@@hancevalence4936 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye MWOMBEZI kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, ” - 1 Yohana 2:1 (Biblia Takatifu)
Asante miradi hayo.naomba mwambie nabii mkuu dr jodev.mimi mwenyekiti wa mtaa janga mlandizi.mwambie nabii anisaidie mabat niezeke ofisi ya ser ya kitongoji.tunaitaji bat 80
Kuna watu wanaweza kuponda watumishi ama watu wanaolitangaza neno la Mungu. Ila ukweli unabaki kua, ni heri hawa wanalifundisha neno la Mungu kuliko wewe unaeponda usie kua na mchango ama faida yoyote katika neno la Mungu.
Siku hiyo Yesu atasema ondokeni kwangu Mimi (Yeye) siwajui mlio laaniwa, wao watasema tuliponja kwa jina lako nakufufua kwa jina lako tafakari hayo yakusaidie
Nimekukubati Baba ,nimesikia habari zako kwa ubaya miaka mingi sikukufuatilia Mungu Leo amenipa neema kupitia mahojiano haya kwa kweli nimemtukiza Mungu ,kwa hazina hii Tanzania .Mimi ni Askofu mkuu wa Shekinah Revival International mission Church [SRIMC] nitakutafuta Baba nimependa majibu yako .
Nabaii .mkuu mungu akupe miaka Mingi Ili uweze kusaidia wenye uitaji Mimi nina changamoto sana ya maisha Ninaumwa tumbo Nina madeni ata Sina Raha ya maisha ata Leo Nina daiwa sielewi naipata wapi!! Nisaidie baba nabii mkuu na mungu akubariki sana 51:15
Nabii mkuu, umesahau kutaja kiti chako cha ushuhuda, kiti Cha machozi Cha kuombea maono yako ya kazi, miaka 30 iliyopita. Ubarikiwe na mama Anna na watoto wenu
Daaah., Mungu atabaki kuwa Mungu ,yoote aliyoongea mtu wa Mungu ni kweli kabisa ,Mwaka wa 1994 nilikuwa kiongozi wa vijana nyumban kwake sebuleni na nilikuwa nikipiga naye story ya Neno la Mungu kila baada ya Ibada ,alikuwa akifundisha Sana kuhusu kuwa na Maono makubwa Sana!!!!!Mungu ni mwema...ni Mimi Edward Zakayo!
@@micamathew2595 hongera wewe unaejua Geordavie namfahamu tokea 2005 wewe ambaye umemuona sasa hivi mtandaoni ndo unashangaa na amekuwa role model wa wachungaji wengi.
Millard uko vizuri. Nimesikitika swali lakoulilotakakuuliza ukalisahau kutokanana maelezo " neno ngurumo lilikujaje" Othrwiseam proud you since day one. Stay blessed
Kongole sanaa Comrade Doctor Geordavie, interview nzuri sana.watumishi wakubwa Wanyeyekevu wa MUNGU kama wewe ndiyo tunawahitaji katika Taifa Letu...Dumu kuiombea Taifa Letu na Chama Chetu CCM.
Tunaishi kwenye dunia yenye dhambi ,Ambayo kwasasa hali ya dhambi mtaani imechukuliwa kua ya kawaida sana.Sitaki kuhukumu lolote ila ni kheri huyu anaeishi kwa neno la Mungu na kuiishi nalo kuliko wengi wetu tunaoishi kwenye dhambi ambayo tumezoea na kuona ni kawaida . Tuombe Mungu atupe neema na hekima ya kujua neno lake ili tuishi tukimtegemea yeye.🙏🏽
Nabii Mkuu, Kweli Mungu anakutumia Sana kwa miujiza mikubwa Sana, Nakumbuka ulifanya mkutano mkubwa Jijini mwanza vilema walitembea, vipofu waliona Lakini hata baada ya mkutano, Wagonjwa walipokanyaga eneo ulipokuwa mkutano waliponywa.
Interview bora sana kutokea. Asante sana Millard kwa unyenyekevu wako mbele ya Mtumishi wa Mungu. Una nidhamu mno na ustadi wa kutosha katika kazi yako. Hakika umetusaidia sana kufahamu mengi juu ya Nabii Mkuu, Mheshimiwa Dr. Geordavie. Hakika tumebarikiwa
Amina Tutumike kama Bomba la Maji Mungu akubariki, utoaji Kwa wahitaji ndio Siri ya kupokea thawabu kutoka Kwa Mungu, wanaokuhukumu wanajitengenezea vitanzi maishani mwao na vizazi vyao, ACHA injili isonge mbele
Ahsante Sana Mirlad Ayo, ubarikiwe Sana, kwa kutuhabarisha Habari za ukweli, Nimefurahi kusikia na kuona Upo kwa Nabii Mkuu, Nabii Mkuu Geodav ndiye Nabii anayetumiwa Sana na Mungu kuwainua Watumishi wadogo, Nabii Mkuu Geodav Ni Nabii ambaye hana wivu. Anatamani Watumishi wengine pia wainuliwe Nabii mwenye Upendo na UKARIMU wa kimungu.
Hongera Miladi Ayo kwa kutuletea mahojiano na Nabii huyu ambae ni adimu sana kuonekana. Napenda sana mahubiri yake sababu hufundisha watu namna ya kuishi ,pia namna ya kufanikiwa. Namnukuu "Usipochosha akili ukiwa kijana utauchosha mwili ukiwa mzee" "Time the time before time time's you" Namkubali sana.
Huwa najiuliza mbona watu wakiona manabii wanafanya miujiza wanasema ni freemason,, kwani kwa Mungu Hakuna vitu vizuri!? Mpaka nabii awe anatumia nguvu za giza?, Mbona mtu akiambiwa kuna mganga kiboko na anataka pesa ya maana tu Ndo akuhudumiae asilalamike, lakini watumishi watu wanasema wanataka tu sadaka, Hakuna huduma inayoenda bila pesa
Napenda huduma zako baba mbarikiwa GeoDev naomba Sana unikumbuke siku zote mm na familia yangu ktk maombi yako baba mtukufu.Kiukweli nabarikiwa mno na huduma zako mtumishi.
Ezekieli 33:11 Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?
Ni laana kubwa sana kuwasema vibaya watumishi wa Mungu, Mungu ndiye aliyewaweka kutumika kwa hiyo kama unaona kwako ana mapungufu hiyo haikuhusu wewe maana wewe hujamuajiri, Mungu ndiye amemuajiri na kumuweka hapo kwa hiyo wewe amini tu kwamba ni mtumishi wa Mungu hayo mengine muachie Mungu ambaye ni boss wake, kumbukeni kilichompata Miriam dada yake Musa alipozungumza vibaya kuhusu mtumishi wa Mungu Musa kitu kilichompata.
Moja ya kanuni inasema, USIMHUKUMU MTU KABLA HUJAMSIKILIZA YEYE MWENYEWE. Mimi kwa huyu mtumishi nilikuwa na shida ya kujua pesa anapata wapi. LEO AMENIJIBU kupitia hii interview. Nadhani ni vigumu sana mtu kufanya haya yote aliyosema mtumishi huyu akiwa hana Mungu. Niseme kweli kwa hao mnaomponda huyu mtumishi, mimi nina zaidi ya miaka 30 kwenye wokovu na sijawahi kuona mtumishi aliye perfect 100% katika kazi ya Mungu. NADHANI KUOMBEANA NI MUHIMU KULIKO KUBEZANA.
Dahh Geordavie acha kutupanga mkuu! Wanaokufahamu ndani wanajua mishe ulikuwa unapiga sema umekana kabisa kwamba haukuwa na mambo mengi. Sema kula maisha tu umezichanga vyema.
@@georgematola2447 Acha upumbavu kijana ndio kwanza naona Matola bwege kama wewe. Wewe endelea kupalilia kizazi cha majizi yanayosafisha hela sema sababu wewe ni mtoto kiakili basi ukikua utashangaa ulivyo na watoto mashoga na wasagaji. Hiyo laana ni suala la muda tu sababu unakosa maarifa. By the way sikujua kati ya wale mnaomwona huyu jamaa ni Mungu mpo huku pia! Wajinga ndio waliwao.
Unaejiita kijana wa kitanzania yaonekana hujitambui nani mpumbavu sana, wewe umeshamwita Mkuu na unamtambuwa kama Nabii mkuu huoni hujui ulisemalo ni bora unyamaze tu, Ningekutana na wewe ana kwa ana ingependeza zaidi huwezi ukanena maneno machafu kama wewe mwenyewe ulivyo mchafu hadi kwenye kinywa huenda kinanuka
Starehe za duniani ni nyingi sawa na hali yenu ila vyote vina mwisho wao. Don’t forget about anything but remember that you have to pay back after everything you are doing
Millard Ayo, nimesikiliza mahojiano haya na yamenibariki sana, hongera kwa kuhoji vizuri kwa ufundi na kwa nidhamu safi. Nimejifunza vingi juu ya hekima ya mtumishi huyu. MUNGU AWABARIKI NYOTE
"Yesu sio mzungu Wala sio mweusi nywele zake sio ndefu Sana Kama picha tunazo ziona zinazo choragwa ila ni fupi zimenyongorota.." Dah kwa kweli hapo mi ameniacha bado sijaamini kabisa angesema mengine tungeenda sawa ila kumuona yesu HAPANA
@@chalessabaya2938 Hiyo umesema ww ila mm nimesema swala la yeye kumuona mm sijaamini. Hapo nilinukuu alichokisema yani ni uongo mtupu.Mimi siijui sura ya Yesu inafananaje
@@jumamofu9573 basi yeye Yesu kamjia katka ulimwengu wa roho akamuona life japo hawezi kumshika, ila anamuona lkn kama huamini endelea kujifunza zaidi kama mapepo wanaweza wakakujia ukawaona live hadi ukalia na ukawaona jinsi walivyo Yesu si zaidi? Au nikuulze Yesu aliwahi kutokewa na manabii kama Musa na elia Je Yesu aliwaonaje
Mi nakuelewa sana baba bwana yesu akufunike kwa damu yake asante yesu kwaajili ya nabii uleyetupa tanzania usijali kwa ziaka za watu mana hata yesu aliziakiwa hizo ni bwebwe za shetani geuza jiwe liwe mkate kawaida tu kwenye wito by glory mayotte france
@@vailethkinabo7961 kwani yeye ni mkamilifu?? Yeye ni mtu kama watu wengine Hata yesu alikosolewa akiwa ni Mungu. Je yeye ni nani?? Kinachotakiwa sisi sote tuwe wa unyenyekevu kwa Mungu na sio kuwapatia utukufu watumishi wa Mungu kama watu wengi wanavyowapatia heshima kubwa manabii kuliko Mungu. Na manabii hawa wengi hawana unyenyekevu kwa Mungu.
