ISHI HIVI BAADA YA KUMPOKEA YESU ILI UWE NA MATOKEO || EV DANIELY JOSHUAN
HTML-код
- Опубликовано: 2 янв 2025
- Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com
Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:
RUclips:
/ rgcmtv
Facebook: / rgcministry
Instagram: / rgcministry
Twitter: / rgcm_ministry
TikTok: / rgcministry
Online Radio:rgcministry.ezy...
SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544 (JINA : DANIELY MREMA)
CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA). MUNGU AKUBARIKI SANA.
Namimi nataka nitembee nae niongee nae live🙏
Pastor, nikupongeze sana Kwa huduma, nipo morogoro
Apostor ww sio mhubili tu au na bii tu ww nizaidi ya kitu kiko na Mungu napenda uwalim ulio nao naomba Mungu anakutanishe na ww Mungu akupe kwenda vivyo ivyo asante yesu kwa chombo cha rohon hik Dah❤️❤️🙏🙏🙏🧎
Maisha baada ya wokovu,Roho Mt tusaidie ,tuweze kutembea n ww n viwango viongezeke
Vizuri sana sasa ivi mtu anaingia kanisan hataki kuishi maisha ya watoto wa Mungu.
Hii nimekubali
Mana bii baadhi wa Sasa ameacha mke WA kwanza anaoa mwingine anasema hata suleman alikuwa na Masuria so watumishi mjitahidi kufundisha kweli ya Mungu . Usipapase fundishen kweli ubarikiwe pastor unafundisha.kweli bila Roho mtakatifu huwezi kupambana na Roho za uovu.
Wah huyu diye anaonge kuhusu wokovu kamili bwana yesu akubariki sana hii diyo injiri watu wanahitaji
Oooohh Asante Yesu bado unao watumishi wanao tuhubilia kweli, wanawake Tubadilike tusiikose mbingu
Asante Yesu kwa kuzungumza na mimi.
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu alie Hai
Amina baba mtumishi wa Bwana Yesu akulinde sana na akutukuze katika mataifa yote Amen 🙏🙌
Ahsante kwa ujumbe huu
Tujie maisha mapya baada ya kuokoka
Mungu amekataa suluali ni vazi la kiume shetan anabadilisha mambo kuwa suluali pana haina shida sio kweli kabisa Tunatakiwa tuukili uchaj wa krito TOROT 22:5
Ameeeen, ahsante sanaa Bwanaa Yesu sifanyi utukufu tunakluudishia wew Bwana
Powerful Hii ndiyo kanisa tunahitaji
Amen pastor
Bwana Yesu nisaidie kujaa Roho mtakatifu
Mungu akubariki sana mtumishi maneno yako ni uponyo wangu
Natamani ili kanisa linge kua katikati ya mji wengi waweze kufika lipo mbali sana na huduma ni nzuri mno mno Mtumishi fanya jambo wengi tuweze kufika nilisha wahi kuja nimetoka nyumban saa mbili nimefika hapo saa sita kwa ajili ya umbali
Asante sana mtumishi una fundisha vema sana
Bwana Yesu naomba inua imani yangu kwako
Lipo wapi kwani???
Giba seta@@itikamwasangwale6586
Goba seta
Yoooh Amaaazing Amaaazing Gospel 🔨🔨
Yesu nijaze kwa upya
Amen Amen❤❤
Huyu mtumishi ninampenda sana! 🎉🎉
Bwana wa mbingun akubariki mtumishi kunakitu na kihisi hapo
This is soooooo good mesage. Nasikia kujaa Roho.
Be blessed my pastor. A man of GOD
Mtumishi wa Bwana Yesu yuko sahihi kabisa.
Kwakweli mafundisho ya kakobe Niya kitakatifu kweli
Amen Amen,,,, ubarikiwe Mtumishi,,,more grace
Ameeeen Mungu atusaidie tujiepushe na atuepushe na uovu
Thank you Jesus 🙏 for this sermon
Nabarikiwa na mahubiri ysko sana barikiwa
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kutu kumbusha
NIMEFURAHI KUKUTANA NA UJUMBE HUU KUTOKA SOUTH AFRICA ,YESU nisaidie niishi maisha ya kukupendeza wewe, Najua una rudi muda si mrefu ,Tangu ulivyo sema na Mm kwenye Ndoto kuwa una rudi Natamani kuishi Maisha masafi siku zote
Amen mtumishi
Yes ubarikiwe 🙏🥹
Powerful sermon ….be blessed evanjilist
Amen hakika wokovu unagharama Mungu akubariki sana
Barikiwa baba asante kwa kunifunza jinsi ya kuishi baada ya kuokoka
Amen, Asante Mtumishi Kwa Neno Zuri
Natamani uwe mchungaji wangu!
Utatamani wachungaji wangapi😅😅
Amina sana mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe mtumishi
Ahsante Yesu ubarikiwe
Eeeh MUNGU wangu jamani 😢😢
Somo ni zuri tunaomba muendelezo mtumishi
Ubarikiwe sana
Pasta niombeya na mimi 🇨🇩
Baba nabarikiwa sana kwa mafundisho haya
MUNGU akubariki sana
Cette parôle à plus d'impacte sur ma vie
Ubarikiwe mtumishi wa BWana
😂😂kama ngedere Kwa kweli
Kumpata Bwana ni gharama.kutoka Yeriko mpaka Galilaya ni mwendo wa siku kadha.Jitia nguvu.
AMEN 🙏.
Barikiwa Man of God
Ukweli mtupu
Nabarikiwa sana Mtumishi
Mtumish amesema yupo kigoma au nimesikia vibaya
Hapo juu naona pameandikwa GOBA CENTRE
so watakuwa Goba
Be blessed EV
AMEN
Kweli kabisaa
Amen
Ameeni
Amen mungu akuinue zaidi mtumishi
Amina Mtumishi
Of course, That's true
Not of course that is true believe that
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen Amen mtumish wa Mungu
🙏🙏🙏🙏 please I need prayers am not fine
Ubarikiwe mtumishi 🙏
Amen baba
Amen 🙏🙏🙌🤝
Amen so powerful
Powerfully 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amen so powerful,God bless you man of God.
Amina ❤
I'm blessed
Hakika
Nikweli daaa
Shalom, vedio hii nzima naipataje?? Ipo dk 13 somo halijaisha
Umesema ukweli mtupu kaka
Ameeni mtumishiwa Mungu Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo pastor.
Kwani hakuna video ya ibada full jmn
Naombaa namba ninayoweza kutuma sadaka
0764 711 544, UBARIKIWE
pastal Mimi ninasali lakini ninaposoma biblia sielewi kabisa ninaomba unisaidie nijue mchungaji
🎉😂
SIO KILA KITU CHA KUBADILISHA TUNAACHA TULICHOAMBIWA NA MUNGU TUACHE. SASA SURUALI KAMA INAUPANA WA KUTOSHA IMEMSITIRI KUNADHAMBI GANI?
Amen Pastor
Ameen
Amen mtumishi
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen