MAKABIDHIANO YA VITU NA NYARAKA YAFANYIKA TAG MAJUMBA SITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Makabidhiano ya Vitu na Nyaraka yafanyika Kanisa la TAG Majumba sita

Комментарии • 163

  • @washoka-tz
    @washoka-tz Месяц назад +15

    Uamshoo unatakiwa... Porojo hazitakiwi, kemeeni dhambi na mambo ya kidunia makanisani, kemeeniiiiii

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l Месяц назад +16

    Asante Kwa kutusanua washirika. Hatutaandika tena nembo ya TAG kwenye baadhi ya vitu tutakavyowanunulia wachungaji wetu.Mfano Magari! Nyumba za kuishi nk.

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 Месяц назад +2

      😂😂😂,
      Nimecheka kwa sauti, ila nimewaza kwa kina sana

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l Месяц назад +3

      @@noelmarapachi1808 😂😂. Kwa hali hii hatuwezi. Maana katiba ni ya kibabe kama hivyo. Sasa akipokonywa nyumba katika hali ya uzee ataenda wapi?

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 Месяц назад

      Hata usipoandika itakuwa mali ya TAG

    • @Malak4.5
      @Malak4.5 Месяц назад

      Khe hv kumbe hamumtoleagi kristo mnatoaga kw mutu hahaha😅

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l Месяц назад

      @@wechemakambo2182 Mimi ni TAG, kipenzi. Gari tumenunua mwaka jana tumeadika jina la mchungaji. 😂. Tumemnunulia uwanja,hati tumeadika jina lake😂. Tatizo ni kuandika jina la Taasisi😂. Au wewe hujaelewa hii kitu🙄

  • @SilvanusMadeha
    @SilvanusMadeha Месяц назад +3

    Asante sana kwa taarifa nzuri na kwa uongozi mzuri sana TAG ni kanisa zuri sana ❤❤❤

  • @josephbugumba8068
    @josephbugumba8068 Месяц назад +3

    Ameni Ameni utukufu kwa Bwana hongereni viongozi wetu kwa kazi njema

  • @eliasnzamba7377
    @eliasnzamba7377 Месяц назад +5

    Baba Askofu Mungu awabariki sana! Kama mwili wa Kristo siyo vizuri kuzifumbia macho roho za aina hii (kiburi) ni vizuri mlivyo muachia aende!

    • @lameckdaniel6724
      @lameckdaniel6724 Месяц назад +2

      Kwamba aliyeondoka ana kiburi, MUNGU akusamehe sanaa

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l Месяц назад +1

      Mungu akusamehe Kwa kauli hii

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад +1

      Eti ana kiburi na Kulola mlisema hivyo

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 Месяц назад +1

      MUNGU akuhurimie hujui usemalo

    • @makutimalubu
      @makutimalubu Месяц назад +1

      Mmekufa mmekufa mmekufa. Wito wa Mungu huo unawajia wakuu wa Makuhani TAG na mabaraza yenu mnakaa vikao vya kipuuzi. Natumaini Yesu enzi zake angewacharaza bakora Askofu mtokambali na Genge lako maana TAG yetu mnalifanya pango la wanyang'anyi. Sikukuu zote za Kanisa ni kuchangia fedha binafsi wachungaji . Muigeni Magembe nyie viongozi wetu matumbo

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Месяц назад +3

    Mungu awabariki sana tena sana Viongozi wetu

  • @InnocentHarold
    @InnocentHarold 28 дней назад

    Yaani Ht Hawa Wazee Wanavyoimba Sura Zinaonekana Niza KIFARISAYO, KISADUKAYO Maana Haya Ndio Majitu Yaliyomwua Yesu Kristo [Neno]. Makatili Sana, Farisayo Limoja Hapo Naliona Nalijua Nilishawahi Kuishi Kwake Ni Hovyoo Pagani Kabisa, Magembe Big Up Kukimbia Kwenye Kundi Hili La Hawa MBUZIIIH😠😠🤣🤣🤣😂🤣💪🤸

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Месяц назад +2

    Marudio ya mgogoro wa Kulora na Lazaro..

