PART 2: LUGUMI AFUNGUKA UKWELI WA MAISHA YAKE, USWAHIBA WAKE NA KIKWETE, ENZI ZA JPM, YA DKT SHIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии •

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 День назад +128

    Muandishi umeniangusha ktk mahojiano yako, umeacha gaps nyingi sana za msingi
    1. Ilipaswa umuulize Lugumi ilikuwaje mpaka nyumba zake zikapigwa mnada enzi za JPM
    2. Ungehoji kwa kina urafiki/kujuana kati ya Lugumi na Kikwete kulimpelekea vp yeye Lugumi kuwa tajiri
    3. Lugumi anajishugulisha na biashara gani au kampuni zake zinahusika na biashara gani.
    4. Aliposema hana marafiki, basi muandishi ungehoji kwa kina kwann anasema marafk ni wanafiki
    5. Kwann katika maombezi yake juu ya viongozi Marehemu kamuweka Hayati AH Mwinyi tu na sio JPM wala BWM
    6. Ungehoji kuhusu alivyoanza biashara zake mpaka kufikia yeye kuwa tajiri
    Kwa kifupi ndugu muandishi hukujipanga vizuri na maswali yako, ni kama hukuwa na appointment ya interview na huyu Lugumi
    Kwa interview ilivyo chini ya kiwango kama hii tena dhidi ya mtu mashuhuri kama Lugumi, nawapa lawama crew nzima ya Ayo media kuruhusu huu uchafu kuwekwa humu.
    Ikiwapendeza basi nakushauri ndugu yangu Millard Ayo nenda Kairudie interview tena na Lugumi

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw День назад +1

      Hana akili

    • @aminiismail3371
      @aminiismail3371 День назад +4

      Kabisa. Hakuna muulizaji hapa. Mm nilikua na hamu ya kumjua lugumi ila bado sana

    • @mubaraqotyeno9061
      @mubaraqotyeno9061 День назад +2

      Muandish kafel pa kubwa sana kutupa faida

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur День назад +2

      Kweli kabisa muandiishi inaonekana alienda kuuza sura

    • @nasriabdi9046
      @nasriabdi9046 День назад +1

      kweli kabisa amefeli sana maana hatujalidhika kabisa, waandishi wasio na vyeti ndio hao

  • @disanatv4485
    @disanatv4485 День назад +49

    Kama unahitaji Milard hayo afanye na LUGUMI interview yake tujifunze sisi, akiwa amekaa naye kabisa gonga like apa zifike 500.#Milard Ayo.#LUGUMI.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 День назад +13

    Swadakta Rizki mtoaji ni Mwenyezi Mungu. Namuomba Allah aendelee kukubariki ktk maisha yako.

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 День назад +8

    "Sina rafiki,ni wanafiki tu...rafiki yangu mama yangu amefariki sina rafiki mwengine" nimependa sana swala hilo,hili ni somo kubwa sana kwenye safari hii ya maisha😊

  • @brownngullo4051
    @brownngullo4051 День назад +24

    Ukitaka kutoboa jitahidi sana kuwa jasiri na mwenye uthubutu. Watu ambao elimu zao ni darasa la 7 wana nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasomi.. Wasomi wengi ni waoga wa maisha

  • @Dr_MoMD
    @Dr_MoMD 12 часов назад +2

    Allah akujaalie... Mtu muungwana sana 🙏

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q День назад +6

    Mashaallah natoka na machoz wallah maan huyu mzee ananigusa mno anajua Mali sio yake yake ni ile anayoitoa,yarab nipe uwezo nifate nyayo za huyu mzee,Allah akupe umri mrefu akuondoshee husda maradhi amiin

  • @cullenlembris2686
    @cullenlembris2686 День назад +6

    Lugumi seems yupo interested na interview sema mwandisi ndo yupo hovyo sna .hajui kuuliza maswali dadekk..hovyo kweli .

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 День назад +15

    Tanzania hii tu kmbe kna watu wana roho nzuri ivi Allah akuzidishie kwaajili ya watoto yatima baba etu🎉❤❤❤

    • @msambalamjukuu3866
      @msambalamjukuu3866 День назад

      Hii dunia Kuna Siri kubwa sana

    • @ole_larusai587
      @ole_larusai587 День назад

      Jidanganye! Watu wantimiza masharti ya utajiri wao.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 День назад +2

      @ole_larusai587 leta ushahidi hapa hatutaki maneno ata kwenye kanga yapo😂😂 wakristu mna wivu sana mkickia kitu kizuri kwa waislam

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 День назад

      Kabisa​@@hanifa9153

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i День назад +8

    Hii point ya usidhulumu mtu akienda kuongea na Mungu wake utapata shida sana

  • @Juliusmganga4734
    @Juliusmganga4734 День назад +3

    Huyu Bwana anaonekana ana roho nzuri sana. Tabia aliyonayo ndio ambayo Mungu anaitegemea kila mmoja wetu awe nayo. Mungu akubariki bwana Lugumi.

