PART 1: BILIONEA LUGUMI NYUMBANI KWAKE AOMBA DUA NA WATOTO YATIMA 700, ATOA YA MOYONI "NIMETESEKA"

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 634

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад +16

    MASHALAH
    MASHALAH
    MASHALAH
    MASHALAH
    MASHALAH
    JAZAKA LAKHU KHERI
    JAZAKA LAKHU KHERI
    JAZAKA LAKHU KHERI
    ALLAH AMPE UMRI MREFU LUGUMI ALLAH AMPE AFYA NNJEMA RIZKI WASAA NA MWISHO MWEMA
    MATAJIRI WA KIISLAM WAPITISHE PESA ZAO KWA HUYU LUGUMI HAKIKA NI WALII WA ALLAH
    NAMUOMBA ALLAH AMUHIFADHI NA KILA HASADI NA FITINA SAID LUGUMI AMIN AMIN AMIN AMIN

  • @frankibrahim3902
    @frankibrahim3902 Месяц назад +27

    I'm speechless. Barikiwa maradufu Chief Lugumi ❤

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 Месяц назад +21

    Utajiri una siri kubwa.
    Allah akubarik mzee Lugumi kwa makubwa uyafanyayo.

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 25 дней назад +2

    Sawa huyu jamaa analea watoti wengi sana mwenyezi Mungu amzidishie Rizki.
    Wewe mwenzangu hii kama haujafika uwezo huu sio lazma watoto mia saba ila kama unaweza hata kulewa mtoto mmoja bado Mungu hakuachi hiv hiv wengi wao tuasema nikiwa tajiri ntakuwa kama huyu ni uongo kama una uwezo wa kulea zaidi ya mtoto mmoja tofauti na wakwako na wewe fanya.
    Mwenyezi Mungu atujalie sote tuwe na moyo kama LUGUMI 🙏

  • @emmanueljoseph3815
    @emmanueljoseph3815 Месяц назад +43

    Huyu ndie bilionea sio mara mo mara huyu mara huyu hapa kuna la kujifunzaa hongera sana bro kwa iman yako

  • @gaudnegeorge9382
    @gaudnegeorge9382 Месяц назад +14

    Jambo jema hili na la ibada,Mungu akutunze Lugumi,Naiman Mungu hakika utaniwezesha hv karbuni nifanye zaidi ya huyu kwa hawa waja wako ,Amen

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Месяц назад +11

    Maashallah! Tunafurahishwa sana na waislam kama wewe. Tunapata mafunzo mazuri kwako. Wengi wana vipato lakini unayoyafanya wewe hawavitekelezi. Shekh ushauri wangu wengine wapelekwe kwenye ujuzi (ufundi). Wawe mafundi inshallah Allah akuzidishie kila la kheri.
    .

  • @ShomaryGango
    @ShomaryGango Месяц назад +64

    Mashallah nimefurahi kuona hili kutoka Said Lugumi(Inapendeza ukiwa nacho kugawana na wenye uhitaji) Allah amfanyie wepesi na sote tunaoona hichi atuongezee riziki majumbani mwetu tuweze kugawana na wanaohitaji.

  • @munisomiraji9879
    @munisomiraji9879 Месяц назад +14

    Mashaa Allah Mambo yampendezayo Allah...Mwenyezi Mungu atujaalie na ss tuweze kufanya japo kwa uchache😢am speechless

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 Месяц назад +14

    Hawa wote wangekuwa watoto wa mtaani ila Allah amekuumba Lugumi na akakupa moyo na uwezo wa kuwasaidia,wakushukuriwa kwanza ni Allah! Asante pia Lugumi mimi nimejifunza kitu natamani Allah anisaidie

  • @zanubaahmed4905
    @zanubaahmed4905 Месяц назад +29

    Mash Allah , Mw'Mungu akuzidishie awajaalie watoto hawa wawe waja wema kwenye ummat Muhammad SAW,

  • @yumna128
    @yumna128 Месяц назад +95

    Hii kubwa sana aise hata mm namuomba Mungu siku moja na mm nisaidie watoto yatima Inshallah

    • @LuluAquai
      @LuluAquai Месяц назад +6

      Insha'Allah

    • @alibinali_
      @alibinali_ Месяц назад +4

      Inshaallah Ameen

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад +3

      Kwa sasa simama nao katika kuwaombea waweke kwenye sala zako za kila siku,, hatuwezi kufanya kitu kimoja wote

