Mtumishi Paschal Cassian nakupenda sana , kwa maana unaendelea kusaidia vijana wengi katika kizazi hiki cha mwisho nakuombea tu Mungu wa mbinguni ukulinde usiku na mchana katika nyakati zozote zile, Amen🙏
Mtumishi wa Mungu Cassian unanifundisha mengi mengi nisiyoyajua na watumishi wachache wana ujasiri wa kutafsiri na kuweka mambo haya hadharrani, nomemwona mwingine, mzee MAGEMBE, mzee Lazaro, na hatu mtumishi mwinjilist Katekela ambaye naye huko kama wewe. Umri ukienda nanyi mkawepo hakikantutakuwa tumepata fafanuzi nyingi. Basi niseme nini leo 4.1.25.
Amen 🙏 Ninaasa kusema mungu atusaidie sana na mungu wa binguni akube ngufu na akutie unjasiri mkubwa ili uendelee kutufungua macho ya kiroho. Uaunanifuza kitu kikubwa sana katika message yako Uaunaongea jambo ambalo mtu mwingine hawesi kusema kwa mtandao mungu akubariki sana ♥️ in Jesus name
Hakika mtumishi umenifundisha mambo mengi San niliyokuwa siyajui nimeyajua, na manabii, mitume, wachungaji na waimbaji wa uongo tumewajua MUNGU akubariki san
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
Kauli zake zipo wazi kijana kuchagua kuingia huko au la , vijana wengi sio kwamba hawajui kwamba njia zake si sahihi kadili ya miongozo ya imani ya ķristo ila wameamua liwalo na liwe Kijana mwenzangu kama ilivokuwa imani huja kwa kusikia basi jiepushe na makala zote zenye kuweka rehani imani yako kwa Yesu Kristo.
We God love, ni mpumbavu tu kwasababu pesa itakusaidia nini sanasana, kwasababu ukiwa na pesa mingi afu huna Bwana Yesu rohoni mwako, bac ujue siku ya hukumu utatamani urudi duniani utengeneze uhusiano wako na Bwana Yesu lkn utakuwa umekwisha kuchelewa!!! Kumbuka tajiri aliomba tone la maji afu siku hiyo hapati kwasababu anachomwa na moto wa jehanamu!!! Luka 16:29. Afu eti itamfaidi nini mtu kuupata hata huu ulimwengu wote, kisha akapata hasara ya nafsi yake? Marko 8:36. God love, pesa ni maua, iko siku zitaisha. Neno la Bwana Yesu Kristo inasema hivi, Ole wenu ninyi mlio na mali, kwakuwa faraja yenu mmekwisha kuupata, Luka 6:24. Acha kabisa hii akili yako ya kitoto.
Yeye acha akae na hela zake acha tuishi maisha ya kristo maana haya mengine yanatupofusha kutoka kumwabudu yesu kuingia katika fahari ya dunia ila tunako kwenda watu watamtafta sana kristo na hawatakuwa na mda ata wakutubu ila tunazo ziona nikelele zadunia ambazo zimeificha kweli
Kwa maana hatukuleta kitu katika dunia wala hatuwezi kurudia na kitu. Basi kama tukiwa na chakula na nguo, vile vinatosha.... Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake? Shetani amekutawala kijana, sasa inamaana wewe ni roho wa shetani uliyekuja kutafuta wakuinamia shetani mwenzako. pesa ambazo mtu ametolea jasho, kwa hakika huwezi kazianika kiasi hiki. Huyu anafaa akamatwe anatakakupotosha vijana. Jameni roho ya tamaa ya pesa imemiminwa duniani hili kuiba vijana wengi..... ni vyema ukae maskini bali uingie mbinguni. Wale tunawaona maskini leo mbinguni utapata ndio matajiri. Ubarikiwe mtumishi
Ninapata hasira sana wanaomtukana MUNGU MUUMBA WA MBINU NA NCHI, WAKEMEWE KWA JINA LA YESU, HATA SAMIA KWA KUHANI MUSA ALIVYOPIGA SIMU KANISANI AKAAHIDI MILION 100 NI WALEEWALE WAANAJUANA KUZIMU HALAFU WANAWAFANYIA TRICK DUNIANI
