Stamina Shorwebwenzi Feat Bushoke - Machozi (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- #Stamina #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/stamina...
Written & Performed by Stamina
Video Directed by
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Sasa nyimbo ndohizi achana na za vibuno vibuno hizi ndohuwa Zina elimisha jamii congratulations mdgowangu sitamin🎉🎉
😂😂😂😂
TULIO RUDI KUUSIKILIZA TENA KISA ROMA NAOMBA LIKE TWENDE PAMOJA
Mimi huyo
Mm huyu
😅😅
😂😂😂😂 Roma noma
Kumbe tupo weng
bushoke my best rap tz stamina weye na kwamini sana best best
vip mtamu eeeh,, kanona eeh, ukitaka nikuachie uone Jin's navo umia,,, nipeni like wapwq
Salamu mimi natokeya Congo naomba like côté yangu
Mwamba umeupiga mwingi ama kweli www nikidume mungu akubariki
.....Kukuita Malaya sitoweza, umenizalia watoto Ila heshima unaipoteza..... Punch line Kali Sana sijui kwanini machozi yananitoka . This song will only hit hard all those who are married and especially those who go through tough times in their marriages. Kama umekubali point yangu gonga like moja 👇👇👇👇
Hii comment iko deep asee watu wanayopitia utataman kuwaangamiza wanawake wote FUCK THEM😏😏😏😏
Stamina na kukubali mustari yako inakamata yako nikipaji njo.
@@signedfirmware8554
And them hard some women were born evil na ukifata story Kama hizi Bora MTU kuishi bachelor
@@ngudjimanyanza
Huyu dogo Ni hatari
ruclips.net/video/XbtL3A2ny7A/видео.html
stamina kaka we noma kabisa kwenye aya mambo ongera brother
Noma sana
Nakubali mia kwa mia, kazi nzuri, ujumbe mtamu...
Dah Stamina Naaminia Sana Kaka,,Yani Vina,Mizani Kila Kitu Umebalance..Hiphop Juu Sana
Wimbo huu una maudhui sana ni funzo kwa jamii hasa kwa wanandoa wanaume wanaumia sana wanapambana huku Kuna mtu anachinjaaaa
Just wooooow!!!! Bro you're a gem...big up stamina.. Kenya tunakukubali kishenziii❤❤
Uyu ndo natambua tz rapper mkali .stamina love 💕 from Kenya
Hii nyimbo huwez isikiliza mara moja
Bushoke, the best male vocalist in Africa love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama umerudia mara kadhaa kuangalia hii nyimbo kama Mimi naomba like zangu
ruclips.net/video/Gt1ADQ92_lk/видео.html
Kaliii
Umeniona au
Kweli jamaa anatisha kwakweli mungu amlinde jaman daah!
Stamina mkali bhana sio mchezo ni moto wa kuotea mbali hajawahi kosea jamaa big up sn.
Zambia lets gather here to support Tanzania music 🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿
Lusaka Zambia all the way
❤
Huu wimbo safi
Ebwanaeee Hii ngoma kali sana Hakuna wa kubisha. Saluute Sana Stamina ft Bushoke. tishhhaaa sanaaaa
Msapot Rivh Mavoko, alifanya tukujue. Good job bro
Kaka stamina mungu akulinde milele kweli wewe nikiboko❤❤
Eeh bwana eeeh bushoke kwel legendary big up ......😎😎
2achen masiala huyu brother anaweza sana tena zaidi ya sana✌✌✌ kama unamkubar kama mimi ninavomkubar shusha like ❤
🎉
Easy
Anatisha Sana stamina
Waliosikiliza wimbo huu more than 5times gonga like
Nimebaini kwamba watu wengi tunamuelewa huyu jamaa, hasa wengi wao you wameguswa na huu wimbo ndio maana unauona hata namba moja on trending 🤝🤝💪💪💪
Bushoke is back with his soothing tone.
Stamina is such an amazing storyteller, a great, sensible, touching and teaching story with a greatly awesome chorus from a legend himself Bushoke.
