UFAFANUZI WA MAKAMU ASKOFU MKUU WA TAG KUHUSU KUJITOA KWA REV;MOSES MAGEMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 235

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 2 дня назад +14

    Kwa upande wangu nabarikiwa mno na Mtumishi wa Mungu aliye hai Moses Magembe.

  • @MissGee-ro6ej
    @MissGee-ro6ej 2 дня назад +26

    Mungu anajua kila jambo. Hata kama mnaweza kujaribu kumchafua, sisi tunamfahamu Mchungaji Magembe na msimamo wake thabiti. Ni mtu mwenye uadilifu wa hali ya juu. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni.

    • @erickhenry2619
      @erickhenry2619 День назад +1

      Watu wanahitaji Injili wafunguliwe dunia nzima..sio mifumo na udhehebu.Mungu simama na pastor Magembe maana shetani hawezi kumkalia kimnyaa anajua siku zake zinahesabika.

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 3 часа назад +1

    HAWA MAASKOFU WA TAG na viongozi vipi wanapitia hizo comments??? Kupitia hizi coments mngejipima sana kuwa ninyi HAMKUBALIKI MZEE MAGHEMBE ndo yuko sahihi

  • @AmaniNkwabi-i3s
    @AmaniNkwabi-i3s День назад +2

    Bora mzee magembe umejitenga maana Nuru na Giza havikai pamoja acha wanaojiona miungu watu wazikane wenyewe

  • @christopherkaroli9365
    @christopherkaroli9365 2 дня назад +3

    T A G inaenda mrama sana sema tu mlioko ndani bila kumhitaji Mungu awaoneshe hamwezi kujua, si tulioko nje tunajua hilo.

  • @GabrielPaul-tq4kk
    @GabrielPaul-tq4kk 2 дня назад +4

    Hongereni sana viongozi wa kanisa letu zuri la TAG, Mungu awabariki sana kwa kuliongoza kanisa vizuri. Msikate tamaa tunaendelea kuwaombea kazi yenu ni njema sana.

    • @omuze1290
      @omuze1290 День назад +1

      @GabrielPaul-tq4kk Ni kweli mtaendelea mbele tena vizuri kama taasisi ya kidini na si vinginevyo. Si mnaona hata kanisa katoliki wanaendelea mbele kidini?
      Viongozi wa TAG hamfanani hata kidogo na kanisa la kwanza la mitume. Mnafanana na dunia na kujikomba kwa kaisari. Hapo ndipo mlipopishana na mch. Maghembe.

    • @FestoMossesZakayo
      @FestoMossesZakayo День назад

      🤣​@@omuze1290

  • @kasugulianthony
    @kasugulianthony День назад +1

    Imeniuma sana, haya mambo haya.... Mungu aturehemu sana sana.

  • @fredrickkinunda6463
    @fredrickkinunda6463 День назад +5

    Mzee Maghembe binafsi namuelewa sana, mzee anakemea dhambi sanaaa.

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 2 дня назад +9

    Hela yangu unanipangia nimpe nani ?
    Maghembe ananibariki mnooo

  • @mathewpaul629
    @mathewpaul629 2 дня назад +5

    Nadhani HAKUNA Sababu ya kumpaka matope. Ametumika Sana sina hakika Kama anaweza kuwaua. Kikubwa let's appreciate his service. Inatosha Sana

    • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
      @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 дня назад

      IPO shida

    • @samueldouglas6477
      @samueldouglas6477 2 дня назад

      Mungu akutunze sana umeongea kitu kikubwa mno.
      Mzee Magembe katika hotuba yake hajaichafua kabisa dhehebu - kaweka wazi kuwa ameamua kutoka na kukabidhi kila kitu kwa hiari yake.
      Ila baba mzee Mhiche hapa anataka kujichafua kwa kumchafua

  • @malleironworks4586
    @malleironworks4586 2 дня назад +5

    Maghembe aweke account hadharani tumchangie ili huduma yake iendelee hadi hawa wapasuke mioyo..

    • @samwelmtasiwa9892
      @samwelmtasiwa9892 День назад

      Wewe wakikuona watag watakumeza

    • @a4afrika
      @a4afrika День назад +1

      Changishaneni mnunue trekta, au kufuga kuku, samaki, nk au hata kiwanda kidogo. Hiyo ndio Ibada.

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 День назад

      @@a4afrika Hizo tutakazochanga Ni za kwake. Atajua yeye azitumie namna gani mwenyewe..
      Mimi sio M-TAG Ila huwa naelewa anacho preach Mch Maghembe..

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 День назад

      @@samwelmtasiwa9892 Hawawezi, Wanaijua ghadhabu ya Mungu ilivyo Kali pindi akiamua..

    • @a4afrika
      @a4afrika День назад

      @@malleironworks4586 Hata yeye huhubiri hicho nikisemacho.

  • @emanuelkayombo7351
    @emanuelkayombo7351 2 часа назад

    Nyie waongo bwana....magembe amenyooka sana na atabarikiwa sana kuliko alivyokuwa kwenu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 День назад +2

    Hamwexi kumchafua Magembe mpaka sasa yuko safi....

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 День назад +1

    Huyu mzee Magembe anajiona kuwa yeye ni mtakatifu kuliko hata Yesu mwenyewe, mimi nashangaa kuona wanaomuunga mkono, alikuwa anaboa sana. Mungu haitaji umaarufu wa mwanadamu haijalishi mtu huyo ana ukongwe wa aina gani, kwa Mungu hakuna ukongwe.

    • @omuze1290
      @omuze1290 20 часов назад

      @brysonsabun4657 mch. George wa Mtwara alisema wakati wa mahubiri yake mwaka jana wakati wa kongamano la wainjilisti Dodoma kwamba, ndani ya kanisa la TAG kuna wachungaji wazinzi. Kama hayo mambo yapo lakini hatusikii wakitengwa au kuchukuliwa hatua, mch. Maghembe akikemea ana kosa gani? Ndiyo maana mch. Maghembe alisema wazi, uamsho ni lazima uanzie kusafisha ndani kwanza. Aliongea kikubwa lakini wenye akili na ufahamu ndio waliomwelewa. Wanaomchukia mch. Maghembe watakuwa ndio wahusika wa huo uchafu na wanalindana. Ni mtandao wa kulindana katika uovu ndio unaolididimiza TAG katika giza!

    • @brysonsabun4657
      @brysonsabun4657 20 часов назад

      @omuze1290 kwani kuna dhambi ndogo na dhambi kubwa? Nafahamu kuwa miili yetu ni hekalu la Mungu na dhambi ya kumuhuzunisha Roho mtakatifu ni mbaya, sasa wewe unaonaje, kuna dhambi mzuri? Je, hao wazinzi mliomba kuwapiga mawe mkazuiwa? Kanisa halikuwatenga? Kudhihaki, kushutumu, kushuhudia uongo, kusengenya na mambo kama hayo yatawapeleka mbinguni nyie mlio watakatifu sana?? Alikuwa anazungukia makanisani na kuuliza,"eti wangapi mnanifuatilia kwenye RUclips na tiktok, hiyo yote ilikuwa nia ovu ya kujikusanyia wafuasi kutoka ndani ya T.A.G. Unadhani kuna mshtuko wowote kwa kujiondoa kana kwamba ni kitu ambacho hakujipanga? Nijibu vipengele vyote vyenye alama ya swali.

    • @brysonsabun4657
      @brysonsabun4657 20 часов назад

      Heri yenu nyie mlio ktk utatu mtakatifu

    • @omuze1290
      @omuze1290 14 часов назад

      @@brysonsabun4657 tatizo lenu ndio hilo, hamtaki kuambiwa ukweli.

  • @AhaziButati-ml8up
    @AhaziButati-ml8up 23 часа назад

    Safi sana kiongozi nimebarikiwa sana. Unasema kabla hajahama angalia muundo wa uongozi huko unakokwenda.

  • @omuze1290
    @omuze1290 2 дня назад +16

    Maelezo ya makamu askofu mkuu aliyotoa hapo TAG Majumba 6 hakupaswa aongee namna ile. Ametumia nguvu kubwa kuonesha ubaya wa mch. Magembe ili aonekane muasi.
    Makamu askofu angeonesha ukomavu wa taasisi ya TAG kama alivyotuaminisha ktk maelezo yake kwa kutojibu mapigo. Ulichofanya ni sawa na kusema: umemwaga mboga na sisi tunamwaga ugali. Nyie si ni wa kiroho na mmekomaa kiroho? Maandiko yanasemaje? Usilipe kisasi kwani kisasi ni cha Bwana. Hapo mmefeli sana!
    Imagine kusema eti mtoto amekuzwa na sadaka za TAG. Makamu askofu wewe ukiongea ni taasisi ya TAG imeongea, taasisi ya kiroho kuongea maneno ya vijembe namna hiyo ni aibu kubwa. Umeianika vibaya taasisi yenu. Mungu awasaidie sana.
    In addition, kwa taarifa yenu mch. Magembe anajulikana kwa uadilifu wake mkubwa kiroho na anayeliishi neno la Mungu hata kuwazidi ninyi mnaomtukana. Mch. Magembe badala ya kumtukana mngemwambia maneno machache tu: Tunakushukuru tumefanya kazi nzuri ya Mungu pamoja, tunakutakia amani na kazi njema ya Mungu huko uendako!
    Mengine yangebaki ndani kiofisi na siyo kuyaleta hadharani. Hapo taasisi yenu ungeijengea heshima kubwa sana.

    • @MichaelMbago-d6y
      @MichaelMbago-d6y 2 дня назад +1

      Uko sahihi Rafiki yangu na ninakupa hongera rafiki yangu kwa ushauri mzuri

    • @a4afrika
      @a4afrika День назад +1

      Imani huwa haihitaji Hekima, ni Mihemko na Hulka tu.

  • @tygadaclassic3488
    @tygadaclassic3488 2 дня назад +11

    Huyu makamu ndo anaharibu kabisa, au maybe ndo kafariki 😂maana hana hekima ,kama kakurupuka hivi😂😂😂

    • @patchomwamba9529
      @patchomwamba9529 День назад

      😅😅😅😅 kabisa maneno yake yapo ki mwili haswa

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 2 дня назад +8

    Sasa kumchangia mchungaji asiye TAG ni kosa? Kwani huyo mtoto wa Maghembe anamuhubiri nani??au anamuhubiri TRUMP?
    TAG acheni ubinafsi na kujifananisha na vyama vya siasa!
    Huu ni ujinga mkubwa!
    TAG ni kweli imeoza!
    Hongera sana Rev Maghembe kwa kusema ukweli.

    • @JosephChilemile
      @JosephChilemile 2 дня назад

      Vyama kama vyama vingine
      Watu wengi walioko kwenye makanisa yanayojisingizia ya kilokole hawajaokoka , hawaamini na hawamtaki Yesu hata kidogo...Ndio maana huwa wanamuona kama comedian kwao tu ..Neema ya Mungu kwao ni ruhusa ya kufanya upagani...
      Hongera sana Rev. Maghembe...Je, tuwapendeze wanadamu tumwache Mungu ?

  • @UpendoLembris
    @UpendoLembris 2 дня назад +3

    Hiii ishakua dini km dini zingne, hongera maembe Kwa kutambua hili, japo mwanzo walioondoka uliwaona km waaasi. Lkn ww ni chombo cha BWANA ndo mana MUNGU amekutoa❤❤❤

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂sio maembe ni magembe ujue nimecheka sana

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 2 дня назад

      Ety maembe au njaa ilikuwa inakuuma 😂😂😂😂😂😂

    • @UpendoLembris
      @UpendoLembris 2 дня назад

      @BenjaminChakwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣magembe

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 2 дня назад

      @UpendoLembris kwa kweli umetisha

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 2 дня назад +7

    Kwaiyo kama kanisa limepoa lisiambiwe ukweli ni kweli TAG Mungu hayupo nimesal TAG tabata kisukulu sikumoja sikutamani kurudi hakuna uwepo wa Mungu utazan mtu umeingia kwenye sherehe na kutoka subirini moto wa jehanamu ndio mtajua lilikua limepoa au la

    • @jimmyaroni303
      @jimmyaroni303 2 дня назад +1

      Kanisa halina mbingu yakukupeleka mbinguni
      Hatakama watu wameharibika kikubwa wewe mwenyewe upoje

  • @gwanda27
    @gwanda27 День назад +1

    Kanisa ni Moja tu!, mengine nimaduka ya watu!

  • @samjkaziml9413
    @samjkaziml9413 2 дня назад +6

    SADAKA KUJENGA KAZI YA MUNGU NJE YA TAG SHIDA IKO WAP?
    KAZI YA INJILI SIO KWA TAG TU

  • @DenicOmar
    @DenicOmar 2 дня назад +2

    Mnapenda dunia kuliko neno la Mungu. Maghembe ni mtu Mungu hakika na amekemea dhambi waziwazi Mungu ambariki sana

    • @LazaroNassary
      @LazaroNassary День назад

      Nini maana ya kupenda dunia nini maana ya kupenda maneno ya Mungu na nini maana ya kuanziasha kanisa pembeni na kama alikuwa na uamsho mkubwa angefa

  • @Kageorgewilliam-bh5ms
    @Kageorgewilliam-bh5ms День назад

    Moses magembe ni mtumishi wa mungu mwaminifu sana sana sana sana

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 2 дня назад +3

    Nadhani Tag mnapaswa kumushimu Magembe sana tena ikibidi msimnyoshee kidole kwanamna yotote ogopa sana mtu aliyetembea na Mungu kwa miaka mingi kama Magembe.miaka 56 binafs namuheshimu sana.

  • @PaschalJohn-e4l
    @PaschalJohn-e4l 2 дня назад +5

    Sio sadaka za wana T a g ni za mungu

  • @amanmgandu6825
    @amanmgandu6825 День назад

    Najua Mungu yupo kazini! Na Mungu atasimama na kanisa Lake.

