JANA KWENYE IBADA PALE KWA MAGEMBE NGUVU ZA MUNGU ZILISHUKA SANA…. CHA AJABU IBADA YA JIONI WALIOSALI MAJUMBA SITA WALIRUDI KWA MAGEMBE…..HUYU NDO MUNGU WA MAGEMBE, NAWAPA MWEZI MMOJA WOTE WATAONDOKA NA KURUDI KWA MAGEMBE
@ siyo kwa watoto waliokulia kwa magembe, Kama Mungu wangu aishivyo utakuja kukiri nachokwambia kuwa Wote watarudi, wewe unaona kwanza ni kitu cha Kawaida kwa mchungaji wa TAG KUKABIDHI MALI ZOTE BILA MGOGORO?Lakini Magembe kaachia kila kitu Mpaka kijiko…Kuna kitu cha kujifunza kwa Viongozi na wachungaji wa Makanisa ya Kiroho…
Nampenda mch magembe anahubiri injili ya kweli mimi ninachokiona kilichomuondoa TAG nikwamba hampo pamomja hasa upande wa mavazi watu wanavaa kama watu wa dunia huyu mzee ameona hamna anae
@@DoreenSoka-un7oh watu wanashabikia ujinga mchungaji yupi wa kanisa la TAG waliona anahubiri watu wavae mavazi ya kidunia Mwingine huyo eti wameoza .,wameoza vipi kama unaona huko kwa magembe wenu ni salama muende huko kwa amani sio matusi
Hakika yaani ni Maneno tu na kutetea Ulaji tu yaani Mafundisho na Misingi ya Ukweli hawaisemi na kuonya yale yasihofaa, kwa kutetea au kukaa kimya kwa sababu wanaogopa Washirika watahama makanisa😢 Daah inaskitisha Mno mno, tuko pabaya, Yaaani naomba tueleweke hata kwa tunaochangia humu isije wachungaji wetu wakatufikiri vibaya, Ukweli ni kwamba TAG sio kwamba ni kanisa limekufa hapana Ila Baadhi ya Wachungaji wetu ni Wanaangalia Maslahi tu na Sio Misingi ya Kumpendeza Mungu.
TAG imekosa nuelekeo... Miongoni mwa vitu vilioua imani yangu TAG ni hilo... la magembe lilinikuta nikiwa nasoma. eti hairusiwi kushirikiana kati Ibada na mazehebu ..mengine ya kikristo... Na wakati huo huo moyo wangu unaona uwepo wa Mungu... kwenye hizo ibada zinazofanyika...!!! Na ukweli hizi tasisi zilozoanzishwa aslimia kubwa wengi wao wamejitoa TAG au EAGT na kuaanzi tasisi zao na bado Mungu tunamuona. TAG ILIKUAGA ZAMANI KWA SASA MI NAONA WENGI WANAANGALIA MASLAHI KULIKO WITO ULIOPO MOYONI...!! TAG/EAT ILIKUWA ZAMANI... KWA SASA KIMEBAKIA KIVULI CHA MATUMBO NA VYEO... KWA AJILI HESHIMA KWENYE JAMII😢😢 NA SIO ULE WITO WA KAZI YA MUNGU... KM KIPINDI HICHO. 😊😊😊😊😊😊😊ACHA KANISA LANGU LIWE MOYONI WANGU... NA SIO TASISI AMBAZO ZINAMKALILI MUNGU ALIEYE HAI😊😊😊😊😊😊😊😊
Mambo mengine nimeelewa, ila hilo la Michango cjaelewa kabisa, eg,,,,Mbona cc wa FPCT tuliwahi mchangia Pastor wa kanisa lingine, na istoshe cc waimbaji huwa tuna Ziara za kihuduma kwa madhehebu mengine na huwa tunachangiwa sana huko, Je, hamuoni kam amnataka kuleta ugumu ktk huduma, nadhan kama tutatembeaa dhana hizi, bhas huduma hazitafika mbali.
