona na wewe kule zanziba machui ulinibariki sana.
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua
Bwana Yesu akutunze chombo cha Bwana
Watu 333 wameokaka safii Sana pastor. Uko sahii
Namuona kiongozi aliye libeba kusufi la Kristo Yesu, neno la msalaba Nakupenda baba.
Mzee ubarikiwe sana, unajua watu walio wa kweli/ wanaosimamia KWERI, wanapigwa vita sana. Ila ukweli utasimama kuwa kweli ckuzote, shida kubwa viongozi wetu hawapendi ukweli. Waache ujinga wao.
Songa mbele mzee.
By David mketu, Mtoto wa TAG.
Baba aliipenda sana taj na amelipenda sana taifa latu ikiwa amechukua uamizi huu basi sina neno ila mungu akubaliki sana baba
Mungu awajua walio wake Eliya alisema alisema kua amebaki mwenyewe Mungu akasema amejisazia manabii mia Saba
.
Tumeitwa wote ila tumepewa nyito tofautitofauti!! Timiza wito wako mzee Magembe
Ameeeen 🙏 Mungu akutunze Masihi Wa Bwana 👏
Mchungaji, Jehovah akutunze. Wala usipoteze muda wako kuijibu TAG. Wewe hubiri injili na mbivu na mbichi zitajulikana. Tunakupenda na tutaendelea kukuombea❤
Nimebarikiwa kufahamu kile Bwana alichokupa mzee, unasimama nacho- this is good and of great glory to God, Amen, Press on
Mungu ni mwaminifu kwa watumishi wake, maana amesema hatatuacha wala kutupungukia kabisa, Mzee wangu mtumishi wa Mungu Magembe neema ya Mungu izidi kuwa juu yako
Aiseeh, maneno mazuri kabisa yaliyojaa hekima nimefarijika kwa kweli. Huyu Mzee ni mtumishi wa Mungu kweli kweli asiye na hila.
Iende mbele Injili ndio mana tunasema iende mbele
Nakukubali sana baba magembe unaukweli sana napenda sana watumishi kama wewe
Mungu akutangulie Mchungaji wa kondoo wa kweli
Bwana ashushe nguvu katika kanisa lake watu tujae tumwagikie maana ni jukumu lake amen.
Mungu akutie nguvu sana kaziyako Mungu anaijua by pastor erick jmi
Jembe la Yesu hilo ulipo tupo.
Majina ya Moses(Musa)
Bishop Magembe Endelea mbele songa mbele
Injili kama izi mimi ndio nazipenda na ni chache sana
Tag ni shida saivi yani dunia imeingia ndani ya kanisa la Tag suruali wanavaa ibadani, misuko ya kuzimu wadada wanasuka, vimini, roho za uzinzi na uasherati na uchafu wote humo ndani
Viongozi t a g mjichunguze yesu anarudi misimamie kweli
Ongera Mchungaji Magembe,stand strong and never look down before your opponents.
The Lord almighty is with you.
Mungu azidi kukuinua Baba, hakika Mungu anakutumia kwa viwango vya juu, binafsi ninabarikiwa sana na mahubiri yako.
Njoo mchungaji nakupa kiwanja Jenga nyumban kwa mungu
AMENI Sana
Jesus is with you, Jehova Nissi is with YOU!
Baba tumealikika. Injili iende mbele🔥🙏. Tupewe account na namba za kuchangia ujenzi wa nyumba ya Bwana
Wekeni namba tuchange kidogo kidogo kwa ajili ya kujenga kanisa na vifaa baaz
Chuma hunoa chuma hongera sana a really Pastor Magembe,,,, put for us your mobile phone for offering 🎉
Nitakuwa na magembe mwanzo mwisho
Injili ni Lazima ihubiriwe hata kama hawataki. Tuko pamoja katika Kristo. Ukweli T.A.G wasipobadilika kuna kazi sana. Shetani analipepeta kanisa kama ngano. MUNGU ATUSAIDIE
P0le sana bb mchungaji songa mbele mungu yupo nawe daima,nakuombea sana upewe ngu vu nyingi zaidi na injili ya kweli ihubiriwe
Mungu akutangulie mchungaji mpaka machozi yamenitokaa
Shida ya watu wanaojiita walokole hawapendi kuambiwa ukweli na hawapendi kusikia ukweli kutoka kwa mtu mwingine ambaye siyo wa dhehebu lao
Kwa sababu mungu amekupa macho ya kuona na mungu amekutuma ubarikiwe sana muno ajabu wewe ni mtu wa thamini sana mungu akutunze na akuzidishe uwepo kwetu ni mkubwa sana nasema Asante mungu
Njoo Kigoma Ufungue tawi niko tayari kuwa mchungaji chini yakoo aiseee ninakiu kuiinua Heshima ya Yesu Kristo maana upagani wa Dini umejaaa
Ubarikiwe sana
Shida Sheria zikizidi ndani ya Kanisa madhala ndio haya, baada ya kuongozwa na Roho tunaongozwa na Sheria
Yaani we acha tu
Viva, the kingdom of God in Jesus' name🎉
Mungu akubariki baba, ni wachache wanao litambua kusudi la MUNGU miongoni mwao ni wewe tuko nyuma yako.
MUNGU akusimamie mchungaji mm nakufwatilia Sana,,,,,tunakupenda
Tunakujua wewe ni mtumishi wa Mungu Kila anayekuchukia wewe ni adui wa msalaba, wasamehe hao, Toka zamani manabii wa Bwana walichukiwa na Kuuwawa kwa ajili ya neno la Mungu
Mungu azidi kukutumia mchungaji MAGEMBE
BaBa mungu akubarikisana kwa ma muziyako ni sahihi sana tubopamojanawewe paka uamusho utokee amina
Wewe uliokoka kwa YESU Sio kwa kanisa
Neno la Mungu la ukweli linapigwa vita sana, Mungu aturehemu jamani
Tuko pamoja mtumishi wa Mungu.
Injili ya kweli iende mbele
Wanainjili popote mlipo, you have my support.
Mungu akubariki Baba...wenye walikataa uamusho achana nao ...kanisa ni moyo ujenzi ni hema Tu..
Mchungaj magembe na mwakipesile awatak ujinga wanahubil injili yenyewe kabsa ya watanguliz wao wakina Moses awatak zambi kabsa ongera sana much Magembe tunakupenda wanao hakika unatunyosha tunanyooka Kwa jina la YESU aendelee kumtukuza MUNGU na neno halis nakupenda maisha malefu kwako❤
Safi Sana mzee piga kazi, achana nao wenye kinyongo