Hiyo kama imefanywa kwa utukufu wa Mungu ni sawa lakini kama ni kuonesha umma kuwa aliyekuwepo alikuwa hafai basi nuda utasema wapo wengi waliofanya kuwakomoa watumushi waanzilishi na mwisho wao haukuwa mzuri lakini pia kila mmoja anayo maoni yake tumeitwa kwa namna tofauti tusubiri muda useme
@@basilisamsaka8469 Ndugu zangu. Mungu sio wa Mtu Moja tusitegemee kazi ya Mungu itafanya na magembe tu. Hawezi kuhubili Dunia nzima. Kila mmoja anahaki ya kufanya kazi ya Mungu akisimama katika haki. Tusimtukuze sana mwanadamu. YESU YUHAI PIGA INJILI POPOTE ULIPO.
Ahsante MUNGU kwa maisha ya mtumishi wako Magembe uliyemtumia kkufanya kazi yote hii Mkono wako wenye nguvu uendelee kuwa pamoja naye!! Ukamtumie sawa na mapenzi yako na kusiwe na lolote la kumzuia kwa JINA KUU LA YESU CHRISTO Roho mtakatifu ukamfariji popote moyo wake ulipoumizwa kwa JINA LA YESU CHRISTO
Hongera maghembe kuondoka kwako kumeamsha waliokuwa wamelala sasa.wanajenga kwa mfuko wa makao makuu...huo ndio uamsho aliotaka Maghembe majumba sita....
Hongera sana Mtume Magembe kwa kazi Yako nzuri Maduka sita,peekee Mungu atakumbuka utumishi wako,Hawa ni wanadamu usitegemee shukrani kutoka kwenye vinywa vyao zaidi ya majigambo haya,kwani hata kijiko wamechukua ulichotumia kwa ofisi,ila inaonekana mafundisho ya Yesu Sio sahihi kuhusu utu wa mtu.
Mnajifurahisha tu Mungu atawaacha mbakie na dini tu lakini wakovu utaondoka. Soma habari za Kanisa la Sarmina na Leodekia! Mungu hafanyi kazi za ushabiki bali moyo uliyo vunjika na pondeka! Moyo wa toba ili Mungu aachilie Rehema na fadhili! Lakini kuendelea kushangilia kuondoka kwa Mchg Moses Magembe mtapigwa tu BWANA wa majeshi!
@@byesigwafabian9255 Unajua mnashangaza sana, hivi kuondoka kwa Mch Magembe ndio T.A.G iwe dini?au ndio Mungu asiwepo kwa sababu Mch Magembe ameondoka? lakini mnatakiwa mjue, Mungu atabaki kuwa Mungu,na Mungu ametupa Neno lake linalotuongoza namna ya kufanya ili Uamsho utokee,na hiyo ndio strategy yetu.
Sikutarajia kuona wanashindana kwa kujenga majengo. Hata makanisa ya ulaya yalikuwa na majengo tena mazuri kuliko hilo walilojenga lakini yaliishia kuwa kumbi za cinema kwa sababu uamsho haukuwepo na watu waliacha kwenda makanisani.
Ni vema kusaidiwa na mtu, lkn shida ya mwanadamu ni pale ambapo baada ya kumpa mtu msaada anakuwa hatarajii kuona aliyemsaidia anapita njia iliyo nje ya matakwa yake hata kama anakosea. Pamoja na yote Mungu mwenye kumilki nafsi zetu awatunze mpaka Yesu atakaporudi!
Kwani mnashindana na nani? Wapendwa acheni vijembe fanyeni kazi ya Mungu. Yesu hakuwahi kurumbana na wanafunzi wake au na mtu yeyote. Walipo muuliza wewe ndiwe Kristo Mfalme wa Wayahudi jibu ni wewe wasema! Sasa sisi tunawashangaa hayo mnayoshindania! Mtume Paulo alizuia mabishano yasiyo ya lazima!
@JoelinaPareso Msitende neno lolote kwa kushindana (WAFILIPI 2:3). Mwenye macho haambiwi, TAZAMA! Na mwenye masikio akisikiliza kinachoendelea, moja kwa moja anaona jinsi mnavyojaribu kushindana na Mchungaji Magembe!!