Dunia ipo makanisani huwezi tofautisha kati ya mtu anayemjua Mungu na mtu wa duniani, injili ya kweli ya kuungama dhambi na kuwa watu halali kwa ufalme wa mbinguni haitakiwi na wanaoikataa ni viongozi kwa kiwa wanapenda kupendwa na watu na kupendwa na dunia hii ni sawa na nyakati za Yesu viongozi wa kanisa walikuwa chanzo cha kuwapotosha watu mpka wakamsulubisha Yesu. Hili la Megembe ni kemeo kwa wote na walio na roho ya kupenda dunia. Ukweli hautashindwa kamwe japo wacahche ndio wanaupenda
TAG mmebadilika sio ile ya uamsho imebaki kuwa jina mmeacha kuongozwa na MUNGU mnaongozwa na sheria hata wana wa Israel walitaka wapate kiongozi wao walikataa kuongozwa na MUNGU ila MUNGU ni mwema maana humrudi yule ampendae endeleeni na siasa zenu matokeo yako karibu TAG ndio imetuzaa na kutukuza ila kwa sasa si sehemu salama jichunguzeni sana MUNGU BADO ANAWAPENDA
Ila kama ninyi wenye dini yenu mliona umuhimu wa kuwa na miaka 13 ya uamsho... Maana yake ni kuwa mnajua tatizo lipo..kwa hiyo mnahisi Mzee ame overdo???
Mimi nawashauli mnaotoka kwenye Dini zenu ,kwingia kwenye dini zingine msitukane na kuthalau mliko Toka ,maana hao ni ndugu katika mwili wa kristo neno la Mungu linasema tafuteni kwa bidii kuwa na Amani na watu wote bila utakatifu huo hakuna atakae muona Bwana ,Maana Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili,tusitengane tusifarakane tusithalauliane,sisi niwamoja katika mwili wa kristo,inapendeza tukipendana na kufundishana na kuonyanyana,hayo ndiyo mapenzi ya Mungu
Ngoja tuangalie wametukana TAG lakini huu upoaji dawa yake ni wenye moyo wa mungu kama mbarikiwa kikosi kazi anaanza kuishia siasa na jela wanasiasa wetu wanmsaidia asifiye gerezani makanisa ya pentekoste kama tag imekufa hakuna uhai kote acheni sifa
Mbona cc wa FPCT tuliwahi mchangia Pastor wa kanisa lingine, na istoshe cc waimbaji huwa tuna Ziara za kihuduma kwa madhehebu mengine na huwa tunachangiwa sana tyuu.
tatizo mmeacha misingi ya wokovu mmeingiza udunia ndani ya kanisa, mmejawa kiburi dharau majivuno, mmekuwa na udini afadhari hata romani katoriki. mavazi ya kikahaba mmeruhusu ndani ya kanisa. mchungaji maghembe anahubiri injiri ya kweli na hata ukienda kanisani kwake washirika ni wa moto.
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii alama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
Namuona baba yangu Raphael khaliki MUNGU akutie nguvu kuna kitu ulikisema igurusi lwenyo sito sahau timiza hitaji lako babaaa khaliki naijua injili yako ilivyo nzuri na miujiza mingi ilitendeka😢😢
Miaka mnne iliyopita ASKOFU MKUU, na baraza lote walikusanyika majumba sita kutangaza uamsho wa kanisa kuwa linakufa na MTOKA MBALI alihubiri kwa machozi leo mnasema yeye ndiye alisema kanisa limekufa(KWANI MAANA YA IAMSHO NI NINI)
Kuna kuabudu ,Mungu lakini sio katika kwelii...kuna wakati inaumiza saana unapoona kiongozi mkubwa kama huyu kuongea .mambo yasiyo kwelii ..ni nia ya kumchafua mtu ,,ila nawaambia wengi kama yesu alivosema watavalia mavazi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali ...
TAG na EATG zote zimeoza zimekuwa dini Mchungaji Magembe yupo sahihi kabisa, viongozi wa TAG na EATIG watumishi wa tumbo wanawekeana mpaka sumu, hadi uchawi
Je huyo mtoto hakuwa mchungaji msaidizi hapo Kanisani? Sasa hata kama ameenda kuanzisha huduma mpya,kuna dhambi gani kwa kanisa la mahali pamoja kumuwezesha kifedha?
Tumeshaanza kuwazoea maana hata serikali sikuhizi inaingilia magomvi Yao kuwatatulia kesi kwahiyo maelewano ndani ya hili kanisa sijajua Kama yatatokea
Nnachojua Mimi ni kwamba sisi wote tunajenga mwili MMOJA WA KRISTO Sasa mbona Kama Kuna kaubaguzi hamuwezi kuwachangia watumishi wengine kwa KWA AJILI UTUMISHI WA MUNGU?