  • @noelmasambuli2737
    @noelmasambuli2737 Месяц назад +1

    kazi ya Mungu ni ya Mungu tu,Jina la Bwana libarikiwe kwa ufafanuzi mnzuri ,ALL THE BEST TAG MAJUMBASITA

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr Месяц назад +1

    Hivi ndivyo hawa wazee wa dini walivyo muuwa Bwana Yesu

  • @judithoran
    @judithoran Месяц назад +2

    Ujumbe mkuu kwa kanisa
    YESU ANARUDI. JE UNAMALIZAJE MWENDO. IKIWA UTAKUFA SASA AU UNYAKUO UTAKUKUTA.
    EEH KANISA UNAMALIZAJE MWENDO. ISIWE KUWA UTUMISHI WAKO NA UMAARUFU WAKO UKAWA BURE.
    PAULO ANASEMA NAYAHESABU YOTE KUWA KAMA ....
    😭😭😭😭😭😭

  • @DAGLANDCONSULT
    @DAGLANDCONSULT Месяц назад +3

    Aleluyah... Kazi ya Mungu Iendelee Mtumishi wa Bwana Mchungaji Kanemba

  • @stellafaraja2942
    @stellafaraja2942 Месяц назад +1

    Well said, glory to God.

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 Месяц назад

    Mmmh!
    Wanadamu bhana🙌

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 Месяц назад +1

    Kazi na iendeleee

  • @BarakaKiwia-n6d
    @BarakaKiwia-n6d Месяц назад +2

    Duuuuuu😢 kanisa tuombe😢😢

  • @ClementClement-d7w
    @ClementClement-d7w 29 дней назад

    Neno kanisa letu zuri nalichukia mana ni kweli linakuwa kanisa la kwenu si la Mungu

  • @isackzongela205
    @isackzongela205 Месяц назад +1

    Umeeleweka baba a asielewa hauwezi kuwalazimisha.

  • @lazarohillonga2947
    @lazarohillonga2947 Месяц назад +1

    Mungu bariki kanisa letu

  • @ministersumka
    @ministersumka Месяц назад +3

    Askofu hekima yako ni kubwa sana, una Mungu na TAG ina MUNGU. MUNGU anirehemu mimi na sote ambao tulizungumza mabaya kwa kukurupuka.

    • @washoka-tz
      @washoka-tz Месяц назад +1

      Mungu WA TAG amepoaa

  • @NoahMadali
    @NoahMadali Месяц назад +6

    Hakuna alie juu ya sheria aliekua awali ameenda tofauti na miongozo ya dhehebu basi si vibaya akipisha aje atakae kubaliana na miongozo iliopo

  • @EnericaMbwilo
    @EnericaMbwilo Месяц назад

    Jamani tumuogopeni mungu.

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 Месяц назад +6

    Napongeza kwa kukabidhi mali ya Tag kwa amani pongezi kwa magembe bila chembe ya tamaa

  • @nehemiakalinga6529
    @nehemiakalinga6529 Месяц назад +1

    MUNGU awabariki viongozi wetu sisi tunawaombeaa

  • @RedentaMahessa
    @RedentaMahessa Месяц назад +6

    TAG ishakufa. Kwishinei. Lipo kidini zaidi.

