Exactly what I always tell my wife! Do not try to transom your body bila ridhaa yangu! Najua kwa nini nilikuowa, kwa nini niko na wewe! Acha kusikiriza ujinga wa watu wa nje! Watakufanya upoteze ulichokua nacho kwa Jina la kupoteza kitambi
@@sumayasumaya6455 Mungu hukitumia kizaifu Bali hukiaibisha chenye nguvu..kwa mtizamo wa kibinadamu mnaona Masanja hafai kuwa Mchungaji..Mungu hatafuti watu Bali anatafuta mtu..
Itafikia wakati wenye akili timamu na wanaojua kweli wataondoka wote na hawatarudi na ndipo mwisho wa itafikia maana hayo makusanyiko siyo ya kiroho Amosi 5:21
kweli TZ kuna mazwazwa , mtu anakushajihisha ujinga wewe unamsherekea. Afya na dini sio mambo ya kufanyia utani , hakuna mtu anaependa kitambi, msikilize huyu uweke kitambi uone kama hutakimbiwa kisha sukari, pressure na maradhi ya moyo watakuwa wapenzi wako wakufa na kuzikana
Nasoma comments hapa huku nataxama, sema internet inazingua..... Ok wengi wanaohukumu niwakumbushe tu kitu, unaponyoosha kidole kumuelekea mwenzio, hakikisha basi mkono wako msafi..... Wala mungu hana mtu anayemuhukumu kwa matendo ya zamani, bali ya sasa, Masanja alikuwa anachekesha, cjui kama kuchekesha ni dhambi, vipi akitokea mtu jambazi, akauwa watu wengi, akatesa watu na kunyanganya mali zao kisha akajishibisha kwa anasa, je jambazi huyu akibadirika akawa mchungaji na akalitangaza jina la mungu, na kuwafundisha watu kumjua na kumuamini mungu, je anahatia mtu huyu? ILA iweje vibaya kwa Masanja ambaye alikuwa mchekeshaji.. .? Wivu ni kidonda, tusikilize maneno na sio yanatoka kwa nani atleast kama nafsi zetu dhaufu, tunaweza kupita kwa maneno hayo.... Allah kareem, go goo gooo Masanja, jah guide
Ndio Ni kweli kabisa, Mungu alimuokoa Sauli ambaye ndio paulo, huyu Mtu alikuwa anatesa Sana wanafunzi wa yesu, na kuwaua, Lakini baada ya kuokolewa na yesu huyu Ni mtume pekee, aliehubiri, sehem kubwa ktk hii dunia, na nimtume alieandika nyalaka nyingi ktk biblia, na acha nikwambie ww unaemhukumu masanja, acha kwa sababu yy Ni mtumishi wa Mungu aliehai!
Fact Fact,,tena kuwa na mchungaji mchekeshaj ni raha huku anawafundisha neno la Mungu lakini pia mnafurahi,,afu unajua sisi watanzania sijui ni nani aliyeturoga kwani kuwa mchekeshaj afu ukawa Mchungaji kuna tatizo gani
Yesu Kristu alimsamehe Zakeo Mtoza ushuru, mtu akiongoka kuacha maovu na kumrudia Mungu Mwenyezi Mungu anamsamehe tatizo ni sisi binadamu tunashindwa kusamehe
Mzee Baba Uko vizuri ila kusiwe na ubaguzi mbona Viti vya Waumini havifanani maana kwa Viti kuna Viti vya vya Watu special na vile vya Watu wa Kawaida, kwa Mungu hakuna madaraja Mtumishi
Hivi huu wokovu wa kumpelekea watumishi hera wakati wanahubili imetoka wapi jamani mbona mimi siipendi maana mtumishi anahubili huku anawza kutuzwa kwa jkweli sielewi kabisa
Unasema hivyo kwasababu huyajui maandiko ungejua usingesema hivyo jifunze kwanza ndipo utoe ushauri maana ukiwa gizani na usijue kuwa uko gizani bado ni tatizo kama unamaswali mengi kuhusu imani nyingine mtafute wa upande wa imani hiyo uliza maswali ujibiwe ili upate kweli,maana ukiijua kweli utawekwa huru kweli kweli.
