Dada shilole ni mtu ambae anajali watu sana.kitu alichokifanya hakuna mtu alikwishawahi kufikiria kufanya especially ktk anniversary nyingi tu za kanisa nilizowahi ona na kushuhudia.Shilole ubarikiwe sana na mungu alie hi.amen
Eee Mwenyezi Mungu, Shishi ubarikiwe, na uwongezewe palipo punguwa! 🙏 Kaka Masanja, hongera Kwa majukumu na hatua ulio fikia. Hakika Mwenyezi Mungu ni mkuu 🙏 NYINYI NI MIFANO YA KUIGWA ❤️
Pastor masanja for what you done to invite all your friends without discrimination. Your the first pastor to do this,. I know that some may criticize you but remain with this principle LOVE YOUR NEIGHBORS.
We Dada unachekesha huduma ya mwamposa uliiponda na kushabikia afugwe alafu ya masanja unaishabikia San tu na kwa mbwembwe huo ni unafiki Dada angu badilika kwa kwel
We Dada unachekesha huduma ya mwamposa uliiponda na kushabikia afugwe alafu ya masanja unaishabikia San tu na kwa mbwembwe huo ni unafiki Dada angu badilika kwa kwel
Nimesoma comment nyingi! Nimegundua kuwa kunawatu bado imani haijawaokoa ila imewaweka vifungoni! Mungu pekee ndiye anajua kamwe usije hisi upo sahih sana Na ukamuhukumu mwingine! Kumbuka pia unaweza ukahisi unamtetea Mungu kumbe Mungu kashakuacha mda kwasababu huna UPENDO kama yeye alivyo!! Pastor People will not understand you early but i tell you keep going this is private revalations and Gods loves all of us!
Mbwa hapo ni nani,? Tambua kuwa vyote alivyovitakasa mungu usiviite najisi, kwa maana cornelio nadiya aliyeupendeza moyo wa mungu kwa sadaka zake akakumbukwa japo ilikuwa mpagani,,mbwa kama wewe unavyomwita shilole,, basi kama wewe, hujaona umuhimu wa mungu kumtolea sadaka shilole ameuona!!!••••••
@@rosemuhando709 dada rozi sisi tuliookoka hatutakiwi kuyafanya yasio ya Mungu, huwezi kusema salamaleku kanisani hiyo ni michanganyo ,halafu kuleta chakula kanisani hiyo siyo sherehe, Yesu anasema mtu hawezi kuishi kwa mkate tu, bali kwa kila neno litokalo kwa bwana ,watu wa Mungu mmepotoka
Ok hongera kwa kushirikiana kwa njia yoyote bila kuzingatia dini. Ila pengine mahali pagumu kuelewa ni hapo pa kuleta wageni ambao si Wakristo (hawaamin Kufa kwa Yesu Msalabani) katika altar, that is my major concern. Would anyone politely enlightened me on this, ni sawa??
Biblia haitufundishi kuwatenga wasiomwamini YESU. Unadhani tukiwatenga wasiomwamini Yesu, watawezaje kumjua na kumwamini? Tulipoambiwa kuwapenda jirani zetu (Mark 12:31), hatukuambiwa tuwapende wanaomwamini YESU pekee bali ni WOTE. Kumbuka YESU ni wa Wote. Be blessed!
