Mchungaji pekee Tz,ambaye asipo jichanganya in 5yrs from now atakuja kuwa the Big Icon kwenye injili kutoka Tz...Pst Tony endelea kumtumikia Mungu kwa Uaminifu zaidi. Mungu akusaidie 🎉🎉🎉
Guys huyo Mr. Tony siyo mtoa miujiza but ni muinjilist aliyejikita katika kutoa elimu hasa kwa vijana kupitia neno la Mungu Amepewa uwezo wa kuunganisha elimu, mapambano yetu na nguvu ya Mungu kwa pamoja
Interview nzuri sana, hongera sana pastor Tony pamoja na Salim kikeke mtangazaji pendwa. Mungu awabariki sana Crown 👑 media group kwa ushirikiano mzuri
Nimejifunza ukimtumikia MUNGU kwa kweli na kwa dhati aisee anakupa maakili mengi yaani ambayo watu wakiona wanashangaa ni kama hivi kwa Pastor Tony Kapola na kwa Sister Amarissa ( recipe by Amariss) nyie watu MUNGU amewabarikia kwaajili ya Tanzania mzidi kutunza na MUNGU🎉🎉
Interview nzuri sana...maswali mazuri sana ila ukizingatia kikeke Muslim then kavaa kanzu most christianity watafikiri anachallenge dini ya kikristo kwa kudhani ni injurious questions but infact those are Normal qns ambazo mtangazaji yyt anaejitambua regardless of religion angeuliza. Ushauri wangu next time ..... kikeke next time akihoji viongozi wa dini tofauti na imani yake ASIVAE TENA KANZU
nyie mnao lalamika sana kwamba pastor anachanganya english na kiswahili always ukisha zoea kuongea kingeleza ukiongea kiswahili lazima kingeleza kije tu kwahiyo acheni kulalamika ovyo ovyo jifunzeni lugha huko😂😂😂😂😂
Sasa mchungaji kazi yako ni kuongoza kondoo kupata malisho mema Na ulaji wa mchungaji hutokana na kondoo tangu hapo zamani Makuhani wali lishwa na waumini Mchungaji yupo sahihi kuonyesha njia ya mafanikio kwa waumini wake Kuokoka haku thibitishi umasikini au kukataza mafanikio , MUNGU wetu anaruhusu kupambana na kufanikiwa Tuache kufikiri vitu in negative way MUNGU awabariki
PT anahojiwa sehemu yenye kelele lakini zile kelele zimethibitiwa unasikia sauti ya muhojiwaji na sio kelele za watu jamaa wapo vizuri sana Sauti imetulia mno
Asee hiyo sio really definition ya injiri.. Injiri ni habari njema ndio sikatai but inakuwa uweza ndani yake uletao wokovo... bro tuwaubiri watu waende mbinguni... wakisha mkili yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao hizo shida zitaisha, hilo tumaini litalejeshwa.. that the purpose, tuwaambie ukweli hawa watu waache dhambi.. we don't have to do it for our own purpose
Hivi Unajua ni wangapi ambapo Tony kawabatiza mwaka huu? fanya research ndipo uone impact ya huyu jamaa, Tony anafundisha neno na siyo kuwa mkali na sheria nyingi maana hilo ndio linafanya tusiwafikie watu wengi...
Yes, injili ni uweza unaoleta wokovu.... Kwahyo wokovu kwanza, mengine baadae, hakuna atakayekwenda mbinguni na vitu anavyovitafuta duniani... Ndio maana lazima watu waache dhambi kwanza wewe wenye haki wasimamapo kwenye hukumu, Ndipo hata ya duniani yawafuate.
Tony as long as you don't hesitate to Mention Jesus anywhere everywhere Be blessed abundantly
Yeeeeeees
Pastor Yuko smart sana Yesu Kristo akubariki mtumishi wa Mungu.
Amen 🙏
Pastor Tony Ujasiri huu wa kumhubiri Kristo Yesu na uweza wake, ndio kuupindua ulimwengu! Bwana Yesu akuinue na kukutumia zaidi!
HOW CAN I LIKE THIS VIDEO 10 TIMES 🙌
Mchungaji pekee Tz,ambaye asipo jichanganya in 5yrs from now atakuja kuwa the Big Icon kwenye injili kutoka Tz...Pst Tony endelea kumtumikia Mungu kwa Uaminifu zaidi. Mungu akusaidie 🎉🎉🎉
Muombee kama NEHEMIA
Kabisa muhubiri kijana mwenye nondo za maana ni 🔥
Guys huyo Mr. Tony siyo mtoa miujiza but ni muinjilist aliyejikita katika kutoa elimu hasa kwa vijana kupitia neno la Mungu
Amepewa uwezo wa kuunganisha elimu, mapambano yetu na nguvu ya Mungu kwa pamoja
Yes
Kabisaa
Eimen
Best mentor & Pastor anyone can wish for!! God bless you on how ur changing our lifes
Best Mento and Pastor, we love you Baba na Mungu aendelee kukutunza🙏🏾
Mahojiano mazuri. Maswali mazuri. Majibu mazuri. Pongezi kwa Salim Kikeke na Pastor Tony kwa interview hii. Big up.