Ubarikiwe sana katika siku nilizokuelewa ni leo,Mungu wetu azidi kukitunza mtumishi
Uko
this is bigger massage ,begger revolution and good work pastor masanja and l love you my friend
Masanja the best nakukubali sana ng'wana wane.
Wewe ni mmoja kati ya watu ambao napenda kujifunza kwako.
Kwa ibada ya leo, Mungu akubariki sana....MSIJILIZE YESU....USISIKILIZE...WANADAMU...
Injir yako tam
Aisee...naomba nisiongee kitu...Mungu afanye kazi yake
Ubarikiwe sana bishop mwana wa mungu mbingu zinedine mema kwakooò
Rose ndo leo nimeona comedy yako mungu akubaliki sana muimbaj mkubwa, nakumbuka albam yako ya kwanza ndo nlitumia kwenda kuchumbia nyimbo zake
Amina ruclips.net/video/-eHuziR7SmE/видео.html
Ameeeeeen!! Big up sana Mtumishi wa Bwana. Mungu akubariki sana.. Ameeeeeeen
Amina
HAHAH😀😀😀AHAHA *** JAMANI JAMANI WEEE *** BORA NINYAAZE...✍
Hahaha kuegemea hahaha frigis utumbo naka.......😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘
Masanja is a great Man of God. Si rahisi kumuelewa.
ameni
Umeongeza na neno zuri eti SI RAHISI KUMUELEWA. Dunia ina mambo sana yaani 😀😃😄😁😁😅😅🤣😂😂🤣🤣
Mtumishi wa Mungu Masanja Napenda Sana Mafundisho yako Mungu azidi kukuinuia
Vaa zinazokukaa vizuri😂😂😂😂
Amina mtumishi wangu!! Tinajipemda na vitambi vyetu.👌👌👌👌👌👌
Hahahah
Daaah!! Nimecheka kwa sauti hadi nimewakwaza majirani😁😁
Ila Masanja una nini lakini😅😅😅😅😅
Tunza kitambi Chalo dada wajina wakeeee mie😂
Mwenyez mungu azid kukuweka mtumish
Amen pastor nimekuelew🤠 atali God bless u🙏
Sikuza mwisho utalitafuta neno hautaliona watu wanaubiri maisha badala ya neno la Mungu ( Mungu tusaidie kujua kweli yako)
Ubarikiwe sana Masanja Good Message to us,Amen
Acha wasepe Hahahahaha!! I loved it.
Yes Mungu atatimiza Amen watching you from Dubai sally
Ubarikiwe mtumishi
Da masanja thanks bishop you made my day
Very clean masanja you and I am sure God is with you
Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Exactly what I always tell my wife! Do not try to transom your body bila ridhaa yangu! Najua kwa nini nilikuowa, kwa nini niko na wewe! Acha kusikiriza ujinga wa watu wa nje! Watakufanya upoteze ulichokua nacho kwa Jina la kupoteza kitambi
Amen kubwa, nimejikubali na tumbo langu
Ubarikiwe Mtumishi sema watu wapone
amina Mtumishi nimebarikiwa na neno waache waende hakuna haja ya kuwangania
Hahahhahahah jamani nimecheka dah! Ila neno zuri ......Mungu akubariki sana mtumishi
Hakika Mungu mwema Ubarikiwe sana
Neno zur..ila pcha ya ngwaji inahusika nn apo
Hyo kushape gaun sasa😅😅😅🙌
Suti kali sana noma balaaa bonge la suti aisee
Barikiwa Mtumish, ntakupataje nko Irnga
God bless you pastor 👏
Ubarikiwe sana mtumishi masanja
Masanja anapiga mpunga katika madhabau ya BWANA
AMINAaaaaaaaaa
Nimeshangaa
Mhhhhh masanja Kawa mchungaji🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀
Hii bongo bana akil kumkichwa..
