Kabisa mimi kama mchungaji. Mchungaji Huyu anafanya kazi ya Mtume Yakobo. Soma katika (Yakobo:1:27) Kuhubiri injili haitajiki tu,kuhubiri Neno pia Matendo huitajika. Tuache kuwahukumu wachungaji,Tuachie Mungu kazi. Mchungaji David hongera kwa kazi ya Mungu unayo ifanya.
Salim asante kwa kurudi nyumbani. Wewe ni nguli. Asante kwa kumhoji vizuri sana Mtakatifu wa Mungu, Nabii Mkuu Geordavie. Nimefurahi alivyoweka wazi vyanzo vyake vya mapato. Nimejifunza kufanya biashara inayojitegemea, yaani isiyohitaji your physical presence. Mungu akubariki Nabii Mkuu. Mungu akubariki Salim Kikeke.
Hakika nabii anahekima kubwa ya Mungu kujibu. Sijawahi jua kama anaweza kujieleza kwa ufasaha namna hii. Mimi ni Mch naweza ogopa kuhojiwa na watu wa imani nyingine kwa sababu nakuwa naamini wanakusudi baya nyuma yake lakini sasa nimelielewa neno linalosema muwe tayari kumjibu kila mtu. Akiwepo Roho wa hekima inawezekana. Hongera sana nabii mkuu.
Unabii unatoka kwa Mungu na hivyo hivyo hats utendaji kazi unatoka kwa Mungu, utasemaje eti muanze kuwafundisha namna ya kutenda kazi! Huo sasa ni unabii wa kimwili
Hii ndio Interview Kubwa ya Nabii na Kikeke kuliko ile ya MillardAyo, Ayo ajifundishe kuuliza maswali kama Kikeke,Nabii anaulizwa hadi anajisikia raha kujibu swali, Kama na ww umeona hilo Gonga Like Hapa
Nampenda sana huyu baba anajitoa sana kwa ajili ya watu wote na wenye uwezo achagui mtu anaupendo watu wa aina wote mpaka waliodhaifu kiakili na kiroho Mungu akubariki Amen
Mungu awakened nyinyi munao nyasa washirika kwa kujichanua na Sadaka za wanyonge, olewenu munao frahikia vyeo vya Dunia hii yani yesu apande gari yako,wewe bwana wa majeshi akukemee wewe unaye jita na bii mukuu, wewe mungu na akukemee wewe narudia yesu akajaleo anapanda gariyako,unadhani,mungu anahitaji gari, wewe ni freemason number 1
Nafkri watumishi wengi waige mfano wa Nabii Mkuu katika kujibi Maswali kwa hekima lakini pia unyenyekevu, Nilipata kufuatilia interview na Pastor flan umemhoj siku za karibuni ujuwaji mwingi kumkosoa sana mtangazaji mpaka Haina ladha. Binafsi nimependa hii interview na imejibu Maswali ya wengi. Nakupenda Nabii Mkuu Dr.GeorDavie wewe ni Tunu ya taifa .
Alhamdulillah namshukuru Allah kwakunijaalia tokea kuzaliwa ni muislam yaarab tujaalie sisi waislam tuwe ni wenye kushukuru na unachoturuzuku yaarab tupe mwisho mwema
Ukiwasikia waislam wavyojitetea kiwa muislam hadi huruma 😂 relax nduguuu uislam haukupeleki kwa mungu aseee uislam ni mafundisho ya kumjua huyo mungu usipoteze muda kuhusu dini cha kujiuliza unafuata makatazo ambayo molo wako amekuamrisha!!?
Nimependa sana haya mahojiano classic ❤ kwanza inafurahisha hata kutazama Yani kunawatu wakihojiwa unafurahia anavyojibu Kwa kujiamin alafu ame relax anaelewa anachokijibu 🎉🎉
Baada ya hii interview Hakuna atakae niambia lolote kuhusu GeorDavie nikamuelewa.. ✋✋ Anakuambia yeye sio Mzee 😊 "Yesu akija ataazima gari lake maana anapenda ufahari pia" God's standards I love this interview 🌟🌟🌟🌟🌟
Binafsi nimependa hapo aliposema miaka aliyotumika karibu 44, huu muda wa kutumika ni muhimu sana usipuuzwe. Kuna wanaoweza kufanikiwa kwa muda mfupi, lakini wanaofanikiwa kwa muda mrefu kama huu wengine wajitie moyo kuna wakati Yesu atawainua, pia watumike pasipo kuishia njiani.
