Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +441

    “MATHAYO 6”
    Kuhusu kuwasaidia maskini
    1“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.
    2“Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao. 3Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. 4Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza

  • @davidgozibert3133
    @davidgozibert3133 Год назад +13

    Aliyeirudia hii ngoma x3 like zenu hapa

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @hagaimtagwa1934
    @hagaimtagwa1934 Год назад +204

    Kama nawewe ni shabiki wa huyu mwamba wa nyasubi gonga like hapa 👊👊👊

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Год назад +1

      Tupo Wengi Mashabiki Zake

    • @absolomoanda8655
      @absolomoanda8655 Год назад

      o e and am almost back darling l and m na but it 333333333

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +26

    ASANTE SANA WATU WA MUNGU ENDELEENI KU SHARE LINK KWA WENGINE #JUALILE

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +2

    “OYA ZA SIKU NYINGI…MAMBO VIPI?? HUONEKANI MZEE WANGU AU MAJUKUM YA KINCHI???” #jualile

  • @pretty-animals254
    @pretty-animals254 Год назад +6

    Mwanzoni mwamba kamwambia "subiri kwanza ujipange", mjomba kajipanga hapa madini tupu.

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Год назад +90

    Stamina never disappoint 😅 jamaa kachukua nafasi ya ROMA....Much love from 🇧🇭🇧🇭🇧🇭

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +4

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

    • @abiltv2453
      @abiltv2453 Год назад +6

      Stamina mwalimu wa hipohop bongo😅😅

    • @MbataNgonkola-sl8lv
      @MbataNgonkola-sl8lv 10 месяцев назад +1

      Wanamfuata Othman Bay

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 Год назад +3

    Asee wakuu stamina mnamchukuliajee asee emu nione izo comment zake kwa apa ivii

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @lilsisqoofficial8016
    @lilsisqoofficial8016 Год назад +10

    Sina neno ila ni Mungu awalinde na azidi kuwapa busara mzidi kutueliminisha Stamina Nacha🫡🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +2

    “HIVI ILE MIRABAHA WASANII WANAPATA KWELI???” #jualile

  • @barakathomas2213
    @barakathomas2213 Год назад +7

    Bonge la song nawakubali sana

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Год назад +3

    Mungu yupo na wewe Kaka usijali🤩🤩🤩

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @samirrymichealpollah1767
    @samirrymichealpollah1767 Год назад +6

    Kama umeirudia ngomahii zaidi yamara1 gonga like tujuane hapa2023

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Thanks 🙏 PLEASE WATCH & SHARE “JUA LILE”

  • @kyliepaul6286
    @kyliepaul6286 Год назад +6

    Watu wamesoma journalism alaf kaz wanapewa chawa, gonga like kama umeipenda

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +1

    “Ewaaaaaaaah” #jualile

  • @thengejunior8180
    @thengejunior8180 Год назад +2

    Yani napenda kitu kwa stamina mistari yenye ukweli alafu video simple 💯💯💯💪💪💪

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +6

    KESHO SAA TATU KAMILI ASUBUHI….MWAMBIE MWENZIO AMWAMBIE MWENZIE…USISAHAU SHARE THE LINK ✍️📝📝🧠🎹

  • @derrickoyonjo
    @derrickoyonjo Год назад +46

    🇰🇪🇰🇪 I approve this on behalf of all Kenyans, Tanzania kuna Talanta tupu!

