Askofu Mkuu wa TAG, Rev. Dr. Barnabas Mtokambali azindua Rasmi Maadhimisho ya Miaka 85 ya TAG

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024
  • Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG, Rev. Dr. Barnabas Mtokambali akata utepe, kiashiria cha kuzindua rasmi sherehe za maadhimisho ya miaka 85 ya TAG hapa Tanzania.
    Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 6 Januari, 2023 katika viwanja vya shule ya ATLAS ilioko Madale, Dar es Salaam.
    Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi kuhusu tukio hili pamoja na mengi yatakayokuwa yanaendelea hivi karibuni kuelekea kilele cha maadhimisho haya yatakayofanyika Dar es Salaam katika uwanja wa Uhuru mwezi wa Julai.

Комментарии •