Hii ngoma blue kabla hajaitoa alikuwa teyari alishakata tamaa na mziki alikuwa kama kaacha vile mziki . Aliyekuwa mtangazaji wa clouds B Dozen alienda studio na ndio Akausikia huu wimbo akauchukua na kuupeleka Redioni bila ya blue mwenyewe kujua, na kidizaini kama blue mwenyewe wala hakuwa na imani nayo kama itakuwa hit . Baada ya Dozen kuupiga huu wimbo kwenye xxl the rest is history ulikuwa hit kila kona na ndio ilikuwa turning nyingine tena kwa blue kurudi kwenye mziki. Aliyasema hayo blue mwenyewe kwenye kipindi cha xxl clouds fm
One of my favourite rappers in Tanzania,blue continue living more years,8 years and the hit is still shaking like waves in the ocean,Pesa represents 2023🔥🔥🔥💥
dis song remainds me millions hours& days ago maze it was turf ,rough but i made it by God's grace...big song...sana....now im doing music too ,blue be blessed for inspiration me sana.
Hii goma wakati inatoka maisha kwangu yalikuwa magumu, kulala njaa kukiwa kawaida kwangu. Miaka kumi badae naicheza kwenye gari nakumwanga noti ka mtoto wa fisadi😂 Blu legend
big brother from another mom from rwanda blue u still the one all time i remember ze day of college when we dance from uuuuuuuu banjuka tu kuimba nakuceza
Nov 2019. Nilitembea kwa miguu kabla ya kuwa mr blue, hakuna sister duu wala braza duu aliyenijua, zaidi ya mvua na jua, na msoto ulionikuza nikakuwa,,,,, daaah.... Kula maji.. Love this banger.
everyday i have to listen to this song mr blue aka bysa aka babilon aka simba aka nyani zeee umemaliza hakuna mtu anaeza kataa hii ngoma na style na chemistry na rap na swag uko juu tu sana
Hii ni kazi ambayo unaweza kwenda bank ukawasikilizisha na ukachukulia mkopo amini nakuambia ni ngoma naielewa sana haitokaa kuchuja kila ukiisikia ndio kama mpya hivi
Whose here 2024 Ngoma yang pendwa iliyofanya hd saiz natumia pesa pesa tunamshukuru mungu🙏🙏🙏🙏
Kama pesa ilivo milele ND ng0ma hii itakuwa milele wale wa 2024 em g0nga like hapa 😊😊
Blue namukubali Sanaa nikia Bangladesh 🇧🇩 2024/3
Wangapi bado wanaamini hit bado iko hapa..piga like
Kabsaaaa
hil ni bonge la ngoma usiupime
okwiri joseph mimimimimimi
Nani anacheki hii in 2024 Tujuane kwa Likes asee
hii nyimbo haitakaa ichuje milele kama unaikubali gonga like twende sambamba kama msamba
Real
Hadi leo naisikiliza kinyama😆😆🔥🔥
Msamba huo vipi. Haija kaa sawa😅
Yeah
❤❤
Kama bado unacheki ngoma hii 2020 gonga like yako hapa🤐🤐
Kenya 🇰🇪🇰🇪 2030
2023 Bado Hii Nyimbo Ta Baiser Still Ni Hit Song. Much Love From Mombasa-Kenya 🇰🇪
Hii ngoma blue kabla hajaitoa alikuwa teyari alishakata tamaa na mziki alikuwa kama kaacha vile mziki . Aliyekuwa mtangazaji wa clouds B Dozen alienda studio na ndio Akausikia huu wimbo akauchukua na kuupeleka Redioni bila ya blue mwenyewe kujua, na kidizaini kama blue mwenyewe wala hakuwa na imani nayo kama itakuwa hit . Baada ya Dozen kuupiga huu wimbo kwenye xxl the rest is history ulikuwa hit kila kona na ndio ilikuwa turning nyingine tena kwa blue kurudi kwenye mziki.
Aliyasema hayo blue mwenyewe kwenye kipindi cha xxl clouds fm
Kwe🎉l hujakosea
Kama bado unaicheki hii ngoma paka leo 2019 gonga like hapa
Haichokwi ukisikia hit songs ndo kma hizi
Noma sana aisee
Wacha 2019.mimi naangalia 2020.
