HATIMAE CASSIAN NA MAGEMBE WA UNGANA KUWASHA MOTO TAG EV PASCHAL CASSINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 379

  • @christinemwakio7870
    @christinemwakio7870 18 дней назад +11

    I bless you minister Cassian and minister magembe thank you... mimi binafsi mtm. Cassian unanibariki sana napata ujasiri unapo kemea na kuonya asante kwa kusimamia matengenezo... kuna uamsho mkubwa sana unabeba endelea kusimamia , kile ulicho tumwa kuleta sisi nikupokea tu.. only for those in spirit will understand🙏. Live long minister's in Jesus name 🇰🇪🇰🇪

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 16 дней назад +10

    Hii ni sauti Toka nyikani.Mungu akubariki sana Mtumishi Paschal Cassian.

  • @JoshuaSteven-z3r
    @JoshuaSteven-z3r 17 часов назад

    Namkubali Mbarikiwa paskal casian na magembe watumishi wa mungu tuko nyuma yenu bya rev Joshua baay

  • @Janesikweya
    @Janesikweya 18 дней назад +4

    Ukweli usemwe hallelujah 😢mwenye kupinga naomba Mungu akufungue macho ya a rohoni akuondolee ya mwilini maana ya mwilini yanatupeleka kuzimu funguka kwa jina la YESU Christo amen nakupenda mtumishi cassian damu ya YESU ikufunike kila wakati❤❤

  • @NeemaNeema-f1c
    @NeemaNeema-f1c 2 дня назад

    Mungu akubariki sana mtumishi sema tupone. japo sija kuchangia ila nakombea mungu akutie nguvu sana

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin 18 дней назад +3

    Barikiwa Mtumishi passcal ktk hili tumepokea ujumbe huu mzuri ..Mungu akuinue ktk hili uendelee kulikemea ..❤❤🎉🎉

  • @alfredlwingaubarkiiwemtumi8243
    @alfredlwingaubarkiiwemtumi8243 17 дней назад +3

    Amina watumishi wa Mungu MCH Magembe na mwij Cassian SONGA mbele tuko pamoja Injili ya kweli lazima inenwe hatutamwogopa mtu yeyote mapambo yamezidi makanisani cha ajabu viongozi kuanzia Askofu mpaka shemasi( dikoni) wamenyaza na kunyamaza kunajulisha kukubariana nayo nawaambia mtadaiwa

  • @dicksonmrope8030
    @dicksonmrope8030 15 дней назад +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Ev Casian

  • @GideonNchunga
    @GideonNchunga 12 дней назад +2

    Binafsi kama kijana nabalikiwa,,injili ya kweli inachoma, paul alionya kanisaa🤲 YESU akupe nguvu

  • @BarickMtasa
    @BarickMtasa 16 дней назад +2

    Tunakuombea Mungu akupeulinzi mkubya uzidi kuyaweka wazi maovu najifunza mengi San ya kiroho kutoka kwako brother Mungu akulinde❤

  • @ELIZABETHIMunishi-uq1lg
    @ELIZABETHIMunishi-uq1lg 2 дня назад

    Hongera sana mtumishi uko sawa usiogope

  • @PhilemonJulius-h8h
    @PhilemonJulius-h8h 18 дней назад +4

    Kaka angu hongera kwa kujitahidi kusimamia kweli lakin Mungu akusaidie

  • @emamayauka
    @emamayauka 16 дней назад +2

    Casian unaukosha sana moyo wangu Mungu akupe maisha marefu

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 5 дней назад

    Mwenye kusikia na asikie Asema Beana yatengenezen mapito🙏🙏🙏

  • @AIZECKNSAGAJE
    @AIZECKNSAGAJE 17 дней назад +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana MUNGU akutunze daima katika kristo Yesu kweli hutuweka huru,

  • @ernestraymond4006
    @ernestraymond4006 12 дней назад

    Hallelujah ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.