TAG mtu kutoka kwenye tasisi za kidini nikawaida hata mlioko TAG mlitoka kwenye tasisi za Dini mkaingia TAG,magembe akiondoka ni mbegu iliyopandwa ya kuondoka kwenye tasisi za Dini hata asikofu wa TAG nae alitoka KKT,. Hata mimi nilitoka KKT nikaingia TAG,
Tumeshaanza kuwazoea maana hata serikali sikuhizi inaingilia magomvi Yao kuwatatulia kesi kwahiyo maelewano ndani ya hili kanisa sijajua Kama yatatokea
Ati magembe ako na msimamo wake uongo magembe anasimama na neno la mungu akuna kenye mtaesa mfanya yy atabaki tu kama akina paulo na mbatisaji yohana walio ubiri injili ya kweli so magembe lazima mkatae kwa kweli???tunawafaamu nyinyi vizuri saaana
Injili ni moto wa mafarakano sio amani , maliritini lutha alianza maombi ya uwamsho na ukamtoa Romani katoriki uwamsho ni baraa, unakutenga na misingi ya kidini,
Acheni bonaza msiwalipe wach mshahara Wala kuchua haki zao chukueni sehemu ya kumi siyo pesa zote lete makao makuu ww.utalipwa mshara na Kuna makanisa mengi hufanya hivyo lakini biblia haisemi hivyo huo ushauri kwa makanisa
Hotuba hii imejaa Wivu dhidi ya maghembe, imejaa ubinafsi wa TAG, ukiangalia hapo kosa la mgembe ni kuruhusu mwanae akaanzishe kanisa nje ya TAG. hoja ya waumini wa TAG majumba sita kutoa sadaka kwa kanisa jipya la pcc chini ya mtt wake kosa lipo wapi na wote tunaujenga mwili mmoja wa kristo? This is so selfish. TAG is not a place to be
Nyinyi amna msimamo mbaki tu wakristo wa mwilini???? sisi tuko kwa magembe ambao tumepima kwa neno la bwana na ako sawa mungu amsaidie yy katika safari yake pamoja na nkondoo wake
Nakushukuru kwa kusamehe na kuachilia na kusahau, Mungu akubariki Mhiche, kwa hekima kubwa na unyenyekevu mkubwa na kwa kuwafungua washirika wa TAG.
Mchungaji Magembe hakika yupo vizuri sana
Mungu akusamehe kwa uongo wako we mzee. Unazeheka vibaya
Wazee wangu hayo mengine mwachieni Mungu songen mbele,muombeeni tu,yaliyo mapungufu muyatengeneze
TAG yetu ni nzuri, ni tamu, ina utukufu na imejaa upako wa Yesu. Hatujafa sisi na hatutakufa bali tutaishi tusimulie matendo makuu ya Mungu.
Mungu akubarik mchungaji kwakufafanua vizuri
JANA KWENYE IBADA PALE KWA MAGEMBE NGUVU ZA MUNGU ZILISHUKA SANA…. CHA AJABU IBADA YA JIONI WALIOSALI MAJUMBA SITA WALIRUDI KWA MAGEMBE…..HUYU NDO MUNGU WA MAGEMBE, NAWAPA MWEZI MMOJA WOTE WATAONDOKA NA KURUDI KWA MAGEMBE
Hayupo wa kumwondoa Magembe kwenye moyo wa watanzania wapenda injili ya Kristo.
Unampa nani muda huo?
Kila mtu ataamini katika Mungu na kufanya kile Mungu anachotaka
Kaamua kuondoka ili ahubiri kwa nguvu zaidi Mungu azidi kumwinua
Unampa nani muda huo?