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

    • @okochadan6278
      @okochadan6278 Год назад +1

      Hapa nakubali pia kutoka Kenya. Ukitaka mziki uloenda shule sikiza Nacha, Stamina, Roma na Nei

    • @ismailbeka4673
      @ismailbeka4673 Год назад

      Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya

    • @ismailbeka4673
      @ismailbeka4673 Год назад

      Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya

    • @ismailbeka4673
      @ismailbeka4673 Год назад

      Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya

  • @pascalmsinga35
    @pascalmsinga35 Год назад +39

    Kazi nzuri! Hii combination haijawai kukosea 🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile

    • @SAADESAID-wc3bw
      @SAADESAID-wc3bw Год назад +1

      Hilo nikweli brooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @SAADESAID-wc3bw
      @SAADESAID-wc3bw Год назад

      Sisi yanyone tunafeli sijui Kwan ni

  • @kazmillyjuma1432
    @kazmillyjuma1432 Год назад +2

    yamoto sanaaa💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @Itsvjill
    @Itsvjill Год назад +49

    Stamina is not pregnant but always delivers,
    Punchlines,bars and wittyness.
    🇰🇪 in the house pitia hapa.

  • @petromafurumarindi6153
    @petromafurumarindi6153 Год назад +4

    Mwanangu,pongezi Sana Mimi mwanako kabisa ni mwanza mwanza nipe tu like yako Kaka mkubwa

  • @pendofrank3650
    @pendofrank3650 Год назад +3

    Yes well done wajuba mmetisha like,comment,ziendelee

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @Twins_army_music
    @Twins_army_music Год назад +10

    Hatari sana niweka like pale NACHA kaingia 2.6k like zangu naombeniiiiiiii like hixo😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @paulpama7305
    @paulpama7305 Год назад +7

    Maginius wamekutana..,
    Walioirudia Mara kumi kumi Kama Mimi tujuane kweny like...,

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @joyceyustus3215
    @joyceyustus3215 Год назад +1

    Nakusaport sana brother😘😘😘😘😘😘

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 Год назад +3

    Gonga like kama upo Jiji la mandishi ma3 (DSM) na umetoka kahama tujuane Kwa like

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 Год назад +5

    Kama umeangalia mara mbili ngoma hiii like hapa

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @Rhymsta254
    @Rhymsta254 Год назад +3

    @stamina shorwebwenzi, you're my favorite artist mkuu truck imeua🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 Год назад +2

    Umetisha sana

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”

  • @kayadolf5817
    @kayadolf5817 Год назад +1

    Ati kina diamond na jeshi😂,wabongo mna mchezo sana cheki hili combination braza, much love from kenya

  • @issakhan260
    @issakhan260 Год назад +22

    Imetufikia kitaani na tutaipokea kwa ❤❤❤❤🔥🔥🔥💪💪💪

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @djkingdee2544
    @djkingdee2544 Год назад +50

    To everyone reading this comment, sometimes it feels like you should give up and quit but, don't stop hustling, keep pushing and trust the process, believe you will actually make it to the top someday. Stopping is never an option.
    Stay blessed, strong and focused 🙏🙏🙏

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Pleaae Watch & Share “JUA LILE”

    • @koppagekon
      @koppagekon Год назад

      ruclips.net/video/6yYXHj4cYaw/видео.html

  • @Behindsomeone
    @Behindsomeone Год назад +10

    Nacha hapewi heshima anayostahili ni pure talent🙌🙌🙌

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

    • @galdersniper2701
      @galdersniper2701 Год назад +1

      Time kaka

    • @soundmale
      @soundmale Год назад

      Kizuri wengi huwa wanakichukulia powa lkn nacha ni muhenga mashairi yake yapo vzr Sana.

  • @elickjohn5824
    @elickjohn5824 Год назад +1

    Wewe nachaaa wewe ni nyokoo yani kichwa chako sio 🐾 pw

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 Год назад +1

    Oyaaa dereva hii gari si ina mziki weka amapiano tukichafue kwenye seat😁😁😁#STONER#SIDE KILAMA

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @toshthebarber
    @toshthebarber Год назад +4

    Namkubali sana nacha,, from Kenya 🇰🇪

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 Год назад +4

    Stamina umezingua hapo kwa mama yako kuupiga mwingi. R.I.P JPM.