Kweli nabii mkuu hana moyo mzuri sana kwatanzania nabii uyu ninamba moja hakuna kama gurumo ya hupako wegi wamefanikiwa kipiti gurumo ya hupako naukombozi
Ambacho nimekiona hapa watu wanakimbilia magari ila sio Roho wa Mungu. na ndio maana roho ya udanganyifu imejaa duniani na Yesu aliwatabiri hawa. hapa ni kupiga hela tu lakini mafundisho ya Rohoni na njia ya Uzimani hapa sijaiona kabisaaa. eti Yesu Kristo atakaa nae na kuchagua gari yake ivi Yesu ni Roho au ni Mwili huu wa nyama??? na kifupi Yesu Kristo alikufa kilichotoka ndani yake ni Mungu kwa hiyo Mungu anarudi ndani ya mwili wa mwanadamu mwingine Malaika wa 7 atakapopiga baragumu duniani ndipo sirii za Mungu zitakuwa wazi. wacheni uongo wa Yesu kurudi Airport ni nani atatoa cheo cha unabii??? wanasomea vyuoni na kutafuta nguvu za nyongeza yaani KIKIKE WEWE UNA AKILI ZA ZIADA
Huyu mzee Geodave hata mkimsema sana nyie ndio hamna akili ila kwa mm nayependa kujifunza kutafta hela huyu mzeee ni Genius... akili Mingi sana ndio maana Ana mafanikio na kauli mbiu ya mafankio lazina uwe vzur kichwani na mipango like Geodev 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Geodevi hajaanza huduma ya kanisa leo .. alifanya miaka na miaka akiwa na msaidizi wake hadi pale walipokuja kugawanyika kila mtu akaenda eneo lake na kuanzisha kanisa la Yesu ..hivyo amekomaa kwa mambo mengi anayajua ..usishindanae nae kama mwanadamu ww Muombe Mungu akusaidie na ww ❤.. mm napita tu
KIKEKE MNAFIKI SANA ANAULIZA HUKU ANATIKISA MGUU. .ETI BIBLIA INASEMA KATIKA SIKU ZA MWISHO WATATOKEA WATU WANAOJIDAI KUWA MANABII ANAAKILI SANA SEMA HAJAOKOKA NDIO SHIDA YAKE
Me nadhan swala la hukumu tungemuachia Mungu,ukiangalia kuna mtu alikuwa anaitwa king solomon,wengi wanamjua kama mfalme suleiman,alikuwa anahela kuliko tajiri yoyote ambae unajua ambae yuko apa saiv alibarikiwa ya yuko peponi kama kawaida,me nadhan tungeacha kuona umasikini kama ndo njia pekee ya kwenda peponi tunge muachia Mungu afanye kazi yake
Mimi namsikiaga tu Goe Dav! sema watu wengi wanaweza mchukulia poa jamaa nini anazungumza,ila alichoongea mwanzo mpaka mwisho jamaa anakitu na yupo real.Salim bless you sana kwa hii interview
Injili yao ndo hyo hyo Standards na mafanikio, hawahubirigi injili ya kumjua kristo na kuishi maisha matakatifu... Huyu ni agent anaejijua tena vizuri tu.. na hao waumini wake ni wale wale wapenda vya Mungu na wala hawamuhitaji
Hujabahatika kusikiliza mahubiri ya huyu baba, lakini pia media zinakupotosha. Hua hawatumi video za mahubiri unayosema, wanatumia kile kitakachopata views na likes nyingi. Na kama unaongelea interview hii basi nikukumbushe kuwa hii ni interview, anajibu anachoulizwa tu. Ubarikiwe
@@samweli7985 Kupenda pesa ndio shina la dhambi zote.. sio kuwa na pesa huyo nabii wenu amejaa kiburi, yan ukampe lift ya gari yako Mungu haloo.. Mmeshalogwa na hamuoni na Mungu anawaacha kama mlivyo kwa sababu kiu yenu ipo kwenye kupata hela na sio kumjua yeye
@@berithaandersonn2234 hadi kanisa lake nshawahi kukanyaga kisongo huko Arusha hakuna chochote anachohubiri zaid ya sadaka nono.. nshamfatilia hadi hizo ibada anazofanya akiwa nje ya nchi kama hujawah kuona nabii wa uongo basi ndo huyo... ila kama kama unakimbiliaga manabii ukihisi ndo ukomboz wako huezi elewa.. Mtazame Yesu
Kaka huwa nakuelewa sana napenda sana M.Mungu akujalie uzima anijalie uzima nikuone ana kwa ana naimani iko siku ila kama utanibariki tafathali nije wapi nikuone nitafurahi najua utanipa neno la sana Mungu kwani mm ni yatima na wanangu wote wana matatizo KIAFYA na hata mm mwenyewe.
