KUNYWA POMBE NI MAKOSA LAKINI SIYO DHAMBI| KUNYWENI BAADA YA KAZI| POMBE NI MLANGO WA SHETANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 157

  • @SaidMasoud-ng1fd
    @SaidMasoud-ng1fd 23 дня назад

    Namshukuru Allah kunijalia kuwa muislamu..alhamdulilh

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад +6

    1 Timotheo 3
    2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
    3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
    4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
    5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
    6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.

  • @robertmatabalo5454
    @robertmatabalo5454 День назад

    Huyu sio mtumishi wa Mungu kabisa

  • @robertmatabalo5454
    @robertmatabalo5454 День назад

    Huyo sio mtumishi wa Mungu kabisa ila anafundisha upotofu

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 6 месяцев назад +3

    Kuna wakati unaongopa hadi unaishia kujizonga. Hawawezi tena kuisema kweli ya Mungu.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂kila lililomchukiza mungu wazungu wamelihalalisha😂ila amri za mungu wamezifuta😂

  • @besttrendingcovers1838
    @besttrendingcovers1838 Месяц назад

    wazee kila mtu afenye yake tuu mi mtu akinifata niokoke namramba makofi maana anaingilia uhuru wangu

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 6 месяцев назад +2

    Mzee wa upako ni mwongo sana siku hizi, afu yeye mwenyewe ni mlevi. Pombe ni dhambi tena kama ingefaa bac niseme ni dhambi kubwa sana. Pombe inaondoa hekima ya mtu, ukishakosa hekima bac ww utakuwa ni mtu wa namna gani hata haielezeki. Mithali 20:1, mvinyo hudhuhaki, kileo huleta ugomvi na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima. Waefeso5:18, tena msilewe kwa mvinyo ambamo mna ufisadi, bali mjazwe roho. Luka 1:15, kwasababu atakuwa mkuu mbele za Bwana, hatakunywa divai wala kileo, naye atajazwa roho mtakatifu, tangu tumboni mwa mamaye. Huyu anayezungumzwa hapa ni Yohana. Mtumishi wa Mungu hawezi kutumia kileo kwasababu utakuwa unamfukuza roho mtakatifu. Oky? Mzee wa upako wa pombe au siku hizi vp ?

    • @NkondokayaJoe
      @NkondokayaJoe 6 месяцев назад +1

      Ogopa sana watu wa aina hiyo, hawa walikwisha tabiriwa ya kuwa nyakati za mwisho watakuja manabii wa UONGO watatoa mafundisho na kufanya miujiza ya ajabu.Ndiyo hawa akina Mzee wa upako na wenzake wanatumia matatizo ya watu kuwa fursa kujineemesha wao wenyewe huku waumini masikini wakiendelea kuteseka na dhiki

    • @Ibrahimubomoa
      @Ibrahimubomoa 5 дней назад

      Ila hapo kwenye divai alizuwiliwa Yohana je na Yesu alizuwiliwa? Yeye alikunywa Divai na akawapa wanafunzi wake na akaagiza tufanye hivyo mara kwa mara. Yamkini mzee huyo anaweza kuwa sawa ila natamani kueleweshwa zaidi.

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan Месяц назад

    Hayo ndo mafundisho ya wakristo ingawa sio wote kazi kwenu

  • @BertaVenance
    @BertaVenance 6 месяцев назад

    Jomba mnabonga sana mpeni nafasi mtumishi ajibu maswali kwa undani kwa faida ya wasikilizaji msimuhoji kama muhuni

  • @daudinzunda8739
    @daudinzunda8739 6 месяцев назад

    Jamaniii baba Levoooo mbona unatetea sanaa pombee

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 месяца назад

    Nyinyi wakristo mnakazi kweli hadi leo hii unasema kunywa pombe siyo dhambi nimeamini kweli mnaabudu shetani siyo Mungu

  • @AlyadamMazruy
    @AlyadamMazruy 4 месяца назад

    Et nikosa lkn sio dhambia 😂😂😂😂😂 ww mchungaji gn na ww

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад +1

    1 Petro 4
    1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi.
    2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani.
    3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali;
    4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana.
    5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.

