ONYO LA MUNGU KWA KANISA HILI KUBWA TANZANIA || EV DANIELY JOSHUAN || RGCM GOBA CENTER

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
    Mobile: +255 764 711 544
    E-mail: Info@rgcm.org
    Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:
    RUclips:
    / rgcmtv​
    Facebook: / rgcministry
    Instagram: / rgcministry
    Twitter: / rgcm_ministry
    TikTok: / rgcministry
    Online Radio:rgcministry.ezy...
    SADAKA
    M-PESA +255 (0) 764 711 544 (JINA : RESTORATION GOSPEL COMMISSION MINISTRY)
    Bank Name :EQUITY BANK
    Account Name :RESTORATION GOSPEL COMMINSSION MINISTRY
    Account Number :300 7211905 388
    Currency: TZS
    Account Number :300 7211905 390
    Currency: USD
    Account Number :300 7211905 391
    Currency: KES

Комментарии • 209

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 Месяц назад +8

    mi magembe nimeshangaa sana mzee yupe mwenye nguvu ya Mungu kaondoka

    • @babytoolsshop
      @babytoolsshop Месяц назад

      Kuna Kulola pia aliondoka hukushangaa,kanisa la Mungu likikosa kujaribiwa,haliwezi kukua. Mungu hutuonya na hutusimamia kuendelea mbele

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 Месяц назад

      ​@@babytoolsshopEAGT ni i kimetokea baada ya Kulola kuondoka?

  • @NeemaKomba-vn6sh
    @NeemaKomba-vn6sh Месяц назад +2

    Ni huruma za Bwana hizo mwenye masikio na asikie Mungu roho ayaambia makanisa

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Месяц назад +11

    Maagent wengi sana wapo makanisani, tena viongozi wa kubwa

  • @peterfortunatus
    @peterfortunatus Месяц назад +2

    Umeongea Kweli halisi Mtu wa Mungu, Ubarikiwe Sana 🙏🔥

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Месяц назад +2

    Huu ni ujumbe wa kweli kabisa.. Tunawajua wajumbe wengi ambao wameshalionya Kanisa hilo lakini Viongozi wa juu hawataki kusikia. Mungu analipenda Kanisa lake ndiyo maana anawainua Watumishi wake kuonya ili mwili wa Kristo upone.

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 Месяц назад +1

    Thank you man of God,, kwa maonyo hayo na ni kwer maana janaa tu mzee moses maghembe ametangazaa kutoka rasmi T.A.G

  • @PeterSimyota
    @PeterSimyota Месяц назад +4

    Asante mungu kwa kuzungumuza tunaomba ulehemu

  • @mwombekimedison3156
    @mwombekimedison3156 Месяц назад +1

    Hii ni kweli mtu wa Mungu,binafsi mwaka jana nilipewa ujumbe wa kanisa hili na nilipewa ujumbe huu, lakin bahat mbaya niliishiwa kutukanwa na kupingwa. Asante Yesu pengine zamu hii watasikia

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi Месяц назад

      @@mwombekimedison3156 kama hujumbe wako hauna mashiko ulitaka tupoteze muda wanini?kuhama kwa Magembe siyo mshangao,alihama Kulola Tena alimega nusu ya makanisa na wachungaji akaenda nao,iangalie EAGT Leo Kila kukicha wanameguka vipande,katoka Katunzi,Mwakiborwa na masanja wake nao wanameguka,Dani Kulola,sikia kule Mbeya Mzee Mwaisabila na kundi lake,Akitoka Rwakale,miti Mingi,Gwajima,na wengine wengi,lakini TAG IKO IMARA.Tunaendelea na Tutaendelea kumtukuza Yesu na hatuanguki kama maombi ya wanafiki wengi wanavyoiombea TAG.Maanguko ya mshirika mmojammoja nikama yalivyo makanisa mengine hata kwenu wapo wanaookoka na kuanguka lakini kwenye misingi ya Imani Taasisi iko Imara.

    • @pastorm.e.mwakalonge7020
      @pastorm.e.mwakalonge7020 Месяц назад

      Ulipigwa na nanii jamani acheni uongo

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 Месяц назад

      ​@@pastorm.e.mwakalonge7020Kuna watu wanatumika kiupinzani bila kujua au kwa kujua kupambana na TAG

  • @AbdinegoNoel
    @AbdinegoNoel Месяц назад

    Nashukuru mnatuombea mungu awabariki

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Месяц назад +1

    NAOMBA MUNGU AWATETEE SAANA KANISA HILI AMBALO BWANA YESU AMETEGEMEWA NANAFUSI NYINGI ILI WAENDELEE MBELE WAJIOJI WENYEWE🎉🎉🎉 ❤❤❤❤

  • @daudihongoa9401
    @daudihongoa9401 Месяц назад +1

    Mungu aturehemu kwakweli!!!