@@bjzee1981 mmungu hana masharit yasiyokuwa na mbele wala nyuma, anachotaka yeye kutoka kwako ni moyo safi tu basi.hayo masharti yoote mnayopangiwa siyo amri zake ni wanadamu waanzilishi wa imani hiyo waliamua kuwa madikteta kwa waumini wao ndo wakalisisha vizazi na vizazi hadi wewe kuamin
Unalisha washiirikina ili wapate nguvu zaidi za kumkufuru Mungu?walati kuna mayatima hawajuwi wale nini .dhambi hii ulioitenda hapa utakwenda kuikuta kesho. Kwa Allah
Dini za kidilidili tayari na wewe masanja una kakanisa kako kakusukumia maisha safi saana na wewe mjinga hiyo salam unaileta humu sijui hata unataka nini wewe kama unaenda kwa usanii wako nenda dini yetu ya uislam haina mahusiano na hiyo nenda kivyako
Umesema Kweli ndugu, hamna mahusiano Kati ya waabudu majini na wanaomwabudu MUNGU aliye hai, yaani YESU KRISTO, kwahiyo upo sahihi ila shishi nimwungwana na neema ya wokovu itamfuata haijalishi usanii wake lakini kamtolea MUNGU aliye mwumba atabarikiwa
@@johnzacharia2308 do!!! Hii kali labda nikujulishe sie tunamuabudu aliewaumba yesu, majini na kila kitu tunavyovijua na tusivyovijua sasa kama wewe unamuabudu elieumbwa au kilichoumbwa na mungu basi jiandae na kuishi motoni milele
@@johnzacharia2308 😂😂😂😂 mbona hata mie nipo hai kwahiyo naweza nikawa Mungu wenu? Yesu dume na mie dume, yesu katahiliwa na mie nimetahiliwa, yesu kazaliwa na mie nimezaliwa yani tumetofautiana machache sana
Angebarikiwa saa ngapi sasa na waumini kama.asingesema mbèle ya madhabahu.. Hiyo ni sadaka. Sadaka inatangazwa madhabahuni pa Bwana na ndio maana Masanja anawaambia waumini wanyoshe mkono wambariki. Kwa Imani MUNGU amembariki sana pale.
Wallah Uko mjinga sana falaaaaa mjinga weee huna hata haya mjinga fala wewe mjinga hunatahaya huna wislimu wowote na Allah akunusuru kwakweli ila natambuwa hujakwenda Skool ni Quran ni normal éducation huna , hujawahi hata sikumjaa kwenda kupeleka masjid mjinga
Ama kizazi hiki kinapenda kulakula, yaani mithili ya nguruwe! Chakula kanisani? Na ibada mnafanya saa ngapi? Mara keki, wali, bigijii, biskuti na sasa biriani heeee! Kwa mizaha hii tabu hazitakoma. Fanyeni ibada nyie binadamu.
Shilole uko kwenye maombi yangu, You are the best woman, Masanja nakuombea kwa MUNGU akuongoze uendelee kumtumikia, kumpenda and na kumjua zaid
Barikiwa sana Pastor Masanja na Shilole mweee jamaan nmevutiwa na hii hakika MUNGU ni baba wa wote Amen.
Dada shilole ni mtu ambae anajali watu sana.kitu alichokifanya hakuna mtu alikwishawahi kufikiria kufanya especially ktk anniversary nyingi tu za kanisa nilizowahi ona na kushuhudia.Shilole ubarikiwe sana na mungu alie hi.amen
Eee Mwenyezi Mungu, Shishi ubarikiwe, na uwongezewe palipo punguwa! 🙏
Kaka Masanja, hongera Kwa majukumu na hatua ulio fikia. Hakika Mwenyezi Mungu ni mkuu 🙏
NYINYI NI MIFANO YA KUIGWA ❤️
Shishi huyo ni upendo Mungu akubaliki na kukuongezea zaidi kwenye biashala yako
Asante, dada yetu shishi mbiguni hakuna Ndini 🙏
Ubarikiwe shishi, na Mungu akupe neema ya wokovu
Mungu ni wawote weny mwili
Aimee
Pastor masanja for what you done to invite all your friends without discrimination. Your the first pastor to do this,.
I know that some may criticize you but remain with this principle LOVE YOUR NEIGHBORS.
Huyu jamaa hupingwa sana but yeye yuko sawa hajali
Mafanikio nj Mungu Hakika Shihsi unajua kumtafuta Mungu Ubarikiwe
Masanja ubarikiwe mtumishi 🙏 endelea kuwavuta wote, hesabu huyo kaisha fika hapo kwa jina la YESU
We Dada unachekesha huduma ya mwamposa uliiponda na kushabikia afugwe alafu ya masanja unaishabikia San tu na kwa mbwembwe huo ni unafiki Dada angu badilika kwa kwel
We Dada unachekesha huduma ya mwamposa uliiponda na kushabikia afugwe alafu ya masanja unaishabikia San tu na kwa mbwembwe huo ni unafiki Dada angu badilika kwa kwel
Emen
amina sana mungu akutunze shishi
Mungu ni mmoja tuu, well done 👏 ✔ 👍 👌 shishi baby
Shishi humpati mtu zaidi ya nafsi yako elewa dunia tunapita tu😌😌😌
Ndo nn
Very good mtumish wa MUNGU
Nimesoma comment nyingi! Nimegundua kuwa kunawatu bado imani haijawaokoa ila imewaweka vifungoni! Mungu pekee ndiye anajua kamwe usije hisi upo sahih sana Na ukamuhukumu mwingine! Kumbuka pia unaweza ukahisi unamtetea Mungu kumbe Mungu kashakuacha mda kwasababu huna UPENDO kama yeye alivyo!! Pastor People will not understand you early but i tell you keep going this is private revalations and Gods loves all of us!