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @C.h.a.m.a.x
    @C.h.a.m.a.x Год назад +5

    Daah konda umekalia siti af abilia kasimama😂😂🔥 nakubal Sanaa #Nacha🔥🔥🔥🔥

  • @issamwibelecha9495
    @issamwibelecha9495 Год назад +1

    Nyasubi ✅️✅️✅️ shorwebwenz

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 Год назад +1

    Mziki mzuri utadumu milele wamemchokoza bear

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @ayembacettie8415
    @ayembacettie8415 Год назад +15

    Best Collabo 2023.Hongera Nacha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +4

    “SIO NDUGU ILA KIMTINDO WANAFANANA MANA WOTE WANAKATA UTASEMA WANASHINDANA” #JuaLile

  • @Mon-Mastori_15
    @Mon-Mastori_15 Год назад +11

    Kazi nzuri nacha umetisha sana Sasa mashabiki tu nahitaji upige colabo na Mr. Blue kama mnaungana na mm share na comments na Likes ap

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +2

      Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @ramadhaninangundu
    @ramadhaninangundu Год назад +2

    Ngoma iko poa sana 🔥🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 Год назад +1

    NA WALA SISHANGAI...FEATURING STAMINA🇰🇪🇰🇪🤗🤗🤗

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @marianamarya1471
    @marianamarya1471 Год назад +5

    🇰🇪🇰🇪 nawakishaaa vibaya sana,my love for stamina 😊😊😊😊😊

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 Год назад +3

    Nacha haujawahi kufeli bro✊

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @TaiWaTzTV
    @TaiWaTzTV Год назад +3

    Nawakubali sana. Namkubali Nacha, Stamina na Tgun Tozzy💪💪💪💪
    "Hawamchokozi tena"

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @salimomari150
    @salimomari150 Год назад +1

    Jamaa inastahili tuzo.... Kweli kbs

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @hezbornmwakera7629
    @hezbornmwakera7629 Год назад +1

    Nawakubali macamanda wanguu hamjawahi niangushaa,Hezborn kutoka 254 Nairobi kenya💪🏿💪🏿

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @Imahmichambo
    @Imahmichambo Год назад +6

    Simple and clear nawakubali Sana like twende pamoja 🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @duamawazo9088
    @duamawazo9088 Год назад +4

    Naisubri nikiwa Tandahimba 👍

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @baysadam235
    @baysadam235 Год назад +11

    From Moz🇲🇿🇲🇿 chuma kimoja cha nguvu, nazikubari sanaa kazi zakoo bro Nyassubi

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile

  • @mtaniihonde228
    @mtaniihonde228 Год назад +1

    Nawakubali nataman na Roma angekuwepo hiyo ngoma all in all mmetisha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @amosmapalalajuma-sv6gy
    @amosmapalalajuma-sv6gy Год назад +3

    Ñyasubi ndan ya mbanyu on air 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @eliudimfilima8064
    @eliudimfilima8064 Год назад +3

    Muzuki mzuri bongo auna nafasi ila maisha yasasa utandrenditu tunaenda namba moja💣💣

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @miltonkenga1497
    @miltonkenga1497 Год назад +3

    Muziki uliokomaa big up big brothers🙏🙏

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @ahmadiimilongera7660
    @ahmadiimilongera7660 Год назад +2

    Noma nomaaaa am happy to see u

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @vicentserre-pl1nn
    @vicentserre-pl1nn Год назад +1

    Ngoma Kali sana daah, hongereni wakuu

  • @GidionSylivester
    @GidionSylivester Год назад +4

    Nacha na stamina ni mafundi wa uhakika wenye ubunifu na usanifu kwenye kazi yao....kazi safi miamba wa nguvu🔥🔥🔥🔥🔥👍👍❤️

  • @monvester6993
    @monvester6993 Год назад +6

    Nilowish siku moja hii colab itafika mbali hongera sana nacha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @shaksboy3568
    @shaksboy3568 Год назад +2

