Stamina Feat Lody Music - Hayana Maana (Part 3) SMS [Skiza 8091567] to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 июл 2022
  • #Stamina #HayanaMaana #SlideDigital
    Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/staminashorwebwenzi
    Written & Performed by Stamina & LodyMusic
    Video Directed by Khalfani
    Follow Stamina on:
    / staminashorwebwenzi
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @mbunah255
    @mbunah255 Год назад +59

    Tulie rudia kuplay hii hit zaid ya mara 3 tujuane hapa. MAPENZI 🙌

  • @richadifabiani1531
    @richadifabiani1531 Год назад +5

    Turio ludia mara mbili kuitizama hii ngom tujuane kwa coment hapaaa,,,, lody music kaua kwa chorus

  • @anjawestanley4502
    @anjawestanley4502 Год назад +9

    Bg up moro town boy nmependa hapo uliposema unakomaa unampeleka mliman akale pza akito anaenda kwa mwana anekula chuv ya uviza kwel mapenz hayana mana 😂😂😂😂

  • @rizikimassawe6615
    @rizikimassawe6615 Год назад +17

    "Kwenye kipato chakoo buku ye anaomba laki" stamina umetishaa🔥🔥🔥

  • @yna2499
    @yna2499 Год назад +125

    Hii SERIES HAIJAWAHI TOKEA KWENYE MUZIKI WETU AFRICA.... NADHANI STAMINA DESERVE MORE THAN EVERYTHING 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samsonanthony7236
    @samsonanthony7236 Год назад +5

    Mzee hiyo level uliyoifikia ,ni kwamba dunia ikae kimya kwa dk mbili isikilize ngoma hii🔥🔥🔥🔥ni kwikwi

  • @gidionsylivester8942
    @gidionsylivester8942 Год назад +21

    Kweli kabisa Mr. Shorwebwenz mmetisha Sana na lody music🔥🔥🔥 mapenzi Ni SoMo lisilo na kikomo big up Sana tupe nyingine Kaka🔥🔥❤️

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 Год назад +4

    Lody brow Unapokwenda Tnanza kupaona Brow Namini Ndoto zko Znakua Mungu Akubariki Nakukubali zaid ya sana tangia Ulipotoka gadi utapokwenda Ishallah nipo na ww brow napenda unachokifanya

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 Год назад +3

    Kaka kwahili umenifikisha kileleni kwakujuwa wwe mkali.#stamina
    #Roma njoo naww uje msepe n'a kijiji🦣💪🇧🇮🌍🌍🇧🇮🇧🇮🌍🌍🌍🐘🐘🐘🦣🦣💪💪💪

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive Год назад +8

    Stamina sio level za hawa marapa waongo ongo janjanja janja hawa, stamina ni another level.
    Lord kaua chorus keep standing mshua

  • @maswaladigitalplatform.7613
    @maswaladigitalplatform.7613 Год назад +1

    Duh, hataree ukikomaa na akili yako ilivyo utatufunza, ila wengi wanalewaga mbeleni,,,, Mungu akulinde na hilo

  • @kakadabby4017
    @kakadabby4017 Год назад +4

    hapo Kwa mshauri wa Ñdo Kuwa làbda alishawai pewa talaka Ñdo line nimetii Saana,,,,Stamina wewe sijui n jua Gani unaotanga Kweli,nataka niuote pia punchline za kubabee kweli,mega shout out Saana ,,kenya inakubali Saana kazi Zako brw🔥🔥🔥🇰🇪

  • @Blacksontigre25
    @Blacksontigre25 3 месяца назад +3

    Babalao stamina 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunakukubali

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 Год назад +4

    Ngoma Kali kideo kikali 🇹🇿 Sanaaa

  • @mamaaron3019
    @mamaaron3019 Год назад +2

    Lakin Kaka hujatwambia kama mwendelezo upo au ndo tyumefuga kibarua ☄☄☄🔥🔥🔥🔥

  • @kennethmuchai8250
    @kennethmuchai8250 Год назад +1

    mapenzi haihitaji nguvu......ila nguvu ya pochi.....stamina broman much more love🇰🇪🇧🇭🇰🇪🇧🇭hayana maana kweli hayana maana

  • @amiahadi2153
    @amiahadi2153 Год назад +50

    Stamina is a very underrated Tanzanian lyricist I swear.thats what we call Music. 🧠🧠🧠