  • @oscarmbilinyi6719
    @oscarmbilinyi6719 День назад +1

    Magembe upo vizur namkubar maana sio mnafiki

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 дня назад +1

    Mbenibariki sana TAG Kwa kutojibu shutuma na kukataza kufuatilia mtu, wote tunajenga mwili wa kristo, Mungu aendelee kuwatunza, mtokambali big up.

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 2 дня назад +6

    Politics in church

  • @gloryjoseph5627
    @gloryjoseph5627 2 дня назад +3

    Kwa maneno ya huyu mchungaj bora mzee wa watu ameondoka alikuwa anaishi na watu wabaya sanaa bila kujua.Mungu atusaidie sana wanafiki ni wengi sana😢

  • @paulojohn9587
    @paulojohn9587 2 дня назад +6

    Sadaka za TAG hii imeekaaje???

    • @VeloMahenge
      @VeloMahenge 22 часа назад

      Hee kumbe Tag inasadaka zake nilijua ni za watu wanao mtolea Mungu kumbe Wana mambo mengi hawa

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 2 дня назад +1

    Nimewahama kuanzia Leo nitaambatana na ijili ya kweli ya Magembe. Mnatetea uovu Mungu awasamehe

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 2 дня назад +2

    😂😂😂 eti niitikieni aminaaa 😅 daah MUNGU tufanyie wepesi na utuongoze katika kweli!🙏

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 2 дня назад +4

    Hata mimi sijapenda hilo neno sadaka za T.A.G kiukweli NI maneno mabaya kwahio na wao wanakula sadaka za T.A.G mimi nikajua sadaka ni kwa ajili ya ufalme wa Mungu kumbe tunadili na T.A.G

    • @childofgod3216
      @childofgod3216 2 дня назад

      Umeongea ufahamu wa juuu sana
      Sadaka na zaka hazitakiwi tena Baba alisema wao wanaendelea kuchukua

    • @jimmyaroni303
      @jimmyaroni303 2 дня назад

      Huja muelewa sio kosa lako

    • @childofgod3216
      @childofgod3216 2 дня назад

      @@jimmyaroni303 😂😂😂😂

    • @omuze1290
      @omuze1290 2 дня назад

      Huwa wanasema ogopa vitu viwili duniani: Mungu na teknolojia. Makamu askofu mkuu yameshamtoka. Ameongea si kwa hekima! Na waandishi wa habari msivyo na staha, mmerusha hivyo hivyo kwenye mitandao pasipo ku-edit.@@jimmyaroni303

    • @VeloMahenge
      @VeloMahenge 21 час назад

      Waongeage kiutumishi roho mtakatifu hakuwa kumbusha kuongea Kwa busara naona roho wamemuudhi YESU awasaidie

  • @ImanSimon-k4v
    @ImanSimon-k4v 2 дня назад +3

    Binafsi mimi sio muumini wa TAG ila kuna kanisa la TAG jirani hapa kuna nguvu za Mungu zisizo za kawaida hakuna uchafu,kuna neno lakweli lenye nguvu sijawahi ona..Nashangaa kuona mnawasema vibaya..Kiukweli Mungu awasaidie Mnaoongea Vibaya kuhusu TAg

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 2 дня назад

      Wewe kanisa Moja la mahali pamoja likiwa vizuri haimanishiii kanisa lote ni zuri acha kutetea mambo usiyoajua.

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 2 дня назад +4

    I stand with Moses Magembe. Mungu amsaidie na kumsimamia.

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 2 дня назад

      Je Moses Kulola naye mlimtimuaje hadi akaenda kuanzisha huduma yake ya EAGT?

    • @ClickandView101
      @ClickandView101 2 дня назад

      ​@@machoguhameri7757kwani kulola alitokea TAG?

    • @amanmgandu6825
      @amanmgandu6825 День назад

      Dude this is not Simba na Yanga!!! It’s about Heaven and Hell….
      Sema Nasimama na Yesu

  • @emmanuelsubira
    @emmanuelsubira 2 дня назад +4

    Kweli kabisa kanisa limeoza,hizi ni zama za wana wa MUNGU ni wepi na wana wa ulimwengu ni wepi .Rejea magugu na ngano

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 День назад +1

    Binafsi sijashtushwa na uamuzi huo maana kauli zake zilikuwa na ukakasi sana na nnaona kama amechelewa sana kuondoka. Hata mzazi wako iwapo hakutimizii matakwa yako solution haiwezi kuwa usajili gazeti lako ili umtukane mzazi wako kwenye mitandao, ili iweje, watu wakuone kuwa wewe ndio mtakatifu sana ? Maadui naona wanashabikia sana kitu cha matengano, ila mimi nnavyojua adui pekee wa mwanadamu ni shetani.

