Zembwela Kuhusu Ndoa "Kuna Mke Mke, Mke Mke Wenu Na Mke Mkeo" | SALAMA NA ZEMBWELA PT 2

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 240

  • @SaumuHassan-sf5zk
    @SaumuHassan-sf5zk Год назад +6

    Mwamba huyu hapa, we are too blessed to have you till now. Akili nyingi mkweli mchekeshaji huchoki kumuangalia Wala kumsikiliza. Ahsante sana Salama kwa kutuletea huyu Mwamba muwe na afya njema tuendelee kujifunza

  • @richardmmassy5857
    @richardmmassy5857 2 года назад +45

    Kuna elimu na kuna kuelimika... Huyu jamaa kila nikimsikiliza naelimika sana... Asante kwa maisha yako Zembwela, jua kwamba kuna watu tupo tunapata elimu sana.

  • @adamismailly1784
    @adamismailly1784 2 года назад +6

    Hebu muache km mienzi 2 halafu mlete tena salama huyo jambaa yuko vizuri sana na ana mambo mengi sana ya kutufunza

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 года назад +2

    Swali la kipofu hapo nadhani Salama umekosea kuuliza swali kama hilo, upofu sio swala la kuliwekea utani maishani kuna wanaotaabika na upofu

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 года назад +6

    Yani nakipenda sana iki kipande cha mke mke. Mke mkiwenu. Mke mkeo. Nimejifunza mambo mazuri sana. Big up zembwela na salama bin jabir.

  • @duncankabig9740
    @duncankabig9740 2 года назад +31

    Nime enjoy Sana Leo sister salama jamaa mkweli sanaa

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed Год назад +1

    Daa Nimekubali Sana

  • @kefamkv3743
    @kefamkv3743 2 года назад +8

    Siku ya nne sasa nairudia hii daaah🙌🙌🙌bonge la interview

  • @jimmymeshack8725
    @jimmymeshack8725 2 года назад +3

    Wenye dini hawana imani na wenye imani hawa dini ..!

  • @zeddeastafrica1032
    @zeddeastafrica1032 2 года назад +2

    Babu kaongea ukweli mtupu mwishoni facts respect sana kwake

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 Год назад +1

    "Hela ndiyo nguvu ya kiume pekee duniani "by babu zembwela

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 2 года назад +2

    Msamiati wa Mke mke
    Mke mke wenu na
    Mke mkeo.
    Umenimaliza kk vijana tulio wengi tupo hapo kwenye Mke mke wenu.

  • @andrewmmbaga1665
    @andrewmmbaga1665 2 года назад +1

    Zembwela katisha sana

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 2 года назад +7

    Asante dada salama, asante pia kwa zembwela babu nimeelimika sana leo napia nimeinjoy SHUKRANI 🙏🏻

  • @kingndinyo9764
    @kingndinyo9764 2 года назад +9

    Gari bovu huvutwa na gari zima.... Fact Beberu 🍺

  • @mwamvuajumatano1817
    @mwamvuajumatano1817 2 года назад +5

    Allah akupe uhayy,huwa na enjoy nikimfwata zembwela anajuwa sana hadi anakera,Allah azid kukubarik

  • @miracledamian2202
    @miracledamian2202 2 года назад +18

    One of my favorite shows wow

  • @yohanacosmasmachalila9016
    @yohanacosmasmachalila9016 2 года назад +10

    Waoo! Kipindi kimenielimisha na kuniburudisha sana😊 Big up sana salama na kwa kaka yangu Zembwela

  • @nobodyfromnowhere1888
    @nobodyfromnowhere1888 2 года назад +23

    Sister Salama na Zembwela mmeua sana , y’all very smart people. Binamu Mb, Master , Salama and Zembwela to mention a few … Yall are the Cream of your trade of choice and talent. Fanyeni jambo….❤️

  • @KalabashCreative
    @KalabashCreative 2 года назад +3

    Asante salama, asante Hillary(Zebwela) mbarikiwe kwa somo la maisha.

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад +3

    Watu wa dini, Bwana Yesu asifiwe, Shalom, Salaam aleykum, mi si mtu wa dini nisije tafuta dhambi mpya

  • @masoudnassor5332
    @masoudnassor5332 2 года назад +1

    Real zembwela mungu akupe kheri nyingi duniani

  • @mdomar4650
    @mdomar4650 2 года назад +7

    Zembwela kwa hakika naku SALUTE. Nimefaidika na mifano uliyoyapeana. Ufafanuzi wako ni Elimu tosha.. pongezi sana bro. Mimi nakukubali..

  • @babaetwaha8822
    @babaetwaha8822 2 года назад +2

    Nampenda sana bro zembwela ni mkweli cku zote pia kazi zake nzuri
    Asante dada salama kw kipindi chako naenjoy sana

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 года назад +2

    Safi saana nimenjoy saana pindi la lao zembwela katisha kinoma

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад +3

    Madini ya kutosha Zembwela tunashukuru Sana kaka!