  • @kevinkituyi5143
    @kevinkituyi5143 Год назад +12

    Rap na mashairi all in one. Respect Stamina....mapemzi hayana siri ata ukadate na bubu 🔥🔥🔥 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JokinyBChronicles
    @JokinyBChronicles Год назад +1

    Najua wengi hawataamini but in the world of music Roma is the king

  • @single-btheflowmaster6445
    @single-btheflowmaster6445 Год назад +2

    hata mganga anayetibu mapenzi kashapewa talaka #hayanamaana mob lov from +254 Kenya Stamina 💥💥💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Foot_b0ll584
    @Foot_b0ll584 Год назад +3

    ‘Unampa moyo alafu ikifika kwa kitanda anataka Kichwa 🤫’
    Vina 🔥🔥🔥

  • @winnerkimaro3210
    @winnerkimaro3210 Год назад +5

    Stamina never disappoint..... you deserve congratulations... You make a very good chemistry between you two🔥🔥🔥🔥

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 Год назад +2

    Umewagusa wote na ukweli wote, kama umekubali gonga like yako apa chini

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 Год назад +110

    I normally find my comment not worthy to be on any stamina's project, therefore let me just say much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥

  • @owennzai8474
    @owennzai8474 Год назад +106

    🔥🔥🔥 Stamina never disappoints 🇰🇪✈️🇶🇦

  • @alimamerengo1886
    @alimamerengo1886 Год назад +4

    Hiki chuma shout out to stamina na mkali wa vocal lody music much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @twelve_tz8333
    @twelve_tz8333 Год назад +1

    Father ndo wewe ulie nifanya niipende hip hop hakuna mwingine ni wewe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @pascalgasper403
    @pascalgasper403 Год назад +1

    Me Bongo Sihami,,, Na Sishangai Ukinyimwa Tuzo

  • @Official_Evara
    @Official_Evara Год назад +22

    Eiiisshhh😭😭😭 Stamina's verses always sound so personal mazeh!!

    • @hades3431
      @hades3431 Год назад

      Ashawah umizwa ndomana😪📌

  • @youtubepolls126
    @youtubepolls126 Год назад +6

    Hayana maana kweli....../Unaeza kuta mshauri wa ndoa naye alipewaga talaka/ Big Hit, Bigger Collabo. Love toka Kenya!!

    • @nassorali1202
      @nassorali1202 Год назад +1

      Nipo hiyo line apaa😆😆🥊🥊🚀

  • @FlorahSelemani
    @FlorahSelemani Месяц назад +2

    Hayana kabisa

  • @kakadabby4017
    @kakadabby4017 Год назад +2

    mwanangu Tena,,,Kenya imekubali saaana,kinyamwezi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @braxmedia766
    @braxmedia766 Год назад +30

    Stamina is so underated, this guy is 🔥🔥🔥🔥

  • @allitovmohamed8286
    @allitovmohamed8286 Год назад +21

    Respect to STAMINA

  • @GNP16
    @GNP16 Год назад +1

    Nimesikiriza mara tatu nikakandua kua hii kitu inanihusu mm kabisa

  • @nishimwechristalaure
    @nishimwechristalaure 4 месяца назад +2

    For now naona muhimu wa this song🙏👍❤️

  • @emperorpeacebull
    @emperorpeacebull Год назад +10

    Stamina mkali mkali kwenye vokali🔥
    254 representing

  • @ashagichero3067
    @ashagichero3067 3 месяца назад +3

    Unanyosha mikono juu kila mtu chake chake pemba😂😂😂😂

  • @ShukranMbembela
    @ShukranMbembela 2 месяца назад +1

    Kwakweli hayana maana zaidi ya kucheat 😢😢😢

  • @eugenesamuel989
    @eugenesamuel989 Год назад +2

    Muda wote Nikiona notification ya Stamina najua ni mauaji na maangamizi...
    Ama kweli mapenzi hayana maana.... Much love from Kenya...🇰🇪🇰🇪

  • @karimabdul2698
    @karimabdul2698 Год назад +32

    Lody music to the world🔥

  • @wilsonobanyi3079
    @wilsonobanyi3079 Год назад +48

    I'm happy stamina is always supporting upcoming artists, well done Lody music

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 Год назад +2

    Stamina unajua mpaka unakhera🔥🔥🔥🔥

  • @ahutamorris
    @ahutamorris Год назад +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Stamina ana mashairi yenye stamina

  • @dancunsteven7486
    @dancunsteven7486 Год назад +82

    Stamina has been giving us good music ever since he started. Legendary that one, Respect!