Namshukuru mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye uislamu laiti watu wangejua dhamani na neema ya uislamu wasingekubali kupotezwa kama wanavyopotezwa inasikitisha sana sana
Wokovu wa kweli katika roho na kweli, kutoa zaka, dhabihu, limbuko, kutangaza injili, kuwa mtakatifu, lijue neno la Mungu, ni njia ya kweli kupata utajiri wa kiungu (torati 8:18)
Whaaoooo...Millard umependelewa na mungu ww...uyu Baba yangu si mtu rahisirahisi kiivyo ni shiidaah kupatkana wewe kuweza hilo ni hatua kubwa ya baraka kwako na wote tuliopata neema ya kufatilia kipindi hiki
Much blessed watching this,be blessed servant of God,from Kenya wish one day nitafika kanisani,am happy coz I was given the key ambazo amedescribe,I hope God atatenda kwangu pia,
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Shetani amepanda Magugu ktk mashina mbegu njema alizokwiaha panda Mpanzi. Tuaubiri siku ya mavuno. MWENYEMASIKIO ME ASIKIEEE
Geordavie nilimuona mara ya kwanza mwaka kati ya '91 au '92 hivi kwenye mkutano nadhani wa Kulola kule Moshi. Aliimba wimbo ambao mpaka leo sitausahau unaitwa "Sauti ya Mtu aliaye Nyikani". Alikuwa ni fayaaa vibaya mno wakati huo. Ni mwanamuziki kabisa huyu jamaa
Millard jasiri kwel kumhoji nabii mkuu nadhan haikua kazi rahisi.congratulation millard.Mungu akubariki Nabii wa Bwana Mh.Geordavie.
Huo Ukuu wa Unabii wake aliuidhinisha nani? Akina Isaya, Ezekieli na manabii wengine mbona hawakujiita wao wenyewe majina ya kujitutumua kama hawa?
@@ericstephenm.844 Sahihi
Ni sihukumu ili nami nisije hukumiwa, Ee Bwana Yesu niombee pia niongoze imani yangu iongezeke kiroho 🙏🏽🙏🏽
omba lolote kwa jina lak nawe utapata,sio akuombee,akuombee wapi
@@hancevalence4936 Unanitaka nn ndg yangu? Labd nikupe ili usinighabishe na kwann uparamie comment isio kuhusu? Sitaki kkujibu vibaya sawa
@@hancevalence4936 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye MWOMBEZI kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,
”
- 1 Yohana 2:1 (Biblia Takatifu)
Amina docras umenena vyema
⌚️NASUBILI MAJIRA YA MUNGU KWAKWELI NIMEKUELEWA
Milad is super genius he's so confident .
Nimempenda huyu mtumishi wa Mungu jamani!
Mungu ambariki sasa!!
Na huyu mwandishi naye apewe maua yake🎉!!gonga like hapa! Kama umewaelewa wote
Nimeipenda hii interview imeondoa maswali yangu na sasa namuamini nabii mkuu.Naomba rehema kwa kwa kuwaza tofauti.
Unaomba rehema kwa Nani?
Mwamini Mungu pekee kupitia kwa Yesu, Mwanadamu atakutenda Nini?
Asante miradi hayo.naomba mwambie nabii mkuu dr jodev.mimi mwenyekiti wa mtaa janga mlandizi.mwambie nabii anisaidie mabat niezeke ofisi ya ser ya kitongoji.tunaitaji bat 80
Kuna watu wanaweza kuponda watumishi ama watu wanaolitangaza neno la Mungu. Ila ukweli unabaki kua, ni heri hawa wanalifundisha neno la Mungu kuliko wewe unaeponda usie kua na mchango ama faida yoyote katika neno la Mungu.