Mathayo 7:8-16 inasema mtawatambua kwa matendo yao. Lakin pia Isaya 8:20 biblia inasema, Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi. Bwn Geordavie usitudanganye ikiwa na udokta wako wote na theolojia uliyoisoma bado unasema Yesu atashuka KIA na utampokea ww, tupe uxhahidi kutoka kwenye maandiko. Lasiivyo ww nawe ni miongoni mwa manabii wa uongo. Wadanganye hao wasiosoma Biblia😂
Achana sana na vyadunia utakufuru halafu tambua hata uwe tajiri vip utakufa na utaviacha halafu utakwenda kuulizwa wewe kuhusu hizo mali Kwahiyo Ridhika na ulicho nacho acha Tamaa.
Kikeke akuna mtuanaejua Yesu atakua lini Ila Mungu pekeyake ndiye anaejua kurudi kwa Yesu chamsingi tu tusimame Kila mtu kwa Imani yake akika Yesu anarudi
Hii Dunia Eti Nabii😂😂 . Kwa hakika Mwanaadamu anajijua kabisa yaliyomo katika Nafsi yake. Niamini huyo anajijua asa kama yy ni mt kawaida t . Zindukeni!!.
Mmesha waibia sana waunini MASIKINI sasa mnawakejeri kama kiboko ya wachawi matapeli kama walivyowengine watuwangu wanaangamizwa KWA kukisa maarifa na pia wanaijeria WENGI WAPO wanauza ngada eanajificgia kwenye mahubiki
Fungua lako na wewe uibe! Mtu kajieleza bado hamuelewi au akili zimeganda? Kanisa linatakiwa lijihudumie kuna umeme, vipaza sauti, Maji, na huduma nyingine hao masikini watatoa Sadaka ya shilling ngapi na wao ni maskini sio kama Mia tano 😂! Zitanunua Range?
Powerful!!! Daddy umenifungia Mwaka Kibingwa💪nime enjoy sana❤❤️🙏🙏
Mtu wa rohoni ataelewa ya Rohoni ,na wa mwilini ataelewa ya mwilini,Ahsante
Kwel kabisa
Roho inakaa wap kwanz
Duh... Wanaosali kwa huyu, kweli wamepotea😂😂
@@kassimamir219😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Miningeenda 2 anipe angalao 5 mill @@MansourKabuhaya
Kabisa mimi kama mchungaji.
Mchungaji Huyu anafanya kazi ya Mtume Yakobo.
Soma katika (Yakobo:1:27)
Kuhubiri injili haitajiki tu,kuhubiri Neno pia Matendo huitajika.
Tuache kuwahukumu wachungaji,Tuachie Mungu kazi.
Mchungaji David hongera kwa kazi ya Mungu unayo ifanya.
Interview imekaa vzr saana Mungu akubariki Mzee wa Ngurumo ya Upako pamoja na mh Salim kikeke
Salim asante kwa kurudi nyumbani. Wewe ni nguli. Asante kwa kumhoji vizuri sana Mtakatifu wa Mungu, Nabii Mkuu Geordavie. Nimefurahi alivyoweka wazi vyanzo vyake vya mapato. Nimejifunza kufanya biashara inayojitegemea, yaani isiyohitaji your physical presence. Mungu akubariki Nabii Mkuu. Mungu akubariki Salim Kikeke.
😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂mtakatifu
Una kichaa wewe!!
Mtakatifu unamjua wewe?
Tapeli kama Geo unamwita mtakatifu!!!