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 Год назад +77

    Lody music is another story 🔥🔥🔥🙌

    • @johnohando2390
      @johnohando2390 Год назад +4

      He sounds a little bit like Marioo but yuko poa

    • @stuartkudeba
      @stuartkudeba Год назад

      ruclips.net/video/Du0Owr8Pebw/видео.html

  • @earlyabxhir6253
    @earlyabxhir6253 Год назад +1

    Msichana anaeza hitaji moyo na kitandani Bado akahitaji kichwa

  • @omarysaidi3467
    @omarysaidi3467 Год назад +1

    Bredher hiingoma Kali sana naiangalia zaidi yamala kumi nasichok

  • @bugleboy-eh7cw
    @bugleboy-eh7cw Год назад +14

    Let's agree lody is on another level this guy daaa

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Год назад +14

    Number one hipop artist in TZ

  • @ms_mollel5413
    @ms_mollel5413 Год назад +1

    Who else hears Marioo kwe hii sauti?
    Stamina never disappoint, 🔥

  • @GhyslaineNdayishimiye-gm7gj
    @GhyslaineNdayishimiye-gm7gj 2 месяца назад

    From burundi, kweli mapenzi hayana maana Bora huwe single😢 🙏🙏

  • @boysondeniclous614
    @boysondeniclous614 Год назад +71

    After listening to the song, I noticed the chemistry formed here is 🔥🔥🔥. Mmeua Sana wazee, nimejifunza mapenzi hayana maana

  • @TheAcidRay
    @TheAcidRay Год назад +14

    Stamina always understand the assignment ✍️

  • @josephshidukiseni8758
    @josephshidukiseni8758 Год назад +1

    Daaah mwanang staminaa unaupigaa mwingii kakaaaaa 🤣🤣🤣 mapenz konyo mnooo

  • @justblackcode
    @justblackcode Год назад

    Wimbo una ujumbe tosha, ila kumfananisha mwananke na mchongo, sijapenda 🇰🇪💔

  • @reubenmathias7695
    @reubenmathias7695 Год назад +21

    You made it clear my boys, let's show love on this one

  • @macwasele675
    @macwasele675 Год назад +14

    L'intouchable au rap swahili Stamina big up broo !!! Asante kwa uandishi full maneno 🇨🇩💪💪💪

  • @ushindijonh5450
    @ushindijonh5450 Год назад +2

    Dah 💪💪💪ngoma kali kama hii 🤔🤔🎙️🎙️

  • @NaitwaChongx
    @NaitwaChongx Год назад +2

    Kaka nyimbo kaliii Ila Ungejitahidi kuweka connection na part2 Kaka 📌📌📌📌

  • @robertsituma4422
    @robertsituma4422 Год назад +24

    Oh my goodness this is so dope 🔥🔥🔥

  • @alkkoparadis6932
    @alkkoparadis6932 Год назад +10

    Le morceau est vraiment significatif surtout le couplet de stamina c'est waouh! J'aime aussi le refrain c'est mélancolique . depuis DR Congo Kinshasa, boza makisi fort💪💪💪👏

  • @peninalwenge744
    @peninalwenge744 Год назад +1

    stamina unajua brother siyo Siri big up

  • @edwinwafula5541
    @edwinwafula5541 Год назад +1

    Star mi naamnia. Stamina uko juu kama kamba ya kujinyonga

  • @deoacidri6641
    @deoacidri6641 Год назад +11

    Serious and trending art piece from my super 🌟 🇺🇬🇺🇬 staminizing!!

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 Год назад +19

    Stamina to the world 🔥🙌

  • @omarysaidi3467
    @omarysaidi3467 Год назад +1

    Fundiiiiiiii stamina sholobwez

  • @MicGower
    @MicGower Год назад +1

    Uwaandishi wa chorus ni wa marioo.. i cant tell the different

  • @lidancerchris
    @lidancerchris Год назад +18

    STAMINA⛽🔥🚬

  • @ramsonmsabato139
    @ramsonmsabato139 Год назад +13

    Stamina never disappoint 🇰🇪

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 7 месяцев назад +2

    For really this guy is very talented and is always right for his songs big up bro may the lord protect you man

