Ile kauli ya mpende jirani yako kama nafsi yako sasa akichangisha fedha kwaajili ya injili ya Mungu wewe inakuuma nini wakati wote ni wa Mungu wa Baba mmoja eee Bwana asira yako isiwake juu yetu tusamehe
Sharomo watu wa Mungu ila TAG sikuizi mnapenda injiri ya mapoke kuliko kumjua Mungu na pia hata kwa mavazi walokole ndo wanaongoza kuvaa nguo sisizo na hekima Wala stala injiri ya kweli mmeisahau ila sisi walokole tutaongoza njia ya kwenda motoni kama unajua tabia za watu wa TAG like tafadhali
Huyu mchungaji asingetumia nguvu nyingi kieleza habri ya kuhama Kwa magembe, Bali TU angeshukuru Kwa kuondoka kwake na kumwoombea aendelee kihuduma Ili mradi mwili wa kristo inaendelea kujengwa huko huko. Hii inaashiria wako kimwili zaidi
Anamsimamo wakwake na umekili kwa kinywa chako...Mungu akusaidie mzee magembe kuleta uamsho ktk kanisa la leo...nikweli na bila kificho maadili yaki Mungu hakunaaa, Tangu nimeanza kumsikiliza mahubiri ya Magembe sijawahi sikia katukana mtu yeyote, kiu yake nikila mtu amjue kristo!!
Kuhusu kanisa kufa jamani sio T.A.G tu yani kiufupi walokole wa sasa ivi tumebaki na injil ya maneno ila matendo hayampendezi Mungu kwa asilimia nyingi sana,Mungu atupe neema katika kizazi hiki Jamani Mungu tukumbuke nyakati hizi za mwisho😭😭😭😭😭😭
Waooo amakweli Leo nimeamini haya madheebu ayana tofauti na vyama vya siasa.ndo maana ukatolea mfano vyama vya siasa. Kweli hakutumia hekima lakini mmetumiaje shutuma zake kujenga kulikozungumzwa vibaya!!?;make anayoyasema yanaukweli ndani yake. Em tuachane na maigizo tumtumikie MUNGU Tena wachungaji
Unapoongea ukweli ni lazima unakua na confidence, hupambipambi. Mimi makanisa ya bongo hapana, ila kwa Magembe nitakwenda. Wachungaji wapo kuwapamba watekaji, hawatetei wananchi wanaoteseka na regime mbaya wao wanahofia kufutiwa usajili. Mmeoza, it's all about money, let the devil know, not today.
Amen,mnaanikana Leo baada ya injili kupotea njia je hamuezi kukaa kimya au mpo kwa ajili ya mapokeo yenu binabfsi au kabisa limekuwa Kama Mali ya kuachiwa au mmewazaje
Shalom mtumishi. Binafsi sijaelewa kama alimaanisha dhehebu la TAG au anapoongelea kanisa limeoza sidhani kama alimaanisha TAG. Tunachojua watanzania ukisema neno la kanisa la Tanzania ni jumla ya madhehebu yote ya kikristo! Tatizo la watumishi walio wengi ni ubinafsi hasa haya yanayoitwa....kanisa la mch. Fulani😢
Ni kweli kabiza tag imeoza muozo myupu mmekalia Tamaa sana na kunyanyanya watuchungaji makanisa yao ywaliojenga wenyewe wanafiki tuu ila Mungu anawaona
Bro Kama Utasikiliza vizuri, sauti ya magembe! Ni sauti ya Mungu ambayo inalionya kanisa la Sasa ambalo,mabadiliko yake yapo kwenye maisha ya mwili na roho, bila shaka ukielewa hakuna haja ya kumhukumu huyu mzee, mzee yule ufahamu wake umekomaa sana juu ya mungu! Hivyo kanisa la miaka 50 ktk huduma yake kahudumia ,lakini ujue kuwa dunia imebadilika, mavazi na mambo mengi ya kisasa yameingia kuharbu kanisa, na Ndiyo maana kasema kanisa la sasa lisiposimama vizuri linakufa.