Kila mtu ataamini katika Mungu na kufanya kile Mungu anachotaka
Kaamua kuondoka ili ahubiri kwa nguvu zaidi Mungu azidi kumwinua
TAG NI MAITI HAIPINGIKI MIMI NILIKUWA TAG NA SASA NIMETOKA SIPOOO
@ siyo kwa watoto waliokulia kwa magembe, Kama Mungu wangu aishivyo utakuja kukiri nachokwambia kuwa Wote watarudi, wewe unaona kwanza ni kitu cha Kawaida kwa mchungaji wa TAG KUKABIDHI MALI ZOTE BILA MGOGORO?Lakini Magembe kaachia kila kitu Mpaka kijiko…Kuna kitu cha kujifunza kwa Viongozi na wachungaji wa Makanisa ya Kiroho…
Kwa kweli naona jinsi viongozi wetu walivyoojaa rehema. Forgive and lead. God bless my brothers in Christ Jesus.
Nampenda mch magembe anahubiri injili ya kweli mimi ninachokiona kilichomuondoa TAG nikwamba hampo pamomja hasa upande wa mavazi watu wanavaa kama watu wa dunia huyu mzee ameona hamna anae
Sio kweli
Kabisa Dada yaani TAG ni pameoza sana inaskitisha😢😢😢 sana
@@shivobs4485 Nini ambacho sio kweli Jamani kwenye hii tusikaribishe Mvurugano na kupelekea kuleta taharuki tubaki kuamini kila mtu anavyoamini
Kwa hiyo TAG inafundisha watu kukaa uchi na kuvaa mavazi yasiyo na heshima?
@@DoreenSoka-un7oh watu wanashabikia ujinga mchungaji yupi wa kanisa la TAG waliona anahubiri watu wavae mavazi ya kidunia
Mwingine huyo eti wameoza .,wameoza vipi kama unaona huko kwa magembe wenu ni salama muende huko kwa amani sio matusi
Endeleeni na injili zenu za kutiana moyo katika maovu, mimi nipo na magembe hadi YESU KRISTO atakaporudi
Amina hata mimi
magembe sasaivi Bwana atamuinua mara 2 zaid kama ilivyo kua kwa kulola
Mzee magembe nimemsikia yupo sawa , TAG imeoza bana acheni kututia moyo twende motoni 😢watu wanavaa kama malaya ao wapiga vyombo ndio usiseme
TAG inakubaliana nao?
@@ibrahimgwasma235nanai anaowafuga? kwanini fundisho la mavazi lisiwe wazi iwapo hawakubali?
Ukivaa vizuri ww inatosha Acha ya wengine
KWELI KABISA MAGEMBE NDIE ALIKUWA ANAONEKANA KUNA UHAI
Mmeshindwa kulinda misingi ya TAG mmebaki kiusema maneno tuuuu ukweli ndo huo Mangembe anasema kweli analinda wito wake
Hakika yaani ni Maneno tu na kutetea Ulaji tu yaani Mafundisho na Misingi ya Ukweli hawaisemi na kuonya yale yasihofaa, kwa kutetea au kukaa kimya kwa sababu wanaogopa Washirika watahama makanisa😢 Daah inaskitisha Mno mno, tuko pabaya, Yaaani naomba tueleweke hata kwa tunaochangia humu isije wachungaji wetu wakatufikiri vibaya, Ukweli ni kwamba TAG sio kwamba ni kanisa limekufa hapana Ila Baadhi ya Wachungaji wetu ni Wanaangalia Maslahi tu na Sio Misingi ya Kumpendeza Mungu.
TAG imekosa nuelekeo... Miongoni mwa vitu vilioua imani yangu TAG ni hilo... la magembe lilinikuta nikiwa nasoma. eti hairusiwi kushirikiana kati Ibada na mazehebu ..mengine ya kikristo...
Na wakati huo huo moyo wangu unaona uwepo wa Mungu... kwenye hizo ibada zinazofanyika...!!!
Na ukweli hizi tasisi zilozoanzishwa aslimia kubwa wengi wao wamejitoa TAG au EAGT na kuaanzi tasisi zao na bado Mungu tunamuona.
TAG ILIKUAGA ZAMANI KWA SASA MI NAONA WENGI WANAANGALIA MASLAHI KULIKO WITO ULIOPO MOYONI...!!
TAG/EAT ILIKUWA ZAMANI... KWA SASA KIMEBAKIA KIVULI CHA MATUMBO NA VYEO... KWA AJILI HESHIMA KWENYE JAMII😢😢 NA SIO ULE WITO WA KAZI YA MUNGU... KM KIPINDI HICHO.