2021💪✔️
naicheki 2021 october
One of my favourite rappers in Tanzania,blue continue living more years,8 years and the hit is still shaking like waves in the ocean,Pesa represents 2023🔥🔥🔥💥
Rest in peace 🙏 my Mom. Nakupa salaam huku maisha kidogo matam nakula vitamu. Miss you mom
Ngoma kalihiyo
Ingeto kipindihiki ingekuwa 2019 vizuri zaidi like yako bas kamahunamkubali
dis song remainds me millions hours& days ago maze it was turf ,rough but i made it by God's grace...big song...sana....now im doing music too ,blue be blessed for inspiration me sana.
pesa mbonge la ngoma
napenda mstari ...mbongo kweli nyoso bongo balaa kijana usikate tamaa kaza jombaa
Bongo noma
Ngoma hii itadumu miaka na miaka. Ina ujumbe flanii hivi wakistar na kuhustle..
Blue hili ngoma alizima mji kabisaaa,,,, kheri Sameer
Ngoma kali hii na ntaipenda maisha yangu yote mpaka uzeeni
Yaani Blue, nnavyomkubali nashindwa kueleza, michano safi, video safi, still watching 2018,to 2020
Habarii unayoo lzm tusherrkee kwa kile kicho fanyik
A masterpiece, long live Mr Blue! Listening from 2004-2005 hadi leo!
Ngoma moja flani hiv ila nyie matajiri hayo ndio Maisha ya kuishi na ndugu zetu walemavu msiwatimulie vumbi👌
One of the most underrated songs ever. Tight hit this one.
Mr. Blu is one of my favorite Bongo artist.He has matured in the game.
Ngoma naipenda hii ni hatareee,Blue ni fire
Nilikua naupendaa huu wimbo nimeanza kuuskia nikiwa sina pesa , hivyi sasa nna pesa na nnatumia pesa
Gonga like hapa kama unaangalia 2020 R.I.P. MOM
Huu wimbo uwaburudishe wote waliopoteza mama zao kama mimi
Pamoja sn
@@nassormazea8742 pamoja
Hii ngoma mpaka siku ataambiwa hatutaki kukuona kwa stage mr blur ndo itaacha ku hit mark my words untouchable huyo
Nkipataga kahela ,nakunywa navaa earphone afu naplay hii ngoma
Hahaahaaa...tulitafuta tukazipata na tunatumia pesaa pesa pesaaaaaaaaaaa...
Like me
😂😂
Haha
😅😅😅
Kama umemwona chid Benz kwenye hii goma gonga like tujuane
Bizz babelon. Mwamba sana respect
Ngoma hii inakaa ya jana lazma igongwe kwenye Sherehe yangu ya 2030 mola akinijalia gonga like kama upo na mm2023
😂😂😂 Kila la Kheri!!!
Weka,,,,team B.O.B MICHARAZOOO,,,,Mambasa,,,,Sanaa 26 ndio...yani NDIOOO KUBWA,,,KAMA ASIUO,,, KUBWA....
I like Mr blue rap . I feel good. I have enjoyed watching this video. Each time find his song I must watch it. Zambia, 19/12/2018.
Lusaka Zambia my home town
mm naipenda coz bby wangu anampenda sna blue so n mm pia mpenda
Hii goma wakati inatoka maisha kwangu yalikuwa magumu, kulala njaa kukiwa kawaida kwangu. Miaka kumi badae naicheza kwenye gari nakumwanga noti ka mtoto wa fisadi😂 Blu legend
Blue aliua sana humu 🙌🔥
2022 And this song still on my favorite playlist☺️
🙌🙌
Even me
Kutoka Kigali Rwanda 🇷🇼 💯
People been sleeping on blue but he still the 🐐
No cap!
2024 nasikilizia ngoma tumia pesa ikuzohee
big brother from another mom from rwanda blue u still the one all time i remember ze day of college when we dance from uuuuuuuu banjuka tu kuimba nakuceza
Hii Nyimbo sizan km Kuna mtu anaipnda kulko Mimi
mie nakushinda baba naikubali sana hii ngoma kinyamwez balaa
john kitula hunishind mwanangu..nairudiaga siku nzima
john kitula mimi zaidi
Super Mr Blue
Ebhanee wagapi tunafunga mwaka wa 202O mwezi huu 12 ,tunasikiliza bongeeee la nyimbo% % TUMIA PESA IKUZOWEEE
twenty six namba fulan ivi amazing,,,,nani kamuona king kama mim
Pesa salute kwa rapa wa kisasa moja kati ya kazi nzuri sana kuwah kufanyika hasa kwenye tasnia ya Muzik Tanzania
Maaaaan you brought all Guys in the House Chidi Ali kiba and wanaume, much Love from Uganda🔥🔥🔥🔥
Kama bado unaisikiliza pesa 2020 gonga like 🏁
Nov 2019. Nilitembea kwa miguu kabla ya kuwa mr blue, hakuna sister duu wala braza duu aliyenijua, zaidi ya mvua na jua, na msoto ulionikuza nikakuwa,,,,, daaah.... Kula maji.. Love this banger.
