Naliaa😢kuna neno ameongea ndicho nnachopitia na watoto wangu namuomba Allah subhanah wataala aje kuwa wenye huruma na upendo kwangu waje kunilea. Am happy mr blue kasema kweli we must be humble. Alhamdulilah
Noo wayyy....🔥🔥🔥🔥🙌🏾 Daah, Naomba niseme ukweli tu leo...Ni hivi leo tu nimemuwaza sana Mr. Blu kwann hapati Mualiko hapa na #Salama?? Daah kama Milunzi yaani Swali langu limepata majibu leoleo❤️🙏🏾 Big up #JahStoneTown💛💛
Hapa kwenye marafiki broo nimekuelewa yan wanapotosha kama mm sinywi sina sikendo za ajab uli wapo marafiki wanipambania niingie huko nawakimbia balaaaa Yan daah na lock nafuta no mtu anakwambia kuolewa nn diri kujiuza marabila pombe ww sio mjanja mm ni mwendo wakuwakimbia tu nikiwa a mama alinipambania sana had kuwa hapa nilipo na mungu kaniona Asante Mungu 💯💕🙏leo nije nimfanye mzaz wangu alie kisa mm hapana 😭💪
Mr Blue anajali sana familia yake,huku kwetu Kinyerezi Mbuyuni kuna duka la viatu basi anakujaga na watoto wake kuwanunulia viatu,ukimkuta sasa anasalimia kila mtu mwenyewe siku hizi kweli hana dharau,havimbi tena😂 peace mwenyewe na fans wake tunaompenda,hapo wife wake yuko kwenye gari, anasubiri wamalize, love his humble self.
Blue nilikutana nae kwenye show pool bar kenya jamaa nilimuita jina lake halisi akashtuka sana ikabidi anite nyuma ya steji tutulie tutie story mtu safi sana
@ismaelmatano3571 yap bro wameibadilisha jina yakitambo izo ilikua ndio semu yetu ya kujirusha analipa mtu 1 tunaingia mtu 2 bure tunagandishana zile stump zao
Hongera sana blue katika Maisha dharau ni kujisikia ni mbaya sana katika Maisha hongera sana kurudi kwenye mstari Maisha Dunia ndo Elimu ya pili ukitoa Elimu ya darasani
Star Wangu Wa Muda Wote Babylon Byser Mr Blue, Namkubali Sana Mchizi Ana Kipaji Na Hajui Kulinga Na Hana Dharau Kweli Maisha Ya Kula Ugali Na Kachumbari Yalijitahidi Kumbadilisha, Much Respect Kwake Mzee Wa Kazi
Blue ni mdogo wangu sana. Nipo kwenye hii fani kabla hajazaliwa. Itoshe kusema he is the GOAT! Toka dakika ya kwanza nausikia wimbo wa BLUE nikajua a star was born! Hajawahi kuniangusha. Yeye na Jay Mo. Hawajawahi kufeli! H
Lmbaoo Blue interview yako inanifurahisha sana unapozungumzia BHANGI.. 😀😀😀 Kwa mwaka huu salama na Blue naipitisha. Alafu dada salama tuletee MPOKI ikikupendazaaa
Grew up in his era. Blu and TID, Ferroz and Prof Jay were the bongo flaza guys. They made my days here in Kenya.. good interview.Kindly find Ferroz and interview him.
Salama haujambo unamkumb uka bikati na sabriwake mimi humoud nduguyake sefu mmanga na shoga yako farida mimirafikiyake almlaruhum abdul njegere m/ almukepepon amen na bro musa jabir inrahim kuki abudu ndo nimekuwanao ujana wetuwote sisi ndowenye kiponda bila kumsahau dada yetu halima na boss khamisi wake
Nachopenda Mrblue Anasema Ukweli Na Mtu Peace Sana Hata Nilpo Kutana Nae Day Wani Na Producer Sulesh Sikutegemea Alivyo Nichangamkia Kama Mi Mtu MKUBWA Vile Tukaenjey Na AkachaMshangoo Kwatu Kama Najuana Nae Before Ana Roho SAFI SI Mtu Wamajivuno Blue MUNGU Amzidishie MAISHA Mareeeeeeeefu Na Furaha Teeeeeele
Bonge moja la Interview. Huyu Jamaa ni Mwana sana yaaan hana roho mbaya kwa washikaji zake. Tunaoishi naye Kinyerezi tunajua hilo. Anayajua Maisha tena ya hali zote ya kuwa nacho na kutokuwa nacho, so ana elimu nzuri ya maisha na hasa Street Life
Last week niliingia RUclips Kuuliza salama na mr blue ila sikuona kitu nikajiuliza why? Nikakumbuka kuna scandal ya salama kutoka na byser way back a.k.a nyani zee 😂
Mr blue anajielewa sana na yupo very humble. Kwake tabata ni karibu na nyumbani kwa wazazi wangu
Salama ikiwezekana tuletee Kalapina ikiwezekana
Naitizama hii interview mara ya 10 na bado na mpango wa kuitizama tena na tena
NAELEWA KWA NINI ANAANGALIA JUU WAKATI ANAPOMZUNGUMZIA MAMA AKE. NI NJIA PEKEE YA KUZUIA CHOZI LOVE YOU MAMA...🌺💕
Sure sure man, mwanaume akifanya hivyo huwa ndani yake anazuia sana hisia.
