MARTHA MWAIPAJA KANISANI KWA CHRISTINA SHUSHO LEO | "ASHINDWA KUIMBA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 18 дней назад +262

    Kama umegundua Martha anajilazimisha kuwa na furaha like hapa

  • @PerisMuthoni-h1f
    @PerisMuthoni-h1f 17 дней назад +8

    Martha anafanya nitoe machozi, thank you shusho kwa kumshikilia mwana jeshi kwa hii vita Kali, I feel for Martha but itashinda dada

  • @4myclassweb
    @4myclassweb 18 дней назад +54

    Nashukuru kumuona martha. Ombi langu ni moja tu, tafadhali mwanangu kamtembelee mama kitambo huu mwaka wa 24 uishe. Jambo hili litampedeza Mungu unaemtumikia. Jipe nguvu na yote yataisha.

    • @henricamikambi6147
      @henricamikambi6147 18 дней назад +3

      Kabla ya kwenda kokote angeanzia kwenda kwa mama yake kupatana na familia yake, huyo Shusho si mshauri mzuri

    • @StelaJohn-nj5yf
      @StelaJohn-nj5yf 18 дней назад +2

      Hallelujah. Mtu aliyekutoa ktk utoto ambao huwezi kitu chochote.. ndie Mungu wako wa pili. ,🙏🏻

    • @bieshakinunda9646
      @bieshakinunda9646 18 дней назад

      Siwezi hukumu inawezekana anashindwa kwenda kwao huwenda mama yake anaenda kinyume na huduma yake familia yana mambo mengi sana hasa ukimtumikia MUNGU kwenye familia vita inaweza inuka mpaka Kwa wazazi Kwa hiyo tusihukumu hatujui Siri jamani

    • @beatriceemali34
      @beatriceemali34 17 дней назад

      Mamake alikosea pia Kumvua mwanawe uchi kwa vyombo Vya habari. Kuna watoto ukiwakemee adharani badala ya kuwavuta Kwako huwapoteza. Laiti mama angemfunika hiyo jamii ingekuwa pamoja , lakini sasa Martha yuwajihisi upweke hana pana Kuenda, kila mtu anamshutumu. Mungu akubariki Shusho kwa Kumpa bega lako simama naye hadi apona naikumbatie jamii yake tena. It is painful but however evil you are in the eyes of the World God loves my dear don't give up on Him

  • @DeodataJosephMngongo
    @DeodataJosephMngongo 18 дней назад +73

    Namtukuza Mungu kwa ajili ya Martha,rekebisha ulipoanguka mwanangu kisha songa mbele,never give up.

    • @janekadzoyeri-wg7bi
      @janekadzoyeri-wg7bi 18 дней назад

      Amen

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 18 дней назад +6

      Aombe radhi Kwa Mama yake kwanza. Usipomuheshimu Mzazi co rahisi kumuheshimu Mungu. Kwani Mzazi ameshiriki uumbaji kukuleta Duniani.

    • @emmanueldionismbena3461
      @emmanueldionismbena3461 18 дней назад +1

      😂😂😂😂 wahuni hao wanacheza na akili zenu anaenda kutubu kanisa la Shusho? Ilitakiwa awe na wazazi wake na mdogo wake hapo ametubu au ameenda kupooza makali

    • @GlorydavidJeremiah
      @GlorydavidJeremiah 18 дней назад

      Muombee apate nguvu ya kuomba musamaha​@@geraldleger5793

    • @flackomasterbaddest4155
      @flackomasterbaddest4155 18 дней назад

      Shes a lesbian

  • @GATUNGAIsaie
    @GATUNGAIsaie 18 дней назад +28

    Inauma sana kabisa muimbaji kama yule hapendi mama mzazi aludie kabisa mapema mlango iko wazi yakupokewa

  • @Paul-u3k3w
    @Paul-u3k3w 18 дней назад +32

    Martha na Christina tunawapenda...from kenya

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 18 дней назад +23

    Kila alitajae jina la Bwana na aache uovu amrudie Mungu ...Mungu awabariki🎉

  • @Naliakatv-t9s
    @Naliakatv-t9s 18 дней назад +13

    Martha Mungu akutie nguvu, hakuna mkamilifu hata mmoja ulimwenguni jipe nguvu yote ni mapito ❤❤❤❤

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 18 дней назад +98

    Ninachobarikiwa nacho ni HUDUMA YENU....
    Kuhusu maisha yenu SINA KIBALI CHA KUWAHUKUMU, maana hata mm ni mkosaji.
    Big UP SHUSHO NA MARTHA.
    Am proud of U

    • @robinilomo2887
      @robinilomo2887 18 дней назад +6

      Neno linasema tutawajua kwa matendo yao,kama ni maovu?basi maana yake tujitenge nao.Mungu adhihakiwi.

