CHRISTINA SHUSHO AMKINGIA KIFUA MARTHA MWAIPAJA, UPENDO NKONE APIGA KWENYE MSHONO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 19

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 6 часов назад +4

    Christina Shusho umekosa aibu kabisa😕😕. Upendo Nkone ubarikiwe sana😍😍

  • @HappinessMajengo
    @HappinessMajengo 3 часа назад +3

    Mama upendo kaongea point love you

  • @monicanatai144
    @monicanatai144 4 часа назад +2

    Ubarikiwe upendo

  • @HazibonMogereja
    @HazibonMogereja 12 часов назад +8

    Upendo Nkone ni Genious... aliamua kukaa kimya lakini akatafakari akaona azungumze kwa hekima kama mtu mzima.

    • @Rozleen-i9c
      @Rozleen-i9c 12 часов назад +3

      Kabisa uyu mama ni mama wa kiroho Yan kwa ushauri ni mama nzuri sana halaf hua hapindishi maneno anakuchana hapendi ujinga halaf Yuko serious hatar

    • @veronicamnico4773
      @veronicamnico4773 9 часов назад +1

      Huyu ndo mtumishi wa MUNGU 🎉🎉🎉 ubarikiwe sana upendo nkone

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 4 часа назад +1

      MUNGU ambariki upendo

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 4 часа назад +3

    Christina shusho hana Mungu ndani yake kabisa kwa jinsi alivyoongea,
    1 Yohana 4 : 20Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.
    1 Yohana 4 : 21
    Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.

  • @vincej9275
    @vincej9275 2 часа назад

    Christina Shusho ana shabikia ujinga wa Joan na Martha. Mama yako ni mama. Thank you Upendo Nkone for being wise.

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 3 часа назад +1

    Hujaona anayopitia mama yake Martha unaona anayopitia Martha utafikiri hujaenda Leba ndiyo maana ndoa ilikushinda na mpaka leo unatumia jina la shusho.

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 7 часов назад +2

    Shusho umeaibika ulijua Upendo atashadadia ujinga wako, upendo ameokoka siyo kama wewe Shusho unamtetea Matha kwani alichokifanya ni sawa?Upendo kaokoka bana

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 9 часов назад +1

    You Christina you don't have haya ata kidongo si you live papa chusho bila kosa Ni Mungu gani uyo wakuseka live your husband njameni

  • @HappinessMajengo
    @HappinessMajengo 3 часа назад

    Love you upendo

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 9 часов назад +2

    Uwacharati mubwa a big cheater katika waimbaji wa tanzania Christina 🇹🇿

  • @ramaninaujenzitz9395
    @ramaninaujenzitz9395 2 часа назад

    Shusho ni mjinga toka kitambo sana, kuna kipindi aliwahi chekelea walipo mfananisha na Janet Jackson bila aibu akaona fahari, huyu dada ni mjinga mjinga sana... Leo kajichanganya kaumbuka

  • @jonasynyasika6391
    @jonasynyasika6391 7 часов назад +1

    Aisee hii akili sijui ya aina gani.Shusho hana akili na hana Mungu.
    Alijua na Nkone ni Mjinga mwenzie.

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 12 часов назад +2

    Upendo ameokoka kiukweli shusho ni mkristo fake

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 3 часа назад

    Unajifanya kumtetea ukute hata wewe tabia zinafanana.

  • @HappinessMajengo
    @HappinessMajengo 3 часа назад +2

    Mama upendo kaongea point love you