  • @evodithobias1856
    @evodithobias1856 Месяц назад +3

    Unasema ukweli kabisa ubarikiwe kwa kazi njema

  • @RaphaelClement-v3t
    @RaphaelClement-v3t Месяц назад +5

    Nyakati hizi ni kama shetani ameshikilia dunia kwenye mikono yake tuishi maisha ya maombi sana na kuwaombea watumishi sana

  • @DorahPaulWishi
    @DorahPaulWishi Месяц назад +2

    Ohooooo my God my God my God my God my God Jesussssss ohoooooo😢🙌🙌 hooooooooooo mercy mercy

  • @stephanokayega2792
    @stephanokayega2792 Месяц назад

    Mungu atusaidie.

  • @DecmondNergeKind-v6i
    @DecmondNergeKind-v6i Месяц назад +1

    Napenda sana mahubili yako huwa yananibaliki sana mungu akubaliki mtumishi wa mungu

  • @jonasimwanzi
    @jonasimwanzi Месяц назад

    ❤ amina nimekulewa YESU anakuja jamani tuishi kwa kumpendezesha MUNGU

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 Месяц назад +5

    Mungu iponye TAG

  • @RAIVONMWAKALANJE
    @RAIVONMWAKALANJE Месяц назад

    ❤❤❤🎉🎉 ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 Месяц назад

    Mungu baba tunaomba ukajifunue katika kanisa letu la tag tunaomba Toba na rehema

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Месяц назад +1

    Bwana asifiwe! Rhema ya mungu inatosha kumaliza mzozo wote wa kanisa kuu lenu TAG. HAPA NAONA NI UCHU WA MADARAKA AMBAO SASA WENGI WANATAFUTA NAFSI YA KIONGOZI KTK SECTIONS NK.

  • @RainaFussi
    @RainaFussi Месяц назад

    Mungu turehem wanao,watumishi wa mungu tutubu tutengeneze mahali palipo na ufa hiyo ni amini na kweli roho wa bwana asema na kanisa kupitia mtumish wake

  • @patrickkalimoja5478
    @patrickkalimoja5478 Месяц назад

    Asante kwa taarifa muhimu hii Yesu anatupenda sana. Nitaendelea kunyenyekea kwa Bwana ili vikwazo vya Electrical shot visinizuie bali vimpate Shetani.

  • @CatherineMwakibinga-tn5be
    @CatherineMwakibinga-tn5be Месяц назад

    MUNGU anatisha 🙌

  • @Samwelihamisi-f2d
    @Samwelihamisi-f2d Месяц назад +6

    yani mtumish wa Mungu umeongea kweli kabisaa yani niukweli

    • @kileopaul3316
      @kileopaul3316 Месяц назад

      Kweli ni nini

    • @inviolathaathanas7989
      @inviolathaathanas7989 Месяц назад

      ⁠@@kileopaul3316D mbili muhimu. Wanaotoboa hapa ni wafuatiliaji tu otherwise hutoboi

  • @SifaMtasha
    @SifaMtasha Месяц назад +1

    Ee Mungu ponya kanisa lako (viongozi wetu)

  • @stephenlembo8986
    @stephenlembo8986 Месяц назад +1

    Kanisa liko juu ya mwamba ambao ni Bwana Yesu mwenyewe

  • @RebekaShumbi
    @RebekaShumbi Месяц назад

    Uko sawa ni kweli ila Bwana alisema Isaya29:14

  • @UfalmewaMungu
    @UfalmewaMungu Месяц назад +4

    Mungu ukaliponye Kanisa lako la TAG

  • @peterkarera6297
    @peterkarera6297 Месяц назад +33

    Unachoongea mtumishi ni kweli but nilikuwa kwenye maombi ya Mfungo wa Kavu, Roho Wa Mungu alinionyesha kanisa lipo gizani na nilipowaenda kwa wazee wa kanisa kuwaeleza kuwa Roho Mtakatifu anataka tutubu na kuacha dhambi na kuishi maisha matakatifu, Hawakutilia mkazo Ujumbe hivyo niliingia kwenye maombi ya Toba na Maombolezo kwa ajili ya kanisa ili Mungu awape macho wayaone."EZEKIELI 8:1-17