It to
Umeongea kama wazee 20,hata mimi huwa nawaza hivyo hivyo.Hua najisemea bora yeye kuliko mimi hata kufanya usafi kanisani sifanyi
Heri asiyemjua Mungu kuliko wanaomposha na kuhubiri uongo hao Mungu anawaita mbwa.soma yohana 8:44 ufunuo 21:6:ufunuo 22:15
Siku hiyo Yesu atasema ondokeni kwangu Mimi (Yeye) siwajui mlio laaniwa, wao watasema tuliponja kwa jina lako nakufufua kwa jina lako tafakari hayo yakusaidie
Ubarikiwe nabii mkuu kwa huduma yako tuombee na sisi atuinue katika huduma zetu changa mchungaj andrew gerayo mwanza
Nimekukubati Baba ,nimesikia habari zako kwa ubaya miaka mingi sikukufuatilia Mungu Leo amenipa neema kupitia mahojiano haya kwa kweli nimemtukiza Mungu ,kwa hazina hii Tanzania .Mimi ni Askofu mkuu wa Shekinah Revival International mission Church [SRIMC] nitakutafuta Baba nimependa majibu yako .
Mtumishi hongera kwa maelezo mazuri na huduma njema ila kumbuka usipasahau madugike p/school kuweka alama yako kwa namna Mungu alivyokuinua
🔥🔥🔥 So excellent interview ya kibabe Sana big up my brother Millard Ayo ufalme wa Mungu umewafikia wengi Heshima kwako Baba Mh Nabii Mkuu
Nabaii .mkuu mungu akupe miaka Mingi Ili uweze kusaidia wenye uitaji Mimi nina changamoto sana ya maisha Ninaumwa tumbo Nina madeni ata Sina Raha ya maisha ata Leo Nina daiwa sielewi naipata wapi!! Nisaidie baba nabii mkuu na mungu akubariki sana 51:15
Interview nzuri sana. Ubarikiwe na MUNGU Dr Davies. Mungu akuinue zaidi na kufanyika baraka kwa watu wote.AMEN 🙏 🙏 🙏
Nabii mkuu, umesahau kutaja kiti chako cha ushuhuda, kiti Cha machozi Cha kuombea maono yako ya kazi, miaka 30 iliyopita. Ubarikiwe na mama Anna na watoto wenu
ruclips.net/video/sOhtHKQ6Cbc/видео.html
Daaah., Mungu atabaki kuwa Mungu ,yoote aliyoongea mtu wa Mungu ni kweli kabisa ,Mwaka wa 1994 nilikuwa kiongozi wa vijana nyumban kwake sebuleni na nilikuwa nikipiga naye story ya Neno la Mungu kila baada ya Ibada ,alikuwa akifundisha Sana kuhusu kuwa na Maono makubwa Sana!!!!!Mungu ni mwema...ni Mimi Edward Zakayo!
Hatarii aisee
Hamna kitu huyu nabii wa mchongo
Hilo sio tatizo yawezekan alianza vzr na Bwana ila kwa sasa hpn kashakua wa mchongo
@@catherineramadhani33 ww ndio wa mchongo halafu acha kushambulia manabii wa Mungu
@@madetetv6576 kakojoe ulale😏
Huyu baba ni mchungaji smart since day one tatizo watu wamezoea kuona watumishi wa Mungu wakiwa wamepauka..
Ndio tunapofail hapo yani
Mitazamo haijabadikishwa
Umepotea dada!! Kumbe hujui.
@@micamathew2595 hongera wewe unaejua Geordavie namfahamu tokea 2005 wewe ambaye umemuona sasa hivi mtandaoni ndo unashangaa na amekuwa role model wa wachungaji wengi.
Mimi naswali... Mwanzo alikuwa anasali wapi... Nini kimefanya afungue kanisa lake..? Why asingefanya ndani ya hilo.. Kanisa ambalo alikuwa anasali...?
Very smart ndani mpaka nje
Millard uko vizuri. Nimesikitika swali lakoulilotakakuuliza ukalisahau kutokanana maelezo " neno ngurumo lilikujaje" Othrwiseam proud you since day one. Stay blessed
Baba muheshimiwa Nabii Mkuu Geordavie, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu🙏
Huyu alikuwa akijulikana kwa jina la George David Kasambala, enzi hizo anaimba sana nyimbo za Mungu. Anajua kuimba sana.
Nakupenda past
Kongole sanaa Comrade Doctor Geordavie, interview nzuri sana.watumishi wakubwa Wanyeyekevu wa MUNGU kama wewe ndiyo tunawahitaji katika Taifa Letu...Dumu kuiombea Taifa Letu na Chama Chetu CCM.
Tunaishi kwenye dunia yenye dhambi ,Ambayo kwasasa hali ya dhambi mtaani imechukuliwa kua ya kawaida sana.Sitaki kuhukumu lolote ila ni kheri huyu anaeishi kwa neno la Mungu na kuiishi nalo kuliko wengi wetu tunaoishi kwenye dhambi ambayo tumezoea na kuona ni kawaida .