2020 kama bado unaichek hii ngoma gonga like huku unaendelea tazama hii ngoma
everyday i have to listen to this song mr blue aka bysa aka babilon aka simba aka nyani zeee umemaliza hakuna mtu anaeza kataa hii ngoma na style na chemistry na rap na swag uko juu tu sana
Hatarii sana..
Hii trakii inaishi miaka na miaka
Dats ma best song from ma brodah bizzy babylon Ever,I real like it!!
Pamoja
Kali sana
Huu wimbo jamani naupendaaaaaaa❤❤❤
Mr Blue tulikukubali na bado tunakukubali.Kazi mufti kabisa!
Who still love this song .. 👍✨✨✨🎉😊👏😁👏😃🎉Congratulations!
Nestor Shentella me cant get enough of mr blu songs 😁😁😁
During my Youth's age... 2012... time flies
Thank you God the Almighty
Mr.Blue Blue!!!! kazi freshy mzito,kutoka Kenya nakupa salamu!
Hii ngoma haijawah chunja gonga like twende sawa
Hii ndio kalii zaidi ya Mr Blue hatariiiii
Sauti yako aipotei kwa sababu unamcha mungu big up bro more 😍
Nyimbo yangu bora kutoka kwa blue
Ni music mkaliiii kinomaaa nomaaa huwa unanifanya niiamini keshooo yangu
Zamani msanii akitoa ngoma lzma wasanii wenzake wengi waonekane 💚
Kweli
Daah blue salute sana hii ngoma daily naiangalia na kuskiliza inanitoa machoz sana 😭🇹🇿
Pole 😢
Nishatembea kwa Miguu kabla ya kuwa Mr Blue
Mbayaaaa Respekt from 254🎉
Kwenye Hali ya msoto maisha shida na njaa......I love that part👏👏👍. Kabayser 2022 much from +254 🇰🇪🇰🇪
Respect sn Mr blue umewapa moral vijana wengi kupambana,
Hatariiiiii sn hv vina, my best song of all, blue ni shigdaaaaa kwa vina!!!!
Bleu wewe ni zaidi ya wote ni seme tuh umeachiya watoto uwanja ❤❤❤
Ngoma kali sana big up Mr blue naikubali hii Ngoma mpaka kesho naikubali kinyama👏👏 hatariii sana....big..up
Mafans utitiri autograph wakiomba !
Ilikuwa kama ndoto Kuwa superstar
Bro vijana wana penda swagg zako👍💪💪👂👂
Kaa mbali wewee💯
Hii ni kazi ambayo unaweza kwenda bank ukawasikilizisha na ukachukulia mkopo amini nakuambia ni ngoma naielewa sana haitokaa kuchuja kila ukiisikia ndio kama mpya hivi
Pesa ...pesa...nkikupata nina hakika ntafika show ya mr blue
hii ndo hua mashine ss ingekua kipindii hii ss ingekua hatariiiii
Best hit.. since tbt.. ... nikwamba.. kula nyam nyamaza.. ni pesa💯💯
April 2019 bdo nachekii ngoma hii
Gonga like twende sawa
All the way from Instagram paka hapa mziki mtamu kweli
Nan aliproduce hii ngoma kmk bonge la hitsong💥
music mzuri byser nakukubali xana brother
This song inspires me to work hard
Namuona Chid Benz Benzinoooooooo❤❤❤❤
2023 nipo Bado naisikilza Ii nyimbo
Blue Byser nakukubali siku zote mwanangu...#KINGwaKUFLOW
Baser aka Babylon... consistency in the game and doing marvelous things.
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Nani akohapa 2025?
Bongo kweli nyoso bongo balaaaa hahahahahah killing me na ilo jua la bongo sasa na io nyoso ukiplas dah mahtuti mieee
Hii ni Track moja moto sana..haitaki pupa but inataka PESA PESA PESA
16.07.2021 - Swaggiste Versatyle was here. Shout out to them legends
Ngoma kubwa Sana kwa wapambanaji. Kitambo kile hakuna brother du wala sister du alietujua
Hii ngoma naikubali miaka 1000 ni ya 🔥🔥xan
Kama unaangalia ngoma hii mwaka 2021 gonga like
JUNE 25...NANI YUKO HAPA
2020 plus corona lkn still naskilz hii ngoma.... nkisikia bit lake uwiiiiiiii nasahau janga
Mzee Baba, Lejendii.📌
nshatembea Kwa miguu kabra yakua mr brue akuna sister duu wala brathar duu aloniju zaid jua mvua labda maskaji walonia
One love mrblue umetisha sana
Naupenda huu wimbo mpaka basiiiiiiii
Flow mamia kwa mamia....From Kenya....It's Lit...!!!
Tumia pesa ikozoee tulikwambia😂