    • @lucianlucian3094
      @lucianlucian3094 Месяц назад +5

      Leo hii watu wengi wanapotea kwa kudhalau. Watu wengine na kukataa maonyo na kubadilika wanaenda kwa mazoea ila MUNGU. ANA WATU WAKE NDANI EZEKIEL 22:-30

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 Месяц назад +1

      Maajent wa shetani wanalisumbua sana kanisa, watu wa Mungu waangalie sana na wasome neno na kuwasikiliza watu wa Mungu

    • @chumajoyce9951
      @chumajoyce9951 Месяц назад

      Mungu atusaidie 😢😢😢😢😢😢😢

    • @chumajoyce9951
      @chumajoyce9951 Месяц назад +3

      ​@@lucianlucian3094tena ndio uwe huna kipato unaonekana kama vile unaongea ukiwa umechanganyikiwa na maisha😢😢

    • @SimonpaschalMathias-j9p
      @SimonpaschalMathias-j9p Месяц назад +1

      Kweli Mimi Kuna Jumapili Moja nilikuwa kanisani muchungaji Ali simama na kusoma neno linalosomeka kuweni na kiasi lakini hiyo neno akapelekea kwenye roho kwamba uwe na kiasi pia usiwe mtu wa roho sana

  • @gracejoseph3372
    @gracejoseph3372 Месяц назад +3

    Hadi nimetetemeka, eeh Mungu turehemu

  • @BentaRehema-f2o
    @BentaRehema-f2o 29 дней назад

    Kweli pst

  • @ReginaKisuda
    @ReginaKisuda 20 дней назад

    Sema hvyo vitu mpendwa

  • @NdelimbijohnSwai-k5s
    @NdelimbijohnSwai-k5s Месяц назад +1

    Mungu tuhurumie na utuponye maana unataka tubalike sema na viongozi wa kanisa lako maana kanisa ni mali yako mwenyewe ponya kanisa lako baba

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j Месяц назад +9

    Mimi sioni vibaya mtoto anayependwa na babake umwonya asipotee hivyo TAG bado Mungu analipenda tutubu tusonge mbele kumtumikia Bwana.Yesu

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 Месяц назад +2

    Amen,Mungu uturehemu maana kweli tumepotea njia

  • @BatretStambuli
    @BatretStambuli Месяц назад +1

    Mti wenye matumda ,bado tuko imara na Yesu yupo pamoja nasi.

  • @BentaRehema-f2o
    @BentaRehema-f2o 29 дней назад

    Am from Kenya 🇰🇪 hata hapa nimefanywa hivyo

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 Месяц назад +1

    Hatale

  • @Emeldamghamba1380
    @Emeldamghamba1380 Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Ee Mungu Kumbuka Rehema zako

  • @ImanSimon-k4v
    @ImanSimon-k4v Месяц назад +2

    T.A.G ipo imara haswa....Tupo nyakati za mwisho na ishara ndizo hizi...

    • @georgealfred2293
      @georgealfred2293 Месяц назад

      Uimara unaousema wakimwili mpo imara sana ila rohoni hakuna kitu...

    • @florencekombe5503
      @florencekombe5503 Месяц назад

      Kwa macho ya mwili Hali si shwari acha macho ya rohoni utaona zaidi ya unavyofikiri

    • @markomgogosi6093
      @markomgogosi6093 Месяц назад

      tupo imara na tutaendelea kusitawi

    • @Shalom803
      @Shalom803 Месяц назад

      Tatizo la TAG ni arrogancy kuwa wanajua sana na wameokoka zaidi ya wengine. Mungu tusamehe😢

  • @osirroberth
    @osirroberth Месяц назад +1

    Rarueni mioyo yenu wala si mavazi yenu mkamrudie bwana ,mungu wenu,maana yeye ndie mwenye neema amejawa huruma ,si mwepesi wa hasira yeye hupatrisha ubaya mwingi wa rehema yoel 2:3

  • @Zabronmwakaniemba
    @Zabronmwakaniemba Месяц назад +4

    AISEEE HUU UNABIIII UKIWA UMETOKA KWA MUNGU TAG MTAUKUMBUKA
    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮😮😮😮😮😮😮😢😢
    JAMANI TUKUMBUKENI
    MOSES KULOLA
    NDANI YA TAG
    ANGALIA SASAA
    EAGT INAVO SONGA MBELE❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    BALIKIWA SANAA EV JOSHUAN

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi Месяц назад

      EAGT mnagawanyika Kila siku hamuishi mahakamani

    • @chumajoyce9951
      @chumajoyce9951 Месяц назад

      @@Zabronmwakaniemba Tunajenga mwili wa Kristo tuaitupiane maneno tunakuwa kama watu wasio na Hekima na Akili ya Kimungu. Tuombeane tumalize mwendo salama wa maisha yetu hapa duniani.