😊😊😊😊😊😊😊ACHA KANISA LANGU LIWE MOYONI WANGU... NA SIO TASISI AMBAZO ZINAMKALILI MUNGU ALIEYE HAI😊😊😊😊😊😊😊😊
Semen Amina!!
uislamu rahaaaaa ,ukafiri ni mateso tupu duniani hadi akhera
Magembe yuko sawa kwa 💯
I will stand with Magembe
Good!!! Massage Mhiche
Mungu wa mbinguni afanye matengenezo kwa woote. Na msemaji wa mwisho ambayr ni Mungu aseme neno
Mambo mengine nimeelewa, ila hilo la Michango cjaelewa kabisa, eg,,,,Mbona cc wa FPCT tuliwahi mchangia Pastor wa kanisa lingine, na istoshe cc waimbaji huwa tuna Ziara za kihuduma kwa madhehebu mengine na huwa tunachangiwa sana huko,
Je, hamuoni kam amnataka kuleta ugumu ktk huduma, nadhan kama tutatembeaa dhana hizi, bhas huduma hazitafika mbali.
Kwa hiyo mtu hupewa cheo ili kumnyamazisha?
ANASEMA, ETI HUYU MWENZETU AMETUGEUKAJE!!! MAGEMBE AKIHUBIRI KWELI NDIYO KUWAGEUKA??? HAMTHAMINI ROHO ZA WATU, BALI MAISHA YENU WENYEWE.
Mungu tusaidie🙌
Dunia ipo makanisani huwezi tofautisha kati ya mtu anayemjua Mungu na mtu wa duniani, injili ya kweli ya kuungama dhambi na kuwa watu halali kwa ufalme wa mbinguni haitakiwi na wanaoikataa ni viongozi kwa kiwa wanapenda kupendwa na watu na kupendwa na dunia hii ni sawa na nyakati za Yesu viongozi wa kanisa walikuwa chanzo cha kuwapotosha watu mpka wakamsulubisha Yesu. Hili la Megembe ni kemeo kwa wote na walio na roho ya kupenda dunia. Ukweli hautashindwa kamwe japo wacahche ndio wanaupenda
TAG mmebadilika sio ile ya uamsho imebaki kuwa jina mmeacha kuongozwa na MUNGU mnaongozwa na sheria hata wana wa Israel walitaka wapate kiongozi wao walikataa kuongozwa na MUNGU ila MUNGU ni mwema maana humrudi yule ampendae endeleeni na siasa zenu matokeo yako karibu TAG ndio imetuzaa na kutukuza ila kwa sasa si sehemu salama jichunguzeni sana MUNGU BADO ANAWAPENDA
Ila kama ninyi wenye dini yenu mliona umuhimu wa kuwa na miaka 13 ya uamsho... Maana yake ni kuwa mnajua tatizo lipo..kwa hiyo mnahisi Mzee ame overdo???
Kwa hiyo TAG haisaidiwi na madhebu mengine?
Mimi nawashauli mnaotoka kwenye Dini zenu ,kwingia kwenye dini zingine msitukane na kuthalau mliko Toka ,maana hao ni ndugu katika mwili wa kristo neno la Mungu linasema tafuteni kwa bidii kuwa na Amani na watu wote bila utakatifu huo hakuna atakae muona Bwana ,Maana Mungu ni Mungu wa wote wenye mwili,tusitengane tusifarakane tusithalauliane,sisi niwamoja katika mwili wa kristo,inapendeza tukipendana na kufundishana na kuonyanyana,hayo ndiyo mapenzi ya Mungu
Naomba mnipe kanisa la majumba sita nisimamie mimi😊 niwe mchungaji
Magembe kaza buti Tunakupenda
Kuna dhambj Gani kufanya Harambe,hubirini neno la kweli acheni figisu.Magembe hana hatia yoyote ukweli ni kwamba kanisa la ss halitaki UKWELI.
Kufanya harambee kuchangia DHEHEBU lingine si dhambi
Sote tunamuhuburi Yesu,
Kama katiba yenu ipo hivyo,
Tafakarini
Dini haisaidii chochote bhana zaidi ya kuliana sadaka na kuzikana tyuuu
Poleni mazee waacheni wana wa Mungu huru
Baba muhiche,mna tatizo kwenye kamati kuu,mna shida Sana.