    • @yusuphnundu6113
      @yusuphnundu6113 6 месяцев назад

      Wakolosai 2:16-17 16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
      17 mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 6 месяцев назад

    Hao ndio wachungaji na maaskofu😀😀

  • @FrolaMwanja-yk1ck
    @FrolaMwanja-yk1ck 6 месяцев назад

    Levi hilo zee,shushu la kuhujum yesu kristo wetu,alishapiga pesa kupitia dini amebaki kupotosha

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    2 Petro 2
    12 Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama tu wa kukamatwa na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao;
    13 Wakipatikana na madhara, ambayo ni ujira wa udhalimu wao, wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; wamekuwa ni mawaa na aibu wakifuata anasa zisizo kiasi katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi;
    14 wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana;
    15 wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;

  • @nexiebeatz
    @nexiebeatz 3 месяца назад +1

    Kunywa pombe sio dhambi, ila makosa au matendo yatakayo tokea baada ya Kunywa pombe ndyo yanaweza kuwa dhambi. Mbona mchungaji amenyoosha sana maelezo

    • @AdanHumbe-os8dg
      @AdanHumbe-os8dg 16 дней назад

      Kwa hiyo zinaa au kulala na mke wa mtu ni kosa lakini sio dhambi Hadi ukamatwe hapo hapo anakuambia pombe ni mlango wa shetani kuweni makini acheni kusikiliza ushauri shetani jamani

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 6 месяцев назад +1

    Eti nimakosa lakoni sio dhambi 😂😂😂😂😂😂

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 6 месяцев назад

      Huu ukristo jmn ndouharibifu wa maisha unasema et ni mlango wa shetani lkn syo dhambi upotevu huo tokeni njooni kweny dini ya haqq

  • @wellofblessings.prgamaya1998
    @wellofblessings.prgamaya1998 2 месяца назад

    If it's not sin then mistake, what is the difference between sin and mistake.

  • @MichaelMvambali
    @MichaelMvambali Месяц назад

    Pombe ni ndammbi galatia 5:18 matendo ya mwili yote ni ndambi

  • @IsmailKhamis-c3t
    @IsmailKhamis-c3t Месяц назад

    Vitu kaka hivi huvikuti ktk uislmu ktk uislam haramu ni haramu tu na halali ni halali

  • @amirizedy8411
    @amirizedy8411 6 месяцев назад +12

    Tatizo lugha ndio zimewacanganya dhambi ni kiarabu kwa kiswahili ndio makosa unaposema kunywa pombe ni makosa sio dhambi bado unajicanganya mwenyewe dhambi ndio makosa nimemaliza

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 месяцев назад +2

      Ndio maana hiki kiswahil siyo kiarab, hata kiingereza dhambi na makosa ni tofaut, hivi hujui makosa mengi sio dhambi, mfano kuchelewa shule ni kosa ila sio dhambi, na mifano mingine unayo mwenyew

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 6 месяцев назад

      ​@@goldmansun5859True man

    • @Chw_Kdmn83
      @Chw_Kdmn83 6 месяцев назад

      Ni sawa kwa Mungu kosa ni dhambi. Hata kuchelewa kazini ni dhambi kwa maana unamdhulumu muajiri wako muda wake mliokubaliana.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 6 месяцев назад

      Kama ndivo, basi mwanadamu hata 1 asingetoboa pepo,, ndomana akaja masihi YESU, kutupunguzia amri,, sasa tumebaki na amri kuu mbili,,1 mpende bwana MUNGU wako kwa nafsi yako yote, 2 mpende jirani yako kama uipendavo nafsi yako,, sasa kunywa pombe, kuowa wake 60-70, sio zambi,

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 месяцев назад

      @@amirizedy8411 mfano kuna jamii kufuga nywele au kuacha nywele ni kosa, ila si dhambi, wengine kunywa soda ni kosa ila si dhambi na wala si kosa kwa wengine, jiongeze mbinguni tunaenda kwa grace na kujitahid kwa kupapasapapasa utakatifu maana ni ngumu n impossible, tunakuwa watakatifu kwa ajil ya mtakatifu mmoja aliyebeba madhaif yetu, Naye ni Mungu Mungu mwenyew Yesu Kristo mwenyew maana kuna mmoja tu mweny haki naye ni Mungu