    • @marystephen1183
      @marystephen1183 Месяц назад

      Tatizo umeandika comment yako kwa hisia Za mwilini sana. Pole

  • @peninahmwende3537
    @peninahmwende3537 Месяц назад

    Amen 🙏

  • @AishasamsonMafuru
    @AishasamsonMafuru Месяц назад +1

    Ameni

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Месяц назад +1

    Ingekuwa vizuri kama ungekuwa unahubiri bila mkalimani kwani anakupunguzia mtiririko mzuri kwa watu kukusikiliza na kibaya zaidi anakosea kwa baadhi ya maneno yako.

  • @mosesmwasanga7661
    @mosesmwasanga7661 Месяц назад +4

    Magembe Umeona Vema sana Kuondoka👋👋

  • @MosesKakyama
    @MosesKakyama Месяц назад +1

    Mungu aturehemu jmn

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Месяц назад +1

    MUNGU atusaidie

  • @VicentKayagula
    @VicentKayagula Месяц назад +1

    Hakika Mungu anaongea...

  • @odilialucas2430
    @odilialucas2430 Месяц назад

    Hili kanisa watu wengi na watumishi wengi sana wameonyeshwa na Mungu nini kinaendelea,nakumbuka nilienda TAG mtu mmoja Mungu akaniambia acha hili kanisa limeshajichanganya sana ,yeye ni mzee wa kanisa wa kanisa hilo na anaomba Mungu amtoe hapo kwa namna nzuri maana akiondoka ghafla kanisa linaweza pasuka ....kiongozi wao mkuu wa TAG ameshajiingiza pabaya mnoo yani kasaini mikataba ....watu hawawi tu wawazi ila ukweli ndo huo

  • @RUBENIMWAIYONGA
    @RUBENIMWAIYONGA Месяц назад

    Kanisa halina macho

  • @sophiakunache4982
    @sophiakunache4982 Месяц назад

    Duuuu
    Mimi ni kama darasa la kwanza kiimani,nimewahi kuongea juu ya kanisa hili
    Mungu tutengeneze kama ulivyomtengeneza Saul

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 Месяц назад

    THAT'S TRUE NA IMESHA TOKEA TAYARI MTUMISHI WA MUNGU

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад +1

    Biblia inatufindisha kuonyana huhitaji kuficha ukiona ndugu yako anakosea mwonye na ueleze wapi anakosea ili aache . Yesu yupo mkubali na unyenyekee ataonekana kwako

  • @josephinemichael1514
    @josephinemichael1514 Месяц назад +3

    Wakati wa kanisa kujiandaa kwa ajili ya unyakuo turehemu ee BWANA ponya kanisa lako

  • @successnetwork411
    @successnetwork411 Месяц назад

    Uhuni tu, watu wanazidi tu kudanganywa zaidi kwa maslahi ya dini, hizi ni sanaa na kiki tu. Watu wanazidi kujazwa hofu na woga usio na maana, ni utumwa wa kifikra tu

  • @RebekaShumbi
    @RebekaShumbi Месяц назад +1

    Hata mimi nilitumwa kwenda kuwaonya wakanikataa Bwana akasema ungeenda ningefichua uozo wote madhabahu zimejaa roho ya mpinga K

    • @AnneHarold
      @AnneHarold Месяц назад

      mpinga K ni nani?
      Liheshimu jina la Mungu ndugu

  • @ellynkya7216
    @ellynkya7216 Месяц назад

    Mungu wape macho ya rohoni

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano Месяц назад

      @@ellynkya7216 barikiwa sana mteule.

  • @DanielMwakanyuma
    @DanielMwakanyuma Месяц назад

    Ila tutasikia mengi kwa ajili ya mzee wetu magembe mzee magembe alishajieleza kilichomfamya aondokeTAG ila sssa yanayosemwa mh!