The dude can write
Anaimbaka ukweli stamina
Nimeikubali hiyo
Nakubali sana
From Kenya...manze this guy is very talented waa...nimeskiza Ngoma zake back to back ni motooooo
Jmniiiiiiiiii nyimbo ni nzur mnooo woteee wakal daaah nilimiss bushoke ❤️😍😍
Hiki Kibao Kimewezaaaa Sanaa
All the way from EMBU KENYA 🇰🇪 On behalf of my blessed Clan " RWAMBA " I officially approve this great tune 🔥🔥🔥🔥🇰🇪💯❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I second 😂😂.....stamina💥💥
Stamina shikamoo brother . Daaah hiii Ngoma ndio Ngoma bora ya 2023 . 💪
Jamani jamani like zenu wote mlio toa machozi juu ya hiii ngoma
Stamina is a goat in storytelling, he talks bout the current society issues.
Infidelity in marriage is something we don't talk bout widely.💯
Yap people especially women has been trying to justify once they miss best sex in their marriages the must find it some place else regardless of the fact that sex is such a tiny thing out of many in the marriage institution.
He is talking of his own wife ..true story
@@fahadfaraj6474 à
Brother take a crate if beer wherever you are stamina is gonna pay
dogo wa diamond akiimba zuena
ruclips.net/user/shortsHqpODxDuCzE?feature=share
Ujawahi kuniangusha mjomba
My favorite song,,from 🇺🇲🙏🙏
Wueeeh noma sana😂😂
Shairi muraaaaa ,, hapa nagonga laiki ZAIDI YA MILIONI siti hivi,
Rostam, wewe nani, kama si bingwa wa Maneno.
Sema shorobwenzii tangia azinguane na yule mwanamke wake amekua anatoa vitu vikali kuhusu mahusino balaa 😂🔥🔥
😅😅😅😅😅😅 broo we bang ww
Stamina kiboko 😂
😁😁😁😁
Kabsa yaan
🔥🔥💪
stamina we mkali brooh
This is what we call talent manze,,like za Kenya hapa
Stamina. Huku Kenya nakutambua Kali hiii...Underated supestar of the 21st Century. Wale tumeteswa na wake wetu achilia like tukisonga ndio tukumbuke siku zingine💌
Wamemchokoza Mmbeya...moto kama kawa Stamina
Bushoke is vibe,Stamina is on fire!!
Nice blood i trust your worrior 😢😢😢new generation version
Kasauti ka bushoke kameniasha usingizini noma sana
Daah nimekuwa wa 50 sjui kama ndapata like ata moja😳😳
Nakukubali stamina
🇹🇿🔥🇹🇿✋🔥🔥
Jamani nyimbo huu umenigiza sana dah kali hii ,this is pure talent 🔥🔥 ivo mnipe likes za REMIX na khalighraph jones .ifanyike ivi karibuni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪i gut love for TZ
Hapo Bushoke ndio ame ua kabisa
Stamina we mkali sana. Msanii bora wa hiphop Afrika love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Pongezi kubwa Stamina 💯
Huyu jamaa ni saidi ya Paulo wa wagarathia miungu wakulinde stamina nakupenda sana mwana
This is a favorite melodies release dopamine, known as the feel-good hormone, which activates our brain's pleasure and reward system.
That beat is out of the world
I really like the melody
Without music, life would be a mistake.
Legendary Storytelling of real issues in today's world.
Staminah I pray for you brother, may God be with you all the days of your life, give you peace 🕊️ & happiness.
Sending love❤ to you all the way from Kenya🇰🇪
Wanaume wanao lala na wake zetu hiyo ndo dawa yao nao tunalala nao🔥🔥🔥
Ifike mahala Stamina Kwa ujengewe sanamu lako. You're a such a good musician with amazing stories.👏
Legend never die, Sanaa Bora kabisa, "Mimi Ni mmewe wa ndoa sio mchati"😎
Unaanzaje kulala na mke wa mtu Commander, daah.big up bro staminah
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 we consider STAMINA as a LEGEND #ROSTAM
Le seul Artiste de la Tanzanie qui m'inspire par ses œuvres.
c'est vraiment quelque chose que moi même j'ai vécu.
il m'arrive de fois que je pense que cet Artiste connaît ma vie.
toute cette histoire relatée dans cette belle et bonne mélodie pleine d'angoisse pour nous qui l'avons vécue ...
est purement la mienne
vraiment
@@agoiharry4739
tu en fais partis aussi
Shukurani mwamba mungu akusaidie mm sijaoa ila imeniuma sana kwako mpendwa tuko na ww pamoja
Daaaaaa!!!!!!!