Tuombe Mungu atupe neema na hekima ya kujua neno lake ili tuishi tukimtegemea yeye.🙏🏽
Kweli kweli tupu.
Kweli kabisa ndugu
Kweli
Amen
Jama huyu mwongo sana daha shetani anaweza kukujiya kwa njiya nyingi sana na alijuwa imani ya huyu jama
Nabii Mkuu, Kweli Mungu anakutumia Sana kwa miujiza mikubwa Sana,
Nakumbuka ulifanya mkutano mkubwa Jijini mwanza vilema walitembea, vipofu waliona
Lakini hata baada ya mkutano,
Wagonjwa walipokanyaga eneo ulipokuwa mkutano waliponywa.
Nmeheshimu kila kitu ulichokiongea mtumishi naku~respect sana na nmejifunza sana na ntasogea hatua moja katka huduma nuliyopewa na Mungu🙏🙏
Ubarikiwe Millard kwa kutufikishia HUYU baba I feel blessed
Sanaaaa barikiwa millard
Wow Nabii Hongera sana sana ilikuwa one of the powerful Anointing Nabii mkuu
Namuomba Mungu atupe kibali na watoto wangu tufike Ngulumo ya upako tufunguliwe.Amen.
Ufunguliwe nini sasa?
@@noelbryson7840anataka akamuone mtu aliemuona yesu bro😂😂😂😂.
Bonge la interview,nimeridhika. Hongeren, tuzidi kumtafuta Mungu..Mungu awabariki🙏
bora udang'anywe na anaye tumia neno la Mungukuliko udang'anywe na mganga 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮
Umewasahau wanasiasa
Mbona wanganga ndo wengi makanisani sema wanajiita manabii na wachungaji sio wote wa ukweli
Unamaanisha Kuna Dhambi Njema? 😁
Mwizi ni mwizi hata awe mzungu
KAZI ya mungu hainamakosa nabii mkuu Fanya kazi baba matunda yaja yario mema ❤❤❤❤❤❤
Interview bora sana kutokea. Asante sana Millard kwa unyenyekevu wako mbele ya Mtumishi wa Mungu. Una nidhamu mno na ustadi wa kutosha katika kazi yako. Hakika umetusaidia sana kufahamu mengi juu ya Nabii Mkuu, Mheshimiwa Dr. Geordavie. Hakika tumebarikiwa
Tuombee na as milad tutoke kama wewe. Nakukumbka sana milad mung akutie ngv
Ni kiongozi wa manabii wa uongo.
@@emmdotsea usihukumu kabla hujaukumiwa lkn kama unauhakik ubarikiwe
@@emmdotsea Wewe muumini wa Zumaridi mfate sentro ondoka hapa
@@emmdotsea Zumaridi campany!
Amina
Tutumike kama Bomba la Maji
Mungu akubariki, utoaji Kwa wahitaji ndio Siri ya kupokea thawabu kutoka Kwa Mungu, wanaokuhukumu wanajitengenezea vitanzi maishani mwao na vizazi vyao, ACHA injili isonge mbele
Interview nzuri Sana. Mm nikianzia career ya kutangaza kwenye Radio ya Dr Geordavie 2009
Ahsante Sana Mirlad Ayo, ubarikiwe Sana, kwa kutuhabarisha Habari za ukweli,
Nimefurahi kusikia na kuona Upo kwa Nabii Mkuu,
Nabii Mkuu Geodav ndiye Nabii anayetumiwa Sana na Mungu kuwainua Watumishi wadogo,
Nabii Mkuu Geodav Ni Nabii ambaye hana wivu. Anatamani Watumishi wengine pia wainuliwe
Nabii mwenye Upendo na UKARIMU wa kimungu.
Huyu prophet ni mtoaji Sana namkubali ana moyo we kijitolea
Sanaaa mtoaj sanaa uyu baba
Anatoa nini na ss tuje
@@nangatv9218 mfatilie utajua anatoa nini..
Nimesikiliz kwa umakin Mwenyez Mungu awabrik Mh nabii mkuu Geardav n milad ayo kwa kaz ya kutumikia jamii asanten san
Hongera sana mtumishi umetoka mbali na miladi yupo vzr kwa mahijiano safi sana milad
Nabii Mungu aendelee kukutumia vema kutimiza agano lake kwako. Hongera sana.
Milad God bless you man, unapambana mno , una bidii na ni jasiri pia
Hongera Miladi Ayo kwa kutuletea mahojiano na Nabii huyu ambae ni adimu sana kuonekana. Napenda sana mahubiri yake sababu hufundisha watu namna ya kuishi ,pia namna ya kufanikiwa. Namnukuu "Usipochosha akili ukiwa kijana utauchosha mwili ukiwa mzee" "Time the time before time time's you" Namkubali sana.