@@CharlesMbunda-og5tn Huo ni uelewa wako, watu wamejenga nyumba ya ibada, hapo mashindano yako wapi!! Kungekuwa na nyumba alafu wao wanajenga nyingine hapo sawa!! Jitahidi usiwe na chuki bila sababu!! Hao wate wanafanya kazi ya mungu, mungu amtumie kila mmoja kwa kiwango chake, tusiwe wahukumu sisi
@@JoelinaPareso Sina chuki na TAG, maana imeandikwa, Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Ila ukweli ndio huo. Kama ni ujenzi moto moto, ulipaswa kufanyika hata kabla ya Mch Magembe kujitoa! Sura ya mashindano iko wazi, hata kama unatetea dini kupita Yesu!!!
Ni jambo zuri kujenga kanisa, ni mojawapo ya matumizi ya fedha za sadaka, inaonyesha fedha za sadaka zipo TAG. Ni vizuri sasa makanisa yote ya TAG yenye majengo yasiyovutia nayo yakapewa fedha za ujenzi kama ilivyofanyika majumba sita
unavyoona nikama kinachofanyika nikumukomoa magembe nataka niseme Magembe kaokokaa sana na kutoka kwake ni pigo sana kwa kanisa la TAG na huu mwangwi utasikika kwa muda mrefu na yawezekana hapo ndoo taa ya wokovu ndo hiyooo inayoyoma kama kile alichokuwa anapinga magembe kisipotendewa kazi we jua litakuwa kanisa kama makanisa yakawaida sana mnayoonaga kama yamepoa.
Jamani mimi ni mkongo kusema kweli Magembe ameokoka kweli kweli hata ukitazama anavyo hubiri na kuliya juu ya watu wanavyo muacha Mungu hautashinda uko najiuliza maswali au kuwa na mashaka na Mtumishi wa Mungu huu ameokowa wengi kila mahali kwenye dunia hii naangali naendelea tu kutuokowa injili yake nikama ya Moses Kulola tu nani mwengine mtumishi wa Mungu tunaye kama Magembe African?? Uyu amechaguliwa na Mungu hata akakubali kuacha yote ya kanisa lake TAG juu ya kumufanyiya Mungu kazi jamani iweni macho wakati huu tunao shauri yenyu
You people mbona mko negative sana. Kwa nini mmeruhusu shetani kuwaingia kiasi hicho? Ni heri mnyamaze msiendelee kuwa kinyume na TAG maana hata nyie mnafahamu fika kuwa ni kanisa la Bwana Yesu.
mbona magembe huko muda mfupi why anapambana kujenga saizi na akiwa huku miaka yote yupo Magodown ya TBA? Wee huoni hilo tatizo braza? au nyie ndio mlikuwa kikwazo katika juhudi za miaka 13 ya moto wa uamusho sasa Bwana ameamua kung'oa mwenyewe magugu
@PGM20179 Mali alizoziacha Pst Magembe thamani yake huwezi kulinganisha na ujenzi wa jengo, ila wachungaji wa TAG wanapaswa kujifunza hata wao wanaweza kuondolewa bila kitu, leo hii Askofu Mtokambali anaweza kumuondoa mch. Kanemba na kumpeleka kwingine akaanze huduma bila kujali umri wake na investment aliyoiweka hapo, il mchungaji i ufanikiwe TAG ni lazima uwe rafiki/ chawa wa viongozi wa juu. His ndo main reason Askofu Mos3s Kulola alijitoa na Kwanzaa EAGT.
@@PGM20179limeshaoza tag sio lile aliloanzisha Moses kulola uzinzi,watu wanapata mali za wizi kidhulumu wanakuja kutoa sadaka, wanawake vinguo vifupi, bongo fleva style imeingia tag kwenye sifa, rap music imeingia tag uchafu wa kila aina umo humo
Sababu za Moses Kolola kuhama TAG ilikuwa Uamsho na anguko la ubujiko la roho. Makuhani wetu Hawa wamekuwa wakipambania matumbo yao na kujivunia mabatizo ya maji mengi, matoleo mbalimbali ya sadaka , kujijali binafsi na Hali utakatifu ukidorola makanisani. Enyi wakuu wa makuhani kumbuka mtatoa hesabu mbele za Mungu maana kwenu mnatuchanganya tuu
Mtizamo mtu ni wa mtu. Maana kuna watu hawawezi kufikiri chanya, maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kikubwa usilazimishe mtazamo wako uwe mtazamo wa ulimwengu mzima.