More talented 💪 guy
@stamina #moro town⏮️⏸️⏭️ machozi❤️😭😭😭
Stamina ni mkari hakika Tupa michongo mtaani
Hip-hop ndo kioo cha jamii,mwakilishi wa jamii....Shkurani Stamina 👊
kama unamkubali stamina piga like apa
🔥🔥🔥💯💯✌ but ruclips.net/video/hiJ_IKhpkCw/видео.html
👆👆👆Gusa hayo maandishi blue👆👆👆👆👆
kumbuka Sapoti yako ni muhim sana
Acha ufala ningefikaje apa bila kumkubali fala wewe
ruclips.net/video/Gt1ADQ92_lk/видео.html
Mwamba hatari
Ila wabongo sisi daaaah sasa Like yann
Napenda stamina sana❤❤❤
Mwamba wimbo wako nisha usikiliza mara5 Ham haijaisha Big up
Stamina speaks on my behalf banaaa nasikizishia hii ngoma kwa dem wangu na tumeachana😢😢😢
The message is great...this is something people don't talk about... infedility by women and men are forced to keep quiet 💔 ....the G.O.A.T storyteller
Oeeeeeeeeh Stamina Much more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ni kuuubwaaa
Wow no comment about it this dope bro good job 👏 🎉🎉🎉🎉🎉
Any Kenyan 🇰🇪 to show love to staminas music it's hot n clear machozi
Moto saana
Pole sana ndugu yetu kwa kuingia kwenye uchokonozi
Wow! Best song of 2023 so far, much respect from 🇨🇩
For this dude I hit the like before listening. Is a real goat🐐💯
Zambia 🇿🇲 on board
Broo stamina hiyo ngoma ya smj imenihuzunisha sana mpaka na umia mimi
Bushoke's vocals 🔥 🔥
Mr Boniventure naye huwa juu siku zote 🙌🙌
Hakuna mwingine kama stamina....kama unamtmbua gonga like🎉🎉🎉
Welcome back Mr Bushoke tumekumis sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪 I can't stop listening to staminas music so educative n related to what's happening in society present
Chuma ya kwendaa sna stamina hakosei kwenye goma kama hiz nakubali gonga like 👍👌 tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunajivunia 💙💙💙💙☎️☎️☎️☎️
Alokuambie ww mistari Yako ya kitoto 🥱👋mm nasema ivi ww unajua tn mpak unakera ✌️
Some quality content over hear the only legit artist in the I can never stop listening to hongera MKUU umepagusa Nana nahisi machozi Ashanti Sana mungu akuzidishie miaka ndiposa utuelimishe baba....much love from 254
Kama still unaskiliza hii NGOMA 2025 gonga like here
Kaka we unaweza nakukubalii sana
Namkubali sana stamina anaongelea mambo yanayofanyika kila siku kwa society big up stamina na bushoke✌️💪
In life, we should learn three things before learning those things, we should look at those around us for their actions
Kweli 🙌 Stamina nakubali tn Brother tn unatisha
The Legend much respect Stamina love you from 🇷🇼
Do you understand swahili??.
U kill it shorobwenzi✊✊
Stamina nakukubal sana,sema unafumbafumbs2,tumbua
I feel this message....infidelity totally breaks a man's emotions and replaces all his love with hate
Bro you kill it, never disappoint , big up bro, always the best hip hop, love you so much ❤️❤️❤️👍👍🙏🙏💯💯💯
ruclips.net/video/hiJ_IKhpkCw/видео.html
👆👆👆Gusa hayo maandishi blue👆👆👆👆👆
kumbuka Sapoti yako ni muhim sana
Kumbe bado wapi wasanii wanaoweza toa ujumbe mkali🙌🙌🙌
Another Banger Big Up Stamina this one hits different.
A story reflecting the current times we live in, in a one touchy song. This one is educative let them know.
Video ilifaa iishe bibi akichukua virago vyake, sio kumpiga mwanaume mwenzio, #Kenya
In behalf 🇿🇼 we endorse this master piece
Unsung hero in Stamina....a giant in true stories making - So touching bro!