Umepiga nyundo kubwa sana Mr Blue, hasa kwa vijana wa kisasa ambao wamejitupa kwenye maovu na wanaona huo ni ujanja! Kwa historia Yako na ushuhuda wako umewafunza wengi Sana, wakubadilika watabadilika!
Kweli blodar blue mie nimependa point ambayo hata mie naiamini kwenye maisha yangu ya kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya juwa kila kitu Ni Maamuzi tuu
Nilichojifunza kwa bayser ni kwamba, tunapokuwa kwenye Maisha ya ujana huwa tunahelemewa sana na starehe hasa na pesa ukiwa unapata lakini pia ukiweza kupata nafasi ya kujifunza kwa watu muhimu ipe nafasi akili yako kuyapokea yale yoote yaliyo mazuri kwasababu yanakujenga watu wanajuwa kuwa unakosea akili yako pia inajuwa ila kichwa ngumu, lakini ugumu wa maisha utakufanya ukubaliane na maneno ya baadhi ya watu kuwa kwa sasa unabidi ubadilikeeee, Its babylon bayser quotes
one of the very best interview, very inspiring! Kuna vijana wengi sana wanaweza kuponywa na hii interview its unfortunate sidhani kama wamepata chance ya kuitazama.
Anacho ongea Baisa ni ukweli Mtu mimi mmoja ni shahidi kwa wimbo wangu nilio mshirikisja mwaka huu unaitwa umefeli Golden Dee feat Mr Blue Utafute utauskia Dah bro aliupenda wimbo wangu mwenyew studio alifika akasema dogo kubali ukatae Humu na tupia verse Dah siku amini msani mkubwa nchini na Africa mashariki na kati kuna wanao mlipa ili aimbe nao mimi kanibless free Tena bila kumuomba ebuane jamaa akashika maik hilo verse sasa mama yangu dah ishi sana bro Baisa Minakupenda bro and thnks I weiting for the VIDEO BRO KOZ NASHUKURU HATA WIMBO ULIUPENDA NA HATA LEO UNANIAMBIAGA NI MOJA KATI YA PLYLIST ZAKO ZA SIKU UKIWA UNASKILIZA WIMBO THNKS BRO 🙏🙏🙏💯💞💞
Anaongea Kwa kituo .anampa nafas host, anajibu alichoulizwa...
The best interview ever..
Hakika....Mahojiano yanaleta raha
raha ya kuangalia Interview za Blue ni moja; una uhakika kua hawezi kudanganya
❤❤❤❤umegonga ndipo
@@rehemaothman2475mwamba saaana huyo
Umeona eeeh nampenda je tangu utoto
😄kwel
💯
Mr Blue Byser 🎉🎉 umelisha ubongo wangu leo, Msaani wangu pendwa all the time
Best interview ever.... Byser upo so humbled hadi Dada Salama kafurahi
The "dadangu" part kwa kila anapojibu 🙌
One of the interviews of all time.
Dude is so real and humble maa shaa Allah.
Pia napenda how Salama adjusts ndani ya interview. Kudos 👌🏾
1:52 truth
2:40 🔥
8:00 Mungu
16:53 Hatujaumbwa wabaya
17:30 Mungu ni mwema
17:58 Wema
21:22 Elimu
Umepiga nyundo kubwa sana Mr Blue, hasa kwa vijana wa kisasa ambao wamejitupa kwenye maovu na wanaona huo ni ujanja! Kwa historia Yako na ushuhuda wako umewafunza wengi Sana, wakubadilika watabadilika!
Nimeipenda sana hii interview ametoa mafunzo mengi sana ya maisha, nawakubali sana
ukimsikiliza vizuri bayser kuna madini fulani anayo history yake ya maisha inafundixha san
Yah! kabisa yan kuna vipande lzm urudishe nyuma upate madini
What a humble guy ❤ inever expect Mr blue ataongea hivi yoooooo 😮❤❤ olive it ❤
Am blessed,,,,am hoping to stop alcoholic life,,,,forbidden my family lkn hop God blesses me
DADA SALAMA YANI LEO UMENIKOSHA NAMKUBALI SANA MR BLUE... NIMEFURAHI SASA MTAFUTE ...DIAMOND PLATNUM
Aisee salama naweza kusema hii ni moja ya yastone town nzuri sana sana kuliko ndani ya miezi hii iliyopita kuwahi kutokea.