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 5 месяцев назад

    Wezi njie

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 6 месяцев назад +2

    Huyu mtumishi nae atakuwa ni mtu wa tungi huyu 🙄🤔

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 6 месяцев назад +1

    😂😂😂 daaah sasa mtu akikosa ni dhambi tyr

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    Warumi 13
    12 Usiku umeendelea sana, mchana umekaribia, basi na tuyavue matendo ya giza, na kuzivaa silaha za nuru.
    13 Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu.
    14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake.

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 6 месяцев назад +3

    Daaah

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 6 месяцев назад

    swala la kujiuliza ni kosa kwa nani, na siyo dhambi kwa nani,kuna milango miwili wa Mungu yaani wema ,na mlango wa shetani yaani uovu (dhambi),achane kupendezesha ubaya kuwa wema

  • @abedimat23-tw4kc
    @abedimat23-tw4kc 4 месяца назад

    Apo nimesha kuelewa

  • @mkorinthomgalilaya6700
    @mkorinthomgalilaya6700 6 месяцев назад +1

    Adela katulia tuli

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    1 Wakorintho 6
    9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
    10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

  • @phina8058
    @phina8058 6 месяцев назад +2

    Nimemuelewa sana mzee wa upako

  • @kamangutv5828
    @kamangutv5828 6 месяцев назад

    Mchungaji anaakili snaa

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 6 месяцев назад +1

    Nashukuru mnaweka mijadala yenye kuleta kuamka kwa akili ya jamii, na kuangalia wana tafsiri vipi masuala yaliyopo kwenye vitabu vya dini.

  • @chaco1466
    @chaco1466 6 месяцев назад +3

    ivi tanzania kuna wachungaji wa watu au wawanyama kwaiyo ana hamsisha watu kunywa pombe kama sio zambi ila TZ kuna watu wa OVYO sana

    • @marlonstudios4408
      @marlonstudios4408 6 месяцев назад

      Wapi kahamasisha na wewe si kasema apo ni makosa

    • @EmmanuelMaro-jj8qz
      @EmmanuelMaro-jj8qz 6 месяцев назад

      kiingiacho sio Haram Bali kitokacho kwaiyo hiyo pombe ukinywa isilete madhar ikishakuzd nakulet madhar ndio kasem dhambi kwaiyo akili kichwan mwako kunywa au kuachaa

  • @hassannjiku
    @hassannjiku 6 месяцев назад +1

    Pombe n haramu tena n haram nna mm sasa nimelewa ila n haram nna haifai kwa afaya nna kifamilia sema ukinywa unakuwaje iyo n ujinga wako ila nnasema tena pombe haifai🎉

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 6 месяцев назад

    tatizo hamna mpangilio wa maswali kila mtu anataka kuuliza

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    Wagalatia 5
    19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
    20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
    21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 6 месяцев назад +4

    Uislam umekamilika aisee, Lusekelo swala la chakula kwetu huku linaitwa israfu, kikizidi sana ni dhambi yan ukila ukavimbiwa haitakiw

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 6 месяцев назад

      Ume kamilika wapi

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 месяцев назад +1

      ​@@BarnabasFabianiukitaka ubishi hauwez kuelewa uislamu umeelezea hata namna ya kwenda haja chooni namna ya kula .halali na haramu , uvaaji,uongeaji, utembeaji, n.k ..... ukitaka kujifunza uislamu ondoa kasumba kichwani mwako

    • @CadiaOnesmo
      @CadiaOnesmo 6 месяцев назад

      Kukamilika sio hoja hoja ni unayatekeleza yote?​@@AmourAmour-ux3nm

    • @siaolomi1590
      @siaolomi1590 6 месяцев назад

      Hata ukiristo umekamilika

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 месяцев назад +1

      @@siaolomi1590 naomba andiko linaloelezea adabu za kuingia msalani au chooni

  • @ramadhanishabani4600
    @ramadhanishabani4600 6 месяцев назад +11

    tatizo tunaamini sana maneno ya btunaowaita viongozi wa dini. akili kichwani kwako hao ni wapiga dili tu wa duniani walioiona fursa kwny dini

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 6 месяцев назад

      amesoma maandiko lakini au hujaelewa mkuu?!.