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 Месяц назад +5

      Unaweza kuamua Kila mwez ukaandaa elf30 unawatafta yatima walau watano mnaandaa msos mzur mnafurah pamoja

    • @mohamedshaban745
      @mohamedshaban745 Месяц назад

      Inshaaykher

  • @ip_header
    @ip_header Месяц назад +12

    MashaAllah Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika risiki yake

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 Месяц назад +12

    masha allah saidi lugumi allah amekuongoza kuna matajiri wengi wa kiisalamu wanauwezo mkubwa lakini hawasaidii mungu amjaliye kheri saidi lugumi

    • @ZayZaham
      @ZayZaham Месяц назад

      Una uhakika gani kwamba hawasaidii mbona mwawasemea watu mabaya bwana

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa Месяц назад +64

    Mwenyez Mungu mjaalie Said Lugumi awe miongoni mwa matajiri wakubwa ulimwenguni 🤲

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 Месяц назад +8

    Allah amuongoze Mzee Lugumi katika Qur'an na Sunnah ... Kazi kubwa anaifanya ❤ Watoto zaidi ya 700 ni jambo la kipekee..
    Na sisi Allah atupe moyo wa namna hiyo tufanye hata kwa uchache wake. 🤲 Aamiyn

  • @MohammadNickodem
    @MohammadNickodem Месяц назад +8

    Mashaa Allah mwenyezi mungu akulinde aendelee kukuongezea rizki ufanye makubwa zaidi Allah Huma amini

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu Месяц назад +6

    Allah Subhanallah Wataala atuongoze ktk kher na mwisho uliokuwa mwema amjalie bwana Said

  • @vifarangakuku9098
    @vifarangakuku9098 Месяц назад +5

    Asante sana kaka, dua zetu tunakuombea uwe na afya na uzima uishi kwa furaha na familia yako milele Ameen

  • @ABELMAGESA
    @ABELMAGESA Месяц назад +11

    Ee mwenyezi mungu aendelee kukupigania kaka yetu said lugumi 👏👏

  • @AnnaLinus-x3r
    @AnnaLinus-x3r 27 дней назад +3

    Allah akuzidishie zaidi uliko pungukiwa Said Lugumu MashaaAllah

  • @omarysebwa8280
    @omarysebwa8280 Месяц назад +4

    Mashaallah! Mwenyezi Mungu akuzidishie afya njema Mwenyezi Mungu akuongezee maisha marefu

  • @IssahMohammed-o2l
    @IssahMohammed-o2l Месяц назад +4

    ❤ Dah aisee ivi furaha ni nzuri, kuliko pesa, hongera Sana Mr lugumi, mwaveja Sana Allah akujalie kheli zake,

  • @DamasSanga-tg4xh
    @DamasSanga-tg4xh 27 дней назад +2

    Mungu akuhifadhi lugumi umetoa funzo kwa watu wote hasa wale wenye pesa, natamani niwe kama wew na Imani mwenyezi mungu atafanya wepesi

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Месяц назад +3

    Mungu nimjuzi ajuaye kila jambo, panapokheri Allah ataleta kheri tu ,kutoa kwaajili yawengine nibaraka ,mana hakika huko ndio kumtumikia Allah ,kikubwa nikua na MOYO WENYE IMANI YAKWELI ,MASHA ALLAH ,BARAKA LLAH FIIKUM❤❤

  • @tynoblack5996
    @tynoblack5996 Месяц назад +16

    Matajiri kama hawa wapo wachache sana...Mungu azidi kumuweka Lugumi kwaajili ya wengi walioko nyuma yake🙏

  • @ZaidiShabani-q6y
    @ZaidiShabani-q6y Месяц назад +6

    mashallah mashallah allah akujaalie kila raheli kaka yetu akulipe nuru juu ya nuru akujaalie afya njema na mwisho pamoja na wadogo zetu inshallah amin

  • @sadamawaz2613
    @sadamawaz2613 Месяц назад +8

    Allahumma barik,,, hapa ndipo unapojua kwamba wakati we unajiona kama umejitoa kwelikweli kuitafuta radhi za Allah, kuna watu hawalali usiku na hawasemi, hakika bidhaa ya Allah( Jannah) ni ghali mno,, hainunuliwi kwa maneno wala makombo ila kwa vitendo na kwa vile tunavyovipenda zaidi(swadaqa)