    • @wilsonkassita7946
      @wilsonkassita7946 Месяц назад

      Hayo ni mawazo yako

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 Месяц назад +1

      Mungu ana watu humu humu TAG waliojikana na anawatumia tuna mch Daudi, tunae Daniel, tunae Joseph Marwa na kuna wengine wapo kwenye vijiji labda wewe endelea kuwaza 1Wafm 19:18-19

    • @elirehemaringo188
      @elirehemaringo188 Месяц назад +2

      Wewe ndo ushajifia na utaicha hakuna wakuiua hata siku moja, umejifia wewe na utaicha ikiendelea kuchanua pole yako

    • @ElizabethMsizio
      @ElizabethMsizio Месяц назад

      ​@@saimonseleka8792Hao mtawakumbatia kwasababu hawakemei uchafu kama magembe,siku wakikemea mtawafukuza kama panya

    • @felisterpatrick6789
      @felisterpatrick6789 Месяц назад

      Perception zako tu

  • @EmmanuelMwanjala
    @EmmanuelMwanjala Месяц назад

    Mungu akubariki sana baba Askofu

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 Месяц назад +3

    Ukitaka ugomvi na madhehebu gusa mali zao,lakini ukiondoka na watu hawana shida,shida iko kwenye mali kuliko roho za watu

    • @washoka-tz
      @washoka-tz Месяц назад

      Matumbo ya watu sio mchezoooo

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 Месяц назад +2

    Askofu kameta ameliweka/amelizungumzia hili jambo kwa hekima ya hali yajuu mnoo, kiasi kwamba kama kuna mT.A.G alifika hatua ya kumchukia mzee Maghembe, lazima arudishe moyo, i wish angelianza yeye tangu mwanzo, pengine mioyo ya baadhi ya watu isingejeruhika kiasi kikubwa.

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v Месяц назад +1

    Nzr sana hiyo

  • @francismwasaga6451
    @francismwasaga6451 Месяц назад +1

    Huu ni ukomavu mkubwa wa uongozi. Barikiwa sana Bishop.

  • @erickmalamsha6938
    @erickmalamsha6938 Месяц назад +3

    Mch Kanemba ni mashine ya kazi no worry

    • @ElizabethMsizio
      @ElizabethMsizio Месяц назад

      Angekuwa mashine ya kazi angekemea uchafu kama magembe

    • @washoka-tz
      @washoka-tz Месяц назад

      Nimesali sana kwenye kanisa lake, lkn MKE wake anajinadi sana na anamnadi sana mume wake Yani ni kama siasa Sasa... MKE wake udunia mwingiiii

    • @ULIRCKTARIMO
      @ULIRCKTARIMO Месяц назад

      Mchungaji kinembe big up

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 Месяц назад +6

    TAG inaenda kuwa Kubwa sana Majarbu niviwango vya ukuwaji na ukomavu, Mulishinda kwa Kurola Uyo Magembe mdogo sana ana Mahajabu yoyote Kurola alikuwa na mahajabu atar lakin TAG ilizidi kuwa Imala, polen kwa Majarbu mumeshinda

    • @piussimtala5111
      @piussimtala5111 Месяц назад

      Wewe ni Mchanga sana kiroho,ombea kanisa,kanisa laweza pia kuanguka

    • @HeridaSanga
      @HeridaSanga Месяц назад

      Hujui hata unachokiongea dini imekufunga

    • @SGIT-jd6fg
      @SGIT-jd6fg Месяц назад

      Usiseme hivo kikubwa kuendelea kuliombea kanisa zaidi tunashukuru Mungu hili litapita kama upepo halitalichafua kanisa nasali Kkkt lakin kwenye haya mambo usidhanie ni aibu kwa TAG bali kwa kanisa nzima yaan wakristo waamini wote

    • @washoka-tz
      @washoka-tz Месяц назад +1

      Hali ya kanisa unaiona ni nzuriii???? Ukomavu WA KIROHO bila UAMSHO,?? Ukomavu WA kiroho na makanisani usanii ni mwingi!!!???

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Месяц назад +1

      Ni kwel kabisa linaenda kuw kubw km dini nyingine likiwa na wapenz kila kona ila yamkin bila Mungu.