    • @margaretnjoronge5712
      @margaretnjoronge5712 18 дней назад +5

      Hii dio comment ina make sense zingine ni matusi kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwezake

    • @margaretnjoronge5712
      @margaretnjoronge5712 18 дней назад +4

      Yy wote mnatusi shusho kama hamkoseagi mtusini kabisa only God will judge us

    • @MarthaAlly-y7s
      @MarthaAlly-y7s 18 дней назад +1

      Kabisaaa

    • @FaithMutali-my6tk
      @FaithMutali-my6tk 18 дней назад +1

      ​@@robinilomo2887watafta nini hapa si ujitenge sasa 😏😏😏

  • @jumaalimanirakiza9805
    @jumaalimanirakiza9805 18 дней назад +13

    Mwanadamu huwezi hukumu mwenzake kwa sababu hakimu wa kweli ni Mungu peke ajuwaye myoyo yetu ❤

  • @kamalaeditha5864
    @kamalaeditha5864 18 дней назад +7

    Bwana Yesu akutie nguvu mtumishi wa Mungu Martha na Christina. Ninyi ni majemadari wa Bwana na Bwana wa vita yupo pamoja nanyi kila wakati. Binafsi nawapenda sana.

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 18 дней назад +86

    Martha ana mzigo mzito moyoni mwake, Mungu amsaidie asimame sana na amsaidie wazungumze lugha moja na mama yake. Namuonea huruma sana

    • @JladyKadzo
      @JladyKadzo 18 дней назад +3

      Kabisa mungu ampe neema ya kushinda majaribu

    • @felistusmasila1088
      @felistusmasila1088 17 дней назад +4

      Usicho kijua kuna wazazi ata uwasaidie hawana shukukrani hawana inachoma moyo pia ukikosa awana msaada wowote kisha ukiamua kufanya jambo ndio wakwanza kulialia inachocha sana 😢😢

    • @shangwefisima54
      @shangwefisima54 16 дней назад

      Upo sahihi

    • @shangwefisima54
      @shangwefisima54 16 дней назад

      ​@@felistusmasila1088siyo kweli

    • @Mligobmligo
      @Mligobmligo 15 дней назад

      ​@@felistusmasila1088usianze na mzazi anza na mdogo wake, majirani, ndugu kisha njoo Kwa mama. Mana unafkr mama yy katunga maneno aliyozungumza, kumbe ni tabia ambayo yy Martha kaionyesha kwa hao ndugu zake

  • @emilywilly2306
    @emilywilly2306 18 дней назад +37

    We listen we watch we dont judge as long dhusho na martha nyimbo zao unibariki mengine hayaniusu much love from kenya

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 18 дней назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @eunicenjonge2205
      @eunicenjonge2205 18 дней назад +1

      Mengine hayanihusu. Ninachijua ninabarikiwa sana sana na nyimbo zao. Tena Mimi n nani hata nikalie kiti Cha hukumu?

    • @eunicenjonge2205
      @eunicenjonge2205 18 дней назад

      Tuombe Mungu Mimi na wewe kuushinda ulimwengu kwanza. Na baada ya kushinda!!!!! Tutapewa uwezo wa kuhukumu hata malaika. Lakini saahii Martha Yuko mbioni na wewe na Mimi pia tuko mbioni. Hatujahitimu kuhukumu ...baaadoooo. aliyejidhania amesimama aangalie asianguke

    • @flackomasterbaddest4155
      @flackomasterbaddest4155 18 дней назад

      Anasagana we judge

    • @eliverokoth2477
      @eliverokoth2477 17 дней назад

      Pia mimi😊

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 18 дней назад +4

    I thank God kiswahili nasikiya Cristina shusho mungu wangu akubaliki sana mutiye moyo mutumishi Mather mwaipaja tunakupenda sana groly to God 🙏🙏🙏🙏 hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah love from Zambia

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah 18 дней назад +4

    Namutukuza Mzungu kwajili yenu niliomba kwajili ya Martha nashukulu Kwa kuwa nimemuona yuko hai vingine Mungu atie uhai ndani yake aondowe giza sauli anaweza kuwa petero hakuna kilichozidi ninamwamini Mungu wetu anaweza kututoa popote

  • @ReginaManyangu-u4j
    @ReginaManyangu-u4j 9 дней назад +1

    Ee Mungu nilindie Martha mpe maisha marefu yenye furaha❤❤

  • @saraoloo9251
    @saraoloo9251 18 дней назад +8

    I love what shusho did, some people want this lady to die of depression,by judging her as if they were inspired by God himself to judge others,as if they are deputy Jesus, let judgement be done by God reference from each and everyone's sin.

  • @roseluwumbaLuwumba
    @roseluwumbaLuwumba 18 дней назад +6

    ❤❤❤❤❤ acha wanadam waongee usitoke kwenye njia ya bwana songa mbele utazame msaraba chiristina wewe ni mtumishi wa mungu unamfichia aibu.yesu kwa kuwa yesu alikuja kwa ajiri ya wenye dhambi waweze kufikia toba naamini kila mmoja ana mapungufu ni kwa rehema zake tunaishi matha mungu azidi kukupa moyo mkuu kuyashinda yote unayopitia naamini mungu yuko na wewe yeye ni wa huruma si mwepesi wa hasira bali mwingi wa.huruma nakupenda

    • @MwemaLiliane
      @MwemaLiliane 18 дней назад +1

      Namimi nampenda pia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Martha

    • @RuthNjoroge-yf3mp
      @RuthNjoroge-yf3mp 18 дней назад +1

      🎉🎉

  • @politenessorgenes218
    @politenessorgenes218 18 дней назад +14

    Asante Yesu kwa ajili ya Matha nimefrahi sana kukuona tena ukihudumu,Yesu akutie moyo zaidi akupee na nguvu na ujasiri nakuombea zaidi❤❤