  • @hajikatanje5961
    @hajikatanje5961 День назад +10

    Boss upo Allah Aendelee kukupa riziki na salama ktk umri wako

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu День назад +5

    Said hapo uko sawa kabisa.watu wengi wanazarau kwenye juhudi za mtu.

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety 12 часов назад

    Napenda alivyo humble,anajiamini afu yupo so serious=thats success

  • @AllyHamran
    @AllyHamran День назад +3

    Allah akuhifadhi Lugumi.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 День назад +27

    Connection ni muhim kwenye haya maisha ya bongo,,,,,,,,,,

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y День назад +4

    Daah interview inatia huruma sana😢 safi sana boss lugumi

  • @40kstore
    @40kstore 12 часов назад +1

    Huyu kweli kaishia la 7,hana inspiration yoyote,connection na mkuu imemesaidia

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 часов назад

      Yuko smart sio mtu talkative sana mtu cool sana afu hana mapepe hata JPM alimuandama yote alikua anataka kumfilisi huyu mwamba ila akakaa stable the niqqa is gone na jamaa anaendelea kupambana JPM aliandamwa na vyawa wambea wambea

  • @issaissa9873
    @issaissa9873 День назад +3

    Mashallah akuzidishie na akufungulie milango ya barka duniani na akhera

  • @NdizeyeEric-wx4fe
    @NdizeyeEric-wx4fe День назад +1

    Lugumi ..mungu agusaindie ..upate zaindi ...usiwuje nyumba yako Amen

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me День назад +4

    Kwa sababu upo na watoto yatima MUNGU azidi kukuongezea Mr rugumi

  • @alishamlan7434
    @alishamlan7434 10 часов назад

    ALLAH. SW Akuzidishie

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 13 часов назад +2

    Tajiri awezi kukupa undani wake ilo ni kosa awezi fanya

  • @fatimarizvan3119
    @fatimarizvan3119 День назад +3

    Mashaallah mungu akuzidishiye boss na Asante kwa maneno mazuri 🙏

  • @fidelMlonsi
    @fidelMlonsi День назад +5

    Sina RAFIKI 🎉 mhimu sanaa❤

  • @Jjbfm
    @Jjbfm День назад +2

    Mtu mzuri Sana Allah akulinde ❤❤❤❤

  • @IddiAllykh
    @IddiAllykh День назад +6

    Mashaa allah mungu aziku kukupa riski ya kuishi katika haya maisha uzidi kuwasaidia hao watoto

  • @ip_header
    @ip_header День назад +2

    Nice interview, I learned something

  • @HakizimanaFiston
    @HakizimanaFiston День назад +2

    Yes kabisa mungu Akuzudishiye

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 16 часов назад

    Mungu akuzidishie sn kaka akubariki sn katika hili umenikosha sn kaka wapende Hawa malaika kaka nashukuru MUNGU nimewahi pata taarifa zako kaka huna Hila hata kidogo ukiwaona vijana wamekaa unawajali sn.. hongera sn

  • @hassanimam2454
    @hassanimam2454 День назад +1

    Alaah akujaalie Mr Lugumi.

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re День назад +2

    Mimi nilikutana na Lugumi said Airport Dar akasema hivi bwana Machenga umefika lini hapa Dar? nikasema nilifika jana akasema sasa nisubirie hapa nakuja akaingia ndani ya uwanja wa ndege nilikaa toka saa4 asubuhi mpaka saa 8 mchana ndiyo akatoka alichokifanya kwangu siwezi kukisahau alinipa hela ambayo sijamuomba na ilinisaidia kiasi kwamba nikajua kweli wapo watu ambao mungu kawajalia moyo safi na mpaka leo hii niko Mwanza Aspen Hotel nafanya kazi nikisikia Lugumi kafungua Hotel pamoja na uzee wangu huu nitamfuata nokafanye kazi kwake. Ambao hawamjui Lugumi basi tuishie tu hapo kwamba Lugumi ni mzuri basi.