  • @ombeniMassawe
    @ombeniMassawe 18 дней назад +1

    Mtumishi wa Mungu barikiwa sana injili iendelee hii ni sauti ya mtu aliae nyikani itengenezeni njia ya Bwana mtu mwovu aache njia mbaya amrudie Mungu muumba wake, YESU akutie nguvu mtumishi hakuna kurudi nyuma ni moto wa injili 🔥🔥🔥

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha 12 дней назад

    Asante kwakufunurina Neno la Mungu mtumishi ubarikiwe sana

  • @SelinaMwanakatwe
    @SelinaMwanakatwe 7 дней назад +1

    Nakukubali Sana mtumishi sema ukweli tu mwenye kupona atapona mwenye kupotea aendelee kupotea MUNGU akubariki Sana

  • @agnesskyando4018
    @agnesskyando4018 17 дней назад +1

    Hongera mtumishi casiani huo ijasili wengi hatuna japo neno tunalijua au wanalijua nimeupenda huo ujasili nami MUNGU anijalie ujasili huo tukipata Kila kanisa la wokovu mjasili kama wewe upotefu usingekuepo

  • @emamayauka
    @emamayauka 16 дней назад +2

    Mungu anamtumia kasian katika viwango vya juu sana, huwa nafatilia sana mahubir yako injili ni maonyo sio kusifia

  • @DawsonMateru-z2g
    @DawsonMateru-z2g 15 дней назад

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu injili bila kukemea dhambi utakatifu haupo tunashukuru kwa uwepo wako wala usinyamaze kamwe

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 17 дней назад

    Mtushi wa Mungu waambie ukweli, na kweli itawaweka huru.mimi nakunga mkono kwa kazi nzuri unayoifanya kumuwakirisha christo kwa ukubwa huu. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻

  • @Julianahilari
    @Julianahilari 4 дня назад

    Askofu, magembe,Mungu, amekufanya kuwa chom bo Cha kuwasaidia watu ktk nyakati hizi za mwisho, Mungu akutie nguvu

  • @EliabuChatanda
    @EliabuChatanda 18 дней назад +2

    Ukweli nimuhim sana na yesu ndiye kweli pekeake Barikiwa mtu wa Mungu

  • @rhodakisena6428
    @rhodakisena6428 16 дней назад +1

    Nakuelewa sana Cassian injili hii ni kweli simama daima na Mungu

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 12 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉Great job 😮😮

  • @ANITHAMLAMBIA-h1h
    @ANITHAMLAMBIA-h1h 18 дней назад +2

    Honger mtumishi ongea tupone mana tumekuwa wavivu wa kusoma maandiko tunakimbilia miujiza badara ya kusoma neno ilikupata maarifa

  • @KwetiLoongumo-os7wz
    @KwetiLoongumo-os7wz 18 дней назад +10

    Wito huo uliopewa endelea kituponya mm nmwana TAG nakusapoti kabisa

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 18 дней назад

      Achana na mwana tag mpenda.
      Hamia kuwa mwana wa Mungu

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 18 дней назад

      Fact Mwana wa MUNGU .Mtumishi tusimame sana YESU anatupenda​@@estermathias8354

    • @dicksonmwasembe
      @dicksonmwasembe 16 дней назад

      Emeen

  • @ezechielndihokubwayo
    @ezechielndihokubwayo 17 дней назад +2

    Piga injili Mtumishi wa Mungu ,unanitia nguvu sana

  • @mwassajoseph8675
    @mwassajoseph8675 15 дней назад

    Umejitoa mhanga kuokoa kanisa! Ubarikiwe mtumishi wa kweli wa mungu! Na ukitaka kujua waumini wamekufa ona anavyohubiri waumini hawapigi hata vigeregere kwa vile ukkeli unawaumizabl mioyo yao! Ila ungehubiri mambo ya kidunia ungeona shangwe mpaka viti vingeanguka chini😭

  • @EmmanuelSangura-w6w
    @EmmanuelSangura-w6w 15 дней назад +3

    MIMI SIAMINI MAUBILI BILA KUMTAJA YESU KRISTO WA NAZALETI.