Acheni kupigana wenyewe vita ni ya Mungu ,pia watu wengi hawapendi injili ya kweli Mtumishi wa Mungu magembe muacheni amtumikie Mungu mimi binafsi ananibariki sana ,hivyo injili iubiliwe acha aseme ukweli
Kanisa kiongozi wa Juu ni Yesu mwenyewe. Ninyi ni wanadamu ambao mkiwa kinyume hatanyamaza. Yesu hatanyamaza ikiwa mwili wake unachafuliwa kwa upofu wa nyazfa.
Mmmh hayo maneno sijui kama yanatoka kwenye kinywa cha mtu aliyeokoka!!!Acha ushabiki wa kidini utakupoteza sana.kama mnahisi magembe ndo mwenye shida mngemuombea na sio kumuandama kwa maneno yasiyo na staha kiasi hicho.
Kasaliti nini wakati kaandika barua kwauongozi na kuwakabidhi Kila kitu kilichoandikwa jina la TAG? Kwani TAG ndiyo YESU au Mungu? Kwani ameasi Imani katika KRISTO YESU? lililo Baki tuombeane tu Soma KOLOSAI 3: 12-15
Tuhubirieni Injili iliyoyakweli ni kweli siku za mwisho zinakaribia ni wakati wa kuwaleta watu kwa Mungu.kama alikusanya sadaka kwa ajili ya kazi ya MUNGU hiyo haina shida hubirini injili ya kuwaleta watu kwa MUNGU
Hawakuelewi Mzee ndio maana hakuna amina na hata wakisema amina haitanyoosha hayo maneno yako, Mch, Magembe atabaki kuwa mkweli na Mtumishi wa Mungu mwaminifu asiyeyumbishwa kirahisi
Mbona Magufuli alikwenda kuchangisha ujenzi wa msikiti sasa washirika wa T.A.G kuchangia kanisa la lingine? T.A.G kuweni makini mahali mlipo kama kunauwepo wa Mungu.
Hawa wachungaji hawahubiri kweli ya Mungu sasa uyu Magembe alivyosema ukweli wameumia sana, Magembe haangalii sadaka za watu anaangalia roho za watu kuingia Mbinguni nyie hata kukemea maovu makanisa i wapi!!! Vijana hovyo hovyo, tutubu tusijipe haki kwa vyeo tulivyonavyo, na muache kulalamika mitandaoni badala ya kusema habali za Yesu mnamsema magembe
Ivi mtumishi wa Bwana mpaka apo ulipo huamini kwamba kanisa limekufa?? Jmn kanisa mfano me binafsi nimekufa kiroho cjakaa vzuri na Mungu nahitaji uamsho na matengenezo ili nimuabudu Mungu kwel pasipo kumchanganya jmn huu sio mda wa kuanikana twanga injili watu waamke jmn
Kumbe unakula sadaka duuu mpka watoto ila kumbuka hata Yesu na wanafunzi wake walikua na kazi kama peter kuwa mvuvi wa samaki sasa wewe hunakkazi. Unakula sadaka Je umesahau asie fanya kazi na asili Mungu utuhulumie
Unafananisha kanisa na siasa kweli mmeoza mwacheni mtumishi wa Mungu aongee kweli yote kanisa asili yake ni upendo sa kunashida gani mtag kuchangia kanisa lingine
Fanyeni matengenezo kujitetea saaana hakuna maaana,kama ni vita basi ni ya Mungu mwachieni Mungu apigane,Mbinguni hatutafika kwa kufuata mkumbo bali ni kutafuta usahihi wa njia za Mungu.
