"Nilibadili Dini, Marafiki Wakaanza Kunitisha, Ilikuwa Inanitesa Sana" |SALAMA NA GODLIVER PT1
HTML-код
- Опубликовано: 17 июл 2022
- #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
LUVVIE
Jina la episode litosheleze kumuelezea mgeni wetu wa wiki hii, hodari, mahiri, mcheshi na mwenye kujielewa ila kikubwa kuliko yote ni Mwanamke. Alipotoka na mipango yake ya maisha ilikua ni moja ya chachu zilizotufanya mimi na wenzangu tuone anastahili kukaa kitako kwenye kiti chetu kile kilichopauka. Na hakukua na mjadala juu ya yeye kuipata nafasi hii.
Godliver kwa sasa ndo nyota yetu ing’arayo kila kona ya bara na dunia kwa ujumla, kwa imani niliyonayo kwake naamini huu ni mwanzo tu wa mengi makubwa na mazuri na pengine ya kushangaza na kuiandikia historia Taifa letu yanakuja, kiu hiyo ya kupata hayo na zaidi unaiona kwenye macho yake na kujiamini alikonako. Ukibahatika na kuangalia kazi zake basi ndo utazidi kuamini na kumtakia kila lenye kheri.
Mitihani na kupanda na kushuka kwenye maisha yake naye alipitia kama kila mmoja wetu, jinsi alivyokua anayapangua na kutengeneza kinywaji kila mara alipokua anarushiwa malimao kumemfanya awe na kiu zaidi na kutaka kusonga mbele zaidi kwa kasi ya majaaliwa.
Alianza kama mas’hara tu na mengine ni historia tu kwa sasa. Mama wa mtoto mmoja ambaye ni kila kitu kwake, Godliver ananihadithia moja ya mikasa mingi ilowahi kumkuta maishani mwake, na pia amenikumbusha umuhimu wa kuchagua marafiki na watu ambao unawaweka karibu kwenye maisha yako.
Alishawahi kubadili dini na kuwa Muislamu, bahati nzuri alikua na wazazi ambao ni waelewa sana, hakuna aliyekua anamhukumu kwenye maamuzi yake, pengine walikua disappointed kwa kiasi fulani, zaidi Mzee wake lakini wala hakuonyesha kushutushwa au kutaka kumsema vibaya kwa maamuzi yake, badala yake waliheshimu na kumpa support tu kwenye maamuzi na maisha yake.
Maisha yamemumfundisha mengi tu, pengine kwa adhabu zaidi yamemfundisha kuwa marafiki ambao ndo aliwaona wanampenda sana waliishia kumhusisha na mambo ambayo si mazuri na ambayo yalimfanya ajaribu imani yake kwa kiasi kikubwa sana.
Humu anakumbuka jinsi alivyokua anahangaika kwa waganga na kujaribu kwa nguvu vitu ambayo vilikua hata havihitaji hiyo njia ambayo alikua anaaminishwa kama ndo zilikua sahihi.
Anakumbuka Imani yake ilivyo jaribiwa na utukufu wa Mungu alipokuja kumuongoza.
Hapo juu nilisema huyo ndo muigizaji BORA wa kike kwa sasa, pengine wengine wanaweza wakawa na mawazo tofauti kidogo na haikatazwi, ila kwenye vitabu vyangu? Kwa hesabu ya leo? Huyu ndo Mama yao.
Sasa aliwezaje kutoka huko? Alikutana vipi na Baba wa mtoto wake? Na filamu au kazi yake ya kwanza ilikua inatwaje? Na aliipataje hasa? Nani ndo anamuangalia sana maishani mwake? Ambaye angependa kuwa kama yeye? Wapi anajiona huko mbele kwenye kazi yake hii?
