Nakanisa haya madogo madogo ndiyo nsyokubaliwa na Mungu ili mradi tu Ufuate Neno la Mungu maana Kanisa Ni Mtu sio jengo ,Yafaa Nini kuabudu kuabudu kwenye jengo la thamani halafu Mbingu ukaikosa ? Tafaksri hili Mimi ninabudia nyumbani kwangu na ninamwona Mungu kwa viwango naongea na Mungu kwa viwango nafunuliwa mafunuo kwa viwango ,Namshukuru Mungu Sana ,Ni heri Jina la YESU kuliko jengo Mchungaji songa mbele Hubiri injili yakweli inayowapeleka watu Mbinguni Utamwona Mungu
Jaribu kuona Hali kama hii halafu baadae anaambiwa akabidhi mali zote aondoke bila kitu chochote. Waangalizi Watumishi wa Mungu wamekaa kwenye viyoyozi huku wanaoanzisha Huduma wananyeshewa na mvua. Hali hii haivumiliki hata kdg ni kujichumia laana.
Asante sana tuna shukuru.na tutajisikia vizuri sana endapo kama hili jambo litawagusa wengi na kuweza kujitoa ili kuwasaidia watumishi wa Mungu hawa ambao wameamua kwa dhati kumtumikia Mungu bila kukatishwa tamaa na mazingira yanayo wazunguka
Halafu hawasaidii ht mchango wowote eti jina tu jmn Mimi ni mhanga wa hili sipendi kuona Wala kusikia haya Mambo labda Mimi sielewi ni dhuluma iliyopitiliza
Hakika huyu mchungaji ameitwa na MUNGU angekuwa ni kama wengine wanatafuta pesa kupitia uchungaji angesha toroka mahali hapa na kwenda mjini mahali atapata pesa
Mungu akubariki sana mchungaji kwa utumishi wako pamoja na mama mchungaji, tutafanya kadri Roho Mtakatifu atakavyotuongoza!
Bwana fanya njia pale pasipokuwa na njia, Mungu akubariki sana kwa kufanya kazi ya Mungu.
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu uvuke hii hatua ee Mungu mkumbuke mtumishi wako
Mungu akuinulie watu kwaajili ya kanisa lake,Hongera saba
Mungu ataenda kukuinua viwango vya kila aina
Apa ndoseem yakutolea fungu la 10
Asanteni sana NY TV kwa kazi nzuri na ya maana sana mnayofanya. Mungu awabariki sana kwa hii kazi.
Amina tunapokea baraka hizo
Mungu akisha muinua wanamwambia aache kila kitu aende zake 😢😢fimbo za Mungu hazitawaacha salama
Jamani TAG kanisa lenye pesa nyingi kanisa kubwa Tz mnafeli wapi?
Hapo sasa wakuu tunaomba mtazame t a g kanisa kubwa linaloeleweka
Mchungaji tupe gharama za nyumba na jengo la kanisa,
❤❤❤❤❤❤❤
Kila mtu ana la kufanya ama kujibu. Askofu mpaka mshirika wa chini. Tuwajibike, maana wako wengi kwenye mazingira kama haya Tanzania na duniani kote.
Mfuko wa Jimbo ndo sehemu za kusaidia hizi
Hao ndio wameitwa sio hao wengine wanaosema kanisa eti limeoza.
Fuatilia historia hata ya hao wanaosema kanisa limeoza walianzia wapi??tuchangie basi ujenzi ndugu yangu
Ndio Kanisa limeoza Mungu akilitazama analia ,Kanisa haliko Unyakuo ukitokea sijui ninani atanyakuliwa Tubu YESU anarudi
@@InjiliyaUfalmetv ni kweli Yesu anarudi.
Hawa ndyo watume, sio mtu anajiita mtume yuko dar!..
Nakanisa haya madogo madogo ndiyo nsyokubaliwa na Mungu ili mradi tu Ufuate Neno la Mungu maana Kanisa Ni Mtu sio jengo ,Yafaa Nini kuabudu kuabudu kwenye jengo la thamani halafu Mbingu ukaikosa ? Tafaksri hili Mimi ninabudia nyumbani kwangu na ninamwona Mungu kwa viwango naongea na Mungu kwa viwango nafunuliwa mafunuo kwa viwango ,Namshukuru Mungu Sana ,Ni heri Jina la YESU kuliko jengo
Mchungaji songa mbele Hubiri injili yakweli inayowapeleka watu Mbinguni Utamwona Mungu
Jaribu kuona Hali kama hii halafu baadae anaambiwa akabidhi mali zote aondoke bila kitu chochote. Waangalizi Watumishi wa Mungu wamekaa kwenye viyoyozi huku wanaoanzisha Huduma wananyeshewa na mvua. Hali hii haivumiliki hata kdg ni kujichumia laana.
Ni uonevu mkubwa!
Yaan, umesema kweli kabisaaa
Ooh Mungu wangu Mungu wangu!!! Mtazame mtumishi wako Huyu!!
Mungu anaona
Hahahaha😂😂😂😂😂 aambiwe na nani?
NY TV Mbarikiwe. Viewers tuwajibike kwa Watumishi kama hawa. Sadaka zetu ni Baraka zetu. Amen.
Asante sana tuna shukuru.na tutajisikia vizuri sana endapo kama hili jambo litawagusa wengi na kuweza kujitoa ili kuwasaidia watumishi wa Mungu hawa ambao wameamua kwa dhati kumtumikia Mungu bila kukatishwa tamaa na mazingira yanayo wazunguka
Halafu hawasaidii ht mchango wowote eti jina tu jmn Mimi ni mhanga wa hili sipendi kuona Wala kusikia haya Mambo labda Mimi sielewi ni dhuluma iliyopitiliza
Hivi TAG mnawasaidieje hawa wachungaji mbona ni kampun kubwa halafu baadaye mnasema ni Mali yenu mtihani mkubwa huu
Hakika huyu mchungaji ameitwa na MUNGU angekuwa ni kama wengine wanatafuta pesa kupitia uchungaji angesha toroka mahali hapa na kwenda mjini mahali atapata pesa