  • @JANEEDWIN-g5q
    @JANEEDWIN-g5q 2 дня назад

    Kanisa la Mungu suala la kujipamba halikubaliki kabisa kibiblia na kama umemkubari Yesu kubari kuacha mambo yanayomchukiza Mungu! Haijalishi unayapenda na kuyafurahia kiasi Gani!

  • @EliyaMwangobe
    @EliyaMwangobe 17 дней назад +2

    Napenda sana injili ya huyu mzee ! Ningelikuwa jirani na huko aliko ningehudhuria ibada yake

  • @FestoR.Nicodemo
    @FestoR.Nicodemo 11 дней назад

    Brother, blessed are you who saying truth, but not only TAG, go on talking to all churches,

  • @ukumbushoadam5691
    @ukumbushoadam5691 17 дней назад +2

    BARIKIWA SANA MINISTER PASCAL CASSIAN ENDELEA KUSEMA KWELI MUNGU AKULINDE❤

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 15 дней назад +3

    Tafsiri ya mavazi ni mtazamo. Nimewahi.kumwona hiyu mtumishi amevaa vile vijinsi/kadeti vyembamba. Lakini, hakuna anayesema. Ndiomaana, ukiona mtu anahubiri vitu na watu hapo ni changamoto. Angalia Injili ya Yesu

    • @OnesmoKahulo
      @OnesmoKahulo 15 дней назад

      Kuhubiri habari zinazo wahusu mtu unaowafaham kwenye mtandao ni kukosa hekima unaweza ukaangamia kwa Hilo na ukadai ni vita ya injili, nashauri wewe hubili injili kwa wenye ndambi kama unajambo na mtu nenda kamwone.

  • @DaudiPanja-f2n
    @DaudiPanja-f2n 18 дней назад +3

    Huu ni wakati wa matengenezo ya kanisa sema kweli kwa sababu neno la Mungu ni kweli

  • @AnnaSenkana
    @AnnaSenkana 15 дней назад

    Hongera baba kuachana na TAG waambie watu habari njema ya wokovu

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 18 дней назад +2

    Shujaa wa Imani amesema kweli,yaani nampenda huyu mtumishi napenda mafundisho yake sanaa

  • @DanielNasibu-c2s
    @DanielNasibu-c2s 18 дней назад +2

    Ubalikiwe mtumishi wa Mungu aendelee kukupigania tumekalibia nyumbani

  • @Sifaminani
    @Sifaminani 11 дней назад

    Mungu. Akubariki. Sana. Shuja. Wa. Bwana. Kulionya. Kanisa. Lime. Poteya. Kanisa. Mungu. Akuonge. Zeye. Mafuta.

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 13 дней назад

    Mungu Akubariki mutumishiwa Mungu bwana kusema ukweli nyakati hizi zamwisho Mungu Anijalie tubate wenye ukweli kama wewe

  • @LameckMwakilembwe
    @LameckMwakilembwe 15 дней назад

    Pole ndugu kwa kazi ya Bwana unayofanya MUNGU AKUPE NGUVU, LAKINI KWA VIONGOZI WA TAG HAWATAELEWA, MUNGU WA DUNIA HII AMELIKAMATA KANISA LA TAG

  • @EstherMinja-jv1qf
    @EstherMinja-jv1qf 5 дней назад

    Mungu atupe Neema

  • @ChristinaSamweli-le9cz
    @ChristinaSamweli-le9cz 18 дней назад +5

    Siku hizi waumini wameacha kumwabudu MUNGU wanawaabudu wachungaji

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 15 дней назад +1

    Awa ndio wa tmishi wa Mungu cassian UBALIKIWE SANA VIKUKU NA DEBWANI NA SHALI NA VIFUKO NA MATALASIMU NA PETE NA AZAMA NA MATALASIMU NA MISHIPI NA MEKAPU NA NJUGA NA DUSUMALI NA NJUGA NA NYWELE ZA KUSUKA PAULO NAE AKAJA AKASEMA YA KWAMBA NYWELE ZA MWANA MKE MCHA MUNGU AWEZI KWENDA KICHWA WAZI AFUNGE KITAMBA

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 12 дней назад

    My brother Ev God bless you for last warning message mimi ni wa kanisa la abbath

  • @ilumbochisawilo5203
    @ilumbochisawilo5203 18 дней назад +2

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.unahitaji kujifunza biblia vizuri.