salamaa anahoji vyema sana
Yaah maana uchungu na hisia kali ndan yake
Yas nikweli
The way he say... "Yeah Dada yangu".. one of my favorite artist 🥰
Asante
Mr blue nimtoto wa rafiki Yangu tulimlea mimi na mama yake Halima na mimi naitwa Rahel naishi Sweden kwa sasa
Hongera kwa malezi mama
hongre
Hongerah sana wewe na familia yako kwa utu wenu.
Thank you dada, unakaa wapi Sweden, Jag bor i Stockholm
I appreciate Mr Blue not coz of his music but coz he is very honest to himself
Napenda heshima anayo onesha Kwa Salama!! Mwanaume anapoita dadangu na ujazaliwa nae inamaana anakueshimu sana
SURE
anajitahidi sana kutolia wakati anamuongelea mama ake""Mungu amrehemu
Amen maskin analia kiume
Naliaa😢kuna neno ameongea ndicho nnachopitia na watoto wangu namuomba Allah subhanah wataala aje kuwa wenye huruma na upendo kwangu waje kunilea. Am happy mr blue kasema kweli we must be humble. Alhamdulilah
🙏
Pole Mungu atakufanyia wepesi
Pole.mungu.atakufanyia.wepesi
Allah akufanyie wepesi🤲
12:00 to 12:12 kumenitoa machozi. Ahsante Mungu kwa kuturudisha kwenye mstari kila mara tunapotoka 🙏
Noo wayyy....🔥🔥🔥🔥🙌🏾
Daah, Naomba niseme ukweli tu leo...Ni hivi leo tu nimemuwaza sana Mr. Blu kwann hapati Mualiko hapa na #Salama?? Daah kama Milunzi yaani Swali langu limepata majibu leoleo❤️🙏🏾
Big up #JahStoneTown💛💛
Moja ya interview Bora sana! Mchanganyiko wa hisia za kweli, ukweli wa mambo na umakini katika kuuliza na kujibu maswali! It's one of the best!
Hapa kwenye marafiki broo nimekuelewa yan wanapotosha kama mm sinywi sina sikendo za ajab uli wapo marafiki wanipambania niingie huko nawakimbia balaaaa Yan daah na lock nafuta no mtu anakwambia kuolewa nn diri kujiuza marabila pombe ww sio mjanja mm ni mwendo wakuwakimbia tu nikiwa a mama alinipambania sana had kuwa hapa nilipo na mungu kaniona Asante Mungu 💯💕🙏leo nije nimfanye mzaz wangu alie kisa mm hapana 😭💪
Mr. Blue is soo real....He don't fake anything..he say the way it is!
Mr Blue anajali sana familia yake,huku kwetu Kinyerezi Mbuyuni kuna duka la viatu basi anakujaga na watoto wake kuwanunulia viatu,ukimkuta sasa anasalimia kila mtu mwenyewe siku hizi kweli hana dharau,havimbi tena😂 peace mwenyewe na fans wake tunaompenda,hapo wife wake yuko kwenye gari, anasubiri wamalize, love his humble self.