    • @praymwalu
      @praymwalu 6 месяцев назад

      Kweli

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 4 месяца назад

      Usiwe unarumbana na vilaza wa CCM​@@yuzotv458

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 6 месяцев назад

    Mmmmmhm Jamii ina Mauti......😢

  • @Saidfadhil-o3o
    @Saidfadhil-o3o 6 месяцев назад

    Mkiongea muwe makini jamii inakusikilizeni

  • @johnsonjoseph5382
    @johnsonjoseph5382 6 месяцев назад +2

    Kipotoshi

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 6 месяцев назад

    Naona mnaliwazana muwe mnawaalika na mashekh wenye misimamo yadini

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 6 месяцев назад

    Baba levo unaboa,muache mgeni aongee

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 6 месяцев назад

    Makristo wa Uongo ndo hao na wengine wengi.

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 6 месяцев назад +1

    Mithali 23:29-30
    [29]Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole?
    Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno?
    Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu?
    Ni nani aliye na macho mekundu?
    [30]Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo;
    Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 6 месяцев назад +2

    Tungeomba mumualike pia sheick Shaffi ili awape ukweli kutoka kwenye biblia kuhusu hayo maswali yenu. Mchunganji anajibu kwa kujikanyaga

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 6 месяцев назад +2

    DHAMBI NINENO LA KIARABU MAANA YAKE KWA KISWAHILI NI MAKOSA

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 месяцев назад +1

      Shida upand w pili hawana mashiko

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 6 месяцев назад

      Ndo dini yao wanayo ifata kazi wanayo

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 6 месяцев назад +1

    NIMEYAPENDA HAYA MAHOJIANO

  • @Rumbakweka
    @Rumbakweka 6 месяцев назад

    Uyu jaama anaongea kwa kufata tupepo POMBE HAIRUHUSIW
    NA AACHANE NA MAMBO YA AGANO LA KALE SS TUNAFATA MATAKWA YA SASA YA AGANO JIPY

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 6 месяцев назад +4

    Na kama mngefuata alichokuja nacho Muhammad s.a.w..mngejifunza kitu..lakini Mlikufuru

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 месяцев назад

      Muhammad hapaswi kufuatwa kwa chochote, kuoa vitoto vidogo?kuua vitoto visivyo na hatia?kutuambia mbinguni kuna kila ulafi (ngono chafu kuliko ya makahaba, eti mimama 72 inajua mambo inatoka kuzimu just for porno,Muhammad na mwenzak issa wote big Noooo..mbingu ya walafi na walevi na mingono hyo jehanum

    • @shannarsaidSwahili
      @shannarsaidSwahili 6 месяцев назад

      @@goldmansun5859 leta Aya inayozungumzia unayosema...afu Aisha r.a hakua mtoto

  • @jazzmancoltrane
    @jazzmancoltrane 6 месяцев назад

    Haya mambo ya kufuata mila
    Na dini za wageni ndio zimetufikisha hapa. Hawa wageni wemekuja huku Afrika kisha wakatuaminisha kuwa sisi İmanı na dini zetu hazifai za kwao ndio zinafaa. Kisha wakatiambia tufumbe macho kuja kufumbua the rest is history. Ndio maana namkubali sana Ngugi wa Thiongo.

  • @stewardlwimbo3944
    @stewardlwimbo3944 6 месяцев назад

    Huyu mzee mpotoshaji sana pombe eti siyo dhambi na mvinyo unaozungumzwa kwenye biblia ni Zabibu ambazo hazijachachushwa ndo ziliruhusiwa

  • @IsmailIsmail-ix1yd
    @IsmailIsmail-ix1yd 6 месяцев назад +10

    Quran imeenda ndani zaidi kwa kusema "rijsun min amali shaytwaan, fajtanibuhu laalahum yarshuduun"
    Maana: Ni uchafu katika matendo ya shetani, (fajtanibuhu) basi jiepusheni, mpate kuongokewa/uongofu.
    Basi ni nani akaatae uongofu wa Mungu wake na kutekeleza mapenzi na matendo ya shetani. The choice is yours.....