Mchungaji yuko sawa mambo sio mazuri kiroho kubalini mrudini magotoni muone mahali mliko anguka mkatubu hata mimi nimeshuhudia mimi mwenyewe Ni pastor Ayubu from Kenya mzaliwa wa Arusha
Nlifatilia mzee Magembe na uu mzee hapa, ila Magembe facts zake nizakweli, uu mzee hapa nikama anatetea upuuzi, Magembe ajaenda juanzisha dini yake. Kanisa limekufa kabisa TAG ya sasa ni huzuni kabisa, mzee facts huna kabisa
Nampasuko huwautokea pale panapotokea changamoto zakiroho kwasababu ilianza Roman ikaja KKKT nazinginezo nyingitu. Kwahiyo mjitasmin TAG Tunawapenda sana. Tumeona TAG Ambazo mmefukuza wachungaji baada yapo makanisa yamekuwa vituko. Haya tupohapa miaka mili2 inatosha kuwapima
Tatizo ya makanisa haya, UKISEMA UKWELI tu unaondolewa au unachukiwa sana ila haya makanisa ndani yake humo kuna madhambi ya kutisha sana watu wanavumilia.
Pesa ni hatari sana 😂😂😂, hii ndio tatizo la biashara ya injili. Watu wanatazama maslahi yao tu, waumini mnavurugwa vurugwa mtoe pesa watunishe mifuko yao maisha yanakwenda. Kama kweli wapo kwa kumtumikia Mungu ugonvi huu wa nini?. 😂😂😂😂 Khaa mbinguni tutakaofika tutakua tumejichokea sanaaa, sababu mmh injili imegeuzwa geuzwa sana watu wanaangalia pesa tuu
Anacho hubiri mchungaji moses magembe kipo na ukweli aslimia 100 hakuna ambaye hajui kwenye kanisa laleo kumekuwa na mafundisho yakijingi yaliyo kinyume nanenola MUNGU lakin moses magembe amehubiri ukweli mtupu
Magembe kaongea ukweli TAG limejaa migogolo ila huwenda viongozi mpo kimasilahi zaidi maaana hata Mchungaji wangu mmemfukuza kwa msimamo wake injiri ya kweli ipo kwa magembe ila hii ya wa TAG mhhhh Mungu atuhulumie
Jamani lazima magembe aondoke maana hiyo aibu ya wachungaji kuvaa mawigi Na makolokol Ni aibu ya kanisa acheni badilikeni hakuna uamusho Wa mawigi Wala mapambo Kwa akina mama waambienie ukweli ili tufke mbinguni Kwa baba
Yani huyu mzee hata hajielewi hayo siyo ya kuzungumzia mtandaoni kama umeokoka vizuri maana huyo mzee anachokifanya anajua na huwezi mfananisha na wahubiri wengine tena unamkosea MUNGU
Manufaaa kwa T A G akuna lakin kuna manufaaaaa mbele za MUNGU juu yakee sasa kwanini siseme ukwer mnaluhusu vipi kuimbwa nyimbo za ovyo kwenye maazimisho MUNGU anatoka wapi angalii hakuna uamsho asiseme ukwer sasa
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Ile kauli ya mpende jirani yako kama nafsi yako sasa akichangisha fedha kwaajili ya injili ya Mungu wewe inakuuma nini wakati wote ni wa Mungu wa Baba mmoja eee Bwana asira yako isiwake juu yetu tusamehe
Sharomo watu wa Mungu ila TAG sikuizi mnapenda injiri ya mapoke kuliko kumjua Mungu na pia hata kwa mavazi walokole ndo wanaongoza kuvaa nguo sisizo na hekima Wala stala injiri ya kweli mmeisahau ila sisi walokole tutaongoza njia ya kwenda motoni kama unajua tabia za watu wa TAG like tafadhali
jeshi lawokov
Mungu anawaona nyie nyie ni viongozi wa matumbo ..Mzee magembe yupo vzr sana
Huyu mchungaji asingetumia nguvu nyingi kieleza habri ya kuhama Kwa magembe, Bali TU angeshukuru Kwa kuondoka kwake na kumwoombea aendelee kihuduma Ili mradi mwili wa kristo inaendelea kujengwa huko huko. Hii inaashiria wako kimwili zaidi
Anamsimamo wakwake na umekili kwa kinywa chako...Mungu akusaidie mzee magembe kuleta uamsho ktk kanisa la leo...nikweli na bila kificho maadili yaki Mungu hakunaaa, Tangu nimeanza kumsikiliza mahubiri ya Magembe sijawahi sikia katukana mtu yeyote, kiu yake nikila mtu amjue kristo!!
Tatizo la hawa wahubiri ni kwamba wanasahau kuwa wanahubiri Kua Mungu ni mmoja lkn nilichokiona hapa kaunafiki na umimi mwingi
Kuhusu kanisa kufa jamani sio T.A.G tu yani kiufupi walokole wa sasa ivi tumebaki na injil ya maneno ila matendo hayampendezi Mungu kwa asilimia nyingi sana,Mungu atupe neema katika kizazi hiki Jamani Mungu tukumbuke nyakati hizi za mwisho😭😭😭😭😭😭
Kanisa linahusisha kweli ya Mungu na sio muundo,muundo ni taratibu za kidunia
Waooo amakweli Leo nimeamini haya madheebu ayana tofauti na vyama vya siasa.ndo maana ukatolea mfano vyama vya siasa.
Kweli hakutumia hekima lakini mmetumiaje shutuma zake kujenga kulikozungumzwa vibaya!!?;make anayoyasema yanaukweli ndani yake.
Em tuachane na maigizo tumtumikie MUNGU Tena wachungaji
Unapoongea ukweli ni lazima unakua na confidence, hupambipambi. Mimi makanisa ya bongo hapana, ila kwa Magembe nitakwenda. Wachungaji wapo kuwapamba watekaji, hawatetei wananchi wanaoteseka na regime mbaya wao wanahofia kufutiwa usajili. Mmeoza, it's all about money, let the devil know, not today.
Amen,mnaanikana Leo baada ya injili kupotea njia je hamuezi kukaa kimya au mpo kwa ajili ya mapokeo yenu binabfsi au kabisa limekuwa Kama Mali ya kuachiwa au mmewazaje
Acha matusi na wivu wa kipuuzi umekaririshwa unaongea kama mwanamke kahaba kama unaijua kweli si uongee kama mkweli
Mmh hakusema TAG, Ila kanisa lotee likiwemo kanisa langu TAG 😢😢, Mungu amtunzee mzee Magembe😢😊
Uyu mzee namuunga mkono sana kanisa limekufa kweli laitaji ufufuo wa MUNGU
Shida viongozi hamtaki kuambiwa ukwerii shida nini😢😢
Watiagi acheni kumsema au kumshamburia magembe. Mwacheni. Magembe amtumikie mungu
😂😂😂😂 nawa cheka tu Mzee Moses mutumishi wa Mungu hamuwezi muharibisha kbs mutapata haya from DRC
Shalom mtumishi.
Binafsi sijaelewa kama alimaanisha dhehebu la TAG au anapoongelea kanisa limeoza sidhani kama alimaanisha TAG. Tunachojua watanzania ukisema neno la kanisa la Tanzania ni jumla ya madhehebu yote ya kikristo! Tatizo la watumishi walio wengi ni ubinafsi hasa haya yanayoitwa....kanisa la mch. Fulani😢
Minimsabato ila namuunga mkono par Magembe anasema kwelikweli ,Abarkiwe
Hili lizee linaongea utafkili linaomba kura halina mungu ndani kabsa,harafu kanda maalum mpaka linaomba sema amina
Tumia lugha nzuri, huna adabu.