    • @FekiHappy
      @FekiHappy Месяц назад

      Allah Akuepushe Na husband kila.mwenye baya na hiki unachofanya kimrudie

  • @DonaldkilianiMmbaga
    @DonaldkilianiMmbaga 2 дня назад

    Mungu akuzidishie wingi wa reema naakupe maisha marefu apa duniani ni meumia sana na ni mefurai sana kwa mema unayo wa fanyia watoto ❤❤❤❤

  • @kolokokoloko9276
    @kolokokoloko9276 Месяц назад +9

    Eeeeeh... mwenyezi Mungu m'bariki Lugumi

  • @HassanMwanga-td3in
    @HassanMwanga-td3in Месяц назад +24

    Emwenyezi mungu nijalie na mm nifanyekama hiki kwakidogo nilichonacho na unizidishie saba mara sabini

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Месяц назад +38

    Siku moja nitafanya mara saba zaidi ya hii kwa utukufu wa Mungu

  • @AshuraMohamed-o7n
    @AshuraMohamed-o7n Месяц назад +5

    Maashallah nimependa kwakweli mungu akuzidishie kheri nyingi na akupe umri mrefu wazidikufurahi na wewe hawa watoto, na akujaalie firdaus kesho yaumulqiama

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Месяц назад +3

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola awajalie mnaoendea kulea watoto yatima , jambo ambalo mola analiridhia sana. Mola awatie moyo na awalipe nyote malipo mema makubwa Inshaallah.

  • @wahidasalmin2907
    @wahidasalmin2907 Месяц назад +5

    Masha Allah ❤❤❤ Allah amlinde na amfungulie zaidi

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 Месяц назад +3

    Masha Allah. Nimefurah sana. Allah Amfungulie rizk zaid na zaidi

  • @HelladiusRutinwa-cd4uj
    @HelladiusRutinwa-cd4uj Месяц назад +32

    Kwanini usifanikiwe sana. Yaani hao malaika wote wanakuombea Dua halafu usifanikiwe katika kutafuta kwako. Mungu akubariki sana boss Lugumi.

    • @ahz6907
      @ahz6907 Месяц назад +1

      Malaika?

    • @samitungo
      @samitungo Месяц назад +1

      Neno malaika hutumiwa kuwaita watoto wadogo kwa kuwa wao hawajafikia umri wa kutenda dhambi kwa hiyo kalamu ya Allah haijaanza kuandika kwenye vitabu vyao.
      Malaika hawamuasi Allah wao hawatendi dhambi wanatenda kama Allah alivyowaamrisha.
      Binadamu kapewa uwezo wa kuamua.
      Katika huko kuamua ndipo anapotenda alilokatazwa.

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 Месяц назад

      Malaika wako wapi hapo mbona mnachanganya habari eti malaika ,malaika na mayatima kuna ukaribu gani alafu mashekhe wapo busy kuoa ndoa ya mke zaidi ya mmoja wakati umma unaita watu malaika😮

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Месяц назад

      ​@@lulurubby2235kwaio unaumia mashekhe kuoa mke zaidi ya mmoja

    • @karimkinwary4668
      @karimkinwary4668 Месяц назад

      We kilichokuuma ni nn labda ​@@lulurubby2235

  • @LuluAquai
    @LuluAquai Месяц назад +13

    Baaraka llahu fik,namuomba Allah akujaalie mwisho mwema na hatimae akulipe Jannatil firdaus kwa rehma zake insha'Allah

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s Месяц назад +2

    Mashaallah m
    Mungu nami na moyo huo nilee watoto yatima .ninao wengi niliyoachiwa na ndg Zangu lkn nataka zaidi na zaidi ❤🙏♥️♥️

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 Месяц назад +10

    Ukisikia Jina lake na anayoyafanya ndio utajua kuwa yale yalikuwa ni fitna za Waja .....Inshallah Mungu amuongezee na ampe Moyo huuhuu

  • @HemedAli-fs5lb
    @HemedAli-fs5lb 2 дня назад

    Kaka mungu akubariki sana unafanya uwekezaji wa milele Allah nakuomba uzidishe imani ,hekma na mali juu ya huyu jamaaa

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 23 дня назад

    Jaazakallah. Mungu ajuzidishie. Zaid na zaidi. Inshallah. Allah akuwekee. Pepo ya daraja. La kwanza pamoja na Mitume. Amin Amin thuma. Amin

  • @zamdamasondole8272
    @zamdamasondole8272 21 день назад

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah !Allah akupe umri mrefu uweze kuwaangalia hawa watoto .