  • @pascalmusana2137
    @pascalmusana2137 6 месяцев назад +1

    Niikweli

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 6 месяцев назад

    Comedian

  • @berry4726
    @berry4726 6 месяцев назад +1

    Pombe ni haramu na ni dhambi.

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp 6 месяцев назад +2

    Dhambi ninini kama sio kosa

    • @berry4726
      @berry4726 6 месяцев назад

      Ni kosa na ni dhambi.

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 6 месяцев назад +1

    Akuna handiko hata moja atakalotoa kuhusu pombe,mwanzilishi wa UKILISTO ni MZUNGU na mzungu kwa pombe humwelezi kitu

    • @jamesmshanga1098
      @jamesmshanga1098 6 месяцев назад

      Ukristo haukuanzishwa na wazungi,umeanzishwa na Yesu mwenyewe pale Yerusalem ktk nchi ya Israel na sio ulaya

    • @mariacastor3632
      @mariacastor3632 6 месяцев назад

      Soma HESABU 6:1 uone Mungu anasema nini kuhusu pombe

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 6 месяцев назад +1

    Kumbe kosa unalomkosea mungu kwa upande wako sio zambi lakin kuna zambi kwaiyo zambi ni nin?😂

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 6 месяцев назад +3

    Ndugi zangu kanisani kuna pombe club kuna pombe kanisani kuna mziki club kuna mziki kanisani madada wanavaa vimini club wanavaa vimini nawashauri tu hameni huko hakuna amani

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 месяцев назад

      Mbinguni kwa Allah kuna madanguro na walaf na kila uchafu, maana kila kitu ok huko, zungumzia hyo pepo wenu kwanza,yes kanisana kuna nyimbo coz tunamsifu kwa nyimbo nyinyi si madufu mnacheza ka majini 😂😂😂, maana ndio Mungu wenu jini, mvinyo upo yeah ila utupe ushahid tu mbona fresh, na sio dhamb inadepend ni kwa ajil gan, yaan if yo Muslim you better not attack, coz mauchafu yalipo huko yanatisha

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 месяцев назад

      @@goldmansun5859 sema kanisani kuna nyimbo club kuna nyimbo pia kanisani mnakunywa pombe club pia pombe kanisani kuna vimini club napo sawa

  • @Habaritrending.tanzania
    @Habaritrending.tanzania 5 месяцев назад

    Kuelewa alichokisema apo mzee inatakiwa uwe na akili kdg ndo utamuelewa la sivyo utajikuta unabisha nA unacomment ujinga

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    Luka 21
    33 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
    34 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo;
    35 kwa kuwa ndivyo itakavyowajilia watu wote wakaao juu ya uso wa dunia nzima.

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 6 месяцев назад

    Ku

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 6 месяцев назад +2

    Pombe inyweke kwa kiasi

  • @Kiganja
    @Kiganja 6 месяцев назад +3

    Kila mtangazaji anataka kuongea na sio kusikiliza wanae muhoji.
    Hizi ni vurugu za kimaongezi.
    Watangazaji muwe wasikivu zaidi. Mnapoteza mambo muhimu kwa mnao wahoji.
    Au ni bora kuwepo na watangazaji wachache ikiwezekana hata mmoja atafaa.

    • @MM-pb7fw
      @MM-pb7fw 6 месяцев назад

      watangazaji wa bongo hamna kitu..wanaongea wao zaidi kuliko wanaemuhoji,kelele nyingi mtu kabla hajamalizia kuongea wamesharukia,kama kijiweni

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 6 месяцев назад +1

    Hawa bhana wapo mbali sana, kunywa pombe ni makosa lkn sio dhambi.
    MwenyeziMungu anasema kutoka kwenye Qur-an.
    "BILA YA SHAKA DINI MBELE YA MWENYEZIMUNGU NI UISLAM".