Mungu akusaidie sana
Hongera shilole na Masanja kweli tunaona kwa vitendo what it means by feel free Church ...
Kwel kabisa
Mungu akubark dada
Wooow barikiwa shsh
Eti oyoooo! Nmependa huyu pastor haki kweli hiii free
😄😄😄
Nimegundua shilole anarafiki wengi wa kiume ndo maana anafanikiwa kuliko wanawake , wengi ni ma snitch
Umeonaa
Umesema ukweli
Mungu awenawe
Amen nakupend bure Shishi bebi❤❤❤
Asalaam alaykum kanisani
Wanaleta usanii
Kachapia😅😅
Kawaida sana kama unatambua kuwa kuna ubinadamu na kiila mtu ana haki ya kuabudu anavyopenda
Ameeeen.
Asante dada
Safi Sana shishi
Welldone Shishi.
Mungu tusaidie ,Sana'a zimezidi Mungu amekimbia,,,,usilete mshahara was mbwa nyumbani mwa bwana
Mbwa hapo ni nani,? Tambua kuwa vyote alivyovitakasa mungu usiviite najisi, kwa maana cornelio nadiya aliyeupendeza moyo wa mungu kwa sadaka zake akakumbukwa japo ilikuwa mpagani,,mbwa kama wewe unavyomwita shilole,, basi kama wewe, hujaona umuhimu wa mungu kumtolea sadaka shilole ameuona!!!••••••
@@rosemuhando709 dada rozi sisi tuliookoka hatutakiwi kuyafanya yasio ya Mungu, huwezi kusema salamaleku kanisani hiyo ni michanganyo ,halafu kuleta chakula kanisani hiyo siyo sherehe, Yesu anasema mtu hawezi kuishi kwa mkate tu, bali kwa kila neno litokalo kwa bwana ,watu wa Mungu mmepotoka
Umepata shemasi !!!
mchungaji 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kansani asalam aleikum
Ukitoka hapo kanisani utamke shade tena
Ok hongera kwa kushirikiana kwa njia yoyote bila kuzingatia dini. Ila pengine mahali pagumu kuelewa ni hapo pa kuleta wageni ambao si Wakristo (hawaamin Kufa kwa Yesu Msalabani) katika altar, that is my major concern. Would anyone politely enlightened me on this, ni sawa??
Biblia haitufundishi kuwatenga wasiomwamini YESU.
Unadhani tukiwatenga wasiomwamini Yesu, watawezaje kumjua na kumwamini? Tulipoambiwa kuwapenda jirani zetu (Mark 12:31), hatukuambiwa tuwapende wanaomwamini YESU pekee bali ni WOTE.
Kumbuka YESU ni wa Wote. Be blessed!
Nichek whatsup ndugu tuongee tu vizuri tuelimishian tu kwa upendo wa kazi ya Mungu... +254 712 982 711
@@RichardPhilipo1 asant kaka
@@jumjumanderson9715 sawasawa kaka
Baba levo Yupo wapiii😂😂😂😂
Huyo ataharibu
😁😁😁😁
Good✔
Wakristo wenzangu, hapo sio kanisani kwa masanja, bali ni kanisani kwa Yesu Kristo. Tujuwe kiuongea .
Safi sana
INJIRI KWANZA.. BALIKIWA SANA MASANJA..
Sifa za Allah anapewa kiumbe Yesu.
😀😀huu mtihani
Tz watu kama hawa wangekuwepo udini usinge kuwepo mashallah
We unamuona amepatia kwasababu hujui Dini unajua kuimba kwaya.
Kwaiyo ww unamungu wako au
@@selinaselin8928 Allah ndo Mungu wa wote. Sasa nyie si hamumtaki.
@@hamisimfaumenamwewe193 ss mwenyewe tunaamini ivo kaka
@@selinaselin8928 Kuamini nini?