Nyiye hamjuwi ku comment mjengo tu inakua eti uamusho hamjuwi uamusho kabisa.... waebrania wala jenga mijengo mizuri sana kuliko haya ila Yesu alisemaje kuhusu makanisa yao muwe macho
Nadhani hujui taratibu za Kanisa la T.A.G, Kanisa la T.A.G ujenzi wa Majengo ya Makanisa ni suala la Kanisa husika,hilo jengo linalojengwa na Makao Makuu ni kutokana na kuwa, walikuwa wanasalia kwenye magodauni ambayo yamerudishwa kwa wamiliki wake,kwa hiyo ilibidi HQ watoe fedha za ujenzi huo ili Washirika wasikose mwelekeo
T,A,G NANZURI KWA WASHILIKA NA WATOTO WAWA CHUNGAJI WALIO KARIBU NA MAASIKOFU ILA SISI AMBAO WAZAZI WETU WALIKUA CHINI NBWAKAFAA HATUUONI UZURI WOWOTE NIKELOTUU MSISIFIE DINI SIFIENI YESU HALAFU MAJENGI HAYA ENDI MBINGUNI, T,A,G YA MIAKA ILA UTOTO MWINGIIii
Nadhani wamehama majumba sita si kwa sababu mfuko wa jimbo umetema la, ikumbukwe kwamba majengo yale si ya TAG, mfano, ukiomba mahali kwa uaminifu wako ukapata kibali,kisha ukaondoka eneo hilo, kwa vyovyote vile ni lazima wenye majengo yao watayahitaji maana wewe uliyejiaminisha kwao haupo tena hapo, inawezekana ndicho kilicho tokea.
Inaonekana mama amesema walikuwa wanasalia kwenye majumba ya serikali, kwa vile aliyeyaomba kwa niaba ya TAG ni mzee Magembe kabla ya kuondoka aliyakabidhi
Hiyo kama imefanywa kwa utukufu wa Mungu ni sawa lakini kama ni kuonesha umma kuwa aliyekuwepo alikuwa hafai basi nuda utasema wapo wengi waliofanya kuwakomoa watumushi waanzilishi na mwisho wao haukuwa mzuri lakini pia kila mmoja anayo maoni yake tumeitwa kwa namna tofauti tusubiri muda useme
Huyu mzee anaunyekevu sana ndo maana wamemweka hp kanemba mungu akubariki sana
Amina amina barikiwa mch Kanemba 🎉🎉
Mungu akubariki sana Mchungaji endelea mbele
Mungu akubariki mchungaji dustan kanemba.
Mungu kazi zake hazicgunguziki wenda aliruhusu haya kasiiongezeke ko hapa nikukaza buti kuutafuta uso wa Bwana
Ila mi nashauri mwache kujitesa Kwa kudhani mnashindana na mtumishi wa Mungu Magembe mwacheni Mungu amemtenga Kwa kusudi lk hasa nyakati za mwisho.
Hayo ni mawazo yako hakuna aneshindana na magembe kwahiyo unataka watu wanyeshewe?
@StevenMwinamijr mbona hamkujenga toka miaka 50 iliyopita
@StevenMwinamijr TAG Kwa sasahakuna issue
@@basilisamsaka8469nani aliyetakiwa kujenga!?
@@basilisamsaka8469 Ndugu zangu. Mungu sio wa Mtu Moja tusitegemee kazi ya Mungu itafanya na magembe tu. Hawezi kuhubili Dunia nzima. Kila mmoja anahaki ya kufanya kazi ya Mungu akisimama katika haki. Tusimtukuze sana mwanadamu. YESU YUHAI PIGA INJILI POPOTE ULIPO.
Mungu akubariki sana mchungji kanemba
Magembe sio kanembe usiharibu majina ya watu
Ahsante MUNGU kwa maisha ya mtumishi wako Magembe uliyemtumia kkufanya kazi yote hii
Mkono wako wenye nguvu uendelee kuwa pamoja naye!!