  • @MagrethShumbusho
    @MagrethShumbusho 16 дней назад +3

    Hujui kutafairi Neno vzuri,, jifunze bible kwanza

  • @NyassaHenry
    @NyassaHenry 18 дней назад

    Mungu alibariki kwa kazi unazozifanya bb❤❤❤❤❤❤

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 9 дней назад

    Na Yesu mwenyewe alishasema: Tena mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru. Injili ya Yohana 8:32, Neno la Mungu ndio kweli jinsi lilivyo. Na wala halihitaji tafsiri ya pili toka kichwani mwa mtu. Lipo wazi. Ila shetani anazipaka rangi dhambi na kulipoza neno la Mungu. Mwenyezi Mungu alitupatia Roho mtakatifu atuongoze, tunamtangulia kwa mbele yeye tunamwacha nyuma.

  • @NeemaHussein-y7m
    @NeemaHussein-y7m 15 дней назад

    Amen❤❤❤❤thank you God bless you

  • @LeokadiaAudax-bz4gi
    @LeokadiaAudax-bz4gi 16 дней назад +1

    Mungu awabaliki watumishi watumishi wa Bwana kasian amagembe sema sana tumechoka na huu ushenzi wa viongoz wetu wa TAG wameingiza dunia kanisan tumechoka semaaaàa sana😂😂😂

  • @jonathankihebe9889
    @jonathankihebe9889 16 дней назад

    Mungu akubarki Mtumishi wa Mungu

  • @MamiNdambakaJolie
    @MamiNdambakaJolie 17 дней назад

    Kweli Mtumishi Mungu akubariki

  • @rehemasamson442
    @rehemasamson442 12 дней назад

    Aaaamina.mko sawa kabisa watumishi WA Mungu

  • @TrubinokXMaisha-v5t
    @TrubinokXMaisha-v5t 8 дней назад

    Tabia za kichawa chawa ndizo zifanyazo watu kuamini baadhi ya watu hawastahili kuonywa...Songambele Mtumishi wa Mungu useme ukweli bila kuogopeshwa.

  • @ChitegetseNgaruko-w2z
    @ChitegetseNgaruko-w2z 17 дней назад +1

    Mungu azidi kukuinua mtumishi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 14 дней назад

    Magembe ana maono🎉🎉❤

  • @DevothaMkwama-q8v
    @DevothaMkwama-q8v 10 дней назад

    Hakuna aliyesimama na YESU akapigwa na MUNGU WEWE UPO SAHIHI SANA MM NAKUPONGEZA SANA MTOKA MBALI SYO YESU BALI NI Mwanadamu anakosea hao ndio wanaoenda makanisani kwaajil ya kufata watumishi cyo NENO LA MUNGU😢😢

  • @KulwaZephania
    @KulwaZephania 12 дней назад +1

    Mungu akubaliki mtumixhi na endelea kucema ukwel❤

  • @asherimtotowasimba
    @asherimtotowasimba 18 дней назад

    😅😅😅😅amina mtumishi wa Mungu upo sahihi %,,,ubarikiwe sana mtu wa Mungu Pascal cassian nipo nawewe kila wakati ❤❤❤