Ni kweli kanisa limeoza na hii huthibitishwa kwenye kitabu Cha uamusho Cha TAG
Ngoja tuangalie wametukana TAG lakini huu upoaji dawa yake ni wenye moyo wa mungu kama mbarikiwa kikosi kazi anaanza kuishia siasa na jela wanasiasa wetu wanmsaidia asifiye gerezani makanisa ya pentekoste kama tag imekufa hakuna uhai kote acheni sifa
Mimi ni kanisa lingine, siku chache zijazo natamchangia mshirika flani wa TAG mchango wa ujenzi wa kanisa.
mimi namunga kwasababu alikotoka kunawaimbaji hovyo wengine wa ganga mungu niyuleyule piga injili hajajiunga naugaga
Baba yangu khaliki naludia tena naomba timiza ulichokisema igurusi mkutanoni piga injili 😢😢😢
Bishop , Washirika Wa TAG hawawezi kuchangia KANISA lingine ,? Au ni dhambi hiyo?
Mbona cc wa FPCT tuliwahi mchangia Pastor wa kanisa lingine, na istoshe cc waimbaji huwa tuna Ziara za kihuduma kwa madhehebu mengine na huwa tunachangiwa sana tyuu.
tatizo mmeacha misingi ya wokovu mmeingiza udunia ndani ya kanisa, mmejawa kiburi dharau majivuno, mmekuwa na udini afadhari hata romani katoriki. mavazi ya kikahaba mmeruhusu ndani ya kanisa. mchungaji maghembe anahubiri injiri ya kweli na hata ukienda kanisani kwake washirika ni wa moto.
Hasa magembe yupo sahihi kuondoka TAG
Mimi mch mpemba wa FPCT, TAG hongereni kwa busara zenu , juu ya Mzee magembe
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii alama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
Namuona baba yangu Raphael khaliki MUNGU akutie nguvu kuna kitu ulikisema igurusi lwenyo sito sahau timiza hitaji lako babaaa khaliki naijua injili yako ilivyo nzuri na miujiza mingi ilitendeka😢😢
Mungu ampe nguvu
T.A.G kansa zuri kabisa
Amesema ukweri, mkiambiwa ukweri mmetukanwa , hakuna tusi hapo, kubalini kubadilika . Dhambi zimezidi kanisani..
Ukimaliza kuongea mzee kaangalie maono alioonyesha Pastor Daniel Joshua kuhusu TAG
Tapeli yule
Mchungaji Magembe anaongea kweli ya Mungu nyie viongozi wanafiki Sana hata unavyoongea tuu hun ujasiri hakiitokayo kwa Mungu itasimama
Unafananisha kanisa kusaidia huduma nyingine na CCM na TLP?
Kwani washirika walilazimishwa kutoa fedha au walitoa kwa hiari yao na kwa upendo wao kwa Mungu?
Miaka mnne iliyopita ASKOFU MKUU, na baraza lote walikusanyika majumba sita kutangaza uamsho wa kanisa kuwa linakufa na MTOKA MBALI alihubiri kwa machozi leo mnasema yeye ndiye alisema kanisa limekufa(KWANI MAANA YA IAMSHO NI NINI)
Huku Lisu na Mbowe
Kule TAG na Rev. Magembe
Anachotaka huyu baba Magembe ni uhamusho tu. Anataka nguvu za kimungu kama wakati wa Mitume na Manabii
HAKUNU KIKUNDI KIMEJAA MIGAWANYIKO KAMA WALOKOLE...NI HATARI SANA!!!
Tatizo la kanisa lenu halina taratibu ya kuhamisha hamisha wachungaji, lazima wachungaji wahamishwe haitakiwi wakae eneo moja miaka na miaka.
Kweli kabisa
Hili umesema kwelii
TAG ni kanisa la Kipentekosti rudini kwenye Upentekos. Na mkiambiwa uamusho umetoweka jueni kwamba kwenu ni furusa , mkiitumia nafasi hiyo mtapona .
Rejea ujumbe WA Yohana mbatizaji kwa kanisa lake (taifa teule); Rejea ujumbe WA Yesu kwa viongozi wa Taifa teule MAYHAYO 3, 22 na 23!