Ukamtumie sawa na mapenzi yako na kusiwe na lolote la kumzuia kwa JINA KUU LA YESU CHRISTO
Roho mtakatifu ukamfariji popote moyo wake ulipoumizwa kwa JINA LA YESU CHRISTO
Magembe ameacha kazi zuri
Amen
Aaamen Baba mimi nakuamini, Mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi
Utukufu kwa Mungu wetu na azidi kulitetea kanisa letu zuri la TAG.Mungu azidi kumtumia mtumishi wake Mch.Kanemba ,hakika ni Mchungaji mzuri sanaaa.
@@tabithalucas1831 Mnoooooo ana busara, hekima, mnyenyekevu na tabasamu kama Yesu alivyokuwa na upendo wa watu
Hakuna mwenye kanisa kanisa nila YESU pekeee
Uzuri wa kanisa lolote ni viwango vya kanisa hilo na siyo jina la kanisa
@@zachariangoyo6495 na kanisa lenyewe s jengo bali m2 mwenyewe!
🎉🎉🎉🎉❤ maua yenu waumini wa majumba sita
Hongereni sanaa!! Nimefurahi saana, mungu aendelee kuliinua kanisa lake
Mungu awainue zaidi awafanyie wepesi.
Uwe makini sana Mzee, ogopa sana kurithi make akiwa ana Mali na watoto, siku Moja unaweza fukuzwa kama mbwa
Nimempenda sana huyu mchungaji natamani angekuwa mchungaji wangu
Hongela sana baba yetu dasitani kanemba
Hongera maghembe kuondoka kwako kumeamsha waliokuwa wamelala sasa.wanajenga kwa mfuko wa makao makuu...huo ndio uamsho aliotaka Maghembe majumba sita....
Ha ha haaaa, mpk atoke ndy utokee!!?
Hongera sana Mtume Magembe kwa kazi Yako nzuri Maduka sita,peekee Mungu atakumbuka utumishi wako,Hawa ni wanadamu usitegemee shukrani kutoka kwenye vinywa vyao zaidi ya majigambo haya,kwani hata kijiko wamechukua ulichotumia kwa ofisi,ila inaonekana mafundisho ya Yesu Sio sahihi kuhusu utu wa mtu.
Huku kwetu magembe hayupo mbona kazi ya mungu inasonga mbele?acheni uchonganishi
Mnahangaika bure fanyeni kazi ya Mungu mashindano hayampendezi Mungu
Poleni sana..mpeni Mungu haki yake
Mbarikiwe sana kwa utumishi mzuri
Mnajifurahisha tu Mungu atawaacha mbakie na dini tu lakini wakovu utaondoka.
Soma habari za Kanisa la Sarmina na Leodekia!
Mungu hafanyi kazi za ushabiki bali moyo uliyo vunjika na pondeka!
Moyo wa toba ili Mungu aachilie Rehema na fadhili!
Lakini kuendelea kushangilia kuondoka kwa Mchg Moses Magembe mtapigwa tu BWANA wa majeshi!
Unaombea mabaya ikusaidie nini?wivu wanini?kama unataka kuhamia hapo Nani kakukataza?
Tag huijui vizuri
Kama magembe ameondoka wewe ulitaka wafanye nini kama kweli unamjua mungu,
Hakuna aliyemfukuza ameondoka Kwa hiari yake
@@byesigwafabian9255 Unajua mnashangaza sana, hivi kuondoka kwa Mch Magembe ndio T.A.G iwe dini?au ndio Mungu asiwepo kwa sababu Mch Magembe ameondoka? lakini mnatakiwa mjue, Mungu atabaki kuwa Mungu,na Mungu ametupa Neno lake linalotuongoza namna ya kufanya ili Uamsho utokee,na hiyo ndio strategy yetu.
Kazi ya Mungu na iendeleee
Heri wamtumainio Bwana!
Hakika Bwana yupo kazini na hayo pia ni matokea ya uamsho.usiogope,kazi iendelee
Hongereni sana tena sana huyo ni Bwana
Mumshukuru magembe amewaamsha usingizini
Mungu tusimamie
Mary uko vizuri
Sikutarajia kuona wanashindana kwa kujenga majengo. Hata makanisa ya ulaya yalikuwa na majengo tena mazuri kuliko hilo walilojenga lakini yaliishia kuwa kumbi za cinema kwa sababu uamsho haukuwepo na watu waliacha kwenda makanisani.