    • @scholarmawala1403
      @scholarmawala1403 18 дней назад

      @@politenessorgenes218 hajahudumu, kaitwa tu kama kusalimia

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 18 дней назад +14

    Daaaa ukimwangalia matha unamuona kabisa moyo wake mzito umeumizwaa Mungu akupe neema ya kushindaa dada angu

    • @jofreymfugale4752
      @jofreymfugale4752 17 дней назад +1

      Acha kumfariji kwenye dhambi we mshauri akayamalize na mamake ili awe na amani

    • @timotheosimon3722
      @timotheosimon3722 13 дней назад

      huyu dada atubu kwel mama yake niwakulia vile

  • @VERAABOGE
    @VERAABOGE 18 дней назад +16

    Mwanadamu Sio mkamilifu wacheni kuhukumu hio ni kazi ya mungu mwachieni labda tu kama Wewe mkamilifu na haujawai kutenda dthambi mbele za mungu , waweza kuhukumu mwenzio .. Watu wa mungu pendaneni Kwasababu mungu mwenyewe ni upendo amina ❤

    • @flackomasterbaddest4155
      @flackomasterbaddest4155 18 дней назад

      Ndio awe anasagana?

    • @LinahRwambali
      @LinahRwambali 17 дней назад

      @@flackomasterbaddest4155 kwahiyo ktk biblia nzima zambi ni kusagana tu? Wewe husemagi uongo, husahau kutoa fungu la kumi, hukasiriki. Shida wanadam mnapima dhambi ila kwa Mungu hamna dhamb kubwa na ndogo. Anaesagana, anaeiba,anaesanganya wote ni wadhamb. Hamna mkamilif appreciate kaz zake kwan Mungu achukui watakatif flan kutoka mbinguni waje kufanya kazi yake. MUNGU anamwita yoyote amtumikie na anakua anambadilisha kwa kadri anavyozidi kuikulia neema ya Kristo. Usihukumu, usije ukahukumiwa" Yesu alisema.

    • @eaglesunny2187
      @eaglesunny2187 17 дней назад

      Sasa Kuna aliyetoa hukumu hapo, watu wanahoji, watu wameshtushwa na watu wanaowaamini harafu ndo yanaibuka haya,
      hivi unadhani wao n akina nani mpaka wasisemwe hapa duniani ni nabii nani even yeye yesu alisemwa akiwa hapa hapa duniani unataka ukajue wap uzuri na ubaya wao mbinguni ama wap ,
      ndugu zangu usichokijua ni sawa na usiku wa kiza, nani angeamini kuwa yuda n msaliti kama asingejizihilisha mana maneno Kila mtu angekataa kuwa yule mtume wa yesu
      so kipindi hichi nakuomba soma sn mathayo na ufunuo hakika utapata kujua mengi sn
      unaamini kuwa nyakati hizi ndo nyakati za kulia na Mungu kuliko kumwangalia nabii, muimbaji, mchungaji mana wengi wamejificha ktk wimbi hili,

    • @VERAABOGE
      @VERAABOGE 17 дней назад

      @@eaglesunny2187 ukisengenya au kunena vibaya Juu ya Watu pia ujue nidthambi mbele za mungu.

  • @collinsulomi1008
    @collinsulomi1008 18 дней назад +15

    Utahangaika sana Martha, tubu kwa Mungu cyo kwa shusho, yeye mwenyewe ameshindwa kukaa na familia yake

    • @preccypressy2226
      @preccypressy2226 18 дней назад +1

      Hawezi hangaika maana ako na Mungu
      Yuĺe Mungu uliye naye pia ako na yeye
      Ni mwingi wa rehema na nimwenye huruma mwingi

    • @janetsarahsiangani1381
      @janetsarahsiangani1381 17 дней назад

      Ati atahangaika,,,wewe kama mungu angehesabu dhambi zako ungekua wapi Sasa hivi??!!! muache Martha mwaipaja yesu atamtetea mpaka mwisho.

    • @Kibibistore
      @Kibibistore 17 дней назад

      Ndugu hakimu kabla hujatoa boriti kwa Martha vipi upande wako uko mkamilifu? Huhangaiki? Mungu wako ni wako peke yako?

    • @violetmakokha5683
      @violetmakokha5683 3 дня назад

      Sikiza mungu wa Martha anavyo sema siku ya hukumu lini? Mtajatifu,

  • @arya-star53
    @arya-star53 17 дней назад +2

    Ninachokijua mimi ni huduma iliyopo ndani yenu kuhusu maisha,mienendo yenu mimi siye mtoa hukumu ni Mungu mwenyewe na hii ni kwasababu watumishi wote mtahukumiwa na Mungu mwenyew mimi imani yangu kwake yeye ni kupitia ninyi.......Mungu awabariki sana 🙏

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 18 дней назад +17

    GREAT GOSPEL SINGERS,,,, AM BLESSED BY UR GLORIFIED SERVICES...
    BE BLESSED

    • @MirriamMbinya-rj6dm
      @MirriamMbinya-rj6dm 18 дней назад

      Even devil was a singer

    • @FaithMutali-my6tk
      @FaithMutali-my6tk 18 дней назад

      See the biggest devil it's self judging others​@@MirriamMbinya-rj6dm

    • @saraoloo9251
      @saraoloo9251 18 дней назад

      Wewe jitakase omba mungu akutakase achana mengine tukutane binguni mungu ndio muhukumu.​@@MirriamMbinya-rj6dm