@@sumayasumaya6455 Mungu hukitumia kizaifu Bali hukiaibisha chenye nguvu..kwa mtizamo wa kibinadamu mnaona Masanja hafai kuwa Mchungaji..Mungu hatafuti watu Bali anatafuta mtu..
Amina amazing 😄😄😄😄😄hapo pa kujiamini nimependa mno watu wajikubali jinzi walivyo😄😄😄😄
umejipata una tumbo kubwa komaa nalo! hahahaaaaa
Masanja we bado bwana muombesana mungu akusaidie
Punguza kupokea ela ukiwa unahubiri. Ila uko vizuri. Endelea kunyenyekea, nakuhubiri injili ya kweli.
Amina kubwa .nielekezeni nije kanisani kwa masanja
Andika lako nmelifrahia mungu awabaliki wew n matalemwa bashiri siku moja mmefndisha andko moja...Amen
Grory to God every time and every day too every year, thanks for Good preach
Mwisho wa dunia tutaona mengi...! Fungu la 💰💰💰💰💰💰
Alow acha tu anazichukua ela Kama azioni vile
duh! masanja mkandamizaji 😝😝😝
Naomba mwenyeji MMOja anikaribishe kanisa hili nije kusali nam appreciate Sana masanja
Amina mtumishi wa Mungu nakupenda nimekuelewa
Barikiwa sana Baba
Masanja utumishi wako umekufa usipotosho waumini hubili injili ya Yesu Hii siyo injili nimaneno yakufurahisha waumini wako tuu duu watumishi wengine nihatari
Yeeeeeees be blessed man of God
Kwa muda mfupi umefungua kanisa na.kujipa cheo cha uaskofu mmmh sihukumu ila kwa hili nooo
Ameen my Pastor
Amen. Amen Asante Kwa neno.
Ni hivi lazima tuchunguze km ni sehem sahihi km sio sahihi unasepa Mf Mimi sipendi mahubili ya majungu napenda kufundishwa kuliishi Neno
Let them goooooooo
Wasituchoshe baba
Itafikia wakati wenye akili timamu na wanaojua kweli wataondoka wote na hawatarudi na ndipo mwisho wa itafikia maana hayo makusanyiko siyo ya kiroho Amosi 5:21
From🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to tz barikiwa
kweli TZ kuna mazwazwa , mtu anakushajihisha ujinga wewe unamsherekea. Afya na dini sio mambo ya kufanyia utani , hakuna mtu anaependa kitambi, msikilize huyu uweke kitambi uone kama hutakimbiwa kisha sukari, pressure na maradhi ya moyo watakuwa wapenzi wako wakufa na kuzikana
Ameeen ameeeeeen Bhabhaaa wabhedja sana.
Kitaeleweka tu👉🙏🙏
Glory to God star ☪️ 🌟 👏🏾
ameni
Mungu ktuma akuambie we,kamsikiaje
Nasoma comments hapa huku nataxama, sema internet inazingua..... Ok wengi wanaohukumu niwakumbushe tu kitu, unaponyoosha kidole kumuelekea mwenzio, hakikisha basi mkono wako msafi..... Wala mungu hana mtu anayemuhukumu kwa matendo ya zamani, bali ya sasa, Masanja alikuwa anachekesha, cjui kama kuchekesha ni dhambi, vipi akitokea mtu jambazi, akauwa watu wengi, akatesa watu na kunyanganya mali zao kisha akajishibisha kwa anasa, je jambazi huyu akibadirika akawa mchungaji na akalitangaza jina la mungu, na kuwafundisha watu kumjua na kumuamini mungu, je anahatia mtu huyu? ILA iweje vibaya kwa Masanja ambaye alikuwa mchekeshaji.. .?
Wivu ni kidonda, tusikilize maneno na sio yanatoka kwa nani atleast kama nafsi zetu dhaufu, tunaweza kupita kwa maneno hayo.... Allah kareem, go goo gooo Masanja, jah guide
Ndio Ni kweli kabisa, Mungu alimuokoa Sauli ambaye ndio paulo, huyu Mtu alikuwa anatesa Sana wanafunzi wa yesu, na kuwaua, Lakini baada ya kuokolewa na yesu huyu Ni mtume pekee, aliehubiri, sehem kubwa ktk hii dunia, na nimtume alieandika nyalaka nyingi ktk biblia, na acha nikwambie ww unaemhukumu masanja, acha kwa sababu yy Ni mtumishi wa Mungu aliehai!