Natumai utajifunza mawili matatu kutoka kwa Dada Mkali na uta enjoy pia.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
RUclips Link bit.ly/RUclipsSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz Развлечения
Usiwe mkristo tu kua sister kabisaa afu uwone kama aloumba mbingu atapungukiwa kitu uislamu ndo dini Tu no duscas
Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana
Make apo kwanza nicheke 😂😂😂
@@user-ls8rn4tz5m😅😂
Jina la YESU ni dawa ni faraja linaponyaa linauwisha Lina fariji aisee kam ww umebahatikaa kumpata Yesu , mashukuru Mungu aisee hii ni NEEMA , NEEMA nikwamba umepata kitu ambacho hukistaili so aiseee tushukuru kuwa wakristo 💒🙏👍💪❤️😘
🙏🙏
Yesu awe Mungu Kisha wanaadamu wamkamate wamuuwe!
@@hamadmohamed3056 punguzeni kutupia watu majini mnazingua kinoma😂😂
Kwa hiyo ana uliacha uislam kwa sababu ya marafiki wabaya wewe hukua na msimamo usitudanyanye bana
Mungu wa mbinguni akubariki sana na uzidi kumpenda mungu na mungu bila shaka ataoneka ndani yako
Umeniletea mtu ninayempenda sana, personality yake tu mimi inanikosha mno. Big love Anna 😍
Hao marafiki ni sababu tu ya ww kurud ukristo coz haukua na Imani na amani na ujasir w kutosha w kufocus na dini ambayo ni ngeni kwko ata muislam ambaye ange shift ukristo ange do the same even if asingekutana na marafiki hovyo.
Godliva is awesome in each way, Salama unajua mpka unaboa yani ni balaa
Wow!Godliver umesema vizur umeokoka na unampenda Yesu:Nakupenda unajua kuigiza pia luv❤
Nakupenda God live
Polesana ulikutana na waislamu jina afu ukisema dini unakihukumu uislamu kwajiri ya hao matapeli umejichanganya sana mana hayo majini kanisani ndo kilasiku wanaombea sasa mwamposa na wenzie ndo kaziako yesu anafanyinini
Mi pia nakupenda sana Godliver Mungu atukuzwe kwa ajili yako
mskini , nilikuhukumu ktk nafsi yangu kumbe kosa lilitokana na waislam wenyewe. ungepata misingi sahihi ya dini usingerudi kwenye ukristo
Qur an inatosha sana kikubwa ni kujuwa vipi utaitumia kwa shida zako
Kumbe nishomile mwenzangu🥰🥰
Uliwekwa huru dada, baada ya Uhuru na gharama zake! Inafurahisha!
Nakupenda Sana dada kazi yako nzuri sana
Umeongea vizuri...Pili uislamu na ushirkina ni vitu viwili tofauti ulipata watu sio sahihi kabisa
Nazani Interview hii itakuwa Nzuri sana ngoja tuone
unafanya kazi yako vizuli dada Ana mungu akubariki
Ulikuwa ukipendeza sana ulipokuwa ukivaaa ushungi
Nampenda salama
Mzur
God bless u sanaaa
💙Yeah nakupend sana 😘
Nawapenda Wote Kwaajili Ya M/MUNGU 🙏🙏🙏😘😘😘
Yan salama na Godliver❤️❤️❤️❤️💋💋💋
Huyu salama ana jua kuuliza sana
She is very humble
I love this gal
Godliver my favourite and the best actress
yote maisha cha muhimu kumjua Mungu
Nampenda huyu dada sana
She is story teller, she is good and smart.
Salma my dada kaz nzuri sana na godlvar
Woooh ubarikiwe sana anna
Shout out kwa Mwanangu Mboghochov...