Huyu nae eti nambi aliezaliwa bongo jinga kwer hata halijui nn anaongea
Mtakatifu au mtakakitu🙀🙀🙀🙀🙀🙀
Thank you Daddy Nabii Mkuu
I connect to your Grace you have God Heart for sure 💪🏽💪🏽🙇🏽🙇🏽💪🏽💪🏽
Epuka matapeli na manabii wa uongo
Okoka ukampokee Bwana Yesu waja ujinga
Jitu zima liko daddy
@@Jingu2😂😂😂😂😂😂 acheni bana watu waliolala msiwaamshe
Hakika nabii anahekima kubwa ya Mungu kujibu. Sijawahi jua kama anaweza kujieleza kwa ufasaha namna hii. Mimi ni Mch naweza ogopa kuhojiwa na watu wa imani nyingine kwa sababu nakuwa naamini wanakusudi baya nyuma yake lakini sasa nimelielewa neno linalosema muwe tayari kumjibu kila mtu. Akiwepo Roho wa hekima inawezekana. Hongera sana nabii mkuu.
Hakuna cha unabii ! Acheni ku...
Huyu ni motivation speaker mzuri sana
😂😂😂kwaio yesu atumie gari yake nyie wakristo mambumbumbu kweli 😂😂😂
Wanaokumbuka interview alofanya na milard ayo,alisema kua alikutana na yesu uso kwa uso ndo akamteua kua nambii,tujuane kwenye likes
Alimuona yule dogo mzembe mzembe anauliza maswali ya kichawa
Tuma ela sio kudai likes 2
Unabii unatoka kwa Mungu na hivyo hivyo hats utendaji kazi unatoka kwa Mungu, utasemaje eti muanze kuwafundisha namna ya kutenda kazi! Huo sasa ni unabii wa kimwili
Huwa anakutana na yesu wake mara kwa mara yesu wake ni Makonda!!!
Binadamu sasa wanakufulu sana yan yan ata kwa ndot awezi kukutokea Yesu kwa kipind hi cha sasa
Hongera nabii geordevi,na interview Kali toka kwa kikeke.am your fans kikeke
Hii ndio Interview Kubwa ya Nabii na Kikeke kuliko ile ya MillardAyo, Ayo ajifundishe kuuliza maswali kama Kikeke,Nabii anaulizwa hadi anajisikia raha kujibu swali, Kama na ww umeona hilo Gonga Like Hapa
Kumbuk kikeke ni nkongwe
Kikeke nice 👍
Yupo kwenye gemu mda mrefuuu
Unaulizwa haboeki na yeye anafunguka.
Miradi ,ayo Ni mtangazaji mzuri Sana, kuringana na muda ambaye amekaa kazini, na ukumbuke kikeke Ni wa muda mrefu
Ayo ni Habari nyingine anamaswari ya mitego kama hujui utalopoka yote Lakin kikeke maswari ya kawaida tu
Baraka za mungu Zina nguvu kubwa kuliko.mungu akubariki
Nampenda sana huyu baba anajitoa sana kwa ajili ya watu wote na wenye uwezo achagui mtu anaupendo watu wa aina wote mpaka waliodhaifu kiakili na kiroho Mungu akubariki Amen
Maneno machache kazi kubwa Zaidi 💪 Mungu azidi kukubariki NABII MKUU DK GEORDAVIE .
Interview of the year, congratulations Salim and Crown Media team for organizing this
Mungu awakened nyinyi munao nyasa washirika kwa kujichanua na Sadaka za wanyonge, olewenu munao frahikia vyeo vya Dunia hii yani yesu apande gari yako,wewe bwana wa majeshi akukemee wewe unaye jita na bii mukuu, wewe mungu na akukemee wewe narudia yesu akajaleo anapanda gariyako,unadhani,mungu anahitaji gari, wewe ni freemason number 1
Elewa swali na lilivyo jibiwa acha ujuaji
Nafkri watumishi wengi waige mfano wa Nabii Mkuu katika kujibi Maswali kwa hekima lakini pia unyenyekevu, Nilipata kufuatilia interview na Pastor flan umemhoj siku za karibuni ujuwaji mwingi kumkosoa sana mtangazaji mpaka Haina ladha.
Binafsi nimependa hii interview na imejibu Maswali ya wengi.
Nakupenda Nabii Mkuu Dr.GeorDavie wewe ni Tunu ya taifa .
Yule dahaaa majivuno Mengi
Tunu gani ya wizi wa mchana kwa waimini
Taifa gani?
Mtumishi gan niiangalie
Kakuibiya nini ww mwenyewe masikini tajiri nabii atashukuw nini kwako@@MansourKabuhaya
He sounds like a clever Conman
And a very calm and one😅
Like?? He is a conman 😂😂
Ata kikekek anajuwa kuwa jamaa anachokiongea Ni usanii Tu kama umeiona hiyo Kwa kikeke gonga like tujuwane
Kwakweli, wachache ndio tunaelewa
Shalom Bb Nabii waaah..! that's Great eeh..!