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 18 часов назад

    MashAllah hongera sana

  • @Roll_Julaizer
    @Roll_Julaizer День назад +2

    Nimependa sana mungu hakuzidishie❤

  • @EnthusiasticFencers-rg2td
    @EnthusiasticFencers-rg2td День назад +1

    Mungu akuzidishie mkubwa wangu maisha uliyoyachagua niyakimungu mnoo

  • @zoladking
    @zoladking День назад +1

    pure soul salute big lugumi

  • @richnuch1873
    @richnuch1873 18 часов назад

    interview mbaya sana mtangazaji umeacha kuuliza maswali ya msingi

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg День назад +1

    mashallah kaka mungu akuongezee neema kubwa kuliko hy

  • @kelvinlimbe1263
    @kelvinlimbe1263 День назад +2

    Kaka mungu akubariki sana.najifunza vitu vingi sana. kutoka kwako

  • @johnmussa5489
    @johnmussa5489 22 часа назад

    Mwenyezi Mungu akujalie zaid mzee

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 День назад +2

    Yani mpaka Lugumi, chiefgodlove ni rafiki yake ila hajui biashara anayoifanya hiyo kali sana

  • @BakariAbasi-h8c
    @BakariAbasi-h8c День назад +1

    Kila muda anatamka kumtaja Mungu sihaba baraka umepata muda ukautumia kwa ajili ya mola wako hongera sana kaka

  • @ovicsmnene4811
    @ovicsmnene4811 День назад

    Mungu akubariki Saidi Lugumi follow from Dubai mimi pia Said

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w День назад +1

    Masha Allah ❤ may Allah protect you

  • @rizikimtui8992
    @rizikimtui8992 12 часов назад

    Aliiba vizuri sana

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c День назад +2

    Tajiri Lugumi Mungu Akupe Maisha careful Tupo Kongo hatuna njia ya kuja tz

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 18 часов назад

    Huyu mzee yupo vinzuri sana Mungu amubariki sana

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l День назад +3

    Hivi Milady huyu bwana mkubwa hivi unampa mwandishi mdogo huyu amuhoji? Daah! Katika hili umefeli. Nimekosa vingi kwa Lugumi!😢 Basi namshukuru Mungu 🙏

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df День назад +5

    Imam natamani nimsikilize na kumuangalia wakati woote.Allah amuhifadh sn na amjaalie afe ni muislam wa kweli

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 День назад +2

    Mwandishi wa Habari, huyu jamaa huwa anazingua sanaaa kwenye interviews zake nyingi tu. Kazingua sana kwenye kuuliza maswali, hakamilishi swali, hajapangilia maswali yani anauliza hili baadala ya kuendeleza swali la miongeza yeye analeta swali lingine tofauti na la kwanza. Inshort Millard kwa huyu jamaa kafeli pakubwaa. bora vido vidox angeenda bhana.

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 День назад

      NDO HUYU ALIYEWAULIZA WATU KWENYE SHIMO KARIAKOO K😂😂😂😂😂

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm День назад +10

    Mahojiano bora mafupi kuwahi kuyaona duniani😊😊😊😅😅😅

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 День назад

      Hakuna chochote alichoulizaaaaa 😂😂😂😂😂😂 Matakataka matupu

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 День назад

    interview tamu sana mpk natamani isiishe daah! 😋😋

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety 12 часов назад

    Mwandishi hakujipanga,maswali yake ni casual.wakat interview kama hizi ni exclusive.millard wewe ni master wa hizi kaz.ulitakiwa uwepo,umetunyima madini aiseeh.
    Mtazamo wangu.

  • @PinsonMuhoza
    @PinsonMuhoza Минуту назад

    Dah! Uyu ni mtu wa kipekee sana

  • @MsobweMsobwe
    @MsobweMsobwe День назад +1

    Marafiki wabaya kwenye utaftaji Hilo ni kweli

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 День назад +1

    Apo kwenye kudhulum kwanza jaman watu tunaumizwa sana😢😢😢 inshaallah mwenyezi mungu atalipa kwa yote

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 10 часов назад

    Maashallah Allah akubariki

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 День назад +2

    ukisikia watu wanamsema vibaya mama samia raisi wetu mpendwa,fahamu kwamba ni ktk wale watu wenye roho mbaya!!wenye. mioyo ya korosho!!
    Allah amhifadhi mama SAMIA!!!

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n День назад

    Mungu akujaze mzeee usipungukiwe hata yone

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 День назад +2

    Safi mkuuu unachokifanya n kitu kizuri na ni watu wachache wanaoweza kufanya kama ww

  • @DeogratiusMelchior
    @DeogratiusMelchior 8 часов назад

    VANITY UPON VANITY

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 День назад +1

    BIG UP LUGUMI

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 День назад +2

    Subhannaah Allaah kwelii kabisaa

  • @BakariMalembeka
    @BakariMalembeka День назад +1

    Bradha we huwa unafact za kichamugu Sana

  • @giztony2009
    @giztony2009 День назад +4

    Huyu jamaa maneno yke nayatumiaga kama faraja nikiwa namawazo!