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel Месяц назад +3

    Mchungaji ameondoka mnampa zawadi gani kwa muda alio kaa na nyinyi na kuwaletea maendeleo

    • @Petro.John.
      @Petro.John. Месяц назад

      Kabisa yaani, tuwe na shukrani na tuwe na fadhila katika maisha yetu hata kama much kaondoka kwa sababu zake kanisa linapaswa kutazama mbele na wala wasitumie kuondoka kwake ndo kumkomesha.Kanisa litumie busara ya hali ya juu.

  • @JosephMhagama-b1y
    @JosephMhagama-b1y Месяц назад

    Fanyeni kazi ya Mungu ili tufike kwa Baba, acheni polojo na kulea uovu

  • @AsnathMishamo-ys5ii
    @AsnathMishamo-ys5ii Месяц назад +1

    Ilikuwa kidogo tuu nijiunge na kanisa hili kumbe wale wale Bora nibaki na YESU kwenye hii dhehebu langu, wengi wanaipenda dunia na mambo yaliyomo katika dunia,balaa hili.

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Месяц назад

      Mh heri ubaki na dheheb lko lipi hlo pengne tungeshea mawazo?

  • @ImanSimion
    @ImanSimion Месяц назад +1

    Washirika mjifunze msinunue chochote kwajina lakanisa,,Hao niwachungaji wa viwanja magari na majengo,,nimakatilikweli,,alieletwa atachemka,,mungu hadhihakiwi mtakipata,, wema nimbegu huyumzee atapata vitu vya thamani zaidi yahivyo,,mmechoka kweli amewapa vyote kwa amani mtumishi wamungu ,,

  • @BlandinaLukole
    @BlandinaLukole Месяц назад

    Kuna maigizo, kukomoana, ubinadamu. Kama yamefanyika kwa ajili ya Mungu na si maigizo au kumdhalilisha mtumishi mwenzenu, mbarikiwe

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v Месяц назад +1

      Tag kubwa weeee haitishiwi nyau

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v Месяц назад +1

      Et anaitishia kuondoka TAG aondoke ata na familia yake af asikilizie kama ..............

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v Месяц назад

      Et anaitishia kuondoka TAG aondoke ata na familia yake af asikilizie kama ..............

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l Месяц назад

      ​@@PaulMwenda-w9vMungu akusamehe

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 Месяц назад

      ​@@PaulMwenda-w9v dhehebu na udini ni changamoto

  • @emanueldaudi1652
    @emanueldaudi1652 Месяц назад

    Pesa Tamu😊😊😊

  • @hurumakisingaernest1293
    @hurumakisingaernest1293 Месяц назад +2

    ❤...hiii ndio TAG sasa, magembe aende kwa amani na TAG inaenda mbele
    Katika yote Yesu atukuzwe

  • @blessingrobert1747
    @blessingrobert1747 Месяц назад

    😂😂😂hawa jamaaaa

  • @TimotheoAlbart
    @TimotheoAlbart Месяц назад

    Wayahudi

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg Месяц назад +5

    Mungu kama kwel kunanamna wamemuumiza Mzee magembe tunaomba utujibie kwa uwazi

  • @AmanaJoo
    @AmanaJoo 4 дня назад

    Ila nyie muogopen mungu

  • @JuliusMysory
    @JuliusMysory Месяц назад

    Bwana Asifiwe watumishi ila mnajua kuwa yesu anawaona na yesu yupo hapa duniani na a meingia kanisani kwanu na mmemkataa

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley Месяц назад +1

    Ametumika sana TAG huyo baba Magembe ,

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 Месяц назад

    Amna kazi yamungu hapo dada hizo nikazi na biashara zawatu niwatu Wanabuni miradi yaomesha lumbana vyakutosha ndio mna waza makabidhiano

  • @JerrySmartfarm
    @JerrySmartfarm Месяц назад +2

    Hamna lolote Magembe kawachana makavu

  • @LawiEzekiel
    @LawiEzekiel 25 дней назад

    Mnatangaza kumujuwa MUNGU au kanisa nibiashala Kwa sasa

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 Месяц назад

    Tamaa na mali na kushindwa kukemea dhambi

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 Месяц назад

    Ni urahisi kunena kinywani, ila kweli ipo moyoni, achunguzaye MIOYO ajua kweli yote.

