Titi Ranel ft. Bahati Bukuku - Sikia Maombi (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 83

  • @helleni2045
    @helleni2045 15 дней назад

    Baba sikia maonbi ya familia yangu na itaji ya maombi ya moyo wangu🙏🙏🙏

  • @joycekitundu9335
    @joycekitundu9335 Месяц назад +3

    Nakupenda dada Bahati ❤, umewakaaaaaaaa

  • @stellahmaweu2594
    @stellahmaweu2594 Месяц назад +5

    Nampenda huyu mama Bahati Bukuku sana................wimbo mnzuri.....much love from Kenya.

  • @jardinmkoka1216
    @jardinmkoka1216 Месяц назад +1

    Sikia maombi yangu Baba unikumbuke 🙏🙏🙏 I need God in Everything 🙏

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b Месяц назад +2

    Ninaimani nawe Mungu. Yakwamba namaliza huu mwaka salama Mimi na watu wa nyumbani mwetu. Ee Mungu sikia maombi yetu amen 🙏🙏🙏🙏 🙏🙏🙏.

  • @MichaelMatia
    @MichaelMatia Месяц назад +1

    Ohhh, hallelujah,Atasikia maombi,thank you Servant Bahati and Titi

  • @ChristMasiko
    @ChristMasiko Месяц назад +1

    Heshima kwa mama @ bahati bukuku, 🫡🫡🫡🙌🙌🙌🙌👏👏, yaani tunambariki Mungu kwa huduma yako, pongezi pia kwa kaka Titi Ranel, Kazi nzuri mno, mataifa tukianza na mimi yamebarikiwa kwa huu wimbo wa baraka❤❤🎉🎉

  • @mariamEvelyn-h8p
    @mariamEvelyn-h8p Месяц назад +6

    Ninaimani na 2025 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu yupo kazini

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah Месяц назад +7

    Bahati anaunguruma sauti uake imefuata ya simba wa Yuda Mungu akuinue zaidi umependeza umekuja kivingone na nywele za kawaida bila wigi

  • @alisembungua704
    @alisembungua704 Месяц назад +1

    Wow nice one kila kitu kimeingia mahali pake

  • @Adams-zu8dw
    @Adams-zu8dw Месяц назад +3

    Ninaimani na yesu wangu ntavuka mwaka salama 🙏🙏🙏🙏

  • @danielsomabey
    @danielsomabey Месяц назад +1

    Waou félicitations grand homme de Dieu 🎉

  • @rogasialagho
    @rogasialagho Месяц назад +1

    🤲🤲🤲🤲Sikia maombi 😭

  • @tupokigweandimile
    @tupokigweandimile Месяц назад +1

    Sikia maombi yangu Baba🙏🙏

  • @FrancineMav
    @FrancineMav Месяц назад +2

    Nyimbo zuri sana naya pemda 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @GT3000-c1p
    @GT3000-c1p Месяц назад +1

    Bwana sikia vilio vyetu 😢😢🙏🏽🙏🏽
    Mungu awabariki sana 🙏🏽🙏🏽❤️💯

  • @Jonathan_Zongwe
    @Jonathan_Zongwe Месяц назад +2

    Mes félicitations homme de Dieu 🎉

  • @shentellangobas159
    @shentellangobas159 Месяц назад +1

    Amina 🙌🎶

  • @esterkiundwa2650
    @esterkiundwa2650 Месяц назад +1

    barikiwa Sana MTUMISHI
    wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri Sanaa
    Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi 🙏

  • @Debby-c9c
    @Debby-c9c Месяц назад +1

    Jameni sauti ya bahati yanipa goosebumps ❤

  • @GawaherH
    @GawaherH Месяц назад +1

    Nakuhomba Mungu wangu usikiye maombi yangu mm Yatima wa baba na mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @SurprisedBabyPenguin-yj3pt
    @SurprisedBabyPenguin-yj3pt Месяц назад +1

    Wow Bahati bukuku angelic voice barikiwa sana

  • @sylvesteramwai7192
    @sylvesteramwai7192 Месяц назад +2

    Bahati bukuku,sauti yako yatisha shetani

  • @alicesheilajones2322
    @alicesheilajones2322 Месяц назад +2

    One of the ladies I love from the east🎉🎉❤ More grace mamma I wish to sing by your side one day by God's grace🙏

  • @gaudenciaredwin2154
    @gaudenciaredwin2154 Месяц назад +1

    Imani bado ninayo nitavuka salama pamoja na jamii yangu,Mungu simama nasi 🙏🏽

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 Месяц назад +1

    Cjakuelewa cna mungu awalinde munapo mutumikia 🙏🙏🙏🙏

  • @ChristianMike-fw8nv
    @ChristianMike-fw8nv Месяц назад

    Huu wimbo umenitia nguvu sana🎉🎉🎉🎉

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 Месяц назад +2

    Nina Imani 2025 nitaenda viwango vingn Mungu akatende kwa mikono yake Ameni

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 Месяц назад +1

    Wa kwanza mimi ❤❤

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Месяц назад +2

    Ubarikiwe sana mtumishi 🇰🇪

  • @PriscaHossea-vg1zo
    @PriscaHossea-vg1zo Месяц назад +1

    Eeee Bwana sikia Maombi yangu 🙏🙏🙏

  • @GawaherH
    @GawaherH Месяц назад +1

    Usikubali kushindwa kwangu eweee Mungu wangu😢😢😢😢😢😢😢

  • @HannaSamson-nq3hc
    @HannaSamson-nq3hc Месяц назад +1

    Ehh baba skia maombi yangu 🙏🏿🇬🇧

  • @SteveKayumba-q5k
    @SteveKayumba-q5k Месяц назад +1

    Pasta titi ranel mungu ami bariki sana!