🤣
Sally the greatest soul
Wee sema kweli
Kwenye interview yoyote Ile ambayo salama hutocheka itakuwa mbaya👍
Bonge la interview,Byser katulia kwenye maongezi,moja ya interview kali na yenye ubora wa hali ya juu
Naomba ni like kabla hata sijaisikiliza maana I'm sure 100% it's gonna be a marvelous interview ever
Blue nilikutana nae kwenye show pool bar kenya jamaa nilimuita jina lake halisi akashtuka sana ikabidi anite nyuma ya steji tutulie tutie story mtu safi sana
Pool bar kitambo mwana sikuizi ipo lakni walibadilisha Jina na wanaleta live band wa Congo
@ismaelmatano3571 yap bro wameibadilisha jina yakitambo izo ilikua ndio semu yetu ya kujirusha analipa mtu 1 tunaingia mtu 2 bure tunagandishana zile stump zao
thanks for bringing mr Blue..let next be majani p funky
Hapo itakua❤❤❤
Hata mm ningependa kumuona Pfunk
P funk mwamba sa a
Interview nzuri na tamu kuisikia,Mr blue tumecheza nyimbo zako mpaka basi,nimefurahi Salama kutuletea uyu kaka
Hongera sana blue katika Maisha dharau ni kujisikia ni mbaya sana katika Maisha hongera sana kurudi kwenye mstari Maisha Dunia ndo Elimu ya pili ukitoa Elimu ya darasani
Next Salama na Majani(P.Funk)
Thanks Salama for bringing Mr Blue, such an inspiration🫡
Mr bleu ame kuwa responsable 🙏🏾😍
Unaakiri sana broo nakupenda sana broo nimejifunzakitu hapo💕🙏nimecheka ety mibangi🤭😂😂😂😂
Unajua sana kujishusha, umejaa heshima Keep T up
legends wangu kwenye ubishoo nakupenda.madem😅😅😅
Tunamtaka chid Benz nahisi itakua best interview
Salama fanya mpango utuletee ITD au CHID BENZ. tuwasikie
Back in the days more love from Kenya.....big up bro
Star Wangu Wa Muda Wote Babylon Byser Mr Blue, Namkubali Sana Mchizi Ana Kipaji Na Hajui Kulinga Na Hana Dharau Kweli Maisha Ya Kula Ugali Na Kachumbari Yalijitahidi Kumbadilisha, Much Respect Kwake Mzee Wa Kazi
Mutu wangu ngoma hautuletei ,,hatukusikiii huku congo tena
Salama tafuta msudani mmoja pale muhimbili,hojiana nae tusikie,gonga like kama unaunga mkono
Blue ni mdogo wangu sana. Nipo kwenye hii fani kabla hajazaliwa. Itoshe kusema he is the GOAT! Toka dakika ya kwanza nausikia wimbo wa BLUE nikajua a star was born! Hajawahi kuniangusha. Yeye na Jay Mo. Hawajawahi kufeli!
H
Oyoo Byser kajikaza kidogo alie... 😢Mzee imenigusa
Kweli asee.. aja tokwa machozi ila una weza kuona moyoni ana lia
@@fongaamike2768 huyu kweli amepitia mengi
Humble man mashallah
Najifunza vitu vingi kutoka kwa brother Bizzy 💓💓💓💓
😅😅😅😅😅nilikua na watu wanguuuuu hahahhaa wa kuwavimbia 🎉🎉🎉🎉😂 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Brue that day alikuwa balaa,hakuna msanii aliyekuwa anavimba kama yeye,akikaa anapinda mgongo😀😀 kwa mikogo
Mola awapee maskizano daima kkangu na mkeo in, sha Allah 🤲
I wish to see Salama na JB (Jacob Stephen)
HII NI KIU YANGU KUTOKA YAHSTONE TOWN
Tunaisubiriiii
Mkaka mzurii nampenda sana Blueee
Mr blue alianza muziki mdogo sana Hadi kawa mzee baba
Lmbaoo Blue interview yako inanifurahisha sana unapozungumzia BHANGI..
😀😀😀 Kwa mwaka huu salama na Blue naipitisha. Alafu dada salama tuletee MPOKI ikikupendazaaa
LIL Sam A' aka Mr Blue kawainspire wasanii wengi sana upande wa kuchana kwa pozi, kuimba kwa pozi, swaga, mavazi, n.k. he is a Legend
I'm excited to see again Mr blue
Life teach us a lot big up sana byser one of the best interview
Kibenzi cha watuu bless sana mr blue byser ❤
Legendary Bayser, nakukubali sana ❤
Umengaa😂😢🎉❤
Jabir, nakuelewa sana! unaset logical questions
Blue..❤
Nimemkubali blue kuongea ukweli kuhusu bangi,mana alikua ananikodi kama tax drive kutoka tbt mpaka ilala kuvuta bangi tu.miaka ya 2005 - kuendelea.
Grew up in his era. Blu and TID, Ferroz and Prof Jay were the bongo flaza guys. They made my days here in Kenya.. good interview.Kindly find Ferroz and interview him.
Fleva not flaza bro
@@yoo_its_yaqub8722 typo bro
Ooooh sorry bro
Blooo Kweli unaujua mziki hongela sana
Hapo kwa mama from jela mpaka kuishi mtaani akakupa 500 nahisi kulia kabsa
Story ya mama ake imenigusa mno hata kaka Blue almost atoe chozi akati anamuelezea mama ake may her great soul rest in Paradise.