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 Месяц назад +1

    Masha Allah ukawe bilionea mpaka kesho utakapo kutana na mola wetu mlezi ukiwa mwenye wingi wa thawabu na uzito wa mema kwenye mizni yako Allahumma Aamiyn

  • @raymondlinje8086
    @raymondlinje8086 Месяц назад +4

    Mashaallah.allah akuzidishie mr lugumi.

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 Месяц назад +5

    Nabugujikwa machozi kwa furaha Allah akulipe kheri mzee said lugumi

  • @AzizaIssa-o9o
    @AzizaIssa-o9o Месяц назад +3

    Mashaa Allah mungu akulipe zaid kw moyo ulonao❤kw kweli 🎉

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni Месяц назад +10

    Mwenyezi Mungu kwa haya anayoyafanya, kwa hakika mzidishie baraka teletele. Tujaalie tuwe na mioyo yenye kupendana na kuwajali wengine kama vile wewe Baba yetu wa Mbinguni unavyotupenda na kutujali sana. Amina na Amina.

  • @Mullahtv202
    @Mullahtv202 Месяц назад

    MashaAllah!!!!
    Allah akulipe mara elfu kwa yale mema unayoyafanya kwa ndugui zetu hao.
    Allah akuepoushe na Husda na aijaze akaunti yako akhera na akuandalie pepo ya juu kesho akhera. Hakika umeuishi Uislamu kama dini inavyotaka.
    Jazakallahu !!!!

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato Месяц назад +1

    Lugumi, Mungu akubariki sana. Nimefurahi kuona hata sura yako. Nikikutazama usoni naona kabisa unachosema na kutenda vinatoka moyoni. Kwa kweli Lugumi wewe ni Mtu wa Watu na Mungu alikuleta duniani akiwa na lengo la kukutumia kusaidia Wanyonge. Watu wenye mioyo ya hivi duniani ni wachache. Namuona Hayati Reginald Mengi ndani yako.

  • @AemboraAnderson-hi5tw
    @AemboraAnderson-hi5tw Месяц назад +4

    Mwenyenzi Mungu anisaidie na Mimi siku Moja niwe na uweza wa kuwalisha wenye dhiki na yatima Mungu hakupe uwezo zaidi nimejifunza kitu kutoka kwako

  • @zaituniomary9946
    @zaituniomary9946 25 дней назад

    Nakuombea sana mwenyenzi mungu akupe afya na maisha marefu kwaajili ya Kila watoto inshaallah nakuombea sana Leo nimeshangaa sikuwahi kujua kama unawema huu, mola wetu akulipe inshaallah.

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Месяц назад +4

    Mashallah mashallah mashallah Allah akuzidishieni zaid wallah nimefurah sna❤🎉

  • @salimsaiba7710
    @salimsaiba7710 27 дней назад +1

    Mashallah Allah Akuridhie hapa duniani na kesho akhera insha,Allah

  • @EsscoEnergies
    @EsscoEnergies Месяц назад +5

    Ngosha wa mbasa, mhola ya seba said lugumi hongera sana mtoto wa Mwanza

  • @SuleimanMohommed
    @SuleimanMohommed Месяц назад +1

    Masha'Allah Allah akuzidishie kheri Kaka Lugumi, Namuomba Mwenyezi Mungu anifungulie ridhki zangu za halali nami niwe mkono wake kama Bro, Saidi Ahmad Lugumi.

  • @AshaAbdalla-o9c
    @AshaAbdalla-o9c Месяц назад

    Ma Sha Allah Allah amsidishie rizki azidi kisaidia mayatima
    .Na matajiri wengine Allah awazidishie Iman waige mdano kama huu

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 Месяц назад +2

    Mwenyezi Mungu Amizidishie pale anapopungukiwa na woote wanaoungana naye katika jambo Hili la kherii ikiwemo aliowataja Waheshimiwa Woote ❣️💯🤲🙏.
    NCHI HII ITAWALE AMANIII 🇹🇿.