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 День назад +1

    Yesu hakuja duniani kwaajili ya watu perfect ila kutafuta kile kilichopotea ambacho hapa mfano ingekua ni huo uamsho unaosemwa mitandaoni. MAFARISAYO kama huyu aliyejitoa T.A.G waliwakemea wote waliomfuata Yesu na kuainisha dosari zao, ila Yesu alikuwa na mtazamo tofauti aliwaambia, "just come as you are". Huwezi kumbadilisha mtu kwa kumdhihaki kupitia media zako bali kwa kuwa karibu naye ili kumshauri. Mimi nilifikia mahali nikaona mzee yule ana kiburi cha kujiinua na kubeba utakatifu wa Mungu, yaani ktk ule utatu mtakatifu yeye ni number 4 ndivyo anavyojiona yeye, kitu ambacho sio sahihi. Mimi sijastushwa kabisa kwa hatua yake hiyo.
    #KIBURI

  • @SamweliBenno
    @SamweliBenno 2 дня назад +2

    Na sio magembe tu wachingaji wengi wanatamani kutoka sema mmechukua hatimiliki za makanisa mengi ndomaana mnawafanya mnavyotaka mkiwatishia kuyachukua makanisa wasipofanya mnayoyataka

  • @tutengenezemuziki
    @tutengenezemuziki 2 дня назад +1

    Kanisa likishajiita "Sisi dini kubwa" ujue dini imeshaingia,imani imeondoka.....

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 дня назад +1

    Ni kweli kabisa mnakataa ukweli

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku 2 дня назад +2

    Msinichekeshe , mafarisayo mna mambo

  • @ednajustin4763
    @ednajustin4763 2 дня назад +2

    TUSIMPE SHETANI NAFASI,
    KANISA NI LA YESU KRISTO, HATA KAMA SADAKA ZILIJENGA.
    WE NEED WISDOM, WE ARE NOT ANSWERING TO PEOPLE ONLY TO CHRIST
    NAONA TUPO MWILINI SANA

  • @christopherkaroli9365
    @christopherkaroli9365 2 дня назад +1

    Kumbukeni hyo siyo kazi yenu siku moja mtadaiwa, ninyi angalieni matumbo yenu tu. Mnaenda kinyume na Yesu Kristo alivyowatuma

  • @samjkaziml9413
    @samjkaziml9413 2 дня назад +7

    HEBU TUJIFUNZE KWA BISHOP DUSTAN MABOYA AMEKUMBATIA KAZI ZA MUNGU NGAPI NJE YA CAG.
    WHEN IT COMES TO WORK OF GOD, DON'T BE SELFISH.
    UMEHARIBU KATIKA WASILISHO LAKO NI HERI UNGELISOMA TU HOTUBA YAKO

  • @hellensijilaah9739
    @hellensijilaah9739 2 дня назад +4

    Mnaokula sadaka za madhabahu mnonekana tyu mkiambiwa mnakuja juuu

  • @StanslausGeorge-w7x
    @StanslausGeorge-w7x 2 дня назад

    Washirika ni wa YESU na wote tunafanya KAZI moja kuwaingiza watu katika ufalme WA YESU.

  • @VailethKivike
    @VailethKivike 2 дня назад

    Mungu naomba nisaidie hizi ninyakati za mwisho

  • @korneliorm
    @korneliorm 2 дня назад +3

    WENYE HEKIMA WANAKAA KIMYA.

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 2 дня назад

    Umeharibu sana kiongozi

  • @edakilibika5935
    @edakilibika5935 День назад

    Mtamkieni baraka kama mmesamehe zote kazi za Mungu

  • @Shirimatunda
    @Shirimatunda День назад +1

    Kuna hoja ujazijibu

  • @rebeccamalumbosefyuko5380
    @rebeccamalumbosefyuko5380 23 часа назад

    Tumechoka na hizo Habari tunakumtukuza Yesu tu mengine makae nayo wenyewe

  • @deniskibuga5364
    @deniskibuga5364 2 дня назад +2

    Tatizo kubwa la born again Christians we are very quick to Judge. This is very wrong; Nadhan kwenye hili Askofu Muiche umetoa taatifa with bias! Pengine ungeishia kutoa taarifa ya sababu ya yeye Rev Maghembe kuondoka and not to attack him personal!
    But ukweli usemwe; TAG kuna shida ya ki-uongozi na mbaya zaidi kuna uchafu mkubwa unaendelea ndani ya kanisa! Tusijifunike kwa koti la Uokovu. Ndani ya kanisa baadhi ya watu wanalindana kwa uovu. Tujisahihishe, siyo dhambi kujirekebisha. Rev Maghembe anastahiri Heshima. Ni hekima kutoka kwa Bwana ingetumika zaidi kufikisha ujumbe usio na mawaa dhidi yake. Nadhani Muiche hukujiandaa na wala hukumshurikisha Robo Mtakatifu kukufanya chombo bora cha kumuongelea Rev Maghembe.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 дня назад +3