Mh
🤣
ruclips.net/video/sOhtHKQ6Cbc/видео.html
Shalom. ..Dad! I miss you so much also i miss NYU,nawapenda sana.,.mtumishi mwanafunzi Grace
Kwa miaka 10 nyuma nimemfahamu,I appreciate him and his services Mtumishi wa Mungu.
Mungu akubariki na kukupatia maisha marefu prophet
Huwa najiuliza mbona watu wakiona manabii wanafanya miujiza wanasema ni freemason,, kwani kwa Mungu Hakuna vitu vizuri!? Mpaka nabii awe anatumia nguvu za giza?, Mbona mtu akiambiwa kuna mganga kiboko na anataka pesa ya maana tu Ndo akuhudumiae asilalamike, lakini watumishi watu wanasema wanataka tu sadaka, Hakuna huduma inayoenda bila pesa
Wajinga mtu akiwa tajiri wachawi
True sema kwa wengi masikini huwaga wanawaza kuhusu sadaka sio huduma
KAKA MILAD SIJAWAH KUKOMENTI KWAKO HAKIKA UMETISHA SANA.... UR SUPer super super zaidi... kunywa soda nitalipa
Ubarikiwe nabii wa Mungu nimekuelewa sana majibu yako
Doctar Nabii anazungumza Vizur Sana pia hongera Sana Milad Ayo,, kwa kuweza kumfikia mtumishi wa MUNGU,, HAKIKA MUNGU FUNDI
Nakumbuka 2006 nikiwa form two viwanja vya MRINGA Secondary ulikuwa unafundisha somo la imani.ilikuwa nzuri sana..
Napenda huduma zako baba mbarikiwa GeoDev naomba Sana unikumbuke siku zote mm na familia yangu ktk maombi yako baba mtukufu.Kiukweli nabarikiwa mno na huduma zako mtumishi.
Asante Sana Prophet na Millard.
Hakuna mwanadamu atayeuona uso wa mungu na akaishi. Soma KUTOKA 33:20
Jamani Sijaona Hekima iliotumika kujibu maswali ya Interview kama hii....
He is Real a Man Of God.
Nimeipenda psychological answering kweli ni nabii na msomi mungu akubariki
Mungu aendelee kukutuza Nabii wetu. Asiokuelewa basi sisi tunakuelewa
Ezekieli 33:11
Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?
Isaya 8:20 (KJV) Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.
Hakika
Hakika, hapana asubuhi.
Wengi hawaelewi, wanaita umati baraka au uwepo wa Mungu.
Sisemi mengi.
Nabii wa Mungu,tumwombe Mungu atuzidishie hekima zaidi....nimebarikiwa sana
Nimesikiliza mahojiano haya vizuri sana na nimeona hekima ya mtumishi huyu, nimejifunza mengi na nimependa majibu yake yote.
Baba napenda sana huduma Yako naipenda mno mungu akulinde akupe maisha marefu akulinde nakila kitu kibaya
Baba Geo Davie siku zote nakupenda, Mungu akuweke, akutunze na akubariki.
Asante Millard Ayo kwa kunikutanish na nabii kupitia interview
Eheheeeeee😂💔🙌 Make apo kwanza ncheke😂 yesu angaliaga na watu wa kuwapa ufunguo basi😂
Ukikutana na Nabii mkuu Geordavie, lazma maisha yako ya yabadilike. Kama ilivo kwangu.
Ni laana kubwa sana kuwasema vibaya watumishi wa Mungu, Mungu ndiye aliyewaweka kutumika kwa hiyo kama unaona kwako ana mapungufu hiyo haikuhusu wewe maana wewe hujamuajiri, Mungu ndiye amemuajiri na kumuweka hapo kwa hiyo wewe amini tu kwamba ni mtumishi wa Mungu hayo mengine muachie Mungu ambaye ni boss wake, kumbukeni kilichompata Miriam dada yake Musa alipozungumza vibaya kuhusu mtumishi wa Mungu Musa kitu kilichompata.
Huyu ni mtumishi wa shetani
Ishu sio kuhukumu ishu NI kutokulijua neno la Mungu ili likuongoze, ukiongozwa na kipofu hakika yako nawe NI kipofu soma neno la Mungu likusaidie
Moja ya kanuni inasema, USIMHUKUMU MTU KABLA HUJAMSIKILIZA YEYE MWENYEWE. Mimi kwa huyu mtumishi nilikuwa na shida ya kujua pesa anapata wapi. LEO AMENIJIBU kupitia hii interview. Nadhani ni vigumu sana mtu kufanya haya yote aliyosema mtumishi huyu akiwa hana Mungu. Niseme kweli kwa hao mnaomponda huyu mtumishi, mimi nina zaidi ya miaka 30 kwenye wokovu na sijawahi kuona mtumishi aliye perfect 100% katika kazi ya Mungu. NADHANI KUOMBEANA NI MUHIMU KULIKO KUBEZANA.