Nnapo zidi kumpenda blue Mister...Nikumtaja mwenyezi MUNGU 🤲 kwa kila jambo..endelea kumtukuza Allah
This is not just an interview but this is THERAPY
Asante ❤❤❤❤
Sure🙏🇰🇪
You so right❤❤❤
❤❤ yah ukiongea na mtu asiyekuwa na kona kona unaelewa zaidi na tumemuelewa sana jah bless you all.
Hongera salama jabir kwakujua kuhoji ,,ukihojiwa na salama lazima utapike yooote,, hongera salama Kwa hilo
Salama & Blue aisee nyie ni watu wema sana...Mungu azidi kuwabariki
ALL TIME FAVOURITE TANZANIA HIT MAKER, MR BLUE LONG LIVE SIR
Blue anamheshimu sana Salama, anavyomuita "dada yangu" unaona kabisa heshima anayomuonyesha.
Apa Rwanda tunamupenda na tunamukubali sana Mr blue
Huyu jamaa alifanya maombi binafsi ambayo mungu huyasikia moja kwa moja huwa yanaambatana na toba
This man is very realistic
Mr blue my all time favourite...the best interview this year.
Best interview ever 🎉
Kweli blodar blue mie nimependa point ambayo hata mie naiamini kwenye maisha yangu ya kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya juwa kila kitu Ni Maamuzi tuu
Superb Interview!... Host yupo real, Mgeni ndio kabisa!
Safi Da salama kwa kumrekebishaa Blue sio vijumba jumba ni NYUMBA watu hawana ataa iko kibanda kwaiyo asikae kinyongeee😀😀😀😀
Nice interview, it's very organic
Mr Blue una hekima ya ki Mungu, hongera sana kaka!❤❤
The best interview so far
Nimejifunza vingi sana hii interview ☺ 🤗 😊 💓 🙂
Interview bora sana Big up Mr blue❤❤
Umeongea point blue,,vipaji vinapotea kwer Kwasababu ya hela
Sikuhizi hakuna chakula salama naona maji ila mwamba anasemaga ukweli 2❤❤
Much respect young brother nakubal sana interview inavutia ad najikuta nafuraha mda wote
Nampenda sana kijana huyu. Yupo very real. Unaangalia interview in mafunzo na hapo hapo you have a smile on your face. Mola akubariki kaka yangu
Mtu aliepata aka shuka akipanda tena ni mbarikiwa mungu akuongoze
Dah! Thanks Blue na Salama..hii ni zaid ya interview kiukweli..hili ni darasa huru juu ya maisha na mapito yake🙏🙏
Nilichojifunza kwa bayser ni kwamba, tunapokuwa kwenye Maisha ya ujana huwa tunahelemewa sana na starehe hasa na pesa ukiwa unapata lakini pia ukiweza kupata nafasi ya kujifunza kwa watu muhimu ipe nafasi akili yako kuyapokea yale yoote yaliyo mazuri kwasababu yanakujenga watu wanajuwa kuwa unakosea akili yako pia inajuwa ila kichwa ngumu, lakini ugumu wa maisha utakufanya ukubaliane na maneno ya baadhi ya watu kuwa kwa sasa unabidi ubadilikeeee, Its babylon bayser quotes
SALAMA SIKU HIZI WAGENI WAKO HAWAPATI MSOSI NAONA MR BLUE AJALETEWA MSOSI HAPO...
What an Amazing Interview,Mr Blue your very mature and inspiring,much love from 🇰🇪
Mr bluuu siku taka kucoment ila vituko vyako vimenifany nikoment nakupend bur mungu akuwek
Mr Blue one love brother pamoja na sister salama
Thug life❤❤❤,,,!!!..byser be blessed brother
The Best interview ever!!!!!!!
Next Salama na Stamina,Salama na Bushoke,Salama na Afande Sele.
Nakuelewa sana blue in shaa Allah akulipe
Ndio dadaangu ndio dadaangu dadaangu dadaangu dadaangu nimeipenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Sister salama upo makni sn kwa swali ety make umemuuliza huyo jamaa vyamsingi sna dada angu ongera sn pia Allah akutangulie kwakila jambolako 🙏🙏🙏🙏
my all time favorite artistist.....busy babilon
Kunamafunzo nimepata marafiki wengi ni wanafki napia tuchague marafiki jambo la mwisho tusikate tamaa kwenye maisha
👍
Iyi interview ime ni tunza moyo ❤Mungu awabariki
Msanii wangu wa kipindi hicho. Mungu azidi kukubariki niliumia Sana wakati wa Maputo yako. But am happy you are ok and the gone go
Akili mingi bysa🙌🙌
thanks s.jabir naomba next tuletee mr Nay the true Boy
Mr blue mtu poa sn, respect sn kk
Jamaa yuko real sana I like that
Please 🙏🙏. Dada salama tuletee Saigon dada 🙏🙏🙏
Narudi ndio my favorite song kutoka kwa huyo mwamba ataree saana
Genuineness inafanya kitu chochote kiwe na nuru na uhai ndani yake. Ndio kama mfano wa Mr Blu. Nice one!