  • @DianaYohana-t9t
    @DianaYohana-t9t 18 дней назад +26

    mungu awatie nguvu hata comments mbaya zikika wewe mshukuru mungu maana yeye ndo ana amua yote katika maisha ya mwanadamu i love you guys ❤❤❤❤

  • @NduwayoElisabeth
    @NduwayoElisabeth 18 дней назад +7

    Nakupenda sana Martha from🇧🇮🇧🇮

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 16 дней назад +2

    Everyone needs shusho in their lives, God bless you abundantly shusho umesimama na Martha no matter what

  • @MARRYKUNGULUCHE
    @MARRYKUNGULUCHE 18 дней назад +4

    💕 my beautiful sister mathar mwaipaja yesu akutunze na familia yako ❤

  • @bambibambi1982
    @bambibambi1982 12 дней назад

    Good job Shusho❤.
    Wanaujua misukosuko ya huduma wanaeza elewa. Mungu ni wa wote🙏🙏🙏

  • @christerbelmusembi6016
    @christerbelmusembi6016 18 дней назад +5

    I love Martha and i know she will over come the current temptation and reunit with the family again in Jesus name 🙏❤❤❤.

  • @violetmakokha5683
    @violetmakokha5683 3 дня назад

    May the good lord give Martha mwaipaja energy, strength to keep going

  • @ThomasNghwani-nw6rx
    @ThomasNghwani-nw6rx 18 дней назад +12

    Mungu sio maigizo wala usanii. Hawa warudi kwa Yesu, watengeneze maisha yao.

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 18 дней назад +9

    😭jaman wanawake wenzangu. Mm naombi moja tyuu. Nahs mama marth kaleta shida zake znzomkmba ili apte msaad. Jaman wanawake hatushindwii. Jaman tumuombee mwanamk mwezetu ili mtoto wake arudii. Mtoto wake afunguliwe. Kuliko kuendleaa kumdhihak matha. Tungfung tyu maombi ili mtoto wa mwanamk mwezetu akrudi tyu kwa mama akee. Furah ytuu mama kumuona mwanaa. Jaman msinipopoe ni ushaurii tyu

  • @niyibizijolie2442
    @niyibizijolie2442 18 дней назад +6

    Mungu wa mbinguni aendeleye kuwatiya nguvu,sisi niwashindi zaidi ya washindi.aliye ndani yetu ni mkubwa saaana zaidi ya vyote na wote, haijalishi tunayo yapitiya Bali ni washindi tuu❤❤

  • @GraceOdhiambo-bl5ub
    @GraceOdhiambo-bl5ub 18 дней назад +4

    Martha sijui kama wanacho sema kwaajili yako, Ndungu zako na watanzania ni kweli ama ni uongo,ila ninalo jua Mimi ni kwamba I love your songs and your humbleness ♥️♥️♥️♥️

  • @ManeMethode
    @ManeMethode 18 дней назад +8

    Christine chucho ubarikiwe saaaaana na dada yangu Martha mwaipaija nawapeda saaaaana Tena zaidi kbx nyinyi wawili nyimbo zenu zimenifanya namimi kuokoka kiukweli

  • @SebbyMganwa
    @SebbyMganwa 18 дней назад +20

    Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja,ndie awezaye kuangamiza na kuokoa.Unani wewe umhukumuye mwingine.Nawapenda sanachristina Shusho na Martha sababu ya Yesu

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 18 дней назад

      Nawe ni sehemu ya wahuni kila kundi na machawa wake

    • @MasanjaMkama-bd9rc
      @MasanjaMkama-bd9rc 18 дней назад

      Mungu katupa akili pia naye(Mungu) ametwambia"zichunguzen hzo roho..." Sasa tukionya mnasema tuna hukumu kuku ninyi achen uchafu

    • @MasanjaMkama-bd9rc
      @MasanjaMkama-bd9rc 18 дней назад

      Hawa wafanya biashara Yesu walsha muacha cku nyingi

    • @Lilianawinner0
      @Lilianawinner0 18 дней назад

      MUNGU awahukumu nyinyi mwenyewe Martha atasimama imara ​@@ndogoroedson199

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 дней назад

      ​@@MasanjaMkama-bd9rc kuwatukana ndio kuwachunguza au?

  • @harizonochieng4752
    @harizonochieng4752 18 дней назад +5

    More love to them from kenya🥰🥰
    Tumekuja babaa, jinsi tulivyooo🔥

  • @Agnessmengi
    @Agnessmengi 16 дней назад

    Hata hili nalo litapita Martha,songa mbele kikubwa usitoke nje ya kusudi la Mungu.I love you naendelea kukuombea.🙏❤️

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 18 дней назад +3

    Mather mwaipaja tusubili songs from u My sister love from Zambia tunakupenda sana groly to God hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 18 дней назад +27

    Usihukumu usije ukaukumiwa pole sana dadangu Martha tunakupenda saaaana❤❤❤

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 18 дней назад +6

      Acha kutumia maneno vibaya Kwa kuwalinda waovu Kama wewe ni muovu hata usipohukumu utahukumiwa tu. Tuzikemee dhambi