    Noma Sanaa🙌🙌

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @simonpetro3896
    @simonpetro3896 Год назад +1

    Dah ! Napenda nyimbo za hivi sio Zile za majungu na mapenzi

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”

    • @ClaudeTuyikeze-pg7iy
      @ClaudeTuyikeze-pg7iy 9 месяцев назад

      Vip mzim kaka Namibie wapendeza San nawakubali nipo bulund

  • @kelvinabed8420
    @kelvinabed8420 Год назад +3

    Nilishagaa tunzo ya eshima kupewa aliezigomea, daah noma sana🔥🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +3

    “NILISHANGAA TUZO YA HESHIMA KUPEWA ALIEZIGOMEA” #jualile

  • @b3falampendwa758
    @b3falampendwa758 Год назад +10

    Mmmmmhuh... This is what we missed when Roma Mkatoliki travelled to U.S.A,keep it on guys.Form a 'NaStam'

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @sautiyangu1
    @sautiyangu1 Год назад +2

    Ngoma kali aisee ubunifu wa kutosha oi #kimodomsafi

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +1

    “SIO NDUGU ILA KIMTINDO WANAFANANA,,MANA WOTE WANAKATA UTASEMA WANASHINDANA” #jualile

  • @kimodomsafitz
    @kimodomsafitz Год назад +3

    Yule Mfalme wa nyasubi Nacha ousam.... Muziki mzuri unaongea. Congratulations Nacha ft Stamina 👤💥💥💥💥💥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”

  • @chris-g-kenya7257
    @chris-g-kenya7257 Год назад +4

    Mziki mzuri sana huu.🔥🔥moto sana. too much love from 001 mombasa

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Год назад +3

    Ngoma iko juuuu.!!🇰🇪🇰🇪

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @souljaboy8762
    @souljaboy8762 Год назад +1

    Kazi nzuri sana mkubwa wangu yaani hit juu ya nyingine ...
    254 ndio nyumbani......

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE” #jualile

  • @raphaeltengesi6344
    @raphaeltengesi6344 Год назад +20

    Nacha and stamina are such creative people
    Ningekua nagawa tuzo kila tuzo anapata roma ,stamina na nacha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +3

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

    • @mussamanyehe3918
      @mussamanyehe3918 Год назад

      Unajua sana mkali

  • @Ramjane_OG
    @Ramjane_OG Год назад +6

    Another hit 🔥🔥 umeuwa nacha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @ismailel-mazrui6983
    @ismailel-mazrui6983 Год назад +2

    Nani aniikibal hii ngoma gonga like

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @theresiamsimba3048
    @theresiamsimba3048 Год назад +1

    Nyasubi ndan ya mbanyu# hongera brooo

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu

  • @Mukomariboy
    @Mukomariboy Год назад +1

    Napenda hiphop Sana asante stamina kunifanya nkapenda hipop ya tz Kenya we love you

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +1

      Please Watch & Share “JUA LILE”

    • @Mukomariboy
      @Mukomariboy Год назад

      @@Nacha_ousam fresh mwamba

  • @joshuason557
    @joshuason557 Год назад +4

    From this one feel like nikukutane tubonge mawili matatu bro like yo not just a musician but story teller ,,when I come dar lazima I meet u ✌️🇺🇬🙏

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

    • @joshuason557
      @joshuason557 Год назад

      @@Nacha_ousam niisha watch na kusambaza , na ni Ile Ile addicted braza na music yenu Baba ,Asanti Sana nawomba nikifika dar niwakutane ntafulahi muno ✌️from 🇺🇬

  • @njihiayoung5
    @njihiayoung5 Год назад +7

    Kenya +254 we approve it's a hit 👑👑🥂🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @shinskeymwamba8058
    @shinskeymwamba8058 Год назад +7

    Thumbs up..ngoma kali sana🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu

  • @buja_fleva
    @buja_fleva Год назад +2

    Mmetisha saana ❤

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Pleaae Watch & Share “JUA LILE”

  • @donaldvanjoseph8153
    @donaldvanjoseph8153 Год назад +1

    aidia nzuri 🎧🎧

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @jeremiahkhanyaka8559
    @jeremiahkhanyaka8559 Год назад +3

    Anybody listening to this song may God bless you plus your Family 🙇‍♀️

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @kalumewakikuu
    @kalumewakikuu Год назад +7

    I just like the video, inaonyesha the real environment mwanachi yuko, we have to see what is really going on through showing off the real life na sio ku-fake. Stamina na Nacha is a great duo, 254 tunatii🔥🔥🔥💪

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +2

      Please Watch & Share The Link JUA LILE

    • @kalumewakikuu
      @kalumewakikuu Год назад

      @@Nacha_ousam sure thing brother 💪

  • @LivestreamingKenya
    @LivestreamingKenya Год назад +11

    Zero nudity, zero trash talking, zero abuses... clean lyrics... maswali na mistari inayoweka jamii kwenye jukwaa!

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад +2

      Please Watch & Share “JUA LILE”

    • @vailethkihiyo56
      @vailethkihiyo56 Год назад +1

      Mbona kibu katamkwa hapo anakosa Gani?

  • @MsuyaMsuyaJr
    @MsuyaMsuyaJr Год назад +1

    Hunaga Kazi Mbovu Mwwnangu,Bas Tu Bongo Nyoso Hujatoka Adi Leo....😃😃😄😜😜😜

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share “JUA LILE”

  • @amosileonardsegese7494
    @amosileonardsegese7494 Год назад +1

    Daah ngoma kali kweli sana ❤❤❤❤❤❤

  • @bakarifatherb4180
    @bakarifatherb4180 Год назад +8

    This song is dope, the lyrics are lit... Kuna hip hop, halafu kuna zaidi ya hip hop... Hili Goma ni zaidi ya hip hop, maana unaelimika unafurahika na kupata burudani maridhawa... Big up guys

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE” 🔥🔥🔥🔥

  • @hamismustafahalfansulaiman6620
    @hamismustafahalfansulaiman6620 Год назад +5

    Wamemchokoza... Shabiki kindakindaki Boy from Msumbiji 🇲🇿💪🔥🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile

  • @phabiandeshadowwizzy618
    @phabiandeshadowwizzy618 Год назад +3

    Tulioikubali hii ngoma tujuane gongaa like za kutosha

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @elphasochieng8615
    @elphasochieng8615 Год назад +2

    Imekubalika Elphas here from 254 ...Wapi like basii❤

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Thanks 🙏 PLEASE WATCH & SHARE “JUA LILE”

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 Год назад +2

    Nakubali mwanangu nacha hujawahi kutuangusha man
    Kali Sana ngoma mwana

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 Год назад +42

    What a beautiful song 🔥🔥🙌 let's support this guy

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Год назад +9

    Oyaa I'm so happy coz hip hop is back❤

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”

  • @Kinyengele
    @Kinyengele Год назад +4

    Stamina is the best hip hop singer in Tanzania of all time. His messages are perfect and reflect real life.

  • @Nacha_ousam
    @Nacha_ousam  Год назад +1

    “NDO TATIZO LENU WABONGO NDO MANA MZIKI WENU HAUKUI” #jualile

  • @abisaabisa3587
    @abisaabisa3587 Год назад +1

    Kazi safi saaaaaana..........!!!!!

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”

  • @equalizervocals
    @equalizervocals Год назад +37

    pure poetry and artistry🥶

  • @johnizoboy
    @johnizoboy Год назад +7

    Best Collabo of the Year🔥🔥🔥

    • @Nacha_ousam
      @Nacha_ousam  Год назад

      Please Watch & Share The Link “JUA LILE”