Takribani asilimia 98 ya wachangiaji wapo kinyume na Tamko la kanisa. Kuna la kujifunza... a simple observation study
Kuna kuabudu ,Mungu lakini sio katika kwelii...kuna wakati inaumiza saana unapoona kiongozi mkubwa kama huyu kuongea .mambo yasiyo kwelii ..ni nia ya kumchafua mtu ,,ila nawaambia wengi kama yesu alivosema watavalia mavazi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali ...
Magembe hafungwi na vyeo mlivyo mpa anamsikiliza na kumtii Mungu aliye hai na si TAG, mana hata manabii walimsikiliza na kumtii Mungu kuliko watu,
Mungu tuhurumie uchunguzaye ya sirini tusaidie magembe alijitahidi kusema kweli kwa macho tumeona na mioyo yetu inashuhudia
KUJIFARIJI HUKU HATA LINI MTAENDRLEA NAKO TAG ??
HOSEA 4:8
8 Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao.
Hosea 4:8
Kwani haiwezekani kuchangia dhehebu lingine? Mbona tunatoaga sadaka kwa watu wenggin tuu!
Mnakosea viongozi wetu kwani kumudaidia mtu ni shida gani mnatufundisha nini kuhusu huduma .
TAG na EATG zote zimeoza zimekuwa dini Mchungaji Magembe yupo sahihi kabisa, viongozi wa TAG na EATIG watumishi wa tumbo wanawekeana mpaka sumu, hadi uchawi
Je huyo mtoto hakuwa mchungaji msaidizi hapo Kanisani? Sasa hata kama ameenda kuanzisha huduma mpya,kuna dhambi gani kwa kanisa la mahali pamoja kumuwezesha kifedha?
Hakuna shida! Je! Alianzisha dhehebu hilohilo la TAG?
Kwan kumchangia ni lazma aanzishe TAG??
Hata kama ni dhehebu linguine kosa liko wapi kumchangia mtoto na je hayo makanisa wanayapeleka wapi
Mmeshaanza kulumbana naye kama ulivyosema kukaa kimya ni jibu mbona tayari mnaelezeza mengi kuonesha au kuendeleza ugomvi
Wamekosea ila wataaibika badae hawa, yule mzee kaokoka na anaongea ukwel. Makanisa ya Kipentekoste mengi yameoza saiv sasa iko wazi
Tumeshaanza kuwazoea maana hata serikali sikuhizi inaingilia magomvi Yao kuwatatulia kesi kwahiyo maelewano ndani ya hili kanisa sijajua Kama yatatokea
Mbona babaetu magembe katoa sababu 3 zilizomfanya atoke TAG, lakini nyny mmekuwa namaneno meengi, yanatoka wapi hayo?? Ilifaa mtoe tamko nakuishia hapo, mengine nikujiharibia sifa tu
Hapo ndio kanisa katoliki lina busara, ulitakiwa useme nimekubali kustaafu aahsante
Nnachojua Mimi ni kwamba sisi wote tunajenga mwili MMOJA WA KRISTO Sasa mbona Kama Kuna kaubaguzi hamuwezi kuwachangia watumishi wengine kwa KWA AJILI UTUMISHI WA MUNGU?
Tatizo lenu tag ni wazuri kwa kuchafua madhehebu mengine,sasa inapaswa mjifunze kitu na mbadilike sana
TAG mtu kutoka kwenye tasisi za kidini nikawaida hata mlioko TAG mlitoka kwenye tasisi za Dini mkaingia TAG,magembe akiondoka ni mbegu iliyopandwa ya kuondoka kwenye tasisi za Dini hata asikofu wa TAG nae alitoka KKT,. Hata mimi nilitoka KKT nikaingia TAG,
Mnasema mtoto wake amewatukana, amewatukanaje ?
Mnaonekana kama hamna hoja za msingi hivi.
Kuhusu dhehebu ameishasema ni usajili wa mtoto wake.
Tumeshaanza kuwazoea maana hata serikali sikuhizi inaingilia magomvi Yao kuwatatulia kesi kwahiyo maelewano ndani ya hili kanisa sijajua Kama yatatokea
Kwayote makanisa yamekufa yamachukua mifumo ya kisasa inayo kataswa na kitabu cha mugu🇰🇪
Tolerance. Mko vzrrr
Ukweli kanisa hoi, Magembe ondoka waache hao wapenda pesa hakuna Askofu hapo.