Hela anatoa nyingi nyingi sana anazitoaga wapi
Dahh Geordavie acha kutupanga mkuu! Wanaokufahamu ndani wanajua mishe ulikuwa unapiga sema umekana kabisa kwamba haukuwa na mambo mengi.
Sema kula maisha tu umezichanga vyema.
Kaupiga mwingi 😂😂😂
@@jonathankyando2698 Sana yaani!
@@georgematola2447 Acha upumbavu kijana ndio kwanza naona Matola bwege kama wewe. Wewe endelea kupalilia kizazi cha majizi yanayosafisha hela sema sababu wewe ni mtoto kiakili basi ukikua utashangaa ulivyo na watoto mashoga na wasagaji. Hiyo laana ni suala la muda tu sababu unakosa maarifa.
By the way sikujua kati ya wale mnaomwona huyu jamaa ni Mungu mpo huku pia! Wajinga ndio waliwao.
Ni msaka tonge ila kwa kupotosha🤓🤓🤑🤑
Unaejiita kijana wa kitanzania yaonekana hujitambui nani mpumbavu sana, wewe umeshamwita Mkuu na unamtambuwa kama Nabii mkuu huoni hujui ulisemalo ni bora unyamaze tu, Ningekutana na wewe ana kwa ana ingependeza zaidi huwezi ukanena maneno machafu kama wewe mwenyewe ulivyo mchafu hadi kwenye kinywa huenda kinanuka
Very smart in all angles man of God ......I real appreciated you though I never come
Ila Hapo pa kumwona yesu live umetupiga na kitu kizito kichwani.
Ila hongera na ubarikiwe kwa kazi yako.
Hapo tumepigwa na likitu lizito bhana
Inawezekana ata Mimi alinitokea
😂😂😂😂hata Musa hakumuonaaa Ila yy anadai alimuona 🤸🤸🤸
Lovely interview God bless you both
Starehe za duniani ni nyingi sawa na hali yenu ila vyote vina mwisho wao. Don’t forget about anything but remember that you have to pay back after everything you are doing
Wow nice karibu tena mombasa tunakupenda sana
Amen mtumishi wa mungu...real u are a man of God...I wish one day to attend your church...be blessed my prophetic man of God
Unaenda kupotea
@@neemakombe67 jmn Ney acha bhna tunaokolewa kwa NEEMA ya MUNGU pkeeee
@@maryandason1815 yani mm hawa manabii hawa siwaamini mm ila imani yako inavyokutuma fanya vile upendavyo
@@neemakombe67 kwa kweli MUNGU 🙏 atusaidieee mmaaaaaa
Karibu Sana tunakukaribisha
Mtumiishi HONGERA Sana MUNGU azidi kuimalisha huduma yako hakika Mungu Ana makusudi na wewe nimeona unabii unaooneka AMINA
Thank you daddy, I proud you as my spiritual father,Your story is totally healing me. Glory to Jesus Christ who gave you.
Mwiz mijitu aina akil inaibiwa sana
Millard Ayo, nimesikiliza mahojiano haya na yamenibariki sana, hongera kwa kuhoji vizuri kwa ufundi na kwa nidhamu safi. Nimejifunza vingi juu ya hekima ya mtumishi huyu. MUNGU AWABARIKI NYOTE
Karibu Europe baba 🙏🙏
Ubarikiwe nabii mkuu prophet geor
"Yesu sio mzungu Wala sio mweusi nywele zake sio ndefu Sana Kama picha tunazo ziona zinazo choragwa ila ni fupi zimenyongorota.." Dah kwa kweli hapo mi ameniacha bado sijaamini kabisa angesema mengine tungeenda sawa ila kumuona yesu HAPANA
Inamaana wew unataka kutumbia Yesu yuko kama yule jamaa muigizaji wa filmu za kikristo
ayo mapicha picha mzee jiongeze mtu muogo nirahisi Sana kupotea njia
@@chalessabaya2938 Hiyo umesema ww ila mm nimesema swala la yeye kumuona mm sijaamini. Hapo nilinukuu alichokisema yani ni uongo mtupu.Mimi siijui sura ya Yesu inafananaje
@@jumamofu9573 basi yeye Yesu kamjia katka ulimwengu wa roho akamuona life japo hawezi kumshika, ila anamuona lkn kama huamini endelea kujifunza zaidi kama mapepo wanaweza wakakujia ukawaona live hadi ukalia na ukawaona jinsi walivyo Yesu si zaidi? Au nikuulze Yesu aliwahi kutokewa na manabii kama Musa na elia Je Yesu aliwaonaje
Nakukubali sana nabii.mungu azidi kukupa mema
Atawadanganya wale ambao hawamjui Mungu na wale wasiomjua shetani
Mi nakuelewa sana baba bwana yesu akufunike kwa damu yake asante yesu kwaajili ya nabii uleyetupa tanzania usijali kwa ziaka za watu mana hata yesu aliziakiwa hizo ni bwebwe za shetani geuza jiwe liwe mkate kawaida tu kwenye wito by glory mayotte france
Jamani ndungu naomba msipende kuwaziak watumishi sisi jukumu retu nikusikiliza tu ukiona umuerewi nibola uwache kumsikiliza kuliko kumuukumu
Kweli nakupongeza ndugu yangu kwa kusema ivyo ivii unawezaje kumuongelea vibaya Mtumishi wa Mungu haki Mungu atusameehee
@@vailethkinabo7961 kwani yeye ni mkamilifu?? Yeye ni mtu kama watu wengine Hata yesu alikosolewa akiwa ni Mungu. Je yeye ni nani?? Kinachotakiwa sisi sote tuwe wa unyenyekevu kwa Mungu na sio kuwapatia utukufu watumishi wa Mungu kama watu wengi wanavyowapatia heshima kubwa manabii kuliko Mungu. Na manabii hawa wengi hawana unyenyekevu kwa Mungu.