Hana mungu ila ana MUNGU,wewe una mungu
Ni kweli kabiza tag imeoza muozo myupu mmekalia Tamaa sana na kunyanyanya watuchungaji makanisa yao ywaliojenga wenyewe wanafiki tuu ila Mungu anawaona
Mzee Mhiche muogope Mungu, acha kujiunga kwenye chorus usiyoijua. TAG kupoa ni kweli
Hiyo tathimini umeifanyia wapi? Acha matusi,
we mzee mwogope Mungu utaadhibiwa vibaya sana
Kwa Mungu Hakuna uongozi ni taratibu za kidunia tu, tena viongozi ndo mnatafuna sana hela za makanisa
Watumishi wa Mungu panapo hitaji matengenezo yafanyike ili kusudi la Mungu litumike
Magembe ni mtumishi kweli aliye tumwa na Mungu acheni kusema mengi
Yupo sahihi
Bro Kama Utasikiliza vizuri, sauti ya magembe! Ni sauti ya Mungu ambayo inalionya kanisa la Sasa ambalo,mabadiliko yake yapo kwenye maisha ya mwili na roho, bila shaka ukielewa hakuna haja ya kumhukumu huyu mzee, mzee yule ufahamu wake umekomaa sana juu ya mungu! Hivyo kanisa la miaka 50 ktk huduma yake kahudumia ,lakini ujue kuwa dunia imebadilika, mavazi na mambo mengi ya kisasa yameingia kuharbu kanisa, na Ndiyo maana kasema kanisa la sasa lisiposimama vizuri linakufa.
Ni kweli kanisa linahitaji matengenezo! Wewe Mzee endelea kutetea upuuzi
nikweli kabisa
Magembe yupo sahihi anasema sahihi antenna kwelikweli Abarkiwe sana
Acheni kupigana wenyewe vita ni ya Mungu ,pia watu wengi hawapendi injili ya kweli Mtumishi wa Mungu magembe muacheni amtumikie Mungu mimi binafsi ananibariki sana ,hivyo injili iubiliwe acha aseme ukweli
Unalazimisha watu kusema amina. Chalazima fanyeni mapenzi ya. Mungu hubirini kweli ya. YESU. Kristo ili aikute ile imani ile yakwanza
Pentecostal wanaonaga wao watakatifu sana kuliko huduma zingine hasa za kinavii,sasa wakati wenu sasa
Nampongeza sana Sana sana sana aaaaaaaaa mno moses magembe.
Embuu viongozi wa TAG mjitathmini vizuri😊
Hajahasi tadadhali anaitetea haki ya Mungu itendeke kwa haki ya Mungu mwenyewe,haendi popote anakwenda kusimamia injli iende mbele
Nilitarajia kuwa kwa kipindi hiki Viongozi wa TAG wasingejibu chochote wala kumbeza mzee Magembe. Kuna jambo la kujitathmini
Wasipojitokea kumuomba Magembe msamaha na kumtaka arejee TAG tena,basi tuhamasishe kila M TAG kwa hiari na anaye kubaliana na Magembe aondoke TAG
Kanisa kiongozi wa Juu ni Yesu mwenyewe. Ninyi ni wanadamu ambao mkiwa kinyume hatanyamaza. Yesu hatanyamaza ikiwa mwili wake unachafuliwa kwa upofu wa nyazfa.
Makamu Askofu mkuu ni kweli kwenye uongozi wenu kuna tatizo siyo hili tu,yapo mengi.
Kiukweli ndiyo maana hawakumuelewa magembe kwasababu magembe hakupepesa macho ktk kusema ukweliii,
Kama unatunga mungu ananasikia pia uri wako umeeda usifanye siasa hii nikazi ya Mungu kama niuwongo tafuta nafasi yakutubu
Ni bahati mbaya sana MAGEMBE HAKUELEWEKA KAMA MJUMBE WA BWANA.
mzee muongope mungu aonae silini magembe Hana shida ila nyinyi ndio mnashida kwakuwa magembe kasema kweli
Wewe ni mke Maghembe au? Unamjua Mghembe kuliko walio mlea? Wewe ndo mougope MNGU kama kweli una akili au umeookoka
Mbona wewe mkali hivyo unatetea ujinga kubali kufundishika acha ushabiki
Mmmh hayo maneno sijui kama yanatoka kwenye kinywa cha mtu aliyeokoka!!!Acha ushabiki wa kidini utakupoteza sana.kama mnahisi magembe ndo mwenye shida mngemuombea na sio kumuandama kwa maneno yasiyo na staha kiasi hicho.