Yesu anarud tujitathimini sana
Sasa kama kunyamaza ni jibu, mbona unaongea sasa😅
Itakuwa hapo ndo kanyamaza
Ati magembe ako na msimamo wake uongo magembe anasimama na neno la mungu akuna kenye mtaesa mfanya yy atabaki tu kama akina paulo na mbatisaji yohana walio ubiri injili ya kweli so magembe lazima mkatae kwa kweli???tunawafaamu nyinyi vizuri saaana
Injili ni moto wa mafarakano sio amani , maliritini lutha alianza maombi ya uwamsho na ukamtoa Romani katoriki uwamsho ni baraa, unakutenga na misingi ya kidini,
TUKO PAMOJA NA BABA YETU MAGEMBE KANISA MMEFANYA KAMA SEHEMU YA DANGULO NDO MAANA MCHUNGAJI ANAKEMEA DHAMBI NA AMEKUWA MKALI JUU YA HILO YESU ANARUDI
Ok poa, I don't think so. Kama tutafika
T.A.G IMEKUFA MUDA MREFU SANA NINYI VIONGOZI MNAJIJALI NYINYI TUUU
TUKO PAMOJA NA MEGEMBE❤
Yan huyu makam askof analalamika TAG kuchangia ujenz wa kanis lingine wakat kuna wakat wakristo walichangia ujenz wa msikit
Si mseme amina?????? Imetajwa mara ngapi mean kuna kitu behind
Nipo mwanza lkn nataman kusali kwa mchungji magembe
Mmmmmmm kazi ipo
desturi ya sisi binadamu hatupendi ukweli
Acheni bonaza msiwalipe wach mshahara Wala kuchua haki zao chukueni sehemu ya kumi siyo pesa zote lete makao makuu ww.utalipwa mshara na Kuna makanisa mengi hufanya hivyo lakini biblia haisemi hivyo huo ushauri kwa makanisa
Unasema amewachafua
Amewachafua nini ? Mbona hamssmi ?
TAG jina limebaki mtambue hakuna uhusiano kati ya Nuru na Giza
Wewe ni dhehebu gani , fuata kweli ilipo
SI KWELI KWAMBA ETI LAZIMA KUUTII VIONGOZI; BALI NI MUHIMU KUWAHESHIMU, NA UTII UTAUFANYA KWENYE NENO LA KWELI PEKEE.
Duhhhhh shetani haogopi kumwingia mtu, mh ata magembe kaingiwa na pepo, KWELI TUNAMHITAJI BWANA NA NGUVU ZAKE
Ocha kuropoka ww huna unalo jua
Pepo likowapi hapo ndugu
Nyny ndo wanadini halisi. Unailinda TAG mpaka kufa pole, waenzako wanaifia Imani ya kristo, cyo dini.
Imefika wakati sahihi tuukubali ukweli
Sasa hqmutaki mtu anaesema ukweli msiongee kitu muachieni Mungu
Hotuba hii imejaa Wivu dhidi ya maghembe, imejaa ubinafsi wa TAG, ukiangalia hapo kosa la mgembe ni kuruhusu mwanae akaanzishe kanisa nje ya TAG. hoja ya waumini wa TAG majumba sita kutoa sadaka kwa kanisa jipya la pcc chini ya mtt wake kosa lipo wapi na wote tunaujenga mwili mmoja wa kristo? This is so selfish. TAG is not a place to be
Nyinyi amna msimamo mbaki tu wakristo wa mwilini???? sisi tuko kwa magembe ambao tumepima kwa neno la bwana na ako sawa mungu amsaidie yy katika safari yake pamoja na nkondoo wake
😮
Kanisa lote Duniani ni la Yesu
Mbalikiwa mwakipesile tupe ukweli juu ya hili maana Hawa wanajitetea tuu ninaimani na ww juu ya hili utaniambia ukweli
Naongea tena mtumishi wa BWANA Raphael khaliki timiza uliyo yasema mkutanoni igurusi...
Alisemaje?? Au kamsaliti magembe?
@@PatriciaSumaye hapana alisema ataihubiri injili kama wazee walivyo ihubili hapo awali ni mengi sana lakini natamani kuona anayatimiza Yale maneno