  • @OfficialeugennyPro6130
    @OfficialeugennyPro6130 Год назад +1

    Stamina Umeamua kweli kaka nakupenda Sana❤

  • @ferdinandemmanuel4167
    @ferdinandemmanuel4167 Год назад +19

    All the way to part 100 🔥 burn it up sholobweeeeeeeeeeeeeeeeeenz 🔥

  • @DawayStar
    @DawayStar Год назад +27

    Lody nailed it, stamina did it like always 🏆

  • @omaryhossen3439
    @omaryhossen3439 Год назад +2

    Oya ujawai kufer broo nakukubar kinyama🙏🙏🙏 kwenye hip hop wewe🔥🔥🔥🔥

  • @kaijagegod2618
    @kaijagegod2618 Год назад +1

    Like kwa stamina 🙌🏽🙌🏽

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 Год назад +5

    Stamina respect brother 🔥🔥

  • @paulmanyi
    @paulmanyi Год назад +20

    When vocals meet with message. Dope. This is not only music, its a lesson.

  • @jameskikoti2940
    @jameskikoti2940 Год назад +1

    Tatizo stamina bwana mapenzi bado yanakutesaa Sanaa tangu uachwe na mkeo unatuaminisha mapenzi mabaya

    • @ashagichero3067
      @ashagichero3067 3 месяца назад

      Hatulii anacheza ligi kuu adi ndondo😂😂😂

  • @swalehhemed3806
    @swalehhemed3806 5 дней назад

    Kuhusu mapenz na pesa na aviingilin😂😂😂😂❤

  • @jimlawson7198
    @jimlawson7198 Год назад +4

    Am a Nigerian but to be honest I love the rhythm of the song so cool and lovely

  • @officialtinboy_tz8803
    @officialtinboy_tz8803 Год назад +8

    Wale tuliogundua hayana maana like hapa

  • @dastanijohnfupe1025
    @dastanijohnfupe1025 Год назад

    Hey fans stamina kweli kaumizwa ajengeww sanamu lake liwekwe pale karume

  • @leonardodeogratiasfrancisc2083

    Nakubar ❤️🔥💪wa moçambique gonga like

  • @ClaudeJoseph_ke
    @ClaudeJoseph_ke Год назад +3

    Nakukubali kamanda 💪👊

  • @hamadomar9553
    @hamadomar9553 Год назад +10

    When we talk about the music..this is the real music..no nudity..just clean music...

  • @alphoncemasanja9522
    @alphoncemasanja9522 Год назад

    ✌️Mama yangu aliniambia mtu aliyeondoka kwa hasira atarudi tena lakini aliyeondoka kwa tabasamu huyo hatorudi tena

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 Год назад +1

    Stamina kaamua kufanya mziki this year

  • @abdulnaseer8017
    @abdulnaseer8017 Год назад +5

    Stamina is still very hurt I can tell it in his word’s, pole sana dawg

  • @benmtatemusic
    @benmtatemusic Год назад +4

    Creativity Iko juu brothermen, twende hadi part 10

  • @TheflywingsEntertainment
    @TheflywingsEntertainment Год назад

    Unalewa Nini Wakati mwenzako Amekukataa Unampendaga mwingine nayo mwingine Sha penda mwingine usijiumizee lody music ft Stamina nice song more love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🥰🥰🥰

  • @mrpvx6221
    @mrpvx6221 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥 oteya mbali

  • @SamuelBlueMedia
    @SamuelBlueMedia Год назад +10

    I am enjoying this series waiting for part4 🙏

  • @gent.adv257
    @gent.adv257 Год назад +9

    Stamina is the best rapper in TZ 🔥🔥 this guy has words

  • @nasriabdoul8913
    @nasriabdoul8913 Год назад +1

    Imeni tuch Sana bro. Niko kwa wakati mgumu Sana big up

  • @barakaephraim5481
    @barakaephraim5481 Год назад +1

    Nakubari bhoi wewe ni mkubwa mnoo

  • @gun60jgt40
    @gun60jgt40 Год назад +5

    You done much good,, Stamina you are the rapper of 🌏 big up lody music u deserve congratulations

  • @allyachia5258
    @allyachia5258 Год назад +7

    Stamina always the best

  • @rick305
    @rick305 Год назад

    "Unaweza kuta mshauri wa ndoa naye alipewaga talaka "daaah nipe glass kubwa🍻🍻🍻🍻

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 Год назад +1

    🙌🙌🔥🔥🇦🇺🇦🇺🇦🇺nyimbo ime Nigusa sanaaa Kama na imbiwa Mimi 🙌🙌🙏🇦🇺🔥 Kama ime kugusa na wewe like 👍