Dhambi ya usaliti huwa hai muachi mtu salamaii ye aondoke mta msikia
Kamsaliti nani
Kama kamsaliti Yesu hapo sawa mwisho wake utakuwa mbaya
Lkn kama ni kuisaliti nembo ya T.a.g
Hiyo nembo Haina itakacho mfanya
Kasaliti nini wakati kaandika barua kwauongozi na kuwakabidhi Kila kitu kilichoandikwa jina la TAG? Kwani TAG ndiyo YESU au Mungu? Kwani ameasi Imani katika KRISTO YESU? lililo Baki tuombeane tu Soma KOLOSAI 3: 12-15
Nikweli alisema kweliyote ajakoseya munataka kumuondowa kisirisiri Mungu awasameye watumishi watumbo siku Yesu anarudi mutakosa kazi
Magembe yuko sawa anasema ukweli dunia kuingia Kanisani Mchungaji leo amenyoa Denge yuko madhabahuni usharubaro
Mzee kama kiongozi hapo wewe siuoni uongozi wako unahusiana na nini, uongozi wako sijauona kabisa ktk hili, yule Mzee mlichomfanyia Mungu atawadai
Huyu mzee simuelewi,,,kwel hiz nyakat za mwishoo
Tuhubirieni Injili iliyoyakweli ni kweli siku za mwisho zinakaribia ni wakati wa kuwaleta watu kwa Mungu.kama alikusanya sadaka kwa ajili ya kazi ya MUNGU hiyo haina shida hubirini injili ya kuwaleta watu kwa MUNGU
we mzee Mwogope Mungu una uhakika katumia fedha za TAG Majumbasita kujenga kanisa jipya????
Hawakuelewi Mzee ndio maana hakuna amina na hata wakisema amina haitanyoosha hayo maneno yako, Mch, Magembe atabaki kuwa mkweli na Mtumishi wa Mungu mwaminifu asiyeyumbishwa kirahisi
Kiukweli mimi hamna injili nilikuwa naielewa kama ya mch magembe. Mungu amjalie2 injili isonge mbele
Mbona Magufuli alikwenda kuchangisha ujenzi wa msikiti sasa washirika wa T.A.G kuchangia kanisa la lingine? T.A.G kuweni makini mahali mlipo kama kunauwepo wa Mungu.
Mimi sio mshiliki wa tag,nawashauri mkae chini muyamalize MUNGU Yu nanyi msimluhu shetan awavuluge.
Kinacho wahuma ni kwanini kimehenda sehemu tofauti,ila je kinjenga ufalme gani
Nani kaona pastor analazimisha kuitikiwa amina na watumishi😂😂😂😂😂
Kwa hiyo Magembe ameharibika Askofu wangu Muhiche huyu mtu kafanya kazi nzuri kuliko kujiondoa
viongozi wa kanisa la tag mogopeni mungu make mnavofanya sio vzr pia muhukumu wa haki atakwenda kuhukumu duuu inasikitisha sana
Huyu ni kichaa sana ana jpya mungu akusamee bure mtu kajitoa hivyo alafu aonekani wa kaz gani
Hawa wachungaji hawahubiri kweli ya Mungu sasa uyu Magembe alivyosema ukweli wameumia sana, Magembe haangalii sadaka za watu anaangalia roho za watu kuingia Mbinguni nyie hata kukemea maovu makanisa i wapi!!! Vijana hovyo hovyo, tutubu tusijipe haki kwa vyeo tulivyonavyo, na muache kulalamika mitandaoni badala ya kusema habali za Yesu mnamsema magembe
Ivi mtumishi wa Bwana mpaka apo ulipo huamini kwamba kanisa limekufa?? Jmn kanisa mfano me binafsi nimekufa kiroho cjakaa vzuri na Mungu nahitaji uamsho na matengenezo ili nimuabudu Mungu kwel pasipo kumchanganya jmn huu sio mda wa kuanikana twanga injili watu waamke jmn
Mungu awa ponye kwakweli hatukuitiwa madhehebu
Sema
Yote
Kumbe unakula sadaka duuu mpka watoto ila kumbuka hata Yesu na wanafunzi wake walikua na kazi kama peter kuwa mvuvi wa samaki sasa wewe hunakkazi. Unakula sadaka Je umesahau asie fanya kazi na asili Mungu utuhulumie
Unafananisha kanisa na siasa kweli mmeoza mwacheni mtumishi wa Mungu aongee kweli yote kanisa asili yake ni upendo sa kunashida gani mtag kuchangia kanisa lingine
Hivi kweli amekosekana WA kukata haya MANENO Hadi yai ngie kwenye mitandao kweli.