@@vailethkinabo7961 acha uoga wa kijinga😂
Millard yuko vizuri Jaman Mungu Akuzidishie
Mimi naheshimu sana watumisha wa. Mungu maana unapokea uponyaji hata kwa kuwasikiliza mitandaoni yaani popote ulipo unaponyeka mbarikiwe 🙏🙏🙏👏👏👏
Password ni Imani tu
Kabisa dear.🙏
Mm nampenda Sana mtumishi huyu wa mungu,,,,piga kazi baba tupo nyuma yako
Nabii mtu wa mungu namshukuru sana mungu wako kwa maisha yako ..asante sana baba umebadilisha sana maisha yangu
Barikiwa sana Millard kwa kutuletea Nabii Dr.Geodavie
Namshukuru Mungu kwa kunijaaliya kuwa muislam maana .....
Namshukuru mungu kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye uislamu laiti watu wangejua dhamani na neema ya uislamu wasingekubali kupotezwa kama wanavyopotezwa inasikitisha sana sana
Namshukuru Mungu kuniteua niwe mwanafunzi wa Yesu.Siambiliki kutangatanga kwa sababu yanayotokea yalitabiriwa.
Wokovu wa kweli katika roho na kweli, kutoa zaka, dhabihu, limbuko, kutangaza injili, kuwa mtakatifu, lijue neno la Mungu, ni njia ya kweli kupata utajiri wa kiungu (torati 8:18)
Lakini wokovu bila pesa!!!
Mwenyezi mungu atuokoe kwa watu kama hawa
Akuokoe ww uwe na upeo wa kumjua Mungu zaidi.
Wajinga ndiyo waliwao
Katokewa na yesu 😀😀😀
Akuokoe wewe ngurue
Wenye majini yao
Whaaoooo...Millard umependelewa na mungu ww...uyu Baba yangu si mtu rahisirahisi kiivyo ni shiidaah kupatkana wewe kuweza hilo ni hatua kubwa ya baraka kwako na wote tuliopata neema ya kufatilia kipindi hiki
Much blessed watching this,be blessed servant of God,from Kenya wish one day nitafika kanisani,am happy coz I was given the key ambazo amedescribe,I hope God atatenda kwangu pia,
Duh!
Yesssssssss ,,mh Jokate Mwegelo schools
Poor people made this man extremely rich!
Iq
They make Rich OFFCOURSE. PHD!! Mh
Ayo hongera sn mtafute na kuhan Musa hatupe baraka za Yesu
Ee Mwenyezi Mungu tupe macho ya rohoni tuijue kweli yako
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Shetani amepanda Magugu ktk mashina mbegu njema alizokwiaha panda Mpanzi.
Tuaubiri siku ya mavuno.
MWENYEMASIKIO ME ASIKIEEE
Huyu jamaa Leo nimemuelewa ni mzur Sana kwenye kujibu maswali
Mimi pia
Nimeipenda kazi yako millirdiayo ubarikiwe sanaaaaaa ✍️
Unajiunuwa sana na kujitukuza sana,kuliko Yesu kristo !
Geordavie nilimuona mara ya kwanza mwaka kati ya '91 au '92 hivi kwenye mkutano nadhani wa Kulola kule Moshi. Aliimba wimbo ambao mpaka leo sitausahau unaitwa "Sauti ya Mtu aliaye Nyikani". Alikuwa ni fayaaa vibaya mno wakati huo. Ni mwanamuziki kabisa huyu jamaa
Mtumishi wa Mungu mm ninashida sana nilikuwa nakuomba unisaidie laki mbili nijisaidie ninunue chakula mtumishi wa Mungu,
Milad sautiii Jana iko powa sana
millard kazi nzuri👏
Baba nakuelewa Sana kweli Mambo ya Rohoni yanaeleweka katika Roho ukiwa mwilin huwezi elewa
Nashukuru saana baba nabii wa mungu , tena tunagufata mahubili yako ni mazuri saana kutoka Rwanda kigali