Exemplinary Conduct for the Really wining star.....
Alhamdulillah namshukuru Allah kwakunijaalia tokea kuzaliwa ni muislam yaarab tujaalie sisi waislam tuwe ni wenye kushukuru na unachoturuzuku yaarab tupe mwisho mwema
Ila mue mnachanga msipende kuchangiwa
Ukiwasikia waislam wavyojitetea kiwa muislam hadi huruma 😂 relax nduguuu uislam haukupeleki kwa mungu aseee uislam ni mafundisho ya kumjua huyo mungu usipoteze muda kuhusu dini cha kujiuliza unafuata makatazo ambayo molo wako amekuamrisha!!?
Kwamba ukiwa muislam we poponi jumla sio😂 pole yako
Na mashekhe wako huwa wanaenda kupewa hela hapa, kama hoja ni dini
Ooooh ndugu yangu hata kwetu wameibuka masharifu shekhe cha muno muno muombe mungu tu akujalie wewe na familia yako mwisho wako uwe mzuri.
Nimependa sana haya mahojiano classic ❤ kwanza inafurahisha hata kutazama Yani kunawatu wakihojiwa unafurahia anavyojibu Kwa kujiamin alafu ame relax anaelewa anachokijibu 🎉🎉
Baada ya hii interview Hakuna atakae niambia lolote kuhusu GeorDavie nikamuelewa.. ✋✋
Anakuambia yeye sio Mzee 😊
"Yesu akija ataazima gari lake maana anapenda ufahari pia"
God's standards
I love this interview 🌟🌟🌟🌟🌟
Wapi kwenye bible imeandikwa Yesu anapenda ufahari?
Jidanganyeni...ipo siku..
@@Joe-tr2vkAlipanda punda
Nabiii Mkuuu Anajibu vizuri sana sana
Do you Think so...!?
anajibu kiuchacha sana
Namshukuru Mungu na Bwana Yesu Kristo kumuinua Geo-David kuwa mtumishi wake. Watumishi kutoka Singida wanaongezeka. Tusiiisahau Singida kwa injili
The sound quality I doubt it’s not good please improve on that n welcome back salim u the best in tz✌️👌🔥
Mzee Mpe gari Salim Kikeke ametuletea elimu amefanikiwa kupinga Imani potofu iliyopo juu yako kwa kutuletea elimu sahihi.
jamani muwe na huruma,,huyo mzee sauti yake tu inatosha kuamini alitakiwa kuwa na mawe,,hiyo sauti ya mamlaka jamani
Power power 👏👏👏
In Kenya we said WE LISTEN BUT WE DON'T JUDGE
Binafsi nimependa hapo aliposema miaka aliyotumika karibu 44, huu muda wa kutumika ni muhimu sana usipuuzwe.
Kuna wanaoweza kufanikiwa kwa muda mfupi, lakini wanaofanikiwa kwa muda mrefu kama huu wengine wajitie moyo kuna wakati Yesu atawainua, pia watumike pasipo kuishia njiani.
MUNGU ambariki sana Nabii Mkuu Geodevie anamoyo wa kimungu sanaa
Kikeke Uko vizuri,the master of Jounalism
Asante kaka kikeke kwa mahojiano mzuri, naomba muwe mnawahoji watumishi wetu, ili tujue watumishi wetu wakoji kiroho. Hapo mwenye macho haambiwi tazama.
Watumishi matatizo hayo
Very nice interview nakupenda mt.GEORDAVIE💯💪🏿
Hii ndo maana halisi ya mtumish wa Mungu...akili kubwa , mawazo ya juu namkubali sana my role model👏👏
Kweli nabii mkuu hana moyo mzuri sana kwatanzania nabii uyu ninamba moja hakuna kama gurumo ya hupako wegi wamefanikiwa kipiti gurumo ya hupako naukombozi
Ukisema hana ni umemaanisha ana roho mbaya unatakiwa kusema ana roho nzuri..
Hongera sana Kikeke kwa maswali yanayotokana na utafiti wa kina.