    • @rerisamba
      @rerisamba 18 дней назад +1

      Bibilia imeandika katika 1wakoritho 5:12 alie okoka akikosea lazima tumwambie na pia kuna kwingine unategwa kabisa imekanya kuwaambia ambao hawajaokoka

    • @DennisAnthony-j5y
      @DennisAnthony-j5y 18 дней назад +2

      UKRISTO UMEKUWA WA HOVYOOOOOOOO MWANAMKE TANGU LINI AKAWA MCHUNGAJI KWA MAANDIKO GANI

    • @saraoloo9251
      @saraoloo9251 18 дней назад

      ​@@rerisambathe same same bible tell us that no one is righteous, kwahiyo wewe kama wewe jitakase juu wewe pia sio mkamilifu, jitakase tukutane binguni mungu ndio muhukumu WA Kila mtu.

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 18 дней назад

      Nini maana yakuonyana kuhumu unakujua wewe sapoti ujinga

  • @preccypressy2226
    @preccypressy2226 18 дней назад +6

    If you've never ever walked in the journey of wilderness you can't understand
    Many have criticised Martha forgetting they've done worse than her, but because of Grace and mercies of God they're whom they're right now
    Martha it shall come to pass, but hope you've learned alot that you've only 1 true friend in your life
    Never give up, never look down on yourself
    Above all God for All❤❤❤❤

    • @FaithMutali-my6tk
      @FaithMutali-my6tk 18 дней назад

      Exactly

    • @banajuliana758
      @banajuliana758 18 дней назад

      I also wonder why peuple can't understand her 😢
      What shows tha she is just in bad pass and from here she will know who is who😊

  • @teresaliruma4218
    @teresaliruma4218 16 дней назад

    Hapa Kenya tunawapenda waimbaji wa nyimbo zq injili kutoka Tanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saraoloo9251
    @saraoloo9251 18 дней назад +5

    Martha mimi Nakupenda tuu jinsi ulivyo, pamoja na ya dunia bado Nakupenda tuu ❤️❤️

  • @RuthmilangoMkiramweni
    @RuthmilangoMkiramweni 17 дней назад

    Martha mtumishi wa Mungu nakupenda tena sana❤ ninachojua nyimbo zako zinanibariki na kunivusha unayoyapitia ambae hazijui familia zetu za kiafrika vizur atakuhukumu lkn mm nasema wakati wa Mungu ukifika kilakitu kitakaaa sawa endelea kukaa kimya Lia na Mungu alie wawote atafanya njia naumia sana kukuona katika hali hiyo Mungu awabarik sana

  • @bethvarga5777
    @bethvarga5777 18 дней назад +4

    You cant be happy while your mother is crying all over because of you, she loves you Martha.a good friend will tell you the truth and shall set you free, i love you ❤......

  • @BarakanchagwaBarakanchagwa
    @BarakanchagwaBarakanchagwa 18 дней назад

    Pole san matha Mungu akufanyie wepesi utashinda majaribu nimengi san hata yesu mwenyewe alijaribiwa istoshe ayubu alijalibiwa hata wwe utashinda kama mtumishi ayubu alivyo shinda amen matha nakupenda san❤️ ❤❤❤

  • @RodahKanini-om7le
    @RodahKanini-om7le 18 дней назад +4

    Nawapenda sana dadazangu may God bless you

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 18 дней назад +1

    Martha, mwimbaji wangu bora wa nyimbo za injili wa muda wote.

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 18 дней назад +14

    Shusho nimnafiki kama anampenda baasi ampatanishe na mama yke na ndugu zke sio amtumie kutengeneza content

    • @yohanaraphael1922
      @yohanaraphael1922 18 дней назад +1

      Shusho sio mnafiki huwezi kumrekebisha kwa kimtenga, hio ni wokovu wa kizamani unatakiwa kuwa nae karibu ukimrekesha taratibu

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 15 дней назад

      Wapambe nuksi wanaitwa ye anajuwa mwenzake anapitia kipnd gan afu anamualka aimbe surely??

    • @glorygodson
      @glorygodson 4 дня назад

      Wote wamoja wanajua wanachokifanya

    • @ron191
      @ron191 День назад

      ​@@yohanaraphael1922uko vizuri sana👏👏👏

  • @tatujuma4795
    @tatujuma4795 18 дней назад +21

    Ningemuona Shusho wa maana sana kama kabla ya Martha kwenda kanisani kwake angempeleka Martha kwa mama yake apige magoti aombe msamaha kwa mama yake nae Shusho asimame kama mpatanishi kati yao, lkn Martha kwenda kanisani kwa Shusho kabla ya kumaliza hili sakata inaonyesha kama Martha ni kiburi na Shusho ana support hiyo jeuri

    • @wisemelodytz589
      @wisemelodytz589 18 дней назад +4

      Uko sahihi lakini niamini mimi, kuna kitu Mungu anataka kufanya tulipe jambo muda Mungu amechoshwa na uovu wa hawa watu kupitia jina lake, mtasikia mengi sana this time Mungu amewaacha wajikanyage kanyage chani nzima inaenda kuungua niamini mimi