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 6 месяцев назад

      Tulia ww

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 6 месяцев назад

      @@edwinmbunda6709 Imekuchomaa?

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 6 месяцев назад

      @@mussammanga7791 Pombe sio dhambi ww, kunywa kwa kiasi ti

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 6 месяцев назад

      @@edwinmbunda6709 Hahahaaa! tukikwambieni wenzetu mpo mbali sana.
      Namshukuru MwenyeziMungu kunijaalia kuwa Muislam.
      Poleni.
      MwenyeziMungu anasema kutoka kwenye Qur-an: (5:90-91).
      MwenyeziMungu ameharamisha.
      Kamari, Kula nguruwe( Kiti moto), Kunywa ULEVI, Kutizamia(Nyota) na Kuabudu masani kwa sababu ni kazi ya Sheitwan.
      Sasa wewe sijuwi unamfata mungu yupi alokwambia kuwa ulevi si haramu.
      Pole.

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 6 месяцев назад +3

    Porojooo

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 6 месяцев назад

    Mm sinywi pombe kwa ridhaa yangu, nimeona haina faida kwangu kiafya, kiuchumi lkn pombe sio kosa wala dhambi mtu akitumia kwa kiasi. Ingekuwa ni kosa hata serikali isingeruhusu kuuzwa kwa raia wake

  • @barakambunda5428
    @barakambunda5428 6 месяцев назад +1

    Uyo ajui biblia kutumia kileo ni dhambi (pombe)

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 6 месяцев назад

      Mm snyw lakn kwa uelew matokeo ya pombe ndo dhmbi,

  • @Adonkamotci
    @Adonkamotci 6 месяцев назад

    Acheni kupo Tosha watu pombe Nizambi Dini zime Retwa lRi kupo Tosha watu sim Naona mazambi yanavo zidi vio ngozi wa Dini Wana Rusu pombe Una juA kinacho muo ngoza mtu sio Dini Ni mungu kuA mini Dini Naku Amini mungu Nivitu Viwili Tofauti watu wengi wapo Upande wa shetani wame poteA Wana wapo Teza Nawe ngine Tamah za pesa maisha mazuli Atoki mtu

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 6 месяцев назад

    Ukinywa kwa kiasi sio kosa.....shida wanadamu wengi hawana kiasi

  • @linaschannel3769
    @linaschannel3769 6 месяцев назад +1

    Biblia inasema
    usiguse usinuse

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 6 месяцев назад

    Kwani dhambi ni nini?

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 6 месяцев назад +2

    Imeandikwa usimpe jirani yako kilevi

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 6 месяцев назад +1

      Kwann usimpe ? Kwaio Mungu hataki umpe jirani yako kitu kizuri!!? Tumia akili bas mana yke pombe sio mzr ingekuwa mzr usinge ambiwa usimpe jiran hko kilevi

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 6 месяцев назад +2

    huyu mchungaj hamna kitu kosa maana yake umepinga maamrisho ya mungu je kosa si dhambi au atupe jibu dhambi ni nini

    • @ladislausriwa7768
      @ladislausriwa7768 6 месяцев назад +1

      Kosa ni kutokufanya kitu kwa usahihi wake. Dhambi ni kuvunja maagano ya Mungu na watu wake haya yapo kwenye amri 10 alizopewa Musa

  • @rennydsollo7791
    @rennydsollo7791 6 месяцев назад

    Doctrine...
    Christian Doctrine ndivyo isrmavyo na iaminivyo.
    Hata Mlokole aliye enda School of Bible, atakujibu jinsi Mch. Mzee lusekelo alicho sema au kujibu.
    Azungumzi kwa hulka, Amesoma. Ndoo maana anakwambia siku ya ibada ni Jumamosi, japo yeye huudumia juma Pili.
    Anasimamia Ukweli.
    Doctrine originated From latin Doctor of "Teacher"
    Kama you interested to kno bout what yo beliefs, as Christian. Study It, don' jus feed from yo Faith Elders.