Ambacho nimekiona hapa watu wanakimbilia magari ila sio Roho wa Mungu. na ndio maana roho ya udanganyifu imejaa duniani na Yesu aliwatabiri hawa. hapa ni kupiga hela tu lakini mafundisho ya Rohoni na njia ya Uzimani hapa sijaiona kabisaaa.
eti Yesu Kristo atakaa nae na kuchagua gari yake ivi Yesu ni Roho au ni Mwili huu wa nyama??? na kifupi Yesu Kristo alikufa kilichotoka ndani yake ni Mungu kwa hiyo Mungu anarudi ndani ya mwili wa mwanadamu mwingine
Malaika wa 7 atakapopiga baragumu duniani ndipo sirii za Mungu zitakuwa wazi.
wacheni uongo wa Yesu kurudi Airport
ni nani atatoa cheo cha unabii??? wanasomea vyuoni na kutafuta nguvu za nyongeza yaani KIKIKE WEWE UNA AKILI ZA ZIADA
Unajua kama hujitambui kapimwe akili vzr mzee kaongeq kwa khekima Acha Kiki za kijinga kujifanya mtakatifu kuliko bibilia
Mungu akubariki sana
@@PropheticAntony-p7k hekima ya magari
Salimu uko vizuri
Huyu mzee Geodave hata mkimsema sana nyie ndio hamna akili ila kwa mm nayependa kujifunza kutafta hela huyu mzeee ni Genius... akili Mingi sana ndio maana Ana mafanikio na kauli mbiu ya mafankio lazina uwe vzur kichwani na mipango like Geodev 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uko vizuri sana mchungaji natamani kukuona nafanyaje
Nampenda sana naeza kumuona aje kutoka kenya
Nimekuja kufaha zaidi kwamba sio vzr kumhuku mtu kabla huja msikiliza Mungu Alie mhukumu wa haki akulinde nabiii G
Geodevi hajaanza huduma ya kanisa leo .. alifanya miaka na miaka akiwa na msaidizi wake hadi pale walipokuja kugawanyika kila mtu akaenda eneo lake na kuanzisha kanisa la Yesu ..hivyo amekomaa kwa mambo mengi anayajua ..usishindanae nae kama mwanadamu ww Muombe Mungu akusaidie na ww ❤.. mm napita tu
KIKEKE MNAFIKI SANA ANAULIZA HUKU ANATIKISA MGUU. .ETI BIBLIA INASEMA KATIKA SIKU ZA MWISHO WATATOKEA WATU WANAOJIDAI KUWA MANABII ANAAKILI SANA SEMA HAJAOKOKA NDIO SHIDA YAKE
Nashukur mungu kuwa mkristo viongoz wangu tujitaidi kunyanyuana kiuchumi wakristo kwa wakristo ata kuwajengea nyumba wasio jiweza ingekuwa vizur zaid
Uyu mzee yuko makini sana kwenye kujibu maswali yake nimtalamu sana icho nimekiona kabissa
Yanga kwa sasa wanahitaji maombi ya nabii mkuu 😂in Salim voice😂😂
A take home message here is financial stability strengthen your confidence levels
Best questions bravo answers
Nabii anajipiga Mkorogo, ila atambue Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna
Nabii yupo vizuri kwenye interview hakuna swali lililokosa jibu
Me nadhan swala la hukumu tungemuachia Mungu,ukiangalia kuna mtu alikuwa anaitwa king solomon,wengi wanamjua kama mfalme suleiman,alikuwa anahela kuliko tajiri yoyote ambae unajua ambae yuko apa saiv alibarikiwa ya yuko peponi kama kawaida,me nadhan tungeacha kuona umasikini kama ndo njia pekee ya kwenda peponi tunge muachia Mungu afanye kazi yake
Well said Mungu atusaidie
wewe unaongea nini kwa uyu tapeli???
TUNAOKUAMINI TUNASEMA"
"WE LOVE YOU DAD" !!
Ndo nyie mliopotea, mbona mpo wengi tuu
Dave ume. Halibika,Bwana Yesu situation za mwisho atashuka na marina zake na kuchukua wateule wewe unaongea atapanda marina zako
Nabii hata hajui siku zamwisho itakuaje,Ana ongea ati Yesu atampokea Airport.
Kila mtunaɓii,duu! Hata Israel haiko hivo muwe na aibu walau mjiitte wafa lme haidhuru bas masurutan,
Brilliant interview! Very genius
Maswali yali mkaba ukimwangalia sura anapo jibu si mkweli 😢😢😢😢😢
Mbn hapost huduma anazofanya nje ya nchi, mana naamini kwa anavyopenda huduma zionekane angepost
Endeleya kusubiri sana
Mimi namsikiaga tu Goe Dav! sema watu wengi wanaweza mchukulia poa jamaa nini anazungumza,ila alichoongea mwanzo mpaka mwisho jamaa anakitu na yupo real.Salim bless you sana kwa hii interview
Naona mmekusanyana mazombi ya Geo Dav ili mumpe ma-comment ya kutosha ya kumpamba ili muwaingize pabaya watoto wa Mungu.