  • @stonetown578
    @stonetown578 Месяц назад +1

    Masha'Allah Tabara'Allah, Allah azidii kukufanyia wepesi akupe zaidi na ziada.

  • @ZainaSalim-k4x
    @ZainaSalim-k4x Месяц назад +3

    Allah azidi kukuongezea rizki insha'allah
    NAMI natamni cku Moja niwe miongon mwa watu waadizain yako ya raab nifanyie wpesi

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda Месяц назад +3

    Mashaa Allah. Allah amzidishie rehema zake sheikh Said Lugumi. Amin

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 Месяц назад +4

    Mungu akubariki rais Samia suluhu na katibu wako pia Mungu akulinde na akubariki sana boss Lugumi

  • @NickolathaRwelamila
    @NickolathaRwelamila Месяц назад +18

    M/Mungu nijalie namimi neema ya kumsaidia Angalau mtoto mmoja 🙏🙏ktk maisha yangu

  • @joachimhancemwakoba8283
    @joachimhancemwakoba8283 Месяц назад +8

    Mungu akutunze Classmate wangu Lugumi🎉🎉

  • @mahamedismail601
    @mahamedismail601 Месяц назад

    Masha Allah mungu akuongoze kwa Kila jambo na msada wako uwe kutoka moyoni si kuwatangazia watu ila mungu alisema kwe dini yetu mkono wako wa kushoto usijiuwe mrudie mungu tu brother Nina sabab yaa kimani

  • @emmarickywastana-w4l
    @emmarickywastana-w4l Месяц назад +7

    Mimi Askari wa ulinzi wa boss said nakula nashiba Mungu ni mwema Sana

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Месяц назад +2

    Masha Allah tabarakarahman mungu amzdishie Iman amzdishie na kher

  • @rehemaanderson832
    @rehemaanderson832 Месяц назад +2

    Yaani naangalia nasikia Amani sana Moyoni kuona Bado kuna watu wenye Roho nzuri kiasi hiki,Jamani Mungu akubariki sana.Amen

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 26 дней назад

    Mashallaah M.mungu akubariki kaka angu.
    M.mungu akuzidishie uwezo mkubwa

  • @Noorh23-n9m
    @Noorh23-n9m 2 дня назад

    Masha allah tabrka rahman allah akuzdshie baba ajalie kuptia ww waslmu wengine wajfuze

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +1

    Masha Allah Mwenyezi Mungu azid kumpa tena na tena

  • @vero57
    @vero57 Месяц назад +3

    Ukiangalia watoto wote wana furaha kubwa sura zao , mwenyezi mungu tusaidie na mimi niweze kusaidia wezangu amen 🙏🏾🙏🏾

  • @MarryLaurent-i3u
    @MarryLaurent-i3u Месяц назад +14

    Huwa nikisikia saut ya shekher Abdul basit Huwa moyoo wanguu unaridhiaa kabisaa lugumii Allah akulipee Allah akutunzee wewe pamoja na kizazii chakoo na piah akupe mwisho mwemaa inshallah

  • @SaadEbrahim
    @SaadEbrahim Месяц назад +3

    Mwenyeezi Mungu akujalie kila la kheri Sidi Lugumi na amzidishie kila la kheri amin.

  • @NaziruIddy
    @NaziruIddy 28 дней назад

    Eehh mwenyez mungu wewe hupangiwi na yeyote kwa chochote wewe ndiwe mwenye uamuzi nasi tunakuomba kama ulivyo sema ktk vitabu vyako kuwa upo karibu nas na unajibu maombi ya waja wako wakuombapo mpe huyu mzee moyo wa Iman na umuongoze katik njian yako Hadi mwisho wake na umzidishie rizq maelfu mara mamia elfu Amina ya rabii

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Месяц назад +1

    MASHALLAH ❤❤❤ ALLAH AZIDI KUKUSIMAMIA NA KUKUONGEZA AMEEN❤❤ NIMEFURAHI SANA

  • @HashimuNyamwinyula
    @HashimuNyamwinyula Месяц назад +14

    Ndoto yangu nipate ela nijenge kituo cha watoto yatima ishaallah

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Месяц назад

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi my brother ulivo wafu rahisha hawa wtto wtu Allah aku furashi ww na family yko ❤❤❤

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 Месяц назад +4

    Dah, Mwenyezi Mungu nipe moyo wa huyu Bwana .

