Mama Mtokambali mawigi hayo sasa basi, we ni mzuri tu hata bila hayo mawigi, utakufa siku moja ukiwa na hayo manywele, kwani Mungu hajawahi kukusemesha hata siku moja
@@iamdivineimage wewe uzima wako umeishia kwenye ibaza za sanamu, muombe Mungu akiwa kwenye utulivu na utayari wa kupokea jibu lolote uone atakwambia Nini kuhusu mawigi, unayajua yalikotoka wewe, eti unasema mpingeni shetani uku bidhaa zake unatumia usitegemee kubaki salama
Hongera sana baba dr . Barnabas mtokambal
Bwana amejipatia Nahodha ,Rubani tutafika salama ,hongera askofu,hongera mama Mtoka mbali Mungu awape maono zaidi
Amina
Mama achana na mawingi
Tujifunze kwa yaliyotokea EAGT, askofu ni lazima awe na ukomo wa madaraka
Hallelujah
Naona kama umeongezewa mafuta zaidi, jina la Bwana litukuzwe
Kwa kweli inahijika katiba askofu awe na ukomo hii sawa kwa kukaa sana madarakani kwa vyovyote amerubu i wengi
Mama Mtokambali mawigi hayo sasa basi, we ni mzuri tu hata bila hayo mawigi, utakufa siku moja ukiwa na hayo manywele, kwani Mungu hajawahi kukusemesha hata siku moja
Mungu hakatazi mawigi ni wewe na akili yako mbovu
@@iamdivineimage wewe uzima wako umeishia kwenye ibaza za sanamu, muombe Mungu akiwa kwenye utulivu na utayari wa kupokea jibu lolote uone atakwambia Nini kuhusu mawigi, unayajua yalikotoka wewe, eti unasema mpingeni shetani uku bidhaa zake unatumia usitegemee kubaki salama
@@iamdivineimage nitafutie mstari ulioruhusu kwenye biblia
Hahahaha jaman mama angu mbona umemuonea ,ss ndo mama yetu ametuzaa tunamfulahia sana ,alishamsamehee sema ww pengine hujasamehewa
@@salvinahassan8778acha mbwembwe ww ss tunasonga mbele pamoja na Bwana
Hallelujah