  • @celestineniyibaruta4805
    @celestineniyibaruta4805 11 дней назад

    Ongeya ukweli kaka yangu 🙏🙏❤️❤️

  • @gaudensiasamwel5337
    @gaudensiasamwel5337 12 дней назад

    Amen, Ukweli lazima usemwe hata kama wengine wanachukia wapo ambao wata ponywa

  • @PasiweloMpembe-r4l
    @PasiweloMpembe-r4l 18 дней назад +1

    Barikiwa sana kwa kusema ukweli

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 15 дней назад +3

    Cassian unachokosa ni tafsiri sahihi ya Neno la Mungu. Ukiomba upewe tafsiri sahihi, usipige kelele sasa. Omba tafsiri. Unakashifu wengine. Lazima unaposoma Neno la Mungu, ujue nani alisema na kwa ajili ya kina nani. Ndiomaana, kuna nyaraka zimeandikwa kwa Wafilipi, Wakorintho, Wakolosai, n.k. Zilikuwa ni Nyaraka kwa ajili ya ku-address issues specific. Hosea alipoambiwa atwae mke wa uzinzi, haimaanishi na sisi tufanye hivyo. Huo ujumbe ulikuwa ni wa Hosea peke yake. Tafsiri ya Neno la Mungu ni changamoto sana, ndiomaana, Rwanda hawaruhusiwi kufundisha mambo ya imani kama hawajasoma, ili kuepuka tafsiri za ajabu.

  • @SamoraPeter-s7r
    @SamoraPeter-s7r 14 дней назад

    Uko sawa mtumishi

  • @neemamhongole5468
    @neemamhongole5468 12 дней назад

    Uko sahihi KABISA mtumishi wa Mungu

  • @chrisophermazanza6499
    @chrisophermazanza6499 18 дней назад +5

    Hii ndio injiri ya kweli hubili kweli pasipo kumuogopa mtu na kutazama ulimwengu ,tuache njia mbaya tufuate njia sahihi ya mungu, nikimtazama huyu mzee sijawahi muona ila amevaa roho ya simba .mfano wa wale viumbe wa nne wenye uhai mmoja ana mfano wa simba
    Kazi ya simba nikuwakasiri kuharibu chochote kiuovu pasipo huruma ndio roho aliyo kuwa nayo yohana mbatizaji sauti iliyao nyikani ,anayelia nyikani nisimba wapendwa msizizimishe roho hizo zimetumwa wapendwa acheni zifanye kazi yake ,tanzania nawaona paschel casina ,mchungaji magembe, askofu gwajima, pamoja na mbarikiwa mungu awalinde najua kwanini hamkai kimya

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 18 дней назад +2

      Huu ndo ukweli kanisa limehamia duniani kujichubua na kujitwisha mawigi kwa wana wa MUNGU ni dhambi

    • @dicksonmwasembe
      @dicksonmwasembe 16 дней назад

      Emeeeni

  • @myrhiamebondo1619
    @myrhiamebondo1619 15 дней назад

    Mungu amibariki sana

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg 6 дней назад

    Mtoka Mbali mpuuzi sana ameliharihalibu Kanisa sana

  • @JeromeNkembo
    @JeromeNkembo 16 дней назад

    Pastor magembe hiyo ndiyo kweli isiyoghoshiwa, Mungu azidi kukutia nguvu ktk jina la Yesu Kristo zab 119: 6

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 9 дней назад

    Yesu alisema: "Waliowangu waisikia sauti yangu"

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 11 дней назад

    Nikiherehere.chakusahihisha uumbaji mzuri waMungu ndiyo maana Mungu hataki upuuzi huo kwamwanadamu.

  • @PatrickZombe
    @PatrickZombe 16 дней назад +1

    Andiko Linaua pia.be care.

  • @SaraKabona
    @SaraKabona 18 дней назад +1

    Ila kubali Mungu hajakutuma imetumwa na yule mungu Wa dunia hii. Nakuombea achana na kuzim kwanza

  • @SaraKabona
    @SaraKabona 18 дней назад +1

    Unajichukia ww mwenyewe kwakujipeleka kuzimu. Unaiacha njia ya Bwana wetu Yesu

    • @paulmathias810
      @paulmathias810 18 дней назад +2

      Kwa mawazo yako yesu ndiyo anapenda zambi?