Haki haihesabiwi kwa matendo
Fact Fact,,tena kuwa na mchungaji mchekeshaj ni raha huku anawafundisha neno la Mungu lakini pia mnafurahi,,afu unajua sisi watanzania sijui ni nani aliyeturoga kwani kuwa mchekeshaj afu ukawa Mchungaji kuna tatizo gani
Yesu Kristu alimsamehe Zakeo Mtoza ushuru, mtu akiongoka kuacha maovu na kumrudia Mungu Mwenyezi Mungu anamsamehe tatizo ni sisi binadamu tunashindwa kusamehe
Mungu Ana watu wake
Amina.kubwa baba angu
Duh! Haponaona anasifia noti na mapenzi sasa hapo mungu yuko wapi?
Walitoka kwetu maana awakua wetu 🙏🏾 Waache waende.
Thank you pastor masanja
Amen
Hua nabarikiwa na ujumbe wako Sana askofu
Mzee Baba Uko vizuri ila kusiwe na ubaguzi mbona Viti vya Waumini havifanani maana kwa Viti kuna Viti vya vya Watu special na vile vya Watu wa Kawaida, kwa Mungu hakuna madaraja Mtumishi
Hiyo wala sio shida kwan kwa mungu hakuna vip kwahiy kukaa kwa plastik na cjui ni sofa iyo au cjui nn sio shida kikubwa ni ipi iman yako
@@hussnabakary3507 Yesu Kristo hakuwa mbaguzi katika makusanyiko aliyofanya wewe
@@jongwemomumo8729 kakuambia nani kuwa Yesu Yesu hakuwa na ubaguzi?
Mbona alichagua wafuasi 12 na hakuchagua wote waliokuwapo enzi hizo?
Amina upo sawa
Nabii hakubaliki Kwame,chapa,injili
Mungu akubariki
Exactly glory to God
Hamna kitu hapo,anacheza na mihemuko ya waamumini
Barikiwa San pastor masanja
Hubiri upendo na maisha ya baadae
Nimebarikiwa na mahubiri yako Mtumishi Wa Mungu unapatikana wapi
More grace mtumishi
Mwenyezi mungu Yu mwema
Amen ubarikiwe
Masanja leo umenifurahisha umeongea ukwel
Mwisho umefikaa Mungu atuhurumie
Ukovizur mwanawane
Amina kaka masaja
Hivi huu wokovu wa kumpelekea watumishi hera wakati wanahubili imetoka wapi jamani mbona mimi siipendi maana mtumishi anahubili huku anawza kutuzwa kwa jkweli sielewi kabisa
Barikiwa sanaaa
Ubarikiwe sanaa
Ubarikiwe mtumish
Amina GOD BLESS YOU
Amina sana ruclips.net/video/-eHuziR7SmE/видео.html
Ameeen, Yaaani kanisani mtu huchoki
Kabisa yani
Mungu akulinde pastor Masanja
Ishaili ISMAILI sijaelewa hapo mjungaji
Barikiwa Mtumishi wa MUNGU
Jmaani mungu ni 1 tu ambaye ni allah njooni mutulie katika uislamu dini ya kweli, munaposema yesu ni mungu mufikirie x 10
Unasema hivyo kwasababu huyajui maandiko ungejua usingesema hivyo jifunze kwanza ndipo utoe ushauri maana ukiwa gizani na usijue kuwa uko gizani bado ni tatizo kama unamaswali mengi kuhusu imani nyingine mtafute wa upande wa imani hiyo uliza maswali ujibiwe ili upate kweli,maana ukiijua kweli utawekwa huru kweli kweli.
Amina aminaaaaaaaa
Hamna kitu hapo masanja,ni mbwembwe tu
Ubarikiwe saaaana Mtumishi wa Mungu
Powerful amen
Wa Mungu tuache pangi