“Its gonna be kila mwaka, MPAKA KRISTO ATAKAPOKUJA” That was so bold👍🏼
Ai kumbe we unamngojea kristo?
I love the definition of Gospel, widely ❤🎉🎉
Mungu awainue crown media
Mungu akubariki pastor Ton, mwenye masikio ya ndani na ufahamu wa Mungu ndani yake atakuelewa, nimekuelewa Kaka🙌
hongera sana king kikeke na king kiba kwa kuandaa crown media, naomba muandae kipindi cha gosple hata dakika 30
KIKEKE ni muhojiji wa kimataifa nakubari sana
Interview nzuri sana, hongera sana pastor Tony pamoja na Salim kikeke mtangazaji pendwa. Mungu awabariki sana Crown 👑 media group kwa ushirikiano mzuri
Upo nyau
Be blessed PT. Hakika Mungu amekuweka kama tunu katika nchi yetu ya Tanzania. We are really blessed.
Thanks Crown media to support this mission . You have earned a subscriber here❤❤❤❤😊. May God bless you.
Great is faithfulness. God is great forever & ever
I have subscribed to Crown media ili kuwa baraka kwao following the prayers of the man of God
Amen Barikiwa sana
Pastor Tony, Yesu akutunze sana. The mind of God ❤
Good interview..I wish in da future days Kikeke uwe kiongozi..u have a good tone❤
Salim kikeke, you're very smart!! be blessed bro.
Yes umejibu vzr sana pastor Osborn yaan bila yesu uwez kawa maarufu ,
Mbona diamond ni maarufu
Waooooow I love that YESU NDIO MAARUFU.. being smart
I like this creativity,tunaishi duniani tunapo sogea kanisani tunaandaa kuishi kesho,lakini haina maana tusiishi duniani
Mchungaji wewe uko vizuri Sana endelea kumhubiri yesu hata wasiotaka kumjua watamjua na kumpokea, uko vizuri Kila baada ya sekunde kadhaa mtaje yesu
love the blackmagic shot the wide cmera feels like a canon 😅😅😅😅love the concepts from P.T he is Authentic..
MUNGU akubariki sana pastor tony🎉
❤
Sio kweli... injili ni uweza wa mungu uletao wokovu nasio habar njema...
That my pastor am proud of him❤
Pastor Tony yupo kwenye Damu ananijenga sana🇹🇿🇲🇿🙏
Intavyuu nzuri production mbaya makelele mengi
Hongera sana Plaster Tony🎉🎉🎉❤ Amen ❤
Ubarikiwe sana mheshimiwa,,,
Pastor uko vizuri Katika Jina La YESU KRISTO
Miti shaba na dawa za kienyeji ❤❤❤
Only crown ❤my favorite station sooooooo far
Pastor Tony ❤❤❤❤ Kristo akutunze
Big up salim kikeke
Asante sana mr Tony
Mbarikiwe.pastor
PT be blessed much ❤❤❤love U
Nimejifunza ukimtumikia MUNGU kwa kweli na kwa dhati aisee anakupa maakili mengi yaani ambayo watu wakiona wanashangaa ni kama hivi kwa Pastor Tony Kapola na kwa Sister Amarissa ( recipe by Amariss) nyie watu MUNGU amewabarikia kwaajili ya Tanzania mzidi kutunza na MUNGU🎉🎉
Salim Kikeke uko vizuri sana katika kuuliza maswali barikiwa sana
Mimi sio Maarufu ila Yesu ndiye maarufu
Waooh God is good❤
Hukohuko mtaani tafuteni mtaona😅😅😅😅😅 daaaah hii imenichekesha Sana
Extraordinary man
I celebrate you 🎉 PT❤❤
A very smart man of God
Wao YESU ndiyo habari ya mjini
Very smart pastor
Mungu akutunze baba
Ukiwa kama mpelelez sekunde 17:54 umeskia nini? Isaiah 54:17 NKJV - No weapon formed against you shall YES SAR
Guy u are good💪👏👏
Nampa 100/Salim kikeke kwa kuzingatia kiswahili...
Akili ya ki Mungu
This guy has a normal appearance but he has a lot of intelligence
I celebrate my Pastor🎉🎉🎉
Ukimtumikia Mungu kwa uaminifu atakutunza
Aisee Salim kikeke nimeanz kumfuatilia na kumpenda tangu nikiwa mtoto mdg, Mungu aendelee kumbariki
Amen 🙏 🙏 ❤
Salim kikeke baba wa habari africa asante sana temy dayo wewe ndio ujae endelea kujifunza kwa salim kikeke
Tony, move on bro. God has called you for a purpose. So blessed.