Umepotea
Utabaki ulivyo.
Shashi Food juu Kwa Juu
Maisha ni Safari Wacha tusafiri iLa kila Mtu Anafika kwa Muda wake.
Dada umepotea sana kiki u nazotafuta zimepitiza
Shilole amekuja kuchukua dili la kupika hapo
Umeonaeee 😂
Kuna muda yafaa ujitambue umetoka wapi na waelekea wapi .Ni msiba mkubwa sana.
blessed shishi
Penda sana shilole
Safi sana shilole
Daaahhh Jambo jema hili nahisi wengi watatakiwa kukaa mbali na udinii....
Dini yenu. Ila yetu hairuhusu kuingia katika sehem ambazo si za ibada ya dini yetu. Na misikiti haingiliwi na watu ambao si waislam
@@bjzee1981 tatizo din ya kislam ina mashariti mengi kama mganga wa kienyeji
@@ramadhanimahongole8764 . Masharti ya Mwenyezi Mungu. Ndio mana tumekatazwa ushenzi
@@bjzee1981 mmungu hana masharit yasiyokuwa na mbele wala nyuma, anachotaka yeye kutoka kwako ni moyo safi tu basi.hayo masharti yoote mnayopangiwa siyo amri zake ni wanadamu waanzilishi wa imani hiyo waliamua kuwa madikteta kwa waumini wao ndo wakalisisha vizazi na vizazi hadi wewe kuamin
Yani uislam wa wasanii ni KAZI bure
Kwan muislam uyo mana sielew
@@zalhathasaid2060 anavodai ni muislam .kwani huoni maclip yao siku ya ramadhani
@@abdulkareemseif1892 mmmh waislam mnamambo au nae khafirii hamcherewi munguu huyuu aturehem kwakweli
@@florenciamwambalaswa3965 kuna mambo akitaka kuyafanya atakua Tu kafiri wala sio uongo,,,km akiamini ukristo ni Sawa na uislam amekufuru
Wasaniiiiiiii
asalamalekum kanisani wapi na wapi? wewe masanja na hilo kanisa lako???
asalamalekum maana yake ni amani iwe nanyi. simply
Ni lugha tu jaman
Hujui wewe.....salamu ni salamu tu.
@@shau78 wambie,hizo zote nisalamu hakiharibiki kitu
Hiyo ni Salamu dogo
Kwakweli Mungu ndiye ajuaye tu yote
Mambo haya
Unalisha washiirikina ili wapate nguvu zaidi za kumkufuru Mungu?walati kuna mayatima hawajuwi wale nini .dhambi hii ulioitenda hapa utakwenda kuikuta kesho. Kwa Allah
Huu ni msiba wallah
Biashara iyo kalipwaa na masanjaa
Khaaa
Yeyote anaetenda dhambi anacheka ataingia motoni analia
Mbona asipeleke madrasa wakale wanafunz wanaosom Qur.an na mayatim hta maskini na mafukara
Shishi atafika Mbali sana!
Uko poa
Zile mwulindo
Yan nyie wachungaji Freemason hlo kundi la Bwana Yesu mnakolipeleka mtakuja kujuta siku yaujio wa Bwana wetu Yesu Kristo,
Acha mawazo hayo wewe
Kama wewe ndiye Mungu ni sawa itakuwa hivyo.
Usihukumu usije ukahukumiwa
Uko freemason mpo wote?