Huyu jamaa na inspire sana kumpenda Mungu
This is my qoute to all comment readers, "Time can tell alot but don't judge what you can't understand"
Mungu akubariki ww nabii wa Mungu, ningekuwa na usafiri ningekuwa na sali kanisani kwake, kwani naipenda hekima yake
Baba yetu GeorDavie nimsaidizi wa wengi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Injili yao ndo hyo hyo Standards na mafanikio, hawahubirigi injili ya kumjua kristo na kuishi maisha matakatifu... Huyu ni agent anaejijua tena vizuri tu.. na hao waumini wake ni wale wale wapenda vya Mungu na wala hawamuhitaji
Kwani kuwa tajiri ndiyo kuwa mbali na Mungu? Au kuwa maskini ndiyo kuwa mtakatifu na kumjua Mungu?
Hujabahatika kusikiliza mahubiri ya huyu baba, lakini pia media zinakupotosha. Hua hawatumi video za mahubiri unayosema, wanatumia kile kitakachopata views na likes nyingi.
Na kama unaongelea interview hii basi nikukumbushe kuwa hii ni interview, anajibu anachoulizwa tu. Ubarikiwe
@@samweli7985 Kupenda pesa ndio shina la dhambi zote.. sio kuwa na pesa huyo nabii wenu amejaa kiburi, yan ukampe lift ya gari yako Mungu haloo.. Mmeshalogwa na hamuoni na Mungu anawaacha kama mlivyo kwa sababu kiu yenu ipo kwenye kupata hela na sio kumjua yeye
@@berithaandersonn2234 hadi kanisa lake nshawahi kukanyaga kisongo huko Arusha hakuna chochote anachohubiri zaid ya sadaka nono.. nshamfatilia hadi hizo ibada anazofanya akiwa nje ya nchi kama hujawah kuona nabii wa uongo basi ndo huyo... ila kama kama unakimbiliaga manabii ukihisi ndo ukomboz wako huezi elewa.. Mtazame Yesu
Utajiri wa Dunia, bila kumhusisha Yesu ni Uongo,,Injili ya siasa nyingi pasipo kutafsiri usahihi wa maandiko ya biblia siyo Injili ya kweli Nabii😊
Kikeke bahasha imechukua nafas
Nakupendaga sana Nabii
Mtumishi wa Mungu nabii aliyeletwa kwa kazi maalum Elia karudi kivingine Mungu akutunze sana Nabii Mkuu wa Mungu
Kikeke ni noma❤🎉
😅😂
So genius nabii geordevi.
Yeye mwenyewe ndani ya nafsi yake anajua anadanganya. 😅
Nimependaaa
Im Muslim thnk Allah
Hongera kwa majibu mazuri.
Ubarikiwe baba mm naomba unisaport uimbaji wangu .amen
Nenda kanisani kwakwe msaada utapata ukifika ibada moja ukisema utasaidiwa
Such a genius talks
Mmmh jamn emb pig doller 1500×2650 kwa ss utagundua kitu hiy ni kiatu tuuu daaaaa😮😮😮😮😮😮
Mungu aendelee kukutunza mtumishi
Watanzania tunakuombea
Kikeke ana maswali ya msingi sana hongera kikeke
Kaka huwa nakuelewa sana napenda sana M.Mungu akujalie uzima anijalie uzima nikuone ana kwa ana naimani iko siku ila kama utanibariki tafathali nije wapi nikuone nitafurahi najua utanipa neno la sana Mungu kwani mm ni yatima na wanangu wote wana matatizo KIAFYA na hata mm mwenyewe.
Mungu ni mwema
Serikali bana hao ni wez kama wez wengne kwann isiwafungulie mashitaka
Baba katisha ongera mtumish❤
Ni mwalimu mzuri wa maisha
Mathayo 7:8-16 inasema mtawatambua kwa matendo yao.
Lakin pia Isaya 8:20 biblia inasema, Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.