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад

    Hizi ni Siku za mwisho kila mtu anakuja na staili za kututisha oh mara bwana kanionyesha kumbe hakuna kitu ni jumbe za vitisho tu.Wahubirini watu watubu waishi maisha ya kumfanania Kristo inatosha

  • @godloveparmet5320
    @godloveparmet5320 27 дней назад

    Hubiri neno la Mungu ujumbe ukionyeshwa basi nenda kwa askofu mwambie nimeonyeswa ivi kama manabii walivyoo kuwa wanatoa jumbe wakitumwa na Mungu kuna watu hawaja imarika kirohoo wata comment wanacho kijua ila ukijua misingi ya biblia na unabiiulivyo peleka kwa muhusika asipo badilika Mungu atajidhihiridha apo uwo sio unabii kwasababu sio muhusika unaye mwambia ila kanakitu kingine unatafuta

    • @apostlegeofreynyanda
      @apostlegeofreynyanda 25 дней назад

      Kwan huelew kama kaambiwa asemehadharani? Hujui kama unabii unakujaga na maelekezo

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin Месяц назад

    Asante kwa ujumbe siku zote kanisa ambalo ukiwa chini ya watu au chini ya mtu lazima ifikie mahali akufukuze tu maana yupo mwilini ...ona TAG kwa Kumfukuza MOSES MAGEMBE.. ila MUNGU YU PAMOJA Nae..

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 Месяц назад +1

    TAG tayari mchungaji magembe kajiondoa

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 Месяц назад

    Halafu Ministry nyingi.watu wanaanzisha ili wawe huru, hawataki kuwa chini ya Viongozi wa kiroho. Wengine wanatafsiri maneno ya Mungu kinyume na kuwapotosha wengi.

  • @nativeswahili
    @nativeswahili Месяц назад

    Ameangalia opportunity, anatamani TAG ivurugwe watu wahamie kwake, hawa vijana wanaofanya biashara ya injili wa kuwaonea huruma tu. hakuna mtu wa Mungu hapo wala msipoteze muda. time will tell.

  • @PauloDossa-q8v
    @PauloDossa-q8v 12 дней назад

    Jambo la msingi ni kutubu na kuomba Rehema ili mungu aliponye kanisa letu

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад

    Mmm Tunaomba Mungu atusaidie nyakati hizi tuwe makini tutasikia mengi

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад +4

    Nilijua tu manabii wa kizazi hiki hamtapitwa na yaliyotokea TAG.

    • @michaelrweyemamu1068
      @michaelrweyemamu1068 Месяц назад

      Hahahaaaa😅 hata mm nilisema manabii na Mitume watatumia hii jambo kutafuta kiki

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 Месяц назад

      Acha dharau! Na wewe SEMA tukusikie.

  • @joshuanelson6558
    @joshuanelson6558 Месяц назад

    Siko pande yeyote, Ila ujumbe kama huu unaokujaga baada ya MATUKIO KUTOKEA tayari huwa unaleta mashaka sana na janja janja huwa ni nyingi sana. Anyways kwasababu kutubu inabidi uwe mfumo wa maisha, tujitahidi kuishi hivyo.

  • @veronicamahende3718
    @veronicamahende3718 Месяц назад +2

    TAG jmn uwiiiiii

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 Месяц назад

    Iv kwa nn tunapenda kudanganyana sana ety kanisa ndo sehemu Mungu anatumia kuokoa watu??? Sio kweli hakina uhusiano wa mtu Kumjua Mungu na kanisa hakuna

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Месяц назад +2

    MUNGU iponye TAG

  • @ebennexer2301
    @ebennexer2301 Месяц назад

    Thank you for healing the Church from Religion Evangelist. Religion is not from God and God has all freedom to condemn religion in public because He did it to the pharisees while He was in the flesh in “JESUS”.
    Religion has been a great yoke to Godly moves in our country for a very long time.
    Now the time has come and now it is here where true worshippers are called from worshipping in the flesh (Religion) to worshipping in the Spirit.

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 Месяц назад +2

    Karibuni kanisa katoliki. Rudini nyumbani wa TAG wote

    • @DeodatusRenatus
      @DeodatusRenatus Месяц назад

      Apo anaongea na watu wanaojua mambo ya rohon , WATU wa dini ,msubili hekima ya MUNGU kwanza , haya mambo wewe usiingize udin ndugu

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 Месяц назад

      Unapoteza watu utadaiwa.afadhali wabaki Tag.