Toa boriti lako kwanza ndipo utoe kibanzi Cha masanja,hakuna awezae muhukumu mwenzie
Saaafi
Natamani siku moja nije niabudu mahari hapo
Kwani huyu bado co DC
Ameren
Dini za kidilidili tayari na wewe masanja una kakanisa kako kakusukumia maisha safi saana na wewe mjinga hiyo salam unaileta humu sijui hata unataka nini wewe kama unaenda kwa usanii wako nenda dini yetu ya uislam haina mahusiano na hiyo nenda kivyako
Kwan nyie mna mungu wenu
@@bodernmejohn1210 yes of course
Umesema Kweli ndugu, hamna mahusiano Kati ya waabudu majini na wanaomwabudu MUNGU aliye hai, yaani YESU KRISTO, kwahiyo upo sahihi ila shishi nimwungwana na neema ya wokovu itamfuata haijalishi usanii wake lakini kamtolea MUNGU aliye mwumba atabarikiwa
@@johnzacharia2308 do!!! Hii kali labda nikujulishe sie tunamuabudu aliewaumba yesu, majini na kila kitu tunavyovijua na tusivyovijua sasa kama wewe unamuabudu elieumbwa au kilichoumbwa na mungu basi jiandae na kuishi motoni milele
@@johnzacharia2308 😂😂😂😂 mbona hata mie nipo hai kwahiyo naweza nikawa Mungu wenu? Yesu dume na mie dume, yesu katahiliwa na mie nimetahiliwa, yesu kazaliwa na mie nimezaliwa yani tumetofautiana machache sana
Shish baby.congrats sanaaaaa
Khaaa jamani
😂😂😂🙆🙆😲😲
Duh
Mbarikiwe sana! Ila hiyo salam kanisani sio mahala pake, hata kama inamaana nzuri
Angebarikiwa saa ngapi sasa na waumini kama.asingesema mbèle ya madhabahu.. Hiyo ni sadaka. Sadaka inatangazwa madhabahuni pa Bwana na ndio maana Masanja anawaambia waumini wanyoshe mkono wambariki. Kwa Imani MUNGU amembariki sana pale.
Ulitaka iweje nae ni muislam, alaf ni swala LA lugha tu, ni Arabic, kwani kusema glory to God mbna ni kidhungu lakini tu naona ni Sawa inapotamkwa
Ni kweli ni luga tu! Ila inatumiwa na waislam ni sawa na kusema bwana yesu asifiwe msikitini utaeleweka kweli
Siyo mahali pake vipi kwanin yeye kamuita kanisan wakat ni muislam au hujui kilichompeleka maana hajaenda kusali
Ile ni salam tu wala haina shida
Shishi wewe ni mtu
Wewe shilole mhhhh
Mh! dini hizi,,,,,,,,huyu ndio TB Joshua wa Tanzania!!
🤣🤣🤣🤣
kinachokuuma n nn ww
@@Churchofecclesia acha unafiki!
@@jumakapilima5674 unafki gan,
Surprise I thought shishi is a Muslim
She is Muslim
Pesa Inatafutwa guys, Huyu Binti yupo hapo Kimaslahi ya Brand, Kaona Matanzania ni Madishi ayazugie kidogo😂😂
Hamna namna ..
Kigogo unajua kuzurura🤣🤣🤣🤣
Umeingiaje huku wewe?. Ulijualo ndilo. Kweni weye unachaguaga pa kula?
Wallah Uko mjinga sana falaaaaa mjinga weee huna hata haya mjinga fala wewe mjinga hunatahaya huna wislimu wowote na Allah akunusuru kwakweli ila natambuwa hujakwenda Skool ni Quran ni normal éducation huna , hujawahi hata sikumjaa kwenda kupeleka masjid mjinga
Acha matusi wewe! Ujui kitu
Ama kizazi hiki kinapenda kulakula, yaani mithili ya nguruwe! Chakula kanisani? Na ibada mnafanya saa ngapi? Mara keki, wali, bigijii, biskuti na sasa biriani heeee! Kwa mizaha hii tabu hazitakoma. Fanyeni ibada nyie binadamu.
Huna Dini wewe. Muhuni tu. Bwana Yesu asifiwe mmeipata wapi?
kwan wewe kinachokuuma nn, YESU hakuja kwa ajili ya wenye haki n
bali alikuja kwa ajili ya wenye dhambi kama hao
Kwaiyo anamaanisha shishi Zambi zimemjaa
Huna hat haya bora shishi sio ww shetan mweny mguu mmoj hat maji ya bure hujawai toa
@@mankamrema72 Ubora wake nn?
Sasa unataka kuwafundisha wakristo kuhusu dini yao? Wakristo wana Mungu wao na imani yao tofauti na dini nyingine na miungu mingine
Uko mjinga wew
Kuanzia leo nakula kwa shishi tuu
Ujinga ulio kisili saana
hakuna kanisa hapo
Fungua yako nonsense
Kweli kabisa
Sijui n mungu gani anayeabudiwa hapo. MUNGU sio wa michanganyo. Acha utani. Mungu haziakiwi. Go and invest in something else
Marikiwa.san