    Dini ya T. A. G inajifia mikononi mwa mtokambali. Shetani kapanda maagent humo tena viongozi wa kubwa sana....Kanisa limeoza kwani sio kweli?. Wekeni vitambi vyenu tu Mungu yupo anawaona

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 День назад +1

    Tag Wana roho ya unafiki sana

  • @amosmwambene9926
    @amosmwambene9926 2 дня назад +2

    Kumbukeni Kulola alianza hivyo na Sasa EAGT kubwa kuliko Tag na injili Nzuri

    • @jimmyaroni303
      @jimmyaroni303 2 дня назад +1

      Nani kasema EAGT ni kubwa kuliko TAG 😂😂

    • @fastonsambo-du4rd
      @fastonsambo-du4rd 2 дня назад

      Kikubwa ni utakatifu siyo jina la dhehebu

  • @alphaleahibrahim8904
    @alphaleahibrahim8904 2 дня назад +3

    Kuna shida gani kama waumini wakiamua kuchangia

  • @ElishaSimwangaile
    @ElishaSimwangaile 2 дня назад +2

    Ukweli utatuweka huru yanayo hubiriwa na mch maghembe ni ukweli kanisa sasa limefika pa baba kiujumula limekufa lina hitaji ufufuo wa kiroho

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 2 дня назад +1

    Kwaiyo tag mnajifananisha na chama tawala!!!!!,du tayari mmeshaingia kwenye mfumo!!,hamchomoki humo!!,labda yesu aingilie kati,kamuulizeni Martin ruther,hakukubali kuingizwa kwenye mfumo!!,ila mm,nimewangalia muda mrefu, tag ya leo sio ile ya miaka ya80,mkiweza badilikeni ili yesu atembee na ninyi

  • @neboughtkalwila
    @neboughtkalwila 2 дня назад +1

    Dini inatajwa, uongozi madhubuti unatajwa, na Roho Mtakatifu hatajwi kuwa kiongozi wa kanisa. Ni uongozi wa umahiri wa kibinadamu. Hata Katoliki uongozi ni imara sana wana misimamo imara sana, KKKT, Moravian, n.k so hapo ni akili za kibinadamu.

  • @emanuelgella8201
    @emanuelgella8201 2 дня назад +2

    Ni ukweli bana makanisa mengi ya kiroho hasa TAG yamekufa, mambo mengi ya dunia yameingia kanisani.. mzee wa watu Hana shida na alisema ukweli na sadaka za TAG kujenga kanisa la mtoto wa magembe au kanisa la magembe sio dhambi.. sadaka anatolewa MUNGU na haitolewi kanisa.. ukisema hivyo wewe kama kiongozi unaonekana kuongea bila kutumia hekima za ki MUNGU. Unaongea kama mwana siasa, kwasababu hakuna sababu ya kuja kuongea hayo mbele ya kanisa. Hujatumia busara za ki MUNGU kuja kumsema mchungaji Alie ondoka mbele za kanisa alilo lichunga. Mambo hayo ni kumuachia MUNGU tu na kunyamazia Wala mambo ya MUNGU Huwa hayafafanuliwi kwasababu akili za MUNGU hazichunguziki.. kitu kimoja nilicho jifunza ni kwamba MUNGU hatetewi Huwa anajitetea, msiende hivyo maana mtapoteza watu

    • @DamasiChengula-v7d
      @DamasiChengula-v7d 2 дня назад

      Yupo sahihi magembe hayo ni machache yapo mengi Huku chini kwa wachungaji naona mungu ameaza kujibu maombi yetu

  • @josephatmnongone6143
    @josephatmnongone6143 2 дня назад +1

    Kubalini ukweli kutoka kwa Roho wa Mungu kupitia kinywa cha mtumishi wake Rev.Maghembe.
    TAG kwa sasa inapoteza dira ikijawa na ubinafsi

    • @VeloMahenge
      @VeloMahenge 21 час назад

      Watubu ili huduma itengamae

  • @SaidYusuphu
    @SaidYusuphu 2 дня назад +1

    Wakuu wa dini iwewaangalifu

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 День назад

    MUNGU yupo msemaji wa mwisho

  • @DenisKanza-n3b
    @DenisKanza-n3b День назад

    Amejiondowa Ili alone yeye na familia yake ukijuwa kweli itakuweka huru kweli kweli.

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 День назад

    TAG wanafiki sana na wana roho ya uongo sana

  • @KennedyUrassa-e2w
    @KennedyUrassa-e2w 2 дня назад +5

    Mzee tatizo ni la magembe mwenyewe au mtoto ? Madhaifu ya mtoto usiongee hapo.kwa mtazamo wangu magembe hajakosea ila ninyi mko na shida.mimi nafikiri ungehubiri neno la kristo ingekuwa vyema. Zaidi.