    • @sarabura8933
      @sarabura8933 Месяц назад

      We kwaiyo uko Romani ndio kunausalama sasa nikwambie kwanza nyie walomani wote mngejua hapo ndipo lilipo sinagogi la shetani ungetoka huko alaka iyo dini ni yakishetani na ni yampinga kristo ole wenu msipo tubu

    • @gladishaule9261
      @gladishaule9261 Месяц назад

      Acha nyaya zininase...katoliki sirudi, sipo tayari kuabudu sanamu na sara za kukariri...

    • @gladishaule9261
      @gladishaule9261 Месяц назад

      Ahsante kwa maombi mtumishi wa MUNGU...Kwenye makusanyiko yoyote hawakosi wapinga neno la MUNGU lk kila mmoja aifikirie toba binafsi...

  • @reginaldambrosymassare611
    @reginaldambrosymassare611 Месяц назад +1

    MUNGU tuokoe sisi wakosefu. 13:35

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 Месяц назад

    Ni kweli mtumishi kwani kuna hasara Gani unapoambiwa kutubu Wana wa Mungu.dah nilitetemeka moyoni sana kuona MCH magembe alikabidhi Damu yake Kwa miaka 50 kwa kweli tunahitaji toba

  • @elishaluhwago6940
    @elishaluhwago6940 Месяц назад +4

    TAG

  • @oscarjeremiah7377
    @oscarjeremiah7377 Месяц назад

    Palipo na vurugu hapo hakuna roho mtakatifu.Roho Mtakatifu ni wa Utulivu siyo vurumai,makelele,magomvi,fujo na vurugu.Viongozi wa Hilo kanisa tubuni Yeremia 18:7-14

  • @JanethJoel-cu2xv
    @JanethJoel-cu2xv Месяц назад

    Mchg maghembe alisema kanisa limeoza wakakasirika

  • @philipojr9687
    @philipojr9687 Месяц назад +2

    Wa TAGbadala ya kushupaza shingo bora muombe na kutubu.
    Kwani huyu amesema mmeanguka au mnaenda kuanguka!!?

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano Месяц назад +3

    Ni Mjumbe wa agano pekee ndiye aliyekusudiwa kuhubiri habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani,
    Babeli imeanguka Sasa ni SAA YA UFALME WA MUNGU na Mjumbe wa agano duniani.

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi Месяц назад

      Pepo kubwa mjumbe wa agano ndo nini

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano Месяц назад

      @OdiloMwemezi MUNGU Akusamehe kwa kuwa hujui usemalo utajua baadaye.

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi Месяц назад

      @@MjumbeAgano kama unamwingine tofauti na Yesu wa Nazareti huyo ni mjumbe wa agano la kishetani,Wala hapo siitaji msamaha wa Mungu,

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano Месяц назад

      @OdiloMwemezi Malaki 3 1-3. Mathayo 17:11. Isaya 40:4-5. YESU ni Neno Sasa yupo ndani ya hekalu lake Mjumbe wa agano duniani. Isaya 41:1-4. Habakuki 2:20. Ni NENO ndani ya Mjumbe wake. Ufunuo wa Yohana 19 11-16.
      Utakuja kujua baadaye kuwa mimi ndiye Eliya atakayetengeneza yote aliyosema na mitume na manabii. Ufunuo wa Yohana 10:1-7. Endelea kukaidi ipo siku utalia na kusaga meno.

    • @MjumbeAgano
      @MjumbeAgano Месяц назад

      @OdiloMwemezi Hakuna roho ya mashetani inayompenda Mjumbe wa agano duniani, ni wateule wa Mungu tu wanaoisikia sauti ya mchungaji wao.

  • @ananiadamian4597
    @ananiadamian4597 Месяц назад +1

    Hio ndio kweli maana ukikutana na Shirika wa TAG haswa wa zamani ukamwambia ww ni kanisa flan la kiroho Wana semaga hao hawaja okoka.

  • @Mr_S.M.S8587
    @Mr_S.M.S8587 Месяц назад

    cameraman kindly pole ....