God love ni maarifu sana wainjilist, wahubiri manabii ,mitume wamepata mahibiri sat sana hapa ndio tunajua manabii feki mitume feki huyu jamaa God love ni mwanafalsafa nyie mnasaidia vijana matajiti waumini maskini
unataka vya Bure lazima uchangie afu unataka ujue Siri ya mafanikio yake umuhalibie acha ujinga unajuaje kama ni hera za freemason pole sana. hiyo ni dalili ya umasikini nyingne
Wee hizo pesa hujatoka jasho umeuza Nini mpaka utndaze pesa chini na kusema kwe mitandao yote mabenki yote utakuwa unauza labda damu za ndugu nawatoto km yule mtoto mzuri wa miak6 km cio mipngo Yako huyo mtoto aliwakosea Nini wale wauaji km sio Dili lako Sasa unajigamba HADHARANI tuna akili,mbona kabla mtoto hajafa hujamwaga pesa chini,yaani inatakiwa na wewe ukamate utoe maelezo tumekasirika sio sawa
Mtumishi Paschal Cassian nakupenda sana , kwa maana unaendelea kusaidia vijana wengi katika kizazi hiki cha mwisho nakuombea tu Mungu wa mbinguni ukulinde usiku na mchana katika nyakati zozote zile, Amen🙏
Uyu Man of God asikilizwe sana kwakuwa ana Mungu mzima uwiii 🙏🏾😭❤️🔥
Mungu akupe kibali mutu wa mungu unawongeaka u kweli kabisa🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mtumishi wa Mungu Cassian unanifundisha mengi mengi nisiyoyajua na watumishi wachache wana ujasiri wa kutafsiri na kuweka mambo haya hadharrani, nomemwona mwingine, mzee MAGEMBE, mzee Lazaro, na hatu mtumishi mwinjilist Katekela ambaye naye huko kama wewe. Umri ukienda nanyi mkawepo hakikantutakuwa tumepata fafanuzi nyingi. Basi niseme nini leo 4.1.25.
Utukufu kwa BWANA
@@paschalcassianoriginal9411Mungu azidi kukupigania
Amen and Amen MUNGU aendelee kukutunza sana mtumishi wa MUNGU barikiwa sana.
nakupenda sana man of God kwa mafundisho yako yako sahihi endelea kufunuwa siri za chetan😢😢
Mtumishi uko sahihi kweli , sana sana unapo ongelea kuhusu mutu wa ndani ndiye anaye amuwa maisha ya mutu wa inje...life is spiritual. Ubarikiwe
amina mtumishi neema ya mungu iendeley kua juyako nimejifunza kitu hakika mungu atakuvusha utazid kupanda viwango p0kea kwajina ra yesu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu maana ht ninapo sikiliza nyimbo zako huwa zinani bariki kweli utukufu kwa Mungu juu
Amen 🙏
Ninaasa kusema mungu atusaidie sana na mungu wa binguni akube ngufu na akutie unjasiri mkubwa ili uendelee kutufungua macho ya kiroho. Uaunanifuza kitu kikubwa sana katika message yako
Uaunaongea jambo ambalo mtu mwingine hawesi kusema kwa mtandao mungu akubariki sana ♥️ in Jesus name
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Be blessed MAN OF GOD❤❤
Mungu akuzidishie neem ili uendelete kutufundishai kingene tuache kuiga iga maisha yawengine
Endelea kufundisha jamii imjue MUNGU wa kweli by Emanuel mwaitege
Upo sahihi mtumishi. Mungu atusaidie sana!!
Hakika mtumishi umenifundisha mambo mengi San niliyokuwa siyajui nimeyajua, na manabii, mitume, wachungaji na waimbaji wa uongo tumewajua MUNGU akubariki san
Asante mtumishi barikiwa
❤❤❤alafu wa mda mchache na wafunisni wa kupita kwa Sasa tunamtafuta Muñgu kwa bidii
Mutumishi wa bwana kazi mzuri sana ila naomba ukapunguze back ground sound nyimbo nzuri lakini sometimes ina meza maneno yako inabidi nirudie rudie
Mmmh yani masikini akifanikiwa utamkamatia mbali sana
Amen 🙌 sema tupone mtumish
Hajamtukana mungu yesu sio mungu ni mwana wa mungu mungu hakuzaa Wala hakuzaliwa
Mwalimu wako wa kiswahili Nani?
