Bwana samata mungu akujaalie hatakile ambacho hukuomba ilimlad kitafurahisha na kitakuIdishia kuishi maisha ya kumpenda mungu maana unaheshima sana na hekima ,napenda zaid unavyomtaja mungu kitu ambacho hakipo kwa waliofanikiwa wengi
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
Safi sana ,FICHA ZAIDI KAKA SAMATA WABONGO WENGI NI WATU WA AJABU ,WANAKUPENDA MDOMONI NA SI MIOYONI ,SO UKIONESHA VITU WENGI UTENGENEZA CHUKI ZA KUONDOA ATA UHAI , SO WEKA PASS WORD HIVYO HIVYO
Well Allah azidi kukujalia brother
Mungu akujaalie Afya samatta... MUNGU atazidi kukuinua.. Daaa uko vzr snaaaaa
Very humble Guy. Hongera sana Mbwana Ally Samatta.Mungu aendelee kukulinda na kukubariki.
Way brother
Mungu akubariki sana Samatta! Una hekima kwa kuwa u mnyenyekevu! Mungu akuzidishie
Very interesting interview kwa sisi wapambanaji be humble kwa kile kidogo unachokipata
Mungu kweli fundi, hamjalii mtu kizembe, this is a right one, samata we ni genius
Mbwana Samatta, hongera sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, wewe huna makuu!
Samaboy!
Brilliant, very smart and humble!
Interview Safi, hongera Kwa muulizaji, hongera Kwa Samata namna anavyokibu maswali
Kijana mwenyezi Mungu akupe Maisha marefu sana,akutunze pamoja na familia yko,unahekima sana na umenibariki,Mungu akusimamie kwa kila jambo
Samatta you are the legendary uzidishiwe
Nawapenda Saana Samata Na Alikiba Big Up💪💪💪
Kivipi yaani😅😅😮
Mtangazaji smart sana🎤
Apo umesema bro,kuna cc tunaomba tupate 2 chakula kama unavyosema.hongera sna bro...
Mungu Akubariki sn Samatta, Kwa kuwa na Hofu ya Mungu, Mungu ndio Kila kitu Hongera sn.
Dah brother allah akufanye uwe na hyo roho
Nawapenda sana wewe na mbwana samata na ally kiba mko na moyo Wangu walah💋🙏
Hakuna kitu kizur kama kumshukuru Mungu God bless you 🙌mbwana samatta
Samatta na ally kiba walitakiwa kuwa ndugu jamn 😊vitu ving wanaendana hasa life style ALLAH AWAHIFADHI
Acha kumfananisha samatta na vitu vya kijinga
Ameen
true
Bwana samata mungu akujaalie hatakile ambacho hukuomba ilimlad kitafurahisha na kitakuIdishia kuishi maisha ya kumpenda mungu maana unaheshima sana na hekima ,napenda zaid unavyomtaja mungu kitu ambacho hakipo kwa waliofanikiwa wengi
Maashaallah ushaahijiii kaka baarakallah fiikum
kweli kabisa,kuanza ku cross😩😩😩 dua za watu ni kutokuridhika.una roho ya kitajiri sana na ndio sababu hutopungukiwa.hongera.
Smart =to samata
Si mshabiki wa mpira lakn nmekukubali Sanaa broo😂😂
Unaakili sanaaaa kaka allah azidi kukuweka 🙏
Big point bro ur bright umeongea vitu ambavyo ni sahihi🙏
Baarik Allahumma feekum. You're very smart and humble. Even the way you are answering the questions. May Allah protect you.
So humble guy.. Mengi ya kujifunza.
Haina kufeli one day yes captain mbwana mungu alkujaeli miaka mingi
Uyu jamaaa kumroga nikazi sana😂😂😂😂
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
Masha Allah 🍀🍂. Mwenyezi mungu amejali 🙏👏❤️
Brother allah akufanye uwe na hyo roho dah
Ata mimi naami kua kila wanafanana❤❤❤❤
Wanaopata mali za maagano ndio wanaosumbua watu kama hao wasanii wenu, ila mali halali unakuaga poa sana coz una jua kwamba only God
Tafuta hela acha nongwa
Point naomba Mungu utusaidie
Hofu ya Mungu kui control pesa, daah safi Sana, kijana yuko humble
Mtangazaji unajua, unajua, unajua saana kuuliza, Big up Samata !
Naombeni jina la huyu mtangazaji anajua sana maswali hayakeri ni tofauti na watangazaji wengine
Hii video atumiwe chief godlove
Ukitaka Pesa Idumu Nawewe, Jifanye Huna Hata Kama Unazo. Na Ukijifanya Unazo Kabla Hujazipata Sahau Kuhusu Kukutana Nazo. (Pesa Ina Nidhamu Yake).