  • @Katoto-kc5gv
    @Katoto-kc5gv Месяц назад

    Wezi2

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl Месяц назад +1

    Magembe mumemshukuru?😅

  • @ImanSimion
    @ImanSimion Месяц назад

    Viongozihawa si wakusimamia imani,niwakutafta pesa,,wanajifariji watu watahama,,elimu nitatizo hawajamaa nahisi tatizo ni education,,niwapigaji Hawa hakuna neno lamungu ni unafikihapa,,

  • @joelking3692
    @joelking3692 Месяц назад +1

    Na wote wako na vitambi 😅

  • @JoshuaSaimon
    @JoshuaSaimon Месяц назад

    mwongopeni mungu mpaka mtumixhi wa mungu kuamua kutoka kwenye kanisa la tag hapo kuna bonge la tatizo kubwa tag tunakwenda wp viongozi mnatupeleka maeneo gn?

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 Месяц назад

    Mema gani mnamfukuza mtu kwenye kanisa aliloteseka nalo,mbingu gani mnaenda,Mungu yupi mnamtumikia?

  • @wilsonkassita7946
    @wilsonkassita7946 Месяц назад

    Ameni

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Месяц назад

    Mimi niliokokea T A G lkn niliumia kwa kitendo cha kumfukuza mchungaji Lukinddo kwa ubaya sana kisa alinunua kigari cha used kwa msaada wa wazungu,akina Swai wa kinondoni,huyu kanemba ni mtoto wa huyo mchungaji Lukindo alitefukuzwa

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 Месяц назад +3

    Laiti angeanza Askofu huyu kutoa kauli isingeleta shida katoa maelezo mazuri ya kutoshelesha lakini yule wa kwanza halafu ndiye mkubwa 😮😮 hotuba yake ilikuwa full vijembe na vichambo utafikiri mwanasiasa wa nchi X any way umeupiga mwingi askofu kameta umewakilisha kwa UZURI Ubarikiwe lakini yule mmmh hapa alituacha na????!!!!!???!!!!!!! Mingi mnoo

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l Месяц назад +1

      Kweli kabisa yule alijaa machambo tu. Angalau huyu anahekima sana

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr Месяц назад

    Sisi tunaangalia tu mbele

  • @danielhondi4876
    @danielhondi4876 Месяц назад

    Ila endesheni kanisa kama taasisi pia punguzeni michango

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr Месяц назад

    Ila Kesho itasema

  • @jacobmbeta5612
    @jacobmbeta5612 Месяц назад +1

    Wezi tu nyie
    Kazi kuwatuma waumini wenu wanapita kwenye bars kuchangisha walevi

  • @sikandaPerfect
    @sikandaPerfect Месяц назад

    Ndo maana sijawahi kuukubali mfumo wa sadaka wa makanisani.

  • @propKibali
    @propKibali Месяц назад

    Dreva mzr haendeshi gari peke yake. Kuna kioo cha ndani, nje pande 2 (side mirrors), na kioo kikubwa cha dreva kuona barabara. Maana na umuhimu wa vioo hivi ni kuangalia siyo usalama wa gari analoliendesha dreva peke yake, bali magari mengine mbele na nyuma yake, watu ndani na nje ya gari na usalama wa kila kitu barabarani. Basi, pamoja na katiba na kanuni za kanisa ni vema kuangalia upepo uvumavyo kiroho nje ya mfumo wa utawala kunusuru hatima za wafuasi wetu.