  • @kileopaul3316
    @kileopaul3316 Месяц назад +1

    Hakuna neno hapa

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 Месяц назад

      Sawa umeesha Leo udhehebu wewe wakati unakuja Utasimama mbele za Mungu na utakumbuka maneno haya unayoyaapuza maana aliekufa kiroho lazima maneno haya yawe kwazo

    • @LinahRwambali
      @LinahRwambali Месяц назад

      Basi tuletee wewe neno😂

    • @markomgogosi6093
      @markomgogosi6093 Месяц назад

      hata Mimi sioni Neno zaidi ya mawazo yake tuTAG ni salama

  • @MartinLaizer
    @MartinLaizer Месяц назад

    Upo Arusha sehemu gani

  • @markomgogosi6093
    @markomgogosi6093 Месяц назад +1

    TAG ni salama

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 Месяц назад

      @@markomgogosi6093 hata Israel walipokuwa wakitolewa unabiii kuwa wataenda utumwa babeli walikataaa wakasema Mungu hawezu kulipeleka taifa lake alilituoa misri taifa la Baba yetu ibrahimu wakawatukana ila walipofika babeli. Ndio walijua kuwa isay yeremia na Ezekiel walitumwa na Mungu endeleeeni kujiona mko salama

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад +1

    Halafu tueleze ni mitego gani ili tusaidiane kuitegua.Mimi naomba Tujikite kuhubiri watu watubu wamfanie kristo waache dhambi hii yakusemana bila kuleta uthibitisho tuache

    • @DanielMwakanyuma
      @DanielMwakanyuma Месяц назад

      @@michaelkibiki3309 umeongea vzr ndugu kwamba tuwambiye watu wamjuwe Mungu, kwa haya watu wamepata pakusemea kinachonisikitisha hawa manabii pia namshanga sana pasiko anavyofurika hii ni aibu.

  • @zakariaambwene4091
    @zakariaambwene4091 Месяц назад

    Ukweli TAG na wao TAG ni bora sana ila kwakuwa ni kanisa lililojengwa juu Mwamba haya ni mafuriko, ni upepo ambao ungewakumba wao wangekuwa wamepotea

  • @hopenatura
    @hopenatura Месяц назад

    Nahitaji namba yako mtumishi kwa ajili ya sadaka

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 Месяц назад

    MUNGU MKUU ponya kanisa lako.

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад +1

    Tusinyosheane vidole au kusemana semana ovyo Tusaidiane kwa upole.Toa boriti ndani ya jicho lako kisha katoe kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzako

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur Месяц назад +2

      Tatizo lako unang'anania dhambi tag imekuwa dini tu kama katoliki sema tu inamtaja YESU mnapenda Injili za kubarikiwa mkiambia muache dhambi mgeuke hampendi

    • @michaelkibiki3309
      @michaelkibiki3309 Месяц назад

      @@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Kanisa la wapi ambalo limeng'ang'ania dhambi na dhambi hiyo ni dhambi gani.mimi nimekuwa mshirika wa hilo kanisa zaidi ya miaka 28 dhambi mtu akifanya anatengwa.Fanya utafiti kabla kuwasema watumishi vibaya

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson Месяц назад

      Kuonyana siyo kunyoosheana vidole.Mungu anavyombo vyake na anavitumia.

  • @alphaxadndaki7080
    @alphaxadndaki7080 Месяц назад

    Lakini usisemee kwa watu mambo ya kanisa lingine. Hekima ni ungeyasema haya kanisani kwako au uwafuate wahusika

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 Месяц назад +1

    Mahali wanapoanzisha ujumbe wao wanaanzia hapa mara nililala bwana kanitokea kanionyesha hivi na vile.Kumbe umeshiba Makande ya ukavimbirwa utudanganya bwana kakuonyesha.mbona hakuonyeshi watu walioanguka kanisani kwako uwaite kwaajili ya Toba.mnabaki kuwatabiria tuu utajiri huku wakiendelea na dhambi zao

    • @joshuandaki-g9s
      @joshuandaki-g9s Месяц назад +1

      u TAG utakupoteza shauri yako ohooo

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson Месяц назад

      Ogopa sana na unatakiwa kuwa makini na neno lolote linaloyoka kwa Mungu.Ingia maombini na Mungu atakupa Cha kufanya,acha Mungu aonye kanisa lake kwa ukombozi.Ameni

    • @michaelkibiki3309
      @michaelkibiki3309 Месяц назад

      @@AtuganileGodson Ujumbe wa Mungu huwa haipingwi kwa hiyo sio kila anayetabiri katumwa na Mungu.Mbona hajaonyeshwa kabla Tukio halijatokea ili aonyeshe Mungu alionyesha ili mabaya yasiwapate wahusika.Unasibiri litokee tukio ndio useme Mungu kakuonyesha hapo hamna utabiri hizo ni ndoto zake tu alikuwa kavimbiwa Makande