Fanyeni matengenezo kujitetea saaana hakuna maaana,kama ni vita basi ni ya Mungu mwachieni Mungu apigane,Mbinguni hatutafika kwa kufuata mkumbo bali ni kutafuta usahihi wa njia za Mungu.
Amina !!! Stay blessed na chunga wokovu wakoo
Mchungaji yuko sawa mambo sio mazuri kiroho kubalini mrudini magotoni muone mahali mliko anguka mkatubu hata mimi nimeshuhudia mimi mwenyewe Ni pastor Ayubu from Kenya mzaliwa wa Arusha
Haya makanisa ya kipendekosti hawataki kuongozwa.....yanamatatizo sanà Kwa sababu ni mwavuli TU...wengi wanamtafuta maisha
Baba Wa yesu alikuwa fundi selemala kumbe nyinyi mnakula sadaka aiseeeee
Mafundisho ya magembe ni mazuri la bda kwa mafidadi wa kidini
Nlifatilia mzee Magembe na uu mzee hapa, ila Magembe facts zake nizakweli, uu mzee hapa nikama anatetea upuuzi, Magembe ajaenda juanzisha dini yake. Kanisa limekufa kabisa TAG ya sasa ni huzuni kabisa, mzee facts huna kabisa
Kunaubaya gani kwani amchqngishi kwenda kuwaona wagonjwa wote ni wa Tag
Nampasuko huwautokea pale panapotokea changamoto zakiroho kwasababu ilianza Roman ikaja KKKT nazinginezo nyingitu. Kwahiyo mjitasmin TAG Tunawapenda sana. Tumeona TAG Ambazo mmefukuza wachungaji baada yapo makanisa yamekuwa vituko. Haya tupohapa miaka mili2 inatosha kuwapima
Mmh! Roman! Lini ilikuwa na mgogoro, upi huo?
Kwani kama mtu ameondoka si mumuache aende mbona amjamini kama mungu anakaa ndani yenu vita ya nn
Tatizo ya makanisa haya, UKISEMA UKWELI tu unaondolewa au unachukiwa sana ila haya makanisa ndani yake humo kuna madhambi ya kutisha sana watu wanavumilia.