Hoka yako haswa ni nini?!
Waombee wasimame sio kuwabeza
Ni vema kusaidiwa na mtu, lkn shida ya mwanadamu ni pale ambapo baada ya kumpa mtu msaada anakuwa hatarajii kuona aliyemsaidia anapita njia iliyo nje ya matakwa yake hata kama anakosea. Pamoja na yote Mungu mwenye kumilki nafsi zetu awatunze mpaka Yesu atakaporudi!
Mungu azindi kulionekenia
Kanisa la T a g kwa zoruba hii na aiponye miiyo iliojeruhika
karibuni kwa mchungaji magembe
Mungu aonaye siri upo
Pole yenu
MUNGU awabarikii
Magembe yupo busy na injili??
Watu watesema mengi baba, lakini mwamini YESU hatakuacga. TAG nikanisa zuri bhn hakuna asiyejua hlo
Kwani mnashindana na nani?
Wapendwa acheni vijembe fanyeni kazi ya Mungu.
Yesu hakuwahi kurumbana na wanafunzi wake au na mtu yeyote.
Walipo muuliza wewe ndiwe Kristo Mfalme wa Wayahudi jibu ni wewe wasema!
Sasa sisi tunawashangaa hayo mnayoshindania!
Mtume Paulo alizuia mabishano yasiyo ya lazima!
@@byesigwafabian9255 Kwani wamesema wanashindana?
Uamsho analeta Mungu na si mwanadamu. Anamtumia mwanadamu aliye mchagua kuueneza.
Ila nyie kboko😂😂😂
Aaah aiseee
Kazi kubwa ipi wewe dada 😂😂 TAG BHANA MNAJUA KUJIVUNA ASEE
Asiyeshukuru kwa kidogo hata akipewa kikubwa hawezi kushukuru
T.A.G amah kweli mlisharudi mwilini!!! Inasikitisha sana!!!
Ko kujenga nyumba sita ndo kurudi kimwili!! Dahhhhhhhhhhhhhhh!! Mnapenda saana kuwanyooshea watu vidole
@JoelinaPareso Msitende neno lolote kwa kushindana (WAFILIPI 2:3). Mwenye macho haambiwi, TAZAMA! Na mwenye masikio akisikiliza kinachoendelea, moja kwa moja anaona jinsi mnavyojaribu kushindana na Mchungaji Magembe!!
@@CharlesMbunda-og5tn Huo ni uelewa wako, watu wamejenga nyumba ya ibada, hapo mashindano yako wapi!! Kungekuwa na nyumba alafu wao wanajenga nyingine hapo sawa!! Jitahidi usiwe na chuki bila sababu!! Hao wate wanafanya kazi ya mungu, mungu amtumie kila mmoja kwa kiwango chake, tusiwe wahukumu sisi
@@JoelinaPareso Sina chuki na TAG, maana imeandikwa, Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Ila ukweli ndio huo. Kama ni ujenzi moto moto, ulipaswa kufanyika hata kabla ya Mch Magembe kujitoa! Sura ya mashindano iko wazi, hata kama unatetea dini kupita Yesu!!!
Mme muona Mungu au mimeona jengo? Mungu haonekani kihivyo ww uudanganyae uma
Ni jambo zuri kujenga kanisa, ni mojawapo ya matumizi ya fedha za sadaka, inaonyesha fedha za sadaka zipo TAG. Ni vizuri sasa makanisa yote ya TAG yenye majengo yasiyovutia nayo yakapewa fedha za ujenzi kama ilivyofanyika majumba sita
Chochote kitakachofanyika majumba sita baraka zinamwendea magembe
Mh
Kanisa alilokuwa anatumia mch Maghembe limeenda wapi?
Hakuwa na jengo,alipanga godauni
We acha uongo ww Yan ajenge shule afu ashindwe kujenga kanisa duh@@sawanjema4889
Lilikuwa la kukodi
MAMA MSAMI…
unavyoona nikama kinachofanyika nikumukomoa magembe nataka niseme Magembe kaokokaa sana na kutoka kwake ni pigo sana kwa kanisa la TAG na huu mwangwi utasikika kwa muda mrefu na yawezekana hapo ndoo taa ya wokovu ndo hiyooo inayoyoma kama kile alichokuwa anapinga magembe kisipotendewa kazi we jua litakuwa kanisa kama makanisa yakawaida sana mnayoonaga kama yamepoa.
