Washirika wa TAG hawana aibu kumsifu Mungu hapa uwanja wa Taifa Uhuru

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 7

  • @pendosamwel6808
    @pendosamwel6808 5 месяцев назад

    Mbarikiwe sana

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 5 месяцев назад +1

    Kinachosisimua hapo na kuleta mzuka ni muziki, Yesu hupendwa kwa kukubali neno lake. Ondoa muziki kama furaha itakuwepo.

  • @officialdeogratiusnelson
    @officialdeogratiusnelson 5 месяцев назад

    MUNGU abariki Sana watu wanaomsifu.... Coz anatakiwa kusifiwa popote uwanjani, barabarani, nyumbani, njiani, na penginepo.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 4 месяца назад

    Hakuna Yesu hapo,mzuka wa mziki ndo unatawala

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 месяцев назад

    Hapo dakitali mkuu YESU anatawala toeni amblance hapo wapendwa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 месяцев назад

    Amblance ya nini tena hapo wapendwa?

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 5 месяцев назад

    Hakunaga aibu kwenye uwepo wa MUNGU. Tunakuwaga na furaha ya ajabu, unatani upae juu kwa kusifu. Ni raha tupu. Hongera wana TAG wenzangu kwa miaka 85 ya utumishi.