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub День назад +1

    Endelea kufanya hivyo Mungu akupe afya njema

  • @BeatriceJoseph-n1c
    @BeatriceJoseph-n1c 16 часов назад

    Ila mwandishi 😢😢

  • @innocentnziku1914
    @innocentnziku1914 День назад

    Muandishi huyu mnamuelewa kweli???? Daaah amezingua sana

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u День назад +1

    Watu wengi wanakiu ya kumsikia lugumi akitoa madini kulingana na elimu yake lakini Muandishi aukujipanga kwa maswali mantiki ili mzee lugumi atupe madini ya utafutaji
    Maswali yako ayajajenga hoja ya msingi kwa umma

  • @MsobweMsobwe
    @MsobweMsobwe День назад +1

    Kweli dhuluma ni mbaya Kweli lugumi anajua

  • @erdekingtv9563
    @erdekingtv9563 19 часов назад +1

    Mwandishi hujatupitisha kwenye masuala muhimu mfn historia yake, amefikaje hapo alipo n.k hii interview ingekuwa kubwa sana kama ingegusa maeneo muhimu

  • @zowmemes9923
    @zowmemes9923 6 часов назад

    Soma historia ya maisha ya mtu yote ndo umuhoji, hongera hata hivyo

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 18 часов назад

    Jamani hii Interview😢Ilihitajika Millard mwenyewe au Zamaradi huyu kaka kampotezea muda tajiri😢. Maswali ya msingi hata moja ajamuuliza

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 День назад

    Nakupenda sana brother

  • @cullenlembris2686
    @cullenlembris2686 День назад +1

    @millard ayo- vijana wako Uandishi bado. Kifupi hajakata kiu ya wadau wengi..hakujipanga na hiyo interview na lugumi. Hajui kuuliza maswali. Hovyo kabisa. Huyu Hana tofauti na WA yule kariakoo alituchefua kipindi kille. Mue hata mnaangalia zille hard talks za BBC uone miamba inavyohoji maswali .

  • @blata-matelephone
    @blata-matelephone День назад +1

    KUNA MASWALI HAJAULIZWA LUGUMI, PLS MILLARD AYO CHUKUA MIC UMUITE LUGUMI KWENYE KILE KIMEZA CHAKO NA CHUPA YA MAJI YA UHAI

  • @fidelMlonsi
    @fidelMlonsi День назад

    Waiting for this🎉

  • @aminammbaga7736
    @aminammbaga7736 7 часов назад

    Hii interview tumpe millard ndo safi wengine bado sio kwa ubaya lakn

  • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
    @LovelyMountainLandscape-dd4xe День назад

    Safi lugum ishi miaka mingi

  • @justinemasse28
    @justinemasse28 8 часов назад

    Kwani ana watoto

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 11 часов назад +1

    Interview ya hovyo ya kufungia mwaka. Sijasema Lugumi ni wa hovyo bali interview haina tija. Muandishi kafanya chini ya viwango ni kama soga za vijiweni tu.

  • @KelvinDrt-y6b
    @KelvinDrt-y6b 18 часов назад

    Elewa kutafuta anavojua yeye alipo Fika dsm

  • @blackothman7332
    @blackothman7332 День назад

    Huyu sio baba yake na chief godlove kweli😅😅

  • @narecykt5690
    @narecykt5690 День назад +1

    Mwandishi alipangiwa maswali yakuuliza kitoto sana, huyu jamaa na Kikwete tunamjua

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 День назад +2

    Kama kuna mtu ana moyo wa kweli ni huyu Bwana. Amesema hata nyumba itauzwa kwa ajili ya kulea watoto hao

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm День назад +2

    ukiona HAMISI hv ujue kifo kinakaribia mtu anajutia madhambi yake na alivyoumiza watu na kuibia watu.

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 День назад +3

    Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu long time Nyamagana Ziwa,kumbe ndio lugumi Duu dunia hii wacha

  • @SamlecoTz
    @SamlecoTz День назад

    Stay safe WA TANZANIA

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm День назад +12

    Samia ni miongoni mwa viongozi ambao hawapendi kuzulumu watu

  • @venancemangale2860
    @venancemangale2860 14 часов назад

    Mwandishi hata hafahamu kuwa hii ni awamu ya 6.

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 17 часов назад

    Badilisheni jina ya chaneli hii wekeni 'MILLARD LUGUMI'... maana naona siku hizi mnamtangaza sana huyu mtumish wa mungu

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 День назад

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 6 часов назад

    millardAyo huyu mzee inabid umtafute umfanyie interview wew..Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Huyu mtu, anajua mambo mengi na wengi atatuamsha usingizini

  • @mikasailajr
    @mikasailajr 7 часов назад

    Millard Ayo acha ufala interview gani sasa hii isiyo na kichwa wala miguu

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 День назад

    ●bahati yataka moyo ● ❤

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 День назад

    Aaah sawa

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 16 часов назад

    Lugumi ana 51 katoboa mimi 41 ndio kwanza nina kibanda cha vyumba 3 aiseee

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 День назад

    Mashaalaha

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 День назад +1

    Nje wanamzungumziaje?

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 13 часов назад

    Au basi........😂