Bwn Geordavie usitudanganye ikiwa na udokta wako wote na theolojia uliyoisoma bado unasema Yesu atashuka KIA na utampokea ww, tupe uxhahidi kutoka kwenye maandiko. Lasiivyo ww nawe ni miongoni mwa manabii wa uongo. Wadanganye hao wasiosoma Biblia😂
Safi Nmependa Iyo God's Standard
Nampenda sana uyu baba❤❤❤❤
unapenda tapeli muongo?
MIMI NIMEISHI USA KWA MIAKA 25, HAKUNA WAZUNGU WATAMPA PESA CHARACTER KAMA HUYU AWAFUNDISHE ANYTHING YAANI AWAAMBIE AMEONGEA NA YESU LIVE,
Eti jamani dunia hii hatari
Kikoje Ni fundi wa kuuliza maswali. Big up Salim Kikeke
Ndugu yangu unakufuru... Na Yesu with hahitaji gari kusafiri, omba upewe Roho Mtakatifu akufundishe kujibu maswali
Fungua kanisa uko vizuri
Elewa swali akishuka Kwa mfano wa kibanadam kama mwanzo, usi prejudice na huo ni mfano tu not real na akahusanisha na bible.
@mosesjackson8260 uko vizuri ndugu.. Huyu kilaza lazima atakuwa ameluelewa
Unafikiri YESU angekuwa hapa Leo angepanda dala dala kama wewe? Hujamsikia nabii akitoa mfano WA Yesu alipoingia Jerusalem na mwana Punda??????
@@mosesjackson8260huu ni upuuzi mkubwa sana
Actually...
MATURITY Is In KNOWING What You Want To DO And Doing IT..!!
Interview nzima hujamtaja Roho Mtakatifu Mtumishi, katika yote nakukumbusha kuwa Raha zote zina ukomo; zisikukoseshe Uzima ule udumuo.
wakristo ni wepesi sana kuwapa wenzi wao utajiri
Achana sana na vyadunia utakufuru halafu tambua hata uwe tajiri vip utakufa na utaviacha halafu utakwenda kuulizwa wewe kuhusu hizo mali
Kwahiyo Ridhika na ulicho nacho acha Tamaa.
Daah! Namkubali nabii...hakika pamoja na huduma aliojaaliwa kuitoa lakini pia ni mweledi wa kujieleza, kweli ni mwalimu wa kile anacho kisimamia...
Hakuna Tajiri Fala
Huyu mzee yuko smart kichwani
We mwanangu kabisaa umeliona eeh yuko smart halafu ana Hekima na ndo misingi ya utajiri au kumiliki fedha
Uko sahihi sana
Umeongea vyema wewe unaakili sana
Huu ndo ukwel😂,
Tanzanite!
Kikeke akuna mtuanaejua Yesu atakua lini Ila Mungu pekeyake ndiye anaejua kurudi kwa Yesu chamsingi tu tusimame Kila mtu kwa Imani yake akika Yesu anarudi
Wale wengine KAZI yao kutukana serikali na viongozi 😢😢😢😢😢😢
Nivizuri sisi wachungaji tujifunze kupitia Mchungaji George David.
Salim kikeke ni mtangazaji mzuri sanaa...alinifanya nipende utangazaji kipindi nasoma...bùt now I'm a teacher...still napenda utangazaji bado😂
Hii Dunia Eti Nabii😂😂 . Kwa hakika Mwanaadamu anajijua kabisa yaliyomo katika Nafsi yake. Niamini huyo anajijua asa kama yy ni mt kawaida t . Zindukeni!!.
Hongera
Mmesha waibia sana waunini MASIKINI sasa mnawakejeri kama kiboko ya wachawi matapeli kama walivyowengine watuwangu wanaangamizwa KWA kukisa maarifa na pia wanaijeria WENGI WAPO wanauza ngada eanajificgia kwenye mahubiki
Mtuakiwa masikini ataibiwa nini ,ww msenge wakiume,
@@SamwelMollel-br9md😂😂
Fungua lako na wewe uibe! Mtu kajieleza bado hamuelewi au akili zimeganda? Kanisa linatakiwa lijihudumie kuna umeme, vipaza sauti, Maji, na huduma nyingine hao masikini watatoa Sadaka ya shilling ngapi na wao ni maskini sio kama Mia tano 😂! Zitanunua Range?
Sasa masikin anaibiwa nn
@@goldmansun5859😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dr joedev kumbe yupo smart ee nilikuwa namuonaga nikajua mzee wa kiki..karibu dar kwetu bhana