TAG Rudini nyuma mjitasmini nahao washirika mnaowaona hawako pamoja nanyi usiwatishe siunsonae mpaka unawaoomba amina jua hilo kanisatunawapa miezi mitanotu. Kamamuweka azina nihiyohuyo hizoshule magari viwanja nk mngeviona wee magembe jembe kama jinalake
Pesa ni hatari sana 😂😂😂, hii ndio tatizo la biashara ya injili. Watu wanatazama maslahi yao tu, waumini mnavurugwa vurugwa mtoe pesa watunishe mifuko yao maisha yanakwenda. Kama kweli wapo kwa kumtumikia Mungu ugonvi huu wa nini?. 😂😂😂😂 Khaa mbinguni tutakaofika tutakua tumejichokea sanaaa, sababu mmh injili imegeuzwa geuzwa sana watu wanaangalia pesa tuu
TAG mumepoa acha siasa mzee
Hapo saiz Hamna kanisa limebaki duka tu la kupigia pesa
KANISA LIMEPOTEZA MTUMISHI WA MUHIMU Hatakama ni hivyo Ukweli Pengo la kutoka kwake litaonekana
Anacho hubiri mchungaji moses magembe kipo na ukweli aslimia 100 hakuna ambaye hajui kwenye kanisa laleo kumekuwa na mafundisho yakijingi yaliyo kinyume nanenola MUNGU lakin moses magembe amehubiri ukweli mtupu
Hongera magembe simama tunakusikiliza sana
Uyu Mzee anaongea nini jamani ili ni kansani so siasa anaongea kishabiki kabsaa bila nguvu ya Mungu, 😢dah inasikitisha sana,
Magembe kaongea ukweli TAG limejaa migogolo ila huwenda viongozi mpo kimasilahi zaidi maaana hata Mchungaji wangu mmemfukuza kwa msimamo wake injiri ya kweli ipo kwa magembe ila hii ya wa TAG mhhhh Mungu atuhulumie
Sio muendelee na Yesu Bali muendelee na dhehebu lenu kwa sababu Mzee magembe haha mwacha Yesu ame iacha t.a.g sio Yesu
Mungu anajua makusudi yake ila naona vijembe havina maana
Jamani lazima magembe aondoke maana hiyo aibu ya wachungaji kuvaa mawigi Na makolokol Ni aibu ya kanisa acheni badilikeni hakuna uamusho Wa mawigi Wala mapambo Kwa akina mama waambienie ukweli ili tufke mbinguni Kwa baba
Nyakati za mwisho hata injili mbona iliweka wazi, upendo wa wengi utapowa, Magembe kakosea wapi.
Mungu atusaidie ila Mungu ataonekana.
TAG zamani mtu alikua havai kimini wala kuweka mawigi sasa TAG ndio inaongoza kwa utovu wa kujisitili kimwili hadi wake wa wachungaji
Yani huyu mzee hata hajielewi hayo siyo ya kuzungumzia mtandaoni kama umeokoka vizuri maana huyo mzee anachokifanya anajua na huwezi mfananisha na wahubiri wengine tena unamkosea MUNGU
Manufaaa kwa T A G akuna lakin kuna manufaaaaa mbele za MUNGU juu yakee sasa kwanini siseme ukwer mnaluhusu vipi kuimbwa nyimbo za ovyo kwenye maazimisho MUNGU anatoka wapi angalii hakuna uamsho asiseme ukwer sasa
Mzee hatuwezi kushangaa TAG kujenga EAGT kwani Hakuna Mungu wa TAG pekee
Ujumbe kwa wote tag na magembe,wote AJIDHANIAE KUWA AMESIMAMA NA AANGALIE ASIJE AKAANGUKA,
Soma barua yote tujue nini kinaendelea acha kutudanganya shida yenu hamtaki kuambiwa ukwer mnatafta hekima akuna hawachafui anasema ukwer ilii mludii kwenye mstalii wa MUNGU sio anatukana kanisa
Acheni kumsema vibaya magembe yupo sahihi ukweli unauma
Sasa pesa ndio zimewafanya mkamuacha Mungu, shetani yupo anawinda.
Bishop Kulola
TAG - EAGT - CCIC
🤐
Lakini lipi sio kweli katika hayo madai ya magembe ?
Shida yenu ubinafsi sana hicho kina watafuna ndugu zetu
Ktk dini kuasi siyo kuacha shirika bali ni kumkana Yesu
Tag si chochote sasa ivi we ingia kanisa la o lolote huweziamini kama ni walokole mavazi ya aibu, hawana tofauti na miziki ya kidunia
YESU TUREHEMU 😭😭😭
Wanaonung'unika sio washirika bali ni ninyi viongozi mnaonufaika na mfumo huu