Lovely soul millionaire ❤❤❤
TABASAM Mr Blue..mad love from Kenya 🇰🇪
MR BLUE HE IS AMAN
Salama haujambo unamkumb uka bikati na sabriwake mimi humoud nduguyake sefu mmanga na shoga yako farida mimirafikiyake almlaruhum abdul njegere m/ almukepepon amen na bro musa jabir inrahim kuki abudu ndo nimekuwanao ujana wetuwote sisi ndowenye kiponda bila kumsahau dada yetu halima na boss khamisi wake
Asante Salama kwa kumleta Byser
Next time mulete mukongwee, Chid Benz,Chumaa
Jamaa jinsi anavyoongea utafikiri ana PhD 🙌, Babylon byser
Kuongea na PhD wap na wap😂😂😂 jaman
Yani anavutia sana
Heri sana😂
Love this interview with Blue, Byser❤️ na nampenda somo yangu Wahida🥰
This gonna be the best interview this year.....
Very humble May Allah bless him
Even more and his family.
One of the best interviews ❤
Nyani zee namkubali since day za Tabasamu ...much love from🇶🇦🇶🇦
Was waiting for this interview
Thanks SJ for bringing Kherry Sameer Rajabu the Abu Dhabian
Please lets go for the next one
Ngwea or Kanumba
Hao ni marehemu sai 😢
Asante sana kwa kuwakumbuka malegend
@@mosesngowa5918Kweli ila hawawezi sahaulika...dead but still alive
@@hidayabakari4 Yeah alive in our hearts forever ❤️
Leo nimeangalia tena mara ya 37
msikilize mr blue then nenda kasikilize ngoma yake ya tabasam ndo utamuelewa vzur
Blue interview zake huwa zinafunzo sna alafu yupo real sna
Sapenda sana intarview za salama ,una jua sana dada
Apewe maua yake na miti, na bidha zingine za kilimo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Namkubali sana blue babilon chilembaa😂.
Big up saana Mzee wa Upala
U a humbleman
Nachopenda Mrblue Anasema Ukweli Na Mtu Peace Sana Hata Nilpo Kutana Nae Day Wani Na Producer Sulesh Sikutegemea Alivyo Nichangamkia Kama Mi Mtu MKUBWA Vile Tukaenjey Na AkachaMshangoo Kwatu Kama Najuana Nae Before Ana Roho SAFI SI Mtu Wamajivuno Blue MUNGU Amzidishie MAISHA Mareeeeeeeefu Na Furaha Teeeeeele
Legend 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Bizzy kwenye game🔥🔥
Safi sanaa dada salama kwa kumleta mr blue naomba utuletee na mc luvanda if possible...
Bonge moja la Interview. Huyu Jamaa ni Mwana sana yaaan hana roho mbaya kwa washikaji zake. Tunaoishi naye Kinyerezi tunajua hilo.
Anayajua Maisha tena ya hali zote ya kuwa nacho na kutokuwa nacho, so ana elimu nzuri ya maisha na hasa Street Life
Apriciate u B. O. B
Mwamba kakazia "Mabangi"........
I love you salama you present the best content
Very fantastic 👍😊, Next we ask🙏 for #FidQ #JayMoe #ChristianBella
Ya Fid Q tayari
Bru bonge lajembee
I’m love love blue
safi sana Mr Blue
Hongera Sana dada
Yani leo ume akikisha turikua tume mutamani saanaaa mr blue much love from Bdi
😂😂😂 eti Daah leo nimeyakanyaga
Interview hii inaenda kubadili maisha yangu kwa kiasi flan
Namkubalisanaa huyu kweli ukipatapesa ukitoka kwenywshida unaanza dhrau
Last week niliingia RUclips Kuuliza salama na mr blue ila sikuona kitu nikajiuliza why? Nikakumbuka kuna scandal ya salama kutoka na byser way back a.k.a nyani zee 😂
Mr Blue ndo G.O.A.T
Nimeipenda sana jamani mungu awajalie ❤❤❤❤
Kupoteza mama kunauma sana....
🤣🤣🤣😂😂😂😂umezaliwa. Kkoo
Acha zako dada etu..!
Next Salama na Bishop Eliasaph Mattayo Suleiman
Sauti kama ya mzee yusufu
Huyu mwamba yupo real sana + mh. FA
Nilivoona tu interview ya Byser NIKACLICK, nasubiri interview ya BELLE 9