  • @mikadanniel1952
    @mikadanniel1952 Месяц назад +1

    Huu ujumbe mbona haukutoka mapema kabla ya tetesi za magembe kuondoka? Hiyo mitego ni ipi hivyo vifungo ni Vipi hizo kasi waliyo zuiliwa ni ipi hiyo mifumo ya wazungu niipi na kwani wazungu nimashetani au mifumo yakizungu niyakipepo na mifumo ya kiafrica ndio Mungu anatenda kazi kwayo??hizi nistory zenu wachungaji huko ndio mnakuja kuzitoa madhabahuni

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 Месяц назад +1

    TAG wazee wa kanisa ni mamafia ukikaaa vibaya wanakupeleka kusikojulikana

  • @roselinemosha
    @roselinemosha Месяц назад

    Nieleweshe maana sijaekewa shida iko wapi

  • @ImanSimon-k4v
    @ImanSimon-k4v Месяц назад +2

    T.A.G ipo imara haswa....Tupo nyakati za mwisho na ishara ndizo hizi...

  • @SaraKabona
    @SaraKabona Месяц назад

    Msihukumu watumishi Wa Mungu aliye waandika ktk kazi yake atawaka watoe hesabu. Maana peke yake ni muhukum Wa haki. Pia Nabii, unaonyeshwa ujumbe Wa Askofu then unautoa hadharani, sijui Mungu Wa machafuko, utapata faida gani ww kanisa likifa au kutetereka iwapo ww ni mtumishi Wa Mungu. Naona ktk yooote upendo wenu watumishi hayupo. Masilai kama ni ya Yesu mfuate mhusika kwa unyenyekevu umpe ujumbe yeye na sio halaiki. Yesu akirudi ataikuta imani? Waonaje ukihubiri Injili badala yakuhukum naku chambua makosa ya watumishi mwenzako?

    • @samuelrobert8139
      @samuelrobert8139 Месяц назад +2

      Sikiliza kwa makini.. kapewa ujumbe na kaambiwa auseme kama alivyoambiwa... sasa ni heri kumtii Mungu kuliko kutafta kukubaliwa na wanadamu.... kama mwenye kanisa kasema aseme hadharani sisi ni kina nani tuanze kusema itumike hekima...hekima ha Mungu Ina nguvu kuliko

    • @SaraKabona
      @SaraKabona Месяц назад

      Hayo yooote siyo halali. Neno la Mungu inasema vitu vyote ni halali ila siyo vyote vifaavyo. Kama kweli watakatifu walioko duniani ndio walio bora, hukumu I ninyi mwenyewe. Mwili Wa Kristo ulimwenguni huwezi kufanya haya anayo endelea mitandaoni. Sijaona kipimo kinachotumika kuwa hukumu Wa TAG. Izingatiwe Yesu hatanyakuwa dini bali watakatifu. U busy uliopo sasa sio wakujoweka tayari na kuandaa kanisa takatifu lisilo na mawaa, bali watu wanajichafua kwakuhukumiana na kunyosheana vidole, enyi watumishi Wa madhabahini, hukumu ni juuu ya mwana Wa Mungu na sivonginevo. Acheni kuzuia Injili kusonga mbele kwa manabii ya kujitungia. Ukipewa ujumbe upeleka kwa mhusika. Ila upeleka Injili iletayo Wokovu. Mtakatifu na azidi kuwa Mtakatifu, Heri akeshaye, zama hizi ni za uovu, tuukombewe wakati. Majungu yawafaa sana wasioamini.

    • @rumariletimba7585
      @rumariletimba7585 Месяц назад

      Watumishi wa Mungu tutubu na tuombe Mungu aturehemu maana ni siku za mwisho,yaani mnataka kusema Mungu hawezi onya kanisa wakipotea njia?nina wakika mtumishi wa Mungu amefikicha ujumbe amenowa mikono

    • @jonaslimbida8691
      @jonaslimbida8691 Месяц назад

      Jitahidi kuelewa ujumbe madam

    • @MfugemeMwaipopo
      @MfugemeMwaipopo Месяц назад

      Sikiliza tu vzr na Mungu atusaidie

  • @festomartin8635
    @festomartin8635 Месяц назад

    KWA HILO KANISA LA KIROHO, NI KANISA LA TAG!. MAKANISA MENGINE NI MAKANISA YA KIMWILI KUMBEEE?