  • @Qau669
    @Qau669 Месяц назад

    Mwaka bado aujaisha tutaona mengi sana mpka mali za kanisani zina madalali mengi tutaona bora wange maliza tu kihekima kuliko hekaheka za kuvuana utu

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v Месяц назад

    mnge mwachia tu huyo mzee magembe hilo gali kalitumikia kanisa miaka 50 ni mingi mno..

  • @samwelndaki201
    @samwelndaki201 Месяц назад

    Lakini jamani mngempa hata gari Moja kama hamna ugonvi kweli

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Месяц назад

    Janja janja

  • @PMMakula
    @PMMakula Месяц назад +1

    Ukisema Ndoa ya miaka 85 haiwezi kushauriwa na mtu mwenye ndoa ya miaka 5 unakosea
    TAG ni Taasisi, TAG ni dhehebu sio kanisa
    Kanisa ni Watu,
    Ni rahisi kumshauri mtu aliekosea na anakubali makosa kuliko aliekosea na anajiona yuko sahihi..hawezi kubadilika. MUNGU ATUSAIDIE TAG🙏🏽

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v Месяц назад +1

      Unaeza mfuata tu magembe usijilazimishe kikubaki TAG kama haupendi

    • @emmanuelrweikiza6117
      @emmanuelrweikiza6117 Месяц назад +1

      ​@@PaulMwenda-w9vkuwa mwelewa kwani hakuna wachungaji vijana wanachunga wazee na kewasaidia katika kunjua Mungu na hata katika mambo ya kifamilia

    • @EmmanuelMwanjala
      @EmmanuelMwanjala Месяц назад

      Ukiwa mjuaji kila mtu anamakosa kwako hasa ukiwa umejaa chuki kwa TAG hata kiongozi unamwona kama mkosa kwako bora kunyamaza ni hekima pia siyo lazima umnenee mabaya mkuu wa watu(Biblia isemavyo)

    • @PMMakula
      @PMMakula Месяц назад

      @@PaulMwenda-w9v kwa taarifa yako Baba yangu ni Askofu wa TAG so endelea kutetea dini kama itakupeleka mbinguni. KRISTO NDIE NJIA YETU SIO DHEHEBU

    • @PMMakula
      @PMMakula Месяц назад

      @@EmmanuelMwanjala Wewe mbona hujanyamaza 🤣

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr Месяц назад +1

    Eti gari ya mchungaji ni mali ya TAG

  • @JosephThomasMaduka-v3n
    @JosephThomasMaduka-v3n Месяц назад

    Hakuna lolote roho mbaya tu yaan mtu atumike zaidi ya miaka 56 ,Leo munanyanganya Hadi gari kwahyo tag yote hakunako hata mmoja aliye na roho wa mungu

    • @ElizabethMsizio
      @ElizabethMsizio Месяц назад

      Ndivyo walivyo watu waovu,wanachukua vyote bila ulivyo jinyima wewe na familia yako

  • @MrDickson-l7q
    @MrDickson-l7q Месяц назад

    Hilo sio dhehebu ni dhehebu la wajanjawajanja wa mjini, sio la kwenda mbinguni mungu awaulumie nyie viongozi, wa TAG mungu hiko siku atawapiga viboko alivyo vipata farao kwa kuwayesa watu wa mungu msiwe kama kama chama cha ccm

  • @hendrickmaganga7302
    @hendrickmaganga7302 Месяц назад

    TAG TAG TAG ,,,, Jina na ukubwa wa dhehebu usiwafanye kujihesabia haki, kwanini kukataa kukosolewa ,

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 Месяц назад

    Katika yooote yaliyo tokea kumbukeni kwamba tunapita duniani sio kwetu mali zote tutaziacha