  • @TonFashion
    @TonFashion 6 месяцев назад

    Tunyweeeeeee

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 6 месяцев назад +1

    Viti moto ndio nn

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 6 месяцев назад

    Mwanzo 9
    20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
    21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
    22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
    23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
    24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
    25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 6 месяцев назад

    😂😂😂 𝙝𝙖𝙢𝙣𝙖 𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙝𝙪𝙢𝙪 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙢𝙡𝙖𝙣𝙜𝙤 𝙬𝙖 𝙨𝙝𝙚𝙩𝙖𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙡𝙛𝙪 𝙞𝙨𝙞𝙬𝙚 𝙙𝙝𝙖𝙢𝙗𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙤𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙞

  • @ernestgervas7021
    @ernestgervas7021 6 месяцев назад +3

    Someni maandiko na muombe roho mtakatifu ili awape ufahamu kwani hapa mnadanganywa tu, eti pombe si dhambi manabii wa uongo wapo na wanafanya kazi kubwa mpaka sasa

    • @Ndenza
      @Ndenza 6 месяцев назад +2

      Hojà hupingwa na hojà toa maandiko Ili ubatilishe hojà

    • @medeljoram5325
      @medeljoram5325 6 месяцев назад +1

      Una maandiko.?😂 soma bible kijana, au divai, mvinyo, unavyo soma kwa Bible unadhan ni togwa? 😂

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 6 месяцев назад

      Wewe ndiyo hujui maandiko.Biblia inasema msilewe kwan mvinyo lakini haijawahi kubainisha kuwa kunywa ni dhambi

    • @majotv3405
      @majotv3405 6 месяцев назад

      ​@@medeljoram5325hujui bibilia imeandikwa na mwanadamu panya ww amka

  • @michaelmwaksole7244
    @michaelmwaksole7244 6 месяцев назад +2

    Hunaakili mpumbavu mjinga wa mwisho kabisa hii dhambi yakuwapotosha watu utailipa ukiwa kuzimu ktk mateso makali mbwa wewe

    • @kaittheleast
      @kaittheleast 6 месяцев назад +3

      Wewe Ulivyomwita mbwa hujatenda dhambi 😂😂

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 6 месяцев назад +1

      Kuwa na busara basi

    • @edoniceTz
      @edoniceTz 6 месяцев назад

      Hauoni na wewe umetukana😅

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 6 месяцев назад +1

    Kanisani wanakunywa pombe wanaita divai na biblia inaruhusu unywe pombe

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 6 месяцев назад +1

    Kwanza hiyo Pete aliyovaa niyandoa kweli

  • @silverman6930
    @silverman6930 6 месяцев назад +1

    Man talking trash here ..: business man 😂

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 6 месяцев назад

    Tupige kilaji tu akuna namna😂😂😂

    • @IvonRaphael
      @IvonRaphael 15 часов назад

      Ama kweli watumishi kuja tuone mbungu kazi ipo kwa nini tunamdharirusha MUNGU? Mh! Sawa!

  • @shaban6644
    @shaban6644 6 месяцев назад +1

    Kuna vitu vyengine Vipo Wazi, Ushaambiwa ni Kosa na ni mlango wa Shetani, then anasema Sio Dhambi.
    Izo ni Siasa.

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 6 месяцев назад

    Kunywa pombe ni makosa lkn sio dhambi. Basi fafanua, anaongea tu pumba. Mchungaji usikute na yy ni mlevi

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 6 месяцев назад

      Yeye mwenyewe anapiga kwelikweli chupa za kutosha hahahahahahahaha humjui huyu mtu

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 6 месяцев назад

    Isaya 66:16-17
    [16]Kwa maana BWANA atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi.
    [17]Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 месяцев назад

      Kanisani mnakunywa divai nyie na Kanisani mnapiga mziki km club

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 6 месяцев назад

      Mungu wetu ni Mungu anayeshika maagano. Hilo andiko umetoa ni agano la kale. Ktk agano jipya hakuna chakula najisi. Ukiweza kula hata konokono ruksa

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 месяцев назад

      @@edwinmbunda6709 mungu yupi maana kwenye biblia kuna mungu mke kuna miungu mingi kwenye biblia