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 День назад

    Haya hutokea kila sehemu, k😂ikubwa ni kuendelea mbele na waumini wawe na imani ya kweli basi.

  • @burtonmhenga9196
    @burtonmhenga9196 День назад

    Watoto wenu wamekua kwa sadaka za tag ila magembe kujenga kanisa kwa sadaka za tag kumbe ni kosa hee?

  • @DenisKanza-n3b
    @DenisKanza-n3b День назад

    Mnakula sadaka mlitaka akubali hiyo tabia mnakula wake za watu mnataka assadiki mjitafakari.

  • @SamwelMvuta
    @SamwelMvuta 2 дня назад +1

    Jamani

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 2 дня назад +1

    Obvious, tatizo sio kuhama kwa Magembe. Tatizo ni "sadaka za TAG kwenda kujenga kanisa lake". Tatizo ni fedha za sadaka kutopitia kwenye mikono yenu. Kwa sababu kama mtu anaamua kuhama dhehebu, shida iko wapi? Hata kama angewaaga kwa mdomo tu, ingetosha sana. Hakukuwa na sababu ya kuitisha camera na kusema yote hayo. Mkutano wenu huu ni ishara ya wazi kuwa hamko na Mungu. Ushauri mzuri mtu yeyote anayeweza kuwapa wachungaji wangu, ni kuwa mrudieni Mungu, tubuni haraka na Mungu ni mwaminifu na mwenye rehema atawasamehe tu!!

    • @d.a.nicholaus
      @d.a.nicholaus 2 дня назад

      Lazima watoe tamko tujue which is which. Kila mtu alikuwa anasema lake.

  • @MeshakiIsaya-g5x
    @MeshakiIsaya-g5x 2 дня назад

    Mmetenda magembe vibaya , mtachomwa moto siku moja

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 2 дня назад

    Neno la Mungu linasema kwa kinywa mnanikiri lakini ninyi mioyo yenu ipo mbali nami

  • @jacksonsweetbert9236
    @jacksonsweetbert9236 2 дня назад

    Ev.daniel joshua alisema jana daaah kumbe kweli

  • @alimwimikesahwiurea0097
    @alimwimikesahwiurea0097 2 дня назад +1

    Huyu mtangazaji hajawahi kuokoka. Manywele hadi aibu utadhani Bongo Fleva. Kweli Kanisa LIMEFARIKI

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 2 дня назад +1

    Kumbe kama ujalelewa naa sadaka ndio anaa adabu 😂😂😂

  • @Bongetv
    @Bongetv 2 дня назад +1

    KUKUBALI KUTOKUBALIANA

  • @epifanuskamwelwe7919
    @epifanuskamwelwe7919 2 дня назад

    Mkiambiwa ukweli eti mmetukanwa. Kanisa halina Mungu kabisa.

  • @ElishaSimwangaile
    @ElishaSimwangaile 2 дня назад +1

    Vita vyetu si vya damu na nyama bari karika roho mitandaoni sio suruhu mnaliweka kanisa mikononi mwashetani

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 2 дня назад

    MAGEMBE YUKO SAHIHI MBAKI NA MUOZO WENU WA KUJISIFU NA KUJINUA INJILI SIYO VITA INJILI NI YA YESU NA NI YA AMANI MMEACHIWA TAG YENU SASA ACHENI KUFUATILIA MAGEMBE WETU TUNAMPENDA SANA NA TUNABARIKIWA NA INJILI ANAYOHUHUBIRI

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 дня назад

    Shetani mbaya ameshindwa alitikisa EAGT watu wakacheka badala ya kuombea kanisa sasa ameingia TAG watu wa Mungu shetani ni yule yule na pia viongozi wasikilizeni manabii wa kweli wametabiri sana juu ya kanisa hilo

  • @Kristofanitv
    @Kristofanitv День назад

    Sadaka sio mali ya dhehebu,ni mali ya mungu

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 День назад

    Lisu nae alitukana Uongozi wa Mbowe wakati yuko huko huko Chadema

  • @godfreysemwenda5988
    @godfreysemwenda5988 2 дня назад

    TAG tangu atoke Rev Moses Kulola Bado halijawa salama litaendelea kumomonyoka taratibu

  • @gilbertmgabriel9158
    @gilbertmgabriel9158 2 дня назад

    Hii hotuba inaonesha kuwa TAG imekufa. Mnajihesabia haki pia mnaonesha kwenye hili kanisa limekuwa na siasa Kama CCM na TLP

  • @stephanomwaweza8167
    @stephanomwaweza8167 2 дня назад +1

    Kusema ukweli ni kutukana?mimi binafsi sijapenda ujumbe wako makam askofu...mngekaa kimya hapo ndo dalili za kufa kwenyewe?sijapenda