Jamani mimi ni mkongo kusema kweli Magembe ameokoka kweli kweli hata ukitazama anavyo hubiri na kuliya juu ya watu wanavyo muacha Mungu hautashinda uko najiuliza maswali au kuwa na mashaka na Mtumishi wa Mungu huu ameokowa wengi kila mahali kwenye dunia hii naangali naendelea tu kutuokowa injili yake nikama ya Moses Kulola tu nani mwengine mtumishi wa Mungu tunaye kama Magembe African??
Uyu amechaguliwa na Mungu hata akakubali kuacha yote ya kanisa lake TAG juu ya kumufanyiya Mungu kazi jamani iweni macho wakati huu tunao shauri yenyu
Mungu atafuti majengo ata kesho amieni lingine nisawa kujaza maji kwenye gunia nikazi bure tuu
You people mbona mko negative sana. Kwa nini mmeruhusu shetani kuwaingia kiasi hicho? Ni heri mnyamaze msiendelee kuwa kinyume na TAG maana hata nyie mnafahamu fika kuwa ni kanisa la Bwana Yesu.
mbona magembe huko muda mfupi why anapambana kujenga saizi na akiwa huku miaka yote yupo Magodown ya TBA? Wee huoni hilo tatizo braza? au nyie ndio mlikuwa kikwazo katika juhudi za miaka 13 ya moto wa uamusho sasa Bwana ameamua kung'oa mwenyewe magugu
@@PGM20179 umemjibu vizuri sana sawa na upumbavu wake
@PGM20179 Mali alizoziacha Pst Magembe thamani yake huwezi kulinganisha na ujenzi wa jengo, ila wachungaji wa TAG wanapaswa kujifunza hata wao wanaweza kuondolewa bila kitu, leo hii Askofu Mtokambali anaweza kumuondoa mch. Kanemba na kumpeleka kwingine akaanze huduma bila kujali umri wake na investment aliyoiweka hapo, il mchungaji i ufanikiwe TAG ni lazima uwe rafiki/ chawa wa viongozi wa juu. His ndo main reason Askofu Mos3s Kulola alijitoa na Kwanzaa EAGT.
@@PGM20179limeshaoza tag sio lile aliloanzisha Moses kulola
uzinzi,watu wanapata mali za wizi kidhulumu wanakuja kutoa sadaka, wanawake vinguo vifupi, bongo fleva style imeingia tag kwenye sifa, rap music imeingia tag uchafu wa kila aina umo humo
Mungu akubari kanemba wew nikiongozi unaye mjiwa mungu
Hongera sana kwa kujua lililokusudi la Mungu
Hongera sana kwa kujua lililokusudi la Mungu
Kaangalieni nyomiii kule ya mwambaa maghembe
Sababu za Moses Kolola kuhama TAG ilikuwa Uamsho na anguko la ubujiko la roho. Makuhani wetu Hawa wamekuwa wakipambania matumbo yao na kujivunia mabatizo ya maji mengi, matoleo mbalimbali ya sadaka , kujijali binafsi na Hali utakatifu ukidorola makanisani. Enyi wakuu wa makuhani kumbuka mtatoa
hesabu mbele za Mungu maana kwenu mnatuchanganya tuu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
TAG MKO KIFONI, IMEKUWA DINI TU KAMA KATOLIKI
Mtizamo mtu ni wa mtu. Maana kuna watu hawawezi kufikiri chanya, maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kikubwa usilazimishe mtazamo wako uwe mtazamo wa ulimwengu mzima.