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 18 дней назад +1

      Yako na ndugu zako yanakushinda kenge wee

    • @brigethsauzand3926
      @brigethsauzand3926 18 дней назад +1

      Umewaza kama Mimi

    • @Joepeter2023
      @Joepeter2023 18 дней назад +1

      Wakati unaumia na maisha ya Martha kwako au kwenu hamna Ata uhakika wa kupanda ndege ya dharula ku...... nyieq

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 18 дней назад +1

      Hawezi fanya hivyo shusho rohoni alishatoka siku nyingi huyo

  • @jardineshighadiE4
    @jardineshighadiE4 18 дней назад +15

    I really love Martha ❤️ from kenya 🇰🇪

  • @dennismwenda3122
    @dennismwenda3122 17 дней назад

    From Kenya...now I know another song ya Martha... U know your heart kama kuna makosa change and move on kama hamna Let God be the judge

  • @prudencekai5992
    @prudencekai5992 18 дней назад +5

    Martha na Christina Mungu awabariki sana. Nawapenda kutoka Kenya

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 18 дней назад

      @@prudencekai5992 Wasagaji wote hao waombee Rehema kwa Mungu ktk Kristo Yesu ndungu

    • @saraoloo9251
      @saraoloo9251 18 дней назад

      ​@@BeniJohn-xd3cna sinner judging other sinners since he or she is sinning differently.

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 17 дней назад +1

    Dada Matha Mwaipaja Mungu akupe nguvu kwa sasa unapitia wakati mgumu Nakupenda

  • @neemababuya4714
    @neemababuya4714 18 дней назад +14

    Nawa penda sana matha na shusho mungu awafunike na mbawazake❤❤❤❤❤

    • @MarthaBura-or8fe
      @MarthaBura-or8fe 18 дней назад

      Tunakupenda Martha nisikiapo nyimbo zako nabarikiwa naomba mtembelee mama Yako mlee mama jamani kwani ni mungu wa pili hapa duniani

    • @MarthaBura-or8fe
      @MarthaBura-or8fe 18 дней назад

      Nakuomba jamani dada

    • @MarthaBura-or8fe
      @MarthaBura-or8fe 18 дней назад

      Huyo Joana achana naye jamani

    • @jacobjb4515
      @jacobjb4515 18 дней назад

      Mimi nadhani kwenda kumuangukia mama yako bado ndio bora zaidi kuliko mtu yoyote maana hao wooote wamekujua sababu ya mama yako

  • @FatmaMohammedAliphan
    @FatmaMohammedAliphan 18 дней назад +2

    Martha Stewart mungu akuvushe salama katika hili 🤲

  • @irinenekesa273
    @irinenekesa273 18 дней назад +4

    Waaa may God give her strength ❤❤

  • @kamalaeditha5864
    @kamalaeditha5864 18 дней назад +2

    Mungu awabariki saana. Bwana Yesu anawapenda ssna Mungu awabariki tena tena.

    • @mercykariithi7919
      @mercykariithi7919 18 дней назад

      They are not sincere they are acting do you know shosho alijiunga na hii compunikubwa ya Soni walimpa zawadi hawa wanawske ni mafreemason naona kichwa Cha habari kinasema anatubu Martha hajatubu Chochote she is not ready nor willing which God is she talking about??

  • @Hellenah_Sufii
    @Hellenah_Sufii 18 дней назад +14

    A true friend will stick with you in thin and thick ❤❤. God bless you Shusho for with mother and giving your shoulder to lean on ❤❤❤.
    They might criticize you but every good act is recorded. My mother Martha Mwaipaja all this shall pass I will continue praying for you. Let nothing stop you, you are chosen by God ❤❤❤❤

    • @ConsolataNgatunga-fb1yn
      @ConsolataNgatunga-fb1yn 18 дней назад

      Ameeeen

    • @JesicaAgade
      @JesicaAgade 18 дней назад

      Katika Dunia hii tunayo ishi kwa sasa, ni tuombe Mungu Kwa sana sababu mambo yanaweza kufanyikia Yale ambayo hata wewe huelewi, sikupenda kwa Martha kutokumbuka mzazi but Kuna maroho ambazo zitakutenga na kusahau familiar Yako , may God see her through

  • @KabangaAugustin-g4g
    @KabangaAugustin-g4g 18 дней назад

    Watu wangu sana Mungu wazidishiye na awape ujasiri wakumtumikia kwa roho na kweli

  • @marymdika439
    @marymdika439 18 дней назад +5

    Martha mtumishi muonekano wako tu unaonyesha wew ni mnyenyekevu sana, sauti yako tu inaonyesha unyenyekevu na una Yesu, japo kama unakosea ni hakuna mtakatifi, una nibariki sawa na ufanikiwe

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 17 дней назад

    Unfortunately repent then resing this beautiful song of God..utapakwa mafuura❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤😢😢😢😢😢😢

  • @elizabethrichard7694
    @elizabethrichard7694 18 дней назад +11

    Mungu namm ninamabaya yangu naomba unitoe kwenye aya mawazo yakumuona martha mke wa Joan

  • @Samuel-y2w6o
    @Samuel-y2w6o 18 дней назад

    Asante yesu watiye Nguvu Wote wawili Christina shusho na Martha mwaipaja. Hawa ni watoto wako. Anaye washutumu ni Yule asiyejua Maandiko ya BiBiLIA
    Asante Mungu

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 18 дней назад +12

    Body language ya Martha haiko sawa.
    Anaumia sana wampokee.Mama amsamehe mwanae na ampokee kiroho.amini usismini kuna mema alifanya kwa Mama kwa kiasi chake.ashukuriwe kwa kile kidogo kingi ni chake.amsamehe mtoto wakati utafika tu

  • @Mercyline1234
    @Mercyline1234 18 дней назад +4

    much love ❤️ 😍 be blessed martha 🙏

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 18 дней назад +2

    Martha be strong mungu akupiganie

  • @irenejepkorir9544
    @irenejepkorir9544 18 дней назад +6

    Am happy to see shusho and Martha together, happy merry Christmas to all, May God give our own Martha strength, we pray and love you from kenya

    • @kentz186
      @kentz186  18 дней назад

      Happy holidays!