  • @antoniazacharia133
    @antoniazacharia133 2 дня назад +1

    Tag imekufa alafu mnajitetea nini saivi mnajali masilai tu turudi kwamungu jamani

    • @samwelvalentino
      @samwelvalentino 2 дня назад +1

      T.A.G haijafa ila wewe ndio umekufa Kwan kanisa sio jengo ni mtu binafsi ndio kanisa hivyo kama kanisa limekufa basi kubali kuwa wewe ni wakwanza kufa

    • @joshuakim427
      @joshuakim427 2 дня назад

      Brother yapo mambo yanaitaji matengenezo ,kwa kama inafikia kanisa linafungisha ndoa ya watu ambao tayar walishafunga ndoa awali tena madhabahuni means wat ipo shida kubwa.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 дня назад

      Hivi kuna uhusiano gani kati ya TAG na EAGT ?!?

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 День назад

    Mzee yuko sahihi kanisa kama kanisa limeozaaa,,sio TAG tuu ni wooote cc wakristo wooote nanyie piaa tunahitaji watu sahihi

  • @ELIREHEMANAWE
    @ELIREHEMANAWE 2 дня назад

    Mungu awabariki wote mliotoa comment zenu lakini zote zinaonesha kumkejeli huyo baba makamu askofu jambo la msingi na la kuzingatia uongozi pia unajukumu la kuponya watu wa majumba sita maana mtumishi mkubwa kama magembe kuondoka kanisa linapitia wakati mgumu,,,,,
    Hivyo mwenye akili anyamaze jiepusheni kuwaponda watumishi wa Mungu kama hamjapata taarifa sahihi juu ya mambo yanayoendelea,,,,
    Naona wengi wanapelekwa tu na dhoruba zinazotembea bila kufanyia utafiti kuhusu yanayoendelea,,,,,,
    Kanisa tuombe tusiwe na ushabiki wa kipumbavu kama tunashabikia mpira wa miguu tukumbuke hii ni kazi ya Mungu,,,,,,
    MUNGU WA MBINGUNI AWASAIDIE WATU WA MAJUMBA SITA KWA WAKATI HUU MGUMU WANAOPITIA LAKINI MUNGU AZIDI KUMTUMIA BABA MAGEMBE HUKO ATAKAPOKUWA ANATUMIKA,,,,,,,,
    KUBWA ZAIDI MUNGU AWAPE NGUVU VIONGOZI WA HALMASHAURI KUU YA KANISA LA TAG KWANI NAO WANAPITIA WAKATI MGUMU WA KUSEMWA VIBAYA NA WATU WENGI,,,,

  • @TabithaJaphet
    @TabithaJaphet 2 дня назад

    Bahati mbaya mtu anaesimama na misimamo yake na kujiona yuko sawa kuliko wengine wote, watu hao dunia huwaona kama ndio wanasimamia ukweli, ila kiroho mtu thabiti anasimama na wenzie.

  • @SamweliBenno
    @SamweliBenno 2 дня назад

    Sasaivi mmnawaendesha sana wachungaji mmeweka mifumo ya Bezaleli mnawakokota wachungaji wafanye kama mnavyotaka

    • @AlphonceMboya-g4y
      @AlphonceMboya-g4y 2 дня назад

      Kwenye Bezaleli, sizani kama hii ipo kiroho japo sijui kiundani zaidi

  • @AugustinoMshihiri
    @AugustinoMshihiri 2 дня назад +1

    Watu wa DINI HUWA HAWAHUBILI KUSAIDIA WATU WAMJUE MUNGU BALI WANA PAMBANA NA VYEO

  • @amoskambo8991
    @amoskambo8991 2 дня назад

    TAG kwa urefu ni?

    • @Fesary
      @Fesary 2 дня назад

      Tanzania Assembly's of God

  • @RachelSongela
    @RachelSongela 2 дня назад +2

    YESU KRISTO anaemtumikia Moses magembe atashughulika na nyie

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 2 дня назад

    UNAPOSEMA SADAKA ZENU ZIMEJENGA KANISA LAKE.SADAKA NI SUALA LA MTU BINAFSI.MBONA TUNACHANGIA HUDUMA TOFAUTOTOFAUTI ZA KIROHO.KWELI KANISA LIMEKUFA HAKUNA NGUVU YA MUNGU KAMA ZAMANI.LIPO KAMA MAKANISA YA KAWAIDA.MRUFIENI MUNGU ACHENI SIASA MAKANISANI.MUNGU NI MMOJA TU MNAYEMTUMIKIA.

  • @JoyceMtandu
    @JoyceMtandu 2 дня назад

    Unaropoka sana