AMINA PASTOR TONY
Ubarikiwe xnaa pasta Atony
Interview nzuri sana...maswali mazuri sana ila ukizingatia kikeke Muslim then kavaa kanzu most christianity watafikiri anachallenge dini ya kikristo kwa kudhani ni injurious questions but infact those are Normal qns ambazo mtangazaji yyt anaejitambua regardless of religion angeuliza. Ushauri wangu next time ..... kikeke next time akihoji viongozi wa dini tofauti na imani yake ASIVAE TENA KANZU
Ahsante sana but kitu cha pekee mkaka Pastor hana shida kabisaaaa ana positive altitude sana
Ameeeen🙏🏼
Aameeen
Bless you 💖💖💖
Mafarisayo walivaa mavazi ukiwaona utawapisha viti vya mbele ila YESU aliwakataa Bwana hutazaka moyo ishi Kwa imani siyo mengine japo ni muhimu
Kuna wachungaji wengine kazi yao ni kuhukumu na kuwasema wenzao.. ajabu wale wanaosemwa vibaya Mungu anawainua.
Yaan halafu wanasema halafu hawana hata shilingi
amen
Kwanini watagazaji wengi au wanaojiwa wanachanganya kingereza na kiswahili ila kikeke achanganyi kwanini.??
@@arthurmushani4745 huyu ni mtangazaji mkubwa sana ndugu washamba ndio wanaofosi kuchanganya lugha
Na ameishi UK miaka 20+ ha ha ha
Tuna ushamba mwingi mnoo
kikeke ni Professional🔥🔥
Kwasababu anajua kiingereza ndio maana hachanganyi ila tusiojua ndo tunachanganya.
Crown media please check your microphones. Sauti haiko clear.
nyie mnao lalamika sana kwamba pastor anachanganya english na kiswahili always ukisha zoea kuongea kingeleza ukiongea kiswahili lazima kingeleza kije tu kwahiyo acheni kulalamika ovyo ovyo jifunzeni lugha huko😂😂😂😂😂
AMEEEN
Safi
Mungu atupe uwezo wa kutumia akili tulizopewa
Amen 🙏
Sasa mchungaji kazi yako ni kuongoza kondoo kupata malisho mema
Na ulaji wa mchungaji hutokana na kondoo tangu hapo zamani
Makuhani wali lishwa na waumini
Mchungaji yupo sahihi kuonyesha njia ya mafanikio kwa waumini wake
Kuokoka haku thibitishi umasikini au kukataza mafanikio , MUNGU wetu anaruhusu kupambana na kufanikiwa
Tuache kufikiri vitu in negative way
MUNGU awabariki
Amina
PT anahojiwa sehemu yenye kelele lakini zile kelele zimethibitiwa unasikia sauti ya muhojiwaji na sio kelele za watu jamaa wapo vizuri sana Sauti imetulia mno
Dah unafiki sio mzuri Crown media boresheni njia zenu za sauti ni mbovu sana.
kikeke unakipaji cha kuhoji TZ nzima sijaona 😅
I love you papa❤❤
Amen
Tonny kapola ujumbe sana
Anaitaji badiliko halisi, kijana mwenzetu bado ayuko sawa, Mungu amtie nguvu. Mtangazaji yuko na ufaham mkubwa zaidi ya anaeojiwa.
Asee hiyo sio really definition ya injiri.. Injiri ni habari njema ndio sikatai but inakuwa uweza ndani yake uletao wokovo... bro tuwaubiri watu waende mbinguni... wakisha mkili yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao hizo shida zitaisha, hilo tumaini litalejeshwa.. that the purpose, tuwaambie ukweli hawa watu waache dhambi.. we don't have to do it for our own purpose
Acha makasiliko kak unapajua mbinguni na unaijua injili😅
Hii definition yako imeandikwa wapi
Hivi Unajua ni wangapi ambapo Tony kawabatiza mwaka huu? fanya research ndipo uone impact ya huyu jamaa, Tony anafundisha neno na siyo kuwa mkali na sheria nyingi maana hilo ndio linafanya tusiwafikie watu wengi...
Yes, injili ni uweza unaoleta wokovu.... Kwahyo wokovu kwanza, mengine baadae, hakuna atakayekwenda mbinguni na vitu anavyovitafuta duniani... Ndio maana lazima watu waache dhambi kwanza wewe wenye haki wasimamapo kwenye hukumu, Ndipo hata ya duniani yawafuate.
Injili ya kweli watu hawahubiriwi, Bali wanaambiwa Yale wanayotaka kusikia wao, kama mafanikio, kuolewa, kuoa, kupata peasa n. K.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
King Keke👑👑
Hela inaishia bia.Kila nikipita karibu na bar,shetan ananiita njoo uonje utamu wa bia.Mungu nisaidie niache.
Ameen
Amen amen
Marvelous
Ameeeni
❤❤❤❤❤
Mfanyabiashara kwa kumuuza yesu