Sio lazima ukoment kama unatumia level ya akili ya uelewa.
Amen, mtumishi.
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu
Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
MUNGU atuhulumie 😭😭😭🙏🙏🙏
Pesa pesa daaaah 🙌🙌🙌🙌
Kauli zake zipo wazi kijana kuchagua kuingia huko au la , vijana wengi sio kwamba hawajui kwamba njia zake si sahihi kadili ya miongozo ya imani ya ķristo ila wameamua liwalo na liwe
Kijana mwenzangu kama ilivokuwa imani huja kwa kusikia basi jiepushe na makala zote zenye kuweka rehani imani yako kwa Yesu Kristo.
Jamani jamani mapepo haya dah yaani anazionyesha hivyo ili avute wengi ashindwe kwa jina la YESU
Anasema ukijiunga kwa group lake ndio atakupa mbinu za kupata pesa
Huyu mtumishi abarikiwe 😊🎉🎉🎉
Hiyo ni kweli kabisa mungu atusamehe kweli
Mungu atulehemu sana
Umekufaa?
*rip magufur watu kama hawa hizo hela zingejenga mahosipital mashile mabarabara shukuru sana nchi ni yamama uhuru umezidi sana*
Ukweli mtupu...
😂😂😂😂 ndyo vitu watu wadhaifu wanapenda kusikia
We God love, ni mpumbavu tu kwasababu pesa itakusaidia nini sanasana, kwasababu ukiwa na pesa mingi afu huna Bwana Yesu rohoni mwako, bac ujue siku ya hukumu utatamani urudi duniani utengeneze uhusiano wako na Bwana Yesu lkn utakuwa umekwisha kuchelewa!!! Kumbuka tajiri aliomba tone la maji afu siku hiyo hapati kwasababu anachomwa na moto wa jehanamu!!! Luka 16:29. Afu eti itamfaidi nini mtu kuupata hata huu ulimwengu wote, kisha akapata hasara ya nafsi yake? Marko 8:36. God love, pesa ni maua, iko siku zitaisha. Neno la Bwana Yesu Kristo inasema hivi, Ole wenu ninyi mlio na mali, kwakuwa faraja yenu mmekwisha kuupata, Luka 6:24. Acha kabisa hii akili yako ya kitoto.
Mungu atusaidie
Hakuna maarifa ya Bure, hyu mtumishi naye hewa
Mtumishi unaongea ukweli kabisa,ubarikiwe sana
Yeye acha akae na hela zake acha tuishi maisha ya kristo maana haya mengine yanatupofusha kutoka kumwabudu yesu kuingia katika fahari ya dunia ila tunako kwenda watu watamtafta sana kristo na hawatakuwa na mda ata wakutubu ila tunazo ziona nikelele zadunia ambazo zimeificha kweli
Mchungaji 🎉🙏🙏💯💯🙏
Amiina Petro nmekupenda buree
@MariamHassan-kn5qs ubarikiwe
Hata netwealth yake haijui
Aaaaamen mtumishi.
Hakuna tajiri kama mimi
Wewe acha kupotosha bana
Jaribuni kuhubiri injili na sio kufatia watu kila mtu ananjia yake ya kuishi jamani
Kwa maana hatukuleta kitu katika dunia wala hatuwezi kurudia na kitu. Basi kama tukiwa na chakula na nguo, vile vinatosha....
Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake? Shetani amekutawala kijana, sasa inamaana wewe ni roho wa shetani uliyekuja kutafuta wakuinamia shetani mwenzako. pesa ambazo mtu ametolea jasho, kwa hakika huwezi kazianika kiasi hiki.
Huyu anafaa akamatwe anatakakupotosha vijana.
Jameni roho ya tamaa ya pesa imemiminwa duniani hili kuiba vijana wengi..... ni vyema ukae maskini bali uingie mbinguni.
Wale tunawaona maskini leo mbinguni utapata ndio matajiri.