    • @emmanueltango6437
      @emmanueltango6437 17 дней назад

      Dhambi ndiyo jina la mtu? Biblia imeelekeza namna nzuri ya kuelekezana watu wa Mungu hii ni aibu ya nani?​@@paulmathias810

  • @SarahMuga-p6m
    @SarahMuga-p6m 10 дней назад

    Safi sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 14 дней назад

    Barikiwa Mchungaji Cassian

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 15 дней назад

    Ubarikiwe casian

  • @lilianjoseph1144
    @lilianjoseph1144 15 дней назад

    Daaah shetani kila mahali kapiga pin😢
    Daaah Mungu tusaidie

  • @FrancisMankambila
    @FrancisMankambila 17 дней назад

    Nimemjua YESU KRISTO ALIE HAI kwa kunichagua na kunitazamisha NURU YAKE napenda Sana mafundisho ya kunipeleka miguuni pa YESU KRISTO moyo wangu unaiona mbingu nyeupe kwangu mbarikiwe San a kwa kusema ukweli

  • @YohanamusaSulema
    @YohanamusaSulema 17 дней назад

    Aminaa barkiwa mtumish

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 13 дней назад

    NYAKATI za hatari sana , Hilo kanisa limeshafunikwa na Giza

  • @JohnBenedict123
    @JohnBenedict123 17 дней назад +3

    Ndiyo maana huwa najiuliza sana. Hivi hao malaika waliomtokea Askofu Mtokambali wakamwambia UTAKUWA MKUU, wameshindwaje kumwambia KANISA LINAENDA MRAMA?
    Nasema hivi, HAO NI MALAIKA WAJINGA!!

  • @ngalulaselemani3297
    @ngalulaselemani3297 16 дней назад +1

    Waambie mtumishi nipo kongo n'a kufutilia

  • @engmwakasala2820
    @engmwakasala2820 18 дней назад +3

    Ukweli wa Biblia utasimama tu, Sio cheo cha mtu. Mtu hana Mbingu ya kukupeleka.

  • @OnesmoKahulo
    @OnesmoKahulo 15 дней назад

    Mtumishi wa Mungu hubiri injili usihubiri watu.

  • @GERALDAlexKagaluki
    @GERALDAlexKagaluki 13 дней назад

    Wengine hata mapambo yao siku izi yanapita hadi mapambo ya kikahaba jaman dunia imefika mwisho Mungu atuokoe

  • @PhilemonJulius-h8h
    @PhilemonJulius-h8h 18 дней назад +2

    Injili ya kweli ni Ile ambayo inawafanya watu wamjue Mungu ila sio kuwasema watu katika yaliyo madhaifu Yao kama unataka kutengeneza ni hekima kumfuata mhusika ila sio kumsema hadharan kama una lengo la kumsaidia, Unaweza ukajikuta unamkosea Mungu pasipo kujua ndugu yango

    • @HappyJohn-j6u
      @HappyJohn-j6u 18 дней назад +2

      Dhambi inawekwa peupe Co kuficha yesu aliteswa peupe😅😅😅😅

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 18 дней назад

      Haswaaaaa Kukemeaaa ​@@HappyJohn-j6u

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 17 дней назад +1

      Badilika tu ndugu hata Yesu aliwakemea watu kweupe na kuwaambia enyi nyoka Wana wa majoka! Halafu vyeo ni vya hapa Duniani mbinguni hakuna vyeo ni taji tu kulingana na kazi yako uliyofanya Duniani!