Mmemfukuza Moses Maghembe huyo itawaletea shida sana
ili kanisa limeshakuwa la kidini siyo tena la uwokovu, mapokeo ya wanadamu yamekuwa mengiiiii na udunia umeingia ndani ya kanisa
Nyiye hamjuwi ku comment mjengo tu inakua eti uamusho hamjuwi uamusho kabisa.... waebrania wala jenga mijengo mizuri sana kuliko haya ila Yesu alisemaje kuhusu makanisa yao muwe macho
Majumba magar yote tutaacha hapahqpq duniani
Ni uamsho wa Maghembe asingeondoka wakuu wa masinagogi wasinge achia pesa...😅😅😅😅😅😅
Ni kweli huo nao ni uamsho,maana imefanya jengo lijengwe ,kusali kwenye magodown kumeisha
Kumbe shida ilikuwa pesa
Unayempa hongera hakuweza jenga kanisa kwa miaka ishirini na nane aliyokaa majumba sita hivyo alikuwa ni mtu wa kutangatanga
Nadhani hujui taratibu za Kanisa la T.A.G, Kanisa la T.A.G ujenzi wa Majengo ya Makanisa ni suala la Kanisa husika,hilo jengo linalojengwa na Makao Makuu ni kutokana na kuwa, walikuwa wanasalia kwenye magodauni ambayo yamerudishwa kwa wamiliki wake,kwa hiyo ilibidi HQ watoe fedha za ujenzi huo ili Washirika wasikose mwelekeo
@wilbertmpupua1547 ndio hio uamsho
MICHANGO YA MAGHEMBE ndo mnajengea
😂😂😂utakosa mbingu wewe endelea kusema uongo
Hamna watu hapo
JENGO KUBWA SI JAMBO LA MAANA! KANISA SIO JENGO!
UAMSHO NI KUJENGA magengo???
Anae weza kumwamsha mwingine ni yule aliye macho, Kuna aliye macho hata aeneze huo uasho?
mbona magembe ana wafuasi wengi kuliko nyinyi sasa
Huo ni uamuzi wa MUNGU, wala sio mtokambali
Mimi ninavyojua kanisa Huwa linajengwa na washirika na TAG husaport ukiomba msaada
T,A,G NANZURI KWA WASHILIKA NA WATOTO WAWA CHUNGAJI WALIO KARIBU NA MAASIKOFU ILA SISI AMBAO WAZAZI WETU WALIKUA CHINI NBWAKAFAA HATUUONI UZURI WOWOTE NIKELOTUU MSISIFIE DINI SIFIENI YESU HALAFU MAJENGI HAYA ENDI MBINGUNI, T,A,G YA MIAKA ILA UTOTO MWINGIIii
Kwahiyo ndo namna ya kuzima sakata la magembe
Acheni uhuni wa kuficha ushaifu wenu
Kwaiyo Magembe miaka 50 kumbe akujenge kanisa la kueleweka
Viongozi wa aina yake huwa hawaleti maendeleo kwa maana ya material, wao ni roho za watu na pesa kwa ajili ya familia zao!
Hamna kitu apóoo
Ndio mjue mchungaji Moses Magembe ni mtumishi wa Mungu mkubwa
Yaani kanemba umekuwa mkubwa yaani mtu mzima,nakumbuka tulikufanyia harusi yk na binti Mery wa Mzee salaka pale kawe na ni tunda la mchungaji Lukindo
@@basilisamsaka8469 na lukindo pia alivurugwa TAG akaondoka kuanzisha uamsho kupitia huduma yake gospel assembly na kazi inasonga mbele...
Nadhani wamehama majumba sita si kwa sababu mfuko wa jimbo umetema la, ikumbukwe kwamba majengo yale si ya TAG, mfano, ukiomba mahali kwa uaminifu wako ukapata kibali,kisha ukaondoka eneo hilo, kwa vyovyote vile ni lazima wenye majengo yao watayahitaji maana wewe uliyejiaminisha kwao haupo tena hapo, inawezekana ndicho kilicho tokea.
Hujakosea
Kwani magembe alibomoa lile kanisa la mwanzo ????
Jalijawahi kujengwa
Halikuwa la TAG, lilikuwa la kukodi
Kwani walikuwa hawana jengo wakati wa Magem be?
Inaonekana mama amesema walikuwa wanasalia kwenye majumba ya serikali, kwa vile aliyeyaomba kwa niaba ya TAG ni mzee Magembe kabla ya kuondoka aliyakabidhi
MAKOFI KWA MWANZILISHI WA MAJUMBA 6.MUNGU AKAENDELEE KUMUINUA KTK KUFANYA KAZI YAKE.
Jamani hilo ni jengo?