Ubarikiwe mtumishi
❤
Mara paaap😂😂 diva kaolewa na godlove😅
Chifgodlov so wakala wa shetani bali nitapeli na mpumbavu mmoja angekua freemason asingeitaji pesa kwa watu nawe kasian unakurupuka
Chief ni mshirikina kama washirikina wengine.
Jaman nimecheka
Bola Anaetangaza Kuliko Mnaovyaa Suti Hela Mnaficha Kuonesha Vijana Ali Mbaya
Anaabudu pesa na magari
Nyundo hio mtumwa wa Bwana
Ninapata hasira sana wanaomtukana MUNGU MUUMBA WA MBINU NA NCHI, WAKEMEWE KWA JINA LA YESU, HATA SAMIA KWA KUHANI MUSA ALIVYOPIGA SIMU KANISANI AKAAHIDI MILION 100 NI WALEEWALE WAANAJUANA KUZIMU HALAFU WANAWAFANYIA TRICK DUNIANI
Anabudu mari
Saf❤
Hiyo mikataba Iko wapi namm nikaingue
Huyu ni mtumwa wa shetani ili kuwafanya au kuwavuta vijana wengi watamani pesa na kuingia katika anguko na kwenda kumtumikia shetani
Sioni sababu ya kujadili maisha ya mtu wakati kila mtu ana zambi zake,,,pia baraka zake,,,,mtumishi ni matumizi mabovu ya akili
God love ni maarifu sana wainjilist, wahubiri manabii ,mitume wamepata mahibiri sat sana hapa ndio tunajua manabii feki mitume feki huyu jamaa God love ni mwanafalsafa nyie mnasaidia vijana matajiti waumini maskini
Amekuwa mpumbavu tu hela yake inasaidia nini na utajiri wake unatusaidia nini
unataka vya Bure lazima uchangie afu unataka ujue Siri ya mafanikio yake umuhalibie acha ujinga unajuaje kama ni hera za freemason pole sana. hiyo ni dalili ya umasikini nyingne
huyu jamaa amemdharau sana yesu ila ajijue pumzi anavuta bure japo anahela zake anajua anako zitoa
😢😢😢😢
Kipindi yuko anasaidia yatima na wajane mbona hamujasema leo hii ameongea Yesu mumesimama acheni maneno ya kuungaunga
Hizo ni kafara. Be wise!!
Hata shetan pia anaweza kusaidia yatima 😂
Leo naona umeamua kutafuta content kupitia Chief Godlove. Hubiri Injili achana na hawa.
Hela za halali hazipo hivyo
Jamani mbona mnateseka sana na utajiri wa chief godlove sasa mnasubiri nini simjiunge nae tu mpate kujua anapataje huoutajiri acheni kuteseka Wewe mwenyewe hapoulipo unatafta kuchangiwa sadaka nahauonyeshi wazi siri yakufanya ilimtu achangiwe sadaka sasa azawewe kuonyesha wazi siri yakuchangiwa sadaka
Umeombwa sadaka? Kakojoe ulale mbwa wewe
Siongei na wewe masikini usiejielewa@@Lameckmichael-h2m
Kila anayejua sir ya kafara amekuamini ulichofanya
Sema na wewe unamuonea wivu wewe usingekaa hapo unaongelea mtu ambae hana time wewe acha kutafuta kiko mchangaji
🤭
🥲😥
Uvivu wa kulima tu…Wacha watu wale bata,kwani unadhani wewe peke yako ndo unamjua Mungu?…Acha wivu tafuta hela.
Ila masichini mnakaz sana
Wee hizo pesa hujatoka jasho umeuza Nini mpaka utndaze pesa chini na kusema kwe mitandao yote mabenki yote utakuwa unauza labda damu za ndugu nawatoto km yule mtoto mzuri wa miak6 km cio mipngo Yako huyo mtoto aliwakosea Nini wale wauaji km sio Dili lako Sasa unajigamba HADHARANI tuna akili,mbona kabla mtoto hajafa hujamwaga pesa chini,yaani inatakiwa na wewe ukamate utoe maelezo tumekasirika sio sawa
Baba yako alikuwa nazo mbwakoko wewe
Ovyo ni wewe