  • @mhubirichoir-ntyuka568
    @mhubirichoir-ntyuka568 18 дней назад +1

    Nyie maharamia wa kuudhalilisha ukristo msimdhihaki Mungu

  • @gladysnyakenyanya8758
    @gladysnyakenyanya8758 18 дней назад +4

    I love you my sister's Martha and shusho

  • @sheilagg1503
    @sheilagg1503 18 дней назад

    This 2 are birds of the same feather SI mnashiriki kiushetani pamoja.cant believe kuna mtu amewekelewa mikono na Hawa Siri zenu Muungu alitoa kujificha kwa Muungu haiwasaidii shindwe sana katika jina la Yesu

  • @sainechakisanga6571
    @sainechakisanga6571 18 дней назад +7

    Nakupenda Martha usitetereke simama na Yesu tu haya yatapita tuuu ,ukiona unasemwa sana jua we we ni MTU sahihi❤❤ songa mbele mbele pambana usilie tena ,simama futa machozi kumbuna ndugu ndo adui wa kwanza kwenye mafaniko ya MTU yeyote ,umeniliza sana ,watanzania tupo pamoja na wewe usiwazingatie hao wachache

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 18 дней назад +1

      Wewe huna ushauri mzuri. Yaani unafurahia mtumishi wa Mungu anakosana na mama yake mzazi kwa sababu ya mpuuzi mmoja shetani Joan. Aache usagaji

    • @MariaEvance
      @MariaEvance 18 дней назад

      Mfariji kwa ujinga

    • @MariaEvance
      @MariaEvance 18 дней назад

      Wasimbe lazima wafarijiane

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 18 дней назад +1

      Mama kwanza ndipo ataimba vizuri

    • @qulasulle-hp1ni
      @qulasulle-hp1ni 18 дней назад +1

      Yesu gani? Mnatia moyo ili azidi kuangukia mbali na Mungu? Je mama yake ni mwongo? Kwanza kuvunja NDOA ni dhambi inayompeleka JEHANAMU, labda akirudi kwenye ndoa yake aliyoivunja.Hata Christina aliyemwacha mumewe na kuolewa na Mume mwingini ni MZINZI TU NA HUYO MUME ALIYE NAYE, SIJUI HAKUSOMA LUKA 16:18 NA WALAWI 2:16 ??? Kmhubiri Yesu Kristo hata kama Ulimwengu utaokoka kwa mahubiri yake, HAKUTABADILI HUKUMU YA MUNGU DHIDI YAKE KWA DHAMBI ALIYOIFANYA KUVUNJA NDOA HADI AFANYE MATENGENEZO KWA KUMRUDIA MUME WA NDOA YA KWANZA.WOTE WALIOVUNJA NDOA ZAO isipokuwa kwa Ugoni , hayo maandiko yatawahukumu kwenda JEHANAMU ya moto, WANAJIFARIJI KUMTUMIKIA MUNGU ILA MUNGU HAYUPO PAMOJA NAO😂😂😂😂

  • @JoyceNdunguru-lg1ug
    @JoyceNdunguru-lg1ug 15 дней назад

    Martha Mwaipaja,usikate tamaa,simama Katika jina la Bwana wetu YESU KRISTO,,Songa mbele,,Bwana YESU anakupenda sana.Usikate tamaa hata kama umeanguka,inuka ktk Jina la YESU Songa mbele,Usiogope mwendee YESU KRISTO jinsi ulivyo.

  • @josephinepaul6169
    @josephinepaul6169 18 дней назад +3

    Mungu wa mbinguni ndo mwenye kuhukumu.martha mtukuze Mungu kwa Moyo wako wote..

  • @CATEMOGESH
    @CATEMOGESH 17 дней назад

    Msiukumu msije kuukumiwa, Martha take heart my dear,Mungu akutie nguvu

  • @PaulNdunguru-um7ey
    @PaulNdunguru-um7ey 18 дней назад +3

    Shetani 😢 wewe acha kuwazuga watu Wewe Utakufa vibaya sana Mludie Mama ❤ kwanza hapo upo kujishafisha tu 😢

  • @DicksonMwakibinga
    @DicksonMwakibinga 18 дней назад

    Mungu mwema akutie nguvu matha mwaipaja shusho bado upo vizuri sana nakumbuka sokoine unikumbuke baba unapozuru wengine

  • @zachariamakoba8368
    @zachariamakoba8368 18 дней назад +4

    Haya mademu yayajitambui ivi kwa machozi yoote ya yule mama hata hayajari😢😢😢daa ila ibirisi 😢😢😢

  • @MiriamJohn-k5t
    @MiriamJohn-k5t 16 дней назад

    Mungu atusaidie sana, yesu tushike kwa mkono wako kwenye hii dunia

  • @humphreymwankemwa
    @humphreymwankemwa 18 дней назад +5

    Jamani jamani! Yaani acheni NGANO na MAGUGU vimee pamoja ........