Best interview! Such growth. Much love
one of the very best interview, very inspiring! Kuna vijana wengi sana wanaweza kuponywa na hii interview its unfortunate sidhani kama wamepata chance ya kuitazama.
Nawakubali woote wa wili❤
The best interview bless you all 💯 tunamtakaaaa diamond platnumz
Wema haozi Mr blue.....mungu aendelee kukuongoza
Aliyengoja hakuwahi kuja....nimeipenda iyo salama
Very fantastic Show🔥👍😊, Next we ask🙏 for #FidQ #JayMoe #ChristianBella #Hanscana
Fid q mbona yupo huku Mzee tafuta
Lovely guy! I was wondering when is he...? Manchallah nice to see you again, Mr Blue, I still have your CD I bought back in 2005 😅
Una akili sana i hope vijana wengi wataangalia hii interview na kujifunza kitu
Yaan hapa najiuliza baada y hii interview kip niangalie cha kunijenga zaid sio upuuz au nizime data ibak hii kichwan week
Inspirer of Bongo flavour nice interview Auntie🙌🏾❤️
Hapo kwenye show jukwaani aisee aaah wee Ni shida! Ni wachache Sana wanoweza kukufikia!
Role model wangu wa muda wote Babylon Byser Beezy kwenye game
Ili swali la unga aliulizwa na salama kweny mkasi miaka 10 iliyopta na alijibu jibu hilihili 😊
Ahsanteni team nzima interview ni nzr mnooo❤❤❤❤
Salama,napenda sana kazi zako. Interview zako ziko juu sana kwa kila kipimo.
Yani kila interview ninatoka na kitu fulani positive.
That's is Bizzz 🙌🙌 Heshima kubwa sana
Ati mtu ngapi pale Kinondoni?🤣🤣...I like how he is just real. Much respect Mr Blue.
Anavyomuita dada angu kama hajawai kumchum mwaaaaaaah 😄😄
😂😂
Big brain
Rapper Wangu Bora wa muda wote
Namukubali sana Mr blue kutoka Congo Kinshasa
Blue ni yanga bana🖤💚💛
Hongera salama hakika mahojiano mazuri na tunaenjoy
Niko hapa kwa hyo "Ndo hivyo dada angu"..Sasa angu imetajwa Hadi Raha Kila anapomuita..nimependa
Hivi mnajua kwann. Amejiita nyani zee
Tasamu imenibadilisha sana pia wazee walisem nimerogwa siitwi show nikatoa pesa ika hit ,aisee kila kituo naenda chek nyimb nd narud kweny interview
Byser hizi experience zilete Kwa muziki
Bonge ya interview Yan unataman isiishe
Tuletee fid q kitambo sana tumemis maneno yake
Nifurai sana n'a hiii interview
Perfect ✊✊✊
Anacho ongea Baisa ni ukweli Mtu mimi mmoja ni shahidi kwa wimbo wangu nilio mshirikisja mwaka huu unaitwa umefeli Golden Dee feat Mr Blue Utafute utauskia Dah bro aliupenda wimbo wangu mwenyew studio alifika akasema dogo kubali ukatae Humu na tupia verse Dah siku amini msani mkubwa nchini na Africa mashariki na kati kuna wanao mlipa ili aimbe nao mimi kanibless free Tena bila kumuomba ebuane jamaa akashika maik hilo verse sasa mama yangu dah ishi sana bro Baisa Minakupenda bro and thnks I weiting for the VIDEO BRO KOZ NASHUKURU HATA WIMBO ULIUPENDA NA HATA LEO UNANIAMBIAGA NI MOJA KATI YA PLYLIST ZAKO ZA SIKU UKIWA UNASKILIZA WIMBO THNKS BRO 🙏🙏🙏💯💞💞
Salama napenda sana Interview ya mr blue sana
DEM..hahahaaaa MENIIIIIIIIIII.nimechekaaa
Dadangu. Just love blue his humbleness and everything God bless him
Salute sana intervista 👌
Umeeendika pouwa saana Salama.