  • @mercyjelagat841
    @mercyjelagat841 Месяц назад +1

    Baba sikia ombi la moyo wangu🙏🙏

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg Месяц назад +1

    Huuu Wimbo ni mzuri sana

  • @JavasonZion
    @JavasonZion Месяц назад +1

    Ashukuriwe MUNGU

  • @getrudebulemi4964
    @getrudebulemi4964 Месяц назад +12

    Sikia maombi Baba mm yatima hapa ninakulilia😢😭 2025 is my year.Please someone like my comment ill come back here to testify next year 🙏

  • @charitynyclin4086
    @charitynyclin4086 Месяц назад

    Sikia maombi yangu mungu🙏

  • @MuhangoCélestin
    @MuhangoCélestin Месяц назад

    Sikia maombi Bwana

  • @guedalyjohnsontv
    @guedalyjohnsontv Месяц назад +1

    Sifa kwa bwana 🎉

  • @LinnetNafula
    @LinnetNafula Месяц назад +1

    Nimeupenda ❤

  • @RAIVONMWAKALANJE
    @RAIVONMWAKALANJE Месяц назад +1

    Ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara

  • @bupempanga640
    @bupempanga640 Месяц назад

    Powerful song

  • @gospelmusic201
    @gospelmusic201 Месяц назад +1

    Barikiwa sana mutumishi wa mungu

  • @SolomonDieumerci
    @SolomonDieumerci Месяц назад +1

    Ubarikiwe na Mungu

  • @TakatifuMusicLabelOfficial
    @TakatifuMusicLabelOfficial Месяц назад +1

    🙏 Amen 🙏

  • @VeroniqueKazadi-x1s
    @VeroniqueKazadi-x1s Месяц назад +2

    Maman Bahati je t'aime beaucoup maman

  • @Esther-rm7fg
    @Esther-rm7fg Месяц назад +1

    Safi amen

  • @MumbereEvariste
    @MumbereEvariste Месяц назад +2

    Una imba vizuri lani mivaliyo yako imebadilika mwana wa Mungu havaye kama wewe badilisha

  • @achosisharon8578
    @achosisharon8578 Месяц назад +2

    Naskia kulia😢

  • @jovialbenofficial
    @jovialbenofficial Месяц назад +1

    Lolololololo...sikia maombi 👏👏👏👏👏

  • @erastomponda8762
    @erastomponda8762 Месяц назад +1

    ❤❤sikia maombi

  • @BarikiMwasa-d7d
    @BarikiMwasa-d7d Месяц назад +1

    Nice song

  • @dorahmwambemba9032
    @dorahmwambemba9032 Месяц назад +1

    Powerfully voice

  • @derickmukendi8348
    @derickmukendi8348 Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @cephaskamutanda2213
    @cephaskamutanda2213 Месяц назад +1

    Ninaimani Jéhovah atafuta machozi yangu

  • @FannyMisenga-uw4nv
    @FannyMisenga-uw4nv Месяц назад +1

    Nzambe ya Lola apabola musali ya nzambe

  • @JOSEHUMADUKA
    @JOSEHUMADUKA Месяц назад +1

    Amina

  • @marymuruka2962
    @marymuruka2962 Месяц назад

    Hivo beats za kinigeria ziko sawa🙏

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Месяц назад +1

    Congolese boy

  • @Lucy-nl4pt
    @Lucy-nl4pt Месяц назад +1

    Nina Imani 2025 ni mwaka wangu😢

  • @eliekuzama_tv
    @eliekuzama_tv Месяц назад +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @AnnahDivine
    @AnnahDivine Месяц назад +1

    Jesus listen my prayer

  • @lumosinewton9333
    @lumosinewton9333 Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @RizikiOmari-gq7qt
    @RizikiOmari-gq7qt Месяц назад +1

    Àmen😢😢😢😊

  • @shopaman3726
    @shopaman3726 Месяц назад +1

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @esthermwau4315
    @esthermwau4315 Месяц назад +2

    Baba sikia maombi yangu,we love you Bukuku and Ranel,Nipitieni apa mkisubscribe wapendwa🙏🙏

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 Месяц назад

    ❤❤😢😢🙏🤲🤲🤲🍁🌺🧎‍♀️

  • @-notcamella-5971
    @-notcamella-5971 Месяц назад +1

    Nyimbo nzuri lakini hai match na video.

    • @CynthiaMarube
      @CynthiaMarube Месяц назад

      Acha zako sikia message..omba mungu asikie maombi yako..mwenye kushoot video aliona Iko sawa uwezi enda studio kutoa wimbo kama aijakaguliwa..anyway message ndio ya maana..tubarikiwe sisi site🙏🙏

  • @gospelmusic201
    @gospelmusic201 Месяц назад +1

    ruclips.net/video/8Ko8pPu3iyA/видео.htmlsi=1G5Qwp5V3x2HgJCE

  • @Fr-jonasIlunga-nn9bw
    @Fr-jonasIlunga-nn9bw Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @RAIVONMWAKALANJE
    @RAIVONMWAKALANJE Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @RoseChai-t9z
    @RoseChai-t9z 8 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @حسنعلي-ث6ظ5خ
    @حسنعلي-ث6ظ5خ Месяц назад +1

    ❤❤❤❤