  • @ongezamaarifayaufugajiwakuku
    @ongezamaarifayaufugajiwakuku 18 дней назад

    MUNGU AKUTIE NGUVU MARTHA, THIS TOO SHALL PASS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RomwardFrance
    @RomwardFrance 18 дней назад +4

    Mathar Amini Kuna watu tunakpnda sana ila unakiburi dada yetu huyo shusho Hana upendo nawewe.ukiendelea nakiburi utazidi kushuka dada

  • @ManeMethode
    @ManeMethode 18 дней назад +3

    Amen men mungu wazidisheye nawapeda saaaaana

  • @TaravivaRobson
    @TaravivaRobson 17 дней назад

    Haya maisha yanaumiza sana huwezi kuelewa kama ujakutana na hii kitu namanisha changamoto za family kuna mambo unakutana nayo ambayo kibinadamu yanaumiza sana na kuna wakati unashindwa kuyabeba na kujionesha kuwa umeumizwa ila kibinadamu utasema kuwa wazazi awakosei ila yapo mambo yanayo umiza sana hususa ni pale tunapo amini kuwa hawawezi kutuumiza lkn haiko hivyo kwahiyo basi maisha siyo rahisi ila kuna wakati tunasamehe tu hivyo nashauri my sis Martha piga goti omba MUNGU akupe hekima nenda nyumban kwa mom akasolve hili kila gumu lina sababu na ipo nguvu kubwa kwenye kila pito MUNGU🙏 atafanya wepesi..

  • @AGNESSMZIRAY
    @AGNESSMZIRAY 18 дней назад +5

    Usiombe wakati wa jaribu kwanza unatamani ujitenge kbsa usione watu..lkn Mungu yupo na anaelewa yote

  • @ungamuhogo6988
    @ungamuhogo6988 18 дней назад +2

    Hongera sana Christina shusho

  • @JohannesMtung
    @JohannesMtung 18 дней назад +2

    Ndugu na wakae kwa pamoja tazama ilivyo vema na kupendeza

  • @AnnaKimaro-r1z
    @AnnaKimaro-r1z 18 дней назад

    Pole da martha mungu ni mwema sana nandio maana bado upo mpaka leo nasisi tunakupenda sana

  • @patiencepatience9361
    @patiencepatience9361 18 дней назад +4

    Wanao amini mungu wa kweli nipitieni tusonge pamoja na ujumbe wa kweli wa mwenyezi mungu

  • @VictisBukutsa
    @VictisBukutsa 18 дней назад +2

    Martha take heart ❤️❤️ mom naelewa ni ngumu but be strong

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 18 дней назад +4

    Mimi hapana nimeshaondoa imani na hao wadada kabisa ila siwahukumu. Ukweli wanaujua wenyewe. But naona tu sasa kama wasanii wa muziki wa kidunia tu! Kunajambo mimi na wewe hatulijui. Ngoja muda ufike

    • @Esther-v9s8n
      @Esther-v9s8n 18 дней назад

      Yes wapo kwaajili yakuimba waingize fedha tu.. YANI ukikosea ogopa sana anae kwambia haujakosea huyo ndie adui lakini anae kwambia ukweli huyo ndio mzuri Anataka upone

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 дней назад

      ​@@Esther-v9s8nnyie hamsemi ukweli ila mnadhihaki kwa maneno mabaya hakuna ajuaye ukweli kati yetu ni mungu pekee

  • @MamaSamKK
    @MamaSamKK 18 дней назад +2

    Mungu amutie nguvu Martha. She is really hurting, all that is happening to her it's not easy. Mungu yupo.

  • @chaulam5567
    @chaulam5567 18 дней назад +3

    Pole sana marth Yesu akutie nguvu

  • @EmanuelBayor
    @EmanuelBayor 18 дней назад

    Mungu akupe kuvuka katika hili dada Martha vita ni vikali ila kushinda ni lazima Mungu yupo pamoja nawe

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 18 дней назад +3

    Wasagaji wote unalazimisha amina

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 18 дней назад +2

    Sifuatilii ujinga,,,una skendo ya kumkataa mamako mzazi,,,ujaweka ata sawa unakuka kukatika viuno,,na hii dunia mi ntazidi kuishangaa kumbe mtoto skuiz anamkana mzazi😊

  • @esthernyaboke1764
    @esthernyaboke1764 18 дней назад +3

    😢😢mama ni mama usidanganyike na huyo kupe sikia kaa uko na siko

  • @zara.smithwick
    @zara.smithwick 17 дней назад

    It's in Africa where when women rise and progress in any area of career, innovation or talent the entire multitude fight them back with all sort of false accusations and condemnation. Sending love and grace to Martha and Shusho as they pass through this season of tough storms. Kenya loves you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 18 дней назад +4

    Nenda kamuombe mama radhi shenzi kabisa,bila mama ungemjua shusho au tungekujua bila huyo mama unayemzrau