  • @yusuphmipawa6340
    @yusuphmipawa6340 2 года назад +3

    Naomba Zembwela arudi tena

  • @esterutewele7143
    @esterutewele7143 2 года назад +1

    Dah ais

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 года назад +1

    Zembwela nomaaaa sanaaa!

  • @sophiamazige705
    @sophiamazige705 2 года назад +6

    Hela ndo nguvu za kiume zilizobaki. Vijana tafuteni helaaaaaaaaaaaaa😅😅😅

  • @paulinekisaka4677
    @paulinekisaka4677 2 года назад +6

    One of the best Salama na episode.....kudos!!!

  • @saidikobossa7489
    @saidikobossa7489 2 года назад +4

    I think this is one of the shows ambayo salama ame enjoy sana

  • @officialrobeasy
    @officialrobeasy 2 года назад +23

    This guy is very fun, he made my night 😂😂😂😂

  • @zalubiasalim240
    @zalubiasalim240 2 года назад +6

    Thanks for the interview salama, madini ya kutosha, respect babuu zembwela

  • @amanothmanhamimu1174
    @amanothmanhamimu1174 2 года назад +13

    Tunajifunza mengi sana kupitia interview

  • @selemanimuhanga4018
    @selemanimuhanga4018 2 года назад +2

    Shoo Kali Sana! Producer Tunamuomba Mb Dog Mzee Wa Latifa Kwenye Shoo

  • @mateshasembuche2497
    @mateshasembuche2497 2 года назад +2

    Nimeipenda sana show yenu, nzuri sanaaa

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 года назад +2

    Zembwela bhana eti ooh! Bugger zinanenepesha!😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣 , nimefurahi sana maneno ya Zembwela,

  • @officialteeh1213
    @officialteeh1213 2 года назад +5

    Thank you for you salama hua unatuletea watu kama hawa chuma kabari yao mbwa napata ziriki kwa mguu zake .I love him namejifunza vitu vingi sana kupiata Babu zembela Ak mume wangu 😂😂😂

  • @alimuchiri6151
    @alimuchiri6151 2 года назад +6

    " Alaa moja panga mbili haikai, Babu zembwelaa chuma cha pua kabari yao." Naamia kamanda hujawai niangusha.

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 2 года назад +2

    Daaaaa dada asante Sana kwa kutuletea huyu jamaa n ukweli mtupu kaongea hapo

  • @ingabireritha3740
    @ingabireritha3740 2 года назад +4

    Oooh my Good one of the best busara nyingi na hekma thanks you for doing doing good job my sister

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 года назад +3

    Nimefurai sana Leo kumuona zembwela. Big salama.

  • @manirakizaambula8605
    @manirakizaambula8605 2 года назад +1

    Asante kaka,🇧🇮

  • @aysherkayeko5111
    @aysherkayeko5111 3 месяца назад

    Yan salama emeenjoy sana ili kipindi ni anacheka ile ya ukweli kbs

  • @usanifumaandishi7519
    @usanifumaandishi7519 2 года назад +6

    Mke mke, mke mke wenu, mke mkeo🔥🔥🔥🔥

  • @AbdallahNorman
    @AbdallahNorman 2 года назад

    mke, mkeooo... wanaumee na wavulaaana... safi sana Beberuuu

  • @kpol22
    @kpol22 2 года назад +1

    This is excellent show. Hongera sana Salam J . Zembwela is too real!~

  • @dadygirija968
    @dadygirija968 2 года назад +3

    Zembwela👉🔥🔥🔥✌️

  • @karimumduma4048
    @karimumduma4048 2 года назад +1

    Dah nime enjoy sana

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад +3

    Utakula alafu ule au utakulaa kwanza, mkunga mwenyewe ameshachika

  • @saidimtera6665
    @saidimtera6665 2 года назад +5

    I like that mke mke,mke mkeo ,mke mke wenu😂😂😂

  • @odrianinicolaus5353
    @odrianinicolaus5353 2 года назад +2

    Salama Tuletee yule Mbunge Mhe.Kishimba,mch.Gwajima au Mhe.Msukuma.

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 2 года назад +2

    One of the best interview all the time anaitwa BEBERU kabali yao or BABU

  • @fatmamussa5255
    @fatmamussa5255 2 года назад +7

    the show was great...nilitamani msingemalza☺

  • @exclusvetztv9011
    @exclusvetztv9011 2 года назад +10

    Thanks my mom for this interview 😀😀😀😀😃🤣🤣🤣😂😅😂 appreciate madame salma j

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 2 года назад +3

    Kwa kwl salama nme enjoy sn kipindi cha leo

  • @jumamohamed5174
    @jumamohamed5174 2 года назад +6

    salama and zembwela you guys are too smart ...

  • @mangisenya4012
    @mangisenya4012 2 года назад +2

    Zembwela big up

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 2 года назад +4

    Best interview.......elimu ya kutosha nakukubali sana zembwela .......