    • @footballfunny9187
      @footballfunny9187 13 дней назад

      Ukweli unauma hakika

  • @JumanneMwakatwila
    @JumanneMwakatwila 6 дней назад

    Ukweri ndio huo ubarikiwe sana

  • @AbillahJuma
    @AbillahJuma 13 дней назад

    Ilo neno la kujipamba alina maana hiyo usikalili wew...
    Dhima ya ilo andiko ni .... Kuweka umuhimu kwenye kutengeneza maisha ya ndani kwanza... Haimaanishi kuwa hautakiwi kusika ...ila uweke msimamo kwenye kutengeneza maisha ya ndani... Usiongee vibaya mkuu

    • @eugeniepongo2886
      @eugeniepongo2886 13 дней назад +1

      Wewe tumesha kujuwa ni waupande ule Kwe Yesu kuna kanuni zake za Utakatifu Biblia inatuongoza Mtumishi Huu acha aongeye ukweli ❤🇨🇩🇹🇿🙏🏿

  • @AbillahJuma
    @AbillahJuma 13 дней назад

    Neno hujui wew😂😂😂

  • @JANEEDWIN-g5q
    @JANEEDWIN-g5q 2 дня назад

    Hakika ukweli ulimgharimu Yesu,

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 18 дней назад +2

    The truth is Always bitter but it will set everyone free. Mtu hata akabadilisha sura yake lazima sura itazeeka tu... moyo pekee ndio hauzeeki na haubadliki turembeshe mioyo yetu na wala sio miili.
    The church nowadays is only there just to be seen by people... adoring themselves outside while inside their heart they're rotten. Outer beauty is not permanent it'll fade away, inner beauty is all needed

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 9 дней назад

    Biblia ndio mizani ya kujipimia mwenendo wetu. Kila mwanadamu anapaswa kulifuata neno lilivyoandikwa. Na imeandikwa: Ndiyo iwe ndiyo na siyo iwe siyo.

  • @josiasntakisigaye-sv4ot
    @josiasntakisigaye-sv4ot 17 дней назад +1

    Jamani waumini jueni maasikofu no wanadamu watahukumiwa kama RAIA wengine hicho nicheo tu,Ila hakitamfanya asihukumiwe

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 9 дней назад

    Hilo neno la Isaya 56:10. Limenifanya nikumbuke: Wayahudi walivyomshitaki Yesu na kumpeleka kwa wakuu wa Serikali ya kiyahudi, baada ya kuchomwa mioyo yao. Hawakutaka kubadilika wakaamua kumshitaki.

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 17 дней назад +2

    Mtumishi wa Bwana nakuomba utupe mistari kuhusu mapambo tusome ili tuacha hizi dhambi tusaidieni mkiwa mnahubiri mtusomee mistari mtatusaidia tusome tuache wengine tulikuwa upande wa pili bado tunajifunza tupeni mistari tusome watumishi wa Bwana

    • @JosephMiligo
      @JosephMiligo 16 дней назад

      Nenda ukasome biblia takatifu 1Petro 3:3 utaona habari kuhusu kujipamba kwa wanawake kusiwe kwa nje

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 16 дней назад

      @JosephMiligo Amen Mtumishi Asante saana uzidi barikiwa na Bwana

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 16 дней назад

      @@JosephMiligo nimesoma lakini nilivyoelewa mimi sijaona hakuna katazo usisuke usijimbambe neno la kukataza sijaliona ila jinsi ulivyojipamba nje je na ndani moyo wako uko mzuri kama ulivyojipamba nje tunaambiwa mioyo yetu iwe miema matendo mema kwa Mungu na kwa wanaadamu lakini sio nnje unajipamba ndani roho chafu matendo mabaya yote yamejaa haikubaliki wamama wa Enzi hizo walijipamba walikuwa na vito vya kila aina Lakin njisi walivyokua nje ndivyo mioyo yao ndani ilikuwa hivyo mizuri ilotimilika kwa yoote mimi ndivyo nilivyoelewa lakini sikuona katazo ila kama binaadamu huwezi weka mikucha kama shetani na ma makeup kama msukule minyewele kama pepo hapana mpaka unaonekana kituko wadada woote wamekuwa warabu na wazungu hawataki tena rangi njema za asili walizozaliwa nazo inamaana Mungu alikosea baada ya miaka ijayo taifa litakuwa na janga la cancer ya ngozi Mungu Baba unusuru vizazi vyetu na aibu za Dunia.