  • @ReginaldMushi-l6d
    @ReginaldMushi-l6d Месяц назад

    Kiburi Cha KIDINI kwamba nyie ni WA zamani

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 17 дней назад

    Wezi Tu hawa,,,,wanaibia watu sadaka,,,,,mijitu mizima,,,hapana hata aibu

  • @petermabale4320
    @petermabale4320 Месяц назад

    😢

  • @DadleySon-o2z
    @DadleySon-o2z Месяц назад

    T.A.G imekufa haibadiliki tunabakia hapo

  • @DalaliMagomeni-os3oy
    @DalaliMagomeni-os3oy Месяц назад

    Na ile tigo pesa iliyowekwa magomeni itakuwaje na yupo mchungaji mwingine

    • @washoka-tz
      @washoka-tz Месяц назад

      Lazima waanze kukombaniaaa😅

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 Месяц назад +2

    TAG wanafanya kazi ya Mungu kama siasa...nilioa na kufungia ndoa huko lkn nimehamia fpct kwa sasa

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 Месяц назад

      Humo kuna maagent wengi sana sasa hivi.

    • @FrankMandanda
      @FrankMandanda Месяц назад

      Kaka Gerald fpct nako yale yale, je unakumbuka enzi ya askofu mkuu tz batenzi, na eliekuwa muhasibu wa fpct tz mzee tawale? Msingi ni kwenda zako.

    • @noelmasambuli2737
      @noelmasambuli2737 Месяц назад

      baada ya wewe kuondoka umesikia kanisa limekufa,hatuongozwi na mtu,wapo wengi wakubwa waliondoka na bado kanisa lipo na linasonga mbele,haujalazimishwa TAG,hutaki pasha unataka kulelewa baki,Mungu anaheshimu sana uongozi so kama unajua kuna mtu anayumbishwa na huduma imekula kwako.

    • @geraldgodsontv7982
      @geraldgodsontv7982 Месяц назад

      @@noelmasambuli2737 hoja yako hapa ni nini? Nimejaribu kusoma zaidi ya mara moja sijakuelewa bado

    • @geraldgodsontv7982
      @geraldgodsontv7982 Месяц назад

      @@FrankMandanda Batenzi namfahamu lkn kuhusu hicho kisa sifahamu kabisa

  • @prophetJohncharles
    @prophetJohncharles Месяц назад +1

    Lipo kubwa linakuja TAG, kwa Nini kutoa milioni moja mbele ya kamera, , kuburi kitawaagusha

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 Месяц назад

    Tubadili jina tuite majumba 7 itasaidia uamsho...Namba 7 ni ya muhimu biblically.
    Centralised 😂😂😂😂

  • @WendelinDallu
    @WendelinDallu Месяц назад

    Mungu,wetu.anajibu.kwa.wakati.yeye,ndiye.anae.tujua.tuache.kujiinua.mtumikien.mungu😅

  • @DenicOmar
    @DenicOmar Месяц назад

    Mamlaka inaonekana zaidi kuliko injili

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 Месяц назад

    Makanisa sikuhizi yamegeuzwa mitaji ya biashara za watu

  • @carlossenja962
    @carlossenja962 Месяц назад +1

    Wagalatia 2:11-16
    Neno: Bibilia Takatifu
    Paulo Anampinga Petro
    11 Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga hadhar ani kwa kuwa alikuwa amekosea. 12 Kwa sababu kabla ya watu kadhaa waliotoka kwa Yakobo hawajafika, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa mengine. Lakini baada ya hao watu kufika ali ji tenga, akaacha kula pamoja na watu wa mataifa mengine, kwa kuwaogopa wale wa kundi la tohara. 13 Pia Wayahudi wengine wal iungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akashawishika kuwaunga mkono.
    14 Nilipoona kwamba msimamo wao kuhusu ukweli wa Injili hau kuwa wazi, nilimwambia Petro mbele za watu wote, “Ikiwa wewe uliye Myahudi unaishi kama watu wa mataifa, na huishi kama Myahudi, unawezaje kuwalazimisha watu wa mataifa mengine waishi kama Wayahudi?” Habari Njema Aliyohubiri Paulo

  • @agnesmoses5311
    @agnesmoses5311 Месяц назад

    Hypocrisy will kill u people