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j Месяц назад +4

    Mashaaaa llah allahakupe pepo yani nimemsikiliza huyu jamaa allah amlipe kikubwa zaid

  • @gertrudegwarasa632
    @gertrudegwarasa632 Месяц назад +1

    Mungu akubariki sana. Akuzidishie mara dufu👏🙏

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv Месяц назад

    Mashallah alhamdullah Allah akuzidishie boss unapotoa usipungukiwe walhai nimependa mno hili nass Mungu atujalie tuweze kutoa ata kidogo tunacho jaaliwa lnshallah

  • @nassrasaggaf4003
    @nassrasaggaf4003 Месяц назад +5

    Mashallah Alhaj Said Lugumi Allah akuzidishie na akulipe Jannatul frdaus Amin

  • @sarahezekiel5170
    @sarahezekiel5170 Месяц назад +5

    Hongera sana Saidi Lugumi na wote wanaokusaidia kuifanya huduma hii.Mungu awabariki na viongozi wa nchi pia.

  • @BaloziMngasu
    @BaloziMngasu Месяц назад +2

    Mung ambariki sanaa kwa hili mungu ampe afya thabiti

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 Месяц назад

    Masha allah ya rbb amuhifadh hyu mbaba kwa kweli vdeo imenifrahisha sna inapaswa kumuombea uwzo zaid allah awez kmuezesha zaid na zaid ya rabb na sis atjaalie kher kma yye na mfno wake ❤❤❤

  • @Haji-yt8hm
    @Haji-yt8hm Месяц назад +4

    Mungu akujaze kheyr na baraka pamoja na sisi mungu atupe uwezo na mioyo ya kusaidia katika dini aa'mina yaarabal alamiyna

  • @hajimchomvu7878
    @hajimchomvu7878 Месяц назад +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah Allah bless you

  • @Abuu_Ars
    @Abuu_Ars Месяц назад +6

    Allahukbar kumbe kuna watu wanafanya mamboo makubwa sana chini ya kapeti

  • @nurasam5475
    @nurasam5475 Месяц назад +3

    Niko Speechless Allah azidi kukufungulia Kila idara lolote wazungumze walimwengu kikubwa zaid ni Dua inatosha kukukinga na midomo yetu Allah asimame na wewe kwenye njia ya hakika inshallah

  • @abdulmgassa7848
    @abdulmgassa7848 Месяц назад +1

    Asalam shekh Allah akubari zaidi na zaidi maishallah nimekupenda sana shekh Allah akumiminie Baraka na alllah akujalie sana na akupe pepo inshallah

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 Месяц назад +1

    Masha allah mungu amzidishie kila atakalifanya kwenye hii ardh

  • @ferouzmsereka8814
    @ferouzmsereka8814 Месяц назад

    Mashaa AllAH jazakallahu kheiran my Muslim brother SAID HAMADI LUGUMI

  • @UpendoMrina
    @UpendoMrina Месяц назад +1

    Mashalla mungu azidi kukutunza said❤❤

  • @mapishiyalulu9696
    @mapishiyalulu9696 Месяц назад +1

    Mashallah hakuna kitu kizuri kama kutoa SADAKA. Mtoa SADAKA Mungu humuhifadhi na hakuna wa kumdhuru. Mungu akikuvisha Taji hakuna wa kukuvua.

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 Месяц назад +2

    Mashallah kheri kubwa sana hiyo Allah awalipe kheri duniani na akhera

  • @AthumaniKimwaga
    @AthumaniKimwaga Месяц назад +1

    Said Hamad Lugumi... Mwenyezmngu akujaalie upate zaid, Rizk zako zinapitia kwao hawa watoto InshaAllah....

  • @salehally-y8p
    @salehally-y8p Месяц назад +1

    Mashaallah mwenyezi mungu hakupe mwisho mwema.

  • @erastoraymond4880
    @erastoraymond4880 День назад

    Maashalah Mungu akuzidishie mkuu

  • @mrmarineboardtz
    @mrmarineboardtz 23 дня назад

    Hii ni kubwa sana,hongera sana Saidi Lugumi