Hongera sanaaa mwamba mungu akupe wepesi❤❤❤❤
Well done dogo samata ,stay blessed
U know brother.
Contented🔥✅
Angekuwa GOODLOVE 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Dah yule jamaa hana kityu kabisa na anajisifia sana yule chief godlove 😂
Hahahaaaaa umetisha kaka
Samata nimekupenda kijana wangu tofauti na wakina Good lucky (Kijana mdogo tajiri) anavyoonyesha hela zake
Mashaallah kijana mungu akuzidishia usiwe na majivuno
If humble was a person 🙌🙌
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
😅😅y4x ģ❤
Verry nice
Safi sana kwa muuliza maswali👏
Chief Good love
Hongera kwa hekima zako.
Samata one❤ MY brother mtoto anabidi aoneshe mfano mzuri wa kutafuta pesa.nimeipenda iyo
Huyu jamaa anatabia kama za ali kiba,,,,life zao ni password
Yeah kweli kabisa yani same system with Ali Kiba
Kama kiba
Sure kama Alikiba exactly
🤣🤣🤣🤣ally kiba ana nini labda sehemu zake za s.......... Ndio anazo show off kwa wanawake.
@@ahmedysaidy9874eheee kumbe,yani unahisi hana kitu🤣🤣🤣
Uko vzr sn mbwana kwl kuna watu wanauhitaji wa kitu kdg tu wanakosa we unaomba kununua ndege mungu akufanyie wepes mzee
Kuna tofauti kubwa kati ya samata na diamond ,Diamond kutw
Kuonesh hela zake mtandaoni
Smart indeed
ALLAH akufanyie WEPESI
Hongera sana Mungu awe na wewe ❤
Mungu akuzidishie uko vizuri simtu sifa
Good and clean Brother
Mnyarukolo kamwene 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Busara na nidhamu msingi wa maisha bora Big up
❤❤❤❤❤❤❤❤ umeongea sawa kaka
Mungu akubariki sanaaaa
Acha mungu hampe zaidi ya hapo kajenga misikiti kwetu hata 6 na hukute hanajipromoti kama washamaba daimond au konde
Konde alishawah kupromt msikit gan au kitu gan acha ushamba ww
Nakukubali kaka maixha
Namkubali sana Samata na king kiba Huwa wapendi kuweka maisha Yao hazarani ila Kuna mtu anajiita Simba uyo anapenda kiki sana😂😂
Safi sana ubarikiwe
MashaAllah ALLAH akuzidishie
Sammata akili 🧠 kubwa. Big up bro.
Safi sana ,FICHA ZAIDI KAKA SAMATA WABONGO WENGI NI WATU WA AJABU ,WANAKUPENDA MDOMONI NA SI MIOYONI ,SO UKIONESHA VITU WENGI UTENGENEZA CHUKI ZA KUONDOA ATA UHAI , SO WEKA PASS WORD HIVYO HIVYO
Kwer mungu hamtupi mjawake samatta ww ni mtu wa pekee ambae kwenye interview nimekuerewa sana
The truth has been spoken!
Kudos sana,home boy. ✊💪🤝
Mm n
Atleast leo umeiongelea vizuri simba 👏👏👏👏👏
Saluti bro viva sana kaka
Soo good 👍👍
wa kwanza nipen like zangu..
Yaaan samata Ni star mkbwa sna lakin hata ndoa yake tu aliifnya kimyakinya Ila ningekuwa mm duhhh
Ata kuongea anaongea kama King Kiba huyu jamaa!
Sindioo
Uko vizuri kijana ubarikiwe
Hahhh nimefurah saana sentensi aliyomalizia tunaambiwaga wengi saana maashaallah
Humble man
Man Of The Peoplezzz
Safi sana Diego
Ayo maneno dawa sio mtoto aseme baba ana mali apambane kwa jasho lake nayeye big up
Humble guy
Respect
Icon
Mashaa Allah
Verry humble safi sana
Salute
Uko powa sana
Hongera sana Mbwana Samatta kwa majibu mazuri na mayo wako wa kutokuwa na tamaa ya vitu
Samata mungu akubariki unasemaukwel
Bwana samatta kaongea vizuri sana hongeraa
Ana hheshma sana ,
Mungu azidi kumbariki.
Alafu gank mnachana sana mikeka manina zenu🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 dah
😂😂😂😂shenzi zako😂😂😂😂
Maua yako Hayo😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@@kagondanathan3661 🤣🤣🤣
Akili mingi sana