Dada huo ni mtihami ujue wislamu ni dini ya kweli Sasa wanachikifanya watu wengi hawaamini maandiko wànawafuata watu Hilo balaa Quran haijabakisha kitu, manake hata hao wanaosali halafu wanaroga au kwenda kwa wagani wote motoni
Kwa yesu ndo mahali sahihi hajakosea
Inategemea unaenda Kwa mganga kufanya nn, kama unaenda kujikinga sidhani kama ni dhambi
@@rizoibrahimovich605Mungu ataki kuchanganywa Kinga ni Mungu pekee
Tuonyeshe alierudi kutoka wafu akakwambia hayo au ndio bendera fuata upepo
Nlikuwa najiuliza kwa nini nampenda kumbe ndo maana 💞💞 Nakupenda wewe Dada jamani
Tupe Sababu Ya Kumpenda By Loveness Ibrahimu
Nakupenda wewe Dada
nampenda sna hyu dada kutoka moyoni i wish nije kuwa kma yy mbelen coz napend sn uigizaji
Ni dhairi waislamu wanatumia majini, sule akuwa wazi Kwa ilo,lakini DAMU,ya YESU Iko na nguvu ya toa Kila nguvu za giza
Sio tuu nakupenda nakupenda zaidi yasana
Dunia ni gereza kwa waislam na dunia ni dunia ni pepo kwa makafiri unajihisi km maisha umeyapatia kumbe ni starrehe ya dunia tu
Allah akuongoze
Nakukumbuka kweny nusura ulikuw mke wa cheche❤
Jaman kitu cha bk hicho nakupenda mno anna
Nakupenda maira
Nampenda sana huyu dada jamani
Wooow
Takbir
Nakupenda❤❤ dada Ana MUNGU awe nawe
I love u Anna wa jua kal.....
Penda sana❤❤
Ubungo kisiwani my best school,,
Nawachukia hao marafik waliokusumbua Kupitia uislam but I love 💞 so much anna
Ila salama ni mrembo jamani ❤️❤️ I love you 💚
Ahsante ila ndivyo tulivyo masalama ama vp
Nice show
Hukuingia kweny uislam. Si kwa7bu mungu
Tha beautiful story of testimony of the blood of Jesus very powerful
Hawa waganga Mtihani sana
Big up
Nampenda huyo dada htr
Thank u Jesus ulirudi ukristo nilikua nimeanza kkuchukia kujua kumbe we muislam tena fata mkumbo, abarikiwe baba aliekuombea, atukuzwe Yesu alikurwjesha
Sasa hata kama angekuwa muislam tena why umchukie?
@@brigithadidas5128 chizi huyo!
Chuki haitakiwi
Wenzetu ushirikina nikawaida Yao ninao ndugu zangu ndio maisha Yao wamefilisika kwakuendekeza waganga wanaishi maisha ya hofu Sana wao kilamtu ni mchawi wanaishi maisha ya hofu siku zote
@@brigithadidas5128 Yes! Chuki sio mbele za Mungu.
Wakwanzaaa
Nice interview
LOVE HER SO MUCH❤❤❤
Safi dada una ujasiri wa kusema habari za Yesu kwa ujasiri mkubwa
Great interview ila part 2 siioni
Jaman nampenda uyu dada...
Nampenda.ana.kama.ninavyo.kupenda.madam.salama.mmmmwaaaaaa
It's marvelous interview waited along time .
It's true. Getrude she is the best
Salama umenenepa dada
Godliver 🔥🔥🔥🔥🔥❤️🏆
Nakupenda wewe ni kitu usicho kijua❤
Wewe umeongea UKWELI
Woow
Safi
Kipenzi changu Godliver
Dah umemleta mtu Makin Sanaa🥰💓
I LOVE YOU GODLIVER..YOU ARE SUCH AN INSPIRATION!!!
🔥🔥❤❤❤💥💥
Yan huyu dada jmn...nampenda mno mno
Ulishajua sio watu sahihi ungetafuta watu sahihi wangekusaidia km kweli ulikua na nia na unaupenda uislamu
Mwendelezo
Warembo wawili wenyewe nawapenda sana
Thank you for coming back to Christian 🙏
Salama umenenepa Mashaallah
Tena kanenepa na nusu
Wooh 😍🥰G
Salama,, ni mzuri ,,hazeeki,,,love salama,,❤❤
I love you my Ana wa jua kali
Salama mnafiki et hata mimi nampenda Yesu😂😂😂😂😂
My biggest brother khaaaa kinge hiki hahahaha, my Elder brother
Asante yesu aliyekurudisha mikononi mwake
Salama tuwekee part 2 jmn
I never watch interview za kiswahili like this hadi mwisho, I love this actress.
But English belong to white people
Mwaaaa ana love you so much
aww i love her jamn 🥰🥰
She knows what she is doing 🔥🔥
Wasanii Wana tabu Sana na wanatia huruma ,
Nice..Waoo
Godliver 🥰🥰❤