  • @mnenedrogba1218
    @mnenedrogba1218 2 года назад +4

    Very factual for sure Zembwela. I never knew u such an inspiration bro.i salute u man🤝👍👌🙏💯✔

  • @joelndowo
    @joelndowo 2 года назад +1

    Aisee...🙌🙌🙌

  • @chikuketo4279
    @chikuketo4279 2 года назад

    Namkubali Sana Beberu,Nmejikuta Natamani Aendelee Kuongea,Hachoshi.

  • @mmbando
    @mmbando 2 года назад +1

    Vichwa viwili, hatari.. safi sana.

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 2 года назад

    ZEMBWELA BABU... NAMKUBALI SANA HUYO

  • @allinall9382
    @allinall9382 2 года назад +5

    Dah kipindi nimekiona kifupi san asee 😋😋, arudi tena ,ikibid muda uongezwe

    • @mdomar4650
      @mdomar4650 2 года назад +1

      Kweli kabisa.. Hapo sawa kabisa.

  • @butogwaavelina5299
    @butogwaavelina5299 2 года назад +3

    Nimependa saan na nimejifunza vingi 🙏

  • @nathanijotham652
    @nathanijotham652 22 дня назад

    Jamaa Katema madini

  • @yahyaahmed1854
    @yahyaahmed1854 2 года назад +3

    Twataka part 3 salama

  • @harounmamba2632
    @harounmamba2632 2 года назад

    Moja ya mahojiano bora yalopata kufanyika kwenye karne hii.big up zembwera

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 2 года назад +2

    Full of lessons...!!

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 2 года назад

    Asante sana kwa hili darasa

  • @MerryMacmillan
    @MerryMacmillan 2 месяца назад

    Nice

  • @winniekaria6334
    @winniekaria6334 2 года назад +5

    Nimeona muda wa kipindi mdogo leo jamaniii. ..Zembwela hachoshi kumskiliza wallah ukiplus na maswali yako Salama ndo kabisaaaa...

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 Год назад

    Fresh akajibu hakuna mtindi kitambo sana,jamaa ana misemo uyu

  • @edwinjohnmasanja8602
    @edwinjohnmasanja8602 2 года назад

    Mpaka machoz jamn

  • @UlimeA
    @UlimeA 2 года назад

    Hizi ni nondo zenye busara kalii

  • @tanziluhizza8214
    @tanziluhizza8214 2 года назад

    Kwenye mke nimekuelewa sana brother 🙏

  • @andreakarata5469
    @andreakarata5469 2 года назад

    Kiukweli Zembwela MUNGU kampa kipaji sana

  • @laurentrueta9625
    @laurentrueta9625 2 года назад

    dada unatufundisha maisha asante🙏

  • @isacksamuel5503
    @isacksamuel5503 2 года назад

    Point "Tutafute hela" vijana

  • @johnmalembeka3546
    @johnmalembeka3546 2 года назад +2

    Nmependa sna hii interview ya zembwela sna na chumvi katupiga sehem zaman emoji hazikuwepo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sarafinasamson7596
    @sarafinasamson7596 2 года назад

    nimeipenda

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 3 месяца назад

    Nimependa sana watafute pesa sio mterezo wataanguka chali😂😂😂

  • @khamismachemba4020
    @khamismachemba4020 2 года назад

    Bonge la show....Zembwele moto

  • @athumanipigo9295
    @athumanipigo9295 2 года назад +1

    Dada salama mlete pia Masoud Kipanya please!!!

  • @amadmchau5338
    @amadmchau5338 2 года назад

    Beberu🙌

  • @mguliproperty9469
    @mguliproperty9469 2 года назад

    Dah madini special sana

  • @sammyamnay3708
    @sammyamnay3708 2 года назад +2

    nimejifunza mengi sana katika interview hii ya zembwela ni maisha halisia kabisa

  • @salimumazige9497
    @salimumazige9497 8 месяцев назад

    Salama nakuomba huyu jamaa uweunamwita marakwara anaelimisha jamii

  • @yusuphmipawa6340
    @yusuphmipawa6340 2 года назад +1

    Kaongea Fact salama

  • @princessbim6096
    @princessbim6096 2 года назад +1

    Kipofu utamfahamishaje kulijua hua😂😂😂😂😂😏😂😆😆😆😆😆😆

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад

    Zembwella big boss

  • @jumamuhando2504
    @jumamuhando2504 2 года назад +1

    Well said brother

  • @hassanmussa3664
    @hassanmussa3664 2 года назад

    Kioo cha jamii

  • @ramadhanibashiru5130
    @ramadhanibashiru5130 2 года назад +1

    Safi sana

  • @AbdallahNorman
    @AbdallahNorman 2 года назад

    great zembwela

  • @JOSKY-j8
    @JOSKY-j8 Год назад

    Huku wa prove wrong lakini ulihishi katk nyota za bahati may be za majina au ulikuwa unawategemea financially

  • @frankkyomushula7588
    @frankkyomushula7588 2 года назад +12

    Great Show as usual Dada....

  • @erickkipenya5801
    @erickkipenya5801 2 года назад

    Salama tunamuomba tena babu zembwela